#jini mahaba
Explore tagged Tumblr posts
Photo
Watoto(Cousins) waliokua wametumiwa uchawi, wakawekwa nyota ya umalaya (JINI MAHABA)... Walikataa shule.. wakatoroka nyumbani na kwenda kufanya biashara ya ukahaba Mombasa warudi nyumbani baada ya maombi... wamerudi wakiwa wamebaba handbag yenye pesa elfu mia tatu 300,000ksh ambazo walikua wamejiuza wakapata. Sasa wamefunguliwa na wamekubali kurudi shule. Sijui ni nani aliyefunga maisha yako... Lakini natangaza nguvu za Mungu.. nguvu zilizowafungua watoto Hawa zikufikie hapo ulipo na ufunguliwe katika jina la Yesu. Share 🙏 Prophet Mutula-The Great 📞☎️0720508509/0745207062 #LetMyPeopleGo https://www.instagram.com/p/CllShwgrPBy/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
Text
Kuota unafanya mapenzi
View On WordPress
0 notes
Photo
SHUHUDA: APONYWA JINI MAHABA LILILOMTESA KWA MIAKA 12. Anaeleza kuwa kwa miaka 12 amekua akiona Nyoka katika ndoto akimjia na baadae kubadilika kuwa Mtu na kufanya nae Mapenzi, na anapoamka kujikuta amechafuka . Anaeleza kuwa kwa kipindi chote amekua hadumu katika mahusiano yake hali iliyopelekea kwenda kwa waganga bila kupata suluhisho lolote. Anaeleza kuwa Uponyaji wake aliupata kupitia njia ya WRM TV , alipata Neema ya kufuatilia Maombezi yaliyokua yanaendeshwa na Nabii wa Bwana akiwa nyumbani kwake na kuanza kujikuta akiwashwa mwili wake. Pia alipata Neema ya kupata Vifaa vya kiRoho na kuvitumia mpaka Sasa anaeleza Hali hio ya jini mahaba haijamrudia mpaka Sasa. SIFA NA UTUKUFU NI KWA MUNGU MPONYAJI. #chief_prophet_suguye #wrm_radio #wrmtv https://www.instagram.com/p/B-B8ItMpbbc/?igshid=m5mcqb9zbsdg
0 notes
Photo
Duniani wawili wawili. Umewahi kujiuliza kwa nini? Kwa nini mtu afanane sana na mtu mwingine ambaye hata si ndugu yake na labda mmoja anakaa Kagera na mwingine Tanga? Au mmoja anakaa Rwanda na mwingine Tanzania? - Nguvu za Shetani zimejificha katika sehemu za siri za mwanadamu. Kujamiiana (tendo batili la ndoa) kunautia najisi mwili wako na roho yako pia, hasa wakati wa kumwaga manii; kwa sababu dhambi zote anazofanya mwanadamu ziko nje ya mwili wake isipokuwa dhambi ya uzinzi, ambaye mungu wake anaitwa Asmodeus. Asmodeus maana yake ni Kiumbe cha Hukumu. Kutokana na dhambi ya uzinzi ndiyo maana Mungu akauhukumu kwa moto mji wa Sodoma, na miji mingine minne ya kipindi hicho. Tunapokuwa tumelala mara nyingi tunaota ndoto tukifanya mapenzi, na watu tunaowajua au tusiowajua, hadi kileleni. Ndoto hizo ni za kishetani. Shetani hujigeuza na kuwa jini jike (Succubus) ambalo hufanya mapenzi na mwanamume kisha mwanamume kummwagia manii Succubus. Halafu Succubus huyohuyo hujigeuza na kuwa jini dume (Incubus) na kufanya mapenzi na mwanamke popote pale duniani, kwa lengo la kumwaga zile shahawa katika uchi wa mwanamke, hivyo kutia najisi mwili na roho ya mwanamke na mwanamume walioingiliwa na Incubus na Succubus kwa mpangilio huo. Iwapo uliwahi kuota unafanya mapenzi na mwanamume, kuna uwezekano mkubwa ulifanya mapenzi na jini mahaba aitwaye Incubus; na iwapo uliwahi kuota unafanya mapenzi na mwanamke, kuna uwezekano mkubwa ulifanya mapenzi na jini mahaba aitwaye Succubus. Succubus anapochukua shahawa za mwanamume na kujigeuza kuwa Incubus, huangalia ni mwanamke gani popote pale duniani yuko tayari kunasa mimba na bado hajafanya tendo la ndoa na mume au mpenzi wake. Kwa ruhusa ya Mwenyezi Mungu Incubus atasafiri kwa mwendo wa mwanga hadi kwa mwanamke huyo na kufanya naye mapenzi kwa njia ya ndoto, lakini lengo likiwa ni kummwagia zile shahawa alizozitoa kwa mwanamume, ili mwanamke anase mimba. Soma zaidi hapa: https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=1749491058408048&id=100000415120038 https://www.instagram.com/p/B1MIOEgHk35/?igshid=1eo5ubtl3hsli
0 notes
Text
IFAHAMU KIUNDANI DAWA KIBOKO YA KUFUKUZA JINI MVUNJA NDOA NA MAHUSIANO YA WATU
IFAHAMU KIUNDANI DAWA KIBOKO YA KUFUKUZA JINI MVUNJA NDOA NA MAHUSIANO YA WATU
Dawa hizi hutumika kufukuza majini aina zote hasa majini Maiti, Mahembe na Jini Mahaba maana hawa ndio Majini wanaotikisa Duniani na ndio chanzo kikubwa cha kurudisha Maendeleo ya watu na kuvunja ndoa za watu. Katika kuzingatia hilo Maalim Hashimu ameamua kutumia Ujuzi aliojaliwa na Allah kuweza kuwafundisha wapenzi wasomaji wa ASILI ZETU namna ya kutengeneza Dawa ya kukabiliana na majini hawa.…
View On WordPress
#Haltiti#Karafuu Maiti#mbaazi#Miat Saaila#Mkaratusi#Mkuyu#mvuje#Mzambalau#Shilonge#tumbaku#Tunguja#vitunguu swaumu
0 notes
Photo
Part 1: Haya Haya hayaaa Kumekucha nA Makucha Yakeeeee Mnapenda Ubuyu nyieeee, Shilawadu shilawaduuuu Tunakuganda kama Rubaaaaa Za kunyapia nyapia kutoka Kinondoni zimefumuka na Kudai "NDUGU WA ZAMARADI NDIO WAMEMPANIKISHA DADA YAO HADI KUACHWA NA RUGE, NA KUJIKUTA MIKONONI MWA MISSION TOWN" KISINGIZIO KIKUBWA NI DINI, BASHITE AFUNGA BAO LA MKONO . Hadithi Hadithi (itikia... Hadithi Njoo, Uongo Usije, Utaaaam Kolea) Hapo zamani za Kale, ehe.. Dada "ZAMARADI" inafahamika ni Muumini wa Dini ya Kiislamu, basi akakutana na "RuGE" Ambae ni muumini wa Dini ya Kikristo) Lakn kwenye mambo ya mahaba ndugu zangu hakunaga cha Dini, wawili hao wakapendana Mara Paaap uzao wa kwanza, huku na huku Mara Paaaap uzao wa pili, wakaona Bora tuhalalishe Haya mambo (Picha sasa ndo Ikaanzia Hapo ndo Haya yooooote yakazaliwa) . Wao walijua itakua simpooo, mwanaume kwanza akafanya taratibu za kwenda kumtambulisha Zamaradi kwao kiumeni na Ktk maisha yake alikua hajawah wala kuthubutu kwenda kumtambulisha mwanamke Kwa Profesa Mutahaba (Nitakuambia baadae kilitokea nn) ikafika Zamu ya Ruge kwenda kutambulishwa Ile Rasmi Rasmi kikeni kuwa anataka kuchukua jiko moja kwa moja, ingawa Tangu mwanzo alikua anatambulika, basi cku hyo Jogoo likachinjwa pilau likapakuliwa ndugu wakashikana mikono, watu wakatawanyikaaa . Vikao vya Harusi vikaanza kukaliwa Kikeni na kiumeni . Bila wenyewe Kujua Kumbe Jini Mkata Kamba yupo anacheza cheza Kinondoni, Akaingia kichwani mwa Bwana "Khamis Bwela" ambae ni Kaka wa bibi harusi bibie "Zamaradi" . Z na R wakawa wanaendelea na Mipango, Hadi Shela jamani lishaagizwa, na Designer wa Suti kishachukua Vipimo vyake, Wenyewe bila kujua walikua hawajui kuwa kuna jambo moja litakuja kuwa zitooo na kukwamisha kiiiiiiiila kitu, unajua ni nini hicho? . Nayamwaga sasaaaaa "Dini zao tofautiiii" eeeh? Ndio Dini Zao Tofauti, Ila kwa Upande wao walishapanga Kuwa itakua Ndoa Ya kiserikali . (Kumbe Jini mkata Kamba Ana yake moyoni ya kukwamisha Mahalalisho ya wapendanao) . Mara Paaaaap siku flani Desh Desh Bwana "Khamis bwela" kaka wa Bi Harusi huku akiwa na ndugu wengine kina Mwajemi anampigia simu Bi Harusi na kumtumia Salamu kuwa "Hakuna Ndoa bila Bwana R kubadilisha Dini"
0 notes
Text
2016
Since for the entire 2016 I didn’t have any entries in my diary, I’ll just mention some events that I can still clearly remember lol
02/13 Blessie’s Debut
Debut ng isa sa mga college friends ko tapos overnight so what do you expect after the party? Of course swimming lol sympre may liquor rin. Medo tinamaan ako dun sa wine. Masaya naman kasi sama-sama kaming squad na sumalubong sa V Day.
02/25 Haduan trip
Tagal ko nang gustong pumunta sa Haduan, nung 2nd year 1st sem pa pero di bet ng squad kasi mapapagod daw sila lol. So yun finally nakapunta na ko tho with my group mates. Kala ko nga di ako mag-eenjoy since di ko naman kaclose yung mga kagroup ko that time pero yun, super enjoyed! Kahit na sobrang pagod at sakit ng katawan namin nun, worth it lahat-lahat.
04/06 Haduan trip part 2
This was Haduan trip part 2 but this time with my college friends. One year in the making rin ‘to lol di ko na nga inexpect na matutuloy pa kasi ayaw nung boys lol. As usual nakakapagod pero masaya.
04/09 Castaway
Di man talaga ako pupunta dito eh, tinurn down ko na nga yung sa college friend ko kasi ang layo ng pagsleep over after nung Castaway pero dumating isa sa mga bestfriend ko and gusto daw niyang matry so pumayag ako. Ang mean ko no? lol. On the spot akong nagpaalam na mag-oovernight ako kina Irah tapos okay lang kay mama. Basta kasi kasama ko si Irah, papayagan na ko nun lol siya yung parang ticket o pass ko. Yun masaya naman kaso nung solid daming tao as in. Tapos nung pauwi na pahirapan since sa smp yun tapos sa ac pa kami uuwi. Around 12am na kami nakauwi nun at first time na ganung oras na nasa labas pa ko. The next day, bonding namin ni Irah with Ju and Ate Shey. Nuod lang ng movie and chikahan. Around 4:30pm na ko umalis sa kanila pero that time di pa nagtetext si mama. Kauwi ko nga sabi niya, bat umuwi pa daw ako. Akala daw niya dun na ko titira lol.
04/28 Manaoag & Baguio
First destination is Manaoag and then followed by Baguio. Okay so this was my first time in Baguio. lol sorry na? Gustong-gusto kong pumuntang Baguio kasi I love sunflowers kaso that time di pala nila season. Sadlyf no? So ganito yun, first destination namin sa Baguio yung Burnham dapat kaso yung mga kasama namin na nasa ibang van nasa Mines View daw tapos around lunch time na nung nakarating kami sa Baguio proper at gutom na yung mga kasama ko. Dapat maglalunch na kaso nga yun sinundan pa rin namin mga kasama namin tapos mainit na rin mga ulo ng mga kasama ko kasi nga gutom. Karating sa Mines View, bumaba na kami then picture dun, picture dito saka bili ng mga pasalubong. Tapos sa The Mansion na sila so sumunod na naman kami. Yun yung time na solid nainis ako kasi kakababa palang sa van, nag-aaya na silang kumain. Ni hindi nga ako nakapasok sa mismong gate, hanggang labas lang. Sinong di maannoy dun di ba? After nun, sa Burnham Park na and finally makakakain na sila (sila kasi di man ako gutom, kumain akong sky flakes sila kasi hindi. arte nila eh) tapos lakad-lakad sa Burnham. Sumakay rin pala kami ng bangka, hirap pala magsagwan bes lol. Sabi kasi ng bestfriend kong si Irah sa Burnham Park daw maraming sunflowers kaya sabi ko sa mga pinsan ko na mag-ikot-ikot kami, pero ayaw nila. Super annoyed na ko nun as in nakakaiyak na. Buti na lang nagtext si Irah nun telling me na tapos na klase niya so pwede kaming mag-meet and then there, we met. yey! Medyo nabago mood ko dahil sakanya pero annoyed parin ako dahil di ako nakakita ng sunflower that time sala bitin kasi yung trip na balikan.
05/12 Fcking Wasted
Can’t forget this day lol for the first time in my life, I got fcking wasted. Solid bes, as in di na ko makatayo kaya ginapang ko nalang yung papuntang sofa. Not so sure pero alam ko nadaya ako ng isang ate ko. Siya kasi taga lagay ng soju dun sa shot glass. Nakadalawang bote ng soju kami tapos kaming dalawa lang yung umiinom. Tapos nung nalalasing na ko, pinaluto ko yung soup sa isa kong ate. Nakakatawa lang kasi buo-buo yung soup na sinerve niya sakin nun, nakainom na kasi kami nun.Tapos ginapang ko nga papuntang sofa, tinatanong pa nga nila ako kung gusto kong sumama papunta dun sa bahay ng tita ko but I can’t make it. As in di ko na kayang tumayo and everything lol. Kahit na wasted ako that day, ang saya lang kasi illegal yung ginawa namin ng mga ate ko, di kasi alam nila tita na uminom kami. Sabi nga sa kanta, “good girls are bad girls that haven’t been caught.”
05/28 Pre-birthday celeb
So this was my 19th pre- birthday celeb with beastfriends. Laging advance since may conflict mga sched namin. Kaiyak. Binigyan ako ni Anton nung balloon na numbers kunware surprise daw pero nakita ko naman, yung stick kasi nakalabas sa bag niya since mahaba yun. Tapos may cake pa para naman daw may mablow ako tho I’m not a fan of cakes lol tapos yung icing pinunas nila sa mukha ko edi ginantihan ko sila. Pero yun yung reason kung bakit ayaw ko ng cakes, yung amoy kasi nung icing nakakasuka. Then swimming na til 10pm. (btw sa Vista Verde pala kami nun)
06/01 Swimming Part 2
lol nabitin kasi kami sa swimming nun pre-birthday celeb ko kaya may part 2 sa pavillion sa timog park. no gastos as in yung food lang namin, sa clubhouse kasi hehehe we used our connections lol. Masaya naman tho di kami complete, si Ja kasi wala pero buti na lang nakasama na si Bea.
06/04 Jesica’s Debut
Ang highlight talaga dito yung photo op to Poch eh hahaha saka yung mga mapang-asar kong hs mates. Pero solid, nakakamiss Colo, medyo parang reunion since kumpleto ata boys nun. Tapos that time, di ko kayang makasama sa isang table si Poch lol I’m so shy saka parang awkward. sorry awkward talaga. Sina Gerry kasi saka Marc nang-aasar tapos buti nalang kakampi ko sina Eric at Irah kasi sila yung gumawa ng way para magkapicture kami ni Poch. Galing nga nung naisip nilang timing eh, yun yung time ng cotillion so umalis lahat ng boys except Eric and Poch sa table kaya yun. Singka gilas na lang mga bes lol.
06/13 Bouquet
Di ko rin makakalimutan ‘to kasi first time kong makatanggap ng bouquet tho galing sa bestfriend ko yan, si Irah, pambawi raw niya kasi wala daw siya sa birthday ko.
06/15 19th
Watched Me Before You with the squad tho di kami complete. After nun pumunta na kami sa tita ko kasi same birthday kami. Yun na yun, nothing much happened pero thankful ako kay Daddy God kasi binigyan niya ulit ako ng another year para mag-explore.
06/16 Mysterious Box
Karating ko ng room namin nun may nakita akong box dun sa place ko. Kala ko kanino so nilagay ko dun sa kasunod kong chair (ugali no? lol) tapos si Nicole kinuha niya yung box at binasa niya yung nakasulat dun sa papel na nasa box, for “Jiny” daw. Sabi ko di naman sakin yun kaya ginawa niya, tinanong niya sa mga kablock ko kung may iba pa bang “Jiny” sa room and wala naman daw except me. So I opened the box and found out those notes na naka-roll tapos may mga lyrics na nakasulat. Then may isa pa ulit na box tapos merong laman na necklace. Kinuha ko ulit yung mga notes, kala ko talaga nung una si Jean nagbigay nun kasi kasulat niya pero nung nakauwi na ko, dun ko palang narealize kung kanino ba talaga galing yun lol. sorry ang mean ko shet. Naappreciate ko naman effort niya pero I’m not into necklaces kasi huhuhu. Sabi nila isuot ko daw pero ayoko for some reasons (sakin nalang yun tho my best friends already knew the reasons and i just don’t know if they still remember it).
06/17 Cake & Book
Nasurprise talaga ako ng squad kasi di ko expect na bibigyan pa nila ako ng cake nun. Usually kasi nagbibigay sila ng cake kapag day before or after ng birthday. Tapos ang saya pa kasi may book pang kasama, pambawi daw nila nung 18th ko kasi di man sila nakapagbigay lol. Sorry pero mas natuwa pa ko sa book kesa dun sa lol nvm ang sama ko talaga shet.
to be continued
0 notes
Text
Majini yana taasisi kama wanadamu
Majini yana taasisi kama wanadamu
Majini ni jamii isiyoonekana ila yanaishi na kuendesha maisha yao kama wanadamu, majini yana wataalamu wa aina mbali mbali kama wanadamu tulivyo, majini yanajifunza elimu za kwao mojawapo ikiwa tiba halali, na mengine uchawi wa kulogana na kuloga wanadamu.
Wachawi ushirikiana na majini kufanya uchawi na wanadamu utumia majini kufanya uchawi na kuiba pesa za wengine almaarufu chuma ulete au pesa…
View On WordPress
#hasira bila sababu#jini mahaba#jini mchafu#jini msumbufu#jini mzinifu#kuchukia ndoa#kuingiliwa usingizini#kuota unafanya mapenzi#ndoto mbaya#ndoto za ajabu#uchawi wa majini
0 notes
Text
Powerful oil na MT32 zinatibu uchawi
Powerful oil na MT32 zinatibu uchawi
Uchawi umekithiri na kuenea dunia kupitia ushirikina wa baadhi ya wanadamu wakishirikiana na mashetani wa aina mbali mbali. Kuanzia mabara ya Ulaya, Amerika, Africa na nchi nyingine uchawi unatumika kuharibu mambo mengi ikiwemo afya ya mwanadamu na kumfanya augue magonjwa yasiyoeleweka na hata vipimo vya hospitali za kisasa havitoi majibu ya kuumwa kwa waliologwa. Kuna majini yanaishi duniani…
View On WordPress
#dalili za kulogwa#kuharibu maisha kwa uchawi#kuota uanfanya mapenzi ni jini mahaba#kuota uko chooni au sehemu chafu ni uchawi wa nuksi na mikosi#kuota unakula nyama ni uchawi#kuota unalishwa ni uchawi#kuota unalishwa nyama#kuota unanyonyesha mara kwa mara ni kuzaa na jini#kuota unaongea na marehemu ni kuwa na majini#Uchawi upo#uchawi wa kuahribu maisha
0 notes
Text
Dalili za kulogwa au kuwa na jini
Dalili za kulogwa au kuwa na jini
Dalili hizi ni hatari kwa afya na maisha yako
Kukata tamaa kimaisha na kuamua kukaa kijiweni
Kuota analishwa vitu mara kwa mara na asubuhi mchovu sana
Kuota umelala na mwanamke au mme mara kwa mara
Kuota unaingiliwa na wanyama au umelala na wanyama
Kuota nyoka kila mara
Kuota unakufa mara kwa mara
Kuota watu waliokufa mara kwa mara na unaongea nao
Kutoka hedhi bila kukoma kwa mwanamke
Kuhisi vitu…
View On WordPress
#kufukuza majini#kufukuza wachawi#kuharibu uchawi#kuondoa jini mahaba#kuondoa kulogwa#kuota sehemu chafu ni uchawi#kuota unafanya mapenzi na tiba yake#kutibu uchawi#kuzuia ndoto za ajabu
0 notes
Text
Mke aliyeondoka
Ndoa zina mtihani mkubwa kwa sasa, kuna ndoa zinazojengeka kwa uchumi, uchumi ukiyumba mke anaondoka au mwanaume anatupa familia.
Kuna ndoa za kulazimisha kwani unakuta mmoja hampendi mwingine tangia wanachumbiana ila sababu fulani zimefanya muoane, kama kumpa mimba ikiwa ni hawala au ndugu wameshawishi au umempata chaguo la moyo wako.
Ukisha muoa mwanamke au ukishaolewa basi jua huyo ndo…
View On WordPress
#kufarakanisha#kuharibu ndoa#kukauka uke#kukosa hamu ya mke#kulogwa#kumfukuza jini mahaba#kutoka mimba#mke kulogwa#uchawi wa kutoa mimba
0 notes
Text
Dalili za kuolewa na majini au kuoa majini
Dalili za kuolewa na majini au kuoa majini
Mwanamke anaweza kuolewa na jini au majini bila kujua, pia mwanaume anaweza kuwa na mke au wake wa kijini bila kujua!
Dalili kubwa za kuwa na mume wa kijini au jini mahaba(Spiritual husband)
Kuota ndoto za ngono/mapenzi mara kwa mara
Kuota una watoto au unanyonyesha watoto
Kuota unaolewa na kufanyiwa harusi
Kuota unapata mimba
Kuota unazaa mtoto au watoto wengi
Kuota ndoto za ajabu wakati wa…
View On WordPress
#jini mahaba#kila anayemuoa anakufa#kuchukia mume bila sababu#kuchukia wanaume#kuchukiwa na wanaume#kujihisi huna amani ukiwa na mume#kukaribia kuingiza uume na unalegea ghafula#kuolewa waume wakafa#kuona mume anayo sura mbaya#kuota na mimba#kuota una watoto wachanga#kuota unafanya ngono#kuota unafanyiwa harusi#kuota unaolewa#kuota unazaa#kupotea vitu ndani mara kwa mara#kuwa na hasira nyingi#mali na vitu kuharibika mara kwa mara#mume kukosa nguvu za kiume#mume wa kijini#pesa kupotea mara kwa mara
0 notes
Text
Mwanaume anaweza akaolewa na jini la kike bila kujua na itakuwa tatizo kwake.
Dalili kuu za kuolewa na jini la kike
Kuchukia mke wako bila sababu
Kuchukia wanawake pengine hata dada zako na mama yako
Kupata hasara katika mali na kuharibikiwa
Kupoteza vitu hata pesa mara kwa mara
Kuoa wanawake wanakufa kwa kutatanisha
Kuchoka bila sababu hasa ukiamuka asubuhi
Kushindwa kuingiliwa mke wako na uume klegea ghafula
Kuota unafanya ngono na mwanamke
Kuota unabeba watoto
Kuchukia kufanya tendo la ndoa
Kukosa hamu ya kuishi na mke wako
Kuhama nyumba yako ili ukae pekee mbali na familia na ukaona safi
Mke wako kukuota katika shari
Kuwa na wasi wasi sana na kuhisi una mtu karibu kitandani hata ukiwa pekee yako
Wanawake kukuchukia
MAWASILIANO-UPATE TIBA :+255762053174/+255621870342/+255717147649/+255764041507
Tiba ya tatizo hilo ni dawa hizi hapa:
Mwanaume mwenye jini la kike-Spiritual wife Mwanaume anaweza akaolewa na jini la kike bila kujua na itakuwa tatizo kwake. Dalili kuu za kuolewa na jini la kike…
#jini mahaba linaathiri nguvu za kiume#kuchoka asubuhi#kuchukia wanawake#kuoa wake wanakufa ghafula#kuota mke unafanya ngono#kupoteza mali na kuharibikiwa#mboo kulegea ukikaribia kuingiza#mimba kutoka bila sababu#uume kulegea#wanawake kukuchukia#watoto kufa ghafula
0 notes
Text
Kuota unanyonyesha na huma mtoto ina maana umeisha zaa na viumbe visivyoonekana hasa majini. Majini yanawaingilia wanadamu wakati mwinine na wakati mwingine yanatumwa na kukuingia ili uwe mke wa jini hilo.
Jini anakuzalisha kama mume wa kiroho na anakuonea wivu kiasi kwamba anakuzuia usiolewe na hata ukiwa umeolewa ni kuzuia mapenzi ya kweli wewe na mume wako!
Majini kama mahaba yanaharibu ndoa na maisha ya wengi, kuna mahaba wa kike na mahaba wa kiume wote ni kazi moja tu, kuoa au kuolewa na wanadamu.
Ukiwa unaota unafanya mapenzi, uko chooni au sehemu chafu, kuota unaolewa au unaoa au unazaa au una watoto au umebeba mtoto basi jua kuwa unalo jini ambalo laweza kuwa la kichawi au la kukutamani lenyewe.
Madhara ya kuota unanyonyesha ni kusababisha maisha yasiyokuwa na furaha katika ndoa na familia kutokuwa na amani kwani mke au mume akiwa na jini mahaba hawezi kuwa na amani na mke wake au mke akiwa nalo hawezi kuwa na amani na mume wake, watakuwa wanagombana mara kwa mara tena kwa mambo madogo sna.
Ukiota ndoto za kunyonyesha ni jibu kuwa ulishazalishwa na jini na sasa unanyonyesha watoto wa kijini hata kama huwaoni kwa macho na maisha yako yatakuwa yana mikasa ya hapa na pale!
Kuna kuzuia ndoto hizo kwa kufukuza majini hayo na kuwa huru kwa dawa na kumuomba Mungu mmoja wa pekee aliyeumba kila kitu na akakikadiria.
Mawasiliano: WhatsApp: +255621870342, +255762053174. Email: [email protected]
Kuota unanyonyesha na hali huna mtoto Kuota unanyonyesha na huma mtoto ina maana umeisha zaa na viumbe visivyoonekana hasa majini. Majini yanawaingilia wanadamu wakati mwinine na wakati mwingine yanatumwa na kukuingia ili uwe mke wa jini hilo.
#kuota unafanya mapenza#kuota unafanya sex#kuota unafunga ndoa mara kwa mara#kuota unanyonyesha#kuota unatombana#kuota unatombwa#kuota watoto mara kwa mara
0 notes