ccmnatta-blog
Untitled
15 posts
Don't wanna be here? Send us removal request.
ccmnatta-blog · 6 years ago
Photo
Tumblr media
Usikose, https://www.instagram.com/p/By1paDfhZ4c/?igshid=3nkxk9pnmsjs
0 notes
ccmnatta-blog · 6 years ago
Photo
Tumblr media
UPOKEAJI WA MWENGE WA UHURU SHULE YA SEKONDARY MAKUNDUSI. . Maandalizi ya Upokeaji wa Mwenge Wa Uhuru yakiendea . .ILANI INATEKELEZWA.. https://www.instagram.com/p/ByUkQKJhaIC/?igshid=4mc7peh2aatk
0 notes
ccmnatta-blog · 6 years ago
Photo
Tumblr media
UPOKEAJI WA MWENGE WA UHURU SHULE YA SEKONDARY MAKUNDUSI. . Maandalizi ya Upokeaji wa Mwenge Wa Uhuru yakiendea . .ILANI INATEKELEZWA.. https://www.instagram.com/p/ByUkIj-hFmt/?igshid=1c4g932kwmfx4
0 notes
ccmnatta-blog · 6 years ago
Photo
Tumblr media
UPOKEAJI WA MWENGE WA UHURU SHULE YA SEKONDARY MAKUNDUSI. . Maandalizi ya Upokeaji wa Mwenge Wa Uhuru yakiendelea. . .ILANI INATEKELEZWA.. https://www.instagram.com/p/ByUj_W5BRDU/?igshid=10hm8kpr4fca
0 notes
ccmnatta-blog · 6 years ago
Photo
Tumblr media
UPOKEAJI WA MWENGE WA UHURU SHULE YA SEKONDARY MAKUNDUSI. . Maandalizi ya Upokeaji wa Mwenge Wa Uhuru yakiendea . .ILANI INATEKELEZWA.. https://www.instagram.com/p/ByUjnMohI9n/?igshid=ahihm6o5r0be
0 notes
ccmnatta-blog · 6 years ago
Photo
Tumblr media
UJENZI WA NYUMBA YA WALIMU NATTA Serikali imewezesha maendeleo mazuri ya ujenzi wa nyumba ya makazi ya "six in 0ne" Katika shule ya secondary natta. Pongezi kwa kamati ya ujenzi inayoongozwa na mkuu wa shule Natta secondary,Ambaye ni mwenyekiti wa kamati hiyo, Ndg.M.Kajeri,Katibu ni Mwl.Mtika,Wajumbe ni madam Grace,Mwl.Steven shedrack,Zachariah chitena Na wote wanaoendelea kuhusika kwa namna moja ama nyingine,Kwa kujitoa na kujituma kwao. Ilani ya chama inatekelezwa. #CCM_NUMBER_1 https://www.instagram.com/p/ByQtHQxBr5K/?igshid=1pr2av66w7h8t
0 notes
ccmnatta-blog · 6 years ago
Photo
Tumblr media
KUTOKA ,HIFADHI ZA TAIFA TANZANIA. SERENGETI YA KWANZA KWA UBORA AFRICA. Kwa Mara nyingine tena, Hifadhi ya Serengeti imetangazwa kuwa hifadhi bora Africa. Kutokana na uongozi bora na mahili wa viongozi wanaoibeba Wilaya Serengeti imepelekea kunyakua ushindi huo WA nguvu. Pia,Mahusiano na uwajibika mzuri. Miongoni mwa maeneo yanayoizunguka hifadhi ya Serengeti ni Kata ya Natta na Vijiji Vyake. Hongera kwa uongozi Mzuri Waziri wa maliasili na utalii mhe. Dr.Hamisi Kingwangalla Mkuu wa mkoa wa Mara-Mhe.Malima Mbunge wa Wilaya ya Serengeti-Mhe Marwa Ryoba Mkuu Wa wilaya ya Serengeti-Mhe.Nurdin Babu Mkurungezi wa Wilaya ya Serengeti-Mhe.Juma Hamsini M/Kit wa Halmashauri na Diwani wa Kata ya Natta-Mhe.Juma Porini Pia viongozi,Wananchi wanaoizunguka hifadhi,wawekezaji na wadau wengine. Tunatambua Mchango wenu na jitahada zenu katika Hili. #MAKE_SERENGETI_GREAT #ILANI_BORA_ZA _CCM https://www.instagram.com/p/ByNsbJ_hJZA/?igshid=1c6c33c9opk5c
0 notes
ccmnatta-blog · 6 years ago
Photo
Tumblr media
TUJIKUMBUSHE: Raisi Anaetetea Wanyonge,Raisi anekitetea na kukilinda Chama chake Pendwa Kabisa,CCM PICHANI: Wananchi na wakazi wa Kata ya Natta wakishangilia na kufurahia ujio Wa Mhe.Raisi Katika kata ya Natta,Ilikuwa ni moja ya siku ya kupendeza na kutosahaulika katika Mioyo ya Jamii Nzima Ya Natta. #CCM_MOJA_NGUVU_MOJA_NCHI_MOJA_RAISI_MMOJA! (at Mugumu, Mara, Tanzania) https://www.instagram.com/p/ByDheHzB8ip/?igshid=7oiv5ejig8wf
0 notes
ccmnatta-blog · 6 years ago
Photo
Tumblr media
TUJIKUMBUSHE: Kikundi bora Cha ngoma za asili kutoka Kata ya Natta, Kikitoa burudani safi Kwa wakazi Natta,Katika kusubiri Ujio Wa Mh.Raisi. #CCM_MOJA_NGUVU_MOJA_NCHI_MOJA_RAISI_MMOJA! (at Mugumu, Mara, Tanzania) https://www.instagram.com/p/ByDgJ-NhgL4/?igshid=1vaue403z3hxu
0 notes
ccmnatta-blog · 6 years ago
Photo
Tumblr media
TUJIKUMBUSHE: Mnamo Tarehe 6.9.2018,Mheshiwa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,Na Mwenyekiti wa Chama cha mapinduziCCM) Taifa Mh,Dr.John Pombe Magufuli Alifanya ziara ya kikazi katika mkoa wa Mara,wilaya ya serengeti na kufika katika Kata Natta. PICHANI: Katibu mwenezi & Itikadi kata Ndg.Kakarase Makuru,Pamoja na kamati ya siasa wakiwa tayari kupokea ujio wa Mh.Raisi. #CCM_MPYA_NGUVU_MOJA #TUPO_KAZINI. (at Tanzania) https://www.instagram.com/p/ByDfCq4B2x6/?igshid=84jptvel59ri
0 notes
ccmnatta-blog · 6 years ago
Photo
Tumblr media
NUKUU: Hayati Mwalimu Julius K.Nyerere alisema "Hakuna Muda wa kupoteza,Lazima Tukubali kuungana Leo au kupotea" Lugha Moja,Taifa Moja,Baba Mmoja,Karibu Chama Cha mapinduzi(CCM) Kujenga na kuliendeleza Taifa,Liliondolewa Utumwani Kwa Nguvu Na jitihada Za chama Tawala.(CCM) (at Mugumu, Mara, Tanzania) https://www.instagram.com/p/ByDevI-hjUt/?igshid=1lscrg8vk8s5h
0 notes
ccmnatta-blog · 6 years ago
Photo
Tumblr media
Now! get in touch with Us through the following social media accounts... (at Tanzania) https://www.instagram.com/p/BxGATogjh9f/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=12n51tqrdqkh6
0 notes
ccmnatta-blog · 6 years ago
Photo
Tumblr media Tumblr media Tumblr media Tumblr media Tumblr media Tumblr media Tumblr media
Construction of new office under progress for 
0 notes
ccmnatta-blog · 6 years ago
Photo
Tumblr media Tumblr media
UV-CCM
0 notes
ccmnatta-blog · 6 years ago
Photo
Tumblr media
Welcome to official blog of  political party from Mara-Serengeti,Natta Ward
1 note · View note