#kifunguakinywa
Explore tagged Tumblr posts
rachelsiwafan · 3 years ago
Photo
Tumblr media
Good morning🥰 Habari za Asubuhi 🥰 Jumapili Njema🙏🏽 Jikoni leo Maandazi na Chai ☕️ ya Rangi -Rachels Eats 😋 Asubuhi ya Leo umepata Kifungua kinywa gani? : 🙏🏽🇹🇿 🇬🇧Kitchen today Maandazi Swahili food 🍱 : :Rachel’s Eats🥣 : : : #kitchentoday #inmykitchentoday #jikonileo #Chaiyarangi #mapishi #mpishi #kifunguakinywa #Maandazi #breakfastideas #breakfast #swahilisnacks #donats #tanzanianbreakfast #englishfood #tescofood @tescofood #cooking#food#foodie #foodblogger#tanzanianfood #eastafrica#bbcgoodfood#cnnfood😋 #Coventry#UK#lifestyleblogger#vlogger#mswahili🇹🇿#Rachelsiwa ❤️ #Nenolajumapili🙏🏽 8 Basi, usione haya kumshuhudia Bwana wetu, wala usione haya kwa sababu yangu mimi niliye mfungwa kwa ajili yake. Lakini shiriki katika mateso kwa ajili ya Habari Njema, kadiri ya nguvu unayopewa na Mungu. 9 Yeye alituokoa, akatuita tuwe watu wake yeye mwenyewe, si kwa sababu ya mastahili ya matendo yetu, bali kwa sababu ya kusudi lake na neema yake. Alitujalia neema hiyo kwa ajili ya Kristo Yesu kabla ya wakati, 10 lakini imefunuliwa kwetu sasa kwa kuja kwake Mwokozi wetu, Yesu Kristo. Yeye amekomesha nguvu za kifo, na kwa njia ya Habari Njema akadhihirisha uhai usio na kifo. (‭‭2 Timotheo‬ ‭1‬‬:‭8-10‬ BHN) “Therefore do not be ashamed of the testimony of our Lord, nor of me His prisoner, but share with me in the sufferings for the gospel according to the power of God, who has saved us and called us with a holy calling, not according to our works, but according to His own purpose and grace which was given to us in Christ Jesus before time began, but has now been revealed by the appearing of our Savior Jesus Christ, who has abolished death and brought life and immortality to light through the gospel,” ‭‭II Timothy‬ ‭1:8-10‬ ‭NKJV‬‬ https://www.instagram.com/p/CU19GFgNPs6/?utm_medium=tumblr
0 notes
rachelsiwafan · 3 years ago
Photo
Tumblr media
Good morning🥰 Habari za Asubuhi 🥰 Jikoni leo Uji wa Rachelsiwa 😋 Asubuhi ya Leo umepata Kifungua kinywa gani? Jikoni Leo Uji wa OATS/ Shayiri Mahitaji; na jinsi ya kupika Angalia post zilizopita 👇🏽 : 🙏🏽🇹🇿 🇬🇧Kitchen today Porridge : :Rachel’s Porridge bowl 🥣 : : : #kitchentoday #inmykitchentoday #jikonileo #Ujiwaoats #mapishi #mpishi #kifunguakinywa #preakfast #breakfastideas #porridge #oatsforbreakfast #oatsporridge #englishbreakfast #englishfood #tescofood @tescofood #cooking#food#foodie#foodblogger#tanzanianfood#tanzania🇹🇿 #eastafrica#bbcgoodfood#cnnfood😋 #Coventry#UK#lifestyleblogger#vlogger#mswahili🇹🇿#Rachelsiwa ❤️ “Ninamshukuru Mungu ambaye ninamtumikia kwa dhamiri safi kama walivyofanya wazee wangu; namshukuru kila ninapokukumbuka katika sala zangu usiku na mchana. Nakumbuka machozi yako na ninatamani sana kukuona, ili nijazwe furaha. Naikumbuka imani yako ya kweli, imani aliyokuwa nayo nyanya yako Loisi, na pia mama yako Eunike. Nina hakika kwamba wewe pia unayo. Ndio maana nakukumbusha ukiweke motomoto kile kipaji ulichopewa na Mungu wakati nilipokuwekea mikono yangu. Kwa maana Roho tuliyepewa na Mungu si wa kutufanya tuwe waoga; sivyo, ila ni Roho wa kutujalia upendo na nidhamu. ‭‭2 Timotheo‬ ‭1:3-7 BHN‬‬ “I thank God, whom I serve with a pure conscience, as my forefathers did, as without ceasing I remember you in my prayers night and day, greatly desiring to see you, being mindful of your tears, that I may be filled with joy, when I call to remembrance the genuine faith that is in you, which dwelt first in your grandmother Lois and your mother Eunice, and I am persuaded is in you also. Therefore I remind you to stir up the gift of God which is in you through the laying on of my hands. For God has not given us a spirit of fear, but of power and of love and of a sound mind.” ‭‭II Timothy‬ ‭1:3-7‬ ‭NKJV‬‬ https://www.instagram.com/p/CUrtxsVt-tD/?utm_medium=tumblr
0 notes
rachelsiwafan · 3 years ago
Video
Jikoni leo Asubuhi ya Leo umepata Uji? Jikoni Leo Uji wa OATS/ Shayiri Mahitaji; na jinsi ya kupika Angalia post zilizopita 👇🏽 : 🙏🏽🇹🇿 🇬🇧Kitchen today Porridge Jikoni Leo 👩🏾‍🍳 : : : #kitchentoday #inmykitchentoday #jikonileo #Ujiwaoats #mapishi #mpishi #kifunguakinywa #preakfast #breakfastideas #porridge #oatsforbreakfast #oatsporridge #englishbreakfast #englishfood #tescofood @tescofood #cooking#food#foodie#foodblogger#tanzanianfood#tanzania🇹🇿 #eastafrica#bbcfood#cnnfood😋 #Coventry#UK#lifestyleblogger#vlogger#mswahili🇹🇿#Rachelsiwa ❤️ https://www.instagram.com/p/CUUkeRsA7Rv/?utm_medium=tumblr
0 notes
rachelsiwafan · 3 years ago
Video
Jikoni leo Asubuhi ya Leo umepata Uji? Jikoni Leo Uji wa OATS/ Shayiri Mahitaji; na jinsi ya kupika Angalia post zilizopita 👇🏽 : 🙏🏽🇹🇿 🇬🇧Kitchen today Porridge Jikoni Leo 👩🏾‍🍳 : : : #kitchentoday #inmykitchentoday #jikonileo #Ujiwaoats #mapishi #mpishi #kifunguakinywa #preakfast #breakfastideas #porridge #oatsforbreakfast #oatsporridge #englishbreakfast #englishfood #tescofood @tescofood #cooking#food#foodie#foodblogger#tanzanianfood#tanzania🇹🇿 #eastafrica#bbcfood#cnnfood😋 #Coventry#UK#lifestyleblogger#vlogger#mswahili🇹🇿#Rachelsiwa ❤️ https://www.instagram.com/p/CUUkeRsA7Rv/?utm_medium=tumblr
0 notes
rachelsiwafan · 4 years ago
Photo
Tumblr media
Jikoni Leo Uji wa OATS Mahitaji; Oats,maji/Maziwa,sukari na Chumvi kidogooooo👌🏽 ;Oats,Milk/water,Sugar/Salt...😋 ;pika kama unavyopikaga Uji :tupia matunda,hizi ni Blueberries 🫐 :Uji gani wewe unaupenda? :mimi wa Mchele,Muhogo/sembe ;wenye pilipili Mtama/manga na ndimu/Limau...... :Wa urezi kiasi sababu sipendi sana maziwa... : 🙏🏽🇹🇿 Kitchen today Jikoni Leo 👩🏾‍🍳 :#chakula#kupika👩🏾‍🍳🥘 : : #kitchentoday #inmykitchentoday #jikonileo #Ujiwaoats #mapishi #mpishi #kifunguakinywa #preakfast #breakfastideas #porridge #oatsforbreakfast #oatsporridge #tescofood @tescofood #cooking#food#foodie#foodblogger#tanzanianfood#tanzania🇹🇿 #eastafrica#bbcfood#cnnfood😋 #Coventry#UK#lifestyleblogger#vlogger#mswahili🇹🇿#Rachelsiwa ❤️ https://www.instagram.com/p/CQa0QFlnKP-/?utm_medium=tumblr
0 notes
rachelsiwafan · 4 years ago
Photo
Tumblr media
Jikoni Leo Uji wa Wa Muhogo ;Cassava Porridge ; Mahitaji; Unga wa Muhogo ,Pilipili mtama/manga,Ndimu/Limau,Maji,sukari na Chumvi kidogooooo👌🏽 Hivi nilikuwa ndiyo upishi wangu niliozoea… Lakini nimefundishwa upishi mwingine mzuri mtaamu pia… Nilipika nimeupendaa mnoo 😋 Unaweza kuweka kuupika kama uji wa mchele pia unaweka hiriki, Nazi, binzari nyembamba;shukrani @mwasuklm 🙏🏽🙏🏽 ;Cassava flour,Lemon/lime,water,Sugar/Salt...😋 ;pika kama unavyopikaga Uji :Uji gani wewe unaupenda? :mimi wa Mchele,Muhogo/sembe ;wenye pilipili Mtama/manga na ndimu/Limau...... :Wa urezi kiasi sababu sipendi sana maziwa... : 🙏🏽🇹🇿 Kitchen today Jikoni Leo 👩🏾‍🍳 :#chakula#kupika👩🏾‍🍳🥘 : : #kitchentoday #inmykitchentoday #jikonileo #Ujiwamuhogo #mapishi #kifunguakinywa #breakfast #breakfastideas #cassavaflour #porridge #cassavabreakfast #cassavaporridge #tescofood @tescofood #cooking#food#foodie#foodblogger#tanzanianfood#tanzania🇹🇿 #eastafrica#bbcfood#cnnfood😋 #Coventry#UK#lifestyleblogger#vlogger#mswahili🇹🇿#Rachelsiwa ❤️ https://www.instagram.com/p/CP20CooHyZE/?utm_medium=tumblr
0 notes
rachelsiwafan · 4 years ago
Photo
Tumblr media
Jikoni Leo Uji wa Wa Mchele ;Rice Porridge ;Strawberry Yogurt ;Strawberry Mahitaji; Mchele uliyosagwa kidogo/unga wa mchele,maji/Nazi,Hiriki,sukari na Chumvi kidogooooo👌🏽 ;Rice,Coconut Milk/water,Sugar/Salt...😋 ;pika kama unavyopikaga Uji :Uji gani wewe unaupenda? :mimi wa Mchele,Muhogo/sembe ;wenye pilipili Mtama/manga na ndimu/Limau...... :Wa urezi kiasi sababu sipendi sana maziwa... : 🙏🏽🇹🇿 Kitchen today Jikoni Leo 👩🏾‍🍳 :#chakula#kupika👩🏾‍🍳🥘 : : #kitchentoday #inmykitchentoday #jikonileo #Ujiwamchele #mapishi #kifunguakinywa #preakfast #breakfastideas #strawberryyogurt🍓 #porridge #ricebreakfasts #riceporridge #tescofood @tescofood #cooking#food#foodie#foodblogger#tanzanianfood#tanzania🇹🇿 #eastafrica#bbcfood#cnnfood😋 #Coventry#UK#lifestyleblogger#vlogger#mswahili🇹🇿#Rachelsiwa ❤️ https://www.instagram.com/p/CPspFeCH4Of/?utm_medium=tumblr
0 notes
rachelsiwafan · 4 years ago
Photo
Tumblr media
Jikoni Leo Uji wa Wa Mchele ;Rice Porridge ;Strawberry Yogurt ;Strawberry Mahitaji; Mchele uliyosagwa kidogo/unga wa mchele,maji/Nazi,Hiriki,sukari na Chumvi kidogooooo👌🏽 ;Rice,Coconut Milk/water,Sugar/Salt...😋 ;pika kama unavyopikaga Uji :Uji gani wewe unaupenda? :mimi wa Mchele,Muhogo/sembe ;wenye pilipili Mtama/manga na ndimu/Limau...... :Wa urezi kiasi sababu sipendi sana maziwa... : 🙏🏽🇹🇿 Kitchen today Jikoni Leo 👩🏾‍🍳 :#chakula#kupika👩🏾‍🍳🥘 : : #kitchentoday #inmykitchentoday #jikonileo #Ujiwamchele #mapishi #kifunguakinywa #preakfast #breakfastideas #strawberryyogurt🍓 #porridge #ricebreakfasts #riceporridge #tescofood @tescofood #cooking#food#foodie#foodblogger#tanzanianfood#tanzania🇹🇿 #eastafrica#bbcfood#cnnfood😋 #Coventry#UK#lifestyleblogger#vlogger#mswahili🇹🇿#Rachelsiwa ❤️ https://www.instagram.com/p/CPspFeCH4Of/?utm_medium=tumblr
0 notes
rachelsiwafan · 4 years ago
Photo
Tumblr media
Jikoni Leo Uji wa OATS Mahitaji; Oats,maji/Maziwa,sukari na Chumvi kidogooooo👌🏽 ;pika kama unavyopikaga Uji :Uji gani wewe unaupenda? :mimi wa Mchele,Muhogo/sembe ;wenye pilipili Mtama/manga na ndimu/Limau...... :Wa urezi kiasi sababu sipendi sana maziwa... : 🙏🏽🇹🇿 Kitchen today Jikoni Leo 👩🏾‍🍳 :#chakula#kupika👩🏾‍🍳🥘 : : #kitchentoday #inmykitchentoday #jikonileo #Ujiwaoats #mapishi #mpishi #kifunguakinywa #preakfast #breakfastideas #porridge #oatsforbreakfast #oatsporridge #tescofood @tescofood #cooking#food#foodie#foodblogger#tanzanianfood#tanzania🇹🇿 #eastafrica#bbcfood#cnnfood😋 #Coventry#UK#lifestyleblogger#vlogger#mswahili🇹🇿#Rachelsiwa ❤️ https://www.instagram.com/p/CPiY6t_nZ7_/?utm_medium=tumblr
0 notes