#kuona mikwaruzo mwilini
Explore tagged Tumblr posts
tibaherbs · 5 years ago
Text
Ukiongea uchawi wengi wetu tunaona aliyeongea ni kama mshamba vile! ila tambua kuwa sasa hivi uchawi umeongezeka sana na chanzo ni husuda na tamaa, kuna wanaojifunza kwa sasa imewekwa digrii vyuo vikuu vya Afrika ya kusini kufundisha uchawi na waziri wao wa Elimu alitamka wazi bungeni mwaka juzi!
Ulaya, Amerika na Uingereza muda umepita tangia waanze kutoa digrii za uchawi tena mpaka PHd wanatoa kwa sasa na wengine wanafundisha kwa mtandao tena bure, fuatilia kwa kugoogle neno witch courses, witch degree utashanga kuona vyuo vingi vinafundisha uchawi duniani.
Uchawi pia umesambaa kwa kutumia mtandao yaani internet, kwani wengi wachawi kutoka dunia nzima wameanza kujitangaza kwa internet na unahudumiwa ukiwa mbali mpaka kuloga mtu wanafanya ili mradi upate picha yake na majina yake halisi na wengine wanatoa huduma bure.
Hali si shwari shetani amepata wafuasi wengi na wengine wanajiunga kupitia freemason, WICCA, Satanic Church, nk. yote makundi ya kishirikina na kichawi yanajitangaza kwa nguvu zote!
Baadhi ya wachawi wanaloga kwa siri na hawataki kujulikana yaani hawa ndio wanaoumiza watu miongoni mwa jamii, anaweza akawa jamaa wa karibu au jirani au mfanyakazi mwenzako au mfanyabiashara mwenzako, ila anachofanya ni kukuloga ili uharibikiwe mambo yako na familia yako isambaratike na ushindwe majukumu kwa kuugua magonjwa ya ajabu ajabu.
Ukisha logwa unaweza usitambue ila utaona ni kawaida na maradhi yatakuandama na wewe utaenda hospitali zote mpaka ziishe na utatumia pesa nyingi, kama si wewe atakuwa mtoto au mke au mama yako au baba yako au rafiki yako. Mchawi hana huruma na anafurahi kila akion unateseka kiuchumi, kiafya na kuishilia mpaka unakufa usipokuwa makini.
Ukiwa na pesa utakimbilia hospitali kubwa kubwa na wakati mwingine nchi za nje mara nyingi India, kisha unafia uko uko India, ila siku hizi India wameanza kuwapa semina madaktari wao kuhusu magonjwa ya kimajini na kichawi ili wawe na uelewa wakipokea mgonjwa anayeumwa kichaa kama ni majini au la kabla ya kumpa huduma ziadi.
Nchi zote za Asia kuna elimu kubwa ya kichawi na ukisoma historia utaona wanautumia uchawi sana kiasi kwamba wana uzoefu na elimu hiyo sana, pia Afrika upo mkali ila wanaficha na kufanya siri ila wanaumiza wengi.
Dalili za kulogwa
Kuota ndoto uko sehemu chafu kama chooni au mitaroni au unajisaidia
Kuota nyoka mara kwa mara hasa weusi na mapaka, mbwa
Kuhisi hujipendi na unaona huna maana, woga bila sababu
Kuhisi mwilini kuna vitu vinatembea tembea kama sisimizi
Kuhisi baadhi ya sehemu za mwili zinacheza cheza zenyewe
Kustuka mara kwa mara usingizini hasa ukikaribia kusinzia unatingishika na kustuka
Kuhisi moyo unacheza na kuuma kama kuna sindano
Kuhisi unaitwa ila anayekuita humuoni
Kuota unafanya sex mara kwa mara
Kuharibikiwa kila ulifanyalo hata kama unafuata kanuni za kazi zako
Kuchukiwa na watu wengi bila sababu wazi
Kutotenda na kuwa msemaji tu mpaka unazeeka, kila ukitaka kutenda mipango uankwama na kuacha
Ndoa kuwa kila mara ugomvi tena jambo dogo tu
Kuwa na hasira kila ukifika numbani au kumuona mke wako au mume amakuja
Kutopenda kuoa au kuolewa
Kuchukiwa na bosi bila sababu na kila siku matusi kwako
Kuhisi kila asubuhi umechoka na huna malaria wala typhoid ukipima
Pesa ikiingia na matatizo yanaingia ikiisha yanaisha
Pesa ikiingia inatumika wee mpaka iishe ndo unapata nyingine
Kusoma sana lakini maskini na wala huwezi stuka kuhusu hali yako ila mbishi tu
Kushushwa vyeo kila mara na kupata kashifa usizotarajia
Maradhi yasiyoeleweka wazi na ukitumia dawa nafuu tu
Kukata tamaa na kukosa muelekeo kimaisha ingawa ulikuwa mpambanaji uko nyuma
Kwa wafugaji mifugo inakufa ovyo na kukosa kuzaa na ikizaa maziwa hakuna
Kutopona vidonda au operesheni miaka inapita, hii majini wanakula hapo
Ukila muda mfupi njaa, hii inaweza ikawa familia nzima hawashibi-hii ni majini wanakula mkila
Kukosa choo na tumbo kuhisi vitu vinajiviringisha
Kuhisi mabegani umebeba kitu
Kuona ukungu mara kwa mara na hauna ugonjwa wa macho wala Kisukari
Kuhisi umesimamiwa au mtu anakufuata nyuma na ukiangalia mtu humuoni.
Nyumba yako kuwa na minyato ya kutembea dalini, veranda au vyumbani
Kuchanjwa chale au mikwaruzo kama umekwaruzwa mapajani au sehemu za mwili.
Kuhisi unawashwa ukimaliza kuoga na ukichunguza unakuta mikwaruzo mwilini
Kukosa mimba bila sababu za kisayansi ila tumbo linaumwa mara kwa mara
Kukosa hamu ya sex na kukauka kwa uke hata ukiwa uko hot
Mwanaume kuota anafanya sex mara kwa mara ila nguvu za kiume zinapotea ukiwa na mke wako kitandani
Kupiga miayo kila mara hata bila usingizi wala njaa
Kutoka mimba bila sababu za wazi kiafya, hii ni jini anazitoa wakati mwingine
Kuota unaolewa na kuota una watoto,yote haya ni dalili ya kuolewa na majini yanakuzalisha ila yanavuruga maisha
Kukosa uchumba au kuharibika mambo ya uvhumba
Kuharibika uchumba kila posa ikitolewa, kuchukia wanaume wote
Kuachika na kutelekezwa bila sababu ya msingi, kila ukiolewa ndo hivyo
Kuugua kifafa ukubwani na ukifanya tiba unapata nafuu ila hauponi
Kuhisi mwiba ndani ya unyayo wa miguu yako
Kubadilika ngozi na kuwa yenye kutopendeza wakati uko ilikuwa inavutia sana
Kupata stroke ghafla na ulikuwa huna presha
Kuanguka bafuni au chooni mara kwa mara au kuponea chupu chupu kila mara usianguke bafuni ila wengine hapana
Kila rafiki wa maana hamuwezi kudumu kwa muda hata wa miaka 2 lazima mtengane tu!
Ukipewa mkopo huwezi rejesha na hupati faida na mkopo huo kamwe
Kuhisi vichomi mwilini na kiuno kuumwa sana kila mara
Kama una baadhi ya dalili hizo kama 5 au hata moja kubwa basi jua umelogwa, uchawi si mchezo kwani unaharibu taratibu mwili na maisha yako.
Kuna dawa za kuoga, kujipaka, kunywa na kufukiza kufukuza majini, mapepo na hali ya nguvu ya giza . Hizi dawa zimefanyiwa majaribio kwa watu wengi na kuwatibu maradhi ya kichawi na kuondoa majini na athari za nguvu za giza kwa uwezo wa Mungu mmoja wa pekee aliyeumba kila kitu na akakikadiria.
Dawa hizi ni:
Powerful Oil
Powerful soap
Safisha
Mt32
Extra Powerful Oil
Fusho
Clear herbal
Ukitumia 4 kati ya hizo hasa kwa aliye na uchawi mwilini na ndoto za kutisha ataona mabadiliko haraka sana.
Powerful oil
Powerful soap
Mt32
Safisha
Hizi dawa zina nguvu ya kuondoa nguvu za giza na maradhi mengi ukizitumia, unaoga sabuni kisha unajipaka mafuta.
Kunywa MT32 ni dawa za asili zaidi ya 32 zenye kuondoa uchawi mwilini na kusaidia mwili kuwa katika hali nzuri kiafya, pia zinatibu magonjwa mengi unayoyajua na usiyo yajua, kwani dawa 32 za asili zisizo na madhara ni kama viungo tu kwenye maji ya moto au asali si mchezo kitiba.
Wagonjwa wanaozitumia wanatueleza mengi kimatokeo na kujisikia wametua mzigo.
Mawasiliano kwa ushauri na tiba : +255621870342, [email protected]
    Uchawi unatesa wengi Ukiongea uchawi wengi wetu tunaona aliyeongea ni kama mshamba vile! ila tambua kuwa sasa hivi uchawi umeongezeka sana na chanzo ni husuda na tamaa, kuna wanaojifunza kwa sasa imewekwa digrii vyuo vikuu vya Afrika ya kusini kufundisha uchawi na waziri wao wa Elimu alitamka wazi bungeni mwaka juzi!
0 notes
tibaherbs · 5 years ago
Text
Uchawi mwilini uanweza kuingia kwa kulishwa kwenye chakula, kulishwa umelala ndotoni, kutegwa, kutpiwa au kutuma jini akakuingia ukiwa sehemu yoyote ile.
Wachawi wanaweza kupata kucha zako au nywele zako au nguo yako hasa yenye jasho lako au kitambaa chako cha jasho ili wafanye uchawi kisha wakutupie na unakupata isipokuwa kwa ulinzi wa Mungu mmoja wa pekee.
Dalili za uchawi ni:
kuota ndoto za marehemu
Kuota unalishwa vitu
Kuhisi mwili una vitu vinatembea au kuchoma ghafla na kisha kupotea
Kuhisi kubanwa kifua na kuumwa kichwa upande mmoja
Kuwa katika ugomvi na wa tu wengi kwenye familia au kazini
Kuhisi umebeba
Kuona mikwaruzo mwilini kama umekatwa wa wembe
Kujihisi umechoka kuishi
Kuchoka sana hasa ukiamka asubuhi
Kuhisi njaa kila baada ya kula na ukipima huna minyoo
Kukosa mapenzi kwa mke au mume bila sababu na ulikuwa unampenda sana mwanzo na wala hajakuudhi
Kuharibikiwa kazi au biashara mara kwa mara
Kutoka mimba hasa ukiwa unaota watoto na unafanya mapenzi ndotoni
Damu ya hedhi kutokoma au kupotea bila kuwa na mimba au kunyonyesha
Kuwa na hasira mara kwa mara
Kubadilika ngozi na kukosa nuru kiasi kwamba kila mtu anakuuliza umekuwaje?
Familia kuvurugika na kukosa kutoelewana
Kila siku mikosi na nuksi mpaka unakuwa mfano kwa watu
Kuota paka weusi mara kwa mara
kuota nyoka weusi kila siku
Kuota unapaa
Kuota uko chooni au sehemu chafu
Kuota unavamiwa na kuumizwa
Kuota damu mara kwa mara
Kuota radi inakupiga ni ndoto mbaya hizi
Hatua za kutibu uchawi na majini
Kwanza utambue kwa dalili
Tafuta tabibu mwenye uzoefu kwa kuulizia au kuhakikisha ukweli wake kwa kuulizia
Kunywa dawa za kuundoa mwilini au ukijua ulipo utoe na uumwagie limau na kisha tia moto.
Pata dawa ya MT32 na SAFISHA hizi dawa unakunywa na kuharisha kila kitu mpaka kama ulilishwa utaona vitu vya yellow au vyeusi
Pata dawa za kuoga na kupaka, Powerful Oil na Powerful soap
Hizo dawa nne zitaondoa uchawi mwilini na kufukuza majini ikiwa utazitumia vizuri na Mungu ameumba miti na nguvu zake kaziweka, Mungu mkubwa kuliko tunavyofikiria.
Tuwasiliane: +255621870342 WhatsApp, [email protected]
Dawa za kupulizia kwenye maeneo ya biashara au nyumbani kama wachawi wanaingia ili wasiingie kukuloga.
Tumblr media
Tuwasiliane: +255621870342 WhatsApp, [email protected]
Taratibu za kuondoa uchawi mwilini Uchawi mwilini uanweza kuingia kwa kulishwa kwenye chakula, kulishwa umelala ndotoni, kutegwa, kutpiwa au kutuma jini akakuingia ukiwa sehemu yoyote ile.
0 notes
tibaherbs · 6 years ago
Text
Uchawi umekuwa changamoto kwenye jamii na kila sehemu upo duniani kote, mitandao inachochea zaidi uchawi kusambaa kiasi kwamba kwa sasa kuna nchi za Ulaya wanafundisha uchawi vyuoni kuanzia cheti hadi Phd.
Kuna wanaofundisha uchawi bure kwa njia ya mtandao kupitia simu na computer, kuna wanaotoa huduma za kuloga kwenye mtandao kiasi kwamba ukitaka kumloga mtu unawasiliana naye alipo na yeye anakuomba vifaa vya mtu wa kuloga na mara nyingi inakuwepo picha ya huyu unayetaka amloge bila kukosa majina yake na mama yake.
Muhimu ni kujilinda na uchawi kwa kumtegemea Muumba wa mbingu na ardhi ili atulinde na madhara ya uchawi!
Uchawi unachochea na husuda! Husuda ikizidi bila juhudi ya ushindani basi wengine wanaloga wale waliowazidi kimafanikio, wanaloga watoto wa jamaa zao na familia zilizoko karibu.
Kuna dawa za kunywa endapo utahisi dalili kama:
Kuhisi mwili una vitu vinavyotembea
Kuota unakula au kulishwa vitu
Kuota wanyama na maadui wanakufukuza
Kuota uko sehemu chafu mara kwa mara
Kuota unafanya mapenzi mara kwa mara
Kuota unanyonyesha mara kwa mara
Kuota paka na majoka
Kuhisi umebeba kitu mgongoni
Kuhisi hasira mara kwa mara
Kuhisi moyo unachomwa chomwa
Kuhisi mwili moto bila malaria na ubaridi mkali bila taifodi
Kukosa kuzaa bila sababu za msingi
Kutoka damu kwa wingi kuliko kawaida za hedhi
Kukosa hedhi bila sababu
Kuchanjwa usiku
Kuona mikwaruzo kwenye mapaja
Kukosa hamu ya tendo la ndoa, hamu ya mapenzi
Nyumba kukosa amani
Nyumba kugongwa usiku
Mke na mume ugomvi kila mara bila sababu
Kupenda kuzini kila mara
Kuwa na tamaa sana ya mapenzi na kila mtu
Kuchukiwa na watu bila sababu
Fedha kupotea kimaajabu
Kukosa manufaa na pesa na ukiipata visanga
Mikosi na nuksi kila mara
Kukata tamaa ya maisha
Kunywea uume au matiti ghafla
Kuhisi maumivu chini ya kitovu
Kufa ganzi baadhi ya viungo
Kutamani kujiua
Kuona maisha hayana raha na faida kwako
Kuwa mzito kufanya ibada
Kusinzia wakati wa ibada kila mara
Kusahau mambo muhimu
Kupanga bila kutenda hata ukiwa na pesa mpaka inaisha ndo unastuka
Dawa ya Kunywa, kujipaka, kuoga na kupulizia kila mahali kuzuia na kufukuza majini, wachawi na nguvu zote za giza.
Dawa ya kuondoa uchawi mwilini ni Mt32 na SAFISHA
Dawa za kufukuza majini na kutibu matatizo ya madhara ya uchawi na majini ni Powerful oil na Powerful soap
Dawa ya kuzuia na kufukuza majini, kuzuia wachawi mahala popote ni ya kupulizia ya spray inaitwa Extra Powerful Oil
Tumblr media
Dawa ya spray ya kupulizia kwenye nyumba kuzuia na kufukuza majini, kuzuia wachawi na aina zote za nguvu za giza. Uchawi umekuwa changamoto kwenye jamii na kila sehemu upo duniani kote, mitandao inachochea zaidi uchawi kusambaa kiasi kwamba kwa sasa kuna nchi za Ulaya wanafundisha uchawi vyuoni kuanzia cheti hadi Phd.
0 notes
tibaherbs · 7 years ago
Text
Hakuna kitu kibaya kama husuda yenye kutamani neema na heri vilivyoko kwa mwenzako au ndugu yako viondoke na apate shida, kama ni mali iishe, kama ni kazi haikose, kama ni furaha ipotee na mengine mabaya ufurahie yakimpata! Ukisikia kafilisika basi wewe unashangalia! Ukisikia kaugua basi wewe wafurahi! Ukisikia kaachika basi wewe sherehe! Ukisikia watoto wake wameshindwa shule au wameharibikiwa wewe unafurahi!
Husuda ya aina hii ni mbaya na pia inakuathiri hata wewe mwenye husuda hii, kwani unachoka usoni na kuwa na sura yenye giza kwani kila mara ukiona wenzako wanafanikiwa wewe unapata homa badala ya kuwauliza wamepitia njia zipi za ufanisi au kufuatilia namna ya kufanikiwa kama wao. Nakupa wosia wa bure, ukiwapenda waliofanikiwa na ukafanya kazi kwa bidii na busara utafanikiwa na wewe, basi tangia leo wapende waliofanikiwa!
Madhara ya husuda
Wanasema hasidi hana sababu, ni kweli kwani mwingine badala ya kujifunza anachukia mwenye neema na heri kuliko yeye, kumbe chuki na kisha kumdhuru anayefanikiwa kimaisha si jawabu la  wewe kufanikiwa wala kukosa na pia wewe si lazima upate kila alichonacho mwenzako.
Wachawi wanaloga kwa sababu ya husuda, uchawi mwingi siku hizi chanzo ni husuda na roho mbaya, utafiti tulionao sisi kutoka watu waliofanyiwa uchawi na kufanyiwa maombi na kisha mashetani/majini yaliyotumwa husema kuwa ni husuda ya kufanikiwa au kuwa na neema au akili kwa huyu mgonjwa!
Kama ukimtegemea Mungu mmoja wa pekee asiyekuwa na mshirika basi jua kuwa utalindwa na shari wenye husuda!
Ukishalogwa na kuona dalili zifuatazo basi mtegemee Mungu mmoja wa pekee asiye na mshirika na kisha pata dawa za kujitibu kwa uchawi si jambo la kuchezea hasa siku hizi ambapo uchawi unafundishwa kuanzia Ulaya, Asia na Afrika.
Kuota ndoto za kutisha na za ajabu ukiwa umelala mchana au usiku.
Kuota unafanya mapenzi mara kwa mara
Kuhisi vitu vinatembea mwilini
Kuota unalishwa vitu au nyama
Kuota nyoka na paka mara kwa mara
Kuota unafukuzwa na mtu au kundi la watu
Kuota ajali mara kwa mara
Kuota unafiwa na watu wa karibu mpaka unalia usingizini
Kuota upo sehemu chafu kama chooni, baafuni, mitaloni, nk
Kuota unazaa au unanyonyesha mara kwa mara
Kuota una watoto wengi
Kuhisi umebeba kitu mgongoni kama uzito usioeleweka
Kuhisi vichomi mwili mzima bila malaria au typhoid
Kuchoka sana kuhisi kichwa kizito kila mara, pia malaria ukipima hauna
Kuhisi hasira kila mara na kutamani kujiua au kuhama kwako
Kuhisi umefuatwa nyuma yako ukiwa unatembea
Kuhisi moyo una vichomi na vichomi kusikia maumivu kwenye moyo
Kuhisi joto lisilo la kawaida kwenye mwili hasa miguu
Miguu kufa ganzi na baadhi ya viungo vya mwili
Kutingishika viungo vya mwili bila sababu
Kuchukia mume au mke bila sababu
Ugomvi wa mara kwa mara katika famila na sababu za kawaida
Ghafla uchumi kuwa mbaya na familia kusambaratika
Kuona wateja wanajikata bila sababu na wewe kauli yako ni nzuri na unajali wateja kiasi unavyoweza
Ksikia nyumba nzito na kuhisi watu wanatembea kwenye nyumba usiku au mchana
Kuota unajisaidia au unakojoa kila unapokuwa umelala kiasi kwamba unakaribia kukojoa kitandani au pengine unakojoa
Mtoto kubadilia tabia ghafla na akachukua masomo bila chanzo cha wazi
Mwanamke kutoka mimba au kukosa mimba kabisa bila sababu za kisayansi zilizothibitishwa
Kukosa nguvu za kiume nbila sababu ya msingi kiafya na uume kusinyaa unapokaribia kuingilia mke wako
Mikosi na nuksi kukuandama mpaka kila mtu akasema huyu jamaa anayo mikosi
Watu kukuchukia bila sababu na ukienda mahala unakosa ushirikiano bila sababu
Mimba kutoka bila sababu na kuhisi maumivu kila mara ukikaribia kuingia katika hedhi
Kukosa hedhi, kutoka damu bila kukoma
Mifugo kukosa maziwa bila sababu za kitaalamu na wewe unawalisha vizuri
Shamba kuwa katika hali ya kutotoa matunda na wewe umelima vizuri na kupanda mapema kama wenzako, wenzako wanavuna vizuri na kwa wingi ila wewe kiduchu na eneo jirani
Kuwa na chuki na ndugu zako na marafiki bila chanzo
Kuongea ndotoni peke yako na kuuma meno mara kwa mara
Kuchanjwa umelala au kuona umepata mikwaruzo sehemu za mwili asubuhi au kuhisi maumivu kwenye mikwaruzo wakati unaoga
Kuhisi kuchanganyikiwa na kukosa muelekeo wa maisha kabisa na kukata tamaa ya maisha
Kupoteza fahamu hata ukiwa umekaa kwenye kiti au upo kazini
Kusikia unaitwa jina lako na anayekuita humuoni
Kukatwa nywele umelala na bila kujua nani kakukata
Kuwa mzinifu na mlevi wa kupindukia
Kupenda machafu na maasi bila kujuata au ukiambiwa unadharau
Kuvuta sigara kila mara na kuhisi sigara tamu ukivuta uko chooni au sehemu chafu
Kuna madawa yamefanyiwa utafiti na taasisi yetu kwa muda mrefu kutibu uchawi na kufukuza majini, mapepo na maradhi mengine mengi mwilini yasiyo kuwa na ushahidi wa hospitali kuonekana kwa vipimo vya kisasa.
Majina ya Dawa hizi hapa chini ni:
MT32-Ni mchanganyiko wa dawa zaidi ya 32 za asili zenye uwezo wa kutibu magonjwa mengi ukiwemo uchawi mwilini
SAFISHA-Dawa ya kuondoa uchafu tumboni na kuondoa mafuta kiasi kwamba utajisikia mwepesi baada kuharisha kiasi, wale waliolishwa uchawi usingizini na hata kwenye vyakula bila kujua hii itaondoa
POWERFUL SOAP-Sabuni yenye kuchanganywa na dawa zenye nguvu kuharibu madhara ya majini na uchawi kama mikosi na nuksi
POWERFUL OIL-Mafuta yaliyo na dawa maalumu ya kufukuza majini, mapepo na nguvu zote za giza kwako na nyumbani kwako. Hata mchawi hawezi kuingia kwako na kukuchezea, uchawi hauwezi kukuingia ukiwa umejipaka pia ni mazuri yanalainisha mwili wako!
  Husuda na uchawi Hakuna kitu kibaya kama husuda yenye kutamani neema na heri vilivyoko kwa mwenzako au ndugu yako viondoke na apate shida, kama ni mali iishe, kama ni kazi haikose, kama ni furaha ipotee na mengine mabaya ufurahie yakimpata!
0 notes