#nuksi za uchawi na majini
Explore tagged Tumblr posts
tibaherbs · 4 years ago
Text
Powerful oil na MT32 zinatibu uchawi
Powerful oil na MT32 zinatibu uchawi
Uchawi umekithiri na kuenea dunia kupitia ushirikina wa baadhi ya wanadamu wakishirikiana na mashetani wa aina mbali mbali. Kuanzia mabara ya Ulaya, Amerika, Africa na nchi nyingine uchawi unatumika kuharibu mambo mengi ikiwemo afya ya mwanadamu na kumfanya augue magonjwa yasiyoeleweka na hata vipimo vya hospitali za kisasa havitoi majibu ya kuumwa kwa waliologwa. Kuna majini yanaishi duniani…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
tibaherbs · 4 years ago
Text
Madawa kiboko ya kuondoa uchawi na majini kwa mtu.
Madawa kiboko ya kuondoa uchawi na majini kwa mtu.
Tumblr media Tumblr media Tumblr media Tumblr media Tumblr media
Mt32, Safisha, Powerful Oil, Cleansing herbs, Powerful Soap na Peace OIl
Dawa hizo hapo juu:
MT32, Cleansing herbs, Powerful oil, Safisha, Powerful soap, Altiti ya Unga na Peace Oil zina nguvu aliyoweka Muumba wa kila kitu kiasi kwamba unakunywa, unaoga na kujipaka kuondoa uchawi mwilini, majini, athari za uchawi kama nuksi na mikosi kwa uwezo wa Mungu wa pekee aliyeipa baadhi ya mimea nguvu ya…
View On WordPress
0 notes
tibaherbs · 5 years ago
Text
Uchawi mwilini uanweza kuingia kwa kulishwa kwenye chakula, kulishwa umelala ndotoni, kutegwa, kutpiwa au kutuma jini akakuingia ukiwa sehemu yoyote ile.
Wachawi wanaweza kupata kucha zako au nywele zako au nguo yako hasa yenye jasho lako au kitambaa chako cha jasho ili wafanye uchawi kisha wakutupie na unakupata isipokuwa kwa ulinzi wa Mungu mmoja wa pekee.
Dalili za uchawi ni:
kuota ndoto za marehemu
Kuota unalishwa vitu
Kuhisi mwili una vitu vinatembea au kuchoma ghafla na kisha kupotea
Kuhisi kubanwa kifua na kuumwa kichwa upande mmoja
Kuwa katika ugomvi na wa tu wengi kwenye familia au kazini
Kuhisi umebeba
Kuona mikwaruzo mwilini kama umekatwa wa wembe
Kujihisi umechoka kuishi
Kuchoka sana hasa ukiamka asubuhi
Kuhisi njaa kila baada ya kula na ukipima huna minyoo
Kukosa mapenzi kwa mke au mume bila sababu na ulikuwa unampenda sana mwanzo na wala hajakuudhi
Kuharibikiwa kazi au biashara mara kwa mara
Kutoka mimba hasa ukiwa unaota watoto na unafanya mapenzi ndotoni
Damu ya hedhi kutokoma au kupotea bila kuwa na mimba au kunyonyesha
Kuwa na hasira mara kwa mara
Kubadilika ngozi na kukosa nuru kiasi kwamba kila mtu anakuuliza umekuwaje?
Familia kuvurugika na kukosa kutoelewana
Kila siku mikosi na nuksi mpaka unakuwa mfano kwa watu
Kuota paka weusi mara kwa mara
kuota nyoka weusi kila siku
Kuota unapaa
Kuota uko chooni au sehemu chafu
Kuota unavamiwa na kuumizwa
Kuota damu mara kwa mara
Kuota radi inakupiga ni ndoto mbaya hizi
Hatua za kutibu uchawi na majini
Kwanza utambue kwa dalili
Tafuta tabibu mwenye uzoefu kwa kuulizia au kuhakikisha ukweli wake kwa kuulizia
Kunywa dawa za kuundoa mwilini au ukijua ulipo utoe na uumwagie limau na kisha tia moto.
Pata dawa ya MT32 na SAFISHA hizi dawa unakunywa na kuharisha kila kitu mpaka kama ulilishwa utaona vitu vya yellow au vyeusi
Pata dawa za kuoga na kupaka, Powerful Oil na Powerful soap
Hizo dawa nne zitaondoa uchawi mwilini na kufukuza majini ikiwa utazitumia vizuri na Mungu ameumba miti na nguvu zake kaziweka, Mungu mkubwa kuliko tunavyofikiria.
Tuwasiliane: +255621870342 WhatsApp, [email protected]
Dawa za kupulizia kwenye maeneo ya biashara au nyumbani kama wachawi wanaingia ili wasiingie kukuloga.
Tumblr media
Tuwasiliane: +255621870342 WhatsApp, [email protected]
Taratibu za kuondoa uchawi mwilini Uchawi mwilini uanweza kuingia kwa kulishwa kwenye chakula, kulishwa umelala ndotoni, kutegwa, kutpiwa au kutuma jini akakuingia ukiwa sehemu yoyote ile.
0 notes
tibaherbs · 6 years ago
Text
Uchawi umekuwa changamoto kwenye jamii na kila sehemu upo duniani kote, mitandao inachochea zaidi uchawi kusambaa kiasi kwamba kwa sasa kuna nchi za Ulaya wanafundisha uchawi vyuoni kuanzia cheti hadi Phd.
Kuna wanaofundisha uchawi bure kwa njia ya mtandao kupitia simu na computer, kuna wanaotoa huduma za kuloga kwenye mtandao kiasi kwamba ukitaka kumloga mtu unawasiliana naye alipo na yeye anakuomba vifaa vya mtu wa kuloga na mara nyingi inakuwepo picha ya huyu unayetaka amloge bila kukosa majina yake na mama yake.
Muhimu ni kujilinda na uchawi kwa kumtegemea Muumba wa mbingu na ardhi ili atulinde na madhara ya uchawi!
Uchawi unachochea na husuda! Husuda ikizidi bila juhudi ya ushindani basi wengine wanaloga wale waliowazidi kimafanikio, wanaloga watoto wa jamaa zao na familia zilizoko karibu.
Kuna dawa za kunywa endapo utahisi dalili kama:
Kuhisi mwili una vitu vinavyotembea
Kuota unakula au kulishwa vitu
Kuota wanyama na maadui wanakufukuza
Kuota uko sehemu chafu mara kwa mara
Kuota unafanya mapenzi mara kwa mara
Kuota unanyonyesha mara kwa mara
Kuota paka na majoka
Kuhisi umebeba kitu mgongoni
Kuhisi hasira mara kwa mara
Kuhisi moyo unachomwa chomwa
Kuhisi mwili moto bila malaria na ubaridi mkali bila taifodi
Kukosa kuzaa bila sababu za msingi
Kutoka damu kwa wingi kuliko kawaida za hedhi
Kukosa hedhi bila sababu
Kuchanjwa usiku
Kuona mikwaruzo kwenye mapaja
Kukosa hamu ya tendo la ndoa, hamu ya mapenzi
Nyumba kukosa amani
Nyumba kugongwa usiku
Mke na mume ugomvi kila mara bila sababu
Kupenda kuzini kila mara
Kuwa na tamaa sana ya mapenzi na kila mtu
Kuchukiwa na watu bila sababu
Fedha kupotea kimaajabu
Kukosa manufaa na pesa na ukiipata visanga
Mikosi na nuksi kila mara
Kukata tamaa ya maisha
Kunywea uume au matiti ghafla
Kuhisi maumivu chini ya kitovu
Kufa ganzi baadhi ya viungo
Kutamani kujiua
Kuona maisha hayana raha na faida kwako
Kuwa mzito kufanya ibada
Kusinzia wakati wa ibada kila mara
Kusahau mambo muhimu
Kupanga bila kutenda hata ukiwa na pesa mpaka inaisha ndo unastuka
Dawa ya Kunywa, kujipaka, kuoga na kupulizia kila mahali kuzuia na kufukuza majini, wachawi na nguvu zote za giza.
Dawa ya kuondoa uchawi mwilini ni Mt32 na SAFISHA
Dawa za kufukuza majini na kutibu matatizo ya madhara ya uchawi na majini ni Powerful oil na Powerful soap
Dawa ya kuzuia na kufukuza majini, kuzuia wachawi mahala popote ni ya kupulizia ya spray inaitwa Extra Powerful Oil
Tumblr media
Dawa ya spray ya kupulizia kwenye nyumba kuzuia na kufukuza majini, kuzuia wachawi na aina zote za nguvu za giza. Uchawi umekuwa changamoto kwenye jamii na kila sehemu upo duniani kote, mitandao inachochea zaidi uchawi kusambaa kiasi kwamba kwa sasa kuna nchi za Ulaya wanafundisha uchawi vyuoni kuanzia cheti hadi Phd.
0 notes
tibaherbs · 5 years ago
Text
Ukiona una magonjwa yasiyoeleweka na hospitali wanakwambia uko sawa baada ya vipimo usiishie hapo wala usiende kupiga ramli kwani wengi wapiga ramli ni uongo mtu, na pia wanahitaji pesa yako kwa kupitia visingizio vya makafara ya mizimu na majini,
Dalili hizi ni kipimo tosha bila ramli kujua kuwa umelogwa:-
Kuota ndoto za kutisha na za ajabu
Kuota watu waliokufa jamaa na marafiki
Kuamka umechoka kila siku
Kuchukiwa na watu bila sababu
Kuota unafanya mapenzi mara kwa mara
Kuota unalishwa vitu au chakula
Kuota uko sehemu chafu
Kuota unapaa
Kuota una watu usio wajua
Kuota nyoka mara kwa mara
Kustuka stuka usingizini mara kwa mara
Kupiga miayo mara kwa mara hata kama huna usingizi na wala njaa
Kuogopa watu bila sababu
Kuhisi mwili una vitu vinatambaa
Kuhisi ganzi mwilini au moto kwenye baadhi ya viungo
Kupata kifafa ukubwani
Kuota una watoto mara kwa mara
Kuota unanyonyesha
Kuota unalawitiwa au unalawiti
Kuota unafanya mapenzi na ndugu zako
Kuharibikiwa kila kitu unachofanya hata ukijitahidi vipi
Kuwa na elimu ya juu ila hupati kazi na maisha magumu kuliko hata wa darasa la saba, chanzo husuda
Kubadilika ngozi na kuwa chakavu hata kama unaoga na kujipaka mafuta au lotion
Kuandamwa mikosi na nuski kila kukicha
Kuumwa kichwa upande mmoja
Kukosa hedhi au kuharibika mimba mara kwa mara kwa wanawake
Tumbo kuwa kubwa bila sababu
Kuhisi vitu vinajiviringisha tumboni na wala si minyoo ukipima choo
Kujiona na kuwa na kiburi hata kama ni maskini na wala huna cheo ingawa mtu yoyote yule ni kuheshimiwa na kuishi bila kiburi
Kuuma meno usingizini
Kama unazo dalili hata 2 na hospitali umeangaika bila mafanikio njoo tukuhudumie kwa Uwezo wa Mungu mmoja wa pekee dawa hizi zimefanyiwa utafiti kwa mambo ya uchawi na kufukuza majini na zinaleta matokeo mazuri kwa haraka.
MT32-dawa zaidi ya 30 zimesagwa za asili zenye kutibu magonjwa mengi ukiwemo uchawi mwilini, dawa hii ni ya kunywa kwa kuchemsha au kuweka kwenye asali.
Powerful Oil-Dawa ya kupakaa ya mafuta yenye dawa nne ndani yake na mafuta haya ni ya mti uliobarikiwa kwa kutajwa kwenye vitabu vikuu vitakatifu yaani Taurati, Injili, Zaburi na Qur’an na ulikuwa katika mlima wa sinai na maeneo ya mashariki ya kati
Powerful Soap– Sabuni yenye madawa na ina nguvu za kuondoa athari za nguvu za giza za aina zote kama nuksi na mikosi.
Safisha– Dawa ya asili yenye kuondoa uchawi na uchafu tumboni kwa maana hata kama hupati choo utaharisha na kusafisha utumbo kwa mgandano wa chakula na sumu zingine zenye kuleta madhara.
Extra Powerful oil– Kama unahisi kwenye biashara yako kuna nguvu za giza au nyumba yako iko na mauza mauza ya kichawi pengine wachawi wanakusumbua usiku na kukosa amani, unapulizia kama unavyofanya kwa mbu na wadudu wengine. Hii dawa ina nguvu kutokana na mchanganyiko wa mimea na mafuta kwa ajili ya kuzuia wachawi na majini wasiigie kwako au nguvu za giza zikae kwako au kwenye biashara yako.
Mawasiliano ni:
076253174. Tuko Dsm Ubungo.
WhatsApp: +255621870342
  Kulogwa kupo Ukiona una magonjwa yasiyoeleweka na hospitali wanakwambia uko sawa baada ya vipimo usiishie hapo wala usiende kupiga ramli kwani wengi wapiga ramli ni uongo mtu, na pia wanahitaji pesa yako kwa kupitia visingizio vya makafara ya mizimu na majini,
0 notes
tibaherbs · 5 years ago
Text
Kutokana na mafundisho ya kale tunaona Nabii Musa alipokwenda Misri kwa Farao kuwakomboa waizraeli, Farao aliwaita wachawi wakali wa Misri ili wapambane na Musa aliyekuwa na miujiza kutoka kwa Mungu mmoja wa pekee.
Farao na watu wa kawaida walidhani Musa ni mchawi na kushauri waitwe wachawi wa kumuonyesha uchawi zaidi yake na kumkomesha, ila ajabu vyote walivyifanya havikufua dafu mbele ya Musa aliyekuwa na Uwezo wa Mungu.
Kwa hiyo uchawi upo na unakuwa sana kwa sasa kutokana na internet, simu na mawasiliano yote ya kisasa, wachawi wanapata kanuni mpya na pia tiba zipo za kweli na za utapeli.
Ukiwa na mafanikio katika maisha yako watu wanakuhusudu sana na wengine wanafurahi sana na wengine wanachukia na kuanza maneno kisha baadhi yao wanakuloga. Mafanikio kama akili, kupendwa na watu, kupata mali, kuzaa watoto wenye akili,kuishi kwa amani na mke wako na kuheshimika ni vitu vinavyoweza kukufanya uhusudiwe na baadhi ya watu walioko karibu na pengine jamaa wa karibu au marafiki.
Kuzuia husuda na kutibu uchawi ni jambo la kuzingatia kwa kufanya maombi ya mara kwa mara na kunywa dawa halisi za kuondoa uchawi mwilini na kufukuza majini.
Dalili kuu za kulogwa na kuhusudiwa
Kuota ndoto za kutisha
Kuota nyoka na mapaka
Kuhisi huna nguvu hasa kuchoka mapema asubuhi bila sababu
Kuchukiwa na watu wengi hadi familia yako bila sababu
Kupata mikasa ya ajabu mpaka watu wanasema una mikosi na nuksi
Kudharauliwa na watu wengi hata wadodo kiumri
Kuota uko chooni
Kuota unafanya mapenzi
Kuota unaoa au unaolewa
Kuota watoto mara kwa mara
Kutamani kufa au fikira za kujiua
Kuongea na kuuma meno usinginizini
Kuhisi kama sindano mwilini
Kuchukia tendo la ndoa
Kukosa mimba au kutunga mimba
Kusikia unaitwa na anayekuita humuoni
Kuota damu
Kuota unajisaidia au kukojoa mara kwa mara
Mboo kuwa lege lege ukikaribia kuingiza ukeni
Kuwa dhaifu kumbu kumbu
Kusahau sana na kukumbushwa mara kwa mara
Kuhisi kuna mtu amekufuata nyuma ila ukiangalia humuoni
Kukosa muelekeo wa maisha
Kuna dalili nyingi za kichawi na kulogwa ila hizo ni miongoni tu
Dawa za kutibu uchawi na nguvu za giza ni:
Powerful oil-Dawa zimechanganywa kwenye mafuta yaliyobarikiwa na kutajwa kwenye vitabu vya dini kuanzia Taurati, Zaburi, Injili na Qur’an
Mt32-Dawa zaidi ya 32 za asili zilizosagwa na kuwa unga zinazotibu magonjwa mengi
Powerful soap-Sabuni yenye dawa za asili nne na mafuta kiasi kwamba nguvu za giza na mikosi, nuksi vinatibiwa.
Safisha-Dawa ya asili isiyokuwa na kemikali yoyote inayosafishwa utumbo na mfumo wa chakula kiasi kwamba uchafu, mafuta na uchawi wa kulishwa vinatoka kwa kuharisha.
Extra Powerful oil-Mafuta yenye dawa kali za kufukuza majini na wachawi wasiingie nyumbani kwako na kufukuza majini na kuondoa nguvu za giza nyumbani au shambani au sehemu ya biashara.
Mawasiliano:
Ofisi zetu ziko Ubungo  Dar es Salaam,karibu na MIC Hotel kabla ya kufika Ubungo Plaza ukiwa unatoka Ubungo stand ya mkoa.
Simu/WhatsApp:+255621870342, +255762053174: Email:[email protected]
        Uchawi ni jambo lipo Kutokana na mafundisho ya kale tunaona Nabii Musa alipokwenda Misri kwa Farao kuwakomboa waizraeli, Farao aliwaita wachawi wakali wa Misri ili wapambane na Musa aliyekuwa na miujiza kutoka kwa Mungu mmoja wa pekee.
0 notes
tibaherbs · 5 years ago
Text
Kwa msomi na mfuatiliaji atakuwa ameisha soma kwenye magazeti, mtandao, n.k kuhusu matukio ya kichawi, kwa mfuatiliaji atakuwa ameisha ona kwenye makanisa ya kilokole na TV habari za kichawi na ukemeaji wa majini ni matukio ya kawaida siku hizi.
Mtandao una faida na hasara kutokana na mtumiaji, siku hizi uchawi unafundishwa kwa pesa na kwa bure wakati mwingine! Pia wachawi wanaloga kupitia mtandao ukitaka huduma yao, usiloge mwenzako kwa sababu yoyote ile.
Athari za uchawi
Kuota ndoto za kushambuliwa na wanyama kama nyoka, paka, n.k
Kuhishiwa nguvu za mwili na ukipima huoni ugonjwa
Kuchanganyikiwa na ukipimwa kichwa uko sawa
Kuhisi umebeba vitu na vitu kutembea mwilini
Kupata ganzi na kuhisi joto lisilokawaida kwenye sehemu za mwili
Kuharibikiwa maisha na kuwa dhalili hata ukiwa msomi au mtaalamu
Kuchukiwa na watu wengi na hata familia yako inakuchukia bila sababu
Mwanamke kukosa hedhi bila sababu
Mimba kutoka bila sababu
Mimba kutoshika na kuhisi kitu mwilini kinacheza
Kuwa na fikira za kujiua au kukata tamaa
Mwanamke kukosa hamu ya kufanya mapenzi
Mwanaume mboo kusinya na kuwa kiduchu pindi akikaribia kulala na mke wake
Ugomvi usio na chanzo kati ya wana ndoa
Kumchukia mume wako au mke wako bila sababu
Watoto kuwa kama vichaa hawataki shule wala kusikiliza wazazi
Akili kupotea na kusahau kusiko kwa kawaida
Biashara na shuguli zako kukosa muelekeo
Ngozi kuwa rafu hata ukijipaka mafuta unakuwa kama uso hauna mvuto
Ukiongea na watu hawataki kukusikiliza na wala hawapendi kuwa karibu na wewe
Kila jambo baya unatuhumiwa wewe
Ukifanya kazi kwa bidii bosi haoni kazi zako wala kukujali
Kuhisi unaambiwa na mtu masikioni mambo fulani yenye kukushugulisha
Kuhisi njaa mara kwa mara hata ukishiba
Kushambuliwa na maradhi yasiyo eleweka
Kwa mwanafunzi au mfanyakazi kutoona vizuri na wala macho hayana shida kwa vipimo
Kupiga myao na kusinzia ofisini au dukani au kwenye biashara mara kwa mara
Kusinzia wakati wa ibada na kutojua hata kilichosemwa na ikiisha usingizi unapotea
Mwanamke kukauka sana ukeni na kuchubuka wakati wa tendo la ndoa
Kuota unaingiliwa hata kwa nyuma uwe mke au mume
Kuwa na hasira hata kwa jambo dogo
Moyo kuuma na kuhisi sindano
Kupata sukari ya kupanda na presha za mashaka na kupotea na kisha kurudia
Pesa kupotea kimaajabu na ikiingia unapata majanga ya kuchukuliwa kama wagonjwa, vifo na mengine ili pesa itumike na ikiisha huoni matumizi ya ghafla
Nyumba yako kuwa nzito na kukosa amani ukiwa ndani ya nyumba
Kuhisi vitu vinagonga kwenye nyumba hasa dali kama panya wakubwa wanakimbia
Kuhisi unatingishika kichwa na kuona ukungu
Kutamani kuachika bila sababu na kuona heri uwe pekee yako
Kumfukuza mke wako na kutamani usioe tena
Woga uliokithiri bila sababu na wasi wasi sana moyoni kama mtuhumiwa
Kila ugonjwa na tiba yake, uchawi na majini utibiwa kwa dawa zilizo fanyiwa majaribio na kutibu watu wengi.
Dawa za kunywa kuondoa mwilini kwa yule aliyelishwa uchawi au kutegwa
Dawa za kujipaka kufukuza majini na kufanya mwili upate nguvu
Kuna dawa za kuoga kuondoa mikosi na nuksi
Kuna dawa za kujifukiza kufukiza kwenye nyumba kufukuza majini
Kuna dawa za kupulizia kwenye nyumba na sehemu za vyumba ili kufukuza na kuzuia wachawi na majini visiingie
Mawasiliano:
255621870342 Pia WhatsApp: +255621870342
uchawi na majini vinaathiri watu bila kujua Kwa msomi na mfuatiliaji atakuwa ameisha soma kwenye magazeti, mtandao, n.k kuhusu matukio ya kichawi, kwa mfuatiliaji atakuwa ameisha ona kwenye makanisa ya kilokole na TV habari za kichawi na ukemeaji wa majini ni matukio ya kawaida siku hizi.
0 notes
tibaherbs · 5 years ago
Text
Ndoto ni ujumbe fulani unaosaidia kujua siri zinazoendelea katika maisha yako. Kuna ndoto za kawaida zinazotokana na fikira zako, lakini kuna ndoto zisizo za kwawaida kama: 1.Kuota unafajisaidia au kuota kinyeshi, mavi machafu haswa, mitaro michafu, nk. Hizi ndoto si nzuri na zina maana mbaya kwani mavi au kinyeshi hakuna anayekipenda na kila mtu akikiona analalamika na wengine wanashika pua, kuota uko chooni au sehemu chafu napo inaonyesha ukiwa chooni huwezi kukaribisha mgeni chooni wala kunywa soda chooni, hii ni kwa sababu ni sehemu chafu. Ndoto zote za kinyesi, mavi machafu, mitaro michafu, choo, bafuni, nk zina maana wewe umeisha athirika kutokana na nguvu za giza ili ukose thamani kama uchafu usiwe chochote katika jamii.
Kutokana na uchawi, majini, mapepo, nk kuongezeka kwenye jamii, husuda uchochea watu wengine wawahusudu wenzao na kutafuta njia chafu za kuwadhuru bila wao kujua. Ndoto za kinyesi/mavi na choo ni ishara ya kufanyiwa mambo machafu uwe si chochote uonekane kama mavi au takataka kwenye jamiii hadi familia yako, na lengo kuu udhalilike na ndo watu wanasema jamaa simpendi au ana mikosi na nuksi.
Mikosi na Nuksi ni zao la matokeo yasiyopendeza kwako mpaka jamii inakuona wewe huna lolote na hujiwezi na hufai kwa chochote!
Kuondoa madhara ya ndoto za mavi au kinyesi, uchafu na zote zenye kufanana na uchafu unatumia mbinu hizi: 1.Kuomba Mungu mmoja kwa dhati kila siku 2.Kutumia dawa za kukata uhusiano wa nguvu za giza na fikira yako 3.Kunywa dawa na kuoga dawa za kuharibu ngome ya uchawi au majini ndani yako na kutibu mwili kwa ujumla.
Dawa hizo ni: Powerful oil, MT32, Powerful soap na SAFISHA
Ushauri zaidi, Tuwasiliane:
+255621870342 Pia WhatsApp: +255621870342
Kuota kinyesi/mavi Ndoto ni ujumbe fulani unaosaidia kujua siri zinazoendelea katika maisha yako. Kuna ndoto za kawaida zinazotokana na fikira zako, lakini kuna ndoto zisizo za kwawaida kama:
0 notes
tibaherbs · 6 years ago
Text
Uchawi na mapepo yametajwa katika Biblia na Qur’an bila chenga wala maficho yoyote!
Tunaona Musa nabii wa Muumba wa pekee alivyopambana na wachawi uko Misri walioitwa na Farao. Nabii Musa alitumia fimbo yenye nguvu za Mola Muumba wa kila kitu kuwamaliza wachawi na uchawi wao.
Kwa hiyo uchawi unafanywa na wachawi wanadamu wanaompinga Muumba na kumtii shetani Ibisi aliyelaaniwa.
Mchawi hawezi kupaa au kuingia kwenye nyumba mpaka majini yamsaidie kufanya hivyo, na hayawezi kumsaidia mpaka amkufuru Mola wa pekee na amtii kiongozi wa mashetani aitwaye Azaziili au Lucifer au Ibilisi.
Wachawi wanaingiaje ndani ya nyumba?
Wanaingia kupitia pembe za nyumba au milangoni au madirishani au dalini. Wanaingia na kufanya mambo ya kuloga na kusumbua waliolala bila kujua ila wataota mambo ya ajabu, pia watawekea madawa na hata kuchanjwa mpaka kunyolewa nywele wakiwa hawajitambui kabisa.
Nini la Kufanya?
Kwanza: Nikumtegemea Muumba wa pekee aliyeumba kila kitu.
Pili: Kama unaumwa magonjwa yenye kuonyesha dalili za kulogwa pata dawa zifuatwazo:
MT32, POWERFUL OIL, POWERFUL SOAP NA SAFISHA. Hizi dawa zitaondoa kila kitu ndani ya mwili na nje ya mwili kutokana na uchawi yakiwemo majini. Kwani haya madawa yamechanganywa na dawa za kufukuza na kuharibu nguvu za majini na wachawi.
Dawa ni hizi: Ni dawa za kunywa, kujipaka na sabuni yenye dawa kali kuondoa athari za uchawi na majini ikiwemo mikosi na nuksi.
KUKINGA NYUMBA, SHAMBA, MIFUGO NA BIASHARA KWA KUPULIZIA SPRAY KALI
Hii ni dawa kali yenye mchanganyiko wa dawa zenye nguvu ya kufukuza, kuzuia na kuangamiza makazi ya majini na mapepo ya aina zote, mchawi hawezi pita wala kukaribia sehemu iliyopuliziwa hii dawa kali.
Hii inaitwa Extra Powerful Oil
Matumizi:
Pulizia sehemu nyumba nzima hasa kwenye pembe za nyumba, dalini, chooni, bafuni.
Pulizia kwenye bihashara yako, shamba na hata wewe waweza jipulizia kidogo na kujipaka.
Pulizia mazizi ya mifugo na popote utakapoona pana mali zako kwani husuda ufuata mali.
Kwa uwezo wa Muumba aliyeumba kila kitu na vilivyoandaa dawa hii majini na wachawi hawatafanikiwa kuingia kwenye nyumba au biashara au shamba na kuharibu kwa njia za kiuchawi. Majini nayi hayatakaa kwani ni hatari hii dawa kwa najini na wachawi.
        goni au madirishani a
Zuia wachawi na majini kwa spray ya dawa kali Uchawi na mapepo yametajwa katika Biblia na Qur'an bila chenga wala maficho yoyote! Tunaona Musa nabii wa Muumba wa pekee alivyopambana na wachawi uko Misri walioitwa na Farao.
0 notes
tibaherbs · 7 years ago
Text
Kuna watu wanafanya mambo kama hawako nasi na wala sisi hatuwezi kugundua mambo yao na wala kuwaona wakifanya mambo yao! Hawa watu wanashirikiana na viumbe vingine vilivyoasi Mungu na kufanya mambo yasiyoonekana kwa macho ya kawaida ili kutimiza dhamira zao mbali mbali kwa viumbe wengine na wao binafsi kufurahisha nafsi zao, hawa watu wanaitwa washirikina na mtandao wao unaweza kuitwa ulimwengu wa ushirikina!
Wachawi, Majini na viumbe vingi vya ajabu visivyoonekana vipo kwa asilimia 100
Wachawi wanakufuru Mungu mmoja wa pekee ili majini na mashetani yawe marafiki kwa kumkufuru Mungu mmoja wa pekee asiyekuwa na mshirika katika miliki yake.
Husuda na tamaa iliyopitiliza ni chanzo cha majanga na madhara makubwa katika jamii pia wachawi wakihusudu ufanya madhara kama kuloga na kufitini wenzao waliofanikiwa. Mchawi kwa kushirikiana na majini ya kishetani uloga wenzake kama kuwaharibia afya yao kimiujiza, kuwaharibia maisha kwa kila hali na kuhakikisha wanahangaika bila kufaulu.
Maskini wengi hawajui kama wamelogwa! au wana majini!
Ukiwa na neema yoyote si kila mtu anafurahia hiyo neema yako hasa jamaa wa karibu na majirani.
Siku moja jamaa alikuwa amevaa vizuri na mwenye afya nzuri na ukikuona utamuona yuko salama, basi akawa analalamika pesa yake kupotea na watu wengi kumchukia bila sababu. Aliambiwa na tabibu mzoefu wa mambo ya kiroho kuwa unachezewa na wewe ni mgonjwa aliyelogwa, jamaa alisema kwa hasira kuwa hakuna kitu kama hicho na yeye yuko salama tu! Basi huyu tabibu akammuomba amfanyie maombi ili aone kama yuko salama kweli, jamaa akakubali na huyu tabibu akampaka mafuta yaitwayo POWERFUL OIL na akamfanyia maombi baada ya dakika kam 10 jini akaanza kuongea na aliohojiwa akasema mimi niliwekwa kwake miaka mingi tangia akiwa mdogo ili kuharibu maisha yake na sasa tuko wengi kiasi kwamba waliotutuma wanasema asifanikiwe katika maisha na awe dhalili mpaka uzee wake.
Basi baadaye yalisema mambo mengi yaliyokwisha mfanyia kama kufukuza mke wake, kumchonganisha na mabosi kazini mpaka anafukuzwa, kumwibia pesa, kuharibu urafiki na watu kuwajengea chuki dhidi yake! Jamaa baada ya kuzinduka na kuulizwa yote akasema ni kweli kabisa na akaanza tiba rasmi kisha akapona na akafunguka ila ikabidi azidishie mambo mema na kufanya ibada kumuomba Mungu mmoja wa pekee amlinde na shari za hawa wachawi na majini kwani mchawi hachoki na hakati tamaa katika kudhuru watu!
Dalili hizi ukiwa nazo basi jua umelogwa au unayo majini au vyote kwa pamoja
Kuota ndoto mbaya za kutisha mara kwa mara
Kuota unafanya mapenzi na watu au viumbe wa ajabu
Kuhisi umebeba kitu mgongoni
Kubanwa kifua na sehemu za mwili nyingige
Kusinzia sana hata ukiwa ofisini wewe ni usingizi tu
Kuchukia familia yako na mume au muke
Kuchukia kuoa au kuolewa
Ajali za mara kwa mara hata ukiwa makini vipi, unakoswa koswa ajali tu.
Kuhisi unasisimka mwili ghafla ukiwa umekaa au unakaribia kusinzia
Kuhairisha mipango yako mizuri kiasi kwamba miaka inapita
Kuhisi njaa mara kwa mara wewe na familia yako, mkipima minyoo hakuna
Kuumwa kichwa mara kwa mara upande mmoja na malaria wala typhoid huna
Kubanwa na hasira/ghadhabu kwa vitu vidogo
Kutoka mimba mara kwa mara
kukosa hedhi na kuvurugika au kutoka damu ya hedhi mfululizo
Kuhisi umesimamiwa na mtu, ukiangalia nyuma humuoni
Kuchukia na watu wengi bila sababu, wengine usema huyu ana damu ya kunguni
Ukipata pesa unapata matatizo inaisha na yanaisha, na inakuwa kawaida hii hali
Kukosa nguvu za kiume na au muke anakauka sehemu za siri inakuwa kama bikira na kuumia yeye na mume pia
Kuumwa chini ya kitovu na tumbo kila mara
Kupoteza pesa na vitu vyako vya thamani mara kwa mara
Ngozi kuwa na rangi tofauti kila msimu
Kuchanjwa usiku au kukatwa kucha, kunyolewa nywele usiku
Kuota unapaa au unaanguka shimoni
Kuota unalishwa nyama, hii ni uchawi kabila unawekwa
Kuwa dhaifu siku hadi siku na magonjwa hayaponi na si rahisi kugundua kwa vyombo vya hospitali.
Familia kukuchukia hadi ukakosa raha na wewe unawapa huduma muhimu kama baba au mama.
Kutingishika viungo vya mwili na wakati mwingini kuhisi joto miguuni au kichwani.
Kama umelogwa na unahisi amani inatoweka, kuna dawa hizi hapa chini, kwa uwezo wa Mungu utakuwa sawa.
MT32-dawa zaidi ya 32 zimesagwa za asili zenye nguvu kuondoa uchawi mwilini na maradhi mengi tusiyojua
Powerful oil-Mafuta yenye dawa mchanganyiko kufukuza majini na uchawi
Safisha -Dawa ya asili ya kunywa na kuondoa uchafu mwilini na tumboni
Powerful Soap- Sabuni ya dawa kali za asili zenye uwezo wa kuondoa nguvu zitokanazo na nguvu za giza na atahari za uchawi kama mikosi na nuksi, unaoga na kisha unajipaka mafuta hayo kisha utaona mabadiliko mnamo siku 14. Mungu mkubwa na ni mmoja wa pekee amebariki miti na mimea aliyoumba yeye kutusaidia sisi aliotuumba!
          Ulimwengu wa ushirikina Kuna watu wanafanya mambo kama hawako nasi na wala sisi hatuwezi kugundua mambo yao na wala kuwaona wakifanya mambo yao!
0 notes
tibaherbs · 7 years ago
Text
Hakuna kitu kibaya kama husuda yenye kutamani neema na heri vilivyoko kwa mwenzako au ndugu yako viondoke na apate shida, kama ni mali iishe, kama ni kazi haikose, kama ni furaha ipotee na mengine mabaya ufurahie yakimpata! Ukisikia kafilisika basi wewe unashangalia! Ukisikia kaugua basi wewe wafurahi! Ukisikia kaachika basi wewe sherehe! Ukisikia watoto wake wameshindwa shule au wameharibikiwa wewe unafurahi!
Husuda ya aina hii ni mbaya na pia inakuathiri hata wewe mwenye husuda hii, kwani unachoka usoni na kuwa na sura yenye giza kwani kila mara ukiona wenzako wanafanikiwa wewe unapata homa badala ya kuwauliza wamepitia njia zipi za ufanisi au kufuatilia namna ya kufanikiwa kama wao. Nakupa wosia wa bure, ukiwapenda waliofanikiwa na ukafanya kazi kwa bidii na busara utafanikiwa na wewe, basi tangia leo wapende waliofanikiwa!
Madhara ya husuda
Wanasema hasidi hana sababu, ni kweli kwani mwingine badala ya kujifunza anachukia mwenye neema na heri kuliko yeye, kumbe chuki na kisha kumdhuru anayefanikiwa kimaisha si jawabu la  wewe kufanikiwa wala kukosa na pia wewe si lazima upate kila alichonacho mwenzako.
Wachawi wanaloga kwa sababu ya husuda, uchawi mwingi siku hizi chanzo ni husuda na roho mbaya, utafiti tulionao sisi kutoka watu waliofanyiwa uchawi na kufanyiwa maombi na kisha mashetani/majini yaliyotumwa husema kuwa ni husuda ya kufanikiwa au kuwa na neema au akili kwa huyu mgonjwa!
Kama ukimtegemea Mungu mmoja wa pekee asiyekuwa na mshirika basi jua kuwa utalindwa na shari wenye husuda!
Ukishalogwa na kuona dalili zifuatazo basi mtegemee Mungu mmoja wa pekee asiye na mshirika na kisha pata dawa za kujitibu kwa uchawi si jambo la kuchezea hasa siku hizi ambapo uchawi unafundishwa kuanzia Ulaya, Asia na Afrika.
Kuota ndoto za kutisha na za ajabu ukiwa umelala mchana au usiku.
Kuota unafanya mapenzi mara kwa mara
Kuhisi vitu vinatembea mwilini
Kuota unalishwa vitu au nyama
Kuota nyoka na paka mara kwa mara
Kuota unafukuzwa na mtu au kundi la watu
Kuota ajali mara kwa mara
Kuota unafiwa na watu wa karibu mpaka unalia usingizini
Kuota upo sehemu chafu kama chooni, baafuni, mitaloni, nk
Kuota unazaa au unanyonyesha mara kwa mara
Kuota una watoto wengi
Kuhisi umebeba kitu mgongoni kama uzito usioeleweka
Kuhisi vichomi mwili mzima bila malaria au typhoid
Kuchoka sana kuhisi kichwa kizito kila mara, pia malaria ukipima hauna
Kuhisi hasira kila mara na kutamani kujiua au kuhama kwako
Kuhisi umefuatwa nyuma yako ukiwa unatembea
Kuhisi moyo una vichomi na vichomi kusikia maumivu kwenye moyo
Kuhisi joto lisilo la kawaida kwenye mwili hasa miguu
Miguu kufa ganzi na baadhi ya viungo vya mwili
Kutingishika viungo vya mwili bila sababu
Kuchukia mume au mke bila sababu
Ugomvi wa mara kwa mara katika famila na sababu za kawaida
Ghafla uchumi kuwa mbaya na familia kusambaratika
Kuona wateja wanajikata bila sababu na wewe kauli yako ni nzuri na unajali wateja kiasi unavyoweza
Ksikia nyumba nzito na kuhisi watu wanatembea kwenye nyumba usiku au mchana
Kuota unajisaidia au unakojoa kila unapokuwa umelala kiasi kwamba unakaribia kukojoa kitandani au pengine unakojoa
Mtoto kubadilia tabia ghafla na akachukua masomo bila chanzo cha wazi
Mwanamke kutoka mimba au kukosa mimba kabisa bila sababu za kisayansi zilizothibitishwa
Kukosa nguvu za kiume nbila sababu ya msingi kiafya na uume kusinyaa unapokaribia kuingilia mke wako
Mikosi na nuksi kukuandama mpaka kila mtu akasema huyu jamaa anayo mikosi
Watu kukuchukia bila sababu na ukienda mahala unakosa ushirikiano bila sababu
Mimba kutoka bila sababu na kuhisi maumivu kila mara ukikaribia kuingia katika hedhi
Kukosa hedhi, kutoka damu bila kukoma
Mifugo kukosa maziwa bila sababu za kitaalamu na wewe unawalisha vizuri
Shamba kuwa katika hali ya kutotoa matunda na wewe umelima vizuri na kupanda mapema kama wenzako, wenzako wanavuna vizuri na kwa wingi ila wewe kiduchu na eneo jirani
Kuwa na chuki na ndugu zako na marafiki bila chanzo
Kuongea ndotoni peke yako na kuuma meno mara kwa mara
Kuchanjwa umelala au kuona umepata mikwaruzo sehemu za mwili asubuhi au kuhisi maumivu kwenye mikwaruzo wakati unaoga
Kuhisi kuchanganyikiwa na kukosa muelekeo wa maisha kabisa na kukata tamaa ya maisha
Kupoteza fahamu hata ukiwa umekaa kwenye kiti au upo kazini
Kusikia unaitwa jina lako na anayekuita humuoni
Kukatwa nywele umelala na bila kujua nani kakukata
Kuwa mzinifu na mlevi wa kupindukia
Kupenda machafu na maasi bila kujuata au ukiambiwa unadharau
Kuvuta sigara kila mara na kuhisi sigara tamu ukivuta uko chooni au sehemu chafu
Kuna madawa yamefanyiwa utafiti na taasisi yetu kwa muda mrefu kutibu uchawi na kufukuza majini, mapepo na maradhi mengine mengi mwilini yasiyo kuwa na ushahidi wa hospitali kuonekana kwa vipimo vya kisasa.
Majina ya Dawa hizi hapa chini ni:
MT32-Ni mchanganyiko wa dawa zaidi ya 32 za asili zenye uwezo wa kutibu magonjwa mengi ukiwemo uchawi mwilini
SAFISHA-Dawa ya kuondoa uchafu tumboni na kuondoa mafuta kiasi kwamba utajisikia mwepesi baada kuharisha kiasi, wale waliolishwa uchawi usingizini na hata kwenye vyakula bila kujua hii itaondoa
POWERFUL SOAP-Sabuni yenye kuchanganywa na dawa zenye nguvu kuharibu madhara ya majini na uchawi kama mikosi na nuksi
POWERFUL OIL-Mafuta yaliyo na dawa maalumu ya kufukuza majini, mapepo na nguvu zote za giza kwako na nyumbani kwako. Hata mchawi hawezi kuingia kwako na kukuchezea, uchawi hauwezi kukuingia ukiwa umejipaka pia ni mazuri yanalainisha mwili wako!
  Husuda na uchawi Hakuna kitu kibaya kama husuda yenye kutamani neema na heri vilivyoko kwa mwenzako au ndugu yako viondoke na apate shida, kama ni mali iishe, kama ni kazi haikose, kama ni furaha ipotee na mengine mabaya ufurahie yakimpata!
0 notes