#tiba ya kisukari
Explore tagged Tumblr posts
Photo
*MADHARA YA UGONJWA WA KISUKARI* Ugonjwa wa kisukari hupelekea athari mbali mbali zikiwemo:- - Kupungua kwa nuru ya macho na hata upofu. - Figo hushindwa kufanya kazi zake vizuri. - Kutopona kwa vidonda hasa sehemu za miguu na hata kukatwa kidole na mguu. - Maradhi ya moyo. - Kupoteza kwa hisia/Ganzi kwa mikono na miguu. - Kupata kiharusi. - Kupoteza nguvu za kiume. Mgonjwa wa kisukali lazima awe na mashine ya kupimia sukari. Karibu inbox kupata tiba mbadala ya sukari au kwa shida binafsi👉 wa.me/255717174151 https://www.instagram.com/p/CoOljQttBYC/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
Text
Madhara ya kisukari kiafya
Madhara ya kisukari kiafya
Kisukari hasa ya kupanda(Type 2) usababisha magonjwa mengi kama upofu, presha, mishipa, ganzi, kusahau sana, uwezo wa kufanya tendo la ndoa, kulegea meno, mfumo wa mkoja uwa dhaifu, upele wa kujikuna mara kwa mara, kutopona vidonda na ngozi kusinyaa na kukosa mg’ao.
Dalili kuu za kisukari ni:
Kuhisi kiu sana na mara kwa mara
Kukojoa sana hasa usiku na hata ukinywa chai kiasi
Kuhisi ganzi katika…
View On WordPress
#dalili za kisukari#Dia Tea#kisukari#kisukari na tiba yake#madhara ya kisukari#nguvu za kiume na kisukari#suakari mwilini#tiba ya kisukari#tumia Dia Tea kushusha sukari#ugonjwa wa sukari#vyakula kwa mgonjwa wa kisukari#vyakula vya kisukari
0 notes
Text
Kuepuka shida za Kisukari: Mambo 12 Ya Kufanya
#Afyaraha
#GreenWorld
Huku Ndo Kwa BabaLao
VIP Email [email protected]
Sms,wtsp,call 0654523177
0 notes
Photo
MTOTO WA JICHO ■ Mara nyingi, sababu ya kutokea kwake haijulikani. Kwa watu wazima, mtoto wa jicho huanza na kukua taratibu kadri umri unavyoongezeka. Hukua na kuongezeka polepole bila kusababisha maumivu yoyote, na uwezo wa kuona wa jicho lililoathirika hupungua kadri siku zinavyopita. ■ Baadhi ya watafiti wanadhani kuwa, mtoto wa jicho hutokea baada ya protini iliyo kwenye lenzi kuchoka na kuharibika baada ya matumizi ya muda mrefu. ■ Dalili za awali za mtoto wa jicho zinaweza kupunguzwa kwa kuvaa miwani, mwanga bora, kuvaa miwani ili kupunguza mwanga mkali na kutumia lenzi ya kukuzia vitu. Kama hatua hizi hazitasaidia, upasuaji ndio tiba pekee yenye ufanisi. Upasuaji hufanyika ili kuiondoa lenzi iliyoharibika na kuweka lenzi bandia. ■ Kama mtoto wa jichoni hakusumbui, upasuaji sio lazima. Hata hivyo, watu wengine wanaweza kuwa na matatizo zaidi ya jicho, kama vile matatizo ya retina yanayosababishwa na kisukari, ambayo hayawezi kutibiwa kabla ya upasuaji wa mtoto wa jicho. ■ Kwa watu wengine, kubadilisha miwani au kutumia lenzi ya kukuza vitu husaidia sana . Upasuaji huhitajika, kama shughui za kila siku zitaathirika, kama vile kuendesha gari, kusoma, au kutazama TV □ JIFUNZE ZAIDI KUHUSU HILI HAPA 👉https://wikielimu.com/mtoto-wa-jicho/ #wikielimu #afya #jicho https://www.instagram.com/p/CNKQJRcLu2c/?igshid=1plow9kb589y4
0 notes
Text
Corona na madhila ya kujifungia ndani Uingereza
MAISHA yamebadilika sana; watu hapa Uingereza sasa tunaishi katika hali iliyo ngumu kuzoeleka kutokana na mlipuko wa virusi vya corona vinavyosababisha maradhi ya homa kali ya mapafu, maarufu kama COVID-19.
Si baba, mama, bibi, babu wala watoto wadogo wanaojiona salama na tangu Waziri Mkuu Boris Johnson atoe tangazo la kuiweka Uingereza yote katika kujifungia ndani au lockdown kama wenyewe wanavyoita, basi maisha yamegeuka magumu na kiza kinene kimetanda.
Watu wamo ndani tu; hakuna kwenda kazini isipokuwa zile muhimu ambazo lazima ziendelee kama madaktari, manesi na wauguzi wengine au wauzaji wa mahitaji muhimu. Wengine sote tumeambiwa tukae ndani na kutulia, kujikinga kwa kunawa kila mara na ikibidi kuvaa barakoa kujikinga na kukinga wengine.
Hakuna kutembeleana; mitaa imekuwa tupu sana na vitakasa mikono vimekuwa ndio mpango mzima hapa. Maduka yanayouza bidhaa ambazo zinaelezwa kwamba si za lazima sana kama kwa sasa, kama nguo, vifaa vya kielektronki pamoja na huduma za maktaba, viwanja vya michezo na gyms za nje zimelazimika kufungwa.
Wataalamu na viongozi wanaendelea kufuatilia hali hii mbaya ya ugonjwa unaoendelea kuambukiza watu na kuua wengine hapa na kwingineko ili kuona kama tarehe iliyowekwa ya marufuku ya mikusanyiko hadi mwishoni mwa mwezi huu itaweza kuondolewa au kuongezwa kulingana na hali ya maambukizi na udhibiti wake.
Watu wanatakiwa kutoka kwa uchache kabisa kama ni kwenda kununua chakula, dawa na vitu vingine walivyopangiwa na hayo yanatakiwa kufanywa kwa uchache kabisa. Waziri Mkuu alilihutubia taifa muda mfupi kabla ya yeye mwenyewe kuambukizwa virusi hivyo kwamba ilikuwa wazi watu zaidi wangeendelea kufariki dunia kwa janga hili.
Watu walio na dalili za COVID-19 wanatakiwa wenyewe kuchukua hatua za kujitenga kabisa (self-isolate) na wengine kupata tiba za magonjwa nyemelezi, kwa sababu ugonjwa huo wenyewe hauna tiba wa kinga. Wanatakiwa kuvaa barakoa ili kuzuia kuambukiza wengine.
Self-isolation ndiyo njia mwafaka na rahisi kukinga wengine kuambukizwa virusi hivyo vilivyoanzia Wuhan nchini China na kusambaa katika nchi nyingi duniani, vikiua zaidi nchini Italia.
Maagizo ya Shirika la Huduma za Afya kwa Umma (PHE) ni kwamba lazima watu wabaki majumbani mwao, hakuna kwenda kazini, shuleni wala kwenye sehemu za mikusanyiko ya umma. Hakuna kutumia usafiri wa umma bila sababu maalumu kama matabibu. Kwa maana hiyo tunachoshuhudia hapa ni utupu katika utoaji huduma kama za mabasi, treni na tyubu na hata teksi.
Ili mmoja atoke lazima awasiliane na watu wa PHE ambao ni wataalamu watakaopima umuhimu wa kutoka na iwapo ni salama. Kama mimi sasa ni zaidi ya wiki tangu nimeacha kwenda kazini na huko wamekuwa kila mara wakipulizia dawa (fumigate).
Ujumbe ulifikishwa kwa wamiliki wote wa simu juu ya amri ya katazo la kutoka majumbani kwa ajili ya afya, usalama wa mwenye simu na watu wengine. Wenye dalili hapa wanaambiwa kwamba wajitenge kwa siku saba ili kuona kama virusi hao wapo na wataanza kuleta matata mwilini.
Kwa anayetokea akawa anaishi na mtu mwenye virusi vya corona hapa, sharti ni kujitenga kwa siku 14 ambazo ndizo huchukua kwa wingi kuweza kuonesha dalili za mwathirika. Serikali sasa inachukua hatua zaidi, ikiwa ni pamoja na kuandika barua na kuzituma katika majumba ya wakaazi kueleza ni akina nano watakaotakiwa kujitenga kwa walau wiki 12 – ikisema ni ‘kujiondoa kwenye jamii’.
Yeyeote aliye kwenye jamii hiyo atapewa angalizo kali sana juu ya kukaa ndani na kuepuka kuwasiliana uso kwa uso na mtu. Hawa wanazuiwa pia kutoka nje kwa ajili ya kufanya manunuzi ya chakula, dawa au mambo mengine ili kuhakikisha kukutana ni sawa na sifuri.
Hawa wa jamii hii ni pamoja na watu wenye magonjwa makubwa ambayo yatawaweka katika hatari kubwa ya kupigwa na virusi hivyo na uwezekano mkubwa ni kupoteza maisha. Wazee wanaofikia kuanzia umri wa miaka 75 na watu wenye magonjwa kama kisukari na mengineyo.
Watu wanaandikiwa barua za kujitenga kwa hadi wiki 12, ukiachilia mbali hao wazee ni wale wenye ugonjwa wa saratani ya mapafu ambamo virusi hawa huenda kushambulia, watu waliopandikizwa viungo vilivyoshindwa kufanya kazi sawa sawa kama mapafu, ini, moyo, figo na kongosho.
Hayo ndiyo maisha ya hapa kwa sasa, na kwa hakika inatisha na sintofahamu iliyopo bado ni kubwa. Kila mmoja anasali kuomba hali hii imalizike na maisha yarejee kama kawaida. Watu wenye saratani wanaoendelea kuchomwa mionzi – kemotherapi au radiotherapy kwa ajili ya saratani ya mapafu wanahusika.
Lakini pia watu wenye saratani ya damu au ya kwenye uteute unaokaa kwenye maungio ya mifupa wakiwa katika hatua yoyote ya matibabu wanatakiwa kutulizana nyumbani kwa wiki hizo 12 na matabibu watawafikishia dawa huko huko.
Wengine ni wale wenye saratani ya kwenye protini zao na wengine ambao kwa ujumla hali yao imepunguza nguvu ya kinga ya miili yao. Kadhalika katika kundi hili ni wenye matatizo ya mfumo wa hewa na kupumua, wenye pumu, wajawazito wenye matatizo ya moyo kwa sababu kimsingi hawa watashambuliwa na kuumizwa zaidi na virusi hawa kama si kupoteza maisha kabisa.
Inavyoendelea sasa, ikiwa ni pamoja na kwa baadhi ya watu ninaowafahamu, ni kwamba wanavyojitenga ikiwa wanaishi kwenye familia moja au kundi, ni mhusika kujitenga chumbani kabisa na akienda kujisaidia awe amevaa barakoa.
PHE wanashauri kwamba wagonjwa au wanaohisiwa kuwa na virusi hawa wakae kwenye chumba chenye hewa ya kutosha – yaani kuwe na madirisha au uwazi ili kwamba hewa iingie na kutoka lakini ihakikishwe kwamba wanatenganishwa na wengine walio wazima na pia matumizi ya bafu na maliwato yawe tofauti.
Ikiwa ni nyumba isiyokuwa na bafu la ziada kwa ajili ya mgonjwa imeshashauriwa kwamba uwekwe mpango wa rota kwa ajili ya kunawa au kuoga ambapo mgonjwa awe wa mwisho kutumia huduma husika na baada ya hapo upulizaji dawa ufanywe kuua virusi wanaoweza kuwa wamebaki humo.
Kwa wanaotumia jiko pamoja na wengine PHE imeelekeza mgonjwa asitumie wakati wengine wakiwapo na ikiwezekana barakoa zivaliwe na vyakula viliwe kwenye vyumba vya wahusika wakiwa peke peke.
Ni zoezi ambalo si la mchezo mchezo – masharti ni mengi na kwa hakika lazima ushirikiano utolewe kwa kiasi kikubwa kutoka kwa waajiri ambao baadhi wameendelea kulipa mishahara kama kawaida na wengine wakiikata sambamba na posho. Lakini familia na rafiki wanaoishi pamoja lazima wawe katika ushirikiano wa hali ya juu ili kulindana.
Serikali iliweka bayana mapema orodha ya wafanyakazi muhimu ambao watoto wao lazima waendelee kupewa huduma za hali ya juu dhidi ya janga hili kuwaepusha. Hawa ni pamoja na wafanyakazi wa kada ya afya na huduma za jamii, wanaoendesha mfumo wa haki kama mahakama, polisi na magereza; wale wa kada ya dini, wa kwenye wakfu za kusaidia watu, waandishi wa habari na walio kwenye sekta ya usafirishaji.
Wengine ni wale walio katika sekta za uzalishaji, uuzaji na usambazaji wa huduma muhimu za kila siku pamoja na watawala.
0 notes
Text
Tiba Ya Kisukari
Huku Ndo Kwa Baba Lao.
#GreenWorld
#AfyaRaha
Sms,call,whatsapp 0654523177
Email [email protected]
0 notes
Text
Kisukari na DIATEA
Tunasema kutibu chanzo ndio njia sahihi ya matibabu ya magonjwa sugu, huwezi tumia panadol kutibu malaria! Panadol ni kupunguza maumivu yatokanayo na malaria, ila fansida au mseto zinaua wadudu wa malaria, kwa hiyo kuua wadudu ni tiba ya malaria ingawa nayo bado kwani mbu kama wapo unapoishi utaugua tena malaria, na kuua mbu si tiba kamili kwa mbu wanapozaliana napo ni muhimu kuua hata mazalia ya…
View On WordPress
#Dia Tea#DIATEA#Diatea inashusha sukari mwilini#kisukari#kisukari na tiba yake#kushusha suakari#majani ya Kisukari#tiba mbada ya kisukari#tiba sahihi ya kisukari#tumia diatea
0 notes
Text
DIA TEA-Dawa ya kurekebisha sukari mwilini
DIA TEA-Dawa ya kurekebisha sukari mwilini
Sukari kuwa zaidi ya 7(mol/ltr) kwenye damu si nzuri kiafya. Sasa ikitokea ikawa zaidi ya hapo wanasema ni sukari ya kupanda(Type 1 na Type2 diabetes), hii haipashwi kutumia dawa za hospitali kwani zenyewe zinafanya kazi ya kushusha na wakati huo huo chanzo cha sukari hakiguswi kabisa.
Matokeo yake unaharibu viungo vingine vya mwili kwani hizi dawa zina kemikali na zinafanya kazi kuanzia kwenye…
View On WordPress
#Dawa ya kisukari#Dawa ya kurekebisha sukari#Dawa ya kushusha sukari#Dia Tea#sukari kuwa juu#tiba ya asili ya kisukari
0 notes
Text
Tiba ya kisukari
Kisukari yaani sukari ya kupanda kuzidi kiwango kinachotakiwa mwilini ndio ninayoongelea kama kisukari.
KISUKARI ni ugonjwa unaoua kimya kimya, pia ni ugonjwa unaotesa wanadamu taratibu!
Mateso ya kisukari yaweza kuwa haya:
Kuwa kipofu
Kukatwa viungo kama miguu au mikono
Kuugua figo
Kuugua magonjwa ya moyo
Kuugua Ini
Kuugua mishipa ya fahamu
Viungo vya mwili kukakamaa na kufa ganzi
Kupoteza…
View On WordPress
#dawa ya sukari#dawa za asili za kisukari#diatea inashusha sukari#kisukari#kushusha kwa dawa za asili#madhara ya kisukari#tiba ya kisukari#ugonjwa wa kisukari#ugonjwa wa sukari
0 notes
Text
Kisukari na tiba yake
Kisukari na tiba yake
Ugonjwa wa kisukari unatokana na kongosho(pancreas) kutozalisha insulin ya kutosha au kama inazalishwa inashindwa kutumika vizuri mwilini, hasa hii inayoitwa Type 2. Kuna wale wenye kisukari inayowalazimu kujidunga sindano ya kuongeza insulini kila siku kiasi kwamba bila kujindunga sindano hakuna insulini mwilini kabisaa! Hii kisukari inaitwa Type 1, na kuna wanawake wenye mimba wanaopata…
View On WordPress
0 notes
Text
KWA NINI WATU WENGI WANAUMWA KISUKARI NA PFESHA SIKU HIZI?
KWA NINI WATU WENGI WANAUMWA KISUKARI NA PFESHA SIKU HIZI?
Kutokana na mfumo wa maisha kubadilika imegundulika kuwa kasi ya magonjwa yatokanayo na kuishi kwa kula vyakula vya kisasa na kufanya kazi za kukaa na kutumia akili tu kisha kupanda gari na kwenda nyumbani kwenye sofa kuangalia TV au Kulala kitandani magonjwa kama presha na sukari hasa ya kupanda yanashamiri miongoni mwa watu wanaosemekana wamefanikiwa kimaisha.
Nchi zote zenye kuwa na raia…
View On WordPress
0 notes
Text
Ukiongea uchawi wengi wetu tunaona aliyeongea ni kama mshamba vile! ila tambua kuwa sasa hivi uchawi umeongezeka sana na chanzo ni husuda na tamaa, kuna wanaojifunza kwa sasa imewekwa digrii vyuo vikuu vya Afrika ya kusini kufundisha uchawi na waziri wao wa Elimu alitamka wazi bungeni mwaka juzi!
Ulaya, Amerika na Uingereza muda umepita tangia waanze kutoa digrii za uchawi tena mpaka PHd wanatoa kwa sasa na wengine wanafundisha kwa mtandao tena bure, fuatilia kwa kugoogle neno witch courses, witch degree utashanga kuona vyuo vingi vinafundisha uchawi duniani.
Uchawi pia umesambaa kwa kutumia mtandao yaani internet, kwani wengi wachawi kutoka dunia nzima wameanza kujitangaza kwa internet na unahudumiwa ukiwa mbali mpaka kuloga mtu wanafanya ili mradi upate picha yake na majina yake halisi na wengine wanatoa huduma bure.
Hali si shwari shetani amepata wafuasi wengi na wengine wanajiunga kupitia freemason, WICCA, Satanic Church, nk. yote makundi ya kishirikina na kichawi yanajitangaza kwa nguvu zote!
Baadhi ya wachawi wanaloga kwa siri na hawataki kujulikana yaani hawa ndio wanaoumiza watu miongoni mwa jamii, anaweza akawa jamaa wa karibu au jirani au mfanyakazi mwenzako au mfanyabiashara mwenzako, ila anachofanya ni kukuloga ili uharibikiwe mambo yako na familia yako isambaratike na ushindwe majukumu kwa kuugua magonjwa ya ajabu ajabu.
Ukisha logwa unaweza usitambue ila utaona ni kawaida na maradhi yatakuandama na wewe utaenda hospitali zote mpaka ziishe na utatumia pesa nyingi, kama si wewe atakuwa mtoto au mke au mama yako au baba yako au rafiki yako. Mchawi hana huruma na anafurahi kila akion unateseka kiuchumi, kiafya na kuishilia mpaka unakufa usipokuwa makini.
Ukiwa na pesa utakimbilia hospitali kubwa kubwa na wakati mwingine nchi za nje mara nyingi India, kisha unafia uko uko India, ila siku hizi India wameanza kuwapa semina madaktari wao kuhusu magonjwa ya kimajini na kichawi ili wawe na uelewa wakipokea mgonjwa anayeumwa kichaa kama ni majini au la kabla ya kumpa huduma ziadi.
Nchi zote za Asia kuna elimu kubwa ya kichawi na ukisoma historia utaona wanautumia uchawi sana kiasi kwamba wana uzoefu na elimu hiyo sana, pia Afrika upo mkali ila wanaficha na kufanya siri ila wanaumiza wengi.
Dalili za kulogwa
Kuota ndoto uko sehemu chafu kama chooni au mitaroni au unajisaidia
Kuota nyoka mara kwa mara hasa weusi na mapaka, mbwa
Kuhisi hujipendi na unaona huna maana, woga bila sababu
Kuhisi mwilini kuna vitu vinatembea tembea kama sisimizi
Kuhisi baadhi ya sehemu za mwili zinacheza cheza zenyewe
Kustuka mara kwa mara usingizini hasa ukikaribia kusinzia unatingishika na kustuka
Kuhisi moyo unacheza na kuuma kama kuna sindano
Kuhisi unaitwa ila anayekuita humuoni
Kuota unafanya sex mara kwa mara
Kuharibikiwa kila ulifanyalo hata kama unafuata kanuni za kazi zako
Kuchukiwa na watu wengi bila sababu wazi
Kutotenda na kuwa msemaji tu mpaka unazeeka, kila ukitaka kutenda mipango uankwama na kuacha
Ndoa kuwa kila mara ugomvi tena jambo dogo tu
Kuwa na hasira kila ukifika numbani au kumuona mke wako au mume amakuja
Kutopenda kuoa au kuolewa
Kuchukiwa na bosi bila sababu na kila siku matusi kwako
Kuhisi kila asubuhi umechoka na huna malaria wala typhoid ukipima
Pesa ikiingia na matatizo yanaingia ikiisha yanaisha
Pesa ikiingia inatumika wee mpaka iishe ndo unapata nyingine
Kusoma sana lakini maskini na wala huwezi stuka kuhusu hali yako ila mbishi tu
Kushushwa vyeo kila mara na kupata kashifa usizotarajia
Maradhi yasiyoeleweka wazi na ukitumia dawa nafuu tu
Kukata tamaa na kukosa muelekeo kimaisha ingawa ulikuwa mpambanaji uko nyuma
Kwa wafugaji mifugo inakufa ovyo na kukosa kuzaa na ikizaa maziwa hakuna
Kutopona vidonda au operesheni miaka inapita, hii majini wanakula hapo
Ukila muda mfupi njaa, hii inaweza ikawa familia nzima hawashibi-hii ni majini wanakula mkila
Kukosa choo na tumbo kuhisi vitu vinajiviringisha
Kuhisi mabegani umebeba kitu
Kuona ukungu mara kwa mara na hauna ugonjwa wa macho wala Kisukari
Kuhisi umesimamiwa au mtu anakufuata nyuma na ukiangalia mtu humuoni.
Nyumba yako kuwa na minyato ya kutembea dalini, veranda au vyumbani
Kuchanjwa chale au mikwaruzo kama umekwaruzwa mapajani au sehemu za mwili.
Kuhisi unawashwa ukimaliza kuoga na ukichunguza unakuta mikwaruzo mwilini
Kukosa mimba bila sababu za kisayansi ila tumbo linaumwa mara kwa mara
Kukosa hamu ya sex na kukauka kwa uke hata ukiwa uko hot
Mwanaume kuota anafanya sex mara kwa mara ila nguvu za kiume zinapotea ukiwa na mke wako kitandani
Kupiga miayo kila mara hata bila usingizi wala njaa
Kutoka mimba bila sababu za wazi kiafya, hii ni jini anazitoa wakati mwingine
Kuota unaolewa na kuota una watoto,yote haya ni dalili ya kuolewa na majini yanakuzalisha ila yanavuruga maisha
Kukosa uchumba au kuharibika mambo ya uvhumba
Kuharibika uchumba kila posa ikitolewa, kuchukia wanaume wote
Kuachika na kutelekezwa bila sababu ya msingi, kila ukiolewa ndo hivyo
Kuugua kifafa ukubwani na ukifanya tiba unapata nafuu ila hauponi
Kuhisi mwiba ndani ya unyayo wa miguu yako
Kubadilika ngozi na kuwa yenye kutopendeza wakati uko ilikuwa inavutia sana
Kupata stroke ghafla na ulikuwa huna presha
Kuanguka bafuni au chooni mara kwa mara au kuponea chupu chupu kila mara usianguke bafuni ila wengine hapana
Kila rafiki wa maana hamuwezi kudumu kwa muda hata wa miaka 2 lazima mtengane tu!
Ukipewa mkopo huwezi rejesha na hupati faida na mkopo huo kamwe
Kuhisi vichomi mwilini na kiuno kuumwa sana kila mara
Kama una baadhi ya dalili hizo kama 5 au hata moja kubwa basi jua umelogwa, uchawi si mchezo kwani unaharibu taratibu mwili na maisha yako.
Kuna dawa za kuoga, kujipaka, kunywa na kufukiza kufukuza majini, mapepo na hali ya nguvu ya giza . Hizi dawa zimefanyiwa majaribio kwa watu wengi na kuwatibu maradhi ya kichawi na kuondoa majini na athari za nguvu za giza kwa uwezo wa Mungu mmoja wa pekee aliyeumba kila kitu na akakikadiria.
Dawa hizi ni:
Powerful Oil
Powerful soap
Safisha
Mt32
Extra Powerful Oil
Fusho
Clear herbal
Ukitumia 4 kati ya hizo hasa kwa aliye na uchawi mwilini na ndoto za kutisha ataona mabadiliko haraka sana.
Powerful oil
Powerful soap
Mt32
Safisha
Hizi dawa zina nguvu ya kuondoa nguvu za giza na maradhi mengi ukizitumia, unaoga sabuni kisha unajipaka mafuta.
Kunywa MT32 ni dawa za asili zaidi ya 32 zenye kuondoa uchawi mwilini na kusaidia mwili kuwa katika hali nzuri kiafya, pia zinatibu magonjwa mengi unayoyajua na usiyo yajua, kwani dawa 32 za asili zisizo na madhara ni kama viungo tu kwenye maji ya moto au asali si mchezo kitiba.
Wagonjwa wanaozitumia wanatueleza mengi kimatokeo na kujisikia wametua mzigo.
Mawasiliano kwa ushauri na tiba : +255621870342, [email protected]
Uchawi unatesa wengi Ukiongea uchawi wengi wetu tunaona aliyeongea ni kama mshamba vile! ila tambua kuwa sasa hivi uchawi umeongezeka sana na chanzo ni husuda na tamaa, kuna wanaojifunza kwa sasa imewekwa digrii vyuo vikuu vya Afrika ya kusini kufundisha uchawi na waziri wao wa Elimu alitamka wazi bungeni mwaka juzi!
#dalili za kulogwa#dalili za kurogwa#hasira nyingi#kuchanjwa chale usiku#kuchoka sana asubuhi#kuchukiwa na bosi#kuchukiwa na kila mtu#kuchukiwa na wateja#kuchukiwa na wazazi#kuharibika mimba#kuhisi ganzi#kuhisi njaa mara kwa mara#kuhisi uanchomwa mwilini#kuhisi umebeba#kukabwa shingo umelala#kukata tamaa#kukosa hamu ya sex#kukosa muelekeo na unayo elimu#kuma kukauka#kuona mikwaruzo mwilini#kuona ukungu#kuota choo#kuota kinyesi#kuota uchafu#kuota unaolewa#kuota unazaa#kuota watoto#kupiga miayo kwa wingi#kutoaka mimba#kutokauka kidonda
0 notes
Text
Mifupa kuumwa na tiba yake
Mifupa kuumwa na tiba yake
Mifupa inatakiwa kuwa imara ili uweze kutembea vyema, na hii ni muhimu kwa afya ya kila mtu wa rika zote.
Mifupa kuwa imara inategemea lishe ya vyakula unavyokula kila siku.
Kuna madini kama Calcium, Potassium, Magnessium, n.k
Dalili ya kukosa madini na vitamini muhimu
Kushambuliwa magonjwa ya kila namna
Kuwa na maumivu ya magoti na mgongo
Kushambuliwa na kisukari
Kuona kwa shida hasa wakati wa…
View On WordPress
#kichwa kuumwa upande#kuhisi joto kali kwenye mwili#kuhisi uchovu#kumbu kumbu#kushusha sukari mwilini#kuumwa kiuno#macho kuwa dhaifu#miguu kufa ganzi#mishipa
0 notes