Tumgik
#kumbukumbu
2woke4dishit · 1 year
Text
Tumblr media Tumblr media Tumblr media
Turn One
with my nephew 🥳🎂
1 note · View note
rwizakakiza · 1 day
Text
Somo: TABIA 15 ZA KUEPUKA NA HATARISHI KWENYE MAISHA YAKO. (Part 1: TAB...
youtube
Somo: TABIA 15 ZA KUEPUKA NA HATARISHI KWENYE MAISHA YAKO.
-----------------------------------------------------------
SUBSCRIBE (Tumaini Jipya Duniani Tv)
Https://youtube.com/@rwizakakiza?si=ewqb8Z8S1aeDwoRB
Sehemu: I
......"Mtu MWEMA katika hazina njema ya moyo wake hutoa yaliyo MEMA, na mtu MWOVU katika hazina mbovu ya moyo wake hutoa yaliyo MAOVU; kwa kuwa mtu, kinywa chake hunena yale yaujazayo moyo wake"......
......Luka 6:45......
1. UTANGULIZI
-------------------------
NINI MAANA YA TABIA?
.....Ni jinsi mtu anavyofanya au kuishi, Au Namna fulani mtu anavyojiendesha au kutenda
Tabia inaweza kugawanywa katika aina tofauti, kwa mfano, tabia ya wazi (vitendo vinavyoonekana), tabia ya siri (michakato ya ndani ya akili), na tabia ya kijamii (miingiliano kati ya watu binafsi
2. AINA ZA TABIA
-----------------------------
2. 1. TABIA YA WAZI
..... Hii ni aina ya tabia inayoonyesha vitendo au shughuli zinazoonekana ambazo zinaweza kuonekana na kupimwa moja kwa moja. Tabia hizi zinaweza kujumuisha MIENENDO ya kimwili, ishara, sauti, au maonyesho yoyote yanayoonekana.
.......Matendo (Tabia) ya mwili ni DHAHIRI (wazi), ndiyo haya, uasherati, uchafu, ufisadi, ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi, husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa MUNGU. Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, upole, kiasi; juu ya mambo kama hayo hakuna sheria".....
......Galatia 5:19-23....
2. 2. TABIA ZA SIRI /KIFICHO:
..... Hii ni tabia ya iliyosirini, yaani tabia ya ndani ya mtu, hasa kiakili na shughuli zinazotokea katika akili ya mtu binafsi na hazionekani moja kwa moja. Tabia hizi hujumuisha michakato ya utambuzi kama vile kufikiri, kumbukumbu, mtazamo, utatuzi wa matatizo, na kufanya maamuzi .
Ingawa hatuwezi kuona tabia hizi moja kwa moja, lakini kupitia ushawishi wao unaweza kuzingatiwa kupitia vitendo vinavyoonekana na viashirio vya nje Vikakusaidia kugundua tabia au nia yao ya ndani.
.....Amnoni akamwambia Tamari, Kilete chakula chumbani, nipate kula mkononi mwako. Basi Tamari akaitwaa mikate aliyoifanyiza, akamletea Amnoni nduguye mle chumbani. Naye alipokwisha kuileta karibu naye, ili ale, Amnoni akamkamata, akamwambia, Njoo ulale nami, ndugu yangu"....
...... 2 Sam 13:10-11......
Hawa Amnoni na Tamari walikuwa ndugu, lakini unaona Amnoni alikuwa na tabia ya siri (uzinzi) mpaka akafanya Ubakaji. Unawaza nini juu ya mwenzako /jirani yako?.
2. 3. TABIA YA KIJAMII:
....Hii ni tabia inayohusisha mwingiliano na mahusiano kati ya watu binafsi au vikundi. Inajumuisha aina mbalimbali za tabia, ikiwa ni pamoja na mawasiliano, ushirikiano, uchokozi, huruma, na kujitolea.
Wana wa Israel walikatazwa na kuonywa juu ya tabia za kijamii fulani walipopita au kufikia, maana kwa mwingiliano huo, unaweza kusababisha tabia ya kumwabudu MUNGU wa kweli inatoweka na kuiendea miungu mingine.
....."Utakapokwisha KUINGIA katika nchi akupayo BWANA, MUNGU wako USIJIFUNZE KUTENDA kwa mfano wa machukizo ya mataifa yale. Bali Uwe MKAMILIFU kwa BWANA, MUNGU wako. Maana mataifa haya utakaowamiliki HUWASIKILIZA wanaoshika nyakati mbaya na KUTAZAMA bao; bali WEWE, BWANA, MUNGU wako, hakukupa ruhusa kutenda hayo"
......Kum 18:9, 13-14......
Nimeona watu wengi wanabadilika tabia baada ya kujenga urafiki na mtu au watu fulani Inategemea hao uliojenga uhusiano nao tabia yao ni njema au mbaya na kwa namna yoyote nafsi /moyo wako utatekwa taratibu bila kujua.
....."Jitunzeni nafsi zenu, mioyo yenu isije ikadanganywa, mkageuka na kutumikia miungu mingine na kuiabudu"
.....…Kum 11:16.....
Baada ya kuelewa maana ya tabia na aina zake, tutajifunza juu ya tabia mbaya na hatari za kuepukana kwenye maisha yako. Lengo tuzijue pamoja na madhara yake kwetu, kwa MUNGU na jamii inayotuzunguka.
3. TABIA 15 ZA KUEPUKA NA HATARISHI KWENYE MAISHA YAKO.
-------------------------------------------------------------
.........Tutaendelea.........
Rejea
"The [intrinsically] good man produces what is good and honorable and moral out of the good treasure [stored] in his heart; and the [intrinsically] evil man produces what is wicked and depraved out of the evil [in his heart]; for his mouth speaks from the overflow of his heart.
.........Luke 6:45......
Na
Ev. Erasmus Pascrates Kakiza
+255 782 546 914
@2024 The year of my shining.
0 notes
ohwellbull · 29 days
Text
Asubuhi ya leo, nina hamu kubwa ya kujua kuhusu muungano wa Oasis mwaka 2025.
Tueleze kuhusu jambo la mwisho lililokufanya uwe na msisimko.Habari za asubuhi marafiki, Jana, uvumi fulani ulianza kuchochea moto kwamba ndugu Noel na Liam wamepatana na wanajiandaa kusherehekea kumbukumbu ya miaka 30 ya albamu maarufu “What’s the Story, Morning Glory?” kwa kuungana tena kwa ajili ya ziara kubwa. Hawajapiga muziki pamoja kwa miaka 15. Kwa hivyo, wakati alfajiri inapopambazuka,…
0 notes
joackcompany · 2 years
Text
TUNAUZA MBEGU ZA MAHINDI YA NJANO | MAHINDI LISHE MAHINDI YENYE VITAMIN A
Call/Text/WhatsApp: 0714 63 63 75
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Mbegu hizi za mahindi zinapatikana katika OFISI yetu ya BAGAMOYO na DAR ES SALAAM, Kwa wateja wa mikoani Mizigo mnawatumiwa.
ZIJUE FAIDA ZA MAHINDI LISHE(MAHINDI YA NJANO)
Wengi tumezoea mahindi meupe,lakini leo nataka tuangalie kwa nini unapaswa kuanza kuzoea kutumia zaidi unga utokanao na mahindi lishe au mahindi ya njano kama ilivyozoeleka.
Mahindi lishe ni Chanzo kikuu cha Vitamin A na virutubisho vingine.
KWA NINI UNAHITAJI VITAMINI A?
Vitamin A ni mhimu sana kwa Mama mjamzito na watoto wachanga,wazee na wagonjwa Vitamin A ni kinga dhidi :-
Upofu, huzuia matatizo na magonjwa mengi ya macho.
Lakini pia inasaidia ukomavu wa kumbukumbu kwa mtoto, hivyo mtoto hukuwa akiwa na kumbukumbu nzuri na imara.
Ndani ya Mahindi Lishe pia kunapatikana Vitamin B na E, madini ya Zink na Magnesium ambayo ni muhimu sana mwilini.
Tumia mahindi lishe kwa afya bora ya mama na mtoto, wazee na vijana pia.
#mbegu #mbeguzamahindi #mahindiyanjano #mahindi #mahindilishe #yellowmaize #ujilishe #ungawalishe #kilimochanafaka #kilimochamahindi #maize #maizeseed #nafaka #yellowcorn #corns
Office zetu zipo @tegetawazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75(WhatsApp)
+255 692 430 263
Email:
YouTube: https://youtu.be/UxLyLqHtfnw
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #kilimo #mifugo #kilimotz #mifugotz #dodoma #kampuniyakilimo #kilimochakisasa #kilimobiashara #tanzania🇹🇿 #mbegu #tanzania #tanzaniaagriculturalcompany #micheyandimu #morogoro
JOACK Company LTD | DSM & Bagamoyo
Tumblr media
0 notes
drkangile · 2 years
Photo
Tumblr media
*MAJIBU YA VIPIMO* Ni haki yako mgonjwa kuondoka na majibu ya vipimo vyako kutoka hospital au kituo cha Afya ulichofanyia vipimo. Hiyo itakusaidia kuwa kama kumbukumbu unapoonana na daktar mwingine au kwenda hospital nyinginee. Omba majibu yote ya vipimo vyako kabla hujaondoka na fatilia kwa yale ambayo yatakuwa hayajatoka. (at Dar es Salaam, Tanzania) https://www.instagram.com/p/Cn07OlCtGvo/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
manongu · 2 years
Photo
Tumblr media
Kumbukumbu Manongu 2016 ❤❤❤ https://www.instagram.com/p/Cm8d0NVNtek/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
mrherojoseph-blog · 2 years
Photo
Tumblr media
Maadui zako wanapokusanyika kukupangia Uovu.. Nasimama kwa madhabahu hii nitangaze kusambaratika na kutawanyika kwa vikao zao katika jina la Yesu [KUMBUKUMBU LA TORATI 28:7] Type "ADUI ZANGU WATAWANYWE KATIKA JINA LA YESU" #powers_of_a_prophetic_word https://www.instagram.com/p/Cm3s-61Ls0a/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
zephilinecom · 2 years
Text
MUUZA CHIPS (54)
Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA HAMSINI NA NNE ILIPOISHIA... SASA HAPA WACHA TUUJUE UKWELI HALISI JUU YA WAWILI HAWA, MANA ULE UKWELI WA MWANZO NADHANI ULIKUWA NI UONGO… SASA HEBU TURUDI NYUMA KWENYE MAELEWANO YAO YALIKUWAJE Sasa tukiwa
Jina: MUUZA CHIPSMwandishi: MoonBoy SEHEMU YA HAMSINI NA NNEILIPOISHIA… SASA HAPA WACHA TUUJUE UKWELI HALISI JUU YA WAWILI HAWA, MANA ULE UKWELI WA MWANZO NADHANI ULIKUWA NI UONGO… SASA HEBU TURUDI NYUMA KWENYE MAELEWANO YAO YALIKUWAJE Sasa tukiwa tumerudisha siku nyuma, kama kumbukumbu jinsi ilivyotokea KAMA UNATUMIA APP WAKATI UNAFUNGUA KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE WALAU KILA UNAPOFUNGUA…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
lemburiskivuyo · 2 years
Text
Jinsi ya Kuandika Ripoti ya Utendaji Kazi
Jinsi ya Kuandika Ripoti ya Utendaji Kazi
Maana ya Ripoti Ripoti ni maelezo au taarifa juu ya kazi iliyokwisha fanywa ambayo huandikwa kwa ajili ya kufanyiwa maamuzi na kuwekwa kumbukumbu kwa matumizi ya baadaye. Ripoti inaweza kuwasilishwa kwa njia ya maneno tu, maneno yaliyorekodiwa kwa njia ya sauti au picha au kwa njia ya maandishi. Uandishi wa ripoti unategemea sana mambo kadha wa kadha kama ilivyoorodheshwa hapa chini: Aina za…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
67hakky · 3 years
Text
Chapter Twenty (Memory)
ellizystories.com/2019/12/05/chapter-twenty/ Two years down….. this special chapter that melted my mind and my words. Tufurahi pamoja 🥂
View On WordPress
0 notes
rwizakakiza · 9 months
Text
Fuatilia na subscribe.
Https://www.youtube.com/@rwizakakiza
2024 - USIKUMBUKE ULIPOKWAMIA, BALI UNAPOELEKEA.
......‭‭Msiyakumbuke mambo ya kwanza, wala msiyatafakari mambo ya zamani.
......Isaya 43:18.....
Kati ya vitu muhimu na kuzingatia mwaka huu kufuta kumbukumbu zote mbaya au kupuuzia na kutoyapa nafasi yale yote yaliyosababisha ushindwe kufikia mafanikio yako mwaka jana. Kuna mengine mwaka jana yamepita kama somo ukiyakumbuka yanakwambia kwanini ulishindwa na ufanye nini,.... Lakini kuna ninayoyazungumzia ambayo UKIYAKUMBUKA YANAKUKATISHA TAMAA hata mwaka huu unaona huwezi kuyafanikisha kwa sababu yalishindikana mwaka jana.
Kushindwa mwaka huu usiupe kipaombele, Wekeza zaidi kwenye kushinda, maana katika kushinda kwako utawaangazia watu waone kwamba inawezekana. MUNGU amenuambia, nikwambie "Usikubali kushindwa na yale yalikushinda, wala kutafakari kushindwa kwako, Mkumbuke MUNGU wako akuwezeshaye kushinda, mtazame YESU KRISTO na chukua hatua ya ushindi.
Hata kama mwaka jana wamekwambia
........ Hakuna aliyefanya hicho /biashara /kazi akafanikiwa -- Mwaka huu chukua hatua ya kufanya utamwona MUNGU atakavyokupigania,
........Hakuna alijenga hapa akaishi au kwenye ukoo wako hakuna anayefanyaga kitu hiki akaishi, -- Wewe mtegemee MUNGU utaishi,
......Hautaolewa au kuoa, Wewe nenda mwaka huu ulizia nguo za harusi na panga bajeti yako ya harusi yako kubwa,
......Ukihubiri hauleweki, Mwaka huu jiandae kuhudumu kwenye mikutano mikubwa mno,
...... Wewe ni tasa, Mwaka huu ulizia na nunua nepi, na weka bajeti ya Gharama za hospitali,
......Watoto wako hawasikii, Mshukuru YESU amekupa watoto wema,
......Mke au mume wako anakutesa mpaka unamchukia ndoa, mwaka huu Ona utamu wa ndoa.
Usiishi kwa makosa ya mwaka jana, wala usiyakumbuke mambo ya zamani wala kuyatafakari, Bali mtafakarini sana BWANA YESU na kumtegemea ili upate Ushindi na kuangaza mahali popote unapokuwa, Nenda uwe Nuru, Amina.
Rejea
“Do not remember the former things, Or ponder the things of the past".
........Isaiah‬ ‭43:18‬......
For help.
(WhatsApp: +255 782 546 914)
@2024 The year of my shining.
1 note · View note
Video
instagram
Flip Once ~ Flip Twice ~ Remember | Kumbu Kumbu The Visual Memory Card Game | On Sale Now #kumbukumbu #memorycardgame #cardgames #familycardgame #intergenerationalgames #sanfrancisco #missiondistrictsf #artisticphotography #funnyshit #buildingmemory (at Fingersnaps Media Arts) https://www.instagram.com/p/CF40IiVBiy2/?igshid=11ak4lzcfmsyh
0 notes
0714091786 · 4 years
Photo
Tumblr media
Siku hazigandi lakini zinafanana 2019 alhamisi kama ya leo nilikua bize kama leo #KUMBUKUMBU! (at Tanga, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CBSmZsDl9Xc/?igshid=1ttq7jfa73jxa
0 notes
therealafrikantruth · 7 years
Video
#zilizopendwa #kumbukumbu #afrikanmusic
1 note · View note
nafulalusimba · 4 years
Text
Hehehe....
Hehehe….
Deutronomy 28:6 We tend to use Deutronomy 28, generally, as a blessing to mark the end of a meeting be it fellowship, study or service. I included. Verse 1 is always ignored yet it is the key that releases all the blessings we pray for one another. Obey the Lord your God. Obey His rules. THEN….. His face will shine on you, He will make you the greatest nation, He will bless your going out and…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
zephilinecom · 2 years
Text
NISAMEHE LATIFAH (13)
Jina: NISAMEHE LATIFAH Mwandishi: Nyemo Chilongani SEHEMU YA KUMI NA TATU ILIPOISHIA... “Kwa hiyo ikawaje mpaka ukawa ombaomba?” aliuliza Ibrahim, alitegesha masikio yake kumsikiliza mzee yule ambaye pasipo kutegemea, akaanza kububujikwa na machozi, swa
Jina: NISAMEHE LATIFAHMwandishi: Nyemo Chilongani SEHEMU YA KUMI NA TATUILIPOISHIA… “Kwa hiyo ikawaje mpaka ukawa ombaomba?” aliuliza Ibrahim, alitegesha masikio yake kumsikiliza mzee yule ambaye pasipo kutegemea, akaanza kububujikwa na machozi, swali aliloulizwa, likazifanya kumbukumbu zake kurudi nyuma, akaanza kulia. “Duniani kuna watu wabaya sana, duniani hapa, kuna watu wenye roho mbaya…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes