#ujiwamuhogo
Explore tagged Tumblr posts
rachelsiwafan · 4 years ago
Photo
Tumblr media
Jikoni Leo Uji wa Wa Muhogo ;Cassava Porridge ; Mahitaji; Unga wa Muhogo ,Pilipili mtama/manga,Ndimu/Limau,Maji,sukari na Chumvi kidogooooo👌🏽 Hivi nilikuwa ndiyo upishi wangu niliozoea… Lakini nimefundishwa upishi mwingine mzuri mtaamu pia… Nilipika nimeupendaa mnoo 😋 Unaweza kuweka kuupika kama uji wa mchele pia unaweka hiriki, Nazi, binzari nyembamba;shukrani @mwasuklm 🙏🏽🙏🏽 ;Cassava flour,Lemon/lime,water,Sugar/Salt...😋 ;pika kama unavyopikaga Uji :Uji gani wewe unaupenda? :mimi wa Mchele,Muhogo/sembe ;wenye pilipili Mtama/manga na ndimu/Limau...... :Wa urezi kiasi sababu sipendi sana maziwa... : 🙏🏽🇹🇿 Kitchen today Jikoni Leo 👩🏾‍🍳 :#chakula#kupika👩🏾‍🍳🥘 : : #kitchentoday #inmykitchentoday #jikonileo #Ujiwamuhogo #mapishi #kifunguakinywa #breakfast #breakfastideas #cassavaflour #porridge #cassavabreakfast #cassavaporridge #tescofood @tescofood #cooking#food#foodie#foodblogger#tanzanianfood#tanzania🇹🇿 #eastafrica#bbcfood#cnnfood😋 #Coventry#UK#lifestyleblogger#vlogger#mswahili🇹🇿#Rachelsiwa ❤️ https://www.instagram.com/p/CP20CooHyZE/?utm_medium=tumblr
0 notes