#kuota wanyama
Explore tagged Tumblr posts
Text
Kwa nini uchawi umekithiri?
View On WordPress
#kulogwa#kuota kinyeshi#kuota nyoka au paka au wanyama wakali#kuota uchafu#kuota unafanya tendo la ndoa#kuotaa unalishwa#kurogwa#Uchawi upo
0 notes
Photo
12 Nani awezaye kupima maji ya bahari kwa konzi yake, kuzipima mbingu kwa mikono yake? Nani awezaye kuutia udongo wa dunia kikombeni; kuipima milima kwa mizani au vilima kwa kipimo cha uzani? 13 Nani awezaye kuiongoza akili ya Mwenyezi-Mungu, au kuwa mshauri wake na kumfunza? 14 Mwenyezi-Mungu alimtaka nani shauri, ndipo akapata kuwa mwenye ujuzi? Nani aliyemfunza njia za haki? Nani aliyemfundisha maarifa, na kumwonesha namna ya kuwa na akili? 15 Kwake mataifa ni kama tone la maji katika ndoo, ni kama vumbi juu ya mizani. Kwake visiwa ni vyepesi kama vumbi laini. 16 Kuni zote za Lebanoni na wanyama wake wote havitoshi kwa sadaka ya kuteketezwa mbele yake. 17 Mataifa yote si kitu mbele yake; kwake ni vitu duni kabisa na batili. 18 Mtamlinganisha Mungu na nini basi, au ni kitu gani cha kumfananisha naye? 19 Je, anafanana na kinyago? Hicho, fundi hukichonga, mfua dhahabu akakipaka dhahabu, na kukitengenezea minyororo ya fedha! 20 Au ni sanamu ya mti mgumu? Hiyo ni ukuni mtu anaochagua, akamtafuta fundi stadi, naye akamchongea sanamu imara! 21 Je, nyinyi bado hamjui? Je, hamjapata kusikia? Je, hamkuambiwa tangu mwanzo? Je, hamjafahamu mwanzo wa dunia? 22 Dunia iliumbwa na huyo aketiye juu ya mbingu; kutoka huko wakazi wa dunia ni kama panzi! Yeye amezitandaza mbingu kama pazia, na kuzikunjua kama hema la kuishi. 23 Yeye huwaporomosha wakuu wenye nguvu, watawala wa dunia huwafanya kuwa si kitu. 24 Mara tu wanaposimikwa na kuanza kuota, hata kabla hawajatoa mizizi kama miti udongoni, Mwenyezi-Mungu akiwapulizia hunyauka, kimbunga huwapeperusha kama makapi! 25 Mungu Mtakatifu auliza hivi: “Nani basi, mtakayemlinganisha nami? Je, kuna mtu aliye kama mimi?” 26 Inueni macho yenu juu mbinguni! Je, ni nani aliyeziumba nyota hizo? Ni yule aziongozaye kama jeshi lake, anayeijua idadi yake yote, aziitaye kila moja kwa jina lake. Kwa sababu yeye ni mwenye nguvu nyingi, hakuna hata moja inayokosekana. 27 Enyi watu wa Israeli wazawa wa Yakobo, kwa nini mnalalamika na kusema: “Mwenyezi-Mungu hatujali sisi! Mungu wetu hajali haki yetu!” 28 Je, nyinyi bado hamjui? Je, hamjapata kusikia? Mwenyezi-Mungu ndiye Mungu wa milele;#isaya40#munguyumwema#Mabarikiwe#lifestyleblogger Rachelsiwa
0 notes
Text
Ndoto mbaya zinaashiria nguvu za giza
Ndoto mbaya zinaashiria nguvu za giza
Kuota unakula au unalishwa Kuota unakojoa mara kadhaa na wakti mwingine uko sehemu chafu kama chooni au takataka Kuota nyoka hasa weusi Kuota ajali au marehemu mnaongea Kuota unapaa Kuota unafukuzwa Nguvu za majini na wachawi zaweza kukutesa hadi ukawa na stress Usidhani kuota unakula au unalishwa vitu na wakati mwingine nyama kwamba ni mzaha tu wa kindoto, jua kuwa unalishwa uchawi…
View On WordPress
#kufukuza majini#kuota uko chooni#kuota unafanya mapenzi#kuota unafukuzwa kuuawa#kuota unapaa#kuota wanyama#kuwa na majini
0 notes
Text
Uchawi na hali ya sasa kuhusu uchawi
Kuna tatizo hili sana hasa mtu akiwa amevalishwa nguvu za giza na hata akiwa anafanyiwa mazingira ya kuhujumiwa kwa nguvu za kishirikina.
Tiba yake ni kuwa unajipaka mafuta haya Powerful Oil na hii itafukuza nguvu za giza na negative energies zote zitaondoka na utahisi mwepesi na mwenye akili nzuri za kutafakari.
Unajipaka usoni, kifuani na kichwani kila siku mpaka unaposikia umekuwa sawa hasa siku saba utaanza kuwa sawa kwa uwezo wa Mungu uliopo ndani ya mafuta haya na miti iliyotoa mafuta na dawa zilizomo.
Dawa nyingine za kunywa ni hizi:
Madawa haya yanatokana na mitishamba mbali mbali ya Africa na Mashariki ya Kati na yanatibu magonjwa mengi unayo yajua na yale usiyojua. Madawa haya ni unga umesagwa na ni rahisi kutumia kwenye maji moto au asali na hakuna kemikali yoyote. Powerful oil ni mafuta yenye uwezo mkubwa wa kufukuza na kuzuia nguvu za giza za aina zote.
MADAWA HAYA KWA MAJINA NI:
POWERFUL OIL
MT32
SAFISHA
POWERFUL SOAP
EXTRA POWERFUL OIL
MADAWA HAYA YA ASILI NA HAYANA KEMIKALI YOYOTE NA MADAWA YENYE UWEZO MKUBWA ALIOWEKA MWENYEZIMUNGU KATIKA TIBA MBALI MBALI KWANI YAMEFANYIWA UTAFITI WA MUDA MREFU NA NI MITISHAMBA ZAIDI YA 30 IMECHANGANYWA, MAFUTA HAYO YANA NGUVU KUBWA YA TIBA.
1.POWERFUL OIL
HAYA MAFUTA YANATIBU:
KUONDOA NGUVU ZA GIZA
KUSADIA KUFA GANZI KATIKA BAADHI YA VIUNGO, MIGUU KUWAKA MOTO
KUFUKUZA MAJINI NDANI YA MWILI
KUZUIA KUOTA NDOTO ZA KUTISHA
KUOTA UNAINGILIWA KIMAPENZI USIKU
KUZUIA WACHAWI KUINGIA NDANI YA NYUMBA YAKO KWA NGUVU ZA GIZA( JIPAKE KABLA YA KULALA MWILI MZIMA KIDOGO TU NA NYUNYUZIA KWENYE NYUMBA YAKO KILA BAADA YA MWEZI HASA KWENYE PEMBE , MADIRISHA NA MILANGONI)
KUONDOA HALI YAKUWA NA WASIWASI NA KUKATA TAMAA NA HALI YA KUCHANGAMKA(JIPAKE USONI NA KICHWANI NA KIFUANI NA UTAJISIKIA UNAKUWA NA HALI MPYA NA KUONGEZA NGUVU YA KUTOKATA TAMAA)
2.MT32
DAWA HII INAITWA MT32 KWANI NI UNGA ULIOSAGWA KUTOKANA NA MITI 32 YA TIBA.
UNATUMIA KWENYE ASALI AU UNACHEMSHA NA KUNYWA NA INATIBU MAGONJWA MENGI YANAYOJULIKANA KWA VIPIMO NA YALE YASIYOJULIKANA KWA VIPIMO HASA HAYA:
UCHAWI ULIOKO MWILINI
KUHISI VITU VINATEMBEA MWILINI
KUHISI MWILI MZITO NA KAMA UMEBEBA MZIGO
KUISHIWA NGUVU NA VIPIMO HAVIONYESHI CHANZO
MISHIPA YA UZAZI KUHISI INAUMA NA CHANZO HUKIJUI
KUHISI KUNA VITU VINATEMBEA JUU YA NGOZI
KUHISI MOYO UNAJITINGISHA NA BAADHI YA VIUNGO
3.SAFISHA
Dawa ni mitishamba na inasafisha mafuta yaliyoko mwilili na kwenye utumbo mpana na mwembamba(small and large intestines kwa siku 3 mpaka 7).
Sasa dawa hii ina faida hizi:
Kupunguza uzito
Kuondoa uchafu tumboni
Kusaidia kupata choo
Kusafisha mishipa na kukupa afya imara kwani mfumo wa chakula ndo unasababisha upate afya nzuri.
Kama ulilishwa madawa ya uchawi yatatoka yote
KWA WALE WANAOTAKA KUPUNGUZA UZITO NAO INAWASAIDIA SAMBAMBA NA KULA MILO ISIYO NA MAFUTA MENGI NA WANGA KWA WINGI. UKISHA TUMIA GLASS 1 BAADA YA MASAA KAMA SITA UNAHARISHA KWA KIASI FULANI NA MPAKA SIKU 3 UNAKUWA UMEPUNGUA NA WEWE MWENYEWE UTASIKIA UMEKUWA MWEPESI
Baada ya kuichemsha unakunywa na mnamo masaa 6 utaanza kuharisha na kuendelea kiasi unaharisha kawaida na kutoa uchafu, mafuta, na hata magonjwa ya tumboni, watu wasiopata choo na kinaganda nao wanatoa uchafu huu hatari wa kuozea tumboni na kusababisha vidonda vya tumboni na wakati mwingine kansa ya utumbo. Choo kinakuwa cha shida na mtu akienda chooni anakunya kama kinyeshi cha mbuzi na mwingine anakaa mpaka anapasua sehemu ya haja kubwa na kutoka damu. Hii ikiwa ya muda mredu mishipa hulegea na kusababisha sehemu ya ndani kutoka na hatimaye kupata magonjwa ya ajabu na magumu kutibu hospitalini.
Mawasiliano: Upate huduma
+255762053174/+255621870342
UCHAWI NA WACHAWI Uchawi na hali ya sasa kuhusu uchawi Kuna tatizo hili sana hasa mtu akiwa amevalishwa nguvu za giza na hata akiwa anafanyiwa mazingira ya kuhujumiwa kwa nguvu za kishirikina.
#extra pwerful oil#kuhisi tumbo lina mimba#kuloga#kulogwa#kuota wanyama#kuroga#kusinzia sana#miguu kuwaka moto#mt32#powerful oil#powerful soap#safisha#tiba ya uchawi#uchawi
0 notes
Text
Dalili za kulogwa au kuwa na jini
Dalili za kulogwa au kuwa na jini
Dalili hizi ni hatari kwa afya na maisha yako
Kukata tamaa kimaisha na kuamua kukaa kijiweni
Kuota analishwa vitu mara kwa mara na asubuhi mchovu sana
Kuota umelala na mwanamke au mme mara kwa mara
Kuota unaingiliwa na wanyama au umelala na wanyama
Kuota nyoka kila mara
Kuota unakufa mara kwa mara
Kuota watu waliokufa mara kwa mara na unaongea nao
Kutoka hedhi bila kukoma kwa mwanamke
Kuhisi vitu…
View On WordPress
#kufukuza majini#kufukuza wachawi#kuharibu uchawi#kuondoa jini mahaba#kuondoa kulogwa#kuota sehemu chafu ni uchawi#kuota unafanya mapenzi na tiba yake#kutibu uchawi#kuzuia ndoto za ajabu
0 notes
Text
Usingizi wenye Amani bila majinamizi
Usingizi wa Amani ni MUHIMU. Kuna ndoto za kutisha kama kuota majoka, wanyama wanakufukuza, kuota unazama majini, kuota uko sehemu chafu na kukosa Amani.
Tumia powerful oil na soap zenye dawa kufanya ulale na amani kabisa.
Mawasiliano: +255762053174. email: [email protected]
View On WordPress
#dawa ya kupata usingizi#kuota maadui#kuota nyoka#kuota uko chooni#kuzuia ndoto.mbaya kwa powerful oil
0 notes
Text
Uchawi umekuwa changamoto kwenye jamii na kila sehemu upo duniani kote, mitandao inachochea zaidi uchawi kusambaa kiasi kwamba kwa sasa kuna nchi za Ulaya wanafundisha uchawi vyuoni kuanzia cheti hadi Phd.
Kuna wanaofundisha uchawi bure kwa njia ya mtandao kupitia simu na computer, kuna wanaotoa huduma za kuloga kwenye mtandao kiasi kwamba ukitaka kumloga mtu unawasiliana naye alipo na yeye anakuomba vifaa vya mtu wa kuloga na mara nyingi inakuwepo picha ya huyu unayetaka amloge bila kukosa majina yake na mama yake.
Muhimu ni kujilinda na uchawi kwa kumtegemea Muumba wa mbingu na ardhi ili atulinde na madhara ya uchawi!
Uchawi unachochea na husuda! Husuda ikizidi bila juhudi ya ushindani basi wengine wanaloga wale waliowazidi kimafanikio, wanaloga watoto wa jamaa zao na familia zilizoko karibu.
Kuna dawa za kunywa endapo utahisi dalili kama:
Kuhisi mwili una vitu vinavyotembea
Kuota unakula au kulishwa vitu
Kuota wanyama na maadui wanakufukuza
Kuota uko sehemu chafu mara kwa mara
Kuota unafanya mapenzi mara kwa mara
Kuota unanyonyesha mara kwa mara
Kuota paka na majoka
Kuhisi umebeba kitu mgongoni
Kuhisi hasira mara kwa mara
Kuhisi moyo unachomwa chomwa
Kuhisi mwili moto bila malaria na ubaridi mkali bila taifodi
Kukosa kuzaa bila sababu za msingi
Kutoka damu kwa wingi kuliko kawaida za hedhi
Kukosa hedhi bila sababu
Kuchanjwa usiku
Kuona mikwaruzo kwenye mapaja
Kukosa hamu ya tendo la ndoa, hamu ya mapenzi
Nyumba kukosa amani
Nyumba kugongwa usiku
Mke na mume ugomvi kila mara bila sababu
Kupenda kuzini kila mara
Kuwa na tamaa sana ya mapenzi na kila mtu
Kuchukiwa na watu bila sababu
Fedha kupotea kimaajabu
Kukosa manufaa na pesa na ukiipata visanga
Mikosi na nuksi kila mara
Kukata tamaa ya maisha
Kunywea uume au matiti ghafla
Kuhisi maumivu chini ya kitovu
Kufa ganzi baadhi ya viungo
Kutamani kujiua
Kuona maisha hayana raha na faida kwako
Kuwa mzito kufanya ibada
Kusinzia wakati wa ibada kila mara
Kusahau mambo muhimu
Kupanga bila kutenda hata ukiwa na pesa mpaka inaisha ndo unastuka
Dawa ya Kunywa, kujipaka, kuoga na kupulizia kila mahali kuzuia na kufukuza majini, wachawi na nguvu zote za giza.
Dawa ya kuondoa uchawi mwilini ni Mt32 na SAFISHA
Dawa za kufukuza majini na kutibu matatizo ya madhara ya uchawi na majini ni Powerful oil na Powerful soap
Dawa ya kuzuia na kufukuza majini, kuzuia wachawi mahala popote ni ya kupulizia ya spray inaitwa Extra Powerful Oil
Dawa ya spray ya kupulizia kwenye nyumba kuzuia na kufukuza majini, kuzuia wachawi na aina zote za nguvu za giza. Uchawi umekuwa changamoto kwenye jamii na kila sehemu upo duniani kote, mitandao inachochea zaidi uchawi kusambaa kiasi kwamba kwa sasa kuna nchi za Ulaya wanafundisha uchawi vyuoni kuanzia cheti hadi Phd.
#kufukuza majini#kuzuia wachawi#ndoto za kufanya mapenzi#ndoto za kutisha#spray ya kufukuza na kuzuia majini
0 notes
Text
Binadamu hawezi kuishi bila kuugua! Kuugua kunatokana na maradhi yanayomkabili mwanadamu kutokana na viumbe wengine, vyakula na mazoea hatarishi.
Viumbe wengine wanasababisha maradhi kwa wanadamu, mfano Mbu anaeneza malaria kwa mwanadamu, minyoo aina mbali mbali, inzi na wadudu wengineo.
Vyakula visivyozingatia kanuni za kiafya vyaweza kumuuguza mwanadamu kama kuharisha, kukosa choo, kuugua cancer, nk.
Chakula kikitunzwa vibaya na kikaambukizwa wadudu na baadaye ukakila utaugua maginjwa mengi ikiwemo tumbo, pia ukila vyakula vya mafuta na ukaongezea kuviwekea mafuta ya viwandani utaugua magonjwa mengi ikiwemo shinikizo la damu na kuathiri mfumo wa damu kwenye mishipa na moyo.
Mazoea hatarishi kama uvutaji sigara, bangi, ulevi wa pombe, ulaji madawa ya kulevya, n.k utaugua magonjwa mengi yakiwemo ya kiakili na afya kwa ujumla itakuwa mgogoro!
Magonjwa yenye utata kwa madaktari ni mengi siku hizi na hii ni changamoto kwani waongo ni wengi kwa wagonjwa waliozunguka mahospitali bila kupata jibu wanachosumbuliwa kiafya ni kipi?!
Wagonjwa wanaokosa majibu ya kisayansi wanakwenda kwa waganga wa jadi, wachungaji, masheikh, wapiga ramli, n.k.
Tatizo baadhi ya sehemu wanapokwenda wanazidi kuchanganywa kwa kulipa pesa nyingi na kufanyishwa makafara ya ushirikina. Kuna baadhi ya wachungaji na Masheikh wanawadanganya wagonjwa kiasi kwamba wanazidi kuwapotezea muda na pesa.
Kila kukicha makanisa yanajengwa na misikiti inajengwa lakini majanga na tabia mbaya kwenye jamii zinaongezeka mfano: ulevi, zinaa, uchawi, wizi, nk kila kukicha kuna mapya yenye kuchukiza kwenye jamii yanajitokeza pamoja na kuongezeka nyumba za ibada.
Magonjwa yenye utata yanaweza kutokana na:
Kutojulikana kwa mujbu wa vipimo duni vya hospitali au kutopima vyema
Kutokuwa makini na ushauri wa kiafya baada ya kupewa tiba na utumiaji wa dawa sahihi
Uchawi na kulogwa na wachawi walioko kwenye jamii tuliomo
Viumbe majini wanaozagaa kila mahali na wewe ukakumbana nao bila kujua na kukuingia kisha kuwa nyumba yao na hili hali yanakutesa kwa njia moja au nyingine
NAMNA YA KUKABILI MAGONJWA YENYE UTATA
Kwanza tafuta vipimo sahihi tena sehemu zaidi ya moja, hakikisha majibu yanakuwa sawa, kama siyo sawa pia uliza kwa nini?!
Fanya maombi wewe mwenyewe kwani Mungu mmoja anasikia Lugha zote kwa viumbe wake wote atakusikiliza, au tafuta viongozi wa dini wenye rekodi ya uaminifu na wenye huruma wakusaidie kama hujiwezi
Tafuta dawa sahihi kwa tabibu mwenye uzoefu na muaminifu kwa kuulizia watu zaidi ya 2 waliopata huduma ya tiba kutoka kwake.
Kama ugonjwa unasumbua na hupati jibu sahihi lakini unazo dalili hizi:-
Kuhisi mwili unatetemeka wakati fulani
Kuhisi moyo unauma na wakati mwingi una woga sana
Kuota ndoto za kutisha kila mara kama wanyama, uchafu, vifo, unakula vyakula, nyikani, unapaa, unaporomoka, uchafu, n.k
Kuhisi mwili joto na maumivu mara kwa mara na ukipima malaria au typhoid huna
Kuona kwenye fikira kuwa huwezi kupona na kukata tamaa kila kukicha
Kuhisi kama unachomwa sindano
Kusinzia sana na kupenda kukaa peke yako
Kuchukiwa na kila mtu pamoja nakuwa unaumwa
Kwa mwanamke kukosa siku za hedhi au kuvurugika sana
Kwa mwanaume kulegea uume na kuwa dhaifu kiafya
Kuota unazaa au unanyonyesha watoto
Hizo dalili ni baadhi lakini kila mtu anaweza kuwa na baadhi ya hizo hasa za kuota ndoto za ajabu na mbaya ni dalili kubwa kwa mwenye majini na uchawi ndani ya kuumwa kwake.
Kwa mtu mwenye uchawi wa kulishwa au kutegwa na ukaingia ndani ya mwili anapashwa kunywa dawa za kuuondoa na kuharibu ngome za kichawi mwilini mwake.
Dawa za kunywa ambazo wanatumia watu na kuondoa uchawi mwilini na kuwa sawa tumeshuhudia hizi:
MT32 na SAFISHA
Hizi dawa zinaondoa uchawi mwilini na ndani ya tumbo, unaharisha kiasi kama ulilishwa uchawi na hata kuondoa sumu zingine zenye madhara kiafya ndani ya mwili hasa tumboni
POWERFUL OIL NA POWERFUL SOAP
Hizo dawa zinaondoa nguvu za majini na mashetani yenye kusumbua watu usingizini na hata kimaisha kwani majini na mapepo ni hatari kimaisha kwani wachawi wanayatumia sana kuleta tabu na maangaiko kwa watu wengi siku hizi.
Powerful oil unajipaka baada ya kuoga kwa sabuni yenye dawa kali kwa kuondoa athari za nguvu za giza.
MAWASILIANO: ushauri na tiba
WhatsApp: +255621870342
+255762053174
Email: [email protected]
MARADHI YENYE UTATA KWA MADAKTARI Binadamu hawezi kuishi bila kuugua! Kuugua kunatokana na maradhi yanayomkabili mwanadamu kutokana na viumbe wengine, vyakula na mazoea hatarishi.
#kubanwa usingizini#kuhisi woga#kukosa amani#kukosa hamu ya maisha#kuota makaburi#kuota mbwa na wanyama wengine#kuota unalishwa vitu#kuota unazaa mara kwa mara#naumwa muda mrefu#ndoto za ajabu#powerful oil#tiba ya kulogwa#tibu uchawi#ugonjwa haupatikani#ugonjwa sugu
0 notes
Text
Kuota damu
Damu ni kimiminika muhimu katika viumbe hasa wanadamu na wanyama, damu ikikosa mwilini ni hatari kwa maisha ya kiumbe hai awe mwanadamu au mnyama.
Kuota damu inaashiria mambo mengi ila inategemea damu imeotwa kwa vipi? damu inatoka mwilini mwako? je damu inatoka kwenye jeraha? Je damu imechafua nguo zako, Je damu unainywa? je umeanguka kwenye dimbwi la damu?
Ndoto za damu zinahusu uhai na maisha…
View On WordPress
0 notes
Text
Kwa msomi na mfuatiliaji atakuwa ameisha soma kwenye magazeti, mtandao, n.k kuhusu matukio ya kichawi, kwa mfuatiliaji atakuwa ameisha ona kwenye makanisa ya kilokole na TV habari za kichawi na ukemeaji wa majini ni matukio ya kawaida siku hizi.
Mtandao una faida na hasara kutokana na mtumiaji, siku hizi uchawi unafundishwa kwa pesa na kwa bure wakati mwingine! Pia wachawi wanaloga kupitia mtandao ukitaka huduma yao, usiloge mwenzako kwa sababu yoyote ile.
Athari za uchawi
Kuota ndoto za kushambuliwa na wanyama kama nyoka, paka, n.k
Kuhishiwa nguvu za mwili na ukipima huoni ugonjwa
Kuchanganyikiwa na ukipimwa kichwa uko sawa
Kuhisi umebeba vitu na vitu kutembea mwilini
Kupata ganzi na kuhisi joto lisilokawaida kwenye sehemu za mwili
Kuharibikiwa maisha na kuwa dhalili hata ukiwa msomi au mtaalamu
Kuchukiwa na watu wengi na hata familia yako inakuchukia bila sababu
Mwanamke kukosa hedhi bila sababu
Mimba kutoka bila sababu
Mimba kutoshika na kuhisi kitu mwilini kinacheza
Kuwa na fikira za kujiua au kukata tamaa
Mwanamke kukosa hamu ya kufanya mapenzi
Mwanaume mboo kusinya na kuwa kiduchu pindi akikaribia kulala na mke wake
Ugomvi usio na chanzo kati ya wana ndoa
Kumchukia mume wako au mke wako bila sababu
Watoto kuwa kama vichaa hawataki shule wala kusikiliza wazazi
Akili kupotea na kusahau kusiko kwa kawaida
Biashara na shuguli zako kukosa muelekeo
Ngozi kuwa rafu hata ukijipaka mafuta unakuwa kama uso hauna mvuto
Ukiongea na watu hawataki kukusikiliza na wala hawapendi kuwa karibu na wewe
Kila jambo baya unatuhumiwa wewe
Ukifanya kazi kwa bidii bosi haoni kazi zako wala kukujali
Kuhisi unaambiwa na mtu masikioni mambo fulani yenye kukushugulisha
Kuhisi njaa mara kwa mara hata ukishiba
Kushambuliwa na maradhi yasiyo eleweka
Kwa mwanafunzi au mfanyakazi kutoona vizuri na wala macho hayana shida kwa vipimo
Kupiga myao na kusinzia ofisini au dukani au kwenye biashara mara kwa mara
Kusinzia wakati wa ibada na kutojua hata kilichosemwa na ikiisha usingizi unapotea
Mwanamke kukauka sana ukeni na kuchubuka wakati wa tendo la ndoa
Kuota unaingiliwa hata kwa nyuma uwe mke au mume
Kuwa na hasira hata kwa jambo dogo
Moyo kuuma na kuhisi sindano
Kupata sukari ya kupanda na presha za mashaka na kupotea na kisha kurudia
Pesa kupotea kimaajabu na ikiingia unapata majanga ya kuchukuliwa kama wagonjwa, vifo na mengine ili pesa itumike na ikiisha huoni matumizi ya ghafla
Nyumba yako kuwa nzito na kukosa amani ukiwa ndani ya nyumba
Kuhisi vitu vinagonga kwenye nyumba hasa dali kama panya wakubwa wanakimbia
Kuhisi unatingishika kichwa na kuona ukungu
Kutamani kuachika bila sababu na kuona heri uwe pekee yako
Kumfukuza mke wako na kutamani usioe tena
Woga uliokithiri bila sababu na wasi wasi sana moyoni kama mtuhumiwa
Kila ugonjwa na tiba yake, uchawi na majini utibiwa kwa dawa zilizo fanyiwa majaribio na kutibu watu wengi.
Dawa za kunywa kuondoa mwilini kwa yule aliyelishwa uchawi au kutegwa
Dawa za kujipaka kufukuza majini na kufanya mwili upate nguvu
Kuna dawa za kuoga kuondoa mikosi na nuksi
Kuna dawa za kujifukiza kufukiza kwenye nyumba kufukuza majini
Kuna dawa za kupulizia kwenye nyumba na sehemu za vyumba ili kufukuza na kuzuia wachawi na majini visiingie
Mawasiliano:
255621870342 Pia WhatsApp: +255621870342
Email: [email protected]
uchawi na majini vinaathiri watu bila kujua Kwa msomi na mfuatiliaji atakuwa ameisha soma kwenye magazeti, mtandao, n.k kuhusu matukio ya kichawi, kwa mfuatiliaji atakuwa ameisha ona kwenye makanisa ya kilokole na TV habari za kichawi na ukemeaji wa majini ni matukio ya kawaida siku hizi.
#dalili za jini#dalili za uchawi#kuchoka mwili kila asubuhi#kuchoka sana bila sababu#kuhisi kuchanganyikiwa#kuhisi kujiua#kukata tamaa#kukosa hamu ya kuishi#kulogwa#kumchukia mke au mume bila sababu#kuota unaingiliwa#kuwa dhaifu#mikosi na nuksi#mimba kutoka bila sababu#mtoto kuharibikiwa#mtoto kuwa mkorofi#ugomvi wa mara kwa mara
0 notes