#kuchukia wanawake
Explore tagged Tumblr posts
Text
Somo: TABIA 25 ZA KUEPUKA NA HATARISHI KWENYE MAISHA YAKO. (Part 2: KUTO...
youtube
Somo: TABIA 25 ZA KUEPUKA NA HATARISHI KWENYE MAISHA YAKO.
---------------------------------------------------------
SUBSCRIBE (Tumaini Jipya Duniani Tv)
Https://youtube.com/@rwizakakiza?si=ewqb8Z8S1aeDwoRB
Sehemu: II
......"Mtu MWEMA katika hazina njema ya moyo wake hutoa yaliyo MEMA, na mtu MWOVU katika hazina mbovu ya moyo wake hutoa yaliyo MAOVU; kwa kuwa mtu, kinywa chake hunena yale yaujazayo moyo wake"......
......Luka 6:45......
3. TABIA 25 ZA KUEPUKA NA HATARISHI KWENYE MAISHA YAKO.
-------------------------------------------------------------
3. 1. KUTOKUSAMEHE.
Ni hali ya kufuatilia kila kosa ulilotendendewa ili ulipize kisasi nafasi ikipatikana. Hii ni tabia inayojengeka baada ya mtendewa kutokubali kushuka yaani kutokubali kushindwa kabisa mpaka alipize alichofanyiwa na kuzidi na hata baada kulipa kisasi Chuki uendelea kuwepo. Hii ni tabia ya kwanza ya kuepuka sana kwenye maisha yako.
MATOKEO /DALILI ZA MTU MWENYE TABIA YA KUTOKUSAMEHE.
(a). ANAHESABU MAKOSA.
Kwa kawaida mtu mwenye tabia ya kutokusamehe anahesabu kila kosa unalotendewa, Wengine ili wasisahau uwa wanaandika kabisa. Wengine hata kama aliyemkosea kashakufa bado anawakumbusha watu marehemu Alichomtendea.
Mwenye tabia ya Msamaha ahesabu makosa bali usamehe hata kabla hajaombwa Msamaha kama MUNGU alivyo.
.....Mimi, naam, mimi (MUNGU), ndimi NIYAFUTAYE MAKOSA yako kwa ajili yangu mwenyewe, wala sitazikumbuka dhambi zako.
......Isaya 43:25....
(b). CHUKI
Mtu asiyesamehe ndani yake panajengeka Chuki badala ya pendo. Kutokusamehe kunaweza kukasababisha kuchukia aliyekutendea kosa, lakini Chuki hiyo haishii tu kwa mkosaji bali hata atawachukia wengine wanaofana naye au Rika lake, familia yake na kadhalika.
Mfano.
Binti /Kijana anaposalitiwa uwa anawachukia wanaume /Wanawake wote akifikiri wote wako vile. Mwingine anawachukia rafiki au mpaka familia au mpaka kanisa analosali aliyemtenda.
Mwenye tabia ya Msamaha hajengi Chuki, bali anajenga Upendo wa Kumpenda mtu aliyemkosea kabla hata hajamwomba Msamaha kama MUNGU alivyo kwetu.
......Hili ndilo pendo, si kwamba sisi tulimpenda Mungu, bali kwamba yeye alitupenda sisi, akamtuma Mwanawe kuwa kipatanisho kwa dhambi zetu.
......1Yoh 4:10.....
(c). HASIRA KALI
Mtu aliyekosa tabia ya Msamaha ndani yake panajengeka hasira kali, hii ni kutokana na matukio aliyoyapitia maishani mwake yakamuumiza na huyaachilia.
Mwingine anazaliwa na hasira kali, sasa hili linaanzia akiwa tumboni, labda mama alikuwa na huzuni nyingi na maangaiko mengi na akashindwa kuyaachilia, athari zake zinaenda mpaka kwa mtoto
Mwingine hasira yake inatulia baada ya kufanya tukio (Avunje au kupasua vyombo au mpaka aone damu nimetoka - Wengine wamama wana hasira kali na ili aitulize anampiga mtoto au kumg'ata mpaka atoke damu)
Mwingine anatuliza hasira yake kwa kujirarua, kunywa, kupiga a na kadhalika. Zote hizi ni dalili za kukosa Msamaha.
Mwenye tabia ya Msamaha ndani yake hasira zake zinamwelekeza kwenye huruma kama MUNGU alivyo.
....Basi, iweni na huruma, kama Baba yenu alivyo na huruma.
......Luka 6:36.....
(e). KISASI
(f). UHASAMA
(g). UGOMVI
.........Tutaendelea.........
Rejea
"For if you FORGIVE OTHERS their trespasses [their reckless and willful sins], your HEAVENLY FATHER will also FORGIVE YOU".
.....Matthew 6:14......
Na
Ev. Erasmus Pascrates Kakiza
+255 782 546 914
@2024 The year of my shining.
0 notes
Text
Mwanaume anaweza akaolewa na jini la kike bila kujua na itakuwa tatizo kwake.
Dalili kuu za kuolewa na jini la kike
Kuchukia mke wako bila sababu
Kuchukia wanawake pengine hata dada zako na mama yako
Kupata hasara katika mali na kuharibikiwa
Kupoteza vitu hata pesa mara kwa mara
Kuoa wanawake wanakufa kwa kutatanisha
Kuchoka bila sababu hasa ukiamuka asubuhi
Kushindwa kuingiliwa mke wako na uume klegea ghafula
Kuota unafanya ngono na mwanamke
Kuota unabeba watoto
Kuchukia kufanya tendo la ndoa
Kukosa hamu ya kuishi na mke wako
Kuhama nyumba yako ili ukae pekee mbali na familia na ukaona safi
Mke wako kukuota katika shari
Kuwa na wasi wasi sana na kuhisi una mtu karibu kitandani hata ukiwa pekee yako
Wanawake kukuchukia
MAWASILIANO-UPATE TIBA :+255762053174/+255621870342/+255717147649/+255764041507
Tiba ya tatizo hilo ni dawa hizi hapa:
Mwanaume mwenye jini la kike-Spiritual wife Mwanaume anaweza akaolewa na jini la kike bila kujua na itakuwa tatizo kwake. Dalili kuu za kuolewa na jini la kike…
#jini mahaba linaathiri nguvu za kiume#kuchoka asubuhi#kuchukia wanawake#kuoa wake wanakufa ghafula#kuota mke unafanya ngono#kupoteza mali na kuharibikiwa#mboo kulegea ukikaribia kuingiza#mimba kutoka bila sababu#uume kulegea#wanawake kukuchukia#watoto kufa ghafula
0 notes