#kuota na mimba
Explore tagged Tumblr posts
Photo
Wakati maisha yako yamekamatwa na kupitia nguvu za Malkia wa baharini. 🟠Utaanza kuota ukifanya mapenzi... 🟠Jambo ambalo litasababisha matatizo haya: ➡️Ndoa kuvunjika. ➡️Kupata wachumba wakikuacha. ➡️Kufilisika na kukosa pesa. ➡️Magonjwa ya hatari na mengine yasio na tiba. ➡️Kushika mimba zikitoka. NAKUOMBEA MCHANA WA LEO!! Maroho yaliyotumwa kutoka baharini yakuachilie by fire in Jesus mighty name✝️ #LetMyPeopleGo Prophet Dr. Mutula PGC church, kitise town⛪ 📞0720508509 #prophet_at_kitise_makueni_county https://www.instagram.com/p/Cp-TJ78ohJx/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
Text
Dalili za kuolewa na majini au kuoa majini
Dalili za kuolewa na majini au kuoa majini
Mwanamke anaweza kuolewa na jini au majini bila kujua, pia mwanaume anaweza kuwa na mke au wake wa kijini bila kujua!
Dalili kubwa za kuwa na mume wa kijini au jini mahaba(Spiritual husband)
Kuota ndoto za ngono/mapenzi mara kwa mara
Kuota una watoto au unanyonyesha watoto
Kuota unaolewa na kufanyiwa harusi
Kuota unapata mimba
Kuota unazaa mtoto au watoto wengi
Kuota ndoto za ajabu wakati wa…
View On WordPress
#jini mahaba#kila anayemuoa anakufa#kuchukia mume bila sababu#kuchukia wanaume#kuchukiwa na wanaume#kujihisi huna amani ukiwa na mume#kukaribia kuingiza uume na unalegea ghafula#kuolewa waume wakafa#kuona mume anayo sura mbaya#kuota na mimba#kuota una watoto wachanga#kuota unafanya ngono#kuota unafanyiwa harusi#kuota unaolewa#kuota unazaa#kupotea vitu ndani mara kwa mara#kuwa na hasira nyingi#mali na vitu kuharibika mara kwa mara#mume kukosa nguvu za kiume#mume wa kijini#pesa kupotea mara kwa mara
0 notes
Photo
Duniani wawili wawili. Umewahi kujiuliza kwa nini? Kwa nini mtu afanane sana na mtu mwingine ambaye hata si ndugu yake na labda mmoja anakaa Kagera na mwingine Tanga? Au mmoja anakaa Rwanda na mwingine Tanzania? - Nguvu za Shetani zimejificha katika sehemu za siri za mwanadamu. Kujamiiana (tendo batili la ndoa) kunautia najisi mwili wako na roho yako pia, hasa wakati wa kumwaga manii; kwa sababu dhambi zote anazofanya mwanadamu ziko nje ya mwili wake isipokuwa dhambi ya uzinzi, ambaye mungu wake anaitwa Asmodeus. Asmodeus maana yake ni Kiumbe cha Hukumu. Kutokana na dhambi ya uzinzi ndiyo maana Mungu akauhukumu kwa moto mji wa Sodoma, na miji mingine minne ya kipindi hicho. Tunapokuwa tumelala mara nyingi tunaota ndoto tukifanya mapenzi, na watu tunaowajua au tusiowajua, hadi kileleni. Ndoto hizo ni za kishetani. Shetani hujigeuza na kuwa jini jike (Succubus) ambalo hufanya mapenzi na mwanamume kisha mwanamume kummwagia manii Succubus. Halafu Succubus huyohuyo hujigeuza na kuwa jini dume (Incubus) na kufanya mapenzi na mwanamke popote pale duniani, kwa lengo la kumwaga zile shahawa katika uchi wa mwanamke, hivyo kutia najisi mwili na roho ya mwanamke na mwanamume walioingiliwa na Incubus na Succubus kwa mpangilio huo. Iwapo uliwahi kuota unafanya mapenzi na mwanamume, kuna uwezekano mkubwa ulifanya mapenzi na jini mahaba aitwaye Incubus; na iwapo uliwahi kuota unafanya mapenzi na mwanamke, kuna uwezekano mkubwa ulifanya mapenzi na jini mahaba aitwaye Succubus. Succubus anapochukua shahawa za mwanamume na kujigeuza kuwa Incubus, huangalia ni mwanamke gani popote pale duniani yuko tayari kunasa mimba na bado hajafanya tendo la ndoa na mume au mpenzi wake. Kwa ruhusa ya Mwenyezi Mungu Incubus atasafiri kwa mwendo wa mwanga hadi kwa mwanamke huyo na kufanya naye mapenzi kwa njia ya ndoto, lakini lengo likiwa ni kummwagia zile shahawa alizozitoa kwa mwanamume, ili mwanamke anase mimba. Soma zaidi hapa: https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=1749491058408048&id=100000415120038 https://www.instagram.com/p/B1MIOEgHk35/?igshid=1eo5ubtl3hsli
0 notes
Photo
Wakati maisha yako yamekamatwa na kupitia nguvu za Malkia wa baharini. 🟠Utaanza kuota ukifanya mapenzi... 🟠Jambo ambalo litasababisha matatizo haya: ➡️Ndoa kuvunjika. ➡️Kupata wachumba wakikuacha. ➡️Kufilisika na kukosa pesa. ➡️Magonjwa ya hatari na mengine yasio na tiba. ➡️Kushika mimba zikitoka. NAKUOMBEA USIKU HUU!! Maroho yaliyotumwa kutoka baharini yakuachilie by fire in Jesus mighty name✝️ #LetMyPeopleGo Prophet Dr. Mutula PGC church, kitise town⛪ 📞0720508509 #prophet_at_kitise_makueni_county https://www.instagram.com/p/CpdOPW_r5DQ/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
Text
Uchawi mwilini uanweza kuingia kwa kulishwa kwenye chakula, kulishwa umelala ndotoni, kutegwa, kutpiwa au kutuma jini akakuingia ukiwa sehemu yoyote ile.
Wachawi wanaweza kupata kucha zako au nywele zako au nguo yako hasa yenye jasho lako au kitambaa chako cha jasho ili wafanye uchawi kisha wakutupie na unakupata isipokuwa kwa ulinzi wa Mungu mmoja wa pekee.
Dalili za uchawi ni:
kuota ndoto za marehemu
Kuota unalishwa vitu
Kuhisi mwili una vitu vinatembea au kuchoma ghafla na kisha kupotea
Kuhisi kubanwa kifua na kuumwa kichwa upande mmoja
Kuwa katika ugomvi na wa tu wengi kwenye familia au kazini
Kuhisi umebeba
Kuona mikwaruzo mwilini kama umekatwa wa wembe
Kujihisi umechoka kuishi
Kuchoka sana hasa ukiamka asubuhi
Kuhisi njaa kila baada ya kula na ukipima huna minyoo
Kukosa mapenzi kwa mke au mume bila sababu na ulikuwa unampenda sana mwanzo na wala hajakuudhi
Kuharibikiwa kazi au biashara mara kwa mara
Kutoka mimba hasa ukiwa unaota watoto na unafanya mapenzi ndotoni
Damu ya hedhi kutokoma au kupotea bila kuwa na mimba au kunyonyesha
Kuwa na hasira mara kwa mara
Kubadilika ngozi na kukosa nuru kiasi kwamba kila mtu anakuuliza umekuwaje?
Familia kuvurugika na kukosa kutoelewana
Kila siku mikosi na nuksi mpaka unakuwa mfano kwa watu
Kuota paka weusi mara kwa mara
kuota nyoka weusi kila siku
Kuota unapaa
Kuota uko chooni au sehemu chafu
Kuota unavamiwa na kuumizwa
Kuota damu mara kwa mara
Kuota radi inakupiga ni ndoto mbaya hizi
Hatua za kutibu uchawi na majini
Kwanza utambue kwa dalili
Tafuta tabibu mwenye uzoefu kwa kuulizia au kuhakikisha ukweli wake kwa kuulizia
Kunywa dawa za kuundoa mwilini au ukijua ulipo utoe na uumwagie limau na kisha tia moto.
Pata dawa ya MT32 na SAFISHA hizi dawa unakunywa na kuharisha kila kitu mpaka kama ulilishwa utaona vitu vya yellow au vyeusi
Pata dawa za kuoga na kupaka, Powerful Oil na Powerful soap
Hizo dawa nne zitaondoa uchawi mwilini na kufukuza majini ikiwa utazitumia vizuri na Mungu ameumba miti na nguvu zake kaziweka, Mungu mkubwa kuliko tunavyofikiria.
Tuwasiliane: +255621870342 WhatsApp, [email protected]
Dawa za kupulizia kwenye maeneo ya biashara au nyumbani kama wachawi wanaingia ili wasiingie kukuloga.
Tuwasiliane: +255621870342 WhatsApp, [email protected]
Taratibu za kuondoa uchawi mwilini Uchawi mwilini uanweza kuingia kwa kulishwa kwenye chakula, kulishwa umelala ndotoni, kutegwa, kutpiwa au kutuma jini akakuingia ukiwa sehemu yoyote ile.
#kufukuza majini na wachawi tumia powerful oil#kuharisha uchawi uliolishwa#kukosa hamu ya kuishi#kuondoa uchawi mwilini#kuota ndoto chafu#kuota unaingiliwa usiku#kuzuia wachwi#ndoto za ajabu#tiba ya uchawi
0 notes
Text
Uchawi upo na watu wanalogana kwa sababu mbali mbali lakini kubwa ni husuda.
Vitabu vyote kuanzia Taurati, Zaburi, Injili na Qur’an vimetaja kuwa uchawi upo na vinakemea ushirikina na uchawi.
Sasa hivi watu wengi wanaenda kwa waganga kwa sababu mbali mbali kwani kuna wanao amini kuwa bila mganga biashara haiendi, bila mganga huwezi shinda kesi, bila mganga huwezi shinda uchaguzi, huwezi pata cheo na wala familia iliyotulia.
Mengi si kweli ila kuna dalili zaweza kukupa picha kuwa kuna nguvu za uchawi zinaendelelea dhidi yako au familia yako.
Dalili za uchawi nyepesi ni:
Kuota unafanya ngono na mtu au viumbe mara kwa mara.
Kuota unalishwa au unakula mara kwa mara tena nyama au vyakula vyovyote.
Kuota mapaka na nyoka mara kwa mara.
Kuota uko sehemu chafu mara kwa mara kama chooni na bafuni.
Kuhisi kuna vitu vinatembea mwilini
Kuhisi umekata tamaa na unatamani kufa au kujiua
Kuota watoto wachanga mara kwa mara
Kuchukiwa na watu wengi bila sababu, hata wateja au bosi wako kwenye ajira
Kuwa msomi na akili unazo lakini wewe ni kufanyia chakula nacho haikitoshi
Kuhisi sindano mwili mzima na hata moyo kuchomwa chomwa
Kukosa nguvu za kiume ukioa au ukienda kwa mke wako umpendaye
Kuporomoka mimba kwa wanawake bila sababu ya kisayansi
Kuota waliokufa mara kwa mara na mnaongea
Kuahirisha miaka nenda rudi, hufanyi mambo yako muhimu ila nikusema nitafanya na wala hakuna kinachoonekana huwezi
Kusikia unaitwa usiku au hata mchana
Kuumwa njaa pindi ulapo na huna minyoo ukipima
Kama unazo dalili kama 3 au hata moja ya kuota ndoto za ajabu basi umelogwa na unalo jini la kichawi, Tiba yake ni kutumia dawa zifuatazo:-
Powerful Oil
Peace Oil
MT32
Powerful soap
Safisha
Mawasiliano: +255621870342, Email: [email protected]
Kama hujawahi kulogwa au kukumbwa na jini shukuru Mungu mmoja wa pekee Uchawi upo na watu wanalogana kwa sababu mbali mbali lakini kubwa ni husuda. Vitabu vyote kuanzia Taurati, Zaburi, Injili na Qur'an vimetaja kuwa uchawi upo na vinakemea ushirikina na uchawi.
#kuhisi uzito#kuhisi vitu vinatembea mwilini#kukata tamaa ya maisha#kukosa nguvu za kiume na uume kusinyaa#kulogwa#kuota unafanya ngono#kuota watoto#kutoka mimba mara kwa mara#kuumwa njaa bila sababu
0 notes
Text
Kwa msomi na mfuatiliaji atakuwa ameisha soma kwenye magazeti, mtandao, n.k kuhusu matukio ya kichawi, kwa mfuatiliaji atakuwa ameisha ona kwenye makanisa ya kilokole na TV habari za kichawi na ukemeaji wa majini ni matukio ya kawaida siku hizi.
Mtandao una faida na hasara kutokana na mtumiaji, siku hizi uchawi unafundishwa kwa pesa na kwa bure wakati mwingine! Pia wachawi wanaloga kupitia mtandao ukitaka huduma yao, usiloge mwenzako kwa sababu yoyote ile.
Athari za uchawi
Kuota ndoto za kushambuliwa na wanyama kama nyoka, paka, n.k
Kuhishiwa nguvu za mwili na ukipima huoni ugonjwa
Kuchanganyikiwa na ukipimwa kichwa uko sawa
Kuhisi umebeba vitu na vitu kutembea mwilini
Kupata ganzi na kuhisi joto lisilokawaida kwenye sehemu za mwili
Kuharibikiwa maisha na kuwa dhalili hata ukiwa msomi au mtaalamu
Kuchukiwa na watu wengi na hata familia yako inakuchukia bila sababu
Mwanamke kukosa hedhi bila sababu
Mimba kutoka bila sababu
Mimba kutoshika na kuhisi kitu mwilini kinacheza
Kuwa na fikira za kujiua au kukata tamaa
Mwanamke kukosa hamu ya kufanya mapenzi
Mwanaume mboo kusinya na kuwa kiduchu pindi akikaribia kulala na mke wake
Ugomvi usio na chanzo kati ya wana ndoa
Kumchukia mume wako au mke wako bila sababu
Watoto kuwa kama vichaa hawataki shule wala kusikiliza wazazi
Akili kupotea na kusahau kusiko kwa kawaida
Biashara na shuguli zako kukosa muelekeo
Ngozi kuwa rafu hata ukijipaka mafuta unakuwa kama uso hauna mvuto
Ukiongea na watu hawataki kukusikiliza na wala hawapendi kuwa karibu na wewe
Kila jambo baya unatuhumiwa wewe
Ukifanya kazi kwa bidii bosi haoni kazi zako wala kukujali
Kuhisi unaambiwa na mtu masikioni mambo fulani yenye kukushugulisha
Kuhisi njaa mara kwa mara hata ukishiba
Kushambuliwa na maradhi yasiyo eleweka
Kwa mwanafunzi au mfanyakazi kutoona vizuri na wala macho hayana shida kwa vipimo
Kupiga myao na kusinzia ofisini au dukani au kwenye biashara mara kwa mara
Kusinzia wakati wa ibada na kutojua hata kilichosemwa na ikiisha usingizi unapotea
Mwanamke kukauka sana ukeni na kuchubuka wakati wa tendo la ndoa
Kuota unaingiliwa hata kwa nyuma uwe mke au mume
Kuwa na hasira hata kwa jambo dogo
Moyo kuuma na kuhisi sindano
Kupata sukari ya kupanda na presha za mashaka na kupotea na kisha kurudia
Pesa kupotea kimaajabu na ikiingia unapata majanga ya kuchukuliwa kama wagonjwa, vifo na mengine ili pesa itumike na ikiisha huoni matumizi ya ghafla
Nyumba yako kuwa nzito na kukosa amani ukiwa ndani ya nyumba
Kuhisi vitu vinagonga kwenye nyumba hasa dali kama panya wakubwa wanakimbia
Kuhisi unatingishika kichwa na kuona ukungu
Kutamani kuachika bila sababu na kuona heri uwe pekee yako
Kumfukuza mke wako na kutamani usioe tena
Woga uliokithiri bila sababu na wasi wasi sana moyoni kama mtuhumiwa
Kila ugonjwa na tiba yake, uchawi na majini utibiwa kwa dawa zilizo fanyiwa majaribio na kutibu watu wengi.
Dawa za kunywa kuondoa mwilini kwa yule aliyelishwa uchawi au kutegwa
Dawa za kujipaka kufukuza majini na kufanya mwili upate nguvu
Kuna dawa za kuoga kuondoa mikosi na nuksi
Kuna dawa za kujifukiza kufukiza kwenye nyumba kufukuza majini
Kuna dawa za kupulizia kwenye nyumba na sehemu za vyumba ili kufukuza na kuzuia wachawi na majini visiingie
Mawasiliano:
255621870342 Pia WhatsApp: +255621870342
Email: [email protected]
uchawi na majini vinaathiri watu bila kujua Kwa msomi na mfuatiliaji atakuwa ameisha soma kwenye magazeti, mtandao, n.k kuhusu matukio ya kichawi, kwa mfuatiliaji atakuwa ameisha ona kwenye makanisa ya kilokole na TV habari za kichawi na ukemeaji wa majini ni matukio ya kawaida siku hizi.
#dalili za jini#dalili za uchawi#kuchoka mwili kila asubuhi#kuchoka sana bila sababu#kuhisi kuchanganyikiwa#kuhisi kujiua#kukata tamaa#kukosa hamu ya kuishi#kulogwa#kumchukia mke au mume bila sababu#kuota unaingiliwa#kuwa dhaifu#mikosi na nuksi#mimba kutoka bila sababu#mtoto kuharibikiwa#mtoto kuwa mkorofi#ugomvi wa mara kwa mara
0 notes
Text
Hali halisi ya uchawi na kulogwa
Hali halisi ya uchawi na kulogwa
Kutokana na tatizo na uchawi duniani mpaka sasa makanisa mengi yanasema wazi kuwatoa mapepo na majini ya kichawi waliologwa!
Kwa ushahidi zaidi tembelea makanisa hayo uone watu wakiwa wengi wake, waume na watoto. Utasikia kila mtu analalamika kwa njia yake kuhusu ugonjwa usioeleweka ukifikiri ni hospitali kumbe ni kwa mchungaji!
Pia kuna hata waislamu wanaowaombea wagonjwa na kuwapa dawa kuondoa…
View On WordPress
#kuhisi vitu vinatembea mwilini#kukata tamaa ya maisha#kuota ndoto za kutisha#kuota unafanya mapenzi#kuota unakula vitu#kuota unazaa na kubeba mtoto#kupiga mihayo bila sababu mingi#kushindwa tendo la ndoa#kutoka mimba mara kwa mara#kuumwa kichwa upande mmoja#kuwa na wasiwasi sana#miguu kuwaka moto
0 notes
Text
Mwanaume anaweza akaolewa na jini la kike bila kujua na itakuwa tatizo kwake.
Dalili kuu za kuolewa na jini la kike
Kuchukia mke wako bila sababu
Kuchukia wanawake pengine hata dada zako na mama yako
Kupata hasara katika mali na kuharibikiwa
Kupoteza vitu hata pesa mara kwa mara
Kuoa wanawake wanakufa kwa kutatanisha
Kuchoka bila sababu hasa ukiamuka asubuhi
Kushindwa kuingiliwa mke wako na uume klegea ghafula
Kuota unafanya ngono na mwanamke
Kuota unabeba watoto
Kuchukia kufanya tendo la ndoa
Kukosa hamu ya kuishi na mke wako
Kuhama nyumba yako ili ukae pekee mbali na familia na ukaona safi
Mke wako kukuota katika shari
Kuwa na wasi wasi sana na kuhisi una mtu karibu kitandani hata ukiwa pekee yako
Wanawake kukuchukia
MAWASILIANO-UPATE TIBA :+255762053174/+255621870342/+255717147649/+255764041507
Tiba ya tatizo hilo ni dawa hizi hapa:
Mwanaume mwenye jini la kike-Spiritual wife Mwanaume anaweza akaolewa na jini la kike bila kujua na itakuwa tatizo kwake. Dalili kuu za kuolewa na jini la kike…
#jini mahaba linaathiri nguvu za kiume#kuchoka asubuhi#kuchukia wanawake#kuoa wake wanakufa ghafula#kuota mke unafanya ngono#kupoteza mali na kuharibikiwa#mboo kulegea ukikaribia kuingiza#mimba kutoka bila sababu#uume kulegea#wanawake kukuchukia#watoto kufa ghafula
0 notes
Text
Hakuna kitu kibaya kama husuda yenye kutamani neema na heri vilivyoko kwa mwenzako au ndugu yako viondoke na apate shida, kama ni mali iishe, kama ni kazi haikose, kama ni furaha ipotee na mengine mabaya ufurahie yakimpata! Ukisikia kafilisika basi wewe unashangalia! Ukisikia kaugua basi wewe wafurahi! Ukisikia kaachika basi wewe sherehe! Ukisikia watoto wake wameshindwa shule au wameharibikiwa wewe unafurahi!
Husuda ya aina hii ni mbaya na pia inakuathiri hata wewe mwenye husuda hii, kwani unachoka usoni na kuwa na sura yenye giza kwani kila mara ukiona wenzako wanafanikiwa wewe unapata homa badala ya kuwauliza wamepitia njia zipi za ufanisi au kufuatilia namna ya kufanikiwa kama wao. Nakupa wosia wa bure, ukiwapenda waliofanikiwa na ukafanya kazi kwa bidii na busara utafanikiwa na wewe, basi tangia leo wapende waliofanikiwa!
Madhara ya husuda
Wanasema hasidi hana sababu, ni kweli kwani mwingine badala ya kujifunza anachukia mwenye neema na heri kuliko yeye, kumbe chuki na kisha kumdhuru anayefanikiwa kimaisha si jawabu la wewe kufanikiwa wala kukosa na pia wewe si lazima upate kila alichonacho mwenzako.
Wachawi wanaloga kwa sababu ya husuda, uchawi mwingi siku hizi chanzo ni husuda na roho mbaya, utafiti tulionao sisi kutoka watu waliofanyiwa uchawi na kufanyiwa maombi na kisha mashetani/majini yaliyotumwa husema kuwa ni husuda ya kufanikiwa au kuwa na neema au akili kwa huyu mgonjwa!
Kama ukimtegemea Mungu mmoja wa pekee asiyekuwa na mshirika basi jua kuwa utalindwa na shari wenye husuda!
Ukishalogwa na kuona dalili zifuatazo basi mtegemee Mungu mmoja wa pekee asiye na mshirika na kisha pata dawa za kujitibu kwa uchawi si jambo la kuchezea hasa siku hizi ambapo uchawi unafundishwa kuanzia Ulaya, Asia na Afrika.
Kuota ndoto za kutisha na za ajabu ukiwa umelala mchana au usiku.
Kuota unafanya mapenzi mara kwa mara
Kuhisi vitu vinatembea mwilini
Kuota unalishwa vitu au nyama
Kuota nyoka na paka mara kwa mara
Kuota unafukuzwa na mtu au kundi la watu
Kuota ajali mara kwa mara
Kuota unafiwa na watu wa karibu mpaka unalia usingizini
Kuota upo sehemu chafu kama chooni, baafuni, mitaloni, nk
Kuota unazaa au unanyonyesha mara kwa mara
Kuota una watoto wengi
Kuhisi umebeba kitu mgongoni kama uzito usioeleweka
Kuhisi vichomi mwili mzima bila malaria au typhoid
Kuchoka sana kuhisi kichwa kizito kila mara, pia malaria ukipima hauna
Kuhisi hasira kila mara na kutamani kujiua au kuhama kwako
Kuhisi umefuatwa nyuma yako ukiwa unatembea
Kuhisi moyo una vichomi na vichomi kusikia maumivu kwenye moyo
Kuhisi joto lisilo la kawaida kwenye mwili hasa miguu
Miguu kufa ganzi na baadhi ya viungo vya mwili
Kutingishika viungo vya mwili bila sababu
Kuchukia mume au mke bila sababu
Ugomvi wa mara kwa mara katika famila na sababu za kawaida
Ghafla uchumi kuwa mbaya na familia kusambaratika
Kuona wateja wanajikata bila sababu na wewe kauli yako ni nzuri na unajali wateja kiasi unavyoweza
Ksikia nyumba nzito na kuhisi watu wanatembea kwenye nyumba usiku au mchana
Kuota unajisaidia au unakojoa kila unapokuwa umelala kiasi kwamba unakaribia kukojoa kitandani au pengine unakojoa
Mtoto kubadilia tabia ghafla na akachukua masomo bila chanzo cha wazi
Mwanamke kutoka mimba au kukosa mimba kabisa bila sababu za kisayansi zilizothibitishwa
Kukosa nguvu za kiume nbila sababu ya msingi kiafya na uume kusinyaa unapokaribia kuingilia mke wako
Mikosi na nuksi kukuandama mpaka kila mtu akasema huyu jamaa anayo mikosi
Watu kukuchukia bila sababu na ukienda mahala unakosa ushirikiano bila sababu
Mimba kutoka bila sababu na kuhisi maumivu kila mara ukikaribia kuingia katika hedhi
Kukosa hedhi, kutoka damu bila kukoma
Mifugo kukosa maziwa bila sababu za kitaalamu na wewe unawalisha vizuri
Shamba kuwa katika hali ya kutotoa matunda na wewe umelima vizuri na kupanda mapema kama wenzako, wenzako wanavuna vizuri na kwa wingi ila wewe kiduchu na eneo jirani
Kuwa na chuki na ndugu zako na marafiki bila chanzo
Kuongea ndotoni peke yako na kuuma meno mara kwa mara
Kuchanjwa umelala au kuona umepata mikwaruzo sehemu za mwili asubuhi au kuhisi maumivu kwenye mikwaruzo wakati unaoga
Kuhisi kuchanganyikiwa na kukosa muelekeo wa maisha kabisa na kukata tamaa ya maisha
Kupoteza fahamu hata ukiwa umekaa kwenye kiti au upo kazini
Kusikia unaitwa jina lako na anayekuita humuoni
Kukatwa nywele umelala na bila kujua nani kakukata
Kuwa mzinifu na mlevi wa kupindukia
Kupenda machafu na maasi bila kujuata au ukiambiwa unadharau
Kuvuta sigara kila mara na kuhisi sigara tamu ukivuta uko chooni au sehemu chafu
Kuna madawa yamefanyiwa utafiti na taasisi yetu kwa muda mrefu kutibu uchawi na kufukuza majini, mapepo na maradhi mengine mengi mwilini yasiyo kuwa na ushahidi wa hospitali kuonekana kwa vipimo vya kisasa.
Majina ya Dawa hizi hapa chini ni:
MT32-Ni mchanganyiko wa dawa zaidi ya 32 za asili zenye uwezo wa kutibu magonjwa mengi ukiwemo uchawi mwilini
SAFISHA-Dawa ya kuondoa uchafu tumboni na kuondoa mafuta kiasi kwamba utajisikia mwepesi baada kuharisha kiasi, wale waliolishwa uchawi usingizini na hata kwenye vyakula bila kujua hii itaondoa
POWERFUL SOAP-Sabuni yenye kuchanganywa na dawa zenye nguvu kuharibu madhara ya majini na uchawi kama mikosi na nuksi
POWERFUL OIL-Mafuta yaliyo na dawa maalumu ya kufukuza majini, mapepo na nguvu zote za giza kwako na nyumbani kwako. Hata mchawi hawezi kuingia kwako na kukuchezea, uchawi hauwezi kukuingia ukiwa umejipaka pia ni mazuri yanalainisha mwili wako!
Husuda na uchawi Hakuna kitu kibaya kama husuda yenye kutamani neema na heri vilivyoko kwa mwenzako au ndugu yako viondoke na apate shida, kama ni mali iishe, kama ni kazi haikose, kama ni furaha ipotee na mengine mabaya ufurahie yakimpata!
#kuchanjwa usiku#kuchukia mke au mume#kuchukiwa na kila mtu#kuchukiwa na watu#kugombana na familia kila mara#kuhisi umebeba vitu#kukosa choo#kukosa hedhi#kukosa kuolewa au kuoa#kukosa nguvu za kiume na uume kusinyaa#kulogwa na tiba yake#kuondoa uchawi mwilini#kuota mapaka#kuota ndoto za kutisha#kuota nyoka#kupata ajali mara kwa mara#kutamani kujiua#kutingishika sehemu za viungo#kutoka damu bila kukoma hedhi#kutoka mimba#mifugo kufa ovyo bila sababu#miguu kuwaka moto#mikosi#nuksi za uchawi na majini#shamba kukosa mazao bila sababu#tiba ya majini#tiba ya mikosi#uchawi na majini#wachawi na uchawi#wateja kukukimbia bila sababu
0 notes
Text
Ukiona una magonjwa yasiyoeleweka na hospitali wanakwambia uko sawa baada ya vipimo usiishie hapo wala usiende kupiga ramli kwani wengi wapiga ramli ni uongo mtu, na pia wanahitaji pesa yako kwa kupitia visingizio vya makafara ya mizimu na majini,
Dalili hizi ni kipimo tosha bila ramli kujua kuwa umelogwa:-
Kuota ndoto za kutisha na za ajabu
Kuota watu waliokufa jamaa na marafiki
Kuamka umechoka kila siku
Kuchukiwa na watu bila sababu
Kuota unafanya mapenzi mara kwa mara
Kuota unalishwa vitu au chakula
Kuota uko sehemu chafu
Kuota unapaa
Kuota una watu usio wajua
Kuota nyoka mara kwa mara
Kustuka stuka usingizini mara kwa mara
Kupiga miayo mara kwa mara hata kama huna usingizi na wala njaa
Kuogopa watu bila sababu
Kuhisi mwili una vitu vinatambaa
Kuhisi ganzi mwilini au moto kwenye baadhi ya viungo
Kupata kifafa ukubwani
Kuota una watoto mara kwa mara
Kuota unanyonyesha
Kuota unalawitiwa au unalawiti
Kuota unafanya mapenzi na ndugu zako
Kuharibikiwa kila kitu unachofanya hata ukijitahidi vipi
Kuwa na elimu ya juu ila hupati kazi na maisha magumu kuliko hata wa darasa la saba, chanzo husuda
Kubadilika ngozi na kuwa chakavu hata kama unaoga na kujipaka mafuta au lotion
Kuandamwa mikosi na nuski kila kukicha
Kuumwa kichwa upande mmoja
Kukosa hedhi au kuharibika mimba mara kwa mara kwa wanawake
Tumbo kuwa kubwa bila sababu
Kuhisi vitu vinajiviringisha tumboni na wala si minyoo ukipima choo
Kujiona na kuwa na kiburi hata kama ni maskini na wala huna cheo ingawa mtu yoyote yule ni kuheshimiwa na kuishi bila kiburi
Kuuma meno usingizini
Kama unazo dalili hata 2 na hospitali umeangaika bila mafanikio njoo tukuhudumie kwa Uwezo wa Mungu mmoja wa pekee dawa hizi zimefanyiwa utafiti kwa mambo ya uchawi na kufukuza majini na zinaleta matokeo mazuri kwa haraka.
MT32-dawa zaidi ya 30 zimesagwa za asili zenye kutibu magonjwa mengi ukiwemo uchawi mwilini, dawa hii ni ya kunywa kwa kuchemsha au kuweka kwenye asali.
Powerful Oil-Dawa ya kupakaa ya mafuta yenye dawa nne ndani yake na mafuta haya ni ya mti uliobarikiwa kwa kutajwa kwenye vitabu vikuu vitakatifu yaani Taurati, Injili, Zaburi na Qur’an na ulikuwa katika mlima wa sinai na maeneo ya mashariki ya kati
Powerful Soap– Sabuni yenye madawa na ina nguvu za kuondoa athari za nguvu za giza za aina zote kama nuksi na mikosi.
Safisha– Dawa ya asili yenye kuondoa uchawi na uchafu tumboni kwa maana hata kama hupati choo utaharisha na kusafisha utumbo kwa mgandano wa chakula na sumu zingine zenye kuleta madhara.
Extra Powerful oil– Kama unahisi kwenye biashara yako kuna nguvu za giza au nyumba yako iko na mauza mauza ya kichawi pengine wachawi wanakusumbua usiku na kukosa amani, unapulizia kama unavyofanya kwa mbu na wadudu wengine. Hii dawa ina nguvu kutokana na mchanganyiko wa mimea na mafuta kwa ajili ya kuzuia wachawi na majini wasiigie kwako au nguvu za giza zikae kwako au kwenye biashara yako.
Mawasiliano ni:
076253174. Tuko Dsm Ubungo.
WhatsApp: +255621870342
Email:[email protected]
Kulogwa kupo Ukiona una magonjwa yasiyoeleweka na hospitali wanakwambia uko sawa baada ya vipimo usiishie hapo wala usiende kupiga ramli kwani wengi wapiga ramli ni uongo mtu, na pia wanahitaji pesa yako kwa kupitia visingizio vya makafara ya mizimu na majini,
#dalili za kulogwa#kuhisi kichwa kinacheza#kuhisi vitu vinatembea mwilini#kukata tamaa ya maisha#kukosa choo#kulogwa#kuota sehemu chafu#kuota watoto umebeba#miguu kufa ganzi#miguu kuwaka moto#mikosi na nuksi
0 notes
Text
Kutokana na mafundisho ya kale tunaona Nabii Musa alipokwenda Misri kwa Farao kuwakomboa waizraeli, Farao aliwaita wachawi wakali wa Misri ili wapambane na Musa aliyekuwa na miujiza kutoka kwa Mungu mmoja wa pekee.
Farao na watu wa kawaida walidhani Musa ni mchawi na kushauri waitwe wachawi wa kumuonyesha uchawi zaidi yake na kumkomesha, ila ajabu vyote walivyifanya havikufua dafu mbele ya Musa aliyekuwa na Uwezo wa Mungu.
Kwa hiyo uchawi upo na unakuwa sana kwa sasa kutokana na internet, simu na mawasiliano yote ya kisasa, wachawi wanapata kanuni mpya na pia tiba zipo za kweli na za utapeli.
Ukiwa na mafanikio katika maisha yako watu wanakuhusudu sana na wengine wanafurahi sana na wengine wanachukia na kuanza maneno kisha baadhi yao wanakuloga. Mafanikio kama akili, kupendwa na watu, kupata mali, kuzaa watoto wenye akili,kuishi kwa amani na mke wako na kuheshimika ni vitu vinavyoweza kukufanya uhusudiwe na baadhi ya watu walioko karibu na pengine jamaa wa karibu au marafiki.
Kuzuia husuda na kutibu uchawi ni jambo la kuzingatia kwa kufanya maombi ya mara kwa mara na kunywa dawa halisi za kuondoa uchawi mwilini na kufukuza majini.
Dalili kuu za kulogwa na kuhusudiwa
Kuota ndoto za kutisha
Kuota nyoka na mapaka
Kuhisi huna nguvu hasa kuchoka mapema asubuhi bila sababu
Kuchukiwa na watu wengi hadi familia yako bila sababu
Kupata mikasa ya ajabu mpaka watu wanasema una mikosi na nuksi
Kudharauliwa na watu wengi hata wadodo kiumri
Kuota uko chooni
Kuota unafanya mapenzi
Kuota unaoa au unaolewa
Kuota watoto mara kwa mara
Kutamani kufa au fikira za kujiua
Kuongea na kuuma meno usinginizini
Kuhisi kama sindano mwilini
Kuchukia tendo la ndoa
Kukosa mimba au kutunga mimba
Kusikia unaitwa na anayekuita humuoni
Kuota damu
Kuota unajisaidia au kukojoa mara kwa mara
Mboo kuwa lege lege ukikaribia kuingiza ukeni
Kuwa dhaifu kumbu kumbu
Kusahau sana na kukumbushwa mara kwa mara
Kuhisi kuna mtu amekufuata nyuma ila ukiangalia humuoni
Kukosa muelekeo wa maisha
Kuna dalili nyingi za kichawi na kulogwa ila hizo ni miongoni tu
Dawa za kutibu uchawi na nguvu za giza ni:
Powerful oil-Dawa zimechanganywa kwenye mafuta yaliyobarikiwa na kutajwa kwenye vitabu vya dini kuanzia Taurati, Zaburi, Injili na Qur’an
Mt32-Dawa zaidi ya 32 za asili zilizosagwa na kuwa unga zinazotibu magonjwa mengi
Powerful soap-Sabuni yenye dawa za asili nne na mafuta kiasi kwamba nguvu za giza na mikosi, nuksi vinatibiwa.
Safisha-Dawa ya asili isiyokuwa na kemikali yoyote inayosafishwa utumbo na mfumo wa chakula kiasi kwamba uchafu, mafuta na uchawi wa kulishwa vinatoka kwa kuharisha.
Extra Powerful oil-Mafuta yenye dawa kali za kufukuza majini na wachawi wasiingie nyumbani kwako na kufukuza majini na kuondoa nguvu za giza nyumbani au shambani au sehemu ya biashara.
Mawasiliano:
Ofisi zetu ziko Ubungo Dar es Salaam,karibu na MIC Hotel kabla ya kufika Ubungo Plaza ukiwa unatoka Ubungo stand ya mkoa.
Simu/WhatsApp:+255621870342, +255762053174: Email:[email protected]
Uchawi ni jambo lipo Kutokana na mafundisho ya kale tunaona Nabii Musa alipokwenda Misri kwa Farao kuwakomboa waizraeli, Farao aliwaita wachawi wakali wa Misri ili wapambane na Musa aliyekuwa na miujiza kutoka kwa Mungu mmoja wa pekee.
#dalili za kulogwa#dalili za kurogwa#husuda na uchawi#kuhisi unafuatwa na mtu nyuma#kukosa hamu ya kuishi#kuota damu#kuota sehemu chafu#kuota unajisaidia#kuota unakunya#kurogwa#uchawi#uchawi na madhara yake
0 notes
Text
Ukiongea uchawi wengi wetu tunaona aliyeongea ni kama mshamba vile! ila tambua kuwa sasa hivi uchawi umeongezeka sana na chanzo ni husuda na tamaa, kuna wanaojifunza kwa sasa imewekwa digrii vyuo vikuu vya Afrika ya kusini kufundisha uchawi na waziri wao wa Elimu alitamka wazi bungeni mwaka juzi!
Ulaya, Amerika na Uingereza muda umepita tangia waanze kutoa digrii za uchawi tena mpaka PHd wanatoa kwa sasa na wengine wanafundisha kwa mtandao tena bure, fuatilia kwa kugoogle neno witch courses, witch degree utashanga kuona vyuo vingi vinafundisha uchawi duniani.
Uchawi pia umesambaa kwa kutumia mtandao yaani internet, kwani wengi wachawi kutoka dunia nzima wameanza kujitangaza kwa internet na unahudumiwa ukiwa mbali mpaka kuloga mtu wanafanya ili mradi upate picha yake na majina yake halisi na wengine wanatoa huduma bure.
Hali si shwari shetani amepata wafuasi wengi na wengine wanajiunga kupitia freemason, WICCA, Satanic Church, nk. yote makundi ya kishirikina na kichawi yanajitangaza kwa nguvu zote!
Baadhi ya wachawi wanaloga kwa siri na hawataki kujulikana yaani hawa ndio wanaoumiza watu miongoni mwa jamii, anaweza akawa jamaa wa karibu au jirani au mfanyakazi mwenzako au mfanyabiashara mwenzako, ila anachofanya ni kukuloga ili uharibikiwe mambo yako na familia yako isambaratike na ushindwe majukumu kwa kuugua magonjwa ya ajabu ajabu.
Ukisha logwa unaweza usitambue ila utaona ni kawaida na maradhi yatakuandama na wewe utaenda hospitali zote mpaka ziishe na utatumia pesa nyingi, kama si wewe atakuwa mtoto au mke au mama yako au baba yako au rafiki yako. Mchawi hana huruma na anafurahi kila akion unateseka kiuchumi, kiafya na kuishilia mpaka unakufa usipokuwa makini.
Ukiwa na pesa utakimbilia hospitali kubwa kubwa na wakati mwingine nchi za nje mara nyingi India, kisha unafia uko uko India, ila siku hizi India wameanza kuwapa semina madaktari wao kuhusu magonjwa ya kimajini na kichawi ili wawe na uelewa wakipokea mgonjwa anayeumwa kichaa kama ni majini au la kabla ya kumpa huduma ziadi.
Nchi zote za Asia kuna elimu kubwa ya kichawi na ukisoma historia utaona wanautumia uchawi sana kiasi kwamba wana uzoefu na elimu hiyo sana, pia Afrika upo mkali ila wanaficha na kufanya siri ila wanaumiza wengi.
Dalili za kulogwa
Kuota ndoto uko sehemu chafu kama chooni au mitaroni au unajisaidia
Kuota nyoka mara kwa mara hasa weusi na mapaka, mbwa
Kuhisi hujipendi na unaona huna maana, woga bila sababu
Kuhisi mwilini kuna vitu vinatembea tembea kama sisimizi
Kuhisi baadhi ya sehemu za mwili zinacheza cheza zenyewe
Kustuka mara kwa mara usingizini hasa ukikaribia kusinzia unatingishika na kustuka
Kuhisi moyo unacheza na kuuma kama kuna sindano
Kuhisi unaitwa ila anayekuita humuoni
Kuota unafanya sex mara kwa mara
Kuharibikiwa kila ulifanyalo hata kama unafuata kanuni za kazi zako
Kuchukiwa na watu wengi bila sababu wazi
Kutotenda na kuwa msemaji tu mpaka unazeeka, kila ukitaka kutenda mipango uankwama na kuacha
Ndoa kuwa kila mara ugomvi tena jambo dogo tu
Kuwa na hasira kila ukifika numbani au kumuona mke wako au mume amakuja
Kutopenda kuoa au kuolewa
Kuchukiwa na bosi bila sababu na kila siku matusi kwako
Kuhisi kila asubuhi umechoka na huna malaria wala typhoid ukipima
Pesa ikiingia na matatizo yanaingia ikiisha yanaisha
Pesa ikiingia inatumika wee mpaka iishe ndo unapata nyingine
Kusoma sana lakini maskini na wala huwezi stuka kuhusu hali yako ila mbishi tu
Kushushwa vyeo kila mara na kupata kashifa usizotarajia
Maradhi yasiyoeleweka wazi na ukitumia dawa nafuu tu
Kukata tamaa na kukosa muelekeo kimaisha ingawa ulikuwa mpambanaji uko nyuma
Kwa wafugaji mifugo inakufa ovyo na kukosa kuzaa na ikizaa maziwa hakuna
Kutopona vidonda au operesheni miaka inapita, hii majini wanakula hapo
Ukila muda mfupi njaa, hii inaweza ikawa familia nzima hawashibi-hii ni majini wanakula mkila
Kukosa choo na tumbo kuhisi vitu vinajiviringisha
Kuhisi mabegani umebeba kitu
Kuona ukungu mara kwa mara na hauna ugonjwa wa macho wala Kisukari
Kuhisi umesimamiwa au mtu anakufuata nyuma na ukiangalia mtu humuoni.
Nyumba yako kuwa na minyato ya kutembea dalini, veranda au vyumbani
Kuchanjwa chale au mikwaruzo kama umekwaruzwa mapajani au sehemu za mwili.
Kuhisi unawashwa ukimaliza kuoga na ukichunguza unakuta mikwaruzo mwilini
Kukosa mimba bila sababu za kisayansi ila tumbo linaumwa mara kwa mara
Kukosa hamu ya sex na kukauka kwa uke hata ukiwa uko hot
Mwanaume kuota anafanya sex mara kwa mara ila nguvu za kiume zinapotea ukiwa na mke wako kitandani
Kupiga miayo kila mara hata bila usingizi wala njaa
Kutoka mimba bila sababu za wazi kiafya, hii ni jini anazitoa wakati mwingine
Kuota unaolewa na kuota una watoto,yote haya ni dalili ya kuolewa na majini yanakuzalisha ila yanavuruga maisha
Kukosa uchumba au kuharibika mambo ya uvhumba
Kuharibika uchumba kila posa ikitolewa, kuchukia wanaume wote
Kuachika na kutelekezwa bila sababu ya msingi, kila ukiolewa ndo hivyo
Kuugua kifafa ukubwani na ukifanya tiba unapata nafuu ila hauponi
Kuhisi mwiba ndani ya unyayo wa miguu yako
Kubadilika ngozi na kuwa yenye kutopendeza wakati uko ilikuwa inavutia sana
Kupata stroke ghafla na ulikuwa huna presha
Kuanguka bafuni au chooni mara kwa mara au kuponea chupu chupu kila mara usianguke bafuni ila wengine hapana
Kila rafiki wa maana hamuwezi kudumu kwa muda hata wa miaka 2 lazima mtengane tu!
Ukipewa mkopo huwezi rejesha na hupati faida na mkopo huo kamwe
Kuhisi vichomi mwilini na kiuno kuumwa sana kila mara
Kama una baadhi ya dalili hizo kama 5 au hata moja kubwa basi jua umelogwa, uchawi si mchezo kwani unaharibu taratibu mwili na maisha yako.
Kuna dawa za kuoga, kujipaka, kunywa na kufukiza kufukuza majini, mapepo na hali ya nguvu ya giza . Hizi dawa zimefanyiwa majaribio kwa watu wengi na kuwatibu maradhi ya kichawi na kuondoa majini na athari za nguvu za giza kwa uwezo wa Mungu mmoja wa pekee aliyeumba kila kitu na akakikadiria.
Dawa hizi ni:
Powerful Oil
Powerful soap
Safisha
Mt32
Extra Powerful Oil
Fusho
Clear herbal
Ukitumia 4 kati ya hizo hasa kwa aliye na uchawi mwilini na ndoto za kutisha ataona mabadiliko haraka sana.
Powerful oil
Powerful soap
Mt32
Safisha
Hizi dawa zina nguvu ya kuondoa nguvu za giza na maradhi mengi ukizitumia, unaoga sabuni kisha unajipaka mafuta.
Kunywa MT32 ni dawa za asili zaidi ya 32 zenye kuondoa uchawi mwilini na kusaidia mwili kuwa katika hali nzuri kiafya, pia zinatibu magonjwa mengi unayoyajua na usiyo yajua, kwani dawa 32 za asili zisizo na madhara ni kama viungo tu kwenye maji ya moto au asali si mchezo kitiba.
Wagonjwa wanaozitumia wanatueleza mengi kimatokeo na kujisikia wametua mzigo.
Mawasiliano kwa ushauri na tiba : +255621870342, [email protected]
Uchawi unatesa wengi Ukiongea uchawi wengi wetu tunaona aliyeongea ni kama mshamba vile! ila tambua kuwa sasa hivi uchawi umeongezeka sana na chanzo ni husuda na tamaa, kuna wanaojifunza kwa sasa imewekwa digrii vyuo vikuu vya Afrika ya kusini kufundisha uchawi na waziri wao wa Elimu alitamka wazi bungeni mwaka juzi!
#dalili za kulogwa#dalili za kurogwa#hasira nyingi#kuchanjwa chale usiku#kuchoka sana asubuhi#kuchukiwa na bosi#kuchukiwa na kila mtu#kuchukiwa na wateja#kuchukiwa na wazazi#kuharibika mimba#kuhisi ganzi#kuhisi njaa mara kwa mara#kuhisi uanchomwa mwilini#kuhisi umebeba#kukabwa shingo umelala#kukata tamaa#kukosa hamu ya sex#kukosa muelekeo na unayo elimu#kuma kukauka#kuona mikwaruzo mwilini#kuona ukungu#kuota choo#kuota kinyesi#kuota uchafu#kuota unaolewa#kuota unazaa#kuota watoto#kupiga miayo kwa wingi#kutoaka mimba#kutokauka kidonda
0 notes
Text
Ndoto hiyo ni starehe anayopata muotaji ila ajue kuwa kaoa au kaolewa na jini…!
Kama ukiwa mwanamke unaota mara kwa mara ndoto za kujamiana yaani unafanya sex na mume au mke mwenzako, jua umeolewa na jini.
Kuolewa na jini ni tabu kwani jina anakuwa na wivu kuzidi hata mume wa ndoa kwa binadamu na atakufanya usiolewe na ukiolewa ndoa itakuwa ya tabu, atakufanya uchukie wanaume na hata sex au kufanya mapenzi uone tabu, atamfanya mwanaume akose nguvu za kiume na kila akikaribia inanywea na kusinyaa kisha kulala kabisa!
Mwanamke atakwama kila jambo kwani huyu jini anambana kuanzia watu marafiki hasa wa kiume hawataki kisha uchumi ukiwa mzuri anajua atajisimamia na huyu jini anataka akae naye kama mke wake wa ndoa kiasi kwamba atavuruga mahusiano yake na wenzake wa karibu na mume au bosi wa kiume au biashara, anadhani wanaume watamtongoza akiwa anafanya biashara hasa ya kuuza kwa watu.
utaanza kuota una mimba na kuzaa hapa anakuwa amekuzalisha watoto wa kijini kweli na mwisho wa siku utakwama mengi na utakuwa kila saa kama unafikirishwa na kuwa mwoga bila sababu na kukosa amani!
Jini huyu anaondolewa kwa kutumia dawa zenye kumuudhi na kumuumiza kwa muda mrefu ili akate tamaa na kuathirika.
Kwa mwanaume ni hivyo hivyo ataota anafanya mapenzi na mwanamke mara kwa mara hata kama unamjua hizo ni mbinu ili uendelee kuwa na jini huyo, utaota watoto na utaishiwa nguvu za kiume kila mara na hutapungukiwa hisia za kutamani mke wako au mwanadamu wa kike, pia utakosa hata kutunga mimba wakati mwingine na mimba ikikamata inatoka kwa mke wako.
Uume unakuwa dhaifu kama legelege na unadhani huna nguvu za kiume kumbe ni jini huyu hataki ufanye tendo la ndoa na mke wako na hii itawafanya mgombane na hapo yeye jini anafurahi na kukuona wewe ndo wake haswa.
Dawa za kuondoa jini huyu ni hizi:
Powerful oil-kupaka
Powerful soap-kuoga
MT32 -Kunywa
Mawasiliano:
255621870342 Pia WhatsApp: +255621870342
Email: [email protected]
Madhara ya kuota unafanya mapenzi Ndoto hiyo ni starehe anayopata muotaji ila ajue kuwa kaoa au kaolewa na jini...! Kama ukiwa mwanamke unaota mara kwa mara ndoto za kujamiana yaani unafanya sex na mume au mke mwenzako, jua umeolewa na jini.
#kuota unafanya mapenzi#kuota unafanya tendo la ndoa#kuota unafunga ndoa#kuota unajamiana#kuota unanyonyesha#kuota watoto
0 notes
Text
Tiba ya kwanza ya ushirikina ni kumuabudu Muumba wa kila kitu pekee yake, pia kujitahidi kumtegemea yeye Mungu mmoja wa pekee.
Ushirikina ukikupata unaomba Muumba wa pekee na pia unatumia dawa za kufukuza nguvu za kishirikina kama Powerful Oil, MT32 na dawa zingine zilizojaribiwa na kuona matokeo yake.
POWERFUL OIL NA MT32-Unajipaka hayo mafuta yenye dawa za asili zenye uwezo wa kufukuzia mbali majini na kila nguvu za giza kwa uwezo wa Mungu mmoja wa pekee. Miti na mimea imeumbwa na yeye wa pekee na hii ni uwezo wake pia kuipa nguvu za ajabu mimea na miti aliyoumba na kusaidia watu.
Extra Powerful oil ni spray yenye nguvu kuzuia wachawi na wanga kukusumbua usiku na kukuingilia kiuchawi.
Wachawi, Majini na viumbe vingi vya ajabu visivyoonekana vipo kwa asilimia 100
Wachawi wanakufuru Mungu mmoja wa pekee ili majini na mashetani yawe marafiki kwa kumkufuru Mungu mmoja wa pekee asiyekuwa na mshirika katika miliki yake.
Husuda na tamaa iliyopitiliza ni chanzo cha majanga na madhara makubwa katika jamii pia wachawi wakihusudu ufanya madhara kama kuloga na kufitini wenzao waliofanikiwa. Mchawi kwa kushirikiana na majini ya kishetani uloga wenzake kama kuwaharibia afya yao kimiujiza, kuwaharibia maisha kwa kila hali na kuhakikisha wanahangaika bila kufaulu.
Maskini wengi hawajui kama wamelogwa! au wana majini!
Ukiwa na neema yoyote si kila mtu anafurahia hiyo neema yako hasa jamaa wa karibu na majirani.
Siku moja jamaa alikuwa amevaa vizuri na mwenye afya nzuri na ukikuona utamuona yuko salama, basi akawa analalamika pesa yake kupotea na watu wengi kumchukia bila sababu. Aliambiwa na tabibu mzoefu wa mambo ya kiroho kuwa unachezewa na wewe ni mgonjwa aliyelogwa, jamaa alisema kwa hasira kuwa hakuna kitu kama hicho na yeye yuko salama tu! Basi huyu tabibu akammuomba amfanyie maombi ili aone kama yuko salama kweli, jamaa akakubali na huyu tabibu akampaka mafuta yaitwayo POWERFUL OIL na akamfanyia maombi baada ya dakika kam 10 jini akaanza kuongea na aliohojiwa akasema mimi niliwekwa kwake miaka mingi tangia akiwa mdogo ili kuharibu maisha yake na sasa tuko wengi kiasi kwamba waliotutuma wanasema asifanikiwe katika maisha na awe dhalili mpaka uzee wake.
Basi baadaye yalisema mambo mengi yaliyokwisha mfanyia kama kufukuza mke wake, kumchonganisha na mabosi kazini mpaka anafukuzwa, kumwibia pesa, kuharibu urafiki na watu kuwajengea chuki dhidi yake! Jamaa baada ya kuzinduka na kuulizwa yote akasema ni kweli kabisa na akaanza tiba rasmi kisha akapona na akafunguka ila ikabidi azidishie mambo mema na kufanya ibada kumuomba Mungu mmoja wa pekee amlinde na shari za hawa wachawi na majini kwani mchawi hachoki na hakati tamaa katika kudhuru watu!
Dalili hizi ukiwa nazo basi jua umelogwa au unayo majini au vyote kwa pamoja
Kuota ndoto mbaya za kutisha mara kwa mara
Kuota unafanya mapenzi na watu au viumbe wa ajabu
Kuhisi umebeba kitu mgongoni
Kubanwa kifua na sehemu za mwili nyingige
Kusinzia sana hata ukiwa ofisini wewe ni usingizi tu
Kuchukia familia yako na mume au muke
Kuchukia kuoa au kuolewa
Ajali za mara kwa mara hata ukiwa makini vipi, unakoswa koswa ajali tu.
Kuhisi unasisimka mwili ghafla ukiwa umekaa au unakaribia kusinzia
Kuhairisha mipango yako mizuri kiasi kwamba miaka inapita
Kuhisi njaa mara kwa mara wewe na familia yako, mkipima minyoo hakuna
Kuumwa kichwa mara kwa mara upande mmoja na malaria wala typhoid huna
Kubanwa na hasira/ghadhabu kwa vitu vidogo
Kutoka mimba mara kwa mara
kukosa hedhi na kuvurugika au kutoka damu ya hedhi mfululizo
Kuhisi umesimamiwa na mtu, ukiangalia nyuma humuoni
Kuchukia na watu wengi bila sababu, wengine usema huyu ana damu ya kunguni
Ukipata pesa unapata matatizo inaisha na yanaisha, na inakuwa kawaida hii hali
Kukosa nguvu za kiume na au muke anakauka sehemu za siri inakuwa kama bikira na kuumia yeye na mume pia
Kuumwa chini ya kitovu na tumbo kila mara
Kupoteza pesa na vitu vyako vya thamani mara kwa mara
Ngozi kuwa na rangi tofauti kila msimu
Kuchanjwa usiku au kukatwa kucha, kunyolewa nywele usiku
Kuota unapaa au unaanguka shimoni
Kuota unalishwa nyama, hii ni uchawi kabila unawekwa
Kuwa dhaifu siku hadi siku na magonjwa hayaponi na si rahisi kugundua kwa vyombo vya hospitali.
Familia kukuchukia hadi ukakosa raha na wewe unawapa huduma muhimu kama baba au mama.
Kutingishika viungo vya mwili na wakati mwingini kuhisi joto miguuni au kichwani.
Kama umelogwa na unahisi amani inatoweka, kuna dawa hizi hapa chini, kwa uwezo wa Mungu utakuwa sawa.
Mawasiliano:WhatsApp: +255621870342
WhatsApp: +255621870342/+255762053174, Email: [email protected]
Ushirikina na tiba yake Tiba ya kwanza ya ushirikina ni kumuabudu Muumba wa kila kitu pekee yake, pia kujitahidi kumtegemea yeye Mungu mmoja wa pekee.
#kuchanjwa usiku#kuhisi mgongo uzito#kuhisi vitu vinatembea mwilini#kukatwa kucha usiku#kulogwa#kunyolewa usiku#kuota sehemu chafu#kuota unajisaidia#kuota unakula vitu#kuota unanyonyesha#kuota watoto#kuumwa kichwa upande mmoja#ndoto za kufanya mapenzi#ndoto za kutisha#uchawi#uchawi mwilini
0 notes
Text
Kuna watu wanafanya mambo kama hawako nasi na wala sisi hatuwezi kugundua mambo yao na wala kuwaona wakifanya mambo yao! Hawa watu wanashirikiana na viumbe vingine vilivyoasi Mungu na kufanya mambo yasiyoonekana kwa macho ya kawaida ili kutimiza dhamira zao mbali mbali kwa viumbe wengine na wao binafsi kufurahisha nafsi zao, hawa watu wanaitwa washirikina na mtandao wao unaweza kuitwa ulimwengu wa ushirikina!
Wachawi, Majini na viumbe vingi vya ajabu visivyoonekana vipo kwa asilimia 100
Wachawi wanakufuru Mungu mmoja wa pekee ili majini na mashetani yawe marafiki kwa kumkufuru Mungu mmoja wa pekee asiyekuwa na mshirika katika miliki yake.
Husuda na tamaa iliyopitiliza ni chanzo cha majanga na madhara makubwa katika jamii pia wachawi wakihusudu ufanya madhara kama kuloga na kufitini wenzao waliofanikiwa. Mchawi kwa kushirikiana na majini ya kishetani uloga wenzake kama kuwaharibia afya yao kimiujiza, kuwaharibia maisha kwa kila hali na kuhakikisha wanahangaika bila kufaulu.
Maskini wengi hawajui kama wamelogwa! au wana majini!
Ukiwa na neema yoyote si kila mtu anafurahia hiyo neema yako hasa jamaa wa karibu na majirani.
Siku moja jamaa alikuwa amevaa vizuri na mwenye afya nzuri na ukikuona utamuona yuko salama, basi akawa analalamika pesa yake kupotea na watu wengi kumchukia bila sababu. Aliambiwa na tabibu mzoefu wa mambo ya kiroho kuwa unachezewa na wewe ni mgonjwa aliyelogwa, jamaa alisema kwa hasira kuwa hakuna kitu kama hicho na yeye yuko salama tu! Basi huyu tabibu akammuomba amfanyie maombi ili aone kama yuko salama kweli, jamaa akakubali na huyu tabibu akampaka mafuta yaitwayo POWERFUL OIL na akamfanyia maombi baada ya dakika kam 10 jini akaanza kuongea na aliohojiwa akasema mimi niliwekwa kwake miaka mingi tangia akiwa mdogo ili kuharibu maisha yake na sasa tuko wengi kiasi kwamba waliotutuma wanasema asifanikiwe katika maisha na awe dhalili mpaka uzee wake.
Basi baadaye yalisema mambo mengi yaliyokwisha mfanyia kama kufukuza mke wake, kumchonganisha na mabosi kazini mpaka anafukuzwa, kumwibia pesa, kuharibu urafiki na watu kuwajengea chuki dhidi yake! Jamaa baada ya kuzinduka na kuulizwa yote akasema ni kweli kabisa na akaanza tiba rasmi kisha akapona na akafunguka ila ikabidi azidishie mambo mema na kufanya ibada kumuomba Mungu mmoja wa pekee amlinde na shari za hawa wachawi na majini kwani mchawi hachoki na hakati tamaa katika kudhuru watu!
Dalili hizi ukiwa nazo basi jua umelogwa au unayo majini au vyote kwa pamoja
Kuota ndoto mbaya za kutisha mara kwa mara
Kuota unafanya mapenzi na watu au viumbe wa ajabu
Kuhisi umebeba kitu mgongoni
Kubanwa kifua na sehemu za mwili nyingige
Kusinzia sana hata ukiwa ofisini wewe ni usingizi tu
Kuchukia familia yako na mume au muke
Kuchukia kuoa au kuolewa
Ajali za mara kwa mara hata ukiwa makini vipi, unakoswa koswa ajali tu.
Kuhisi unasisimka mwili ghafla ukiwa umekaa au unakaribia kusinzia
Kuhairisha mipango yako mizuri kiasi kwamba miaka inapita
Kuhisi njaa mara kwa mara wewe na familia yako, mkipima minyoo hakuna
Kuumwa kichwa mara kwa mara upande mmoja na malaria wala typhoid huna
Kubanwa na hasira/ghadhabu kwa vitu vidogo
Kutoka mimba mara kwa mara
kukosa hedhi na kuvurugika au kutoka damu ya hedhi mfululizo
Kuhisi umesimamiwa na mtu, ukiangalia nyuma humuoni
Kuchukia na watu wengi bila sababu, wengine usema huyu ana damu ya kunguni
Ukipata pesa unapata matatizo inaisha na yanaisha, na inakuwa kawaida hii hali
Kukosa nguvu za kiume na au muke anakauka sehemu za siri inakuwa kama bikira na kuumia yeye na mume pia
Kuumwa chini ya kitovu na tumbo kila mara
Kupoteza pesa na vitu vyako vya thamani mara kwa mara
Ngozi kuwa na rangi tofauti kila msimu
Kuchanjwa usiku au kukatwa kucha, kunyolewa nywele usiku
Kuota unapaa au unaanguka shimoni
Kuota unalishwa nyama, hii ni uchawi kabila unawekwa
Kuwa dhaifu siku hadi siku na magonjwa hayaponi na si rahisi kugundua kwa vyombo vya hospitali.
Familia kukuchukia hadi ukakosa raha na wewe unawapa huduma muhimu kama baba au mama.
Kutingishika viungo vya mwili na wakati mwingini kuhisi joto miguuni au kichwani.
Kama umelogwa na unahisi amani inatoweka, kuna dawa hizi hapa chini, kwa uwezo wa Mungu utakuwa sawa.
MT32-dawa zaidi ya 32 zimesagwa za asili zenye nguvu kuondoa uchawi mwilini na maradhi mengi tusiyojua
Powerful oil-Mafuta yenye dawa mchanganyiko kufukuza majini na uchawi
Safisha -Dawa ya asili ya kunywa na kuondoa uchafu mwilini na tumboni
Powerful Soap- Sabuni ya dawa kali za asili zenye uwezo wa kuondoa nguvu zitokanazo na nguvu za giza na atahari za uchawi kama mikosi na nuksi, unaoga na kisha unajipaka mafuta hayo kisha utaona mabadiliko mnamo siku 14. Mungu mkubwa na ni mmoja wa pekee amebariki miti na mimea aliyoumba yeye kutusaidia sisi aliotuumba!
Ulimwengu wa ushirikina Kuna watu wanafanya mambo kama hawako nasi na wala sisi hatuwezi kugundua mambo yao na wala kuwaona wakifanya mambo yao!
#kuchanjwa usiku#kuhisi mgongo uzito#kuhisi vitu vinatembea mwilini#kukatwa kucha usiku#kulogwa#kunyolewa usiku#kuota sehemu chafu#kuota unajisaidia#kuota unakula vitu#kuota unanyonyesha#kuota watoto#kuumwa kichwa upande mmoja#ndoto za kufanya mapenzi#ndoto za kutisha#uchawi#uchawi mwilini
0 notes