#make_serengeti_great
Explore tagged Tumblr posts
ccmnatta-blog · 6 years ago
Photo
Tumblr media
KUTOKA ,HIFADHI ZA TAIFA TANZANIA. SERENGETI YA KWANZA KWA UBORA AFRICA. Kwa Mara nyingine tena, Hifadhi ya Serengeti imetangazwa kuwa hifadhi bora Africa. Kutokana na uongozi bora na mahili wa viongozi wanaoibeba Wilaya Serengeti imepelekea kunyakua ushindi huo WA nguvu. Pia,Mahusiano na uwajibika mzuri. Miongoni mwa maeneo yanayoizunguka hifadhi ya Serengeti ni Kata ya Natta na Vijiji Vyake. Hongera kwa uongozi Mzuri Waziri wa maliasili na utalii mhe. Dr.Hamisi Kingwangalla Mkuu wa mkoa wa Mara-Mhe.Malima Mbunge wa Wilaya ya Serengeti-Mhe Marwa Ryoba Mkuu Wa wilaya ya Serengeti-Mhe.Nurdin Babu Mkurungezi wa Wilaya ya Serengeti-Mhe.Juma Hamsini M/Kit wa Halmashauri na Diwani wa Kata ya Natta-Mhe.Juma Porini Pia viongozi,Wananchi wanaoizunguka hifadhi,wawekezaji na wadau wengine. Tunatambua Mchango wenu na jitahada zenu katika Hili. #MAKE_SERENGETI_GREAT #ILANI_BORA_ZA _CCM https://www.instagram.com/p/ByNsbJ_hJZA/?igshid=1c6c33c9opk5c
0 notes