#wanaume
Explore tagged Tumblr posts
Text
Unladylike
By Linda Otieno
She says
I want to accomplish my goals
How unladylike of you
He says
Don’t you know
A real lady has no goals
Except the goal of living her life as men allow her
She says
I want to wear trousers
How unladylike of you
He says
Don’t you know
A real lady wears only skirts and dresses
So it’s easier for men to see what’s under there against her will, of course
Of course! Of course! Of course!
She says
I want to dance joyfully
How unladylike
He says
Don’t you know
A real lady never moves around men to avoid tempting them
Except of course to walk
If she must
She says
I want to laugh heartily
How unladylike
He says
Don’t you know
A real lady never laughs
Except of course to laugh at men’s jokes
Of course!
She says
I want to own property
How unladylike
He says
Don’t you know
A real lady never owns property
How then will her husband keep her prisoner at home?
She says
I want to earn my own money
How unladylike
He says
Don’t you know
A real lady never makes her own money
How then will her husband keep her prisoner at home?!
We’ve been over this!
She says
I want to speak
How unladylike
He says
Don’t you know
A real lady never speaks
How then will you get a husband with all that yapping?!
You might scare men away
Better not to risk it!
***
This poem is dedicated to the women and girls in Kenya, Sudan, Afghanistan and all over the world who have experienced abuse from insecure sexist men & boys whose aesthetics are unsightly at best and rejection from women and girls is their daily meal.
I can’t wait to see all the men & boys who’ll expose themselves with their their unmanly threats, hate comments and twisting of my words. 😆
Love it when they do that! XOXO
Shairi hili limekuwa wakfu kwa wanawake na wasichana wa Kenya, Sudan, Afghanistan na kote duniani waliokumbana na ukatili kutoka kwa wanaume na wavulana wenye wasiwasi na ubaguzi wa kijinsia, ambao sura yao ni ya chini ya wastani, na kukataliwa na wanawake and wasichana ni chakula chao cha kila siku.
Siwezi kusubiri kuwaona wanaume na wavulana wote watakaofichua tabia zao kupitia vitishio vyao visivyo vya kiume, maoni ya chuki na kupotosha maneno yangu. 😆
Ninapenda wanapofanya hivyo! XOXO
Ce poème est dédié aux femmes et aux filles du Kenya, du Soudan, de l'Afghanistan et du monde entier qui ont subi des abus de la part d'hommes et de garçons sexistes et insécures, dont l'esthètique est au mieux peu attrayante, et pour qui le rejet des femmes et des filles est leur pain quotidien.
J'ai hâte de voir tous les hommes et les garçons qui vont se dévoiler avec leurs menaces peu viriles, leurs commentaires haineux et leur déformation de mes propos. 😆
J'adore quand ils font ça! XOXO
1 note
·
View note
Text
Mambo muhimu kuimarisha Ligi Kuu Tanzania
HIVI karibuni Rais wa Shirikisho la Soka nchini Tanzania, TFF Wallace Karia alibainisha umuhimu wa kuimarisha mashindano ya Ligi Kuu ya wanaume, wanawake na timu za Taifa. Kwenye mahojiano na Kituo cha Taifa cha Televisheni Wallace Karia alisema ni muhimu kuifanya Ligi Kuu iwe imechangamka na kusisitiza kuwa klabu zinatakiwa kuimarisha vitengo vyake vya fedha ili kuzikomboa zaidi. TANZANIASPORTS…
0 notes
Text
Somo: TABIA 25 ZA KUEPUKA NA HATARISHI KWENYE MAISHA YAKO. (Part 2: KUTO...
youtube
Somo: TABIA 25 ZA KUEPUKA NA HATARISHI KWENYE MAISHA YAKO.
---------------------------------------------------------
SUBSCRIBE (Tumaini Jipya Duniani Tv)
Https://youtube.com/@rwizakakiza?si=ewqb8Z8S1aeDwoRB
Sehemu: II
......"Mtu MWEMA katika hazina njema ya moyo wake hutoa yaliyo MEMA, na mtu MWOVU katika hazina mbovu ya moyo wake hutoa yaliyo MAOVU; kwa kuwa mtu, kinywa chake hunena yale yaujazayo moyo wake"......
......Luka 6:45......
3. TABIA 25 ZA KUEPUKA NA HATARISHI KWENYE MAISHA YAKO.
-------------------------------------------------------------
3. 1. KUTOKUSAMEHE.
Ni hali ya kufuatilia kila kosa ulilotendendewa ili ulipize kisasi nafasi ikipatikana. Hii ni tabia inayojengeka baada ya mtendewa kutokubali kushuka yaani kutokubali kushindwa kabisa mpaka alipize alichofanyiwa na kuzidi na hata baada kulipa kisasi Chuki uendelea kuwepo. Hii ni tabia ya kwanza ya kuepuka sana kwenye maisha yako.
MATOKEO /DALILI ZA MTU MWENYE TABIA YA KUTOKUSAMEHE.
(a). ANAHESABU MAKOSA.
Kwa kawaida mtu mwenye tabia ya kutokusamehe anahesabu kila kosa unalotendewa, Wengine ili wasisahau uwa wanaandika kabisa. Wengine hata kama aliyemkosea kashakufa bado anawakumbusha watu marehemu Alichomtendea.
Mwenye tabia ya Msamaha ahesabu makosa bali usamehe hata kabla hajaombwa Msamaha kama MUNGU alivyo.
.....Mimi, naam, mimi (MUNGU), ndimi NIYAFUTAYE MAKOSA yako kwa ajili yangu mwenyewe, wala sitazikumbuka dhambi zako.
......Isaya 43:25....
(b). CHUKI
Mtu asiyesamehe ndani yake panajengeka Chuki badala ya pendo. Kutokusamehe kunaweza kukasababisha kuchukia aliyekutendea kosa, lakini Chuki hiyo haishii tu kwa mkosaji bali hata atawachukia wengine wanaofana naye au Rika lake, familia yake na kadhalika.
Mfano.
Binti /Kijana anaposalitiwa uwa anawachukia wanaume /Wanawake wote akifikiri wote wako vile. Mwingine anawachukia rafiki au mpaka familia au mpaka kanisa analosali aliyemtenda.
Mwenye tabia ya Msamaha hajengi Chuki, bali anajenga Upendo wa Kumpenda mtu aliyemkosea kabla hata hajamwomba Msamaha kama MUNGU alivyo kwetu.
......Hili ndilo pendo, si kwamba sisi tulimpenda Mungu, bali kwamba yeye alitupenda sisi, akamtuma Mwanawe kuwa kipatanisho kwa dhambi zetu.
......1Yoh 4:10.....
(c). HASIRA KALI
Mtu aliyekosa tabia ya Msamaha ndani yake panajengeka hasira kali, hii ni kutokana na matukio aliyoyapitia maishani mwake yakamuumiza na huyaachilia.
Mwingine anazaliwa na hasira kali, sasa hili linaanzia akiwa tumboni, labda mama alikuwa na huzuni nyingi na maangaiko mengi na akashindwa kuyaachilia, athari zake zinaenda mpaka kwa mtoto
Mwingine hasira yake inatulia baada ya kufanya tukio (Avunje au kupasua vyombo au mpaka aone damu nimetoka - Wengine wamama wana hasira kali na ili aitulize anampiga mtoto au kumg'ata mpaka atoke damu)
Mwingine anatuliza hasira yake kwa kujirarua, kunywa, kupiga a na kadhalika. Zote hizi ni dalili za kukosa Msamaha.
Mwenye tabia ya Msamaha ndani yake hasira zake zinamwelekeza kwenye huruma kama MUNGU alivyo.
....Basi, iweni na huruma, kama Baba yenu alivyo na huruma.
......Luka 6:36.....
(e). KISASI
(f). UHASAMA
(g). UGOMVI
.........Tutaendelea.........
Rejea
"For if you FORGIVE OTHERS their trespasses [their reckless and willful sins], your HEAVENLY FATHER will also FORGIVE YOU".
.....Matthew 6:14......
Na
Ev. Erasmus Pascrates Kakiza
+255 782 546 914
@2024 The year of my shining.
0 notes
Text
Tanzanian DJ Ally B Tells Women Not to Dump Husbands Who Cheat: "Wanaume Tumeumbwa Hatujakalilika" http://dlvr.it/TBvlkY
0 notes
Video
Mwanamke mlevi aliyebakwa na wanaume 30.
1 note
·
View note
Text
Wanaume ni colorblind lakini wanajua kudifferentiate wasichana weupe na weusi
0 notes
Text
…Kama wewe ni mwanamke na unatabia kama za #zuwena wa @diamondplatnumz
...Yaani unywaji wa pombe kupitiliza, kushiriki tendo na wanaume wengi, kujichubua n.k!
Ukae ukijua kabisa unajiweka katika hatari kubwa sana yakupata...
1. Maambukizi katika Via Vya Uzazi, kutokana na kuwa na wanaume wengi
2. Kuwahi kuzeeka, kutokana na unywaji wa vilevi kupita kiasi
3. Matatizo ya maini na mafigo kutokana na upakiaji wa sumu nyingi mwilini zitonazo na vilevi
4. Matatizo ya ngozi, ngozi Kupoteza uhalisia wake kutonana na sumu nyingi mwilini na matumizi ya vipodozi vikali n.k
...Hayo ni mambo baadhi ambayo nimeyaorodhesha kwa mwanamke mwenye tabia kama za #zuwena
Lakini habari njema ni kwamba kama wewe ni muhanga wa changamoto Moja au zaidi au ambayo sijaiorodhesha hapo juu...
@nickhealthcare ndo suluhisho la changamoto zako wasiliana nasi kupitia nambari za simu za
☎️+255692438154
𝐍𝐈𝐂𝐊𝐇𝐄𝐀𝐋𝐓𝐇𝐂𝐀𝐑𝐄:-
"𝐓𝐔𝐏𝐄 𝐈𝐌𝐀𝐍𝐈 𝐍𝐀 𝐔𝐀𝐌𝐈𝐍𝐈𝐅𝐔,
𝐓𝐔𝐓𝐀𝐊𝐔𝐏𝐀 𝐅𝐔𝐑𝐀𝐇𝐀 𝐍𝐀 𝐀𝐅𝐘𝐀".
▪︎
▪︎
▪︎
#tanzania🇹🇿 #nickhealthcare #MaishaNiAfya #Afya #who #furaha #fahamuzaidi #elimu #sanaaimezaliwaupya #hiiniyetusote #swahili #huunimwakawako #healthy #healthlifestyle #0692438154
1 note
·
View note
Photo
❤️> Ndoto Ya Kila mmoja ni Kua na Muonekano Mzuri Na Sio tu Wa Kimavazi Hata Muonekano Wa Mwili Wake Kwa Ujumla ...... .... Ila Hali Ya Kua Kibonge , Kua Kitambi hua Inakera Sana ... .. Hata unapokua unajaribu Kwenda Mtoko Na Marafiki Zako unatumia Muda Mwingi Kujiaanda .......😝 ... Kwa Sababu Kila Nguo Aliyokua Anavaa Sio Tu Kwamba Haikutoshi Vizuri Ila Haupendizi Kabisa..... 😁 .... Bahati unaanza Kufuatilia Video Mbalimbali Mtandaoni Kuhusu Kupunguza Uzito...... ..Ukanunua Vifaa vyote Muhimu Vya Mazoezi ... ...Ulianza Kukimbia Jogging Pia .... Ulikua na Usongo Wa Kupungua Kwa Hiyo Hakuishia Hapo Alibadilisha Zaidi Ya Aina Nne Ya Diety Lakini Wapi ......😁😢 Badala Ya Kupungua ulijikuta Anakonda ...au hupungui kabisa 🚶♂️🚶🏾♀️ .... PengineHukufahamu Kua Kupungua Haku Hitaji Mazoezi Pekee Au Kujinyima Kula .... Mfano: Ili Kupungua Kirahisi Nje Ya Diety Au Kufanya Mazoez Ni Lazima Usafishe Mfumo Mzima Wa Mwili ...... ... Kwa Kuondoa Sumu Ambazo Tunazipata Kutokana na Vyakula Tunavyokula ..... Hata Hewa Tunayovuta........ Na Ndio Maana unapokutana Na Sisi utatumia Wiki Moja tu Kuanza Kuona Matokeo Na...Mwezi Mmoja tu Kupata Muonekano Aliokua Anahitaji Iko Hivi Kupungua Ni Ujuzi ......... ... Inawezekana Umewai Kujaribu Kutumia Njia Mbambali Kama Bahati Za Kupunguza Uzito Na Kitambi Bila Mafanikio ....... 😢😢 Tuna Kuelewa Sana Jinsi Unavyo Jinsi Na Unavyo Pambana Kua Bora ..... ... Uzoefu WETU wa Zaidi Ya Miaka 21 Katika Kuwasaidia Wanaume na Wanawake Kupungua .... Kwa Bahati Mbaya Zaidi Hatusaidii Kila Mtu, Ila Kwa Watu Wachache tu Walio Serious.... Hivyo Kama Unatamani Kupata Program Na Ushauri Wa Jinsi Ya Kupunguza Uzito Na Kitambi Ndani Ya Muda Mfupi..... Basi karibu Tuzungumze Au Tupigie Moja Kwa No. 0717174151 https://www.instagram.com/p/CoEdrwRNAsr/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
Text
Vipi Watanzania Kuwa Na Jezi Za Timu Ya Taifa?
Tupo katika kipindi ambacho dunia ya Sasa katika mpira wa miguu wapo Watanzania ambaokumiliki jezi ya klabu ni fahari kubwa zaidi kuliko kumiliki jezi ya timu ya Taifa.Mimi nimekua miongoni mwa wale ambao nimekua nikihudhuria katika Mechi mbalimbali Tunashindwa Vipi Watanzania Kuwa Na Jezi Za Timu Ya Taifa? ambazo zinahusisha timu ya Taifa haswa ya wanaume katika uwanja wa Benjamin Mkapa…
0 notes
Text
Somo: MAJIRA NA NYAKATI ZIMEBEBA MAISHA YAKO. (Part 15: MAAMUZI YA MWANA...
youtube
Somo: MAJIRA NA NYAKATI ZIMEBEBA MAISHA YAKO
°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°
Fuatilia YouTube.
Https://youtube.com/@Rwizakakiza
Sehemu 15:
""Kwa KILA JAMBO kuna MAJIRA yake, Na WAKATI kwa KILA KUSUDI chini ya mbingu""
.....Mhubiri 3:1.....
6. AINA 2 ZA MAJIRA NA NYAKATI KATIKA MAISHA YAKO.
6. 1. MAJIRA NA NYAKATI YA MWANADAMU.
Haya ni majira na nyakati zinazopangwa na Mwanadamu kwa utashi, uwezo, Ugunduzi na mamlaka aliyopewa na MUNGU. Ni uwezo wa kutambua majira na nyakati na namna ya kuenenda kwa nyakati zenyewe ili kuendesha maisha yake ya kila siku na maisha ya mwingine pia.
Mwanadamu huyu katika majira yake na nyakati zake za kibinadamu anaweza kupanga aishije (vibaya au vyema). Kutokana na anavyopanga kuishi anaweza kusaidia mapenzi ya MUNGU kutumia au akakwamisha mapenzi (makusudi) ya MUNGU yasitimie kwa muda sahihi.
Tujifunze jambo kwa Bikira Maria na Nabii Eliya.
(i). BIKIRA MARIA.
..... Malaika akaingia nyumbani kwa Bikira Mariamu akasema, "Salamu, uliyepewa neema, BWANA yu pamoja nawe". "Usiogope, Mariamu, kwa maana umepata neema kwa MUNGU". "Tazama, utachukua mimba na kuzaa mtoto mwanamume; na jina lake utamwita YESU".
Mariamu akamuuliza malaika, "Litakuwaje neno hili, maana sijui mume?"
Malaika akajibu akamwambia, "ROHO MTAKATIFU atakujilia juu yako, na nguvu zake Aliye juu zitakufunika kama kivuli; kwa sababu hiyo hicho kitakachozaliwa kitaitwa KITAKATIFU, Mwana wa MUNGU". kwa kuwa hakuna neno lisilowezekana kwa MUNGU".
Mariamu akasema, "Tazama, mimi ni mjakazi wa BWANA; na iwe kwangu kama ulivyosema". Kisha malaika akaondoka akaenda zake.
.....Luka 1:28 - 38......
Hapo unaona Mariamu alikuwa tayari ameposwa, kwa lugha nyingine alikuwa na MIPANGO au makusudi yake kimaisha ataishije, na inaonekana yupo kwenye maandalizi ya kuolewa akiwa amejitunza (tofauti na mabinti wa sasa wanaishi na wanaume kabla ya ndoa takatifu). Lakini katikati ya maandalizi MUNGU anampa majira na nyakati zake Kwanini Mariamu alimuumba. Ashukuriwe MUNGU Mariamu alikubali.
Bikira Maria alikuwa na uwezo wa kukataa ndio maana MUNGU hakumvamia Mariamu alafu ajikute ana mimba, alielezwa na Mariamu akakubali kutekeleza majira na nyakati za MUNGU.
(ii). NABII ELIYA.
.....Yezebeli akampelekea Eliya mjumbe, kusema, "Miungu wanifanyie hivyo na kuzidi, nisipokufanya roho yako kesho, panapo wakati huu, kama roho ya mmojawapo wa hao (Manabii).
Eliya akakimbia, akaendelea katika jangwa mwendo wa siku moja, akaenda akaketi chini ya mretemu. AKAJIOMBEA ROHO YAKE AFE, akasema, Yatosha; sasa, Ee BWANA, uiondoe roho yangu; kwa kuwa mimi si mwema kuliko baba zangu"
BWANA akamwambia, Enenda, urudi njia ya jangwa la Dameski; UKIFIKA , MTIE MAFUTA ELISHA mwana wa Shafati wa Abel-Mehola mtie AWE NABII MAHALI PAKO.
.....1Wafalme 19:2 - 16....
Eliya pamoja na utumishi uliotukuka alioufanya makusudi ya MUNGU hayakutimia kupitia yeye, alikwamisha Majira na nyakati za MUNGU kwa hofu ya kumwogopa Yezebel.
Je wewe unaruhusu mapenzi ya MUNGU yatendeke au wewe ni chanzo cha kukwamisha makusudi ya MUNGU yasifanyike kwa muda sahihi?.
ZINGATIO.
Mwanadamu anapotumia vibaya majira na nyakati zake, anakwamisha kusudi la MUNGU lisitimie kwa wakati. Pili anakuwa chanzo cha kuleta au kusababisha majira na nyakati za taabu na mateso kwa wengine au hata kwake mwenyewe.
Mfano.
BWANA YESU anasema
....."MSIWAOGOPE WAUUAO MWILI, WASIWEZE KUIUA na ROHO; afadhali mwogopeni yule awezaye kuangamiza mwili na roho pia katika jehanum".
......Mathayo 10:28.....
Kwa lugha hiyo sio kila kifo ni mpango wa MUNGU, ila kuna vifo vingine ni MIPANGO ya wanadamu. Maana anasema Usiogope mtu anayeua mwili, mwenye uwezo wa kuua Roho ni MUNGU pekee, lakini tukubaliane watu au mtu ana uwezo wa kukutenganisha mwili wako na Roho yako yaani kwa kukuua kabisa kimwili.
Hivyo mwanadamu ana uwezo wa kuharibu majira na nyakati zake mwenyewe (kwa kujiua /madawa ya kulevya na Ulevi /Uzinzi /ushoga, nk) au kuharibu majira na nyakati za mtu mwingine (kwa kumwaribia maisha /kusingizia /Ubakaji /ulawiti /kulipiza visasi /Chuki, nk).
Lakini pia majira na nyakati zako unaweza kuzifanya zikawa za furaha, amani na upendo na wengine pia wakafurahia majira na nyakati zao kwa sababu yako na mpango wa MUNGU ukawa rahisi kutimia kwako na kwao.
Je majira na nyakati zako na wengine ni zipi?.
6. 2. MAJIRA NA NYAKATI YA MUNGU
....Tutaendelea....
Rejea
“I assure you and most solemnly say to you, whatever you bind [forbid, declare to be improper and unlawful] on earth shall have [already] been bound in heaven, and whatever you loose [permit, declare lawful] on earth shall have [already] been loosed in heaven".
......Matthew 18:18.....
Ev. Erasmus Pascrates Kakiza
+255 782 546 914
@2024 The year of my shining.
0 notes
Text
#Ujumbe wa @gigy_money_og kwa wanaume hasa wale wanao tamani kua nae katika mahusiano#huenda na ambao alishawai kua nao katika mahusiano 😂😂😂.#" Yani mimi kama Ukiniacha unaumia mwenyewe mana siachiki ovyooo 😅😂🤣 mimi ni ex ambae ukiachana na mm huwezi kunisahau Mpaka nife na nikifa#*************************************#We give you what you deserve#Follow us @yetusote_tv#.#yetusote_tv#harmonize_tz#AzamSports2#nguvumoja#zuchu#kondegang4everybody#GlobalTVOnline#rayvanny#yangasc#wasafimedia#kingkiba#KondeGang#tanashadonna#sammisagotv#dizzimonline#Etrending#mashamsham#rickmedia#zarithebos#NBCPL#NBCPLUpdates#NBCPremierLeague#SisiNiSoka
2 notes
·
View notes
Photo
Nimeishi na watu kutoka katika mabara yote ya dunia hii. Wanaume wana asili yao na wanawake wana asili yao. Ndiyo maana katika upendo wa PHILADELPHIA, upendo wa wanachama wa mashirika ya siri, wanaume na wanawake hawachangamani. #upendo #love #philadelphia #philadelphialove #secretsocieties #asili #nature #wanawake #women #wanaume #men https://www.instagram.com/p/Bw7BjSOnvzu/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=1ks1y9jwd5n6c
0 notes
Text
TMK Wanaume – Wanaume Kazini (MP3 Download)
https://ift.tt/39fxZzv
TMK Wanaume household is a neighborhood that hails from Temeke, Daresalaam, Tanzania. The neighborhood was before all the pieces a combination of three assorted groups that were doing completely on the Tanzanian tune scene. RELATED: Wanaume TMK – Kichwa Kinauma Ft Aslay It’s a mark new day and we’re at ease to bring you a mark […]
AfroJuke - Download Mp3, Latest Naija Music, Latest Bongo flava, South African, Ghana Music & More!
from AfroJuke https://ift.tt/3qRMBen
0 notes
Photo
[Old Audio] TMK WANAUME – DAR MPAKA MORO TMK WANAUME - DAR MPAKA MORO Download Audio
0 notes
Photo
Naiboi – Usipime Wanaume Mp3, Lyrics & Video Download Rebranded Kenyan lyricist, Naiboi is out with a new release for the AFCON soccer events dubbed Usipime Wanaume.
#download usipime wanaume naiboi#naiboi usipime wanaume#naiboi usipime wanaume lyrics#naiboi usipime wanaume mp3 download#naiboi usipime wanaume video download
0 notes
Photo
*XPOWER MAN EXTRA CAPSULES* Ni kirutubisho maalumu kwa waathirika wa Punyeto na wenye Upungufu Wa Nguvu Za Kiume. *kirutubisho hiki hufanya kazi zifuatazo:-* ✅Huongeza Hamu Na Uwezo Wa Kufanya Tendo La Ndoa ✅Hufungua Mirija Midogomidogo Ya kibofu Kwenye Uume Ambayo Hufa Kwa Ajiri Ya Umri Na Kisukari/Presha ✅Huondoa Uchovu ✅Huongeza Wingi Wa Afya Wa Mbegu Za Kiume ✅Huondoa Tatizo La Maumivu Uume Ukiwa Umesimama ✅Humfanya Mwanaume Akae Muda Mrefu Kwenye Tendo ✅Huongeza Kinga Kwenye Via Vya Uzazi ✅Humfanya Mwanaume Arudie Tendo Bila Kuchoka Na Kwenye Ubora Wa Hali Ya Juu ✅Huondoa Tatizo La Uume Kusimama Ukiwa Legelege ✅Huondoa Tatizo La Uume Kurudi Ndani Na Kuwa Kama Wa Mtoto ✅Huondoa Tatizo La Upungufu Wa Nguvu Za kiume Na Ugumba Kwa Wanaume. Inbox au #PIGA 0717174151 (at Dar es Salaam, Tanzania) https://www.instagram.com/p/Cn8pBQWtc7M/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes