joackcompany
Untitled
974 posts
is an agribusiness company registered in Tanzania for the purpose of providing all technical support & supplying agri-imputs @mifugotz @kilimotz 0714636375
Don't wanna be here? Send us removal request.
joackcompany · 1 month ago
Text
OFAAAAA TUMESHUSHA BEI YA TREI TUPU ZA PLASTIC TUNAUZA TREI TUPU ZA KUWEKEA MAYAI TREI ZA PLASTIKI
Bei ni 1,500Tsh (Min 100pc)
Call/Text/WhatsApp: +255 714 636 375
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo.
Hizi tray za plastic ambazo ni ngumu kupasuka/kuvunjika, unaweza kuzipinda na hazivunjiki - ZIKIVUNJIKA RUDISHA.
Material yake Yana asili ya mpira, hivyo ni ngumu sana kuvunja, na yana faa sana kwa kuwekea mayai.
Lakini pia tunauza TRAI ZA KARATASI (PAPER TRAY) kwajili ya kuwekea mayai kwa bei nafuu sana.
Trei ya trei za karatasi ni moja ni 180Tsh na kwenye bando moja zinakaa pisi 100 hivyo bando moja ni 18,000Tsh Tu.
Kwetu ndio sehemu pekee utapata trei tupu kwa gharama nafuu, watu wengi wa Kariakoo - DSM na mikoani wananunua kiwandani kwetu JOACK COMPANY LTD.
Kwa wateja wa mikoani mzigo tuna tuma kwenda mkoa wowote, Gharama za usafirishaji ni juu ya mteja.
#mayai #tray #trei #treizaplastic #trayzakaratasi #traizamakaratasi #plastictray #pappertray #treizamayai #matreiyamayai #eggtray #trayzaplastic #tunauzamatrei #weselleggtray #tunauzamayai #traytupu #plasticeggtray #plasticeggtrays
Office zetu zipo @TegetaWazohill Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 636 375
(WhatsApp)
+255 692 430 263
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://www.joack.co.tz
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #tanzania🇹🇿 #ufugaji #kuku #dodoma #tanzania #ufugajiwakuku #kariakoo
JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
0 notes
joackcompany · 8 months ago
Text
Tumblr media
TUNAUZA UDONGO MAALUMU (Cocopeat) WA KUOTESHEA MBEGU, MAUA YA BUSTANI, NK
WE ARE SELLING COCOPIT BLOCK 5Kg | PLANTING SOIL | TREATED SOIL | SPECIAL SOIL
Cocopeat 1Kg Bei ni 3,500Tsh
Block ya 5Kg ni 15,000Tsh
Call/Text/WhatsApp: +255 714 63 63 75
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zipo Tegeta Wazohill-Dar salaam na Bagamoyo
Cocopit ni udongo maalumu unaotumika kuoteshea miche/mbegu kabla ya kuipanda/kuhamishia shambani.
Udongo wetu wa Cocopeat, upo katika mfumo wa block (tofali), ambapo kila block ina uzito wa kilo 5.
Huu udongo unatumika pia kwenye kuoteshea maua mbalimbali kwajili ya bustani.
Faida za huu udongo ni kwamba hauna wadudu wala vimelea wa magonjwa vinavyoweza kuharibu mbegu.
Faida nyingine ya huu udongo, una PH sahihi na madini ambayo yanaruhusu mbegu yoyote kuota.
Udongo huu ni mlaini na unaruhusu hewa kuingia na kutoa ambayo husaidia kuota kwa mbegu, pia unaruhusu mizizi kupenya kwa urahisi.
Udongo unauwezo wa kutunza unyevu kwa mda mrefu.
Udongo huu unatumika sambamba na zile trei za kuoteshea mbegu, ukitumia huu udongo na trei mbegu zako hazita kufa.
#udongo #udongowakupandia #kuoteshambegu #mbegu #wauzajiwambegu #mbegu #cocopeat #mbeguzakisasa #kitaluchambegu #plantnurseryunit #udongowakuotesheambegu #udongowambegu #plantingsoil
Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75(WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/UxLyLqHtfnw
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #joackvetcenter #mbogamboga #nyanya #mifugotz #mifugo #mbogamboga #mbegu #kilimo #kilimotz #greenhouse #dripirrigation #shamba #tanzania #daressalaam #dodoma#tanzania🇹🇿
JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
0 notes
joackcompany · 8 months ago
Text
TUNAUZA SAILAGE | MAROBOTA YA SAILAGE | NYASI ZILIZO VUNDIKWA KWAAJILI YA MIFUGO.
Call/Text/WhatsApp: +255 712 25 31 02
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo.
Kama wewe ni mfugaji na upo Dar es salaam, Pwani au Morogoro kaa mkoa wa kupata Malisho Bora yaliyofungwa kisasa kabisa ya Saileji ya mtama Malisho.
FAIDA YA SAILAGE KWA NG'OMBE WA MAZIWA NA NYAMA
1. Kuongeza kiwango cha maziwa
2. Kuongeza ukuaji
3. Ni rahis kumeng'enywa
4. Kuongeza bakteria wa faida (normal flora)
5. Kuboresha afya ya ndama
6. Kupunguza hatari ya magonjwa
7. Yanahifadhika kwa muda, hata miaka 3
Endelea kufatilia page zetu ili uweze kujifunza zaidi kuhusu mambo mbalimbali ya mifugo.
#majaniyamifugo #majaniyangombe #pastureseed #pasture #animalfeed #grass #nyasizamifugo #hay #pasturefarm #majaniyamifugo #nyasizangombe #sailage #malishoyangombe #tunauzambeguzamajani #mbeguzamajani
Office zetu zipo @TegetaWazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 712 25 31 02(WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #tanzania🇹🇿 #ufugaji #kuku #dodoma #tanzania #ufugajiwakuku #kariakoo #daressalaam #morogoro
JOACK Company LTD | DSM & Bagamoyo
0 notes
joackcompany · 1 year ago
Text
Tumblr media
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @joackagrovet @afyakiganjani @joackanimalclinic @joackbagamoyo
Masaa ya kazi ni kuanzia Saa 1 Asubuhi hadi Saa 5 Usiku
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo.
Hizi ni spear part za pellet Mashine, maalumu kabisa kwajili ya kutengenezea pellet.
Die ndio inayoweza kubadilisha ukubwa wa pellets unazo tengeneza, ukitaka ziwe nene au nyembamba unatumia Die za size tofauti.
Kila die ina vitundu vya ukubwa tofauti tofauti kulingana na ukubwa wa pellet unaohitaji.
kwanini tutengeneze pellet za ukubwa tofauti?
Hii ni kwasababu kila mnyama/ndege anahitaji pellet ya ukubwa fulani kulingana na umri wake.
Wanyama/ndege wadogo wanahitaji pellets zenye sahizi ndogo, na wakubwa wanahitaji pellets zenye sahizi kubwa.
#diezapelletmashine #pelletmachine #chakulachasungura #mashineyakutengenezapellet #vifaavyamifugo #spearyapelletmachine #mizaniyachakulachamifugo #mashineyapellets #mashinezachakulachakuku #rabbitpelletsmachine #pelletmachine #mashineyachakulachasungura #mashineyachakulachamifugo #chakulachakuku #poultryequipments #tunauzamshinezaufugaji
Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #joackagrovet #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #tanzania🇹🇿 #ufugaji #kuku #dodoma #tanzania #ufugajiwakuku #daressalaam
JOACK COMPANY LTD | DSM & BAGAMOYO
0 notes
joackcompany · 1 year ago
Text
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
BURDIZO ni kifaa kinachotumika hasia wanyama kama mbuzi, kondoo ili kutoa uwezo wake wa kuzalisha yaani kuhasi.
Hiki kitendo kinaitwa Close castrations, yaani kuhasi mnyama bila kufanya operation ambayo mara nyingi hufanyika kwa mbuzi, kondoo na ng'ombe.
Kitendo cha kuhasi mnyama husaidia kuzuia uzalianaji wa wanyama wao kwa wao ambao wanatokana na uzao mmoja au wanaotokana na damu moja.
Wanyama wanotokana na uzazi mmoja / damu moja wakizaliana wao kwa wao husabisha madhara kwa vizazi vitavyo zaliwa kitendo hiki kinaitwa INBREEDING.
Madume yalio hasiwa hunenepa sana, na kwa wanyama kama mbuzi na kondoo hupunguza harufu kwenye nyama.
#burdizo #castration #kifaachakuhasiwanyama #kifaachakuhasi #castration #mashineyakuhasi #kuhasimbuzi #kuhasikondoo #mbuzi #kuhasichangombe #vifaavyamifugo #ufugajiwambuzi #joackvetcenter
Kuhusu kampuni follow @joackcompany
Kuhusu Kilimo follow @kilimo_tz
Duka la mifugo na kilimo @joackagrovet
Office zetu zipo @tegetawazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75(WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #mifugotz #mifugo #kilimotz #kilimo #tanzania #daktariwamifugo #dodoma #daressalaam #tanzania🇹🇿 #ngombe #castrator #madawa #vifaavyamifugo #kituochaafyayamifugo #mwanza #morogoro
JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
Tumblr media
1 note · View note
joackcompany · 1 year ago
Text
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo ...
MANURE DRIYER ni mashine maalumu inayotumia umeme kukausha mbolea, hufanya mbolea yenye maji yaani mbolea fresh kuwa kavu kabisa.
Hii mashine unaweza kutumia kukaushia mbolea ya kuku, ng'ombe, nguruwe, nk
Watu wengi tunaofuga mifugo katikati ya makazi ya watu, mbolea ni jambo linaweza kusabisha changamoto na migogoro kwa majirani, hasa usipo itunza vizuri.
Kwa kutumia hii mashine unaweza tatua changamoto hii kwa urahisi sana.
Ukitumia hii mashine kukaushia mbolea, unakuwa umepunguza harufu kwa kiasi kikubwa sana pamoja na hatari ya magonjwa sehemu unayofugia.
Lakini kubwa zaidi mbolea kavu ni bidhaa inayohitajika sokoni, hivyo hii ni biashara inayojitegemea kabisa.
Ukiitaji mbolea iliyokaushwa safi kabisa, tunayo kiroba kimoja tunauza 2,000/=
Karibu sana @joackcompany tukufundishe kutengeneza hela kupitia ufugaji.
#mashineyakukaushiambolea #manuredriyer #organicfertilizerdriyer #manure #mbolea #samadi #wauzajiwambolea #mboleayakuku #kikaushambolea #mashineyakukaushambolea #mboleayangombe #mashineyambolea #fertilizerdriyer #vifaavyamifugo #mashinezamifugo #mashinezakilimo
Office zetu zipo @TegetaWazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #joackvetcenter #mifugo #mifugotz #kilimotz #ufugaji #mbwa #daressalaam #dodoma #morogoro #tanzania #arusha #tanzania🇹🇿
0 notes
joackcompany · 1 year ago
Text
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar salaam na Bagamoyo
Vifaa vya usalama yaani Safety equipment ni aina ya vifaa vinavyotymika mashanbani, viwandani au sehemu yoyote ya kazi kwa lengo la kukulinda usalama wa binadamu na viumbe hai wengine.
Baadhi ya vifaa tulivyonavyo JOACK Company LTD ni kama.
1. Disposable overall (Maovaroli ya kutumika mara Moja)
2. Non - disposable overall
3. Safety mask
4. Chemical mask
5. Safety boot
6. Reflector
7. Safety helmet
8. Safety glass, nk
Hivyo vifaaa tulivyo taja hapo juu ni baadhi tu ya vifaa, vipo vifaa vingi zaidi vinavyotymika kwenye maswala ya usalama yaa vifaa Kinga..
JOACK ndio mahali pekee utakapo pata vifaa Kinga kwa bei rahisi sana kuliko sehemu yoyote ile.
Mikoani tunatuma pia, wasiliana nasi kupitia namba zetu za simu
#vifaavyausalama #vifaakinga #gloveszaplastic #vifaavyaufugajinakilimo #safetyequipment #Disposableoverall #Maovaroli #Nondisposableoveral #Safetymask #Chemicalmask #Safetyboot #Reflector #Safetyhelme #Safetyglass #plasticgloves
Office zetu zipo @TegetaWazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #herenizangbe #kilimo #mifugo #tanzania #ngombewanyama #ufugajiwakisasa #kuku #ufugajiwakuku #daressalaam #dodoma #morogoro #tanzania🇹🇿
JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
Tumblr media
0 notes
joackcompany · 1 year ago
Text
JOACK TUNAUZA TAA ZA JOTO KWAJILI YA KULEA VIFARANGA TAA ZA KUZALISHA JOTO | TAA ZA JOTO KWAJILI YA MIFUGO
Bei 14,900 Tu (Red light + White Light)
Tunakupa na holder yake Bure...
Call/Text/WhatsApp: +255 714 63 63 75
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Hizi ni taa ambazo zinauwezo mkubwa wa kuzalisha joto kwajili ya mifugo (vifaranga).
Taa hizi zinatumika sana na wafugaji wa kuku, kwajili ya kukuzia vifaranga.
Taa moja inauwezo wa kulea vifaranga 100 - 200 na zaidi.
Badala ya kutumia mkaaa au gasi kwajili ya kuzalisha joto, unaweza kutumia hizi taa.
Umuhimu wa joto kwa vifaranga sio tu wasipigwe na baridi, joto linatumika sana kwenye ukuaji wa vifaranga.
Vifaranga visipo pata joto la kutosha huwa vinadumaa.
Faida ya taa ni kwamba hazizalishi moshi (carbon monoxide au carbon dioxide) kama ambapo ungetumia mkaa au gasi.
Pia hizi taa hutumika kwenye mikoa ya baribidi kama mbeya, kwa lengo la kuzalisha joto.
Aina ya taa tulizonazo
1. Taa za watt 100
2. Taa za watt 220
3. Taa za watt 300
#taazajoto #taanyekunduzajoto #heatinglamp #taazavifaranga #balbuzawatimia #heaterzavifaranga #vyunguvyajoto #taazamifugo #vyungukwavifaranga #jotokwavifaranga
Karibuni sana @joackcompany
Karibu tukuhudumie tuna wataalamu walio wenye uzoefu wa kutosha. Jiunge nasi kwenye WhatsApp groups, ili uendelee kujifunza mengi na kukutana na familia ya wafugaji, Kujiunga tuma jina lako WhatsApp kwenye 0712253102.
Kuhusu kampuni follow @joackcompany
Kuhusu Kilimo follow @kilimo_tz
Office zetu zipo @tegetawazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
#mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #joackcompany #joackvetcenter #ufugaji #kuku #broiler #tanzania #vyunguvyavifaranga #daressalaam #morogoro #tanzania #kilimoufugaji #mwanza #arusha #dodoma #vifaranga #tanzania🇹🇿
Tumblr media
0 notes
joackcompany · 1 year ago
Text
JOACK COMPANY LIMITED NI WAUZAJI WA MADAWA YA MIFUGO, KILIMO NA VIFAA VYA MIFUGO NA KILIMO PIA.
JOACK Company Limited @joackcompany hii ni kampuni iliyosailiwa Tanzania, kwa lengo la kutoa huduma mbalili mbalili zinazohusiana na maswala ya kilimo na mifugo.
Call/Text/WhatsApp: +255 714 63 63 75
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @joackagrovet @joackanimalclinic @joackagrovet
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo
MIFUGO..
Kwenye mifugo (@mifugo_tz) kampuni inajihusisha na uuzaji wa bidhaa za mifugo lakini pia kutoa huduma mbalili za mifugo.
Huduma zinazotolewa na JOACK
1. Ushauri/Elimu juu ya ufugaji kibiashara (ufugaji wenye tija)
2. Chanjo na matibabu ya mifugo aina zote.
3. Kutembelea mashamba ya mifugo (farm visit)
4. Usimamizi wa mashamba ya mifugo
5. Kutafuta masoko ya bidhaa za mifugo.
6. Uadaaji wa bajeti za ufugaji
7. Furmigation service
Bidhaa patiakana JOACK
1. Vifaa vya ufugaji (vipo vya aina nyingi)
2. Mashine, mf: mashine za kuaguliavifaranga, mashine za kuchakata majani, nk
3. Vifaa vya incubator
4. Chanjo na madawa ya mifugo.
5. Vifaranga
6. Wanyama hai, mf: mbwa, paka, ng'ombe, nk
KILIMO...
Kampuni pia inajihusisha na maswala ya kilimo, kama unapenda kufahamu zaidi kuhusu kilimo tembelea hii page @kilimo_tz
#bidhaazajoack #hudumazajoack #hudumazamifugo k#ushuariwamifugo #ufugajikibiashara #wataalamuwamifugo #vifaavyamifugo #chajozamifugo #chanjozakuku #biasharayamifugo #tibayamifugo #wafugaji #ufugaji #kuku #mbuzi #livestocktools #vifaranga #chakulachamifugo
Office zetu zipo @TegetaWazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75 (WhatsApp)
+255 692 430 263
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #joackvetcenter #mifugo #mifugotz #kilimotz #ufugaji #mbwa #tanzania🇹🇿 #dodoma #morogoro #tanzania #arusha
JOACK Co LTD | DSM & BAGAMOYO
Tumblr media
1 note · View note
joackcompany · 1 year ago
Text
Tumblr media
TUNAUZA MBEGU ZA MAUA NA MAJANI KWAJILI YA GARDEN | LAWN SEED | PLAY MIX
BEI ZA MBEGU NA UJAZO WAKE
01. 500g = 85,000Tsh
02. 100g = 35,000Tsh
Call/Text/WhatsApp: +255 712 25 31 02
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm).
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo
LAWN SEED ni aina ya mbegu ambazo zinaoandwa sehemu mbalimbali kwenye bustani za nyumbani ili kupendezesha.
Watu wengine huwa wanatumia majani ili kuotesha majani, sisi tunashauri kutumia mbegu maana zinaota vizuri kwa usawa na hazina magonjwa na hata usafirishaji ni mrahisi.
Jinsi ya kupanda ni rahisi tu, mteja ataelekezwa vizuri na wataalamu wetu.
Licha ya mbegu za majani, JOACK Company LTD tunauza mbegu mbalimbali za maua kwajili ya bustani za nyumbani, mashuleni, hotelini, nk
Mbegu hizi ni za kisasa yaani hybrid, hivyo zinakuwa vizur na zinamatokeo mazuri sana.
#mbeguzamaua #mbeguzamajani #majajiniyagarden #majaniyabustani #maua #micheyamaua #bustani #gardeni #majaniyawanjani
Office zetu zipo @tegetawazohill Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 712 25 31 02 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/u2szG8izfqU
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #tanzania #bananatree #dodoma #migomba #micheyamigomba #vuazilishe #mbogamboga #kilimo #kilimotz #tanzania🇹🇿 #daressalaam #masaki #mbezibeach #africana #mbzei #mbweni #bunju #mikocheni #tanzaniahotels
JOACK Company LTD | DSM & Bagamoyo
0 notes
joackcompany · 1 year ago
Text
TUNATOA HUDUMA USIMIZI WA MASHAMBA YA MIFUGO | FARM SUPERVISION FOR BETTER RESULTS
Call/Text/WhatsApp: +255 712 25 31 02
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackbagamoyo @joackanimalclinic
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo.
JOACK Company LTD tunatoa huduma ya kusimamia mashamba ya mifugo (miradi ya ufugaji) ili kuhakikisha tija inapatikana.
Kampuni inachukua dhamana ya kusimamia shughuli zote za shambani na kuhakikisha zinakwenda sawa sawa.
Kama unapata changamoto kwenye kusimamia mradi wako wa ufugaji au kupata wataalamu sahihi wa mifugo, basi usiache ungana nasi JOACK Company LTD ili kufanikisha jambo lako.
Lengo letu la kusimamia mashamba ya wafugaji ni kuhakikisha tunazuia magonjwa na hasara zisizo na msingi.
Kampuni inautaratibu wa kutoa kijana mmoja ambaye atakuwepo shambani kwako kwa masaa 24, kila siku.
Kabla hujaanza kufunga ni vema kumualika mtaalamu kwenye shamba lako ili afanye ukaguzi wa kina kabla ya kuanza mradi wako.
Elimu juu ya #ufugaji ni kitu cha msingi sana kwenye mradi hii ni sawa na mtu aliyewasha tochi gizani hawezi kupotea njia, tochi ni sawa na ushuri wa kitaalamu.
Ijue biashara ya ufugaji na fursa zake za masoko kupitia wataalamu wenye uzoefu, tupo kukuonesha njia ya kufanikiwa kupitia ufugaji.
#ushauriwamifugo #ufugajikibiashara #mashambayamifugo #ufugajiwakuku #kutembeleawafugaji #ufugajiwabroiler #ufugajiwakukuwamayai #kusimamiamashamba  #kutembeleawafugajiwangombe
Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 712 25 31 02 (Call/Text/WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
Address: Tegeta, Wazohill, P. O. Box 67414 - DSM
YouTube: https://youtu.be/UxLyLqHtfnw
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #joackvetcenter #Kilimo #kilimotz #mifugo #mifugotz #dodoma  #tanzania🇹🇿 #kilimo  #tanzania #papai #kukuwanyama
0 notes
joackcompany · 1 year ago
Text
Tumblr media
TUNAUZA MASHINE YA KUKAMULIA MAFUTA ALIZETI | OIL PRESSING MACHINE
Common type
Model N70 = 8,500,000/=
Model N100 = 14,000,000/=
Model N120 = 16,500,000/=
Gold type
Model N95 = 17,000,000/=
Model N120 = 20,500,000/=
Call/Text/WhatsApp: +255 712 25 31 02
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackbagamoyo @joackanimalclinic @joackvetclinic
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo
Hii ni mashine ya kukamua alizeti ili kupata mafuta, ukiwa na mashine hii ni kiwanda tosha, maana unaweza kukamua alizeti na kutengeneza mafuta na kuuza.
Mashine hii inatumia umeme, na inauwezo wa kukamua alizeti kilo 70 - 100 kwa lisaa limoja.
Hii mashine ni kubwa, tofauti na mashine nyingine ndogo, hivyo unaweza kutengeneza mafuta ya kutosha kwa masaa machache.
Mashine hii inapatiakana JOACK Company LTD, na kwa wateja wa mikoani mnatumiwa hii mashine kwa gharama nafuu sana.
#mashineyaalizeti #mafutayaalizeti #kukamuaalizeti #kukamuamafuta #mashineyakukamuaalizeti #oilpressingmachine #mashineyakilimo #mashine #alizeti #kilimochaalizeti #sunfloweroilpressingmachine #sunfloweroil
Office zetu zipo @TegetaWazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 712 25 31 02 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
#joackcompany #daresalaam #tanzania #kilimo #mifugo #mbolea #mbegu #mbeguyaalizeti #mashuduyaalizeti #kiwandachaalizeti #tanzania🇹🇿 #manyara #singida #tanzania #serengeti #dodoma
JOACK Company LTD | DSM & Bagamoyo
0 notes
joackcompany · 1 year ago
Text
BEI ZA PELLET NA UWEZO WAKE
100Kg/hr = 1,500,000/=
150Kg/hr = 1,700,000/=
200Kg/hr = 1,770,000/=
300Kg/hr = 3,500,000/=
500Kg/hr = 4,500,000/=
1,000Kg/hr = 6,500,000/=
PELLET ni chakula cha mifugo kilicho tengenezwa katika mfumo wa tambi tambi au chenga chenga, yaani kwa lugha rahisi ni chakula cha tambi tambi.
JINSI YA KUTENGENEZA PELLET
1. Ili utengeneze pellet, unatakiwa kuchangya virutubisho vyote mfano mahindi, mashudu, pumba, soya, madini, vitamini, nk sehemu moja kwa kutumia beleshi au mashine maalumu ya kuchanganyia chakula (MIXER)
NB: Chakula kilicho changanywa tu na kupewa wanyama huwa kinaitwa MASH.
2. Changanya mchachayo wako na maji kidogo, ili uwe na unyevunyevu, hii husaidia chakula kushikana pindi unapotengeneza pellet kwenye mashine.
3. Chukua huo mchanganyo wako na weka kwenye mashine ya Pellet na uwashe mashine ili kutengeneza Pellet.
4. Hatua ya mwisho ni kuchukua Pellet ulizo tengeneza na kuzianika juani (lisiwe kali).
KWANINI ULISHE PELLET?
Hii ni kwasababu pellet moja (chenga moja) inakuwa na virutubisho/vichanganyo vyote, lakini kwenye chakula cha MASH mnyama/ndege anaweza kula punje aina moja zaidi kuliko nyingine, mfano kula mahindi kuliko soya.
Hii sababu inafaya PELLET kuwa bora na yenye matokeo kuliko MASH
#pellet #pelletmachine #chakulachasungura #mashineyakutengenezapellet #vifaavyamifugo #mizaniyachakulachamifugo #mashineyapellets #mashinezachakulachakuku #rabbitpelletsmachine #pelletmachine #mashineyachakulachasungura #mashineyachakulachamifugo #chakulachakuku #poultryequipments #tunauzamshinezaufugaji
Office zetu zipo @TegetaWazohill Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
#joackcompany #joackagrovet #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #tanzania🇹🇿 #ufugaji #kuku #dodoma #tanzania #ufugajiwakuku #daressalaam
JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
0 notes
joackcompany · 1 year ago
Text
Tumblr media
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Zipo mashine zinazotumia umeme, solar na betry (16 - 112 eggs incubator) - vyote kwa pamoja.
Hizi incubator tunaagiza CHINA, zina ubora tofauti na incubator za kutengeneza.
Za kutengeneza wanatumia MBAO AU MALINYI BODI ambazo zikipata unyevu au maji maji zinaaribika na kuoza.
BEI ZA INCUBATOR
01. Mashine ya mayai 16 Bei: 150,000/=
02. Mashine ya mayai 24 Bei: 180,000/=
03. Mashine ya mayai 58 Bei: 350,000/=
04. Mashine ya mayai 96 Bei: 450,000/=
05. Mashine ya mayai 112 Bei: 480,000/=
06. Mashine ya mayai 120 Bei: 650,000/=
07. Mashine ya mayai 176 Bei: 780,000/=
08. Mashine ya mayai 264 Bei: 980,000/=
09.Mashine ya mayai 352 Bei: 1,100,000Tsh
10.Mashine ya mayai 440 Bei: 1,300,000/=
11. Mashine ya mayai 528 Bei: 1,500,000/=
12. Mashine ya mayai 1,056 Bei: 1,800,000/=
13. Machine ya mayai 1,584 Bei: 2,300,000/=
14. Machine ya mayai 2,112 Bei 2,700,000/=
15. Mashine ya mayai 3,168 Bei: 3,700,000/=
16. Mashine ya mayai 4,224 Bei: 4,300,000/=
17. Mashine ya mayai 5,280 Bei: 4,900,000/=
18. Mashine ya mayai 10,000 Bei: 13,500,000/=
Pia tunauza spear / Vifaa vya kutengenezea incubator:- Tray, Controller, Limit switch, Baskect tray, Motor, Heater tube, Humidity tube, Humidifier n.k
#eggincubator #mashinezakutotoleshavifaranga #kukubiashara #mashinezakutotolesheamayai #mashinezakutotoleshavifarangawakuku #mayaiyakutotolesha #mashinezakutotoleshea
Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75(WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
#joackcompany #mifugo #kilimo #incubator #Vifaranga #kutotolesha #kuku #kukuwanyama #kukuchotara #broiler #dodoma #tanzania🇹🇿 #tanzania #kilimanjaro #morogoro #ufugaji #ufugajiwakuku #kuroiler #broiler #kuku #vifaavyaufugaji #mashinezavifaranga #mashineyakutotolesheavifaranga
JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
0 notes
joackcompany · 1 year ago
Text
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackvetclinic @joackbagamoyo
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo.
CALF FEEDING BOTTLE 🍼 CALF MILK BOTTLE 🍼 CALF NURSING BOTTLE hii ni ndoo ya plastic yenye chuchu ambayo inatumika kumnyweshea ndama maziwa..
Badala ya kutumia chupa ya soda tumia CALF NURSING BUCKET ni nzuri sana na nirahisi kutumia.
lakini pia tunauza MAZIWA ya unga kwajili ya ndama yanaitwa MILK REPLACER, hii husaidia kuokoa Gharama za kukuza ndama kwa kutumia maziwa ya mama yake.
#maziwa #dama #maziwayandama #chuchu #calfnipple #chuchuzandama #ndoozandama #utunzajiwandama #uleajiwandama #cow #chupazamaziwa #calffeedingbottle #ngombewamaziwa #nursingbottle #ngombe #calfmilkbottle #calfbottles #chupazandama
Office zetu zipo @tegetawazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #mifugo #mifugotz #kilimotz #ufugaji #tanzania #daressalaam #morogoro #mwanza #arusha #tanzania #tanzania🇹🇿
JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
Tumblr media
0 notes
joackcompany · 1 year ago
Text
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @jactechnologies
Hizi grooming 🧤 brush zina vipira vidogo kama vya brush vinavyoweza kumsugua mnyama wako (mbwa/paka) vizur, vinatoa ukoko wote wa uchafu na kuweka ngozi safi.
Tunauza vifaa vingi Sana kwajili ya mbwa na paka (Dog and cat accessories) , ukiitaji picha na bei (price list) wasiliana na 0714 63 63 75 watakutumia PDF yenye bei.
NB: JOACK COMPANY ndio sehemu pekee utapa bidhaa hizi kwajili ya mbwa na paka kwa garamanafuu.
#DogCollar #brushzambwa #DogLeashes #DogChain #DogCage #dogbowl #dogball #groomingglove #gloveszambwa #gloominggloves #dogcollers #petproducts #dogproducts #catsprocts #mikandayambwa #vifaavyambwa #mipirayambwa #gloominggloves
Office zetu zipo @TegetaWazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75(WhatsApp)
+255 692 430 263
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: htt
#joackcompany #joackvetcenter #mifugotz #mifugo #wauzajiwambwa #kilimo #dogs #dogshop #wauzajiwavifaavyambwa #tanzania #tanzania🇹🇿 #dodoma
Welcome Mifugo Tz Visit to Like follow our social networks
1. Facebook Page Mifugo Tz Page
link: https://www.facebook.com/MifugoTz/
2. Instagram mifugo_tz
link: https://www.instagram.com/mifugo_tz
3. Twitter Mifugo TZ:
link: https://twitter.com/MifugoTz?s=09
4. Linkedin Mifugo Tz
link: https://www.linkedin.com/in/mifugo-tz-50798216b
5. You Tube Mifugo Tz Online Tv
link: https://youtu.be/xOZqX0VNcZc
6. tumblr mifugotz
link: https://mifugotz.tumblr.com
7. Google+ Mifugo Tz
link:https://plus.google.com/115072283190826326981
8.Pinterest Mifugo Tz
link: https://pin.it/fahluqf3aeoim2
JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
Tumblr media
0 notes
joackcompany · 1 year ago
Text
Tumblr media
TUNAUZA VIFAA MBALIMBALI VINAVYOTUMIKA KWENYE UCHAKATAJI WA MAZIWA.
Kwenye picha ni: VACUME SEALER MACHINE
Zipo za lita 125L hadi 10,000L.
Call/Text/WhatsApp: +255 712 25 31 02
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo
Tupo wazi kuanzia saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku.
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill DSM na Bagamoyo
@joackcompany tunauza vifaa vya kisasa vinavyotumika kwenye uchakataji wa maziwa, vifaa hivi vinakuwezesha mkulima kuwa na kiwanda kidogo cha maziwa yaani Small Milk Processing Plant. Baadhii ya hivi vifaa ni kama;-
1. Milk tanks
2. Pasteurizers
3. Cream Separators
4. Cheese presses
5. Homogenizers
6. Ice cream makers
7. Butter churn
8. Milk separators
9. Packaging Machine, nk
Hivyo ni baadhi tu ya vifaaaa, ila vipo vingi zaidi ya hivyo.
Ikiwa unahitaji kifaa chochote kwaajili ya kuchakata maziwa, unaweza kutuma picha na taarifa ya hiki kifaa au machine kwenye WhatsApp yetu nasi tutakuhudumia.
Kwa kutumia hivyo vifaa tajwa hapo juu, unaweza kuchakata maziwa na kupata bidhaa zifuatazo:-
1. Cream
2. Butter
3. Pasteurized milk
4. Yogurt
5. Cheese
6. Ice cream
7. Fluid milk
8. Buttermilk
9. Mtindi
9. Powdered milk - maziwa ya unga
Leongo kubwa la @joackcompany ni kuwawezesha wakulima kuongeza thamani ya maziwa wanayo zalisha ili waweze kufanikiwa zaidi kiuchumi.
Lakini pia kuchochea matumizi ya teknolojia kwenye sekta ya maziwa, ili kwa pamoja tuweze kufanikiwa ndani ya wakati na sio kutumia muda mrefu kwenye safari ya mafanikio.
Ofisi zetu zipo @TegetaWazohill - Barabara ya Wazo karibu na kanisa la KKKT, opposite na kota za kiwanda - DSM, kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa:
Simu:
+255 712 25 31 02(WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
#mashinezamaziwa #mashinezakuchakatamaziwa #kuchakatamaziwa #maziwa #ngombewamaziwa #dairycattle #mashinezamifugo #vifaavyamaziwa #matankyakuifadhimaziwa #matankyamaziwa #pasturaizer #Milkseparators #joackcompany #mifugotz #kilimotz #mifugo #kilimo #kilimobiashara #ufugaji  #mashinezakufungia #milkequipment #kiwandachamaziwa #dodoma #tanzania🇹🇿 #tanzania
JOACK Company LTD | DSM & Bagamoyo
0 notes