#mt32 inatibu magonjwa mengi
Explore tagged Tumblr posts
tibaherbs · 2 years ago
Text
Kwa uwezo wa Mungu dawa hizi zinatibu magonjwa mengi
MT32 ni mchanganyiko wa dawa zaidi ya 32 zinazotibu magonjwa mengi
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
tibaherbs · 5 years ago
Text
Nimetumia lugha ya magonjwa sugu kutokana na mtu kuumwa bila kupona na akienda hospitali hawaoni ugonjwa wowote ndani ya mwili wake kiasi kwamba ataangaika mpaka pesa nyingi itumike kufanya matibabu.
Magonjwa sugu yaweza kuwa vifaa vya kisasa haviwezi kuyagundua kwani inawezekana havijatengenezwa vifaa sahihi kuyagundua ila dalili zaweza kutoa majibu kwa wale waliowahi kuona mgonjwa wa sampuli hiyo.
Magonjwa sugu yaweza kuwa yanatokana na uchawi kwani hospitali za kawaida haziamini kuwa uchawi upo inagawa madaktari wengine wanakwenda kwa waganga na wengine wanatumia uchawi na wengine ni wachawi, nimesema hivyo kwani uchawi ni tabia na inarithishwa kwa baadhi ya watu wakiwa wadogo na kuna wanaojifunza ukubwani.
kwa sasa magunju sugu yamekuwa mengi kutokana na sababu za kisasa kwani kuna mionzi mingi imetuzunguka kwa sasa kuanzia simu, Tv, minara na hata vyakula vya kwenye makopo na vingine vinywaji vya aina mbali mbali vyenye kemikali.
Kutokana na hali halisi ya sasa inabidi tujitahidi tutambue magonjwa ya kawaida na yale sugu kwani bila hilo hatuwezi kufuata kanuni sahihi za tiba ya magonjwa sugu. Ukipima na ukaona magonjwa hayaeleweki na madaktari hawagundui basi tafuta njia mbadala ya tiba.
Unaweza ukafuatilia dalili hizi unazo?
Mfano kuota ndoto za kutisha, Kuota uko sehemu chafu, kuota unafanya mapenzi, kuhisi mwili mzito na mabegani unahisi mzigo kama umebeba kitu kizito, kuhisi mwili unachomwa sindano, kuhisi joto na ganzi kwenye baadhi ya viungo, dalili za kifafa, kuhisi umechanganyikiwa na dalili nyingine zisizoelezeka kwa lugha ya kawaida.
Ukiona unapima na hupati ugonjwa wazi na ukitumia dawa hauponi basi tumia dawa hizi:
MT32, Powerful oil, Safisha na Powerful soap
MT32 ni dawa za asili zaidi ya 32 zenye uwezo wa kutibu magonjwa mengi unayo yajua na usio yajua kwa sababu dawa hizi zimesagwa na zimefanyiwa majaribio kwa watu wengi na zikawaponywa magonjwa yasiyoeleweka.
Safisha ni dawa ya asili iliyosagwa na ukinywa inatoa uchafu wote kwenye mfumo wa chakula na unauharisha uchafu huo, kwani uchafu ukiwa mwingi tumboni ukawa hautoi kwa wakati ni shida kiafya.
Powerful oil ni mafuta yamewekwa dawa zaidi ya 4 zenye uwezo wa kuondoa matatizo nje ya mwili na mishipa kuipa nguvu ya kusafirisha damu na hata ukiwa na nguvu za giza zinaondoka.
Powerful soap ni sabuni imetengenezwa kwa kutumia dawa za asili zenye nguvu ya kuondoa matatizo kwenye mwili kupitia kwenye ngozi kiasi kwa athari za magonjwa mwngi ikiwemo nguvu za giza vinaondoka.
  Tuwasiliane: +255621870342 WhatsApp, [email protected]
Magonjwa sugu na yasiyoonekana kwa vipimo vya kisasa Nimetumia lugha ya magonjwa sugu kutokana na mtu kuumwa bila kupona na akienda hospitali hawaoni ugonjwa wowote ndani ya mwili wake kiasi kwamba ataangaika mpaka pesa nyingi itumike kufanya matibabu.
0 notes
tibaherbs · 5 years ago
Text
Mganga wa Bagamoyo amesema kuna wanaotumiwa majini ila yanashindwa kuwaingia kutokana na uwezo wa Mungu wa pekee.
Kasema kuna wengine wanakuwa na majini yenye nguvu kiasi kwamba majini yao yakitumwa yanachukua muda mwingi kuwazuru ila yakirudi yanatoa taarifa na kupata sapoti ya majini mengine yenye nguvu kama hayo.
Bagamoyo na sehemu zingine kama Sumbawanga, Tanga, Kigoma, Dar es salaam waganga wanaongezeka kwa kasi kutokana na wateja kuongezeka kwani kuna uchawi mwingi siku hizi na kila mtu anakwenda kivyake.
Huyu wa Bagamoyo anayo majini mengi na ni kijana mdogo ila anapenda majini yake utafikiri ni mifugo kama ng’ombe, ingawa anawaita wanakuja wanaongea na kumfanyia kazi kwa kutoa fomula za madawa ya kuponya na kuloga ikiwa kuna mtu ana tatizo lolote yanatoa kanuni za kitiba au za kuloga au yanakwenda kama jeshi kufanya kazi kwa kutumwa na wenye nayo kwa makubaliano ya mteja.
Muhimu kwa sasa kumuabudu Mungu wa pekee sana kwani uchawi umekuwa mwingi na hii itakusaidia kutoangaika sana kwani wengi waganga waongo na wanataka pesa ndio ajenda kubwa yao.
Kuna dawa ukishafanyiwa uchawi au kutupiwa jini unazitumia na unaomba Mungu anakuponya tu kwa uwezo wake mkubwa. Subira ni muhimu sana wakati umeptwa tatizo la kiuchawi kwani unavurugwa kwa hali isiyo ya kawaida.
Mchawi hakati tamaa wala hachoki mpaka aone unateseka kiafya, kiuchumi, kifamilia na akishindwa wewe anaingilia familia yako analoga ili uangaike!
Tiba sahihi ni maombi na dawa zinazotibu uchawi na kuondoa nguvu za giza za aina zote.
Dawa hizi zinatibu uchawi na kufukuza majini kwa muda mfupi sana kwani Mungu aliumba miti na akatoa uwezo kwenye tiba za magonjwa mbali mbali yakiwemo ya kichawi.
 MADAWA HAYA KWA MAJINA NI:
POWERFUL OIL
MT32
SAFISHA
POWERFUL SOAP
EXTRA POWERFUL OIL
HAYA MAFUTA YANATIBU:
KUONDOA NGUVU ZA GIZA
KUSADIA KUFA GANZI KATIKA BAADHI YA VIUNGO, MIGUU KUWAKA MOTO
KUFUKUZA MAJINI NDANI YA MWILI
KUZUIA KUOTA NDOTO ZA KUTISHA
KUOTA UNAINGILIWA KIMAPENZI USIKU
KUZUIA WACHAWI KUINGIA NDANI YA NYUMBA YAKO KWA NGUVU ZA GIZA( JIPAKE KABLA YA KULALA MWILI MZIMA KIDOGO TU NA NYUNYUZIA KWENYE NYUMBA YAKO KILA BAADA YA MWEZI HASA KWENYE PEMBE , MADIRISHA NA MILANGONI)
KUONDOA HALI YAKUWA NA WASIWASI NA KUKATA TAMAA NA HALI YA KUCHANGAMKA(JIPAKE USONI NA KICHWANI NA KIFUANI NA UTAJISIKIA UNAKUWA NA HALI MPYA NA KUONGEZA NGUVU YA KUTOKATA TAMAA)
2.MT32
 DAWA HII INAITWA MT32 KWANI NI UNGA ULIOSAGWA KUTOKANA NA MITI 32 YA TIBA.
UNATUMIA KWENYE ASALI AU UNACHEMSHA NA KUNYWA NA INATIBU MAGONJWA MENGI YANAYOJULIKANA KWA VIPIMO NA YALE YASIYOJULIKANA KWA VIPIMO HASA HAYA:
UCHAWI ULIOKO MWILINI
KUHISI VITU VINATEMBEA MWILINI
KUHISI MWILI MZITO NA KAMA UMEBEBA MZIGO
KUISHIWA NGUVU NA VIPIMO HAVIONYESHI CHANZO
MISHIPA YA UZAZI KUHISI INAUMA NA CHANZO HUKIJUI
KUHISI KUNA VITU VINATEMBEA JUU YA NGOZI
KUHISI MOYO UNAJITINGISHA NA BAADHI YA VIUNGO
3.SAFISHA
 Dawa ni mitishamba na inasafisha mafuta yaliyoko mwilili na kwenye utumbo mpana na mwembamba(small and large intestines kwa siku 3 mpaka 7).
Sasa dawa hii ina faida hizi:
Kupunguza uzito
Kuondoa uchafu tumboni
Kusaidia kupata choo
Kusafisha mishipa na kukupa afya imara kwani mfumo wa chakula ndo unasababisha upate afya nzuri.
Kama ulilishwa madawa ya uchawi yatatoka yote
KWA WALE WANAOTAKA KUPUNGUZA UZITO NAO INAWASAIDIA SAMBAMBA NA KULA MILO ISIYO NA MAFUTA MENGI NA WANGA KWA WINGI. UKISHA TUMIA GLASS 1 BAADA YA MASAA KAMA SITA UNAHARISHA KWA KIASI FULANI NA MPAKA SIKU 3 UNAKUWA UMEPUNGUA NA WEWE MWENYEWE UTASIKIA UMEKUWA MWEPESI
Baada ya kuichemsha unakunywa na mnamo masaa 6 utaanza kuharisha na kuendelea kiasi unaharisha kawaida na kutoa uchafu, mafuta, na hata magonjwa ya tumboni, watu wasiopata choo na kinaganda nao wanatoa uchafu huu hatari wa kuozea tumboni na kusababisha vidonda vya tumboni na wakati mwingine kansa ya utumbo. Choo kinakuwa cha shida na mtu akienda chooni anakunya kama kinyeshi cha mbuzi na mwingine anakaa mpaka anapasua sehemu ya haja kubwa na kutoka damu. Hii ikiwa ya muda mredu mishipa hulegea na kusababisha sehemu ya ndani kutoka na hatimaye kupata magonjwa ya ajabu na magumu kutibu hospitalini.
Mawasiliano: Upate huduma
+255762053174/+255621870342
Mganga Bagamoyo akili nguvu za Mungu Mganga wa Bagamoyo amesema kuna wanaotumiwa majini ila yanashindwa kuwaingia kutokana na uwezo wa Mungu wa pekee.
0 notes
tibaherbs · 5 years ago
Text
Uchawi na hali ya sasa kuhusu uchawi
Kuna tatizo hili sana hasa mtu akiwa amevalishwa nguvu za giza na hata akiwa anafanyiwa mazingira ya kuhujumiwa kwa nguvu za kishirikina.
Tiba yake ni kuwa unajipaka mafuta haya Powerful Oil na hii itafukuza nguvu za giza na negative energies zote zitaondoka na utahisi mwepesi na mwenye akili nzuri za kutafakari.
Unajipaka usoni, kifuani na kichwani kila siku mpaka unaposikia umekuwa sawa hasa siku saba utaanza kuwa sawa kwa uwezo wa Mungu uliopo ndani ya mafuta haya na miti iliyotoa mafuta na dawa zilizomo.
Dawa nyingine za kunywa ni hizi:
Madawa haya yanatokana na mitishamba mbali mbali ya Africa na Mashariki ya Kati na yanatibu magonjwa mengi unayo yajua na yale usiyojua. Madawa haya ni unga umesagwa na ni rahisi kutumia kwenye maji moto au asali na hakuna kemikali yoyote. Powerful oil ni mafuta yenye uwezo mkubwa wa kufukuza na kuzuia nguvu za giza za aina zote.
 MADAWA HAYA KWA MAJINA NI:
POWERFUL OIL
MT32
SAFISHA
POWERFUL SOAP
EXTRA POWERFUL OIL
MADAWA HAYA YA ASILI NA HAYANA KEMIKALI YOYOTE NA MADAWA YENYE UWEZO MKUBWA ALIOWEKA MWENYEZIMUNGU KATIKA TIBA MBALI MBALI KWANI YAMEFANYIWA UTAFITI WA MUDA MREFU NA NI MITISHAMBA ZAIDI YA 30 IMECHANGANYWA, MAFUTA HAYO YANA NGUVU KUBWA YA TIBA. 
1.POWERFUL OIL
HAYA MAFUTA YANATIBU:
KUONDOA NGUVU ZA GIZA
KUSADIA KUFA GANZI KATIKA BAADHI YA VIUNGO, MIGUU KUWAKA MOTO
KUFUKUZA MAJINI NDANI YA MWILI
KUZUIA KUOTA NDOTO ZA KUTISHA
KUOTA UNAINGILIWA KIMAPENZI USIKU
KUZUIA WACHAWI KUINGIA NDANI YA NYUMBA YAKO KWA NGUVU ZA GIZA( JIPAKE KABLA YA KULALA MWILI MZIMA KIDOGO TU NA NYUNYUZIA KWENYE NYUMBA YAKO KILA BAADA YA MWEZI HASA KWENYE PEMBE , MADIRISHA NA MILANGONI)
KUONDOA HALI YAKUWA NA WASIWASI NA KUKATA TAMAA NA HALI YA KUCHANGAMKA(JIPAKE USONI NA KICHWANI NA KIFUANI NA UTAJISIKIA UNAKUWA NA HALI MPYA NA KUONGEZA NGUVU YA KUTOKATA TAMAA)
2.MT32
 DAWA HII INAITWA MT32 KWANI NI UNGA ULIOSAGWA KUTOKANA NA MITI 32 YA TIBA.
UNATUMIA KWENYE ASALI AU UNACHEMSHA NA KUNYWA NA INATIBU MAGONJWA MENGI YANAYOJULIKANA KWA VIPIMO NA YALE YASIYOJULIKANA KWA VIPIMO HASA HAYA:
UCHAWI ULIOKO MWILINI
KUHISI VITU VINATEMBEA MWILINI
KUHISI MWILI MZITO NA KAMA UMEBEBA MZIGO
KUISHIWA NGUVU NA VIPIMO HAVIONYESHI CHANZO
MISHIPA YA UZAZI KUHISI INAUMA NA CHANZO HUKIJUI
KUHISI KUNA VITU VINATEMBEA JUU YA NGOZI
KUHISI MOYO UNAJITINGISHA NA BAADHI YA VIUNGO
3.SAFISHA
 Dawa ni mitishamba na inasafisha mafuta yaliyoko mwilili na kwenye utumbo mpana na mwembamba(small and large intestines kwa siku 3 mpaka 7).
Sasa dawa hii ina faida hizi:
Kupunguza uzito
Kuondoa uchafu tumboni
Kusaidia kupata choo
Kusafisha mishipa na kukupa afya imara kwani mfumo wa chakula ndo unasababisha upate afya nzuri.
Kama ulilishwa madawa ya uchawi yatatoka yote
KWA WALE WANAOTAKA KUPUNGUZA UZITO NAO INAWASAIDIA SAMBAMBA NA KULA MILO ISIYO NA MAFUTA MENGI NA WANGA KWA WINGI. UKISHA TUMIA GLASS 1 BAADA YA MASAA KAMA SITA UNAHARISHA KWA KIASI FULANI NA MPAKA SIKU 3 UNAKUWA UMEPUNGUA NA WEWE MWENYEWE UTASIKIA UMEKUWA MWEPESI
Baada ya kuichemsha unakunywa na mnamo masaa 6 utaanza kuharisha na kuendelea kiasi unaharisha kawaida na kutoa uchafu, mafuta, na hata magonjwa ya tumboni, watu wasiopata choo na kinaganda nao wanatoa uchafu huu hatari wa kuozea tumboni na kusababisha vidonda vya tumboni na wakati mwingine kansa ya utumbo. Choo kinakuwa cha shida na mtu akienda chooni anakunya kama kinyeshi cha mbuzi na mwingine anakaa mpaka anapasua sehemu ya haja kubwa na kutoka damu. Hii ikiwa ya muda mredu mishipa hulegea na kusababisha sehemu ya ndani kutoka na hatimaye kupata magonjwa ya ajabu na magumu kutibu hospitalini.
Mawasiliano: Upate huduma
+255762053174/+255621870342
UCHAWI NA WACHAWI Uchawi na hali ya sasa kuhusu uchawi Kuna tatizo hili sana hasa mtu akiwa amevalishwa nguvu za giza na hata akiwa anafanyiwa mazingira ya kuhujumiwa kwa nguvu za kishirikina.
0 notes