#ngaoyajamii2022
Explore tagged Tumblr posts
0714091786 ยท 2 years ago
Photo
Tumblr media
Ni vita ya Watani wa Jadi leo 13 Agosti, 2022 Mechi ya Ngao ya Jamii Yanga Vs Simba kwenye Dimba la Mkapa. Hii ni lazima mmoja akae chini Matangazo haya yatakujia kuanzia Saa 12:30 Jioni, tutakuwa mbashara kupitia Redio Kubwa TBC Taifa na mtandao wa YouTube wa TBC online #LitakufaJitu #NgaoyaJamii2022 #SimbaSC #YangaSC #TBCupdates #TBConline (at Benjamin William Mkapa Stadium) https://www.instagram.com/p/ChMHrk5K2_Z/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes