#ufugaji
Explore tagged Tumblr posts
kilimotz · 1 month ago
Text
TUNAUZA MBEGU ZA NYASI/MAJANI KWAJILI YA MALISHO YA NG'OMBE, MBUZI, KONDOO NA MIFUGO MINGINE
Call/Text/WhatsApp: 255 789 08 19 72
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo.
Aina za mbegu tulizo nazo ni kama:
Forage sorghum 1Kg
Forage Pearl Millet 1Kg
Kilo 5 inaweza KUPANDA heka moja.
Lakini pia tunauza vipande vya miche kwaajili ya kuotesha...
Hizi ni mbegu za majani zinazopandwa kwajili ya malisho ya ng'ombe na mifugo mingine.
Kama una shamba la mifugo ni vema kutenga eneo na kupanda majani kwajili ya malisho ya mifugo yako.
Kwa kutumia aina hizi za nyasi utaweza kuongeza uzalishaji shambani kwako na utaboresha afya za wanyama wako.
Unajua kama swala la chakula cha mifugo shambani linachukua zaidi ya asilimia sabini (70%) ya gharama za uendeshaji, hivyo ni muhimu sana kuweka mikakati sahihi ya kuokoa gharama za uendeshaji/kupata kwa kuzalisha chakula cha mifugo kwa gharama nafuu.
JOACK Company LTD inapenda kuhakikisha kwamba itaendelea kukupa ELIMU NA TAARIFA sahihi kuhusianan na maswala yote ya #ufugaji.
#majaniyamifugo #majaniyangombe #pastureseed #pasture #animalfeed #grass #nyasizamifugo #hay #pasturefarm #majaniyamifugo #nyasizangombe #tunauzambeguzamajani #mbeguzamajani
Office zetu zipo @TegetaWazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Kwa mawasiliano
+255 712 253 102WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
Website
www.joack.co.tz
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joack.co.tz
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #joackagrovet #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #tanzania🇹🇿 #ufugaji #kuku #dodoma #tanzania #ufugajiwakuku #kariakoo #daressalaam #morogoro
JOACK Company LTD | DSM & Bagamoyo
0 notes
joackanimalclinic · 1 month ago
Text
Tumblr media
FLOWER DOG SHAMPOO | ANT BACTERIA DOG SHAMPOO | SABUNI NZURI YA KUOSHEA MBWA
Call/Text/WhatsApp: +255 714 636 375
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @joackbagamoyo @joackagrovet @afyakiganjani @joackanimalclinic
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm).
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo.
Hizi ni dog shampoo ambazo inauwezo wa kutoa uchafu wote kwa mbwa kiurahisi, pia hii shampoo inaacha harufu nzuri kwa mbwa/paka wako.
Flower Dog Shampoo ina dawa ambayo inauwezo mkubwa wa kuua bakteria.
#dogshampoo #flowershampoo #sabunizamnwa #shampoo #dogwashing #kuogeshambwa #kuoshambwa #mbwa #paka #dawazamifugo #dawazambwa #chanjozamifugo #dudukrin #dudukrindogshampoo #dudukrinpetsahmpoo
Office zetu zipo @tegetawazohill Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 636 376 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joack.co.ts
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #mifugo #kilimo #ufugajiwambwa #chanjozambwa #matibabuyambwa #ufugaji #tanzania #arusha #mbeya #dodoma #mbwawaulinzi #tanzania #tanzania🇹🇿
Mifugo Tz | JOACK Pet Store | DSM & BAGAMOYO
0 notes
joackbagamoyo · 1 month ago
Text
Tumblr media
TUNAUZA VYUNGU (MAJIKO YA VIFARANGA) VYA JOTO KWAJILI YA KULEA VIFARANGA | KWA BEI YA JUMLA NA REJA REJA
WhatsApp/Call/Text: +255 655 057 323
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackvetclinic @joackanimalclinic @joackbagamoyo
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill Dar es salaam na Bagamoyo
Faahamu kuhusu vyungu vya kulea vifaranga kwa lengo la kuokoa gharama za kutumia umeme au gesi.
Umuhimu wa vyungu.
1• Vyungu hivi vinauwezo wa kutoa joto kwajili ya vifaranga na hata kuku wakubwa.
2• Vyungu vinauwezo wa kutoa joto zaid ya masaa kumi na mbili ( 12hrs)
3• Ukiweka mkaa asubuhi ni hadi jioni ndio utaongeza tena.
4• #Chungu kimoja kinauwezo wa kuhudumia vifaranga 100 ndani ya bruda
5• Kama hauta tumia bruda chungu kimoja kitaweza kutoa joto LA kulea vifaranga 80 hadi 90.
6• Chungu hutumia mkaa mchache sana hivyo hupunguza gharama za matumizi ya umeme au gesi
7• Vyungu vinauwezo wa kukuza vifaranga vizuri na hukua kwa afya njema.
Sifa za vyungu kutoka @mifugo_tz
a. Udongo wake ni mfinyanzi asilia kwa 100%
b. Vyungu ni vizito
c. Vina ukubwa wa kutosha
d. Vina matundu ya kutoa joto la kutosha
f. Vinauimara wa kutosha
Vyungu hivi unapata ukiwa mkoa wowote tunakutumia ulipo.
Office zetu zipo @TegetaWazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 655 057 323 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
Website
http.//www joack.co.tz
#joackcompany #joackvetcenter #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #vyungu #ufugaji #kuku #broiler #tanzania #vyunguvyavifaranga #daressalaam #morogoro #tanzania #tanzania🇹🇿 #kuchi #kilimoufugaji #mwanza #arusha #mbeya #kilimanjaro #vunguvyajoto #vifaranga #daktariwamifugo #vyunguvyajotokwavifaranga #majikoyavifaranga #uleajiwavifaranga
JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
0 notes
mifugokilimo · 1 month ago
Text
TUNAUZA MASHINE YA KUTENGENEZA PELLET KWAJILI YA CHAKULA CHA MIFUGO | ZIPO MASHINE ZA UWEZO TOFAUTI TOFAUTI.
Call/Text/WhatsApp: +255 712 253 102
BEI ZA PELLET NA UWEZO WAKE
100Kg/hr = 1,500,000/=
150Kg/hr = 1,700,000/=
200Kg/hr = 1,770,000/=
300Kg/hr = 3,500,000/=
500Kg/hr = 4,500,000/=
1,000Kg/hr = 6,500,000/=
PELLET ni chakula cha mifugo kilicho tengenezwa katika mfumo wa tambi tambi au chenga chenga, yaani kwa lugha rahisi ni chakula cha tambi tambi.
JINSI YA KUTENGENEZA PELLET
1. Ili utengeneze pellet, unatakiwa kuchangya virutubisho vyote mfano mahindi, mashudu, pumba, soya, madini, vitamini, nk sehemu moja kwa kutumia beleshi au mashine maalumu ya kuchanganyia chakula (MIXER)
NB: Chakula kilicho changanywa tu na kupewa wanyama huwa kinaitwa MASH.
2. Changanya mchachayo wako na maji kidogo, ili uwe na unyevunyevu, hii husaidia chakula kushikana pindi unapotengeneza pellet kwenye mashine.
3. Chukua huo mchanganyo wako na weka kwenye mashine ya Pellet na uwashe mashine ili kutengeneza Pellet.
4. Hatua ya mwisho ni kuchukua Pellet ulizo tengeneza na kuzianika juani (lisiwe kali).
KWANINI ULISHE PELLET?
Hii ni kwasababu pellet moja (chenga moja) inakuwa na virutubisho/vichanganyo vyote, lakini kwenye chakula cha MASH mnyama/ndege anaweza kula punje aina moja zaidi kuliko nyingine, mfano kula mahindi kuliko soya.
Hii sababu inafaya PELLET kuwa bora na yenye matokeo kuliko MASH
#pellet #pelletmachine #chakulachasungura #mashineyakutengenezapellet #vifaavyamifugo #mizaniyachakulachamifugo #mashineyapellets #mashinezachakulachakuku #rabbitpelletsmachine #pelletmachine #mashineyachakulachasungura #mashineyachakulachamifugo #chakulachakuku #poultryequipments #tunauzamshinezaufugaji
Office zetu zipo @TegetaWazohill Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 712 253 102 (WhatsApp)
+255 737 35 86 89
Email:
Website
www.joack.co.tz
#joackcompany #joackagrovet #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #tanzania🇹🇿 #ufugaji #kuku #dodoma #tanzania
JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
0 notes
joackagrovet · 1 month ago
Text
Tumblr media
JOACK TUNAUZA TAA ZA JOTO KWAJILI YA KULEA VIFARANGA TAA ZA KUZALISHA JOTO | TAA ZA JOTO KWAJILI YA MIFUGO
Tunakupa na holder yake Bure...
Call/Text/WhatsApp: +255 714 636 375
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Hizi ni taa ambazo zinauwezo mkubwa wa kuzalisha joto kwajili ya mifugo (vifaranga).
Taa hizi zinatumika sana na wafugaji wa kuku, kwajili ya kukuzia vifaranga.
Taa moja inauwezo wa kulea vifaranga 100 - 200 na zaidi.
Badala ya kutumia mkaaa au gasi kwajili ya kuzalisha joto, unaweza kutumia hizi taa.
Umuhimu wa joto kwa vifaranga sio tu wasipigwe na baridi, joto linatumika sana kwenye ukuaji wa vifaranga.
Vifaranga visipo pata joto la kutosha huwa vinadumaa.
Faida ya taa ni kwamba hazizalishi moshi (carbon monoxide au carbon dioxide) kama ambapo ungetumia mkaa au gasi.
Pia hizi taa hutumika kwenye mikoa ya baribidi kama mbeya, kwa lengo la kuzalisha joto.
Aina ya taa tulizonazo
1. Taa za watt 100
2. Taa za watt 220
3. Taa za watt 300
#taazajoto #taanyekunduzajoto #heatinglamp #taazavifaranga #balbuzawatimia #heaterzavifaranga #vyunguvyajoto #taazamifugo #vyungukwavifaranga #jotokwavifaranga
Karibuni sana @joackcompany
Karibu tukuhudumie tuna wataalamu walio wenye uzoefu wa kutosha. Jiunge nasi kwenye WhatsApp groups, ili uendelee kujifunza mengi na kukutana na familia ya wafugaji, Kujiunga tuma jina lako WhatsApp kwenye 0712253102.
Kuhusu kampuni follow @joackcompany
Kuhusu Kilimo follow @kilimo_tz
Office zetu zipo @tegetawazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 636 375 (WhatsApp)
+255 737 35 86 89
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joack.co.tz
#mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #joackcompany #joackvetcenter #ufugaji #kuku #broiler #tanzania #vyunguvyavifaranga #daressalaam #morogoro #tanzania #kilimoufugaji #mwanza #arusha #dodoma #vifaranga #tanzania🇹🇿
0 notes
joackcompanytz · 2 months ago
Text
TUNAUZA NG'OMBE WA MAZIWA | WE ARE SELLING DAIRY CATTLE
Call/Text/WhatsApp; +255 714 636 375
SIFA ZA NG'OMBE TUNAO WAUZA
-Wapo mitamba wenye mimba ya miezi mitano (5) na kuendelea
- Wapo walio zaa mara 1 au 2 na wana mimba ya miezi mitano (5) na kuendelea
- Uwezo wao wa maziwa ni lita 14-20 kwa siku, akizaa (History ya wazazi)
- Aina/Kabila/Breed: Wapo Friesian, Aryshire, Jersey, Fleckvien cows, etc
NB:
1. Hatuuzi ndama, wala ng'ombe asiye na mimba.
2. - Mtamba au aliyozaaa bei ni moja.
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @joackagrovet @joackbagamoyo @joackanimalclinic @joackbagamoyo @joackvetclinic
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta-Wazohill Dar es salaam na Bagamoyo
Aina (breed) za ng'ombe tunao wauza ni Friesian, Aryshire, Jersey, Holstein, Fleckvien cows, nk
Ng'ombe tunaowauza wana uwezo tofauti tofauti wa kutoa maziwa, Uwezo wao wa kutoa maziwa ni lita 14, 16, 18, 20, 25, 30, 35, 40, 45 au zaidi kwa siku.
Bei ya ng'ombe inategemea uwezo wa ng'ombe kutoa maziwa na kabila.
Friesian ni moja ya kabila la ng'ombe linalotoa maziwa mengi, ukilinganisha na kabila nyingine za ng'ombe.
Ukinunua ng'ombe kwetu, utafundishwa bure, namna bora ya kutunza ng'ombe wa maziwa.
Kwa wateja wa mikoani na Zanzibar mtasafirishiwa ng'ombe kwa gharama nafuu.
#ngombewamaziwa #Friesian #freshiani #maziwa #ngombe #dairycattle #milk #dairycow #jersey #ngombewakisasa #wauzajiwangombe #arshire #wauzajiwamifugo #shambalangombe
Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, oppositw na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji aina ng'ombe wa maziwa wasiliana nasi kwa
Simu:
+255 714 636 375(WhatsApp)
+255 692 430 263
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joack.co.tz
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #Kilimo #mifugo #ufugaji #tanzania #mbeya #tanga #daressalaam #morogoro #ufugaji #kilimoufugaji #mwanza #arusha #iringa #dodoma #tanzania🇹🇿
JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
Tumblr media Tumblr media
0 notes
joackcompany · 2 months ago
Text
OFAAAAA TUMESHUSHA BEI YA TREI TUPU ZA PLASTIC TUNAUZA TREI TUPU ZA KUWEKEA MAYAI TREI ZA PLASTIKI
Bei ni 1,500Tsh (Min 100pc)
Call/Text/WhatsApp: +255 714 636 375
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo.
Hizi tray za plastic ambazo ni ngumu kupasuka/kuvunjika, unaweza kuzipinda na hazivunjiki - ZIKIVUNJIKA RUDISHA.
Material yake Yana asili ya mpira, hivyo ni ngumu sana kuvunja, na yana faa sana kwa kuwekea mayai.
Lakini pia tunauza TRAI ZA KARATASI (PAPER TRAY) kwajili ya kuwekea mayai kwa bei nafuu sana.
Trei ya trei za karatasi ni moja ni 180Tsh na kwenye bando moja zinakaa pisi 100 hivyo bando moja ni 18,000Tsh Tu.
Kwetu ndio sehemu pekee utapata trei tupu kwa gharama nafuu, watu wengi wa Kariakoo - DSM na mikoani wananunua kiwandani kwetu JOACK COMPANY LTD.
Kwa wateja wa mikoani mzigo tuna tuma kwenda mkoa wowote, Gharama za usafirishaji ni juu ya mteja.
#mayai #tray #trei #treizaplastic #trayzakaratasi #traizamakaratasi #plastictray #pappertray #treizamayai #matreiyamayai #eggtray #trayzaplastic #tunauzamatrei #weselleggtray #tunauzamayai #traytupu #plasticeggtray #plasticeggtrays
Office zetu zipo @TegetaWazohill Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 636 375
(WhatsApp)
+255 692 430 263
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://www.joack.co.tz
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #tanzania🇹🇿 #ufugaji #kuku #dodoma #tanzania #ufugajiwakuku #kariakoo
JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
0 notes
joackvetclinic · 4 months ago
Text
Tumblr media
TUNAUZA CHUPA ZA KUNYWESHEA NDAMA MAZIWA WE ARE SELLING CALF FEEDING BOTTLE 🍼 CALF MILK BOTTLE 🍼 CALF NURSING BOTTLE
.
Call/Text/Whatsapp: +255 789 057 972
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani
CALF FEEDING BOTTLE 🍼 CALF MILK BOTTLE 🍼 CALF NURSING BOTTLE hii ni chupa ya plastic yenye chuchu ambayo inatumika kumnyweshea ndama maziwa, hii chupa ina ujazo wa lita mbili.
Badala ya kutumia chupa ya soda tumia CALF NURSING BOTTLE ni nzuri sana na nirahisi kutumia.
lakini pia tunauza MAZIWA ya unga kwajili ya ndama yanaitwa MILK REPLACER, hii husaidia kuokoa Gharama za kukuza ndama kwa kutumia maziwa ya mama yake.
#maziwa #dama #maziwayandama #chuchu #calfnipple #chuchuzandama #milkreplacer #utunzajiwandama #uleajiwandama #cow #joack #calffeedingbottle #ngombewamaziwa #Friesian #ngombe #calfmilkbottle #dairycow
Simu:
+255 789 057 972 (WhatsApp)
+255 692 430 263
Email:
#joackcompany #mifugo #mifugotz #kilimotz #ufugaji #tanzania #daressalaam #morogoro #tanzania #kilimoufugaji #mwanza #arusha #tanzania
0 notes
mgangakenya · 7 months ago
Link
0 notes
kilimotz · 1 month ago
Text
TUNAUZA MBEGU ZA NYASI/MAJANI KWAJILI YA MALISHO YA NG'OMBE, MBUZI, KONDOO, ETC
Aina za mbegu tulizo nazo ni kama:
1. cyperus rotundus
2. Lantana camara
3. Leucaena
4. Elephant grass
5. Gwatemala
6. Cloris
7.Glaisin
8.Neypaouma
Hizi ni mbegu za majani kwajili ya malisho ya mifugo, kama una shamba la mifugo ni vema kutenga eneo na kupanda majani kwajili ya malisho ya mifugo yako.
Kwa kutumia aina hizi za nyasi utaweza kuongeza uzalishaji shambani kwako na utaboresha afya za wanyama wako.
#majaniyamifugo #mbeguzamajani #pastureseed #pasture #animalfeed #grass #nyasizamifugo #hay #pasturefarm #manjaniyangombe #tunauzambeguzamajani
Office zetu zipo Tegeta, @Wazohill-Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 712 253 102(WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joack.co.tz
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joack #joackcompany #joackagrovet #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #tanzania🇹🇿 #ufugaji #kuku #dodoma #tanzania #ufugajiwakuku #kariakoo #daressalaam #morogoro
Welcome Mifugo Tz Visit to Like follow our social networks
Mifugo Tz Products and services
0 notes
joackanimalclinic · 1 month ago
Text
TUNAUZA NYAMA KWAJILI NYA MBWA | CHAKULA CHA MBWA | NYAMA FRESH | DSM | NYAMA ZA KUKU
Call/Text/WhatsApp: +255 714 636 375
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo
Tunauza nyama fresh kabisa kwajili ya mbwa, nyama zilizopo ni KUKU, NG'OMBE, MBUZI, KONDOO, nk.
Nyama hizi ni nzuri na zinatunzwa vizuri kwenye deep-freezer baada ya kutengeneza, Karibu sana.
#nyamazambwa #chakulachambwa #nyamayangombe #nyamayakuku #nyamakwajiliyambwa #nyamayambuzi #freshmeat #dogfood #mbwawaulinzi #tunauzambwa
Office zetu zipo @tegetawazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 636 375(WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joack.co.tz
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompay #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #ufugaji #kuku #mabandayambwa #tanzania #morogoro #mwanza #mbeya #daktariwamifugo #dodoma #tanzania🇹🇿 #securitydogs #ufugajiwambwa #germanyshepherd #mbwawakisasa
JOACK COMPANY LTD | DSM NA BAGAMOYO
0 notes
joackbagamoyo · 1 month ago
Text
Tumblr media
TUNAUZA NYAMA KWAJILI NYA MBWA | CHAKULA CHA MBWA | NYAMA FRESH | DSM | NYAMA ZA KUKU
Call/Text/WhatsApp: +255 655 057 323
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo
Tunauza nyama fresh kabisa kwajili ya mbwa, nyama zilizopo ni KUKU, NG'OMBE, MBUZI, KONDOO, nk.
Nyama hizi ni nzuri na zinatunzwa vizuri kwenye deep-freezer baada ya kutengeneza, Karibu sana.
#nyamazambwa #chakulachambwa #nyamayangombe #nyamayakuku #nyamakwajiliyambwa #nyamayambuzi #freshmeat #dogfood #mbwawaulinzi #tunauzambwa
Office zetu zipo @tegetawazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 655 057 323(WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joack.co.tz
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompay #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #ufugaji #kuku #mabandayambwa #tanzania #morogoro #mwanza #mbeya #daktariwamifugo #dodoma #tanzania🇹🇿 #securitydogs #ufugajiwambwa #germanyshepherd #mbwawakisasa
JOACK COMPANY LTD | DSM NA BAGAMOYO
0 notes
mifugokilimo · 1 month ago
Text
Tumblr media
HEATER ZA GAS KWAJILI YA VIFARANGA INALEA VIFARANGA 1,000 HADI 2,000
Call/Text/WhatsApp: 0712 25 31 02
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Gas Brooder with Infrared Functions (1000 and 2000 Chicks Capacity)
Gas brooders hii ni heater inayotumia gasi kuzalisha joto kwajili ya kulea vifaranga.
Uzuri wa hizi brooder ni rahisi kutumia, yaani unaonganisha tu mpira(pipe) kwenye mtungi wa gasi wa kawaida kama wa majumbani.
Hii brooder inatumia gas ya majumbani, ambapo baada ya kuunganishwa brooder inatakiwa kuining'iniza futi 3 hadi 5 kutoka usawa wa vifaranga.
Ukipunguza joto unaweza kulea vifaranga 200 lakini ukiongeza inaweza kulea hadi vifaranga 1,000 na zaidi.
Gasi inayohitajika kwajili kulea kuku 1,000 ni 0.2Kg kwa lisaa na kwa kuku 2,000 ni 0.4Kg kwa lisaa.
Hii heater inaweza kupunguza gharama hadi asilimia 50
#gasbrooder #patiogasheater #heaterzagasi #heaterzavifaranga #majikoyavifaranga #uleajiwavifaranga #hetazagesikwavifaranga #heaterzagasikwajiliyavifaranga #taazajoto #taazavifaranga #heaterzavifaranga #vyunguvyajoto #jotokwavifaranga
Karibuni sana @joackcompany There for you.
Kuhusu Kilimo follow @kilimo_tz
Office zetu zipo @tegetawazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 712 253 102(WhatsApp)
+255 692 430 263
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joack.co.tz
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #tanzania🇹🇿 #joackvetcenter #ufugaji #kuku #broiler #tanzania #vyunguvyavifaranga #morogoro #mwanza #arusha #mbeya #vifaranga
Welcome JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
0 notes
joackagrovet · 1 month ago
Text
Tumblr media
JOACK TUNAUZA TAA ZA JOTO KWAJILI YA KULEA VIFARANGA TAA ZA KUZALISHA JOTO | TAA ZA JOTO KWAJILI YA MIFUGO
Tunakupa na holder yake Bure...
Call/Text/WhatsApp: +255 714 636 375
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Hizi ni taa ambazo zinauwezo mkubwa wa kuzalisha joto kwajili ya mifugo (vifaranga).
Taa hizi zinatumika sana na wafugaji wa kuku, kwajili ya kukuzia vifaranga.
Taa moja inauwezo wa kulea vifaranga 100 - 200 na zaidi.
Badala ya kutumia mkaaa au gasi kwajili ya kuzalisha joto, unaweza kutumia hizi taa.
Umuhimu wa joto kwa vifaranga sio tu wasipigwe na baridi, joto linatumika sana kwenye ukuaji wa vifaranga.
Vifaranga visipo pata joto la kutosha huwa vinadumaa.
Faida ya taa ni kwamba hazizalishi moshi (carbon monoxide au carbon dioxide) kama ambapo ungetumia mkaa au gasi.
Pia hizi taa hutumika kwenye mikoa ya baribidi kama mbeya, kwa lengo la kuzalisha joto.
Aina ya taa tulizonazo
1. Taa za watt 100
2. Taa za watt 220
3. Taa za watt 300
#taazajoto #taanyekunduzajoto #heatinglamp #taazavifaranga #balbuzawatimia #heaterzavifaranga #vyunguvyajoto #taazamifugo #vyungukwavifaranga #jotokwavifaranga
Karibuni sana @joackcompany
Karibu tukuhudumie tuna wataalamu walio wenye uzoefu wa kutosha. Jiunge nasi kwenye WhatsApp groups, ili uendelee kujifunza mengi na kukutana na familia ya wafugaji, Kujiunga tuma jina lako WhatsApp kwenye 0712253102.
Kuhusu kampuni follow @joackcompany
Kuhusu Kilimo follow @kilimo_tz
Office zetu zipo @tegetawazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 636 375 (WhatsApp)
+255 737 35 86 89
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joack.co.tz
#mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #joackcompany #joackvetcenter #ufugaji #kuku #broiler #tanzania #vyunguvyavifaranga #daressalaam #morogoro #tanzania #kilimoufugaji #mwanza #arusha #dodoma #vifaranga #tanzania🇹🇿
0 notes
joackcompanytz · 2 months ago
Text
TUNAUZA MAYAI YA BROILER NA LAYERS YA KUTOTOLESHA | MAYAI YA KUKU WAZAZI WA BROILER (KUKU WA NYAMA) NA KUKU WA MAYAI (LAYERS)
Call/Text/WhatsApp: +255 714 636 375
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo @joackvetclinic
Tupo wazi kila siku kuanzia saa 1 asubuhi hadi saa 5 usiku.
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo.
Haya ni mayai ya kuku wanyama (broiler) na kuku wa mayai (Layers) maalumu kwaajili ya kutotolesha ili kupata vifaranga wa broiler au vifaranga wa kuku wa mayai.
Ni mayai ya broiler na Layers wazazi yenye mbegu kwajili ya kutotolesha. Mayai haya ukiweka kwenye Mashine ya kutotoleshea (incubator) unapata kifaranga cha broiler au cha Layers
Baada ya kutotolesha, vifaranga hawa wa broiler unafuga ndani ya week 4 tu, kwa kipindi hicho cha week wanafikisha kilo 1.5 nakuendelea.
Hivo ndani ya mwezi unapeleka kuku wako sokoni na kuuza kwa shilingi 6,300 mpaka 7,500
Ufugaji wa broiler unafaida ya haraka maana kuku unawauza kila baada ya week 4.
Lakini kama unachukua mayai ya Layers kutotolesha unapata vifaranga wa Layers/kuku wa mayai.
Vifaranga hawa wanaanza kutaga wakiwa na umri wa miezi 5, na wanauwezo wa kutaga mayai 300 kwa mwaka.
Kuhusiana na bei au kiwango cha chini cha kuoda mayai wasiliana na +255 714 636 375
Kwa wateja wa mikoani au nje ya Tanzania mizigo mtatumiwa kokote mlipo kwa gharama nafuu sana na kwa uwaminifu mkubwa.
Endelea kufatilia page..
#mayai #mayaiyabroiler #mayaiyakukuwanyama #kukuwanyama #broiler #vifarangawabroiler #dayoldchicks #tunauzamayaiyabroiler #mayaiyakutotolesha #kutotolesha #mashineyakutotolesha #incubator
Office zetu zipo @TegetaWazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 636 375(WhatsApp)
+255 692 430 263
Email:
Website
Https//www.joack.co.tz
#joackcompany #mayaiyalayers #mifugotz #fertilizedeggs #ufugajiwakuku #mifugo #kilimo #mayaiyenyembegu #kuku #kuroiler #dodoma #mwanza #morogoro #tanzania #mayaiyakutotolesha #kukuwamayai
JOACK COMPANY LTD DSM NA BAGAMOYO
0 notes
joackcompany · 9 months ago
Text
TUNAUZA SAILAGE | MAROBOTA YA SAILAGE | NYASI ZILIZO VUNDIKWA KWAAJILI YA MIFUGO.
Call/Text/WhatsApp: +255 712 25 31 02
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo.
Kama wewe ni mfugaji na upo Dar es salaam, Pwani au Morogoro kaa mkoa wa kupata Malisho Bora yaliyofungwa kisasa kabisa ya Saileji ya mtama Malisho.
FAIDA YA SAILAGE KWA NG'OMBE WA MAZIWA NA NYAMA
1. Kuongeza kiwango cha maziwa
2. Kuongeza ukuaji
3. Ni rahis kumeng'enywa
4. Kuongeza bakteria wa faida (normal flora)
5. Kuboresha afya ya ndama
6. Kupunguza hatari ya magonjwa
7. Yanahifadhika kwa muda, hata miaka 3
Endelea kufatilia page zetu ili uweze kujifunza zaidi kuhusu mambo mbalimbali ya mifugo.
#majaniyamifugo #majaniyangombe #pastureseed #pasture #animalfeed #grass #nyasizamifugo #hay #pasturefarm #majaniyamifugo #nyasizangombe #sailage #malishoyangombe #tunauzambeguzamajani #mbeguzamajani
Office zetu zipo @TegetaWazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 712 25 31 02(WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #tanzania🇹🇿 #ufugaji #kuku #dodoma #tanzania #ufugajiwakuku #kariakoo #daressalaam #morogoro
JOACK Company LTD | DSM & Bagamoyo
0 notes