#tbconline
Explore tagged Tumblr posts
0714091786 · 2 years ago
Photo
Tumblr media
Ratiba ya Mzunguko wa Pili wa Ligi Kuu ya NBC 2022/23 Haya sasa umbe tag chamalako tulijue 🙆 @tzsportpesa @kamalsteeltz @tanfootball @ligikuu #PiraSikioni #LigiKuuNBC #NBCpremierLeague #Sportpesa #TBCupdates #TBConline https://www.instagram.com/p/ChZImyWKRej/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
imungy-blog · 3 years ago
Photo
Tumblr media
Usijiweke kwa mtu, jikite kwenye taasisi. Tumikia taasisi, changia mafanikio ya taasisi, sio mtu. Jenga taswira njema kwa taasisi, usijijengee taswira yako binafsi kama umeajiriwa. Linda maslahi ya taasisi, sio yako binafsi, labda tu kama taswira yako ina tatizo. Linda maslahi ya taasisi, utakuwa umelinda maslahi yako. Usijisemee wewe, semea taasisi yako. Pamoja na malengo yako, kumbuka uko hapo kwa malengo ya taasisi, Ndio maana umepewa hiyo nafasi. Kila kazi Ina mwisho wako. Tabia yako Na matendo yako ndio yatakupa kazi ingine. Kumbuka, watu huajiriwa kwa weledi Na by Eti Vuai ya kuonesha umahiri wa kazi. Wakifukuzwa, hawafukuzwi kwa sababu weledi au vyeti havina tena thamani! Unafukuzwa kutokana na tabia (attitude) zako! Tii viongozi wako, sikiliza ushauri wao. Kiongozi ana mamlaka na sheria pamoja na kanuni za kazi. Zifuate kwa nidhamu, la huwezi, acha kazi hiyo. Ukikisolewa au kuadhibiwa, fuata taratibu. Unyenyekevu Na utulivu ni siri ya mafanikio yako na heshima yako. Hata ukionewa, usipambane, tulia, ukweli siku zote unatabia ya kujidhihirisha. Unaweza usikubaliane Na mimi, inaruhusiwa kukubaliana kutokukubaliana. #carrieradvice #strategicthinking #pr #uhusiano #mahusiano #millardayoupdates #wasafimedia #cloudsdigitalupdates #tbconline @millardayo @cloudsfmtz #mediatraining https://www.instagram.com/p/CRpwhLnss07/?utm_medium=tumblr
0 notes
newsgobr-blog · 6 years ago
Video
#Repost @tvbrasilcentral • • • • • O Ministério Público (@mpdegoias) realiza hoje fiscalização em todo estado, para identificar os candidatos que desrespeitaram a lei e espalharam “santinhos” nas portas das sessões eleitorais. O promotor de justiça Fernando Krebs, falou com a nossa equipe do #TBCOnline sobre a ação realizada pelo MP/GO. Mais detalhes logo mais no boletim #DeOlhoNoVoto. #TBC #Eleições2018 . #noticias #noticia #notícias #notícia #news #go #goias #goiás #goiania #goiânia #instago #brasil #newsgo #política #eleições #eleições2018 #Eleições2018NewsGO (em Goiânia, Brazil) https://www.instagram.com/p/Booh4MuBmp_/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=yly3eibjs2v
0 notes
0714091786 · 2 years ago
Photo
Tumblr media
Ni vita ya Watani wa Jadi leo 13 Agosti, 2022 Mechi ya Ngao ya Jamii Yanga Vs Simba kwenye Dimba la Mkapa. Hii ni lazima mmoja akae chini Matangazo haya yatakujia kuanzia Saa 12:30 Jioni, tutakuwa mbashara kupitia Redio Kubwa TBC Taifa na mtandao wa YouTube wa TBC online #LitakufaJitu #NgaoyaJamii2022 #SimbaSC #YangaSC #TBCupdates #TBConline (at Benjamin William Mkapa Stadium) https://www.instagram.com/p/ChMHrk5K2_Z/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
imungy-blog · 5 years ago
Photo
Tumblr media
#aridhio iko hewani. #illustrationnews hongera TBC @mkabesah @gabrielzakaria_tbc @mwasyokeanna #tbconline @tbc_online https://www.instagram.com/p/B-XSapNnj4n/?igshid=1q5ncjqufc49m
0 notes
0714091786 · 2 years ago
Photo
Tumblr media
RAIS SAMIA KULIHUTUBIA TAIFA Rais Samia Suluhu Hassan saa tatu usiku huu atalihutubia Taifa kupitia vyombo mbalimbali vya habari. Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kupitia vyombo vyake vya TBC 1, TBC Taifa na Youtube chaneli ya TBConline vitakuletea hotuba hiyo. (at Tanga, Tanzania) https://www.instagram.com/p/ChkjI_pK8y1/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes