#ugonjwa sugu
Explore tagged Tumblr posts
Text
FAHAMU UGONJWA WA NGOZI WA MBWA | MANGE IN DOGS | JOACK ANIMAL CLINIC
Call/Text/WhatsApp: +255 714 63 63 75
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo
Mange ni ugonjwa wa ngozi unaoathiri wanyama wengi na mbwa ni kati ya hao.
Mange ni ungonjwa unaosababishwa na mites ambao hushanbulia sehemu ya chini ya vinyweleo (hair follicles.)
Baadhi ya mites husambaa kwa haraka na kuna ambao hushanbulia hadi binadamu (zoonotic)
Hawa mites wapo wa ainambili ambao ni sarcoptic mange and demodectic mange.
Sarcoptic mange, kwajina lingine inaitwa scabies, hii husababishwa na Sarcoptes scabiei. Aina hii ya mange haipo sana kama demodectic mange, na mara nyingi inashambulia mbwa wa mtaani, mbwa waliotengwa/achewa bila uangalizi na mbwa wenye shida ya Kinga ya mwili.
Demodectic mange, or red mange hii husababishwa na Demodex canis. Aina hii ya mange inasambaa kutoka Kwa mama kwenda kwa mtoto kipindi Cha kunyonya, hii haisambai Kwa mbwa wengine wala Kwa binadamu.
Dalili:
1. Kuwashwa
2. Kunyonyonyoka nywele
3. Kuchubuka ngozi.
4. Vipele kwenye ngozi mara nyingi kwenye kifua.
Kama mbwa wako ana dalili moja kati ya hizi au anashida sugu wasiliana nasi tumalize tatizo mara moja
#ugonjwawangozikwambwa #mange #ukurutu #ukurutuwambwa #dogskindisease #dogskinproblem #Sarcopticmange #Demodecticmange #mitesindogs #mangeindogs #matibabuyambwa #kuoshambwa #mangeindog
Office zetu zipo @tegetawazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #kilimo #mifugo #tanzania🇹🇿 #tanzania #dodoma #dog #chanjozamifugo #madawayamifugo #matibuyambwa #daktariwamifugo #veterinaryservicetanzania #chanjozambwa #chanjozapaka #veterinaryhospital
0 notes
Text
FRONT LINE SPRAY ● KIUATILIFU ● KIUADUDU ● KIBOKO YA VIROBOTO NA WADUDU WENGINE KWA MBWA/PAKA
Bei ni 85,000Tsh Tu | 250mls
Call/Text/WhatsApp: +255 714 63 63 75
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackbagamoyo @joackanimalclinic
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta-Wazohill Dar es salaam na Bagamoyo
FRONT LINE SPRAY hiki ni kiuadudu chenye uwezo mkubwa wa kuuwa wadudu kwenye mbwa na paka.
Kiua dudu hiki unaweza kutumia hata kwa mbwa au paka wadogo bila shida.
Licha ya kudhibiti wadudu, FRONT LINE SPRAY inauwezo wa kutibu ugonjwa wa ngozi unaosababishwa na mites, yaani ukurutu.
Mbwa au paka ukimpulizia hii dawa inakaa miezi mitatu mwilini, hivyo hawezi pata viroboto wala kupe kwa kipindi chote hicho.
Kama umetumia dawa nyingi za viroboto na hukufanikiwa, basi hii ndio kiboko ya viroboto sugu.
Kama unahitaji FRONT LINE SPRAY wasilina nasi, na kwa wateja wa mikoani mzigo mtatumiwa kokote mlipo.
Licha ya kuuza FRONT LINE SPRAY, JOACK Pet Store inauza dawa, vitamin na virutubisho vingine kwajili ya mifugo kama:- kuku, bata sungura mbuzi, njiwa mbwa, paka, farasi
#sumuyaviroboto #dawayaviroboto #viuatilifu #frontlinepestcide #dawazamifugo #dawazambwa #dawayakupe #sumuzawadudu #frontlinespray #sprayyaviroboto #sumuyakupe #sumuyaviroboto
Office zetu zipo @tegetawazohill Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #mifugo #kilimo #tanzania #arusha #mbeya #kilimanjaro #sungura #vifaranga #dawazakukuzauume #dodoma #tanzania🇹🇿 #masaki #mbwa #petdogo #vimmbwavyandani #paka #pakawakizungu
JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
0 notes
Text
Ugonjwa sugu wapona kwa uwezo wa Mungu mmoja
View On WordPress
#dalili za uchawi#kuhisi vitu vinatembea mwilini#kulogwa#kuota ndoto mbaya#kuota nyoka#kuota unakula#kuota unalishwa#maradhi sugu#uchawi
0 notes
Text
MAGONJWA YA NGOZI LOSHEN IPO UGONJWA WA NGOZI MBA WILINI VIPELE siku 4 MAPUNYE FANGAS YA NGOZI BEI TZ 12,000
WENYE MATATIZO YA NYWELE NYWELE NGUMU siku 5 KUKATIKA NYWELE KUJAZA NYWELE KUREFUSHA NYWELE MAFUTA BEI 12,000 MAFUTA YAPO
WALE WENYE MATATIZO HAYA VIPELE VYA NDEVU VIPELE NYUMA SHINGO MBA YA NGOZI FANGAS siku 4 MAPUNYE FANGS YA KILA AINA SABUNI IPO BEI TZ 3500
SCRUB YA KAHAWA MADOA SUGU siku 3 NGOZI YENYE FANGAS INA NGARISHA 13,000 HAICHUBUI SIKU 4 SMS 📞+255767438 975 👇 Whatsap inbox
1 note
·
View note
Photo
*💊 VIDONDA VYATUMBO 💊* Tafiti zinaonyesha Vidonda vyatumbo kwasasa Ndio umekua ugonjwa sugu zaidi unao sumbua watu wa rika zote tofauti na ilivyokua hapo awali. Kwasasa sio ajabu tena mwanao mdogo anarudi likizo akifanyiwa chakeup akakutwa na ugonjwa huo. Tiba ya ugonjwa huu ni *Heligo kit* pamoja na dawa ya kupunguza gesi na makali inayoitwa *Omeprazole* Dawa hizi zinapatikana Maduka yote ya dawa nchini Kwa gharama ya Kuanzia 45,000 na kuendelea. Japo dawa hizi zimekua zikisaidia baadhi ya Watu na kutokusadia wengine lakini walio saidika wametumia dose hii awamu tatu bila kuachaacha. Tiba mbadala imekua njia nyingine ilio saidia Watu wengi zaidi. Japo tiba hii imekua na dawa tofauti tofauti lakini imekua ikiaminiwa na watumiaji zadi. Vidonda vyatumbo husababishwa na bacteria 🦠 aitwae Helicobacter pylori ambapo huathiri ngozi laini ya mfuko wa tumbo na kusababisha ulcers. Kukaa na njaa pamoja na msongo wa mawazo pamoja na mpangilio mbovu wa mlo ni sababu nyingine inayopelekea mtu kuugua ugonjwa huu. Hapa tunayo tiba ambayo ni dose kamili ya ugonjwa huu. Ni mchanganyiko wa dawa aina tatu na inapatikana kwa gharama ya sh. 185,000 Kwa dose kamili. Kwa ushauri wa vipimo na tiba wasiliana nami inbox au 0717174151. https://www.instagram.com/p/CnlTHIJDqf8/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
Photo
ROHO YA MAGONJWA SUGU KAMA; 👉KISONONO, 👉KASWENDE, 👉KUTOA UFUNDO KWA SEHEMU NYETI. 🦠💊HAYA NI BAADHI YA MAGONJWA AMBAYO UTESA WATU KWA SIRI. MUNGU amenituma kwako sasa, Haijalishi ugonjwa wako ni wa kutumiwa au kujituma, Nakuombea in Jesus name MAY THE POWER OF HEALING LOCATE YOU NOW IN JESUS NAME. 💊Pokea muujiza wa uponyaji sasa💊 🎇Prophet Dr. Mutula🎇 +254720508509 #LetMyPeopleGo https://www.instagram.com/p/Cm4euzxLdPW/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
Text
NGOZI KUHARIBIKA KEMIKALI LOSHEN IPO UGONJWA WA NGOZI MBA WILINI VIPELE siku 4 MAPUNYE FANGAS YA NGOZI BEI TZ 12,000
WENYE MATATIZO YA NYWELE NYWELE NGUMU siku 5 KUKATIKA NYWELE KUJAZA NYWELE KUREFUSHA NYWELE MAFUTA BEI 12,000 MAFUTA YAPO
WALE WENYE MATATIZO HAYA VIPELE VYA NDEVU VIPELE NYUMA SHINGO MBA YA NGOZI FANGAS siku 4 MAPUNYE FANGS YA KILA AINA SABUNI IPO BEI TZ 3500
SCRUB YA KAHAWA MADOA SUGU siku 3 NGOZI YENYE FANGAS INA NGARISHA 13,000 HAICHUBUI SIKU 4 SMS 📞 +255 767 438 975
AM SELLING DAR ES SALAAM TANZANIA MASAKI LOCTION
3 notes
·
View notes
Photo
MAGONJWA YASIYO YA KUAMBUKIZA: Nini cha lufanya ▪︎Magonjwa Yasiyo ya kuambukiza ni magonjwa ambayo hayasambazwi kwa mtu mwingine kwa kuwa hakuna vimelea mwilini vinavyohusiana na magonjwa hayo. ▪︎Magonjwa Yasiyo ya Kuambukiza ni kama ya moyo na mishipa ya damu, figo, saratani, kifua sugu, kisukari, magonjwa ya akili na mengine ya kurithi kama vile ugonjwa wa selimundu. ▪︎Mwaka 1999, Magonjwa Yasiyo ya Kuambukiza yalikadiriwa kuchangia karibu asilimia 60% ya vifo vyote duniani na asilimia 43% ya ukubwa wa tatizo la magonjwa duniani. ▪︎Tatizo la Magonjwa yasiyo ya Kuambukiza linakua kwa kasi katika nchi zinazoendelea, kama Tanzania. Inakisiwa kuwa mwaka 2020 Magonjwa haya Yasiyo ya Kuambukiza yalisababisha asilimia 73% ya vifo vyote duniani na asilimia 60% ya ukubwa wa tatizo la magonjwa duniani. ▪︎Moja ya mambo yanayochangia kuongezeka kwa magonjwa haya ni mabadiliko ya taratibu za kimaisha zinazohusisha matendo yanayoweza kusababisha ugonjwa. Kati ya taratibu hizi ni: JIFUNZE ZAIDI HAPA https://wikielimu.com/magonjwa-yasiyo-ya-kuambukiza-nini-cha-kufanya/ https://www.instagram.com/p/CggWrWtKh6Z/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
Photo
Hakuna ugonjwa sugu, futa hizo fikra na uanze kutumia VAJINA VITAMINS.. Kupona ni 100% Hivi kuna wanawake ambao hawajawahi kuuona ute mweupe... ?? 😍😍 Dozi Tsh 40,000 Nusu dozi Tsh 25,000 Tunapatikana DSM & ZNZ 0737934533 (at Dar es Salaam, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CgczX93ttsq/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
Quote
Mkurugenzi wa Amref Tanzania, Florence Temu (aliyekaa kushoto), akisaini mkataba wa kufanya kazi pamoja na Tayoa. Kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Tayoa, Peter Masika. Anayeshuhudia katikati ni Mkurugenzi wa Bodi ya Uratibu ya Miradi ya Ukimwi, Malaria na Kifua Kikuu inayofadhiliwa na mfuko wa dunia Dr. Rachae Makunde. Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Health Promotion Services (THPS), Redemputa Mbatia, akipeana mkono na Mkurugenzi wa Amref Tanzania, Florence Temu baada ya kusaini mkataba huo. Wadau wa masuala ya Afya wakiwa kwenye uzinduzi huo. Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.Faustine Ndugulile, akihutubia kwenye uzinduzi huo. Emiliani Busara kutoka MDH, akizungumza kwenye uzinduzi huo. Mchungaji Basilisa Ndonde akizungumza kwenye uzinduzi huo. Mkurugenzi wa Amref Tanzania, Florence Temu (aliyekaa kushoto), akisaini mkataba wa kufanya kazi pamoja na MDH. Kulia ni Emiliani Busara kutoka MDH. Mkurugenzi wa Amref Tanzania, Florence Temu, akihutubia kwenye uzinduzi huo. Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.Faustine Ndugulile (wa pili kushoto), akiwa na viongozi wengine katika uzinduzi huo. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Tayoa, Peter Masika (kulia), akipeana mkono na Mkurugenzi wa Amref Tanzania, Florence Temu baada ya kusaini mkataba huo. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Tayoa,, Peter Masika, akihutubia. Mkurugenzi wa Bodi ya Uratibu ya Miradi ya Ukimwi, Malaria na Kifua Kikuu inayofadhiliwa na mfuko wa dunia Dr. Rachae Makunde , akizungumza kwenye uzinduzi huo. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mkapa Foundition, Rahel Sheiza (kulia), akipeana mkono na Mkurugenzi wa Amref Tanzania Florence Temu baada ya kuisaini makubaliano ya kufanya kazi pamoja. Na Dotto Mwaibale MKURUGENZI Mkazi wa Amref nchini Tanzania, Florence Temu ameishukuru serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli na zilizopita kwa ushirikiano inayotoa kwao. Temu alitoa shukurani hizo kwenye uzinduzi wa mradi wa Amref Health Africa wa kupambana na Ukimwi na Kifua Kikuu unaofadhiliwa na Mfuko wa Dunia (Global Fund) uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kwenye uzinduzi huo ambao mgeni rasmi alikuwa Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Wazee na Watoto, Dr. Faustine Ndugulile walihudhuria pia Mwenyekiti wa Baraza la Ushauri wa Amref Tanzania, Dr. Eric Van Praag, Mwakilishi kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa linalojishughulisha na Ukimwi (UNAIDS), Dr. Leo Zekeng na viongozi na wawakilishi wa mashirika mbalimbali yaliyopewa dhamana ya kusimamia mpango wa mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi ili kufikia asilimia 90 ya waishiyo na VVU kupatiwa tiba na asilimia 90 ya walio kwenye tiba za VVU 90 wafanikiwe kufubaza VVU. Temu alisema kuwa, baada ya kupitia michakato ya kutambua asasi itakayochukua jukumu la 'Principle Recipient' katika mkondo wa taasisi zisizokuwa za serikali, mwanzoni mwa mwaka jana, Amref Health Africa Tanzania ilihidhinishwa rasmi na hatimaye Februari 21 walisaini kama Principle Recipient wa mkondo wa taasisi zisizo za serikali Mfuko wa Dunia wa Fedha zenye thamani ya Bilioni 55 na milioni 256 na laki 7 (yaani $24,969,174) kwa ajili ya kuibua na kutibia VVU na Kifua Kikuu, wakikabidhiwa jukumu la kusimamia na kuratibu afua za kwenye jamii zihusuzo Ukimwi na Kifua Kikuu kwa kupitia asasi ya kijamii, takriban asilimia 10% ya fedha hizo zitaelekezwa katika afua za kukabiliana na Kifua Kikuu katika jamii. Aliongeza kuwa, kwenye mapambano ya maradhi hayo wataifikia mikoa 15 ambayo ni Arusha, Dodoma, Kilimanjaro, Manyara, Mara, Mbeya, Morogoro, Mtwara, Mwanza, Pwani, Shinyanga, Simiyu, Singida,Tanga na Ruvuma. "Tunatarajia kupitia mfuko huu jumla ya watu 546,880 watafikiwa na huduma ya kupima VVU na kujua majibu, pia wasichana wa umri rika/ balehe na wanawake 162,064. Lakini pia kuibua na kuwapa rufaa wenye maambukizi ya kifua kikuu wapatao 16,465 watapata uchambuzi zaidi kwenye uwakilishi utakaofuata," alisema Temu. Aliongeza kuwa, Amref inathamini kwa dhati jukumu walilopewa la kuratibu na kuongoza mradi huo uliofadhiliwa na Global Fund kwa miaka mitatu ijayo na kuahidi kufuata muongozo stahiki uliopo katika kutekeleza mradi huo, kwa dhana hiyo wanaahidi kuendelea kushirikiana kwa karibu na wadau husika kadiri watakavyoweza. "Tutashirikiana moja kwa moja kama Amref lakini pia kwa kuwatumia sub recipients wetu ambao ningependa muwatambue," alisema Temu na kuwataja kuwa ni Tanzania Health Promotion Services (THPS), Management and Development fo Health (MDH), Benjamin Mkapa Foundition (BMF) na Tanzania Youth Alliance (TAYOA). Aliongeza kuwa, wanatambua changamoto zilizopo katika kufikia jamii hasa kwenye malengo ya kuwafikia wanaopaswa kujua hali yao ya maambukizi, ambapo kulingana na takwimu za Tanzania HIV Impact Survey ambao ni asilimia 52.2% ya walio na umri wa miaka 15-64 tu ndiyo wamepima na kujua hali zao za maambukizi; na uhaba wa wanaume kufikia huduma hizo, pia kuwepo kwa makundi yenye mazingira hatarishi zaidi ya kuambukizwa na kuambukiza VVU, pia haja ya kuibua wenye kifua kikuu na kuhudumia wenye TB sugu katika jamii, hizo ni baadhi tu! Temu alisema wanatambua juhudi za Serikali ya Muungano wa Tanzania katika kuhakikisha anafikia asilimia hizo 90 tatu na nia ya kutokomeza kifua kikuu na kudhibiti maambukizi na kupeleka huduma hizo katika ngazi za jamii kuimarisha mifumo ya usambazi dawa na vifaa tiba, kusomesha wataalam, kuboresha vituo vya afya na hospitali na mifumo ya rufaa ni juhudi za wazi na wanaipongeza wizara ya afya inayoongozwa na Waziri Ummy Mwalimu akishirikiana kwa karibu na naibu wake Dr. Faustine Ndugulile. "Mfano nichomekee kidogo hapo jinsi Amref kwa kupitia brand ya Angaza tulivyoweza kuleta huduma rafiki za upimaji wa VVU ulivyoweza kuifikia jamii ya rika zote na jinsi zote na hata kuwa huduma rafiki kwa jinsi za kiume yaani wanaume, tunashauri serikali iendelee kutumia hiyo brand kwani tunaamini neno Angaza ni rafiki na linaondoa hofu na linaleta ujasiri hata kwa wanaokuwa na VVU," alisema Temu. Mkurugenzi huyo aliongeza kuwa, wanashukuru uthubutu wa wataalam wa wizara ya afya kuweza kuongeza wapimaji wa VVU kutoka kwa wataalam wa maabara hadi wahudumu wa afya walio wa maabara. Alimalizia kwa kusema, wao Amref na wadau wakiwemo SRs, wataendelea kufanya kazi kwa karibu na kufuata miongozo ya Global Fund, Sera na mitakati ya kitaifa, maelekezo ya vikao mbalimbali vya TNCM na hata kusimamia matumizi ya fedha za ufadhili huo na kutumia vyombo vilivyopo katika kutafuta ushauri ikiwemo wizara ya afya na vitengo vyake ambavyo ni Sekretariet ya TNCM,lfa PR-1 (Wizara ya Fedha) na Programme za NACP na NTLP pamoja na GF Office ya Wizara ya Afya. Naye Dr. Ndugulile akizungumza katika uzinduzi huo, aliishukuru Amref na wadau wengine waliopewa jukumu la kupambana na maradhi ya kifua kikuu pamoja na Ukimwi ambao ni THPS, MDH, BMF na TAYOA. Naibu waziri huyo aliwataka wote kuwa wabunifu na wenye mikakati ili kufikia malengo ya kupambana na maradhi hayo kama walivyoyaanisha kwenye mchanganuo wa bajeti waliyoomba. Alisema milango ipo wazi kwa wao kufika ofisini kwao kwa lengo la kuhitaji ushauri wowote watakaouhitaji.
http://www.mtazamonews.co.tz/2018/05/amref-yaishukuru-serikali-kuamini.html
1 note
·
View note
Text
FRONT LINE SPRAY ● KIUATILIFU ● KIUADUDU ● KIBOKO YA VIROBOTO NA WADUDU WENGINE KWA MBWA/PAKA
Bei ni 85,000Tsh Tu | 250mls
Call/Text/WhatsApp: +255 714 63 63 75
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackbagamoyo @joackanimalclinic
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta-Wazohill Dar es salaam na Bagamoyo
FRONT LINE SPRAY hiki ni kiuadudu chenye uwezo mkubwa wa kuuwa wadudu kwenye mbwa na paka.
Kiua dudu hiki unaweza kutumia hata kwa mbwa au paka wadogo bila shida.
Licha ya kudhibiti wadudu, FRONT LINE SPRAY inauwezo wa kutibu ugonjwa wa ngozi unaosababishwa na mites, yaani ukurutu.
Mbwa au paka ukimpulizia hii dawa inakaa miezi mitatu mwilini, hivyo hawezi pata viroboto wala kupe kwa kipindi chote hicho.
Kama umetumia dawa nyingi za viroboto na hukufanikiwa, basi hii ndio kiboko ya viroboto sugu.
Kama unahitaji FRONT LINE SPRAY wasilina nasi, na kwa wateja wa mikoani mzigo mtatumiwa kokote mlipo.
Licha ya kuuza FRONT LINE SPRAY, JOACK Pet Store inauza dawa, vitamin na virutubisho vingine kwajili ya mifugo kama:- kuku, bata sungura mbuzi, njiwa mbwa, paka, farasi
#sumuyaviroboto #dawayaviroboto #viuatilifu #frontlinepestcide #dawazamifugo #dawazambwa #dawayakupe #sumuzawadudu #frontlinespray #sprayyaviroboto #sumuyakupe #sumuyaviroboto
Office zetu zipo @tegetawazohill Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #mifugo #kilimo #tanzania #arusha #mbeya #kilimanjaro #sungura #vifaranga #dawazakukuzauume #dodoma #tanzania🇹🇿 #masaki #mbwa #petdogo #vimmbwavyandani #paka #pakawakizungu
JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
0 notes
Text
Binadamu hawezi kuishi bila kuugua! Kuugua kunatokana na maradhi yanayomkabili mwanadamu kutokana na viumbe wengine, vyakula na mazoea hatarishi.
Viumbe wengine wanasababisha maradhi kwa wanadamu, mfano Mbu anaeneza malaria kwa mwanadamu, minyoo aina mbali mbali, inzi na wadudu wengineo.
Vyakula visivyozingatia kanuni za kiafya vyaweza kumuuguza mwanadamu kama kuharisha, kukosa choo, kuugua cancer, nk.
Chakula kikitunzwa vibaya na kikaambukizwa wadudu na baadaye ukakila utaugua maginjwa mengi ikiwemo tumbo, pia ukila vyakula vya mafuta na ukaongezea kuviwekea mafuta ya viwandani utaugua magonjwa mengi ikiwemo shinikizo la damu na kuathiri mfumo wa damu kwenye mishipa na moyo.
Mazoea hatarishi kama uvutaji sigara, bangi, ulevi wa pombe, ulaji madawa ya kulevya, n.k utaugua magonjwa mengi yakiwemo ya kiakili na afya kwa ujumla itakuwa mgogoro!
Magonjwa yenye utata kwa madaktari ni mengi siku hizi na hii ni changamoto kwani waongo ni wengi kwa wagonjwa waliozunguka mahospitali bila kupata jibu wanachosumbuliwa kiafya ni kipi?!
Wagonjwa wanaokosa majibu ya kisayansi wanakwenda kwa waganga wa jadi, wachungaji, masheikh, wapiga ramli, n.k.
Tatizo baadhi ya sehemu wanapokwenda wanazidi kuchanganywa kwa kulipa pesa nyingi na kufanyishwa makafara ya ushirikina. Kuna baadhi ya wachungaji na Masheikh wanawadanganya wagonjwa kiasi kwamba wanazidi kuwapotezea muda na pesa.
Kila kukicha makanisa yanajengwa na misikiti inajengwa lakini majanga na tabia mbaya kwenye jamii zinaongezeka mfano: ulevi, zinaa, uchawi, wizi, nk kila kukicha kuna mapya yenye kuchukiza kwenye jamii yanajitokeza pamoja na kuongezeka nyumba za ibada.
Magonjwa yenye utata yanaweza kutokana na:
Kutojulikana kwa mujbu wa vipimo duni vya hospitali au kutopima vyema
Kutokuwa makini na ushauri wa kiafya baada ya kupewa tiba na utumiaji wa dawa sahihi
Uchawi na kulogwa na wachawi walioko kwenye jamii tuliomo
Viumbe majini wanaozagaa kila mahali na wewe ukakumbana nao bila kujua na kukuingia kisha kuwa nyumba yao na hili hali yanakutesa kwa njia moja au nyingine
NAMNA YA KUKABILI MAGONJWA YENYE UTATA
Kwanza tafuta vipimo sahihi tena sehemu zaidi ya moja, hakikisha majibu yanakuwa sawa, kama siyo sawa pia uliza kwa nini?!
Fanya maombi wewe mwenyewe kwani Mungu mmoja anasikia Lugha zote kwa viumbe wake wote atakusikiliza, au tafuta viongozi wa dini wenye rekodi ya uaminifu na wenye huruma wakusaidie kama hujiwezi
Tafuta dawa sahihi kwa tabibu mwenye uzoefu na muaminifu kwa kuulizia watu zaidi ya 2 waliopata huduma ya tiba kutoka kwake.
Kama ugonjwa unasumbua na hupati jibu sahihi lakini unazo dalili hizi:-
Kuhisi mwili unatetemeka wakati fulani
Kuhisi moyo unauma na wakati mwingi una woga sana
Kuota ndoto za kutisha kila mara kama wanyama, uchafu, vifo, unakula vyakula, nyikani, unapaa, unaporomoka, uchafu, n.k
Kuhisi mwili joto na maumivu mara kwa mara na ukipima malaria au typhoid huna
Kuona kwenye fikira kuwa huwezi kupona na kukata tamaa kila kukicha
Kuhisi kama unachomwa sindano
Kusinzia sana na kupenda kukaa peke yako
Kuchukiwa na kila mtu pamoja nakuwa unaumwa
Kwa mwanamke kukosa siku za hedhi au kuvurugika sana
Kwa mwanaume kulegea uume na kuwa dhaifu kiafya
Kuota unazaa au unanyonyesha watoto
Hizo dalili ni baadhi lakini kila mtu anaweza kuwa na baadhi ya hizo hasa za kuota ndoto za ajabu na mbaya ni dalili kubwa kwa mwenye majini na uchawi ndani ya kuumwa kwake.
Kwa mtu mwenye uchawi wa kulishwa au kutegwa na ukaingia ndani ya mwili anapashwa kunywa dawa za kuuondoa na kuharibu ngome za kichawi mwilini mwake.
Dawa za kunywa ambazo wanatumia watu na kuondoa uchawi mwilini na kuwa sawa tumeshuhudia hizi:
MT32 na SAFISHA
Hizi dawa zinaondoa uchawi mwilini na ndani ya tumbo, unaharisha kiasi kama ulilishwa uchawi na hata kuondoa sumu zingine zenye madhara kiafya ndani ya mwili hasa tumboni
POWERFUL OIL NA POWERFUL SOAP
Hizo dawa zinaondoa nguvu za majini na mashetani yenye kusumbua watu usingizini na hata kimaisha kwani majini na mapepo ni hatari kimaisha kwani wachawi wanayatumia sana kuleta tabu na maangaiko kwa watu wengi siku hizi.
Powerful oil unajipaka baada ya kuoga kwa sabuni yenye dawa kali kwa kuondoa athari za nguvu za giza.
MAWASILIANO: ushauri na tiba
WhatsApp: +255621870342
+255762053174
Email: [email protected]
MARADHI YENYE UTATA KWA MADAKTARI Binadamu hawezi kuishi bila kuugua! Kuugua kunatokana na maradhi yanayomkabili mwanadamu kutokana na viumbe wengine, vyakula na mazoea hatarishi.
#kubanwa usingizini#kuhisi woga#kukosa amani#kukosa hamu ya maisha#kuota makaburi#kuota mbwa na wanyama wengine#kuota unalishwa vitu#kuota unazaa mara kwa mara#naumwa muda mrefu#ndoto za ajabu#powerful oil#tiba ya kulogwa#tibu uchawi#ugonjwa haupatikani#ugonjwa sugu
0 notes
Text
https://www.facebook.com/UREMBO.ASILIA.BIDHAA.BORA.FURSA.REAL.HERO
MAGONJWA YA NGOZI LOSHEN IPO UGONJWA WA NGOZI MBA WILINI VIPELE siku 4 MAPUNYE FANGAS YA NGOZI BEI TZ 12,000 +255767438975 https://wa.me/message/4QRYFIGV2XZNP1 https://www.facebook.com/UREMBO.ASILIA.BIDHAA.BORA.FURSA.REAL.HERO
MAGONJWA YA NGOZILOSHEN IPOUGONJWA WA NGOZIMBA WILINIVIPELE siku 4MAPUNYEFANGAS YA NGOZI BEI TZ 12,000 WENYE MATATIZO YA NYWELENYWELE NGUMU siku 5KUKATIKA NYWELEKUJAZA NYWELEKUREFUSHA NYWELE MAFUTA BEI 12,000MAFUTA YAPO WALE WENYE MATATIZO HAYAVIPELE VYA NDEVUVIPELE NYUMA SHINGOMBA YA NGOZIFANGAS siku 4MAPUNYEFANGS YA KILA AINASABUNI IPO BEI TZ 3500 SCRUB YA KAHAWAMADOA SUGU siku 3NGOZI YENYE…
View On WordPress
#https://www.facebook.com/UREMBO.ASILIA.BIDHAA.BORA.FURSA.REAL.HERO#pixwox.com https://www.pixwox.com › profile @fursa_real_hero_vipodozi_beaut Instagram profile
0 notes
Photo
ROHO YA MAGONJWA SUGU KAMA KISONONO, KASWENDE, KUTOA UFUNDO KWA SEHEMU NYETI NI BAADHI YA MAGONJWA AMBAYO UTESA WATU KWA SIRI. MUNGU amenituma kwako sasa, Haijalishi ugonjwa wako ni wa kutumiwa au kujituma, NIKIKU-ANOINT AMA NI ANOINT JINA LAKO. THE POWER OF HEALING LOCATES YOU IN JESUS NAME. 0745207062/+254720508509 #LetMyPeopleGo https://www.instagram.com/p/CNWna6mnSh6/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
Text
NGOZI KUHARIBIKA KEMIKALI LOSHEN IPO UGONJWA WA NGOZI MBA WILINI VIPELE siku 4 MAPUNYE FANGAS YA NGOZI BEI TZ 12,000
WENYE MATATIZO YA NYWELE NYWELE NGUMU siku 5 KUKATIKA NYWELE KUJAZA NYWELE KUREFUSHA NYWELE MAFUTA BEI 12,000 MAFUTA YAPO
WALE WENYE MATATIZO HAYA VIPELE VYA NDEVU VIPELE NYUMA SHINGO MBA YA NGOZI FANGAS siku 4 MAPUNYE FANGS YA KILA AINA SABUNI IPO BEI TZ 3500
SCRUB YA KAHAWA MADOA SUGU siku 3 NGOZI YENYE FANGAS INA NGARISHA 13,000 HAICHUBUI SIKU 4 SMS 📞 +255 767 438 975
1 note
·
View note
Photo
MAGONJWA SUGU YA MFUMO WA HEWA ■ Aina za magonjwa sugu ya njia ya hewa ni pamoja na ugonjwa wa pumu, saratani ya mapafu, na mengine yanasababishwa na kemikali zinazotoka katika viwanda vinavyochafua mazingira kwa mfano kiwanda cha saruji, pamba na sigara. ■ Magonjwa sugu ya njia ya hewa mara nyingi husababishwa na kuharibika kwa njia za hewa katika mapafu kunakoweza kutokana na: ▪︎Kuvuta sigara, au kukaa karibu na mtu anayevuta sigara; ▪︎Uchafuzi wa hewa ya ndani na nje, kutokana na aina ya vumbi au chavua ya maua; ▪︎Hewa za sumu na vumbi toka viwandani; ▪︎Unene uliokithiri Mara nyingine magonjwa sugu ya njia ya hewa huweza kurithiwa mfano pumu. JIFUNZE ZAIDI HAPA https://wikielimu.com/magonjwa-sugu-ya-njia-ya-hewamlo-chakula-mlo-unaofaa/ https://www.instagram.com/p/CgTZAz_qn72/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes