#sammisagotv
Explore tagged Tumblr posts
yetusote · 2 years ago
Photo
Tumblr media
Mwimbaji wa R & B @chrisbrownofficial baada ya kupotezwa kwenye Tuzo za Grammy na kwenye kipengele cha Albamu Bora ya R & B huku tuzo hiyo ikienda kwa Robert Glasper. Kupitia insta story yake Breezy aliweka picha ya ushindi wa Glasper na " Yall playing , " aliandika juu ya picha ya Glasper ambae ndio mshindi huku akiweka emoji za kucheka . " Huyu ni nani ? " Aliuliza chris. Swipe>>>> *********************************** We give you what you deserve ************************************* Follow us @yetusote_tv #yetusote_tv #harmonize_tz#AzamSports2 #nguvumoja #zuchu#kondegang4everybody #GlobalTVOnline#rayvanny #yangasc #wasafimedia #kingkiba#KondeGang #tanashadonna #sammisagotv#dizzimonline #Etrending #mashamsham#rickmedia #zarithebos #NBCPL #NBCPLUpdates #NBCPremierLeague #SisiNiSoka #Standing #LeagueTable #Msimamo #AzamSports1HD #AzamSports2HD #MillardAyoENT https://www.instagram.com/p/CoTmASdr9k4/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
istorystream · 3 years ago
Photo
Tumblr media
DUDU BABAYA yuko wapi? Wadau nisaidieni. @malkiawetu #dodoma #mbeya #singida #tanzania #daressalaam #morogoro #mwanza #kilimanjaro #arusha #moshi #cloudsfm #asubuhi #washikajizangu #tetema #tanashadonna #bongomovie #ireneuwoya #uwoya #nandy #hamisamobetto #joti #chadema #masanjamkandamizaji #jux #vanessamdee #wolperstylish #shilole #sammisagotv #bongofive @hamisamobetto @sammisago @officialshetta (at Kijitonyama, Dar es Salaam, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CZwjDmMA9WZ/?utm_medium=tumblr
0 notes
yetusote · 3 years ago
Photo
Tumblr media
✍🏼 KLabu ya Arsenal imepeleka ofa kwa mabingwa wa ligi kuu England, Manchester City ili kumchukua beki wa kushoto kutoka nchini Ukraine Oleksandr Zinchenko. ✍🏼 Klabu hiyo pia inataka kumsajili beki wa kushoto wa Anderlecht, Sergio Gomez na endapo dili la kumnasa mmoja kati ya haya Nuno Tavarez ataondoka klabuni hapo baada ya kutumikia Arsenal kwa mwaka mmoja. ************************************* We give you what you deserve ************************************* Follow us @yetusote_tv . . . #yetusote_tv #harmonize_tz#AzamSports2 #nguvumoja #zuchu#kondegang4everybody #GlobalTVOnline#rayvanny #yangasc #wasafimedia #kingkiba#KondeGang #tanashadonna #sammisagotv#dizzimonline #Etrending #mashamsham#rickmedia #zarithebos #NBCPL #NBCPLUpdates #NBCPremierLeague #SisiNiSoka #Standing #LeagueTable #Msimamo #AzamSports1HD #AzamSports2HD https://www.instagram.com/p/Cf_v-fBqRX5/?igshid=NGJjMDIxMWI=
1 note · View note
yetusote · 3 years ago
Photo
Tumblr media
✍🏼 Klabu ya Chelsea imeingia kwenye mbio za kumnasa Nyota wa Ujerumani, Sergi Gnabry anayekipiga klabu ya Fc Bayern Munich. ✍🏼 Klabu ya Chelsea imeingia kwenye mbio za kuwania saini ya Gnabry baada ya kumkosa Raphinha aliyetimkia klabu ya Fc Barcelona. ************************************* We give you what you deserve ************************************* Follow us @yetusote_tv . . . #yetusote_tv #harmonize_tz#AzamSports2 #nguvumoja #zuchu#kondegang4everybody #GlobalTVOnline#rayvanny #yangasc #wasafimedia #kingkiba#KondeGang #tanashadonna #sammisagotv#dizzimonline #Etrending #mashamsham#rickmedia #zarithebos #NBCPL #NBCPLUpdates #NBCPremierLeague #SisiNiSoka #Standing #LeagueTable #Msimamo #AzamSports1HD #AzamSports2HD https://www.instagram.com/p/Cf9EHn9KBo3/?igshid=NGJjMDIxMWI=
1 note · View note
yetusote · 3 years ago
Photo
Tumblr media
✍🏼 Frenkie De Jong kupitia mawakala wake Hasan Cetinkaya na Ali Dursun wameiambia klabu ya Fc Barcelona kuwa mteja wao hana mpango wa kuondoka Barcelona kwenye dirisha hili la usajili pia hataki kupunguza mshaara wake wala mazungumzo yoyote kuhusiana n masuala hayo. ✍🏼 Mchezaji huyo alikuwa akihusishwa na kutaka kununuliwa na Mashetani Wekundu klabu ya Manchester United lakini mchezaji mwenyewe hajavutiwa na dili la kujiunga na Mashetani wekundu. ✍🏼 Klabu ya Manchester United wameshapewa taarifa kuhusu swala la mchezaji huyo. ************************************* We give you what you deserve ************************************* Follow us @yetusote_tv . . . #yetusote_tv #harmonize_tz#AzamSports2 #nguvumoja #zuchu#kondegang4everybody #GlobalTVOnline#rayvanny #yangasc #wasafimedia #kingkiba#KondeGang #tanashadonna #sammisagotv#dizzimonline #Etrending #mashamsham#rickmedia #zarithebos #NBCPL #NBCPLUpdates #NBCPremierLeague #SisiNiSoka #Standing #LeagueTable #Msimamo #AzamSports1HD #AzamSports2HD https://www.instagram.com/p/Cf81s3mqGcz/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
yetusote · 3 years ago
Photo
Tumblr media
✍🏼 Klabu ya Simba imethibitisha kunasa saini ya Nyota wa Kimataifa wa Ghana, Augustine Okrah aliyekuwa anakipiga klabu ya Bechem United ya Ghana kwa Uhamisho Huru. ✍🏼 Okrah (28) amemaliza msimu jana akiwa amefanikiwa kufumania wavu mara 14 na pasi za magoli 3 katika mechi 31 alizocheza. ✍🏼 Okrah amepewa mkataba wa miaka miwili kuwatumikia Wekundu wa Msimbazi Simba hadi June 2024. ✍🏼 Haya wanasimba mnaipa Asilimia ngapi Saini hii?🦁🦁🦁🦁 ************************************* We give you what you deserve ************************************* Follow us @yetusote_tv . . . #yetusote_tv #harmonize_tz#AzamSports2 #nguvumoja #zuchu#kondegang4everybody #GlobalTVOnline#rayvanny #yangasc #wasafimedia #kingkiba#KondeGang #tanashadonna #sammisagotv#dizzimonline #Etrending #mashamsham#rickmedia #zarithebos #NBCPL #NBCPLUpdates #NBCPremierLeague #SisiNiSoka #Standing #LeagueTable #Msimamo #AzamSports1HD #AzamSports2HD https://www.instagram.com/p/Cf80Bgfq-gc/?igshid=NGJjMDIxMWI=
1 note · View note
yetusote · 3 years ago
Photo
Tumblr media
✍🏼 Klabu ya Chelsea ipo hatua za mwisho za kukamilisha dili la kumnasa beki kitasa kutoka nchini Senegali anayekipiga klabu ya Fc Napoli ya Italia, Kalidou Koulibaly. ✍🏼 Dau la kumng'oa beki huyo linatarajiwa kuwa zaidi ya Euro milioni 38 hadi £40, makubaliano hayo huenda yakafanyika jumatano ya wiki hiii. ✍🏼 Chelsea pia wapo katika hatua za mwisho za kumchuku beki mwengine kutoka klabu ya Manchester City Nathan Ake kuja kuwa mbadala wa Antonio Rudigar na Christensen waliotimkia Hispania. ************************************* We give you what you deserve ************************************* Follow us @yetusote_tv . . . #yetusote_tv #harmonize_tz#AzamSports2 #nguvumoja #zuchu#kondegang4everybody #GlobalTVOnline#rayvanny #yangasc #wasafimedia #kingkiba#KondeGang #tanashadonna #sammisagotv#dizzimonline #Etrending #mashamsham#rickmedia #zarithebos #NBCPL #NBCPLUpdates #NBCPremierLeague #SisiNiSoka #Standing #LeagueTable #Msimamo #AzamSports1HD #AzamSports2HD https://www.instagram.com/p/Cf8xjXYKeEn/?igshid=NGJjMDIxMWI=
1 note · View note
yetusote · 3 years ago
Photo
Tumblr media
Usiku wa kuamkia leo Klabu ya Yanga imemtambulisha mchezaji mwingine wa kimataifa raia wa Congo DR , Joyce Lomalisa Mutambala kuwa mchezaji wao kwa mkataba wa miaka miwili hadi 2024 ambaye ataanza kuwatumikia wananchi msimu ujao. Mutambala ( 29 ) anayecheza nafasi ya beki wa kushoto amewahi kucheza timu mbqlimbali Barani Afrika na Ulaya ikiwemo AS Vita ya nyumbani kwao Congo , Royal Excel Mouscron ya Ubelgiji , GD Interclube Luanda ya Angola na FC Onze Bravos do Maquis ya Angola. Yanga tayari imeshasajili nyota watano wa Kimataifa na ambao weshatambulishwa mpaka sasa ni ; Lazarous Kambole , Bernard Morrison , Gael Bigirimana , Joyce Lomalisa Mutambala na amesalia Stephanie Ki kutambulishwa na kufunga ukurasa wa usajili wa Kimataifa kwa Yanga msimu huu . Unahisi yanga inaendelea kujiimalisha kwa ajili ya mapambano ya club bigwa Africa msimu ujao? ************************************ We give you what you deserve ************************************* Follow us @yetusote_tv . . . #yetusote_tv #harmonize_tz#AzamSports2 #nguvumoja #zuchu#kondegang4everybody #GlobalTVOnline#rayvanny #yangasc #wasafimedia #kingkiba#KondeGang #tanashadonna #sammisagotv#dizzimonline #Etrending #mashamsham#rickmedia #zarithebos #NBCPL #NBCPLUpdates #NBCPremierLeague #SisiNiSoka #Standing #LeagueTable #Msimamo #AzamSports1HD #AzamSports2HD https://www.instagram.com/p/Cf5lrBMqaSq/?igshid=NGJjMDIxMWI=
1 note · View note
yetusote · 3 years ago
Photo
Tumblr media
Kutoka kwa mwanamuziki /rapper mkongwe kwenye game ya bongo fleva #ChidiBenzi ameamua kutoa ushauri kwa mwanamuziki na CEO wa record label ya WcB @diamondplatnumz kutokubali kuwa na watu wanaoitwa chawa akitafsiri kuwa neno Chawa ni wadudu wanaotokana na Uchafu. ************************************* We give you what you deserve ************************************* Follow us @yetusote_tv . . . #yetusote_tv #harmonize_tz#AzamSports2 #nguvumoja #zuchu#kondegang4everybody #GlobalTVOnline#rayvanny #yangasc #wasafimedia #kingkiba#KondeGang #tanashadonna #sammisagotv#dizzimonline #Etrending #mashamsham#rickmedia #zarithebos #NBCPL #NBCPLUpdates #NBCPremierLeague #SisiNiSoka #Standing #LeagueTable #Msimamo #AzamSports1HD #AzamSports2HD https://www.instagram.com/p/Cf4Jghkqcvp/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
yetusote · 3 years ago
Photo
Tumblr media
✍🏼 Ousmane Dembele yupo kwenye hatua za mwisho mwisho kuongeza mkataba wa miaka miwili ya kuitumikia klabu ya Fc Barcelona baada ya kuwa kwenye mazungumzo ya mda mrefu na Viongozi wa Klabu hiyo. ✍🏼 Kusaini kwa Ousmane Dembele pale Barcelona kutasababisha kuchelewesha au kujiondoa kabisa kwenye mbio za kumnasa nyota wa Kibrazili anayekipiga klabu ya Leeds United, Raphinha. ************************************* We give you what you deserve ************************************* Follow us @yetusote_tv . . . #yetusote_tv #harmonize_tz#AzamSports2 #nguvumoja #zuchu#kondegang4everybody #GlobalTVOnline#rayvanny #yangasc #wasafimedia #kingkiba#KondeGang #tanashadonna #sammisagotv#dizzimonline #Etrending #mashamsham#rickmedia #zarithebos #NBCPL #NBCPLUpdates #NBCPremierLeague #SisiNiSoka #Standing #LeagueTable #Msimamo #AzamSports1HD #AzamSports2HD https://www.instagram.com/p/Cf1RkoqKe0k/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
yetusote · 3 years ago
Photo
Tumblr media
✍🏼 Huenda nyota wa England Raheem Sterling akafanyiwa vipimo vya afya jioni hii ya leo pale Stamford Bridge. ✍🏼 The Blues wamekubali kulipa dau la £ 47.5 milioni kumchukua Raheem Sterling kutoka klabu ya Manchester City. ✍🏼 Sterling anatarajiwa kutangazwa mapema wiki ijayo baada ya kufuzu vipimo vya afya siku ya leo. ************************************* We give you what you deserve ************************************* Follow us @yetusote_tv . . . #yetusote_tv #harmonize_tz#AzamSports2 #nguvumoja #zuchu#kondegang4everybody #GlobalTVOnline#rayvanny #yangasc #wasafimedia #kingkiba#KondeGang #tanashadonna #sammisagotv#dizzimonline #Etrending #mashamsham#rickmedia #zarithebos #NBCPL #NBCPLUpdates #NBCPremierLeague #SisiNiSoka #Standing #LeagueTable #Msimamo #AzamSports1HD #AzamSports2HD https://www.instagram.com/p/Cf1QjR0qeGQ/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
yetusote · 3 years ago
Photo
Tumblr media
✍🏼 Huenda nyota wa England Raheem Sterling akafanyiwa vipimo vya afya jioni hii ya leo pale Stamford Bridge. ✍🏼 The Blues wamekubali kulipa dau la £ 47.5 milioni kumchukua Raheem Sterling kutoka klabu ya Manchester City. ✍🏼 Sterling anatarajiwa kutangazwa mapema wiki ijayo baada ya kufuzu vipimo vya afya siku ya leo. ************************************* We give you what you deserve ************************************* Follow us @yetusote_tv . . . #yetusote_tv #harmonize_tz#AzamSports2 #nguvumoja #zuchu#kondegang4everybody #GlobalTVOnline#rayvanny #yangasc #wasafimedia #kingkiba#KondeGang #tanashadonna #sammisagotv#dizzimonline #Etrending #mashamsham#rickmedia #zarithebos #NBCPL #NBCPLUpdates #NBCPremierLeague #SisiNiSoka #Standing #LeagueTable #Msimamo #AzamSports1HD #AzamSports2HD https://www.instagram.com/p/Cf1QcWhqvQC/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
yetusote · 3 years ago
Photo
Tumblr media
✍🏼 klabu Fc Barcelona imethibitisha kuwa inampango kumsajili beki mkongwe anayekipiga klabu ya Chelsea César Azpilicueta. ✍🏼 Fc Barcelona wamethibitisha kuwa wiki ijayo huenda wakamsajili beki huyo aende kuongeza nguvu kwenye kikosi cha Xavi Hernandez. ✍🏼 Klabu ya Chelsea hadi sasa hawajapokea Ofa yoyote kutokea Cataluna ila kama klabu ya Fc Barcelona itafikia kiwango wanachokihitaji klabu ya Chelsea basi Chelsea watamuachia mchezaji huyo. ************************************* We give you what you deserve ************************************* Follow us @yetusote_tv . . . #yetusote_tv #harmonize_tz#AzamSports2 #nguvumoja #zuchu#kondegang4everybody #GlobalTVOnline#rayvanny #yangasc #wasafimedia #kingkiba#KondeGang #tanashadonna #sammisagotv#dizzimonline #Etrending #mashamsham#rickmedia #zarithebos #NBCPL #NBCPLUpdates #NBCPremierLeague #SisiNiSoka #Standing #LeagueTable #Msimamo #AzamSports1HD #AzamSports2HD https://www.instagram.com/p/Cf1OJ_vKk3z/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
yetusote · 3 years ago
Photo
Tumblr media
✍🏼 Klabu ya Simba imemtambulisha rasmi mchezaji Victor Akpan kutoka klabu ya Coastal Union ya Mkoani Tanga. ✍🏼 Victor Akpan amesaini mkataba wa miaka miwili kuwatumikia Wekundu wa Msimbazi Simba hadi June 2024. ✍🏼 Akpan alikuwa akihusishwa na kujiunga na klabu ya Azam Fc ya pale Chamazi, Dar es Saalam lakini Simba walishinda mbio hizo baada ya kutoa takriban Pesa za Kitanzania Shilingi milioni 100. ✍🏼 Haya Wanasimba wenyewe mnaonaje huu Usajili? ************************************* We give you what you deserve ************************************* Follow us @yetusote_tv . . . #yetusote_tv #harmonize_tz#AzamSports2 #nguvumoja #zuchu#kondegang4everybody #GlobalTVOnline#rayvanny #yangasc #wasafimedia #kingkiba#KondeGang #tanashadonna #sammisagotv#dizzimonline #Etrending #mashamsham#rickmedia #zarithebos #NBCPL #NBCPLUpdates #NBCPremierLeague #SisiNiSoka #Standing #LeagueTable #Msimamo #AzamSports1HD #AzamSports2HD https://www.instagram.com/p/Cf1LT2cKHr-/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
yetusote · 3 years ago
Photo
Tumblr media
✍🏼 SON AWAKARIBISHA WACHEZAJI WA SPURS MJINI SEOUL. ✍🏼 Kuelekea mechi ya Kujinoa (Pre-Season Games), klabu ya Tottenham Hotspurs imeamua kwenda kucheza mechi zake mjini Seoul Korea ya Kusini nchi ambayo amezaliwa nyota wao Heung-Min Son. ✍🏼 Nyota huyo akaendeleza ukarimu wake kwa kuwapokea wachezaji wenzake uwanja mkubwa wa ndege unaopatikana Mjini Seoul nchini Korea Kusini ✍🏼 Kwawale wafanya Biashara mnasemaje hapa? ************************************* We give you what you deserve ************************************* Follow us @yetusote_tv . . . #yetusote_tv #harmonize_tz#AzamSports2 #nguvumoja #zuchu#kondegang4everybody #GlobalTVOnline#rayvanny #yangasc #wasafimedia #kingkiba#KondeGang #tanashadonna #sammisagotv#dizzimonline #Etrending #mashamsham#rickmedia #zarithebos #NBCPL #NBCPLUpdates #NBCPremierLeague #SisiNiSoka #Standing #LeagueTable #Msimamo #AzamSports1HD #AzamSports2HD https://www.instagram.com/p/Cf0_gu-q9cF/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
yetusote · 3 years ago
Photo
Tumblr media
✍🏼 Klabu ya Manchester City imethibitisha kumpatia Jezi namba 9, kwa Mshambuliaji wao mpya Erling haaland, atakayotumia kuanzia msimu ujao wa 2022/23. ✍🏼 Jezi hiyo kabla haijaenda mwilini kwa Haaland ilikuwa ikivaliwa na nyota wa Kibrazili akiyetimkia viwanja vya Emirates Gabriel Jesus......Hivyo kwa sasa itakuwa ikivaliwa na Erling Halland. ************************************* We give you what you deserve ************************************* Follow us @yetusote_tv . . . #yetusote_tv #harmonize_tz#AzamSports2 #nguvumoja #zuchu#kondegang4everybody #GlobalTVOnline#rayvanny #yangasc #wasafimedia #kingkiba#KondeGang #tanashadonna #sammisagotv#dizzimonline #Etrending #mashamsham#rickmedia #zarithebos #NBCPL #NBCPLUpdates #NBCPremierLeague #SisiNiSoka #Standing #LeagueTable #Msimamo #AzamSports1HD #AzamSports2HD https://www.instagram.com/p/Cf03D9FKHD6/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes