#miguu kufa ganzi
Explore tagged Tumblr posts
Text
Uchawi na dalili zake
Uchawi na dalili zake
View On WordPress
#kuloga#kuota uko sehemu chafu#kuota unafanya mapenzi#kuota unalishwa nyama#kuota unapaa#kusahau sana#miguu kufa ganzi#miguu kuwaka moto#mt32#uchawi
0 notes
Text
Ganzi katika mikono,na miguu
Ganzi katika mikono,na miguu. Tatizo hili kitaalamu hujulikana kwa jina la Peripheral Neuropathy.
Ganzi katika mikono,na miguu Katika mwili wa binadamu,kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuhisi maumivu,kuhisi kuwaka moto na kufa ganzi kwa viungo vya pembezoni mwa mwili yaani miguu na mikono. Tatizo hili kitaalamu hujulikana kwa jina la Peripheral Neuropathy. Chanzo cha tatizo. Matatizo haya ya kiafya (miguu/mikono kuhisi ganzi, baridi au maumivu) husababishwa na…
View On WordPress
0 notes
Text
Ukiona una magonjwa yasiyoeleweka na hospitali wanakwambia uko sawa baada ya vipimo usiishie hapo wala usiende kupiga ramli kwani wengi wapiga ramli ni uongo mtu, na pia wanahitaji pesa yako kwa kupitia visingizio vya makafara ya mizimu na majini,
Dalili hizi ni kipimo tosha bila ramli kujua kuwa umelogwa:-
Kuota ndoto za kutisha na za ajabu
Kuota watu waliokufa jamaa na marafiki
Kuamka umechoka kila siku
Kuchukiwa na watu bila sababu
Kuota unafanya mapenzi mara kwa mara
Kuota unalishwa vitu au chakula
Kuota uko sehemu chafu
Kuota unapaa
Kuota una watu usio wajua
Kuota nyoka mara kwa mara
Kustuka stuka usingizini mara kwa mara
Kupiga miayo mara kwa mara hata kama huna usingizi na wala njaa
Kuogopa watu bila sababu
Kuhisi mwili una vitu vinatambaa
Kuhisi ganzi mwilini au moto kwenye baadhi ya viungo
Kupata kifafa ukubwani
Kuota una watoto mara kwa mara
Kuota unanyonyesha
Kuota unalawitiwa au unalawiti
Kuota unafanya mapenzi na ndugu zako
Kuharibikiwa kila kitu unachofanya hata ukijitahidi vipi
Kuwa na elimu ya juu ila hupati kazi na maisha magumu kuliko hata wa darasa la saba, chanzo husuda
Kubadilika ngozi na kuwa chakavu hata kama unaoga na kujipaka mafuta au lotion
Kuandamwa mikosi na nuski kila kukicha
Kuumwa kichwa upande mmoja
Kukosa hedhi au kuharibika mimba mara kwa mara kwa wanawake
Tumbo kuwa kubwa bila sababu
Kuhisi vitu vinajiviringisha tumboni na wala si minyoo ukipima choo
Kujiona na kuwa na kiburi hata kama ni maskini na wala huna cheo ingawa mtu yoyote yule ni kuheshimiwa na kuishi bila kiburi
Kuuma meno usingizini
Kama unazo dalili hata 2 na hospitali umeangaika bila mafanikio njoo tukuhudumie kwa Uwezo wa Mungu mmoja wa pekee dawa hizi zimefanyiwa utafiti kwa mambo ya uchawi na kufukuza majini na zinaleta matokeo mazuri kwa haraka.
MT32-dawa zaidi ya 30 zimesagwa za asili zenye kutibu magonjwa mengi ukiwemo uchawi mwilini, dawa hii ni ya kunywa kwa kuchemsha au kuweka kwenye asali.
Powerful Oil-Dawa ya kupakaa ya mafuta yenye dawa nne ndani yake na mafuta haya ni ya mti uliobarikiwa kwa kutajwa kwenye vitabu vikuu vitakatifu yaani Taurati, Injili, Zaburi na Qur’an na ulikuwa katika mlima wa sinai na maeneo ya mashariki ya kati
Powerful Soap– Sabuni yenye madawa na ina nguvu za kuondoa athari za nguvu za giza za aina zote kama nuksi na mikosi.
Safisha– Dawa ya asili yenye kuondoa uchawi na uchafu tumboni kwa maana hata kama hupati choo utaharisha na kusafisha utumbo kwa mgandano wa chakula na sumu zingine zenye kuleta madhara.
Extra Powerful oil– Kama unahisi kwenye biashara yako kuna nguvu za giza au nyumba yako iko na mauza mauza ya kichawi pengine wachawi wanakusumbua usiku na kukosa amani, unapulizia kama unavyofanya kwa mbu na wadudu wengine. Hii dawa ina nguvu kutokana na mchanganyiko wa mimea na mafuta kwa ajili ya kuzuia wachawi na majini wasiigie kwako au nguvu za giza zikae kwako au kwenye biashara yako.
Mawasiliano ni:
076253174. Tuko Dsm Ubungo.
WhatsApp: +255621870342
Email:[email protected]
Kulogwa kupo Ukiona una magonjwa yasiyoeleweka na hospitali wanakwambia uko sawa baada ya vipimo usiishie hapo wala usiende kupiga ramli kwani wengi wapiga ramli ni uongo mtu, na pia wanahitaji pesa yako kwa kupitia visingizio vya makafara ya mizimu na majini,
#dalili za kulogwa#kuhisi kichwa kinacheza#kuhisi vitu vinatembea mwilini#kukata tamaa ya maisha#kukosa choo#kulogwa#kuota sehemu chafu#kuota watoto umebeba#miguu kufa ganzi#miguu kuwaka moto#mikosi na nuksi
0 notes
Text
Mifupa kuumwa na tiba yake
Mifupa kuumwa na tiba yake
Mifupa inatakiwa kuwa imara ili uweze kutembea vyema, na hii ni muhimu kwa afya ya kila mtu wa rika zote.
Mifupa kuwa imara inategemea lishe ya vyakula unavyokula kila siku.
Kuna madini kama Calcium, Potassium, Magnessium, n.k
Dalili ya kukosa madini na vitamini muhimu
Kushambuliwa magonjwa ya kila namna
Kuwa na maumivu ya magoti na mgongo
Kushambuliwa na kisukari
Kuona kwa shida hasa wakati wa…
View On WordPress
#kichwa kuumwa upande#kuhisi joto kali kwenye mwili#kuhisi uchovu#kumbu kumbu#kushusha sukari mwilini#kuumwa kiuno#macho kuwa dhaifu#miguu kufa ganzi#mishipa
0 notes
Text
Ganzi katika mikono,na miguu
Ganzi katika mikono,na miguu
Ganzi katika mikono,na miguu Katika mwili wa binadamu,kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuhisi maumivu,kuhisi kuwaka moto na kufa ganzi kwa viungo vya pembezoni mwa mwili yaani miguu na mikono. Tatizo hili kitaalamu hujulikana kwa jina la Peripheral Neuropathy. Chanzo cha tatizo. Matatizo haya ya kiafya (miguu/mikono kuhisi ganzi, baridi au maumivu) husababishwa na…
View On WordPress
0 notes
Text
Duniani kuna mengi hatujui na kuyajua si lazima ila yapo na yanasumbua wanadamu wengi pamoja na kujitahidi kuvumilia na kangaika bila mafanikio.
Mwanadaamu anazo akili, macho, mdomo, ulimi, masikio, mikono, miguu, pua,kichwa na viungo vya ndani kama moyo, ini, figo, utumbo, ubongo, na vingine vidogo sana kama chembe na mishipa.
Mwanadamu anashambuliwa na magonjwa mengi yatokanayo na wadudu mbali mbali wanao onekana na wasio onekana.
Kuna wadudu kama bacteria, virusi, n.k hawa wote wanamshambulia mwanadamu na yeye anaangaika kuwatokomeza na anashindwa baadhi na wengine anawaweza kwani asipojitahidi anateseka sana na mwisho anakufa.
Kuna wadudu wengine hawaonekani kwa darubini ya hospitali au Kifaa chochote cha kisasa kama MRI kugundua mwilini wala ikifanyia SCAN ya mwili hawawezi kuwaona wadudu hao, wadudu hao ni majini na mapepo ya aina zote yaliyo ndani ya mwili kwa kuingia yenyewe au kuwekwa na mchawi!
Dalili za wadudu hawa wa kichawi ni:
Kustuka stuka usingizini na kusisimuka
Kukosa choo hata ukila matunda na mboga za majani
Kila kitu hakiendi na wala wewe si mzembe
Kuuma meno usingizini
Kukosa usingiza hasa usiku wa manane
Kusinzia kazini au kwenye biashara
Kuota nyoka na mapaka mara kw amara
Kuota unashambuliwa
Kuota unafanya mapenzi na viumbe ndotoni au mwanamke au mwanaume
Kuota unapaa au uko nyikani
Kuota unalishwa au unakula vitu
Kupenda kulala sana na wewe ni masikini
Kusikia uzito kufanya maendeleo binafsi
Kuahirisha mambo yako ya kila mara na yaliyo muhimu
Kuota uko sehemu chafu au chooni au bafuni
Kuchukiwa na watu bila sababu
Kukosa hamu ya tendo la ndoa
Kuhisi uzito mabegani
Kuhisi vitu vinatembea mwilini
Kuhisi unatekenywa sehemu za mwili
Viungo kufa ganzi na kuhisi umelegea mwili
Kupiga miayo kila wakati na hata bila njaa wala usingizi
Kuhisi mwili joto kila mara au moto kwenye miguu au sehemu yoyote ya mwili
Kupenda ngono hata kutamani ndugu kuzini nao
Kushindwa tendo la ndoa kila mara na uume kulegea au uke kuwa mkavu
Ukiwa na dalili zaidi ya mbili tuwasiliane hauko salama ingawa unatembea na kufanya kazi zako, kwani mwisho wako unaweza kuwa mbaya!
Mawasiliano ni:
076253174. Tuko Dsm Ubungo.
WhatsApp: +255621870342
Email:[email protected].
Tuna dawa za kuondoa nguvu za giza na kutibu maradhi mengi ikiwemo uchawi na majini masumbufu.
Hizo dawa zimetokana na miti na mimea ya asili yenye nguvu kwa kutibu maradhi mengi ikiwemo uchawi kwa Uwezo wa Mungu mmoja wa pekee
dalili mbaya kiafya Duniani kuna mengi hatujui na kuyajua si lazima ila yapo na yanasumbua wanadamu wengi pamoja na kujitahidi kuvumilia na kangaika bila mafanikio.
#dalili za uchawi#kulogwa#kuota nyoka na mijusi#kuota unajisaidia#ndoto chafu#ndoto za kufanya mapenzi#uchawi
0 notes
Text
Mganga wa Bagamoyo amesema kuna wanaotumiwa majini ila yanashindwa kuwaingia kutokana na uwezo wa Mungu wa pekee.
Kasema kuna wengine wanakuwa na majini yenye nguvu kiasi kwamba majini yao yakitumwa yanachukua muda mwingi kuwazuru ila yakirudi yanatoa taarifa na kupata sapoti ya majini mengine yenye nguvu kama hayo.
Bagamoyo na sehemu zingine kama Sumbawanga, Tanga, Kigoma, Dar es salaam waganga wanaongezeka kwa kasi kutokana na wateja kuongezeka kwani kuna uchawi mwingi siku hizi na kila mtu anakwenda kivyake.
Huyu wa Bagamoyo anayo majini mengi na ni kijana mdogo ila anapenda majini yake utafikiri ni mifugo kama ng’ombe, ingawa anawaita wanakuja wanaongea na kumfanyia kazi kwa kutoa fomula za madawa ya kuponya na kuloga ikiwa kuna mtu ana tatizo lolote yanatoa kanuni za kitiba au za kuloga au yanakwenda kama jeshi kufanya kazi kwa kutumwa na wenye nayo kwa makubaliano ya mteja.
Muhimu kwa sasa kumuabudu Mungu wa pekee sana kwani uchawi umekuwa mwingi na hii itakusaidia kutoangaika sana kwani wengi waganga waongo na wanataka pesa ndio ajenda kubwa yao.
Kuna dawa ukishafanyiwa uchawi au kutupiwa jini unazitumia na unaomba Mungu anakuponya tu kwa uwezo wake mkubwa. Subira ni muhimu sana wakati umeptwa tatizo la kiuchawi kwani unavurugwa kwa hali isiyo ya kawaida.
Mchawi hakati tamaa wala hachoki mpaka aone unateseka kiafya, kiuchumi, kifamilia na akishindwa wewe anaingilia familia yako analoga ili uangaike!
Tiba sahihi ni maombi na dawa zinazotibu uchawi na kuondoa nguvu za giza za aina zote.
Dawa hizi zinatibu uchawi na kufukuza majini kwa muda mfupi sana kwani Mungu aliumba miti na akatoa uwezo kwenye tiba za magonjwa mbali mbali yakiwemo ya kichawi.
MADAWA HAYA KWA MAJINA NI:
POWERFUL OIL
MT32
SAFISHA
POWERFUL SOAP
EXTRA POWERFUL OIL
HAYA MAFUTA YANATIBU:
KUONDOA NGUVU ZA GIZA
KUSADIA KUFA GANZI KATIKA BAADHI YA VIUNGO, MIGUU KUWAKA MOTO
KUFUKUZA MAJINI NDANI YA MWILI
KUZUIA KUOTA NDOTO ZA KUTISHA
KUOTA UNAINGILIWA KIMAPENZI USIKU
KUZUIA WACHAWI KUINGIA NDANI YA NYUMBA YAKO KWA NGUVU ZA GIZA( JIPAKE KABLA YA KULALA MWILI MZIMA KIDOGO TU NA NYUNYUZIA KWENYE NYUMBA YAKO KILA BAADA YA MWEZI HASA KWENYE PEMBE , MADIRISHA NA MILANGONI)
KUONDOA HALI YAKUWA NA WASIWASI NA KUKATA TAMAA NA HALI YA KUCHANGAMKA(JIPAKE USONI NA KICHWANI NA KIFUANI NA UTAJISIKIA UNAKUWA NA HALI MPYA NA KUONGEZA NGUVU YA KUTOKATA TAMAA)
2.MT32
DAWA HII INAITWA MT32 KWANI NI UNGA ULIOSAGWA KUTOKANA NA MITI 32 YA TIBA.
UNATUMIA KWENYE ASALI AU UNACHEMSHA NA KUNYWA NA INATIBU MAGONJWA MENGI YANAYOJULIKANA KWA VIPIMO NA YALE YASIYOJULIKANA KWA VIPIMO HASA HAYA:
UCHAWI ULIOKO MWILINI
KUHISI VITU VINATEMBEA MWILINI
KUHISI MWILI MZITO NA KAMA UMEBEBA MZIGO
KUISHIWA NGUVU NA VIPIMO HAVIONYESHI CHANZO
MISHIPA YA UZAZI KUHISI INAUMA NA CHANZO HUKIJUI
KUHISI KUNA VITU VINATEMBEA JUU YA NGOZI
KUHISI MOYO UNAJITINGISHA NA BAADHI YA VIUNGO
3.SAFISHA
Dawa ni mitishamba na inasafisha mafuta yaliyoko mwilili na kwenye utumbo mpana na mwembamba(small and large intestines kwa siku 3 mpaka 7).
Sasa dawa hii ina faida hizi:
Kupunguza uzito
Kuondoa uchafu tumboni
Kusaidia kupata choo
Kusafisha mishipa na kukupa afya imara kwani mfumo wa chakula ndo unasababisha upate afya nzuri.
Kama ulilishwa madawa ya uchawi yatatoka yote
KWA WALE WANAOTAKA KUPUNGUZA UZITO NAO INAWASAIDIA SAMBAMBA NA KULA MILO ISIYO NA MAFUTA MENGI NA WANGA KWA WINGI. UKISHA TUMIA GLASS 1 BAADA YA MASAA KAMA SITA UNAHARISHA KWA KIASI FULANI NA MPAKA SIKU 3 UNAKUWA UMEPUNGUA NA WEWE MWENYEWE UTASIKIA UMEKUWA MWEPESI
Baada ya kuichemsha unakunywa na mnamo masaa 6 utaanza kuharisha na kuendelea kiasi unaharisha kawaida na kutoa uchafu, mafuta, na hata magonjwa ya tumboni, watu wasiopata choo na kinaganda nao wanatoa uchafu huu hatari wa kuozea tumboni na kusababisha vidonda vya tumboni na wakati mwingine kansa ya utumbo. Choo kinakuwa cha shida na mtu akienda chooni anakunya kama kinyeshi cha mbuzi na mwingine anakaa mpaka anapasua sehemu ya haja kubwa na kutoka damu. Hii ikiwa ya muda mredu mishipa hulegea na kusababisha sehemu ya ndani kutoka na hatimaye kupata magonjwa ya ajabu na magumu kutibu hospitalini.
Mawasiliano: Upate huduma
+255762053174/+255621870342
Mganga Bagamoyo akili nguvu za Mungu Mganga wa Bagamoyo amesema kuna wanaotumiwa majini ila yanashindwa kuwaingia kutokana na uwezo wa Mungu wa pekee.
#dawa za kufukuza majini#Dawa za kuondoa uchawi mwilini#kukanyaga uchawi#kulishwa uchawi#kuota nyoka#kuota paka#kuota unaingiliwa usiku#kuota unalishwa vitu ni uchawi#kurushiwa uchawi#majini na tiba yake#mchawi hachoki#ndoto za kufanya mapenzi#tibu uchawi#tibu uchawi sugu#uchawi na tiba yake#ulozi na tiba yake
0 notes
Text
Uchawi na hali ya sasa kuhusu uchawi
Kuna tatizo hili sana hasa mtu akiwa amevalishwa nguvu za giza na hata akiwa anafanyiwa mazingira ya kuhujumiwa kwa nguvu za kishirikina.
Tiba yake ni kuwa unajipaka mafuta haya Powerful Oil na hii itafukuza nguvu za giza na negative energies zote zitaondoka na utahisi mwepesi na mwenye akili nzuri za kutafakari.
Unajipaka usoni, kifuani na kichwani kila siku mpaka unaposikia umekuwa sawa hasa siku saba utaanza kuwa sawa kwa uwezo wa Mungu uliopo ndani ya mafuta haya na miti iliyotoa mafuta na dawa zilizomo.
Dawa nyingine za kunywa ni hizi:
Madawa haya yanatokana na mitishamba mbali mbali ya Africa na Mashariki ya Kati na yanatibu magonjwa mengi unayo yajua na yale usiyojua. Madawa haya ni unga umesagwa na ni rahisi kutumia kwenye maji moto au asali na hakuna kemikali yoyote. Powerful oil ni mafuta yenye uwezo mkubwa wa kufukuza na kuzuia nguvu za giza za aina zote.
MADAWA HAYA KWA MAJINA NI:
POWERFUL OIL
MT32
SAFISHA
POWERFUL SOAP
EXTRA POWERFUL OIL
MADAWA HAYA YA ASILI NA HAYANA KEMIKALI YOYOTE NA MADAWA YENYE UWEZO MKUBWA ALIOWEKA MWENYEZIMUNGU KATIKA TIBA MBALI MBALI KWANI YAMEFANYIWA UTAFITI WA MUDA MREFU NA NI MITISHAMBA ZAIDI YA 30 IMECHANGANYWA, MAFUTA HAYO YANA NGUVU KUBWA YA TIBA.
1.POWERFUL OIL
HAYA MAFUTA YANATIBU:
KUONDOA NGUVU ZA GIZA
KUSADIA KUFA GANZI KATIKA BAADHI YA VIUNGO, MIGUU KUWAKA MOTO
KUFUKUZA MAJINI NDANI YA MWILI
KUZUIA KUOTA NDOTO ZA KUTISHA
KUOTA UNAINGILIWA KIMAPENZI USIKU
KUZUIA WACHAWI KUINGIA NDANI YA NYUMBA YAKO KWA NGUVU ZA GIZA( JIPAKE KABLA YA KULALA MWILI MZIMA KIDOGO TU NA NYUNYUZIA KWENYE NYUMBA YAKO KILA BAADA YA MWEZI HASA KWENYE PEMBE , MADIRISHA NA MILANGONI)
KUONDOA HALI YAKUWA NA WASIWASI NA KUKATA TAMAA NA HALI YA KUCHANGAMKA(JIPAKE USONI NA KICHWANI NA KIFUANI NA UTAJISIKIA UNAKUWA NA HALI MPYA NA KUONGEZA NGUVU YA KUTOKATA TAMAA)
2.MT32
DAWA HII INAITWA MT32 KWANI NI UNGA ULIOSAGWA KUTOKANA NA MITI 32 YA TIBA.
UNATUMIA KWENYE ASALI AU UNACHEMSHA NA KUNYWA NA INATIBU MAGONJWA MENGI YANAYOJULIKANA KWA VIPIMO NA YALE YASIYOJULIKANA KWA VIPIMO HASA HAYA:
UCHAWI ULIOKO MWILINI
KUHISI VITU VINATEMBEA MWILINI
KUHISI MWILI MZITO NA KAMA UMEBEBA MZIGO
KUISHIWA NGUVU NA VIPIMO HAVIONYESHI CHANZO
MISHIPA YA UZAZI KUHISI INAUMA NA CHANZO HUKIJUI
KUHISI KUNA VITU VINATEMBEA JUU YA NGOZI
KUHISI MOYO UNAJITINGISHA NA BAADHI YA VIUNGO
3.SAFISHA
Dawa ni mitishamba na inasafisha mafuta yaliyoko mwilili na kwenye utumbo mpana na mwembamba(small and large intestines kwa siku 3 mpaka 7).
Sasa dawa hii ina faida hizi:
Kupunguza uzito
Kuondoa uchafu tumboni
Kusaidia kupata choo
Kusafisha mishipa na kukupa afya imara kwani mfumo wa chakula ndo unasababisha upate afya nzuri.
Kama ulilishwa madawa ya uchawi yatatoka yote
KWA WALE WANAOTAKA KUPUNGUZA UZITO NAO INAWASAIDIA SAMBAMBA NA KULA MILO ISIYO NA MAFUTA MENGI NA WANGA KWA WINGI. UKISHA TUMIA GLASS 1 BAADA YA MASAA KAMA SITA UNAHARISHA KWA KIASI FULANI NA MPAKA SIKU 3 UNAKUWA UMEPUNGUA NA WEWE MWENYEWE UTASIKIA UMEKUWA MWEPESI
Baada ya kuichemsha unakunywa na mnamo masaa 6 utaanza kuharisha na kuendelea kiasi unaharisha kawaida na kutoa uchafu, mafuta, na hata magonjwa ya tumboni, watu wasiopata choo na kinaganda nao wanatoa uchafu huu hatari wa kuozea tumboni na kusababisha vidonda vya tumboni na wakati mwingine kansa ya utumbo. Choo kinakuwa cha shida na mtu akienda chooni anakunya kama kinyeshi cha mbuzi na mwingine anakaa mpaka anapasua sehemu ya haja kubwa na kutoka damu. Hii ikiwa ya muda mredu mishipa hulegea na kusababisha sehemu ya ndani kutoka na hatimaye kupata magonjwa ya ajabu na magumu kutibu hospitalini.
Mawasiliano: Upate huduma
+255762053174/+255621870342
UCHAWI NA WACHAWI Uchawi na hali ya sasa kuhusu uchawi Kuna tatizo hili sana hasa mtu akiwa amevalishwa nguvu za giza na hata akiwa anafanyiwa mazingira ya kuhujumiwa kwa nguvu za kishirikina.
#extra pwerful oil#kuhisi tumbo lina mimba#kuloga#kulogwa#kuota wanyama#kuroga#kusinzia sana#miguu kuwaka moto#mt32#powerful oil#powerful soap#safisha#tiba ya uchawi#uchawi
0 notes
Text
Tiba ya kisukari
Kisukari yaani sukari ya kupanda kuzidi kiwango kinachotakiwa mwilini ndio ninayoongelea kama kisukari.
KISUKARI ni ugonjwa unaoua kimya kimya, pia ni ugonjwa unaotesa wanadamu taratibu!
Mateso ya kisukari yaweza kuwa haya:
Kuwa kipofu
Kukatwa viungo kama miguu au mikono
Kuugua figo
Kuugua magonjwa ya moyo
Kuugua Ini
Kuugua mishipa ya fahamu
Viungo vya mwili kukakamaa na kufa ganzi
Kupoteza…
View On WordPress
#dawa ya sukari#dawa za asili za kisukari#diatea inashusha sukari#kisukari#kushusha kwa dawa za asili#madhara ya kisukari#tiba ya kisukari#ugonjwa wa kisukari#ugonjwa wa sukari
0 notes
Text
Hakuna kitu kibaya kama husuda yenye kutamani neema na heri vilivyoko kwa mwenzako au ndugu yako viondoke na apate shida, kama ni mali iishe, kama ni kazi haikose, kama ni furaha ipotee na mengine mabaya ufurahie yakimpata! Ukisikia kafilisika basi wewe unashangalia! Ukisikia kaugua basi wewe wafurahi! Ukisikia kaachika basi wewe sherehe! Ukisikia watoto wake wameshindwa shule au wameharibikiwa wewe unafurahi!
Husuda ya aina hii ni mbaya na pia inakuathiri hata wewe mwenye husuda hii, kwani unachoka usoni na kuwa na sura yenye giza kwani kila mara ukiona wenzako wanafanikiwa wewe unapata homa badala ya kuwauliza wamepitia njia zipi za ufanisi au kufuatilia namna ya kufanikiwa kama wao. Nakupa wosia wa bure, ukiwapenda waliofanikiwa na ukafanya kazi kwa bidii na busara utafanikiwa na wewe, basi tangia leo wapende waliofanikiwa!
Madhara ya husuda
Wanasema hasidi hana sababu, ni kweli kwani mwingine badala ya kujifunza anachukia mwenye neema na heri kuliko yeye, kumbe chuki na kisha kumdhuru anayefanikiwa kimaisha si jawabu la wewe kufanikiwa wala kukosa na pia wewe si lazima upate kila alichonacho mwenzako.
Wachawi wanaloga kwa sababu ya husuda, uchawi mwingi siku hizi chanzo ni husuda na roho mbaya, utafiti tulionao sisi kutoka watu waliofanyiwa uchawi na kufanyiwa maombi na kisha mashetani/majini yaliyotumwa husema kuwa ni husuda ya kufanikiwa au kuwa na neema au akili kwa huyu mgonjwa!
Kama ukimtegemea Mungu mmoja wa pekee asiyekuwa na mshirika basi jua kuwa utalindwa na shari wenye husuda!
Ukishalogwa na kuona dalili zifuatazo basi mtegemee Mungu mmoja wa pekee asiye na mshirika na kisha pata dawa za kujitibu kwa uchawi si jambo la kuchezea hasa siku hizi ambapo uchawi unafundishwa kuanzia Ulaya, Asia na Afrika.
Kuota ndoto za kutisha na za ajabu ukiwa umelala mchana au usiku.
Kuota unafanya mapenzi mara kwa mara
Kuhisi vitu vinatembea mwilini
Kuota unalishwa vitu au nyama
Kuota nyoka na paka mara kwa mara
Kuota unafukuzwa na mtu au kundi la watu
Kuota ajali mara kwa mara
Kuota unafiwa na watu wa karibu mpaka unalia usingizini
Kuota upo sehemu chafu kama chooni, baafuni, mitaloni, nk
Kuota unazaa au unanyonyesha mara kwa mara
Kuota una watoto wengi
Kuhisi umebeba kitu mgongoni kama uzito usioeleweka
Kuhisi vichomi mwili mzima bila malaria au typhoid
Kuchoka sana kuhisi kichwa kizito kila mara, pia malaria ukipima hauna
Kuhisi hasira kila mara na kutamani kujiua au kuhama kwako
Kuhisi umefuatwa nyuma yako ukiwa unatembea
Kuhisi moyo una vichomi na vichomi kusikia maumivu kwenye moyo
Kuhisi joto lisilo la kawaida kwenye mwili hasa miguu
Miguu kufa ganzi na baadhi ya viungo vya mwili
Kutingishika viungo vya mwili bila sababu
Kuchukia mume au mke bila sababu
Ugomvi wa mara kwa mara katika famila na sababu za kawaida
Ghafla uchumi kuwa mbaya na familia kusambaratika
Kuona wateja wanajikata bila sababu na wewe kauli yako ni nzuri na unajali wateja kiasi unavyoweza
Ksikia nyumba nzito na kuhisi watu wanatembea kwenye nyumba usiku au mchana
Kuota unajisaidia au unakojoa kila unapokuwa umelala kiasi kwamba unakaribia kukojoa kitandani au pengine unakojoa
Mtoto kubadilia tabia ghafla na akachukua masomo bila chanzo cha wazi
Mwanamke kutoka mimba au kukosa mimba kabisa bila sababu za kisayansi zilizothibitishwa
Kukosa nguvu za kiume nbila sababu ya msingi kiafya na uume kusinyaa unapokaribia kuingilia mke wako
Mikosi na nuksi kukuandama mpaka kila mtu akasema huyu jamaa anayo mikosi
Watu kukuchukia bila sababu na ukienda mahala unakosa ushirikiano bila sababu
Mimba kutoka bila sababu na kuhisi maumivu kila mara ukikaribia kuingia katika hedhi
Kukosa hedhi, kutoka damu bila kukoma
Mifugo kukosa maziwa bila sababu za kitaalamu na wewe unawalisha vizuri
Shamba kuwa katika hali ya kutotoa matunda na wewe umelima vizuri na kupanda mapema kama wenzako, wenzako wanavuna vizuri na kwa wingi ila wewe kiduchu na eneo jirani
Kuwa na chuki na ndugu zako na marafiki bila chanzo
Kuongea ndotoni peke yako na kuuma meno mara kwa mara
Kuchanjwa umelala au kuona umepata mikwaruzo sehemu za mwili asubuhi au kuhisi maumivu kwenye mikwaruzo wakati unaoga
Kuhisi kuchanganyikiwa na kukosa muelekeo wa maisha kabisa na kukata tamaa ya maisha
Kupoteza fahamu hata ukiwa umekaa kwenye kiti au upo kazini
Kusikia unaitwa jina lako na anayekuita humuoni
Kukatwa nywele umelala na bila kujua nani kakukata
Kuwa mzinifu na mlevi wa kupindukia
Kupenda machafu na maasi bila kujuata au ukiambiwa unadharau
Kuvuta sigara kila mara na kuhisi sigara tamu ukivuta uko chooni au sehemu chafu
Kuna madawa yamefanyiwa utafiti na taasisi yetu kwa muda mrefu kutibu uchawi na kufukuza majini, mapepo na maradhi mengine mengi mwilini yasiyo kuwa na ushahidi wa hospitali kuonekana kwa vipimo vya kisasa.
Majina ya Dawa hizi hapa chini ni:
MT32-Ni mchanganyiko wa dawa zaidi ya 32 za asili zenye uwezo wa kutibu magonjwa mengi ukiwemo uchawi mwilini
SAFISHA-Dawa ya kuondoa uchafu tumboni na kuondoa mafuta kiasi kwamba utajisikia mwepesi baada kuharisha kiasi, wale waliolishwa uchawi usingizini na hata kwenye vyakula bila kujua hii itaondoa
POWERFUL SOAP-Sabuni yenye kuchanganywa na dawa zenye nguvu kuharibu madhara ya majini na uchawi kama mikosi na nuksi
POWERFUL OIL-Mafuta yaliyo na dawa maalumu ya kufukuza majini, mapepo na nguvu zote za giza kwako na nyumbani kwako. Hata mchawi hawezi kuingia kwako na kukuchezea, uchawi hauwezi kukuingia ukiwa umejipaka pia ni mazuri yanalainisha mwili wako!
Husuda na uchawi Hakuna kitu kibaya kama husuda yenye kutamani neema na heri vilivyoko kwa mwenzako au ndugu yako viondoke na apate shida, kama ni mali iishe, kama ni kazi haikose, kama ni furaha ipotee na mengine mabaya ufurahie yakimpata!
#kuchanjwa usiku#kuchukia mke au mume#kuchukiwa na kila mtu#kuchukiwa na watu#kugombana na familia kila mara#kuhisi umebeba vitu#kukosa choo#kukosa hedhi#kukosa kuolewa au kuoa#kukosa nguvu za kiume na uume kusinyaa#kulogwa na tiba yake#kuondoa uchawi mwilini#kuota mapaka#kuota ndoto za kutisha#kuota nyoka#kupata ajali mara kwa mara#kutamani kujiua#kutingishika sehemu za viungo#kutoka damu bila kukoma hedhi#kutoka mimba#mifugo kufa ovyo bila sababu#miguu kuwaka moto#mikosi#nuksi za uchawi na majini#shamba kukosa mazao bila sababu#tiba ya majini#tiba ya mikosi#uchawi na majini#wachawi na uchawi#wateja kukukimbia bila sababu
0 notes