#ufisadi
Explore tagged Tumblr posts
frontlinetv · 2 months ago
Text
Tumblr media
Baltasar Ebang Engonga, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Upelelezi wa Fedha la Taifa la Guinea ya Ikweta (ANIF), amejikuta katikati ya skendo kubwa baada ya mamlaka za sheria kugundua mamia ya video zinazodaiwa kumwonyesha katika hali ya aibu.
Video hizo zinadaiwa kuhusisha watu mashuhuri, wakiwemo mke wa kaka yake, binamu yake, na dada wa Rais wa Guinea ya Ikweta. Kashfa hiyo ilifichuka wakati wa uchunguzi wa udanganyifu ambapo waendesha mashtaka walipata zaidi ya video 300 kwenye kompyuta ya Ebang Engonga, zikionesha matukio yake na wanawake kadhaa, wakiwemo walioko kwenye ndoa.
Inasemekana video hizo, ambazo zilinaswa ofisini kwake, zilirekodiwa kwa idhini ya wahusika na sasa zimevuja mtandaoni, zikisababisha gumzo kubwa kwenye vyombo vya habari.
Makamu wa Rais wa Guinea ya Ikweta, Teodoro Nguema, alitoa tamko kupitia akaunti yake ya X (zamani Twitter), akilaani vitendo visivyofaa ndani ya ofisi za serikali. Alisisitiza kuwa mahusiano ya kimapenzi yamepigwa marufuku katika maeneo ya utawala na akaonya kuhusu hatua za kinidhamu kwa watakaokiuka sheria hiyo.
"Kufuatia unyanyasaji ambao umeonekana kwenye mitandao ya kijamii nchini Guinea ya Ikweta katika siku za hivi karibuni, na kwa kukumbusha kwamba wizara zipo kwa ajili ya kazi za utawala kusaidia maendeleo ya nchi, mahusiano ya kimapenzi katika ofisi yamepigwa marufuku,” alisema Nguema. “Hatua za udhibiti tayari zipo, na yeyote atakayevunja sheria hii tena atachukuliwa hatua za kinidhamu na kufutwa kazi.”
Baltasar Ebang Engonga ni Nani?
Baltasar Ebang Engonga ni Mkurugenzi Mkuu wa ANIF, shirika la kitaifa la upelelezi wa fedha nchini Guinea ya Ikweta. Kazi yake ni kusimamia uchunguzi wa masuala ya kifedha na kudhibiti shughuli zinazolenga kupambana na ufisadi wa kifedha nchini. Engonga ameoa na ana watoto sita, na ameshikilia nafasi muhimu katika shirika hilo lenye ushawishi mkubwa kwenye uwazi na uwajibikaji wa kifedha wa taifa.
#frontlinetv
#frontvibes
0 notes
rwizakakiza · 2 months ago
Text
Somo: TABIA 25 ZA KUEPUKA NA HATARISHI KWENYE MAISHA YAKO. (Part 13: MA...
youtube
Somo: TABIA 25 ZA KUEPUKA NA HATARISHI KWENYE MAISHA YAKO.
---------------------------------------------------
SUBSCRIBE (Tumaini Jipya Duniani Tv)
Https://youtube.com/@rwizakakiza?si=ewqb8Z8S1aeDwoRB
Sehemu: XIII.
----------------------
3. 6. 1. MATOKEO /DALILI /VIASHIRIA VYA UFISADI.
(a). "HONGO - FUNGUS"
Hongo ni kitendo cha kuahidi /kutoa, /kupokea, / kukubali kupokea pesa au kitu kingine cha thamani kwa lengo la kifisadi la kushawishi mtu au umma katika kutekeleza majukumu yake rasmi.
Hongo kwa ujumla hufafanuliwa kama maombi ya ufisadi, kukubalika au kuhamisha thamani ili kuchukua hatua rasmi
Hongo ni uhalifu wa kumpa mtu pesa au kitu kingine cha thamani, kinyume cha sheria, ili kumshawishi mtu huyo kufanya kitu unachotaka
Hongo ni kutoa au kukubali zawadi yoyote, mkopo, malipo, zawadi au manufaa kwa manufaa ya kibinafsi . Ni kutia moyo kufanya jambo ambalo si la uaminifu, kinyume cha sheria au uvunjaji wa uaminifu.
.....Atamaniye faida huifadhaisha nyumba yake mwenyewe; Bali achukiaye zawadi ataishi.
.....Mithali 15:27....
Mifano ya hongo:
.....Kulipa vishawishi vya maafisa wa umma ili kupata kandarasi, kupewa leseni au kukwepa usalama au udhibiti wa kupanga . Kufanya malipo madogo madogo yasiyo na vibali kwa maafisa wa forodha ili kuharakisha upitishaji wa bidhaa yako.
(b). "RUSHWA - BRIBERY"
Rushwa ni kitendo cha kumpa mtu mwingine kitu cha thamani, hasa pesa, badala ya kitu ambacho kitakuwa cha manufaa kwa mtoaji. Rushwa ni matumizi mabaya ya mamlaka uliyokabidhiwa kwa manufaa yako binafsi.
.....Usipokee RUSHWA; kwani hiyo rushwa HUWAPOFUSHA macho hao waonao, na kuyapotoa maneno ya wenye haki.
....Kutoka 23:8...
Rushwa inahusisha kutoa pesa, zawadi, mali isiyohamishika, upandishaji vyeo, ​​marupurupu ya mfanyakazi, hisa za kampuni, ajira kwa njia zisizo haki.
(c). "UBADHIRIFU - EMBEZZLEMENT"
Ubadhirifu ni hali au tabia ya kutumia fedha, raslimali, au mamlaka vibaya au kwa njia isiyo ya haki. Ni Matumizi mabaya ya mali ya umma au ya kampuni kwa manufaa binafsi au yasiyo ya haki.
......Kwa maana WATAWALAO hawatishi watu kwa sababu ya matendo mema, bali kwa sababu ya MATENDO MABAYA. Basi, wataka usimwogope mwenye mamlaka? Fanya mema, nawe utapata sifa kwake;
......Rumi 13:3....
(d). "UTAPELI /ULAGHAI - FRAUD"
Utapeli ni vitendo vya kihalifu vinavyoweza kutumiwa kulaghai mtu atoe pesa au taarifa za siri.
......MUNGU anasema, "Ewe mwenye kujaa hila (utapeli) na uovu wote, mwana wa Ibilisi, adui wa haki yote, huachi KUZIPOTOA njia za BWANA zilizonyoka? Basi, angalia, mkono wa Bwana u juu yako, nawe utakuwa kipofu, usilione jua kwa muda. Mara kiwi kikamwangukia na giza, akazunguka-zunguka na kumtafuta mtu wa kumshika mkono na kumwongoza.
.....Mdo 13:10 - 11....
Ulaghai unaweza kutokea kwa njia mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kupitia programu za mahusiano mtandaoni, barua pepe, tovuti za mitandao ya kijamii, simu, SMS na hata barua za kawaida au nyaraka zingine.
(e). "UNYANG'ANYI - EXTORTION"
Unyang'anyi ni uporaji au matumizi mabaya ya nguvu halisi au kutishiwa, vurugu, au vitisho kupata pesa au mali kutoka kwa mtu binafsi au shirika.
.....BWANA MUNGU asema hivi; "iwatoshe ninyi, enyi wakuu; ondoeni dhuluma na UNYANG'ANYI; fanyeni hukumu na haki; ondoeni KUTOZA kwa NGUVU kwenu katika watu wangu, asema BWANA MUNGU.
.....Ezekieli 45:9....
.....Msiitumainie dhuluma, Wala MSIJIVUNE kwa UNYANG'ANYI; Mali izidipo msiiangalie sana moyoni.
.....Zaburi 62:10.....
Ufisadi ni tabia mbaya sana ya kuepukana nayo, ikimbie maana itakuangamiza, ingawa utaona kama unafanikiwa, usidang'anyike acha ufisadi.
.....Na kwa mashauri yake ATAFANIKISHA HILA mkononi mwake; naye ATAJITUKUZA nafsi yake moyoni mwake; naye ATAWAANGAMIZA wengi katika hali yao ya salama; naye atasimama kushindana naye aliye Mkuu wa wakuu; lakini ATAVUNJIKA, bila kazi ya mikono.
....Danieli 8:25....
3. 7. TABIA YA 7: "UCHAWI - WITCHCRAFT"
......Tutaendelea......
________________________________
Rejea
"And through his shrewdness He will cause deceit to succeed by his hand (influence); He will magnify himself in his mind, He will corrupt and destroy many who enjoy a false sense of security. He will also stand up and oppose the PRINCE of princes, But he will be BROKEN , and that by no human hand [but by the hand of GOD]".
....Daniel 8:25....
________________________________
For help:
Ev. Erasmus Pascrates Kakiza
+255 782 546 914
+255 764 215 291
@2024 The year of my shining.
0 notes
mwanagenzi · 4 months ago
Text
Kenya Imeshazaliwa
Ni miaka na mikaka, twasubiri twangojeya, Yaja yaenda marika, pasi na kushuhudiya, Si haba yametendeka, mengi tumevumiliya, Kenya ameshazaliwa, Kamtafuteni yaya! Nendeni bara na pwani, yaya kumtafutiya, Mkipata chagueni, kazi mkampatiya, Amlee kwa makini, kwa kuzifata sheriya, Kenya ameshazaliwa, Kamtafuteni yaya! Yaya takayefaidi, Chakula asemliya, Asependa ufisadi, na kijicho kumwoneya, Apende…
0 notes
thedailywhistle · 11 months ago
Text
Aliyekuwa Waziri wa Fedha Henry Rotich ateuliwa mshauri wa Rais
Rais William Ruto amemteua aliyekuwa Waziri wa Fedha Henry Rotich kuwa mshauri mkuu wa masuala ya pesa za umma na bajeti katika afisi yake. Rotich alihudumu kama Waziri wa Fedha katika serikali ya Rais Uhuru Kenyatta kuanzia mwaka 2013. Mwezi Julai, 2019, Rotich na katibu katika Wizara ya Fedha wakati huo Dkt. Kamau Thuge walisimamishwa kazi kwa tuhuma za ufisadi. Aliondolewa kwenye wadhifa…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
atasafarishop · 1 year ago
Text
A diary note, 17 Aug 2023, Bandari 2023 ATA.📘
Date: 17 Aug 2023
Subject: Bandari 2023 ATA.📘
Naleta hoja wanjani, tujadili hadharani,
Wenyeji pia wageni, sogeeni barazani,
Nilna swali akilini, hebu kaeni vitini,
Wangapi wanakubali, Mkataba wa bandari,
Nazikaribisha hoja, vipengele vyenye Tija,
Ongea kila mmoja, woga usije kungoja,
Swali langu nilimoja, Jibu nataka ni moja,
Wangapi wanakubali, Mkataba wa bandari,
Pitieni vipengele, na pungezeni kelele,
Uzalendo uwe mbele, Ufisadi ukalale,
Sehemu zenye vipele, funikeni bila gele,
Wangapi wanakubali, Mkataba wa bandari,
Wapo wanaofikiri, zimeshauzwa bandari,
Wapo wale wanakiri, Mkataba sio shwari,
Bandari za zanzibari, Zina agenda ya Siri,
Wangapi wanakubali, Mkataba wa bandari,
Jambo la uzanzibari, Na Tanganyika si shwari,
Tunatengwa na bandari, jambo hili ni hatari,
Chukueni taadhari, Viongozi Jemedari,
Wangapi wanakubali, Mkataba wa bandari,
Weka kura ya maoni, wananchi uwanjani,
Vitisho viondoeni. Kwa uhuru jadilini,
Sheria msivunjeni, Nyote heshimianeni,
Wangapi wanakubali. Mkataba wa bandari,
Hoja zote zijibiwe, Mshindi aheshimiwe,
Wananchi waelewe, Si makesi waekewe,
Hatutaki watishiwe, Haki zao wasipewe,
Wangapi wanakubali , Mkataba wa Bandari,
Ukomo wa mkataba, hili ni kati ya saba,
Limefichwa kwa kiroba, halina jibu la tiba,
Limekuwa kama mwiba, nili hata nikashiba,
Wangapi wanakubali, Mkataba wa bandari,
Zana ya maendeleo, Uchumi na pembejeo,
Uwekezaji wa leo, Naupa upendeleo
Usigeuke koleo, Ukoloni mamboleo
Wangapi wanakubali, Mkataba wa bandari
Serekali yetu njema , ngoja niseme na Mama,
Najua mama ni mama, akisema amesema,
Sikiza wanao mama, Sikiliza wakisema,
Wangapi wanakubali, Mkataba wa Bandari,
Kikao ninakifunga, ningali muda Nachunga,
Sipo hapa kuwapinga, nachohitaji ni mwanga,
Jibu lisilete janga, kwa wanzazi na watanga,
Wangapi wa akubali, Mkataba wa bandari..
---
Shared using https://www.writediary.com/getapp
0 notes
kataarushwatz · 6 years ago
Photo
Tumblr media
HABARI KUTOKA TANZANIA - RAIS MAGUFULI AAGIZA WANANCHI KUPAMBANA NA RUSHWA Akizungumza kutoka nyumbani kwake Ikulu Jijini Dar es Salaam,  Rais Magufuli amesema mwaka 2018 ulikuwa wa mafanikio makubwa kwa Watanzania na anatarajia kuwa mwaka 2019 utakuwa wa mafanikio zaidi kulingana na mipango ambayo nchi imejipangia kuitekeleza. Rais Magufuli amewataka watumishi wa umma, viongozi, wakulima, wafanyabiashara, wavuvi na wafugaji kuongeza juhudi za uzalishaji mali katika mwaka 2019 huku wakipiga vita rushwa, wizi, ufisadi, ubadhilifu na kwamba anaamini kuwa uchumi wa Tanzania utazidi kupanda katika mwaka 2019. #magufuli #daressalaam #2019 #2019goals #uchumi #uvuvi #ufugaji #biashara #umma #watumishi #ubadhilifu #wizi #ufisadi #tanzania #rushwa #unsdgs #goal16 #kataarushwatz #Tanzania#Tanzaniampya#kataarushwa#uzalendo https://www.instagram.com/p/BsHpvr7BGd0/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=wync3tmcqzrm
0 notes
magaratimes · 7 years ago
Photo
Tumblr media
#TRT: Viongozi kadhaa Ethiopia wakamatwa kwa kuhusika na ufisadi Siku ya Jumanne serikali ya Ethiopia ikiwakamata maafisa 34 wa ngazi za juuu katika sekta za umma kwa madai madai ya udanganyifu wa fedha za umma.
0 notes
jewajua1 · 7 years ago
Text
Kichekesho cha Mlevi na Mchungaji Kanisani
Waumini waliambiwa watoe michango ili wazungushie ukuta eneo la makaburi. Mchungaji akauliza kuna mtu ana swali? Mlevi akauliza “Je kuna Marehemu yoyote aliyewahi kutoroka? Kama hakuna, ukuta wa nini sasa? Au ndio ufisadi hadi kwenye makaburi…? Mchungaji kimyaaaaa!
……………………………………………………………………………
View On WordPress
0 notes
rachelsiwafan · 3 years ago
Photo
Tumblr media
Jikoni mtaani @rodiziorico_cov #samesame🤣🇹🇿🇬🇧 “Basi, nasema hivi: Mwenendo wenu na uongozwe na Roho, nanyi hamtafuata tena tamaa za kidunia. Maana, tamaa za kidunia hupingana na matakwa ya roho; na matakwa ya Roho hupingana na tamaa za kidunia. Mambo hayo mawili hayaafikiani; kwa sababu hiyo hamwezi kufanya yale mnayotaka nyinyi wenyewe. Kama mkiongozwa na Roho, basi, hamko tena chini ya sheria. Basi, matendo ya kidunia yanajulikana: Uzinzi, uasherati, ufisadi; kuabudu sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, choyo, mabishano, mafarakano; husuda, ulevi, ulafi na mambo mengine kama hayo. Nawaambieni tena kama nilivyokwisha sema: Watu wanaotenda mambo hayo hawataupata ufalme wa Mungu uwe wao. Lakini matokeo ya kuongozwa na Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, wema, fadhili, uaminifu, upole na kiasi. Hakuna sheria inayoweza kupinga mambo hayo. Wale walio na Kristo wameisulubisha hali yao ya kidunia pamoja na mawazo yake mabaya na tamaa zake. Tukiishi kwa msaada wa Roho, na tuufuate mwongozo wake. Basi, tusijivune, tusichokozane wala kuoneana wivu.” ‭‭Wagalatia‬ ‭5:16-26‬ ‭BHN‬‬ #PraisetheLord#WordofGod#wordoftheday#versesoftheday#bibleverses#biblestudy#qoutesoftheday#prayernetwork#dailyinspiration#beblessedShalom#anzanamiBwanaYesu#biblia#NenolaMungu#Nenolaleo#galatians5 #barikiwa🙏 #eastafrica#tanzania🇹🇿 #asubuhinjema#chai#Coventry🇬🇧#lifestyleblogger#vlogger #mswahili🇹🇿#rachelsiwa🙏🏽 ❤️ https://www.instagram.com/p/CWDUAUktgE4/?utm_medium=tumblr
0 notes
jqbenay · 3 years ago
Photo
Tumblr media
Director amekua @ykid_dario_official MAMLAKA/AUTHORITY Luke19:29-34 [29] Ikawa alipokaribia Bethfage na Bethania, kwenye mlima uitwao wa Mizeituni, alituma wawili katika wale wanafunzi, [30] akisema, Nendeni mpaka kijiji kile kinachowakabili, na mtakapoingia ndani mtaona mwana-punda, amefungwa, ambaye hajapandwa na mtu ye yote bado, mfungueni mkamlete hapa. [31] Na kama mtu akiwauliza, Mbona mnamfungua? Semeni hivi, Bwana anamhitaji. [32] Na wale waliotumwa wakaenda wakaona kama alivyowaambia. [33] Na walipokuwa wakimfungua mwana-punda, mwenyewe waliwaambia, Mbona mnamfungua mwana-punda? [34] Wakasema, Bwana ana haja naye. OBJECTIVES ·Leo hii waliotumwa ni Mimi na wewe, na aliye mwana punda ni Yule kondoo wa Mungu aliye katika kifungo_[ Uasherati, Uongo, Ugonjwa, Madeni, Kufifia Kiroho, Uzinifu, Ufisadi, Ulaghai, Ulanguzi wa madawa ya kulevya, Ushoga, Utumwa wa Uabudu sanamu, Uchoyo, Ubinafsi, Uuaji, giza] na anaye mfunga Ni Ibilisi/Shetani. ·Yesu anaonekana kuamrisha kwa mamlaka na kwa kuwa Ni mwenye Nguvu tunaona kibali kinapatikana, hivyo basi, Sisi aliotutuma lazima tuwe tunazo Nguvu za kupambana na vifungo vinavyofunga watu wa Mungu tunazo pewa na Bwana wetu Yesu Kristo (Jeremiah 1:10) na katika utendaji kazi aliyotupea hataweza kuruhusu madhara yatupate kamwe!(Luke 10:19) ·Ukweli ni kwamba kila mtu, aliitwa na kila mtu Ni Mtumishi wa Mungu, ila waliojitoa na kumkabidhi Yesu Kristo Maisha, Roho na Nafsi zao, ndio tuaowaona wakitumika kuwaleta walio wa Mungu karibu naye♥️ ·This was from ME to YOU, God bless you. @prophetjqb #prophetjqbministries .. ... .... ..... ...... ........ ......... #jqbenay #cwwkingdom #music #kenya #ministry #gospel #art #prophetjqbministries #business.#gainwithmchina#vscokenya#finessngara#likesforlikesback #gainwithmtaaraw #gainfollowers #gainwithpolasha #gainwithpaula #gaintrick #gainwithxtiandela #gainwithmugweru#gainwithbund #gainwithpozzie #chawuchaworldwide https://www.instagram.com/p/CR0lSP5hfLT/?utm_medium=tumblr
0 notes
rwizakakiza · 2 months ago
Text
Somo: TABIA 25 ZA KUEPUKA NA HATARISHI KWENYE MAISHA YAKO.(Part 12: UFI...
youtube
Somo: TABIA 25 ZA KUEPUKA NA HATARISHI KWENYE MAISHA YAKO.
---------------------------------------------------
SUBSCRIBE (Tumaini Jipya Duniani Tv)
Https://youtube.com/@rwizakakiza?si=ewqb8Z8S1aeDwoRB
Sehemu: XII.
----------------------
3. 6. TABIA YA 6: "UFISADI - CORRUPTION"
Ufisadi ni upotoshaji au utumiaji mbaya wa mchakato au mwingiliano na mtu mmoja au zaidi kwa madhumuni ya kupata faida fulani kama vile upendeleo maalum au malipo badala ya kuridhika na unachokipata .
.....Watu wengi watafuata UFISADI wao; na kwa hao NJIA ya KWELI itatukanwa.
......2Petro 2:2....
......Mafisadi wakinena maneno makuu mno ya kiburi, kwa tamaa za mwili na kwa ufisadi HUWAHADAA (Kuwadang'anya) watu walioanza kuwakimbia wale wanaoenenda katika udanganyifu; WAKIWAAHIDIA UHURU (Wanaahidi vitu ambavyo hawezi kuvifanya), nao wenyewe ni watumwa wa uharibifu, maana mtu akishindwa na mtu huwa mtumwa wa mtu yule.
.....2Petro 2:18-19.....
Kwenye tabia hii ya ufisadi, Waovu (Wafisadi) ndio wanaopewa kipaombele kwa kila jambo, maana wamewamiliki watu wengi, nao hao watu wamefanywa mateka na Wafuasi wao na hawana namna ya kujinasua, wamebaki kusema hakuna mkamilifu,... Hakuna anayeweza kuishi bila hongo,.... Maisha ndio haya.... na kadhalika, mpaka kufikia kiwango cha kusifia ufisadi.
.....Wasio haki hutembea pande zote, UFISADI UKITUKUKA (Ukiaifiwa) kati ya wanadamu.
.....Zaburi 12:8....
Ufisadi ni tabia yoyote ya kukosa uaminifu kwako, kwa MUNGU na kwa wengine. Tabia ya ufisadi inaondoa kabisa uaminifu na kuleta maangamizi ndani ya mtu, na mtu anaanza kuishi kwa utashi wa uovu kama enzi za Sodoma na Gomora na mwisho ni Uharibifu na Maangamizi. Lutu aliokoka kwa sababu ALICHUKIA UFISADI, Je wewe unauchukia?
.....MUNGU akamwokoa Lutu, yule mwenye HAKI ALIYEHUZUNISHWA sana na MWENENDO wa UFISADI wa hao wahalifu; maana mtu huyu mwenye haki akikaa kati yao, kwa kuona na kusikia, ALIJITESA ROHO YAKE yenye haki, siku baada ya siku, kwa MATENDO YAO yasiyo na sheria.
.....2Petro 2:7-8.....
Ufisadi ni ulaghai ambapo mtu hutumia nafasi yake ya madaraka kujinufaisha kwa kuwadhuru wengine. Na tabia hii ulaghai inapokuwa imokamaa na kuzaa ufisadi, mtu hujihisi yuko sawa na kujiaminisha kwamba hakuna MUNGU, na hivyo hakuna wa kumuhukumu.
......Mpumbavu amesema moyoni, "Hakuna MUNGU"; Wametenda UOVU wa UFISADI na kuchukiza, Hakuna atendaye mema.
......Zaburi 53:1.....
Matokeo ya kutenda ufisadi kwa muda mrefu bila kubadilika ni kumkana MUNGU, yaani Fisadi anajivika nafasi kwamba anauwezo wa kutoa hukumu atakavyo, na hivyo huzidi kutenda uovu zaidi.
......Ambao wakiisha kufa ganzi wanajitia katika mambo ya UFISADI wapate kufanyiza kila namna ya uchafu kwa KUTAMANI (kwa matakwa yao).
.....Efeso 4:19....
Mtu mwenye tabia ya ufisadi ni mateka wa shetani na mtumishi wa shetani, ingawa yeye mwenyewe hataki kukubali kwamba ni mateka. Ni mateka kwa sababu ufisadi anaona ndio mafanikio yake akiuacha atafirisika na Kuishi maisha magumu, kwa namna hii ni mateka wa shetani (Yaani huwezi kuishi bila rushwa - kutoa au kupokea rushwa ingawa wengine wanaita ZAWADI).
......Haya yote yaliyo maovu yatoka ndani ya mtu, nayo yamtia mtu unajisi.
......Marko 7:23....
Matendo ya Ufisadi ni kutoa, kupokea au kuomba, moja kwa moja au kwa njia isiyo ya moja kwa moja, kitu chochote cha thamani ili kuathiri isivyofaa vitendo vya mhusika mwingine.
Zingatia
....RUSHWA inahusisha kutoa au kupokea kitu cha thamani ili kushawishi matendo au maamuzi ya mtu, mara nyingi kinyume cha sheria au viwango vya maadili. UFISADI unahusisha kutumia mamlaka kwa manufaa ya kibinafsi, mara nyingi kwa njia zisizo halali au zisizo za kimaadili.
Acha ufisadi, MUNGU anakuvumilia lakini ufisadi anamchosha na ataweka wazi kila kitu.
....Na sasa nitaifunua aibu yake mbele ya macho ya wapenzi wake, wala hapana mtu atakayemwokoa katika mkono wangu.
.....Hosea 2:10.....
3. 6. 1. DALILI /VIASHIRIA VYA UFISADI.
......Tutaendelea......
________________________________
Rejea
"And they, [the ungodly in their spiritual apathy], having become callous and unfeeling, have given themselves over [as prey] to unbridled sensuality, eagerly craving the practice of every kind of impurity [that their desires may demand]"
....Ephesians 4:19....
________________________________
For help:
Ev. Erasmus Pascrates Kakiza
+255 782 546 914
+255 764 215 291
@2024 The year of my shining.
1 note · View note
mwanagenzi · 1 year ago
Text
Maovu Hayatoisha
Leo kero yakithiri, kesho adha yatwandama, Wa mautini ni kheri, melimatia neema, Nijaponena nighuri, ikanifate lawama, Maovu hayatoisha, weusini tupevuke. Polisi watunyanyase, waso hatia kuwawa, Mabazazi watutese, wafawidhi watendewa, Wazalendo uwakose, kiwapata majaliwa, Maovu hayatoisha, weusini tupevuke. Ufisadi ndio mwito, wakuu wapatilize, Mrungura ndio pato, huduma wazitimize, Huyafuata…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
mteulethebest · 4 years ago
Text
Korti kuu ya Korea Kusini Yamuunga Mkono Kiongozi wa zamani Park Geun-hye kifungo cha miaka 20 Jela
Mahakama ya juu ya Korea Kusini leo imethibitisha adhabu ya kifungo cha miaka 20 jela kwa Rais wa zamani wa Nchi hiyo Park Geun Hye(68). Mahakama hiyo imesema inakataa rufaa iliyowasilishwa na Waendesha mashitaka dhidi ya muda uliopunguzwa wa adhabu ya kifungo gerezani iliyotolewa Julai 2020. Park anashitakiwa kwa makosa ya ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka pamoja na hongo katika mashitaka…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
babadupdates · 4 years ago
Photo
Tumblr media
HAKUNA KIONGOZI ZAIDI YA MAGUFULI - MAJALIWA MJUMBE wa Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM amesema kati ya wagombea urais waliojitokeza, hakuna kiongozi zaidi ya Dkt. John Pombe Magufuli. “Nimekuja kuomba kura kwa ajili ya mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi ili apate miaka mitano mingine kwa sababu hakuna kiongozi bora kati ya wote waliojitokeza zaidi ya Dkt. John Pombe Magufuli,” amesema. “Wanaokuja kuomba uongozi ni wengi lakini hakuna chama chenye benki ya viongozi kama CCM. Hakikisheni mnatupatia viongozi wa CCM ili waweze kufanya kazi pamoja na kwa kuelewana.” Ametoa kauli hiyo leo (Jumamosi, Septemba 19, 2020) wakati akizungumza kwa nyakati tofauti na wakazi wa kijiji cha Butiama, wilayani Butiama, kata za Nyamuswa na Mugeta wilayani Bunda, akiwa njiani kuelekea Mugumu, Serengeti, mkoani Mara. Ametumia mikutano hiyo kumuombea kura mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe Magufuli, mgombea ubunge wa jimbo la Bunda, Bw. Boniface Chacha Getere, wagombea udiwani wa wilaya zote mbili za Butiama na Bunda. Mgombea ubunge wa jimbo la Butiama, Bw. Jumanne Sagini amepita bila kupingwa. Amesema uongozi ni lazima utengeneze timu inayofahamiana na inayozungumza lugha moja. “Chama cha Mapinduzi kimeleta viongozi watatu safi. Kwa hiyo ukienda kupiga kura chagua hao watatu ambao ni mgombea urais, ubunge na udiwani.” “CCM inaleta tochi inayowaka na kumulika maeneo ya kuleta maendeleo. Ili iwake na kuleta hayo maendeleo, naomba usichanganye betri kwa kuweka gunzi hapo katikati. Je, ukiweka gunzi, hiyo tochi itawaka na kumulikia maendeleo?”, alihoji na kujibiwa hapana. Mapema leo, Mheshimiwa Majaliwa alipita nyumbani kwa Baba wa Taifa katika kijiji cha Mwitongo na kumjulia hali Mama Maria Nyerere. Wakati huohuo, Mheshimiwa Majaliwa amewahakikishia wananchi hao kuwa Serikali ya awamu ya tano inajali matumizi ya fedha za umma na kwamba haina mchezo na wanaobainika kutumia vibaya fedha hizo. "Fedha za umma zinazoletwa kwenye miradi ya maendeleo siyo za kugusa. Hakuna ufisadi, hakuna kula rushwa na watumishi wa umma wanajua kwamba ukizigusa tu, unaunguzwa mikono," amesema. (at Kimamytvonline) https://www.instagram.com/p/CFU9upOAYJa/?igshid=18hvge4de5eap
0 notes
kataarushwatz · 6 years ago
Photo
Tumblr media
HABARI KUTOKA TANZANIA - RAIS NAGUFULI AAGIZA WANANCHI KUPAMBANA NA RUSHWA Akizungumza kutoka nyumbani kwake Ikulu Jijini Dar es Salaam,  Rais Magufuli amesema mwaka 2018 ulikuwa wa mafanikio makubwa kwa Watanzania na anatarajia kuwa mwaka 2019 utakuwa wa mafanikio zaidi kulingana na mipango ambayo nchi imejipangia kuitekeleza. Rais Magufuli amewataka watumishi wa umma, viongozi, wakulima, wafanyabiashara, wavuvi na wafugaji kuongeza juhudi za uzalishaji mali katika mwaka 2019 huku wakipiga vita rushwa, wizi, ufisadi, ubadhilifu na kwamba anaamini kuwa uchumi wa Tanzania utazidi kupanda katika mwaka 2019. #magufuli #daressalaam #2019 #2019goals #uchumi #uvuvi #ufugaji #biashara #umma #watumishi #ubadhilifu #wizi #ufisadi #tanzania #rushwa #unsdgs #goal16 #kataarushwatz #Tanzania#Tanzaniampya#kataarushwa#uzalendo https://www.instagram.com/p/BsHpvr7BGd0/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=1ri2pswyw0s4q
0 notes
magaratimes · 7 years ago
Text
#VOA: Kutokomeza ufisadi ajenda kuu ya uchaguzi Kenya
#VOA: Kutokomeza ufisadi ajenda kuu ya uchaguzi Kenya
[ad_1]
Tumblr media
Katika ilani yake ya uchaguzi, chama cha Jubilee kimeeleza bayana kuwa ina mikakati madhubuti ya kupambana na ufisadi nchini Kenya. Suala hili litapewa kipaumbele katika serikali yao.
Wakti ambapo muungano wa upinzani wa NASA umeahidi kuwa haitastahmili vitendo vyovyote vya ufisadi na kuelezea kuwa nchi imeathiriwa na rushwa iliyokithiri hivyo basi endapo watafanikiwa kuingia mamlakani…
View On WordPress
0 notes