#mkazas
Explore tagged Tumblr posts
as8bakwthesage · 8 months ago
Text
Tumblr media Tumblr media Tumblr media
A buncha doodles of my “The Good Place” self insert Mkazas (also known as Kaz thanks to Eleanor) and Michael (my beloved)
So we got a hella paranoid enbie with a very sussy “angel”. What could go wrong??
13 notes · View notes
rwizakakiza · 2 months ago
Text
Somo: MAJIRA NA NYAKATI ZIMEBEBA MAISHA YAKO. (Part 16: MWAMUZI WA MWIS...
youtube
Somo: MAJIRA NA NYAKATI ZIMEBEBA MAISHA YAKO
°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°
Fuatilia YouTube.
Https://youtube.com/@Rwizakakiza
Sehemu 16:
‭""Kwa KILA JAMBO kuna MAJIRA yake, Na WAKATI kwa KILA KUSUDI chini ya mbingu""
.....Mhubiri 3:1.....
6. AINA 2 ZA MAJIRA NA NYAKATI KATIKA MAISHA YAKO.
6. 2. MAJIRA NA NYAKATI ZA MUNGU
Haya ni majira na nyakati ambazo mwamuzi wa mwisho ni MUNGU ingawa hata kama mwanadamu atashirikishwa na MUNGU bado maamuzi ya mwisho ni ya MUNGU mwenyewe.
Mwamuzi wa mwisho kwenye majira na nyakati ni MUNGU pekee. Hata kama giza au watu au mamlaka au adui amekuamria Mabaya yaje juu yako, LAKINI YUPO MUNGU MWAMUZI WA MWISHO ANASEMA....
(i). HAUTAKUFA BALI UTAISHI.
MUNGU hataki mtu yeyote afe kabla ya majira na nyakati zake, maana akifa kabla ya wakati wake, kuna makusudi ya MUNGU hayatimiza, hutakuwa na kusimulia, Tambua majira na nyakati za MUNGU kwenye maisha yako. Yupo Roho Mtakatifu afunuaye mambo yajayo, ana uwezo wa kukwambia lini utaondoka, ukiwa na uhakika huo hata kama Ikitokea leo mtu anakwambia utakufa, Wewe kwa uhakika utamwambia.....
......Sitakufa bali nitaishi, Nami nitayasimulia matendo ya BWANA.
.....Zaburi 118:17.....
(ii). HAUTAKUWA TASA BALI UTAZAA WATOTO.
Ni kweli wewe ni tasa kwa kila kitu hakuna unachozalisha iwe ni mali au vitu au watoto hata ukizalisha vinakufa. Lakini yapo majira na nyakati za MUNGU ambazo ndio leo, MUNGU anasema hivi...
.....Hapatakuwa na mwenye KUHARIBU MIMBA , wala ALIYE TASA, katika nchi yako; na hesabu ya siku zako NITAITIMIZA.
.......Kutoka 23:26......
Ni Ahadi ya MUNGU ujenge nyumba Ukae ndani yake, Na ndani ya nyumba uwe na Uzalishaji na kula matunda ya uzalishaji wako, ambaye hujaoa au kuolewa chukua hatua ya imani. Leo ni wakati wako wa kudai haki yako majira na nyakati za MUNGU kwako zimefika, MUNGU anasema......
......JENGENI nyumba, MKAKAE ndani yake, KAPANDENI bustani, MKALE MATUNDA yake; OENI wake, MKAZAE wana na binti; KAWAOZENI wake wana wenu, mkawaoze waume binti zenu, WAZAE wana na binti; MKAONGEZEKE huko wala MSIPUNGUE.
......Yeremia 29:5-6.....
(iii). HAUTAKUWA MASKINI, BALI TAJIRI.
Ni kweli ulizaliwa kwenye umaskini mpaka sasa wewe ni maskini lakini haimaanishi utaendelea kuwa maskini. Ongeza bidii katika kutenda kazi iliyo halali na huku ukikumbuka Neno hili kwamba....
.......Umejua neema ya BWANA wetu YESU KRISTO, jinsi alivyokuwa MASKINI kwa ajili yako, ingawa alikuwa TAJIRI, ili kwamba WEWE UPATE kuwa TAJIRI kwa umaskini wake.
.......2 Korintho 8:9.......
Unavyoendelea kujibidiisha katika utendaji MUNGU anaachilia NGUVU YA UTAJIRI ndani yako, Sasa ni nyakati na Majira ya kuaga umaskini umefika Ongeza bidii, ila usimsahau BWANA YESU.
.......Hapo usiseme moyoni mwako, NGUVU ZANGU na UWEZO wa MKONO wangu ndio ULIONIPATIA UTAJIRI huo. Bali utamkumbuka BWANA, MUNGU wako, maana NDIYE akupaye NGUVU za KUPATA UTAJIRI; ili alifanye imara AGANO lake alilowapa baba zako, kama hivi leo.
......Kum 8:17-18.....
(iv). SITAKUACHA KAMWE.
Ni kweli umeachwa, unateseka, unanyanyaswa na umetengwa mpaka unaona dunia imekuacha na MUNGU hakukumbuki, Yote hayo yalikuwa ni majira na nyakati tu, kuanzia leo ni wakati wako wa kukumbuka hata na wale waliokusahau na MUNGU Hawezi kukuacha na hatakuacha kamwe nawe usimwache upo kiganjani mwake.
.....Wewe umesema, "YEHOVA AMENIACHA, BWANA AMENISAHAU. Je! Mwanamke aweza kumsahau mtoto wake anyonyaye, hata asimhurumie mwana wa tumbo lake? Naam, HAWA WAWEZA KUSAHAU, lakini MIMI SITAKUSAHAU WEWE. Tazama, NIMEKUCHORA katika vitanga vya mikono yangu; kuta zako ziko mbele zangu daima.
......Isaya 49:14-16......
(v). NJOO ULIVYO NA DHAMBI ZAKO.
Ni ukweli usiopingika kwamba wewe ni mdhambi na watu wote tunajua wewe ni mdhambi na MUNGU anajua wewe ni mdhambi, Lakini leo majira na wakati wa MUNGU umefika, MUNGU anakuita njoo....
.....Haya, njoni, tusemezane, asema BWANA. Dhambi zako zijapokuwa nyekundu sana, zitakuwa nyeupe kama theluji; zijapokuwa nyekundu kama bendera, zitakuwa kama sufu. Kama UKIKUBALI na KUTII leo utakula mema ya nchi".
......Isaya 1:18-19.....
Sisi tumekuona huwezi kusamehewa lakini kumbuka mwamuzi wa mwisho ni MUNGU, leo ni majira na wakati wa MUNGU kwa ajili yako kubadilika ili kuishi na MUNGU upya.
(vi). WEWE NI WATHAMANI, NA MWENYE HESHIMA.
Ni kweli umekosa heshima, huthaminiwi, hupendwi na hukumbukwi tena. Lakini haimaanishi MUNGU hakuoendi. MUNGU anakupenda sana sana kwa sababu wewe ni wa THAMANI kubwa kwake na mwenye heshima kubwa kwa MUNGU. Ni majira na nyakati za MUNGU kutambulisha heshima na thamani yako kwa ulimwengu maana anakupenda, nawe jipende na ujithamini na kujiheshimu.
......Kwa kuwa wewe ni wa THAMANI machoni pangu, na mwenye KUHESHIMIWA , nami NIMEKUPENDA; kwa sababu hiyo NITATOA watu kwa ajili yako; na kabila za watu kwa ajili ya maisha yako.
......Isaya 43:4....
(vii). ULIYECHOKA NA KUKATA TAMAA NJOO.
Maisha yamekuchosha, watu wamekuchosha, kazi imekuchosha, Huduma imekuchosha, familia imekuchosha, maneno yamekuchosha, Magonjwa, taabu na mateso vimekuchosha na kadhalika, Ni kweli umechoka na umekata tamaa. Leo Neno moja tu la YESU mtwike hayo yote yalikuchosha na YESU atakupumzisha ili upate raha nafsini mwako. BWANA YESU anasema hivi....
.......Njoni kwangu, ninyi nyote MSUMBUKAO na wenye KULEMEWA na MIZIGO, nami NITAWAPUMZISHA. Jitieni NIRA yangu, MJIFUNZE kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi MTAPATA RAHA NAFSINI mwenu".
...... Mathayo 11:28-29.....
(viii). MWENYE AIBU, WEWE NI JASIRI NA HODARI.
Kuna mambo ukiyatazama unaona aibu inakujia, Mengine ukiyasema ni aibu, imekuwa ni siri yako mwenyewe lakini yamegeuka kuwa mateso kwa sasa. Mwingine hadhi yako uliyonayo na kufanya kitu cha kawaida unaona ni aibu, Umefirisika unawaza watu watanionaje watanicheka. Wengine ni aibu ya kuachwa, kusimama mbele za watu, nk. Umekuwa mtumwa wa aibu kumbuka YESU aliidharau aibu, akajivika ujasiri na Uhodari akashinda. Ni majira na nyakati za MUNGU kuondolewa aibu yako, kubali na chukua hatua uwe shujaa, aibu itakufedhehesha kwa muda lakini utapata heshima ya kudumu.
.......Tukimtazama YESU, mwenye kuanzisha na mwenye kutimiza imani yetu; ambaye kwa ajili ya FURAHA iliyowekwa mbele yake ALIUSTAHIMILI MSALABA na KUIDHARAHU AIBU, naye ameketi mkono wa kuume wa kiti cha enzi cha MUNGU.
.....Ebrania 12:2....
(ix). ULIYESHINDWA, INUKA ANZA UPYA.
Naongea na wewe uliyekata tamaa kwa sababu UMESHINDWA kufikia malengo yako. Kila ukipanga unashinwa, kila mipango haikamiliki, masomo umeishia katikati, Biashara ni hasara unatamani uachane nayo, Mahusiano unaona hayana mwelekeo, mwenzi wako humwelewi unatamani mwachane. Majira na wakati wa MUNGU umefika inuka tena upya mara pili ule (Neno la MUNGU la leo hii) songa mbele mpaka ufike kwenye mafanikio yako (mlima Horebu) yapo mema mbele usikate tamaa.
......Malaika wa BWANA akamwendea mara ya pili, akamgusa, akasema, INUKA, ULE; maana SAFARI hii ni KUBWA MNO kwako. Akainuka, akala, akanywa, AKAENDA katika NGUVU za CHAKULA hicho siku arobaini mchana na usiku hata akafika Horebu, mlima wa MUNGU.
.....1Falme 19:7-8.....
(x). USIOGOPE.
Kuweza kutimiza vyema majira na nyakati za MUNGU ONDOA HOFU ya kesho yako. (iwe ni kifo, Magonjwa, madeni, vitisho, mateso, aibu, kufeli, kuzomewa, kuachwa, nk), usiogope shikamana na MUNGU mwenye hatima na maamuzi ya mwisho kwenye maisha yako yote.
.....USIOGOPE, kwa maana Mimi MUNGU ni pamoja nawe; USIFADHAIKE, kwa maana mimi ni MUNGU wako; NITAKUTIA NGUVU, naam, NITAKUSAIDIA, naam, nitakushika kwa mkono wa kuume wa haki yangu".
.....Isaya 41:10.....
Ni swala la majira na wakati wa MUNGU tu, Wewe sio wa kawaida, Yupo mwaamuzi wa mwisho, MUNGU ambaye hashindwi na chochote, ndiye mwenye hatima yako, mwamini YESU ili kitu au mwanadamu yeyote asikupangie hatima yako, usipomwamini YESU KRISTO mwenye hatima ya maisha yako, utapangiwa majira na nyakati za kuishi.
Hitimisho.
....Tutaendelea....
Rejea
“Indeed, I have inscribed [a picture of] you on the palms of My hands; Your city walls [Zion] are continually before Me".
.......Isaiah 49:16.......
Ev. Erasmus Pascrates Kakiza
+255 782 546 914
@2024 The year of my shining.
0 notes
inthelandofthugalchemy · 4 years ago
Photo
Tumblr media Tumblr media Tumblr media
Life is for the living. A photo series exploring the isolated life of a girl re-imagining the current climate she finds herself in during the COVID-19 pandemic by nostalgically Embracing her desire to dress up and willfully celebrating being alive. A bid to live regardless of life being altered.
Photography: Andile Phewa
Creative Direction: Sinalo Mkaza
Stylist: Tandekile Mkize
Model: Mbali Mbalu
349 notes · View notes
guillemelgat · 6 years ago
Text
Fall Vocabulary in Western Abenaki
The Basics
tagwôgw - fall
Skamonkas - September (lit. corn maker moon)
Penibagos - October (lit. leaf falling moon)
Mzatanos - November (lit. freezing river maker moon)
Foliage
abazi - tree
wanibagw - leaf
koas - pine
anaskemezi - oak
anaskemen / wacil - acorn (red/black and white acorn, respectively)
senomozi - maple
askaskwi(gen) - (it is) green
mkwi(gen) - (it is) red
wizôwi(gen) - (it is) yellow
Harvest
kikawôgan - harvest
ki / ahki - field
wasawa - pumpkin
skamon - corn
aples - apple
pata - pie
minôbo - jam
lago - stew
Changing Weather
tkawansen - (it is) cool
wdakiskat - (it is) damp
soglôn - rain
pesgawan - foggy
skweda - fire
wlabeda - (it is nice and) warm
Animals
sips - bird
kokokhas - owl
mkazas - crow
nohama - turkey
wôbtegwa - (wild) goose
madagenilhas - bat
minowiz - cat
Clothes
pitkôzon - coat
potsal - boots
asolkwôn - hat
ahaliljômwkik - gloves
medasal - socks
kalizad - flannel (cloth)
(Inspired by this post)
2 notes · View notes
sizembizablog · 7 years ago
Photo
Tumblr media Tumblr media
Hiatus Over • Back To Basics Sinalo Mkaza
20 notes · View notes
akamaotto · 6 years ago
Text
'Pause & Effect' speakers announced - The Marketing & Media community of South Africa
‘Pause & Effect’ speakers announced – The Marketing & Media community of South Africa
This article was originally posted in The Marketing & Media community of South Africa [ad_1]
The eighth TedXCapeTown main event explores the power in pausing and considering before taking action, in taking time to realise we have choices regarding why and how we develop.
Top (l-r): Cindy Mkaza-Siboto, Sam Beckbessinger, Carryn Ortlepp, Tegan Phillips. Middle (l-r): Ndoni Mcunu, Lauren Jacobs,…
View On WordPress
0 notes
rachelsiwafan · 6 years ago
Photo
Tumblr media
Shukrani ndugu yangu 🙏😊❤️😍 7 Mwisho wa vitu vyote umekaribia. Kwa hiyo mnapaswa kuwa na utaratibu na kukesha ili muweze kusali. 8 Zaidi ya yote pendaneni kwa moyo wote, maana upendo hufunika dhambi nyingi. 9 Muwe na ukarimu nyinyi kwa nyinyi bila kunung'unika. 10 Kila mmoja anapaswa kutumia kipaji alichojaliwa na Mungu kwa faida ya wengine kama wakili mwema wa zawadi mbalimbali za Mungu. 11 Anayesema kitu, maneno yake na yawe kama maneno ya Mungu; anayetumikia anapaswa kutumikia kwa nguvu anayojaliwa na Mungu, ili katika mambo yote, Mungu atukuzwe kwa njia ya Yesu Kristo ambaye utukufu na nguvu ni vyake milele na milele! Amina.#1 Petro‬ ‭4‬:‭7-11‬ 34 Nawapeni amri mpya: Pendaneni; pendaneni kama nilivyowapenda nyinyi. 35 Mkipendana, watu wote watajua kwamba nyinyi ni wanafunzi wangu.”#Yohane‬ ‭13‬:‭34-35‬ 12 Hii ndiyo amri yangu: Pendaneni; pendaneni kama nilivyowapenda nyinyi. 13 Hakuna upendo mkuu zaidi kuliko upendo wa mtu atoaye uhai wake kwa ajili ya rafiki zake. 14 Nyinyi ni rafiki zangu mkifanya ninayowaamuru. 15 Nyinyi siwaiti tena watumishi, maana mtumishi hajui anachofanya bwana wake. Lakini mimi nimewaita nyinyi rafiki, kwa sababu nimewajulisha yote ambayo nimeyasikia kutoka kwa Baba yangu. 16 Nyinyi hamkunichagua mimi; mimi niliwachagueni na kuwatuma mwende mkazae matunda, matunda yadumuyo, naye Baba apate kuwapeni chochote mnachomwomba kwa jina langu. 17 Basi, amri yangu kwenu ndiyo hii: Pendaneni.#Yohane‬ ‭15‬:‭12-17‬ 9 Mapendo yenu na yawe bila unafiki wowote. Chukieni jambo lolote ovu, zingatieni jema. 10 Pendaneni kindugu; kila mmoja amfikirie kwanza mwenzake kwa heshima.#Waroma‬ ‭12‬:‭9-10‬@djcobratz #Asubuhinjema#barikiwa#Mungunipendo#neemayaMunguimenibariki#love#peace#blessings#morningglory#Godislove❤️🙏#lifestyleblogger#vlogger#Coventry#mswahili🇹🇿#Rachelsiwa 😊
0 notes
ifftt · 8 years ago
Quote
@Ma3Route: 16:05 @I_Lemiso Natuma rambi-rambi zangu za pole kwa jamaa na marafika ambao wameatirika na mkaza huu! via @DanielWekesaSi1
http://twitter.com/Ma3Route
0 notes
valeriavidalmit · 8 years ago
Text
@Ma3Route: 16:05 @I_Lemiso Natuma rambi-rambi zangu za pole kwa jamaa na marafika ambao wameatirika na mkaza huu! via @DanielWekesaSi1
from http://twitter.com/Ma3Route via IFTTT
0 notes
ma3routeclass16 · 8 years ago
Quote
@Ma3Route: 16:05 @I_Lemiso Natuma rambi-rambi zangu za pole kwa jamaa na marafika ambao wameatirika na mkaza huu! via @DanielWekesaSi1
http://twitter.com/Ma3Route
0 notes
achuryme · 8 years ago
Quote
@Ma3Route: 16:05 @I_Lemiso Natuma rambi-rambi zangu za pole kwa jamaa na marafika ambao wameatirika na mkaza huu! via @DanielWekesaSi1
http://twitter.com/Ma3Route
0 notes
as8bakwthesage · 8 months ago
Text
Tumblr media
Kaz being paranoid of a certain Michael because they have BPD and overanalyse every small interaction.
it doesn't help that Michael is super sus and definitely an imposter
12 notes · View notes
rwizakakiza · 3 months ago
Text
Somo: MAJIRA NA NYAKATI ZIMEBEBA MAISHA YAKO. (Part 4: MAJIRA YA MAVUNO)...
youtube
Somo: MAJIRA NA NYAKATI ZIMEBEBA MAISHA YAKO
°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°
Fuatilia YouTube.
Https://youtube.com/@Rwizakakiza
Sehemu 4:
‭""Kwa KILA JAMBO kuna MAJIRA yake, Na WAKATI kwa KILA KUSUDI chini ya mbingu""
.....Mhubiri 3:1.....
JE, NINI MAANA YA MAJIRA NA NYAKATI?
1. MAANA YA , MAJIRA.
Baada ya kujifunza nini maana ya majira, Tuanze kuchunguza.
Je, majira haya manne kwa mwanadamu kiroho yana maana gani?
1. (b). MAJIRA YA VULI (AUTUMN /FALL SEASON).
......Huu ni msimu maarufu kwa nyakati zake za MAVUNO (Kuacha kutengeneza /kuzalisha chakula), KUGEUZA Majani (Yaani Majani kubadilika na kuanguka), Halijoto ya KUPOEZA (kupunguza joto kali), USIKU wenye GIZA nene na MWANGA mdogo wa jua kwa sababu siku ni fupi.
Kuna msemo unaosema.... Mchumia juani, hulia kivulini.... Majira ya vuli kiroho ni kipindi cha mapumziko umetoka juani, kwenye maangaiko sasa unakula ulichopanda (mavuno), Ni kipindi cha utimilifu wa Ahadi za MUNGU, mfano..
.....Jengeni nyumba, mkakae ndani yake, kapandeni bustani, mkale matunda yake; oeni wake, mkazae wana na binti; kawaozeni wake wana wenu, mkawaoze waume binti zenu, wazae wana na binti; mkaongezeke huko wala msipungue.
....Yeremia 29:5-6....
Majira haya ya MAVUNO ni HATARI kuliko vipindi vyote kwa sababu ya STAREHE, maandiko yanaonya kipindi kwa kusema...
.....Wakati wasemapo, "Kuna AMANI na SALAMA, NDIPO UHARIBIFU UWAJIAPO kwa GHAFLA, kama vile utungu umjiavyo mwenye mimba, wala hakika HAWATAOKOLEWA"...
.....1 Thesalonike 5:3.....
Majira ya mavuno, ingawa ni kipindi cha STAREHE, MAPUMZIKO na kujipongeza, tukumbuke kuna hatari kadhaa mfano...
i. UZALISHAJI WA CHAKULA UNAPUNGUA.
{Kama ulikuwa unaomba sana, unapunguza kuomba, unapunguza kusoma na kutafakari Neno la MUNGU, Ukimya unaacha, kwenda kanisani mpaka uamue sio lazima tena, nk.}
ii. MABADILIKO (Majani kugeuka rangi).
{Hapa mazingira kukubadilisha ni rahisi (Umepata milioni 500, hatukuoni tena) kuna kujisahau MUNGU alipokutoa, kuanza kuona ulitumia jitihada nyingi kutafuta mafanikio, umesali sana, ulifunga sana ndio maana umefanikiwa. Au umefanya kazi kwa bidii sana, hata tabia, mienendo, lugha ubadilika na kuanza kuchagua watu wa kukaa nao.
....Jihadhari, usije ukamsahau BWANA, MUNGU wako, kwa kutozishika amri zake, na hukumu zake, na sheria zake, Angalia, utakapokuwa UMEKULA na KUSHIBA, na KUJENGA nyumba nzuri na KUKAA ndani yake; Moyo wako USIINUKE, UKAMSAHAU BWANA, MUNGU wako, aliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa;
.... Kumb 8:11-14....
iii. MAJANI KUANGUKA
Ukimsahau MUNGU kwamba upo kwenye kipindi cha mavuno kwa sababu YEYE ndiye amekupa nguvu za mafanikio, hapa anguko lako huja na giza uwa nene kwenye maisha yako, ndio maana nimesema kipindi cha vuli ni hatari sana, lakini usipomsahau MUNGU wako na kujifanyia tathimini binafsi juu ya maisha yako ya kiroho na kimwili na kukumbuka MUNGU alipokutoa, Majira haya ni majira ya raha na furaha sana.
1. (c). MAJIRA YA KIPUPWE (WINTER SEASON).
....Tutaendelea....
Rejea
“But you shall remember [with profound respect] the LORD your GOD, for it is He who is giving you power to make wealth, that He may confirm His covenant which He swore (solemnly promised) to your fathers, as it is this day.
.....Deuteronomy 8:18....
Ev. Erasmus Pascrates Kakiza
+255 782 546 914
@2024 The year of my shining.
0 notes
crowdsourcecity · 8 years ago
Quote
@Ma3Route: 16:05 @I_Lemiso Natuma rambi-rambi zangu za pole kwa jamaa na marafika ambao wameatirika na mkaza huu! via @DanielWekesaSi1
http://twitter.com/Ma3Route
0 notes
cscity · 8 years ago
Quote
@Ma3Route: 16:05 @I_Lemiso Natuma rambi-rambi zangu za pole kwa jamaa na marafika ambao wameatirika na mkaza huu! via @DanielWekesaSi1
http://twitter.com/Ma3Route
0 notes
as8bakwthesage · 2 years ago
Text
all of my self inserts and their names:
Sage Moonling and Anyas - Transformers Animated
Asô Minowis and Esga - Batman the Animated Series
Sah (Crow Child) - Monsters vs Aliens
Sava Mkazas - Moon Knight
Sage Crow - The Mandela Catalogue
Hanniel Selo - Pokemon
Raven - The Owl House
Asôbakw - World of Warcraft
Darth Corvus/Savi Han - Star Wars
Sage Seine - The Stanley Parable
5 notes · View notes