#ndoto za kufanya mapenzi
Explore tagged Tumblr posts
Text
Uchawi umekuwa changamoto kwenye jamii na kila sehemu upo duniani kote, mitandao inachochea zaidi uchawi kusambaa kiasi kwamba kwa sasa kuna nchi za Ulaya wanafundisha uchawi vyuoni kuanzia cheti hadi Phd.
Kuna wanaofundisha uchawi bure kwa njia ya mtandao kupitia simu na computer, kuna wanaotoa huduma za kuloga kwenye mtandao kiasi kwamba ukitaka kumloga mtu unawasiliana naye alipo na yeye anakuomba vifaa vya mtu wa kuloga na mara nyingi inakuwepo picha ya huyu unayetaka amloge bila kukosa majina yake na mama yake.
Muhimu ni kujilinda na uchawi kwa kumtegemea Muumba wa mbingu na ardhi ili atulinde na madhara ya uchawi!
Uchawi unachochea na husuda! Husuda ikizidi bila juhudi ya ushindani basi wengine wanaloga wale waliowazidi kimafanikio, wanaloga watoto wa jamaa zao na familia zilizoko karibu.
Kuna dawa za kunywa endapo utahisi dalili kama:
Kuhisi mwili una vitu vinavyotembea
Kuota unakula au kulishwa vitu
Kuota wanyama na maadui wanakufukuza
Kuota uko sehemu chafu mara kwa mara
Kuota unafanya mapenzi mara kwa mara
Kuota unanyonyesha mara kwa mara
Kuota paka na majoka
Kuhisi umebeba kitu mgongoni
Kuhisi hasira mara kwa mara
Kuhisi moyo unachomwa chomwa
Kuhisi mwili moto bila malaria na ubaridi mkali bila taifodi
Kukosa kuzaa bila sababu za msingi
Kutoka damu kwa wingi kuliko kawaida za hedhi
Kukosa hedhi bila sababu
Kuchanjwa usiku
Kuona mikwaruzo kwenye mapaja
Kukosa hamu ya tendo la ndoa, hamu ya mapenzi
Nyumba kukosa amani
Nyumba kugongwa usiku
Mke na mume ugomvi kila mara bila sababu
Kupenda kuzini kila mara
Kuwa na tamaa sana ya mapenzi na kila mtu
Kuchukiwa na watu bila sababu
Fedha kupotea kimaajabu
Kukosa manufaa na pesa na ukiipata visanga
Mikosi na nuksi kila mara
Kukata tamaa ya maisha
Kunywea uume au matiti ghafla
Kuhisi maumivu chini ya kitovu
Kufa ganzi baadhi ya viungo
Kutamani kujiua
Kuona maisha hayana raha na faida kwako
Kuwa mzito kufanya ibada
Kusinzia wakati wa ibada kila mara
Kusahau mambo muhimu
Kupanga bila kutenda hata ukiwa na pesa mpaka inaisha ndo unastuka
Dawa ya Kunywa, kujipaka, kuoga na kupulizia kila mahali kuzuia na kufukuza majini, wachawi na nguvu zote za giza.
Dawa ya kuondoa uchawi mwilini ni Mt32 na SAFISHA
Dawa za kufukuza majini na kutibu matatizo ya madhara ya uchawi na majini ni Powerful oil na Powerful soap
Dawa ya kuzuia na kufukuza majini, kuzuia wachawi mahala popote ni ya kupulizia ya spray inaitwa Extra Powerful Oil
Dawa ya spray ya kupulizia kwenye nyumba kuzuia na kufukuza majini, kuzuia wachawi na aina zote za nguvu za giza. Uchawi umekuwa changamoto kwenye jamii na kila sehemu upo duniani kote, mitandao inachochea zaidi uchawi kusambaa kiasi kwamba kwa sasa kuna nchi za Ulaya wanafundisha uchawi vyuoni kuanzia cheti hadi Phd.
#kufukuza majini#kuzuia wachawi#ndoto za kufanya mapenzi#ndoto za kutisha#spray ya kufukuza na kuzuia majini
0 notes
Photo
#UmbeaHeist Kama Ni Utoaji Wa Tuzo za #JamhuriYaWapambanaji Kipengele cha Kugangamala Kwenye Mitikisiko Mbalimbali Mshindi ni @DogoJanjaTz Anastahili Tuzo hii Kwanza Alianza Kuisaka Ndoto Yake Akiwa na Umri Mdogo Mno Mpaka kukutana Na Rais Wa Manzese Madee, akatoboa Baadae Ikachomoka Na Kuanza Ku Run Game Yake Kama Solo Artist Chini Ya Ostaz Juma Na Musoma, akapiga Piga mishe akakaa kimyaaa (inasemekana alipotea) Akapambana kurudi ikawa Ngumu Baadae akaanza Tena kufanya Kazi Na Rais Wa Manzese Janjaro akarudi Kwenye Form Mapenzi na Irene Uwoya wakafunga ndoa Mara Puuuuh Ndoa ikavunjika Wambea wakahisi Janjaro Hatokua na Ujanja kuhimili MikikiMikiki ya Talaka kisaikolojia Lakini alikomaa na kuendelea Ku Push Muziki wake Leo hii Janjaro ni Moja Kati ya Wasanii wenye mafanikio Ndani ya Muziki na nje ya Muziki Leo Wambea Tunasema Janjaro ni mfano wa Kuigwa, Kwani kuna Vijana wengi wanashindwa kuhimili Mitikisiko ya kimaisha na kujikuta wanapoteza Direction na Kusahau lengo Lao kuu ni kuithibitisha Ndoto inayowanyima usingizi Jifunze Kupitia Wapambanaji Muombe Mungu usipotee Njia https://www.instagram.com/p/CHGabkpB9fb/?igshid=19ebaq9m15sec
0 notes
Photo
Duniani wawili wawili. Umewahi kujiuliza kwa nini? Kwa nini mtu afanane sana na mtu mwingine ambaye hata si ndugu yake na labda mmoja anakaa Kagera na mwingine Tanga? Au mmoja anakaa Rwanda na mwingine Tanzania? - Nguvu za Shetani zimejificha katika sehemu za siri za mwanadamu. Kujamiiana (tendo batili la ndoa) kunautia najisi mwili wako na roho yako pia, hasa wakati wa kumwaga manii; kwa sababu dhambi zote anazofanya mwanadamu ziko nje ya mwili wake isipokuwa dhambi ya uzinzi, ambaye mungu wake anaitwa Asmodeus. Asmodeus maana yake ni Kiumbe cha Hukumu. Kutokana na dhambi ya uzinzi ndiyo maana Mungu akauhukumu kwa moto mji wa Sodoma, na miji mingine minne ya kipindi hicho. Tunapokuwa tumelala mara nyingi tunaota ndoto tukifanya mapenzi, na watu tunaowajua au tusiowajua, hadi kileleni. Ndoto hizo ni za kishetani. Shetani hujigeuza na kuwa jini jike (Succubus) ambalo hufanya mapenzi na mwanamume kisha mwanamume kummwagia manii Succubus. Halafu Succubus huyohuyo hujigeuza na kuwa jini dume (Incubus) na kufanya mapenzi na mwanamke popote pale duniani, kwa lengo la kumwaga zile shahawa katika uchi wa mwanamke, hivyo kutia najisi mwili na roho ya mwanamke na mwanamume walioingiliwa na Incubus na Succubus kwa mpangilio huo. Iwapo uliwahi kuota unafanya mapenzi na mwanamume, kuna uwezekano mkubwa ulifanya mapenzi na jini mahaba aitwaye Incubus; na iwapo uliwahi kuota unafanya mapenzi na mwanamke, kuna uwezekano mkubwa ulifanya mapenzi na jini mahaba aitwaye Succubus. Succubus anapochukua shahawa za mwanamume na kujigeuza kuwa Incubus, huangalia ni mwanamke gani popote pale duniani yuko tayari kunasa mimba na bado hajafanya tendo la ndoa na mume au mpenzi wake. Kwa ruhusa ya Mwenyezi Mungu Incubus atasafiri kwa mwendo wa mwanga hadi kwa mwanamke huyo na kufanya naye mapenzi kwa njia ya ndoto, lakini lengo likiwa ni kummwagia zile shahawa alizozitoa kwa mwanamume, ili mwanamke anase mimba. Soma zaidi hapa: https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=1749491058408048&id=100000415120038 https://www.instagram.com/p/B1MIOEgHk35/?igshid=1eo5ubtl3hsli
0 notes
Photo
Mpaka nifikie umri wa huyu @jessicaalba yan nataka hakikisha Kampuni yangu inakuwa kubwa hasa … kampuni yangu imesajiliwa Mwaka Huu ndio ina Miezi Michanga . kama Mtangazaji Bora kabisa niliamua kuwekeza katika Biashara. Nilimfata Boss wangu Sheba kussaga nampenda sana Roho yangu na HR wangu Kitoi JR. Nikaweka Mezani Mawazo yangu ya Kufanya Kazi Kusoma na Kufanya Biashara and Alhamdulilah nikaanza mdogo mdogo. Nikaanza save my salary for my first boutique. Nikaanza wasiliana na wawekezaji wa China wachache for my lingerie collection . boxer na wipes n pads n pampaz kwa ajili ya watoto . nikaongea na baadhi ya supermarket ntapokuwa tayar nifikie eneo kubwa la Tanzania. Sababu tu nina ndoto na naishi katika ulimwengu wangu niliamini nitafanikiwa. i always watch @babbiekabae kama insp woman anaejua hasa kukutia nguvu katika kufanikisha lengo na hio siku nilosema Aisee nitafanya for jasho. Kwa nyundo kwa lolote nataka niwe nafata nyayo za @jessicaalba Kama Mjasiriamali. Actualy Ima young woman. Iv bin kwenye industry ya Utangazaji katika umri ambao kila mtu sababu tu ya Jina langu alini push niwe na vitu vya haraka haraka. But i always believe in Gods timing. Gods plan sikutaka ku rush . wanted to enjoy my ON air Personality …but after enjoying that nakujua nguvu yangu katika Jamii sasa meamua kubadili maisha yangu na kuwa katika mfumo wa Biashara. Wakati tunaelekea katika msimu huu wa Mwisho wa Malkia wa Nguvu naomba leo kumtaja @jessicaalba kama Malkia wangu wa nguvu kwa mwaka 2018 na 2019. Memfatilia kila step …Nia na Dhumuni ni kuwa kama yeye. Kanipita umri yes but nikiifika miaka yake. diva atakuwa Bawsey af. Huwa sipendi kushindana wala kushindanishwa .. I believe katika Mapenzi ya watu n yes yal love me n i luv u too n believe in supporting anything for the good course. Ndio mana sitak sikia kiki. Iv been there done that ..saa hii na focus zaidi katika Kazi Yangu. biashara Yangu na Maisha yangu. If you want to create legacy gota live for it. Nataka watia nguvu mabinti kwamba mnaweza. If at first hukufanikiwa dust yaself off n try again. Ima go geta i always go for what i want ..yan i believe in you can follow My LEAD. Be a go getter
0 notes
Text
Kwanini watu huota wanafanya Mapenzi?
Kwanini watu huota wanafanya Mapenzi?
Uchunguzi unaonyesha kuwa uotaji ndoto za kimapenzi huwatokea hata watu ambao hawajawahi kufanya kitendo hicho kabisa, huku watu wanaofanya nao wakiwa ni wale wanaowafahamu kwa sura au wasiowafahamu. Wengi wamekuwa wakijiuliza maswali mengi juu ya nini kinachangia uotaji huu wa ndoto za kimapenzi?
Miongoni wa makundi ya vijana hasa wenye umri wa kati miaka 15-23 wengi wao huota wakifanya mapenzi…
View On WordPress
0 notes
Text
Kwanini watu huota wanafanya Mapenzi?
Kwanini watu huota wanafanya Mapenzi?
Uchunguzi unaonyesha kuwa uotaji ndoto za kimapenzi huwatokea hata watu ambao hawajawahi kufanya kitendo hicho kabisa, huku watu wanaofanya nao wakiwa ni wale wanaowafahamu kwa sura au wasiowafahamu. Wengi wamekuwa wakijiuliza maswali mengi juu ya nini kinachangia uotaji huu wa ndoto za kimapenzi? Miongoni wa makundi ya vijana hasa wenye umri wa kati miaka 15-23 wengi wao huota wakifanya mapenzi…
View On WordPress
0 notes
Text
Ndoto na makundi yake
Ndoto na makundi yake
Kila mwanadamu aliye kamili akisinzia mchana au usiku anaweza kuota na akasahau au akakumbula kiasi cha ndoto. Yule asiyeota kabisa anakuwa na tatizo katika nguvu za kiroho asilia(psyche power weakness).
Kuna aina 3 kuu za ndoto
1.Ndoto za kweli ni zenye ujumbe maalum
2.Ndoto za yale uliyokuwa unawazia mchana na muda wote yametawala mawazo yako
3.Ndoto za kishetani, hizi ndoto zinakuwa mbaya na…
View On WordPress
0 notes
Text
Duniani kuna mengi hatujui na kuyajua si lazima ila yapo na yanasumbua wanadamu wengi pamoja na kujitahidi kuvumilia na kangaika bila mafanikio.
Mwanadaamu anazo akili, macho, mdomo, ulimi, masikio, mikono, miguu, pua,kichwa na viungo vya ndani kama moyo, ini, figo, utumbo, ubongo, na vingine vidogo sana kama chembe na mishipa.
Mwanadamu anashambuliwa na magonjwa mengi yatokanayo na wadudu mbali mbali wanao onekana na wasio onekana.
Kuna wadudu kama bacteria, virusi, n.k hawa wote wanamshambulia mwanadamu na yeye anaangaika kuwatokomeza na anashindwa baadhi na wengine anawaweza kwani asipojitahidi anateseka sana na mwisho anakufa.
Kuna wadudu wengine hawaonekani kwa darubini ya hospitali au Kifaa chochote cha kisasa kama MRI kugundua mwilini wala ikifanyia SCAN ya mwili hawawezi kuwaona wadudu hao, wadudu hao ni majini na mapepo ya aina zote yaliyo ndani ya mwili kwa kuingia yenyewe au kuwekwa na mchawi!
Dalili za wadudu hawa wa kichawi ni:
Kustuka stuka usingizini na kusisimuka
Kukosa choo hata ukila matunda na mboga za majani
Kila kitu hakiendi na wala wewe si mzembe
Kuuma meno usingizini
Kukosa usingiza hasa usiku wa manane
Kusinzia kazini au kwenye biashara
Kuota nyoka na mapaka mara kw amara
Kuota unashambuliwa
Kuota unafanya mapenzi na viumbe ndotoni au mwanamke au mwanaume
Kuota unapaa au uko nyikani
Kuota unalishwa au unakula vitu
Kupenda kulala sana na wewe ni masikini
Kusikia uzito kufanya maendeleo binafsi
Kuahirisha mambo yako ya kila mara na yaliyo muhimu
Kuota uko sehemu chafu au chooni au bafuni
Kuchukiwa na watu bila sababu
Kukosa hamu ya tendo la ndoa
Kuhisi uzito mabegani
Kuhisi vitu vinatembea mwilini
Kuhisi unatekenywa sehemu za mwili
Viungo kufa ganzi na kuhisi umelegea mwili
Kupiga miayo kila wakati na hata bila njaa wala usingizi
Kuhisi mwili joto kila mara au moto kwenye miguu au sehemu yoyote ya mwili
Kupenda ngono hata kutamani ndugu kuzini nao
Kushindwa tendo la ndoa kila mara na uume kulegea au uke kuwa mkavu
Ukiwa na dalili zaidi ya mbili tuwasiliane hauko salama ingawa unatembea na kufanya kazi zako, kwani mwisho wako unaweza kuwa mbaya!
Mawasiliano ni:
076253174. Tuko Dsm Ubungo.
WhatsApp: +255621870342
Email:[email protected].
Tuna dawa za kuondoa nguvu za giza na kutibu maradhi mengi ikiwemo uchawi na majini masumbufu.
Hizo dawa zimetokana na miti na mimea ya asili yenye nguvu kwa kutibu maradhi mengi ikiwemo uchawi kwa Uwezo wa Mungu mmoja wa pekee
dalili mbaya kiafya Duniani kuna mengi hatujui na kuyajua si lazima ila yapo na yanasumbua wanadamu wengi pamoja na kujitahidi kuvumilia na kangaika bila mafanikio.
#dalili za uchawi#kulogwa#kuota nyoka na mijusi#kuota unajisaidia#ndoto chafu#ndoto za kufanya mapenzi#uchawi
0 notes
Text
Kuota uko darasani
Kuota uko darasani na unaona uko unasoma ina maana kubwa kimaisha, kwani inategemea masomo unaelewa hapo darasani au la ukiwa ndotoni. Je vipi ulikuwa unafanya test? Je vipi unaelewa ukiwa darasani na mtihani uliumaliza au test ulipokuwa unaota. Je umeota unafanya test au mtihani na ukashinda au ukashindwa?
Ndoto zote za kuota uko shuleni au unafanya test au unafanya mtihani zina maana kubwa…
View On WordPress
#kuota unafanya mtihani#kuota unafanya test#kuota unapigwa na mwalimu#kuota unashinda mtihani#ndoto za kufanya mapenzi#ndoto za kutisha#ndoto za mitihani#ndoto za shule#tafsiri ya ndoto#ukiota ukiwa darasani
0 notes
Text
Mganga wa Bagamoyo amesema kuna wanaotumiwa majini ila yanashindwa kuwaingia kutokana na uwezo wa Mungu wa pekee.
Kasema kuna wengine wanakuwa na majini yenye nguvu kiasi kwamba majini yao yakitumwa yanachukua muda mwingi kuwazuru ila yakirudi yanatoa taarifa na kupata sapoti ya majini mengine yenye nguvu kama hayo.
Bagamoyo na sehemu zingine kama Sumbawanga, Tanga, Kigoma, Dar es salaam waganga wanaongezeka kwa kasi kutokana na wateja kuongezeka kwani kuna uchawi mwingi siku hizi na kila mtu anakwenda kivyake.
Huyu wa Bagamoyo anayo majini mengi na ni kijana mdogo ila anapenda majini yake utafikiri ni mifugo kama ng’ombe, ingawa anawaita wanakuja wanaongea na kumfanyia kazi kwa kutoa fomula za madawa ya kuponya na kuloga ikiwa kuna mtu ana tatizo lolote yanatoa kanuni za kitiba au za kuloga au yanakwenda kama jeshi kufanya kazi kwa kutumwa na wenye nayo kwa makubaliano ya mteja.
Muhimu kwa sasa kumuabudu Mungu wa pekee sana kwani uchawi umekuwa mwingi na hii itakusaidia kutoangaika sana kwani wengi waganga waongo na wanataka pesa ndio ajenda kubwa yao.
Kuna dawa ukishafanyiwa uchawi au kutupiwa jini unazitumia na unaomba Mungu anakuponya tu kwa uwezo wake mkubwa. Subira ni muhimu sana wakati umeptwa tatizo la kiuchawi kwani unavurugwa kwa hali isiyo ya kawaida.
Mchawi hakati tamaa wala hachoki mpaka aone unateseka kiafya, kiuchumi, kifamilia na akishindwa wewe anaingilia familia yako analoga ili uangaike!
Tiba sahihi ni maombi na dawa zinazotibu uchawi na kuondoa nguvu za giza za aina zote.
Dawa hizi zinatibu uchawi na kufukuza majini kwa muda mfupi sana kwani Mungu aliumba miti na akatoa uwezo kwenye tiba za magonjwa mbali mbali yakiwemo ya kichawi.
MADAWA HAYA KWA MAJINA NI:
POWERFUL OIL
MT32
SAFISHA
POWERFUL SOAP
EXTRA POWERFUL OIL
HAYA MAFUTA YANATIBU:
KUONDOA NGUVU ZA GIZA
KUSADIA KUFA GANZI KATIKA BAADHI YA VIUNGO, MIGUU KUWAKA MOTO
KUFUKUZA MAJINI NDANI YA MWILI
KUZUIA KUOTA NDOTO ZA KUTISHA
KUOTA UNAINGILIWA KIMAPENZI USIKU
KUZUIA WACHAWI KUINGIA NDANI YA NYUMBA YAKO KWA NGUVU ZA GIZA( JIPAKE KABLA YA KULALA MWILI MZIMA KIDOGO TU NA NYUNYUZIA KWENYE NYUMBA YAKO KILA BAADA YA MWEZI HASA KWENYE PEMBE , MADIRISHA NA MILANGONI)
KUONDOA HALI YAKUWA NA WASIWASI NA KUKATA TAMAA NA HALI YA KUCHANGAMKA(JIPAKE USONI NA KICHWANI NA KIFUANI NA UTAJISIKIA UNAKUWA NA HALI MPYA NA KUONGEZA NGUVU YA KUTOKATA TAMAA)
2.MT32
DAWA HII INAITWA MT32 KWANI NI UNGA ULIOSAGWA KUTOKANA NA MITI 32 YA TIBA.
UNATUMIA KWENYE ASALI AU UNACHEMSHA NA KUNYWA NA INATIBU MAGONJWA MENGI YANAYOJULIKANA KWA VIPIMO NA YALE YASIYOJULIKANA KWA VIPIMO HASA HAYA:
UCHAWI ULIOKO MWILINI
KUHISI VITU VINATEMBEA MWILINI
KUHISI MWILI MZITO NA KAMA UMEBEBA MZIGO
KUISHIWA NGUVU NA VIPIMO HAVIONYESHI CHANZO
MISHIPA YA UZAZI KUHISI INAUMA NA CHANZO HUKIJUI
KUHISI KUNA VITU VINATEMBEA JUU YA NGOZI
KUHISI MOYO UNAJITINGISHA NA BAADHI YA VIUNGO
3.SAFISHA
Dawa ni mitishamba na inasafisha mafuta yaliyoko mwilili na kwenye utumbo mpana na mwembamba(small and large intestines kwa siku 3 mpaka 7).
Sasa dawa hii ina faida hizi:
Kupunguza uzito
Kuondoa uchafu tumboni
Kusaidia kupata choo
Kusafisha mishipa na kukupa afya imara kwani mfumo wa chakula ndo unasababisha upate afya nzuri.
Kama ulilishwa madawa ya uchawi yatatoka yote
KWA WALE WANAOTAKA KUPUNGUZA UZITO NAO INAWASAIDIA SAMBAMBA NA KULA MILO ISIYO NA MAFUTA MENGI NA WANGA KWA WINGI. UKISHA TUMIA GLASS 1 BAADA YA MASAA KAMA SITA UNAHARISHA KWA KIASI FULANI NA MPAKA SIKU 3 UNAKUWA UMEPUNGUA NA WEWE MWENYEWE UTASIKIA UMEKUWA MWEPESI
Baada ya kuichemsha unakunywa na mnamo masaa 6 utaanza kuharisha na kuendelea kiasi unaharisha kawaida na kutoa uchafu, mafuta, na hata magonjwa ya tumboni, watu wasiopata choo na kinaganda nao wanatoa uchafu huu hatari wa kuozea tumboni na kusababisha vidonda vya tumboni na wakati mwingine kansa ya utumbo. Choo kinakuwa cha shida na mtu akienda chooni anakunya kama kinyeshi cha mbuzi na mwingine anakaa mpaka anapasua sehemu ya haja kubwa na kutoka damu. Hii ikiwa ya muda mredu mishipa hulegea na kusababisha sehemu ya ndani kutoka na hatimaye kupata magonjwa ya ajabu na magumu kutibu hospitalini.
Mawasiliano: Upate huduma
+255762053174/+255621870342
Mganga Bagamoyo akili nguvu za Mungu Mganga wa Bagamoyo amesema kuna wanaotumiwa majini ila yanashindwa kuwaingia kutokana na uwezo wa Mungu wa pekee.
#dawa za kufukuza majini#Dawa za kuondoa uchawi mwilini#kukanyaga uchawi#kulishwa uchawi#kuota nyoka#kuota paka#kuota unaingiliwa usiku#kuota unalishwa vitu ni uchawi#kurushiwa uchawi#majini na tiba yake#mchawi hachoki#ndoto za kufanya mapenzi#tibu uchawi#tibu uchawi sugu#uchawi na tiba yake#ulozi na tiba yake
0 notes
Text
Tiba ya kwanza ya ushirikina ni kumuabudu Muumba wa kila kitu pekee yake, pia kujitahidi kumtegemea yeye Mungu mmoja wa pekee.
Ushirikina ukikupata unaomba Muumba wa pekee na pia unatumia dawa za kufukuza nguvu za kishirikina kama Powerful Oil, MT32 na dawa zingine zilizojaribiwa na kuona matokeo yake.
POWERFUL OIL NA MT32-Unajipaka hayo mafuta yenye dawa za asili zenye uwezo wa kufukuzia mbali majini na kila nguvu za giza kwa uwezo wa Mungu mmoja wa pekee. Miti na mimea imeumbwa na yeye wa pekee na hii ni uwezo wake pia kuipa nguvu za ajabu mimea na miti aliyoumba na kusaidia watu.
Extra Powerful oil ni spray yenye nguvu kuzuia wachawi na wanga kukusumbua usiku na kukuingilia kiuchawi.
Wachawi, Majini na viumbe vingi vya ajabu visivyoonekana vipo kwa asilimia 100
Wachawi wanakufuru Mungu mmoja wa pekee ili majini na mashetani yawe marafiki kwa kumkufuru Mungu mmoja wa pekee asiyekuwa na mshirika katika miliki yake.
Husuda na tamaa iliyopitiliza ni chanzo cha majanga na madhara makubwa katika jamii pia wachawi wakihusudu ufanya madhara kama kuloga na kufitini wenzao waliofanikiwa. Mchawi kwa kushirikiana na majini ya kishetani uloga wenzake kama kuwaharibia afya yao kimiujiza, kuwaharibia maisha kwa kila hali na kuhakikisha wanahangaika bila kufaulu.
Maskini wengi hawajui kama wamelogwa! au wana majini!
Ukiwa na neema yoyote si kila mtu anafurahia hiyo neema yako hasa jamaa wa karibu na majirani.
Siku moja jamaa alikuwa amevaa vizuri na mwenye afya nzuri na ukikuona utamuona yuko salama, basi akawa analalamika pesa yake kupotea na watu wengi kumchukia bila sababu. Aliambiwa na tabibu mzoefu wa mambo ya kiroho kuwa unachezewa na wewe ni mgonjwa aliyelogwa, jamaa alisema kwa hasira kuwa hakuna kitu kama hicho na yeye yuko salama tu! Basi huyu tabibu akammuomba amfanyie maombi ili aone kama yuko salama kweli, jamaa akakubali na huyu tabibu akampaka mafuta yaitwayo POWERFUL OIL na akamfanyia maombi baada ya dakika kam 10 jini akaanza kuongea na aliohojiwa akasema mimi niliwekwa kwake miaka mingi tangia akiwa mdogo ili kuharibu maisha yake na sasa tuko wengi kiasi kwamba waliotutuma wanasema asifanikiwe katika maisha na awe dhalili mpaka uzee wake.
Basi baadaye yalisema mambo mengi yaliyokwisha mfanyia kama kufukuza mke wake, kumchonganisha na mabosi kazini mpaka anafukuzwa, kumwibia pesa, kuharibu urafiki na watu kuwajengea chuki dhidi yake! Jamaa baada ya kuzinduka na kuulizwa yote akasema ni kweli kabisa na akaanza tiba rasmi kisha akapona na akafunguka ila ikabidi azidishie mambo mema na kufanya ibada kumuomba Mungu mmoja wa pekee amlinde na shari za hawa wachawi na majini kwani mchawi hachoki na hakati tamaa katika kudhuru watu!
Dalili hizi ukiwa nazo basi jua umelogwa au unayo majini au vyote kwa pamoja
Kuota ndoto mbaya za kutisha mara kwa mara
Kuota unafanya mapenzi na watu au viumbe wa ajabu
Kuhisi umebeba kitu mgongoni
Kubanwa kifua na sehemu za mwili nyingige
Kusinzia sana hata ukiwa ofisini wewe ni usingizi tu
Kuchukia familia yako na mume au muke
Kuchukia kuoa au kuolewa
Ajali za mara kwa mara hata ukiwa makini vipi, unakoswa koswa ajali tu.
Kuhisi unasisimka mwili ghafla ukiwa umekaa au unakaribia kusinzia
Kuhairisha mipango yako mizuri kiasi kwamba miaka inapita
Kuhisi njaa mara kwa mara wewe na familia yako, mkipima minyoo hakuna
Kuumwa kichwa mara kwa mara upande mmoja na malaria wala typhoid huna
Kubanwa na hasira/ghadhabu kwa vitu vidogo
Kutoka mimba mara kwa mara
kukosa hedhi na kuvurugika au kutoka damu ya hedhi mfululizo
Kuhisi umesimamiwa na mtu, ukiangalia nyuma humuoni
Kuchukia na watu wengi bila sababu, wengine usema huyu ana damu ya kunguni
Ukipata pesa unapata matatizo inaisha na yanaisha, na inakuwa kawaida hii hali
Kukosa nguvu za kiume na au muke anakauka sehemu za siri inakuwa kama bikira na kuumia yeye na mume pia
Kuumwa chini ya kitovu na tumbo kila mara
Kupoteza pesa na vitu vyako vya thamani mara kwa mara
Ngozi kuwa na rangi tofauti kila msimu
Kuchanjwa usiku au kukatwa kucha, kunyolewa nywele usiku
Kuota unapaa au unaanguka shimoni
Kuota unalishwa nyama, hii ni uchawi kabila unawekwa
Kuwa dhaifu siku hadi siku na magonjwa hayaponi na si rahisi kugundua kwa vyombo vya hospitali.
Familia kukuchukia hadi ukakosa raha na wewe unawapa huduma muhimu kama baba au mama.
Kutingishika viungo vya mwili na wakati mwingini kuhisi joto miguuni au kichwani.
Kama umelogwa na unahisi amani inatoweka, kuna dawa hizi hapa chini, kwa uwezo wa Mungu utakuwa sawa.
Mawasiliano:WhatsApp: +255621870342
WhatsApp: +255621870342/+255762053174, Email: [email protected]
Ushirikina na tiba yake Tiba ya kwanza ya ushirikina ni kumuabudu Muumba wa kila kitu pekee yake, pia kujitahidi kumtegemea yeye Mungu mmoja wa pekee.
#kuchanjwa usiku#kuhisi mgongo uzito#kuhisi vitu vinatembea mwilini#kukatwa kucha usiku#kulogwa#kunyolewa usiku#kuota sehemu chafu#kuota unajisaidia#kuota unakula vitu#kuota unanyonyesha#kuota watoto#kuumwa kichwa upande mmoja#ndoto za kufanya mapenzi#ndoto za kutisha#uchawi#uchawi mwilini
0 notes
Text
Kuna watu wanafanya mambo kama hawako nasi na wala sisi hatuwezi kugundua mambo yao na wala kuwaona wakifanya mambo yao! Hawa watu wanashirikiana na viumbe vingine vilivyoasi Mungu na kufanya mambo yasiyoonekana kwa macho ya kawaida ili kutimiza dhamira zao mbali mbali kwa viumbe wengine na wao binafsi kufurahisha nafsi zao, hawa watu wanaitwa washirikina na mtandao wao unaweza kuitwa ulimwengu wa ushirikina!
Wachawi, Majini na viumbe vingi vya ajabu visivyoonekana vipo kwa asilimia 100
Wachawi wanakufuru Mungu mmoja wa pekee ili majini na mashetani yawe marafiki kwa kumkufuru Mungu mmoja wa pekee asiyekuwa na mshirika katika miliki yake.
Husuda na tamaa iliyopitiliza ni chanzo cha majanga na madhara makubwa katika jamii pia wachawi wakihusudu ufanya madhara kama kuloga na kufitini wenzao waliofanikiwa. Mchawi kwa kushirikiana na majini ya kishetani uloga wenzake kama kuwaharibia afya yao kimiujiza, kuwaharibia maisha kwa kila hali na kuhakikisha wanahangaika bila kufaulu.
Maskini wengi hawajui kama wamelogwa! au wana majini!
Ukiwa na neema yoyote si kila mtu anafurahia hiyo neema yako hasa jamaa wa karibu na majirani.
Siku moja jamaa alikuwa amevaa vizuri na mwenye afya nzuri na ukikuona utamuona yuko salama, basi akawa analalamika pesa yake kupotea na watu wengi kumchukia bila sababu. Aliambiwa na tabibu mzoefu wa mambo ya kiroho kuwa unachezewa na wewe ni mgonjwa aliyelogwa, jamaa alisema kwa hasira kuwa hakuna kitu kama hicho na yeye yuko salama tu! Basi huyu tabibu akammuomba amfanyie maombi ili aone kama yuko salama kweli, jamaa akakubali na huyu tabibu akampaka mafuta yaitwayo POWERFUL OIL na akamfanyia maombi baada ya dakika kam 10 jini akaanza kuongea na aliohojiwa akasema mimi niliwekwa kwake miaka mingi tangia akiwa mdogo ili kuharibu maisha yake na sasa tuko wengi kiasi kwamba waliotutuma wanasema asifanikiwe katika maisha na awe dhalili mpaka uzee wake.
Basi baadaye yalisema mambo mengi yaliyokwisha mfanyia kama kufukuza mke wake, kumchonganisha na mabosi kazini mpaka anafukuzwa, kumwibia pesa, kuharibu urafiki na watu kuwajengea chuki dhidi yake! Jamaa baada ya kuzinduka na kuulizwa yote akasema ni kweli kabisa na akaanza tiba rasmi kisha akapona na akafunguka ila ikabidi azidishie mambo mema na kufanya ibada kumuomba Mungu mmoja wa pekee amlinde na shari za hawa wachawi na majini kwani mchawi hachoki na hakati tamaa katika kudhuru watu!
Dalili hizi ukiwa nazo basi jua umelogwa au unayo majini au vyote kwa pamoja
Kuota ndoto mbaya za kutisha mara kwa mara
Kuota unafanya mapenzi na watu au viumbe wa ajabu
Kuhisi umebeba kitu mgongoni
Kubanwa kifua na sehemu za mwili nyingige
Kusinzia sana hata ukiwa ofisini wewe ni usingizi tu
Kuchukia familia yako na mume au muke
Kuchukia kuoa au kuolewa
Ajali za mara kwa mara hata ukiwa makini vipi, unakoswa koswa ajali tu.
Kuhisi unasisimka mwili ghafla ukiwa umekaa au unakaribia kusinzia
Kuhairisha mipango yako mizuri kiasi kwamba miaka inapita
Kuhisi njaa mara kwa mara wewe na familia yako, mkipima minyoo hakuna
Kuumwa kichwa mara kwa mara upande mmoja na malaria wala typhoid huna
Kubanwa na hasira/ghadhabu kwa vitu vidogo
Kutoka mimba mara kwa mara
kukosa hedhi na kuvurugika au kutoka damu ya hedhi mfululizo
Kuhisi umesimamiwa na mtu, ukiangalia nyuma humuoni
Kuchukia na watu wengi bila sababu, wengine usema huyu ana damu ya kunguni
Ukipata pesa unapata matatizo inaisha na yanaisha, na inakuwa kawaida hii hali
Kukosa nguvu za kiume na au muke anakauka sehemu za siri inakuwa kama bikira na kuumia yeye na mume pia
Kuumwa chini ya kitovu na tumbo kila mara
Kupoteza pesa na vitu vyako vya thamani mara kwa mara
Ngozi kuwa na rangi tofauti kila msimu
Kuchanjwa usiku au kukatwa kucha, kunyolewa nywele usiku
Kuota unapaa au unaanguka shimoni
Kuota unalishwa nyama, hii ni uchawi kabila unawekwa
Kuwa dhaifu siku hadi siku na magonjwa hayaponi na si rahisi kugundua kwa vyombo vya hospitali.
Familia kukuchukia hadi ukakosa raha na wewe unawapa huduma muhimu kama baba au mama.
Kutingishika viungo vya mwili na wakati mwingini kuhisi joto miguuni au kichwani.
Kama umelogwa na unahisi amani inatoweka, kuna dawa hizi hapa chini, kwa uwezo wa Mungu utakuwa sawa.
MT32-dawa zaidi ya 32 zimesagwa za asili zenye nguvu kuondoa uchawi mwilini na maradhi mengi tusiyojua
Powerful oil-Mafuta yenye dawa mchanganyiko kufukuza majini na uchawi
Safisha -Dawa ya asili ya kunywa na kuondoa uchafu mwilini na tumboni
Powerful Soap- Sabuni ya dawa kali za asili zenye uwezo wa kuondoa nguvu zitokanazo na nguvu za giza na atahari za uchawi kama mikosi na nuksi, unaoga na kisha unajipaka mafuta hayo kisha utaona mabadiliko mnamo siku 14. Mungu mkubwa na ni mmoja wa pekee amebariki miti na mimea aliyoumba yeye kutusaidia sisi aliotuumba!
Ulimwengu wa ushirikina Kuna watu wanafanya mambo kama hawako nasi na wala sisi hatuwezi kugundua mambo yao na wala kuwaona wakifanya mambo yao!
#kuchanjwa usiku#kuhisi mgongo uzito#kuhisi vitu vinatembea mwilini#kukatwa kucha usiku#kulogwa#kunyolewa usiku#kuota sehemu chafu#kuota unajisaidia#kuota unakula vitu#kuota unanyonyesha#kuota watoto#kuumwa kichwa upande mmoja#ndoto za kufanya mapenzi#ndoto za kutisha#uchawi#uchawi mwilini
0 notes
Text
Majini yanavyooa wanawake na wasichana bila kujua
Majini yanavyooa wanawake na wasichana bila kujua
Majini ni viumbe visivyoonekana kwa macho ya kibinadamu ila dalili za kuwepo zipo nyingi tu, majini yenyewe yanatuona sisi na tunapishana nayo kila mara. Majini hayawezi kumuingia mwanadamu bila sababu, yanaweza kumuingia mwanadamu kwa sababu zifuatazo;
Jini laweza kutumwa na wachawi kukuzuru
Jini waweza kulizuru bila wewe kujua na ndipo linadhani umeamua makusudi kama kurusha taka taka jalalani…
View On WordPress
#kuchukia kufanya tendo la ndoa#kuchukia mke#kuchukia mume#kuchukia ndoa#kukauka uke#kuota ndoto za mapenzi#kuota unaingiliwa#kuwa na hasira sana#mapenzi yanakuwa shida kwa majini#ndoa inakufa sababu ya majini mahaba#ugomvi mara kwa mara katika ndoa#uume kusinyaa ghafla
0 notes
Text
Kuna mambo unaweza usijue chanzo ila nafsi inakwambia kuna kitu, kila unalopanga hufanyi wala unaloanza humalizi!
Kila mtu anakuchukia na hawana mpango na wewe hata jamaa zako wa karibu mpaka familia yako inatamani usiwe karibu nao.
Kila ukikutana na rafiki hataki kukusikiliza hata kama ukiongea la maana, kingine utajisikia mzito kutenda mambo yako muhimu.
Ukilala unaota ndoto za ajabu kama kufanya mapenzi na watu hadi ndugu zako wakati mwingine
Unaota mbwa na mapaka pia nyoka
Kuota uko chooni au sehemu chafu pia
Kuhisi mwoga na wasi wasi kila mara
Kuumwa njaa muda mfupi baaada ya chakula, hii unakula na mashetani.
Nguvu zote za giza zinatibiwa kwa dawa za kupaka, kunywa, kuoga
Ofisi zetu ziko Ubungo Dar es Salaam,karibu na MIC Hotel kabla ya kufika Ubungo Plaza ukiwa unatoka Ubungo stand ya mkoa.
Simu/WhatsApp:+255621870342, +255762053174: Email:[email protected]
unaangaika na juhudi yote bila maendeleo? Kuna mambo unaweza usijue chanzo ila nafsi inakwambia kuna kitu, kila unalopanga hufanyi wala unaloanza humalizi!
0 notes
Text
Kutokana na mafundisho ya kale tunaona Nabii Musa alipokwenda Misri kwa Farao kuwakomboa waizraeli, Farao aliwaita wachawi wakali wa Misri ili wapambane na Musa aliyekuwa na miujiza kutoka kwa Mungu mmoja wa pekee.
Farao na watu wa kawaida walidhani Musa ni mchawi na kushauri waitwe wachawi wa kumuonyesha uchawi zaidi yake na kumkomesha, ila ajabu vyote walivyifanya havikufua dafu mbele ya Musa aliyekuwa na Uwezo wa Mungu.
Kwa hiyo uchawi upo na unakuwa sana kwa sasa kutokana na internet, simu na mawasiliano yote ya kisasa, wachawi wanapata kanuni mpya na pia tiba zipo za kweli na za utapeli.
Ukiwa na mafanikio katika maisha yako watu wanakuhusudu sana na wengine wanafurahi sana na wengine wanachukia na kuanza maneno kisha baadhi yao wanakuloga. Mafanikio kama akili, kupendwa na watu, kupata mali, kuzaa watoto wenye akili,kuishi kwa amani na mke wako na kuheshimika ni vitu vinavyoweza kukufanya uhusudiwe na baadhi ya watu walioko karibu na pengine jamaa wa karibu au marafiki.
Kuzuia husuda na kutibu uchawi ni jambo la kuzingatia kwa kufanya maombi ya mara kwa mara na kunywa dawa halisi za kuondoa uchawi mwilini na kufukuza majini.
Dalili kuu za kulogwa na kuhusudiwa
Kuota ndoto za kutisha
Kuota nyoka na mapaka
Kuhisi huna nguvu hasa kuchoka mapema asubuhi bila sababu
Kuchukiwa na watu wengi hadi familia yako bila sababu
Kupata mikasa ya ajabu mpaka watu wanasema una mikosi na nuksi
Kudharauliwa na watu wengi hata wadodo kiumri
Kuota uko chooni
Kuota unafanya mapenzi
Kuota unaoa au unaolewa
Kuota watoto mara kwa mara
Kutamani kufa au fikira za kujiua
Kuongea na kuuma meno usinginizini
Kuhisi kama sindano mwilini
Kuchukia tendo la ndoa
Kukosa mimba au kutunga mimba
Kusikia unaitwa na anayekuita humuoni
Kuota damu
Kuota unajisaidia au kukojoa mara kwa mara
Mboo kuwa lege lege ukikaribia kuingiza ukeni
Kuwa dhaifu kumbu kumbu
Kusahau sana na kukumbushwa mara kwa mara
Kuhisi kuna mtu amekufuata nyuma ila ukiangalia humuoni
Kukosa muelekeo wa maisha
Kuna dalili nyingi za kichawi na kulogwa ila hizo ni miongoni tu
Dawa za kutibu uchawi na nguvu za giza ni:
Powerful oil-Dawa zimechanganywa kwenye mafuta yaliyobarikiwa na kutajwa kwenye vitabu vya dini kuanzia Taurati, Zaburi, Injili na Qur’an
Mt32-Dawa zaidi ya 32 za asili zilizosagwa na kuwa unga zinazotibu magonjwa mengi
Powerful soap-Sabuni yenye dawa za asili nne na mafuta kiasi kwamba nguvu za giza na mikosi, nuksi vinatibiwa.
Safisha-Dawa ya asili isiyokuwa na kemikali yoyote inayosafishwa utumbo na mfumo wa chakula kiasi kwamba uchafu, mafuta na uchawi wa kulishwa vinatoka kwa kuharisha.
Extra Powerful oil-Mafuta yenye dawa kali za kufukuza majini na wachawi wasiingie nyumbani kwako na kufukuza majini na kuondoa nguvu za giza nyumbani au shambani au sehemu ya biashara.
Mawasiliano:
Ofisi zetu ziko Ubungo Dar es Salaam,karibu na MIC Hotel kabla ya kufika Ubungo Plaza ukiwa unatoka Ubungo stand ya mkoa.
Simu/WhatsApp:+255621870342, +255762053174: Email:[email protected]
Uchawi ni jambo lipo Kutokana na mafundisho ya kale tunaona Nabii Musa alipokwenda Misri kwa Farao kuwakomboa waizraeli, Farao aliwaita wachawi wakali wa Misri ili wapambane na Musa aliyekuwa na miujiza kutoka kwa Mungu mmoja wa pekee.
#dalili za kulogwa#dalili za kurogwa#husuda na uchawi#kuhisi unafuatwa na mtu nyuma#kukosa hamu ya kuishi#kuota damu#kuota sehemu chafu#kuota unajisaidia#kuota unakunya#kurogwa#uchawi#uchawi na madhara yake
0 notes
Text
Nimetumia lugha ya magonjwa sugu kutokana na mtu kuumwa bila kupona na akienda hospitali hawaoni ugonjwa wowote ndani ya mwili wake kiasi kwamba ataangaika mpaka pesa nyingi itumike kufanya matibabu.
Magonjwa sugu yaweza kuwa vifaa vya kisasa haviwezi kuyagundua kwani inawezekana havijatengenezwa vifaa sahihi kuyagundua ila dalili zaweza kutoa majibu kwa wale waliowahi kuona mgonjwa wa sampuli hiyo.
Magonjwa sugu yaweza kuwa yanatokana na uchawi kwani hospitali za kawaida haziamini kuwa uchawi upo inagawa madaktari wengine wanakwenda kwa waganga na wengine wanatumia uchawi na wengine ni wachawi, nimesema hivyo kwani uchawi ni tabia na inarithishwa kwa baadhi ya watu wakiwa wadogo na kuna wanaojifunza ukubwani.
kwa sasa magunju sugu yamekuwa mengi kutokana na sababu za kisasa kwani kuna mionzi mingi imetuzunguka kwa sasa kuanzia simu, Tv, minara na hata vyakula vya kwenye makopo na vingine vinywaji vya aina mbali mbali vyenye kemikali.
Kutokana na hali halisi ya sasa inabidi tujitahidi tutambue magonjwa ya kawaida na yale sugu kwani bila hilo hatuwezi kufuata kanuni sahihi za tiba ya magonjwa sugu. Ukipima na ukaona magonjwa hayaeleweki na madaktari hawagundui basi tafuta njia mbadala ya tiba.
Unaweza ukafuatilia dalili hizi unazo?
Mfano kuota ndoto za kutisha, Kuota uko sehemu chafu, kuota unafanya mapenzi, kuhisi mwili mzito na mabegani unahisi mzigo kama umebeba kitu kizito, kuhisi mwili unachomwa sindano, kuhisi joto na ganzi kwenye baadhi ya viungo, dalili za kifafa, kuhisi umechanganyikiwa na dalili nyingine zisizoelezeka kwa lugha ya kawaida.
Ukiona unapima na hupati ugonjwa wazi na ukitumia dawa hauponi basi tumia dawa hizi:
MT32, Powerful oil, Safisha na Powerful soap
MT32 ni dawa za asili zaidi ya 32 zenye uwezo wa kutibu magonjwa mengi unayo yajua na usio yajua kwa sababu dawa hizi zimesagwa na zimefanyiwa majaribio kwa watu wengi na zikawaponywa magonjwa yasiyoeleweka.
Safisha ni dawa ya asili iliyosagwa na ukinywa inatoa uchafu wote kwenye mfumo wa chakula na unauharisha uchafu huo, kwani uchafu ukiwa mwingi tumboni ukawa hautoi kwa wakati ni shida kiafya.
Powerful oil ni mafuta yamewekwa dawa zaidi ya 4 zenye uwezo wa kuondoa matatizo nje ya mwili na mishipa kuipa nguvu ya kusafirisha damu na hata ukiwa na nguvu za giza zinaondoka.
Powerful soap ni sabuni imetengenezwa kwa kutumia dawa za asili zenye nguvu ya kuondoa matatizo kwenye mwili kupitia kwenye ngozi kiasi kwa athari za magonjwa mwngi ikiwemo nguvu za giza vinaondoka.
Tuwasiliane: +255621870342 WhatsApp, [email protected]
Magonjwa sugu na yasiyoonekana kwa vipimo vya kisasa Nimetumia lugha ya magonjwa sugu kutokana na mtu kuumwa bila kupona na akienda hospitali hawaoni ugonjwa wowote ndani ya mwili wake kiasi kwamba ataangaika mpaka pesa nyingi itumike kufanya matibabu.
#magonjwa sugu#magonjwa sugu yanatibika#mapepo yataondoka kwa powerful oil#mt32 inatibu magonjwa mengi#mt32 na safisha kwa magonjwa#powerful kufukuza majini#powerful soap#tiba ya magonjwa sugu
0 notes