#kuhusika
Explore tagged Tumblr posts
chahali · 8 months ago
Text
0 notes
tongoamedia · 1 year ago
Text
Rais Ruto Aamuru Kukamatwa kwa Washukiwa wa Ghasia za Kikabila huko Sondu.
By Brian Magiri, WordPress Kufuatia kutokea kwa ghasia za kikabila hivi karibuni katika mpaka wa Kisumu-Kericho ambazo zilisababisha vifo vya watu saba na kujeruhi wengi, Rais William Ruto amechukua hatua thabiti kurejesha amani na haki katika eneo hilo. Rais Ruto ameamuru kukamatwa mara moja kwa washukiwa wanaodhaniwa kuhusika na vurugu hizo katika eneo la Sondu. Kauli kali ya Rais kuhusu…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
magaratimes · 7 years ago
Text
#DW: Kampuni ya Ujerumani yatuhumiwa kuhusika na rushwa | Matukio ya Kisiasa | DW
#DW: Kampuni ya Ujerumani yatuhumiwa kuhusika na rushwa | Matukio ya Kisiasa | DW
[ad_1]
Kampuni inayohusika na programu za kompyuta ya nchini Ujerumani yahusishwa na madai ya rushwa. Kwa miaka kadhaa shughuli za biashara za familia ya Gupta ya huko nchini Afrika Kusini zimekuwa zikijadiliwa. Waandishi wa habari hivi sasa wanatuhumu, kuwa watengenezaji wa programu za kompyuta kutoka Ujerumani ambao ni kampuni ya SAP walilipa hongo kwa kampuni hiyo ya familia ya Gupta. Zainab…
View On WordPress
0 notes
0714091786 · 3 years ago
Photo
Tumblr media
Kwa ujumla hali ya usalama mkoa wa Tanga ni ya kuridhisha Isipokuwa kuna matukio machache yaliyojitokeza na kusababisha uvunjifu wa amani. Mnamo tarehe 30/01/2022 majira ya saa 07:30 hrs za asubuhi huko katika vijiji vya Kibirashi, Elerai na Kwamaligwa wilaya ya Kilindi Mkoa wa Tanga watu 6 waliuwawa baada ya kutokea ugomvi kati ya pande mbili za wafugaji na wakulima. Baada ya tukio hili kutokea Siku ya tarehe 31/01/2022 kilifanyika kikao cha maridhiano baina ya pande hizo mbili kilichoongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Kilindi. Maazimio ya kikao hicho yalikuwa ni kwa pande hizo mbili kutoendelea na uhasama juu ya mgogoro wa mipaka ya eneo la malisho na eneo la kilimo ambapo mamlaka za serikali zinaendelea kulishughulikia suala hilo na muda si mrefu ufumbuzi wa mgogoro huo utapatikana. Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama lilianza operesheni na misako ya kuwatafuta wahusika wote waliofanya tukio hilo. Katika operesheni hii watuhumiwa 40 wamekamatwa pamoja na baadhi ya vielelezo vilivyotumiwa na watuhumiwa hao kutekeleza mauaji hayo. Baada ya mahojiano watuhumiwa 27 wameachiliwa huru na watuhumiwa 13 wanashikiliwa kwa tuhuma za kuhusika na tukio hilo na wanatarajiwa kufikishwa mahakamani wakati wowote kuanzia sasa. Vilelelezo vilivyokamatwa katika operesheni zinazoendelea ni Silaha 11 kati ya silaha hizo 9 ni aina ya Gobore pamoja na Gololi 71 ambazo zinatumika kama risasi kwenye Gobore, na silaha 2 ni aina ya Shortgun na risasi zake 10, Panga 4, Sime 3, Upinde 1 na mishale yake 3, Hengo 2 zenye mipini na 7 hazina mipini, Magodoro 2 yazaniwayo ni ya wizi, Vpande 7 ngozi za wanyama pori, Gari moja aina ya SWIFT 1.3 yenye namba za usajili T936 CNE,Gari hii ndilo lililotumika kubeba waharifu kwenda zinaendelea kulishughulikia suala hilo na muda si mrefu ufumbuzi wa mgogoro huo utapatikana. Full ipo Facebook Ya @thefreshtvonline_ (at Baba d updates) https://www.instagram.com/p/CZhVpr_jLQb/?utm_medium=tumblr
0 notes
elvisbayake · 4 years ago
Text
ISHU YA KAJALA, DIAMOND ATAJWA KUHUSIKA
ISHU YA KAJALA, DIAMOND ATAJWA KUHUSIKA
Huenda ishu ya ugomvi wa waimbaji nguli tokea Tanzania Raymond Mwakyusa maarufu kama ‘Rayvanny’ na Rajab Abdul ‘Harmonize’ kuna mkono wa bosi kubwa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na wadau wanaeleza mwanamama Kajala Masanja anaweza kuingia mtegoni kwa bosi huyo wa Wasafi Classic Baby (WCB). Chanzo cha kuaminika kimefunguka na kusema kuwa, baada ya Rayvanny kuvujisha meseji za Harmonize…
View On WordPress
0 notes
tanzaniampyanews · 4 years ago
Photo
Tumblr media
Nahodha wa Man United Harry Maguire amehukumiwa kifungo cha miezi 21 na siku 10 jela baada ya kupatikana na hatia ya kuchochea ugomvi,kupinga kukamatwa na polisi, na kurudia kutaka kutoa hongo baada ya kukamatwa kwa kuhusika kwenye ugomvi huo uliotokea baa huko nchini Ugiriki wiki iliyopita. Hata hivyo beki huyo hatatumikia kifungo hicho kufuatia kuwa ndio mara ya kwanza kufanya makosa hayo. Kesi hiyo ilisikilizwa leo huko Mykonos,Ugiriki—lakini mchezaji huyo ambaye alitolewa rumande wikiendi, hakuwepo mahakamani,walikuwepo wanasheria wake. Baada ya hukumu kutolewa,upande wa Maguire umesema utakata rufaa. https://www.instagram.com/p/CEXM6acgyBn/?igshid=cnsdl6z65ent
0 notes
kzoneupdate · 5 years ago
Photo
Tumblr media
China yasema njama ya Marekani kuhusika katika kukamatwa kwa Meng Wanzhou imefichuliwa Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Bw. Zhao Lijian amesema, imebainika tena kuwa kukamatwa kwa ofisa mkuu wa fedha wa kampuni ye teknolojia ya China Huawei Bibi Meng Wanzhou ni njama ya kisiasa. Ijumaa iliyopita, Mahakama ya Canada iliweka wazi kumbukumbu moja iliyotolewa tarehe mosi, Disemba mwaka 2018 na shirika la ujasusi la Canada kuwa Shirika la Upelelezi la Marekani FBI lililiarifu shirika hilo kuhusu mpango wa kukamatwa kwa Bibi Meng muda mfupi kabla ya kukamatwa kwake katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Vancouver. Kumbukumbu hiyo ilisema FBI haikushiriki kwenye operesheni hiyo ili kuepusha watu kuona kuwa Marekani ilitoa shinikizo kwa Canada. Akizungumzia hilo, Zhao amesema kumbukumbu hii imefichua njama ya kisiasa ya Marekani ya kukandamiza kampuni za teknolojia ya juu za China ikiwemo Huawei, na Canada ni mshirika wa Marekani. Amesisitiza kuwa China ina nia thabiti ya kuwalinda raia wake na maslahi halali za kampuni za China, na kuitaka Canada iangalie kwa makini msimamo imara na ufuatiliaji wa China, kumwachia huru mara moja Bibi Meng, na kumruhusu arudi China. https://www.instagram.com/p/CBdgQVWAzA9/?igshid=fq1mkg0ghmjq
0 notes
kataarushwatz · 5 years ago
Photo
Tumblr media
KIGALI, RWANDA MAJAJI wanne nchini Rwanda wamehukumiwa vifungo jela baada ya kutiwa hatiani kwa kuhusika na vitendo vya rushwa, huku wengine 26 kesi zao zikiendelea na uchunguzi. Kwa mujibu wa idara ya uchunguzi nchini Rwanda, ilieleza kuwa kufunguliwa kesi, kushitakiwa hadi kufungwa kwa majaji hao kunaonesha jinsi gani nchi hiyo ilivyopabia kukabiliana na tatizo la rushwa. Mkuu wa Idara ya uchunguzi nchini humo, Jeannot Ruhunga alisema vita dhidi ya rushwa nchini Rwanda ni endelevu na kwamba hakuna ofisa wa ngazi yoyote atakyesalimika endapo atakayebainika kujihusisha na vitendo vya rushwa. Akizungumza katika mkutano wa mashauriano wa kuangalia mikakati ya kupambana na rushwa, Jeannot Ruhunga alisema mbali ya majaji hao kufungwa kwa rushwa pia mtumishi mmoja wa mahakama katika kitengo cha urajisi naye amehukumiwa kifungo jela. “Taarifa za kufungwa kwa majaji zimewashangaza wananchi wengi kwa sababu wanadhani kwamba majaji kwa hadhi zao hawawezi kula rushwa, lakini rushwa ni hulka ya binaadam, lakini viungo hivi vinaonesha kwamba tumedhamiria kukabilina na tatizo hili”, alisema. Kwa upande wake mmoja wa wataalamu wa shera nchini Rwanda, Anastase Murekezi alisema rushwa katika mahakama haihusishi mtu mmoja kwani huanzia kwa wanasheria, kwa warajis wa mahakama na mwishowe humfikia jaji. “Huu ni mnyororo na ni vigumu kuukata kwa sababu unapombana mmoja wengine husimama kumtetea yule aliyeshikwa hata kuwasilisha ushahidi wa uongo”, alisema Murekezi. #rwanda #kagame #judges #law #legal #court #change #activism #nonprofit #dogood #changemakers #DoSomething #humanity #SM4NP #impact #sustainability #sdgs #globalgoals #development #goals #corruption #sustainabledevelopment #kataarushwa #stopcorruption https://www.instagram.com/p/B8fjG4enERc/?igshid=1h0owapmyytoo
0 notes
dutchkiua · 5 years ago
Photo
Tumblr media
Happy birthday @jimmygashabe12mm kamati ya maji+tope tumejipanga vizur🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Fanya kuhusika na hilo bango Kwako Bigboss @joazy_pro @official_qalito @lakezone_trends @director_cameroon https://www.instagram.com/p/B7XoNmSFNfG/?igshid=1rk2ng86bkcsm
0 notes
chahali · 8 months ago
Text
0 notes
magaratimes · 7 years ago
Photo
Tumblr media
#TRT: Viongozi kadhaa Ethiopia wakamatwa kwa kuhusika na ufisadi Siku ya Jumanne serikali ya Ethiopia ikiwakamata maafisa 34 wa ngazi za juuu katika sekta za umma kwa madai madai ya udanganyifu wa fedha za umma.
0 notes
ccmnatta-blog · 6 years ago
Photo
Tumblr media
UJENZI WA NYUMBA YA WALIMU NATTA Serikali imewezesha maendeleo mazuri ya ujenzi wa nyumba ya makazi ya "six in 0ne" Katika shule ya secondary natta. Pongezi kwa kamati ya ujenzi inayoongozwa na mkuu wa shule Natta secondary,Ambaye ni mwenyekiti wa kamati hiyo, Ndg.M.Kajeri,Katibu ni Mwl.Mtika,Wajumbe ni madam Grace,Mwl.Steven shedrack,Zachariah chitena Na wote wanaoendelea kuhusika kwa namna moja ama nyingine,Kwa kujitoa na kujituma kwao. Ilani ya chama inatekelezwa. #CCM_NUMBER_1 https://www.instagram.com/p/ByQtHQxBr5K/?igshid=1pr2av66w7h8t
0 notes
tabibutvonline-blog · 6 years ago
Photo
Tumblr media
George Pell: Kadinali wa kanisa katoliki akutwa na hatia ya unyanyasaji wa kingono Australia kadinali PELL ni kiongozi wa ngazi ya juu kuwahi kukutwa na hatia hii Kadinali George Pell wa kanisa katoliki nchini Australia amekutwa na hatia za unyanyasaji wa kingono dhidi ya watoto, hii inamfanya kuwa kiongozi wa hadhi ya juu kabisa wa Kanisa kukutwa na hatia hii. Pell aliwafanyia unyanyasaji vijana wawili mwaka 1996, lakini amekana kuhusika. Mashataka yalifunguliwa tangu mwezi December lakini huenda hayakuwekwa wazi kutokana na sababu za kisheria. Pell mwenye umri wa miaka 77 anatarijiwa kuhukumiwa siku ya Jumatano, lakini mawakili wake wanasema kua watakata rufaa hatia hiyo. Kiongozi huyu wa kanisa aliyekua anashikilia nafasi ya Muweka hazina, na ni miongoni mwa viongozi wenye nguvu Zaidi kanisani, Kesi yake ilisikilizwa mara mbili mwaka jana, Amekutwa na hatia, ikiwemo ya kumuingilia mtoto chini ya miaka 16, na hatia zingine nne za kuwafanyia vitendo visivyo vya kawaida watoto wa chini ya miaka 16. Kanisa katoliki duniani kote kwa miaka ya hivi karibuni, limekubwa na kashfa ya unyanyasaji wa kingono dhidi ya watoto, na kudaiwa kuwa wamekua wakificha masuala hayo. Kwa wakati wote kadinali Pell amekanusha kuhusika na matukio yote , kwa sasa yupo katika mapumziko marefu wakati wote wa kesi hii ikiendelea. https://www.instagram.com/p/BuWCp9BgXjX/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=9nc6slvvbdwf
0 notes
enockmaregesi · 6 years ago
Photo
Tumblr media
CERN, makao makuu ya shirika la utafiti wa nyuklia la bara la Ulaya karibu na Geneva nchini Uswisi, Kiongozi wa Kanda ya Afrika ya Kusini ya Tume ya Dunia Kamishna Profesa Justin Mafuru wa Tanzania alipokuwa akifanya kazi, katika jitihada za kujibu maswali mazito ya mwanzo wa ulimwengu wetu kwa kutengeneza mazingira ya mwanzo kabisa ya mlipuko wa ‘Big Bang’. - Kiongozi wa kanda ya Afrika ya Kusini ya Tume ya Dunia Kamishna Profesa Justin Mafuru alijitolea maisha yake kufanya vitu viwili vya msingi kwa ajili ya dunia: Kukomesha madawa haramu ya kulevya nchini Tanzania na duniani kwa jumla, kupitia Tume ya Dunia, na kutafuta kupitia maabara za CERN (‘Conseil Européen pour la Recherche Nucléaire’) chembe ndogo ya ‘Higgs boson’ (‘bosoni’) inayosemekana kuhusika na uzito (‘mass’) wa chembe ndogo 16 za atomu kasoro chembe ya mwanga, iliyopotea mara tu baada ya mlipuko wa ulimwengu wa ‘Big Bang’, miaka bilioni 13.75 iliyopita, kwa faida ya uanadamu. Mimi na wewe na vitu vyote ulimwenguni ni wazito kwa sababu ya chembe ya bosoni, ambayo haionekani, inayojulikana kama ‘The God Particle’. - Wanasayansi wa CERN wamekuwa wakiitafuta bosoni (iliyojificha ndani ya ‘Higgs field’ ya ulimwengu mzima) kwa zaidi ya miaka 50 sasa, kwa bajeti ya pauni za Uingereza bilioni 6. Chembe ya bosoni ikipatikana itawajulisha wanasayansi jinsi ulimwengu unavyofanya kazi na jinsi ulivyoumbwa, na jibu la kitendawili cha ‘Standard Model’ (litakalotoa jibu kama kweli Mungu yupo au hayupo) litapatikana. Ndani ya sekunde moja baada ya ulimwengu wetu kuumbwa, miaka bilioni 13.7 iliyopita, chembe zote ndogo zinazopatikana ndani ya atomu zilitengenezwa. Zote hizo zimeshapatikana isipokuwa bosoni, na bosoni ndiyo ya muhimu kuliko zote. - -Enock Maregesi, mwandishi wa Kolonia Santita #cern #bigbang #higsboson #thegodparticle #standardmodel https://www.instagram.com/p/Bw9vmjNBFy3/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=s7vfp5waklg6
0 notes
mchakatoblog · 7 years ago
Text
Serikali imelaani mwanamke kujifungua nje ya Kituo cha polisi,Uchunguzi kuanza Mara moja
Tumblr media
#KutokaBungeni
Serikali imelaani kitendo kilichotokea mang’ula wilayani kilombero cha mwanamke aliyejulikana ka jina la Amina Mapunda kujifungua nje ya Kituo cha polisi alipokua akishikiliwa Na kusema uchunguzi wa tukio hilo umeshaanza Na watakaobainika kuhusika watachukuliwa hatua za kisheria.
Naibu waziri wa mambo ya ndani Injinia Hamad Masauni ametoa taarifa hiyo bungeni wakati akujibu…
View On WordPress
0 notes
kzoneupdate · 5 years ago
Photo
Tumblr media
Je, Watumiaji wa Google Chrome wanaweza kupata malipo ya $5,000? Google Chrome ni moja ya browsers maarufu zaidi duniani, na kama umeitumia basi unawezekana kupata malipo ya $5,000. Google imeshtakiwa na kutakiwa kulipa dola bilioni tano, kufuatia madai ya kukusanya taarifa kinyume na sheria wakati watumiaji wake wakiitumia kutafuta vitu mbalimbali. Chanzo cha yote haya ni pale Google ilipotangaza kutumia Incognito Mode, ambayo inaruhusu watumiaji kuingia kwenye tovuti kwa faragha na kusema wakati wakitumia Incognito Mode, Google haitahifadhi browsing history, cookies, data za tovuti na data zinazoingizwa kwenye forms. Wanasheria kutoka kampuni ya Boies Schiller Flexner wamedai kwamba Google inakusanya taarifa hata kama watumiaji wanafuata mapendekezo yao ili kuzia kufuatiliwa au kukusanya taarifa zao binafsi na mawasiliano. Google imepinga madai hayo na kusema itajitetea. Msemaji wa Google amesema Incognito mode kwenye Chrome inampa mtu chaguo la kutafuta vitu kwenye internet bila ya shughuli zako kuhifadhiwa kwenye browser au kifaa chako. Kama Google italazimika kulipa, watumiaji wengi wa Google Chrome wanaweza kuhusika kwenye malipo hayo. Na ili uwe halali kuweza kulipwa ni lazima uwe umeanza kutumia Google’s Incognito Mode tangu June 1, 2016 https://www.instagram.com/p/CBawzyoATeU/?igshid=obw7hr79a09q
0 notes