Tumgik
drseifu · 1 year
Text
Matatizo Ya Hedhi
𝑯𝑬𝑫𝑯𝑰 𝑰𝑺𝑰𝒀𝑶𝑲𝑼𝑨 𝑵𝑨 𝑴𝑷𝑨𝑵𝑮𝑰𝑳𝑰𝑶 𝑺𝑨𝑯𝑰𝑯𝑰 📚 Kuna baadhi ya wanawake hupatwa na tatizo hili, pale ambapo hedhi yao huanza kama wanavyotaraji kisha hukatika gafla kabla ya wakati, na kisha huweza kuanza tena hata kabla ya muda wake. Wakati mwingine jambo hili si la kawaida sana na husababishwa na sababu za kimaisha na mabadiliko ya kihomoni pia. Pia huweza sababishwa na homoni kutokua sawa…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
drseifu · 1 year
Text
Dawa ya Vidonda vya Tumbo
Dawa ya Vidonda vya Tumbo. Dalili za vidonda vya Tumbo 👉Kuchoka choka sana bila sababu maalumu. 👉Kuuma mgongo au kiuno. 👉Kupungukiwa au kupoteza kabisa nguvu za kijinsia. 👉Kizunguzungu. 👉Kukosa usingizi au usingizi wa mara kwa mara. 👉Maumivu makali ya mwili. 👉Kifua kwa ndani kana kwamba unachomwa na kitu cha moto au chenye ncha kali. 👉Maumivu wakati mwingine hutokeza mgongoni na huchoma…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
drseifu · 1 year
Text
Mchanganyiko Wa Dawa 5 Za Asili zinazotibu Magonjwa Mengi
𝗗𝗔𝗪𝗔 𝟱. Huu ni Mchanganyiko Wa Dawa 5 Za Asili zinazotibu Magonjwa Mengi 1. 𝗛𝗮𝗯𝗮𝘁 𝘀𝗼𝗱𝗮 Habat Soda Ndio Dawa Namba Moja Katika Dawa Zote Duniani. Inapotokea Malkia wa Ulaya, Mitume na wanasayansi wa kisasa wanakuja na kukubaliana katika jambo moja, ni mhimu kudadisi juu ya jambo hilo. Mtume Muhammad ( swalallahu alayh wassallam ) amewahi kunukuliwa akisema “𝗠𝗔𝗙𝗨𝗧𝗔 𝗬𝗔 𝗛𝗔𝗕𝗕𝗔𝗧 𝗦𝗢𝗗𝗔 𝗡𝗜 𝗗𝗔𝗪𝗔 𝗞𝗪𝗔…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
drseifu · 1 year
Text
Dawa Ya Nguvu Za Kiume
𝗤𝗨𝗔. 𝐒𝐮𝐫𝐮𝐡𝐢𝐬𝐡𝐨 𝐥𝐚. ⚠️ Kuwahi Kumaliza⚠️ Kushindwa Kurudia Tendo⚠️ Misuli Kua Legelege⚠️ Kukosa Hamu Ya Tendo⚠️ Walioathirika na kujichua 𝗨𝗙𝗔𝗡𝗜𝗦𝗜 𝗪𝗔𝗞𝗘. Ni Dawa Ya Asili ( Ya Maji ) Na Matokeo Yake Ni 𝗨𝗛𝗔𝗞𝗜𝗞𝗔. Ukitumia Dawa Ya Qua Utaanza Kuona Matokeo Ndani Ya Nusu Saa, Na Utakua Na Uwezo wa Kurudia Tendo Vile unavyotaka wewe. 𝙌𝙐𝘼 𝙉𝙄 𝙏𝙄𝘽𝘼 𝙔𝘼 𝙈𝙊𝙅𝘼 𝙆𝙒𝘼 𝙈𝙊𝙅𝘼. Inatibu Vyanzo Vyote Vya Matatizo…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
drseifu · 3 years
Text
Fahamu aina za kiharusi (strocke)
Fahamu aina za kiharusi (strocke). Kiharusi au kwa Kiingereza Stroke ni kitendo cha baadhi ya viungo vya mwili kuwa na ganzi au kutojiweza kufanya kazi zake za kawaida.
Fahamu aina za kiharusi (strocke). Kiharusi au kwa Kiingereza Stroke ni kitendo cha baadhi ya viungo vya mwili kuwa na ganzi au kutojiweza kufanya kazi zake za kawaida. Kuna aina mbili za kiharusi, lakini kabla ya kuchambua hayo tuangalie,ni nini kinasababisha mtukukumbwa na ugonjwa huu ?. Mtu anaweza kupata dalili za ugonjwa huu wa kiharusi na baada ya dakika chake zikaisha. Kiharusi…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
drseifu · 3 years
Text
Kwa kifupi kuhusu kisukari.
Kwa kifupi kuhusu kisukari. Kisukari ni ugonjwa wa kongosho, wakati uzarishaji wa Insulini au utolewaji wake haufanyi kazi vizuri,
Kwa kifupi kuhusu kisukari. Kisukari ni ugonjwa wa kongosho, wakati uzarishaji wa Insulini au utolewaji wake haufanyi kazi vizuri, na ikiwa hali hii haitadhibitiwa, inaweza kusababisha matatizo makubwa kwenye macho,figo,neva, mishipa ya damu, Ini na moyo. Kuna aina kuu mbili za kisukari: Kisukari aina ya kwanza,ambapo Insulini inakuwa tegemezi (insulin-dependent); hapa kongosho halitengenezi…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
drseifu · 3 years
Text
Fahamu kuhusu Pumu ya Ngozi
Fahamu kuhusu Pumu ya Ngozi. Tunaendelea kutoa elimu ya masomo mbali mbali ili wewe ambaye unasumbuliwa na maradhitofauti tofauti uweze kupata huduma katika hatua za awali kabla ya kutufikia.
Fahamu kuhusu Pumu ya Ngozi.(Eczema ) Tunaendelea kutoa elimu ya masomo mbali mbali ili wewe ambaye unasumbuliwa na maradhitofauti tofauti uweze kupata huduma katika hatua za awali kabla ya kutufikia. Pumu ya ngozi au kwa kitaalamu Eczema (atopic dermatitis au atopic eczema)ni maradhi ya ngozi ambayo yamefanyiwa utafiti muda mrefu sana na kusema ukweli andiko langu hili halitoweza hata kuandika…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
drseifu · 3 years
Text
Maumivu chini ya kitovu kwa wanawake na wanaume
Maumivu chini ya kitovu kwa wanawake na wanaume. Kuna yale ambayo yanakuwa upande mmoja lakini husambaa kwa urefu wa sentimita tatu mpaka nne na inaweza ikawa upande mmoja
Maumivu chini ya kitovu kwa wanawake na wanaume. Maumivu chini ya kitovu kwa wanawake na wanaume kitaalamu huitwa lower abdominal pain. tatizo ambalo huwakumba watu wengi lakini kwa wengi hulichukulia kuwa ni jambo la kawaida kitu ambacho baadaye husababisha wagonjwa kuingia kwenye matatizo makubwa ya kiafya hasa kwenye mfumo wa uzazi na mfumo wa chakula. Maumivu chini ya kitovu yapo yale ya…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
drseifu · 3 years
Text
kaswende ni nini?
kaswende ni nini? huu ni ugonjwa wa zinaa unaoambukizwa kutoka kwa njia ya ngono au kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto wakati wa kuzaliwa.
kaswende ni nini?. huu ni ugonjwa wa zinaa unaoambukizwa kutoka kwa njia ya ngono au kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto wakati wa kuzaliwa. utafiti unaonyesha kwamba asilimia 2 mpaka 20 ya akina mama wanaoenda kupimwa kipindi cha ujauzito hukutwa na kaswende lakini pia ugonjwa huu umetapakaa sana maeneo ya mijini ukilinganisha na vijijini. jinsi ugonjwa unavyosambaa.husambaa kwa zinaa kutoka kwa…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
drseifu · 3 years
Text
Fahamu Tatizo la  kitambi
Fahamu Tatizo la  kitambi. Kitambi ni hali ya kiafya ya mtu mnene ambapo mafuta ya ziada mwilini huongezeka eneo la tumbo kwa kiasi kikubwa.
Fahamu Tatizo la  kitambi. Kitambi ni hali ya kiafya ya mtu mnene ambapo mafuta ya ziada mwilini huongezeka eneo la tumbo kwa kiasi kikubwa. Mtu akiwa na kitambi anapata athari kubwa ikiwamo kupungua kwa umri. Katika karne hii, hili ni mojawapo ya tatizo kubwa la kiafya duniani. Hata hivyo, tatizo la kitambi kiafya linarekebishika. Katika mawazo ya kizamani na hata sasa katika baadhi ya nchi…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
drseifu · 3 years
Text
Kwanini mtu ana kawaida ya kusahau ?
Kwanini mtu ana kawaida ya kusahau ? KILA chembehai ya mwili wa binadamu inahitaji kupata hewa ya oksijeni na virutubisho vya kutosha, ili viungo vya mwili vifanye kazi yake ipasavyo, zikiwemo chembehai za ubongo.
Kwanini mtu ana kawaida ya kusahau ? KILA chembehai ya mwili wa binadamu inahitaji kupata hewa ya oksijeni na virutubisho vya kutosha, ili viungo vya mwili vifanye kazi yake ipasavyo, zikiwemo chembehai za ubongo. Kwa kuwa hewa ya oksijeni na virutubisho vingine, hupita kwenye mfumo wa damu, kitu chochote kinachozuia kupita huko wa kwa damu, kinasababisha chembehai kuathirika. Kimsingi, moyo…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
drseifu · 3 years
Text
Fahamu Tatizo la Sickle Cell
Fahamu Tatizo la Sickle Cell . Ni ugonjwa wa kurithi ambao husababishwa na uchache wa chembechembe nyekundu za damu zinazobeba hewa (oxygen)kuisafirisha sehemu mbalimbali za mwili.
Fahamu Tatizo la Sickle Cell Ni ugonjwa wa kurithi ambao husababishwa na uchache wa chembechembe nyekundu za damu zinazobeba hewa (oxygen)kuisafirisha sehemu mbalimbali za mwili. Kwa kawaida chembechembe nyekundu za damu huwa laini zikiwa na umbo la duara,zikiwa na uwezo wa kuzunguka kirahisi kwenye mishipa ya damu. Hali ni tofauti kwa mtu mwenye ugonjwa huu,chembechembe hizi za damu huwa…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
drseifu · 3 years
Text
Fahamu Saratani Ya Koo
Fahamu Saratani Ya Koo. Saratani ya koo ni miongoni mwa magonjwa ya kutisha. Ingawa baadhi ya wagonjwa wa saratani ya koo wanaweza kutibiwa na kupona kabisa.
Saratani Ya Koo (Cancer of the Esophagus) Chanzo, Dalili na Tiba Utangulizi Saratani ya koo ni miongoni mwa magonjwa ya kutisha. Ingawa baadhi ya wagonjwa wa saratani ya koo wanaweza kutibiwa na kupona kabisa. Vihatarishi vya kansa ya koo Ingawa chanzo halisi cha kansa ya koo hakijulikani, mambo yafuatayo yanaweza kusababisha mtu kupata saratani ya koo. Hata hivyo, pamoja na kuwepo…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
drseifu · 3 years
Text
Makundi matatu ya Magonjwa ya Ngono.
Makundi matatu ya Magonjwa ya Ngono. Magonjwa ya kuambukizana kupitia kufanya ngono yaani kwa Kiingereza yanaitwa Sexually Transmitted Infections (STI).
Makundi matatu ya Magonjwa ya Ngono. Magonjwa ya kuambukizana kupitia kufanya ngono yaani kwa Kiingereza yanaitwa Sexually Transmitted Infections (STI). Magonjwa haya yamegawanyika katika makundi matatu. Maambukizo hutokea pale majimaji ya mwili kama vile mate, damu, manii, majimaji ya ukeni na kadhalika ya mtu ambaye tayari ameambukizwa, yatatangamana na ya mtu ambaye hajaambukizwa. Kuna…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
drseifu · 3 years
Text
Saratani ya endometriamu ( Uterus )
Saratani ya endometriamu ( Uterus ) Saratani ya endometriamu ni saratani inayotokana na endometriamu(utando wa uterasi au tumbo la uzazi).
Saratani ya endometriamu ( Uterus ) Saratani ya endometriamu ni saratani inayotokana na endometriamu(utando wa uterasi au tumbo la uzazi). Hii hutokana na ukuaji usio wa kawaida wa seli zenye uwezo wa kushambulia au kuenea katika sehemu zingine za mwili. Ishara ya kwanza mara nyingi huwa hali ya kutokwa na damu ukeni isiyohusishwa na hedhi ya kila mwezi. Dalili zingine zinajumuisha maumivu…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
drseifu · 3 years
Text
Yafahamu Magonjwa hatari ulimwenguni.
Yafahamu Magonjwa hatari ulimwenguni. Magonjwa haya huchangia takribani asilimia zaidi 50% ya vifo vyote vinavyotokea na kurekodiwa ulimwenguni kote.
Yafahamu Magonjwa hatari ulimwenguni. Magonjwa haya huchangia takribani asilimia zaidi 50% ya vifo vyote vinavyotokea na kurekodiwa ulimwenguni kote. Orodha hii imehusisha taarifa kutoka shirika la afya duniani ( WHO). Magonjwa hayo ni kama ifuatavyo; 1.Kiharusi cha moyo (Ischemic heart disease.) Huu ni ugonjwa unaoshambulia mishipa ya damu ya kwenye moyo ambapo mishipa ya damu ya kwenye…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
drseifu · 3 years
Text
Degedege Ni Nini ?
Degedege Ni Nini ?. Ni hali ya ghafla ya kutingishika kwa mwili mzima au miguu na mikono,ambayo husababishwa na kukakamaa kwa misuli ya mwili.
Degedege Ni Nini ? Ni hali ya ghafla ya kutingishika kwa mwili mzima au miguu na mikono,ambayo husababishwa na kukakamaa kwa misuli ya mwili. Hali hii uhusishwa na magonjwa ya ubongo kama kifafa,vichocheo vya kwenye damu kama upungufu wa sukari(hypoglycemia), upungufu wa oxygen(hypoxia),kushuka kwa shinikizo la damu(hypotension) na maambukizi na homa ya degedege. Homa ni Nini ?. Ni hali ya…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes