Tumgik
#kufikia mafanikio makubwa
dreamstz1 · 1 month
Text
Kuweka Mazingira Bora ya Kufanya Michezo
Kuweka mazingira bora ya kufanya michezo ni muhimu sana katika kuleta maendeleo ya michezo nchini. Klabu za Simba SC na Yanga SC zinaweza kuwa mfano bora wa jinsi mazingira bora ya kufanya michezo yanavyoweza kuleta mafanikio makubwa. Serikali inaweza kuchukua hatua za kuweka mazingira bora ya kufanya michezo kwa kusaidia klabu za mpira na kuweka miundombinu bora ya michezo.Kwa kuweka mazingira…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
ps-thom1 · 2 years
Text
NJIA BORA YA KIONGOZI KUINULUWA ,Ukweli juu uongozi wenye mafanikio makubwa Biblia imeweka wazi ,Acha niongelee mambo Madogo haya mawili 1. WAJIBU 2:MALENGO ,Ndugu Yangu hasa kwa kiongozi ( mtu mwenye cheo ) Namaanisha cheo tu Hata km Ni ngazi ya chini kabisa hapo kanisani kwako,Kumbuka ubora wa kiongozi haupo kwenye ukubwa wa madaraka iliyopo Ila kwenye uwezo wa kufanya Kazi ,Zingatia sana kuwa wakati wowote unapopewa nafasi ya kuongoza Ni lazima ujue yafuatayo - wajibu wako , Kazi Yako nini hasa , hivyo kwa kujua Kazi Yako utajipanga ilivyo ili kutimiza wajibu wako ,Zingatia kuwa kipaji kimachotumika vizuri Mungu huongezea karama zake ili kuleta matokeo makuu,Sasa Ni vema sana kiongozi kujua wajibu wake ili kuleta mafanikio ktk Huduma ,Kushindwa kujua wajibu wetu kunatusaudia sisi kutotambua vipawa vilivyo ndani Yetu .Kukosa kujua wajibu wetu huleta migongano kwa viongozi .2:MALENGO .Waswahili wakasema hakuna marefu yasiyokuwa na Ncha .Kiongozi wa kiroho Ni lazima ajue malengo ya yenye kuwa kiongozi,Ni lazima aelewe mipango ya shirika kuwa wanaenda wapi,Ni lazima afikirie na kupanga mipango ya kufikia Lengo lililopangwa au kuwekwa,Sasa basi kuishi bila malengo hupoteza wajibu ,Kwani wajibu huchochewa sana na matarajio ,matarajio Ni Yale malengo tuliyojipangia .Malengo Ni Yale maono ya shirika letu .Ili tujue wajibu wetu na malengo yetu Ni lazima kuweka wazi maono yetu ( mawazo ) kwa team yetu ya uongozi .Kwa ufupi tu ktk maisha ya uongozi unapokabidhiwa majukumu tambua wajibu wako na Lengo Kuu Kisha Fanya kwa bidii bila ya kutegea ukijua kuwa shirika ( Kanisa ) limekuamini,
NJIA BORA YA KIONGOZI KUINULUWA ,Ukweli juu uongozi wenye mafanikio makubwa Biblia imeweka wazi ,Acha niongelee mambo Madogo haya mawili 1. WAJIBU 2:MALENGO ,Ndugu Yangu hasa kwa kiongozi ( mtu mwenye cheo ) Namaanisha cheo tu Hata km Ni ngazi ya chini kabisa hapo kanisani kwako,Kumbuka ubora wa kiongozi haupo kwenye ukubwa wa madaraka iliyopo Ila kwenye uwezo wa kufanya Kazi ,Zingatia sana kuwa wakati wowote unapopewa nafasi ya kuongoza Ni lazima ujue yafuatayo – wajibu wako , Kazi Yako nini hasa , hivyo kwa kujua Kazi Yako utajipanga ilivyo ili kutimiza wajibu wako ,Zingatia kuwa kipaji kimachotumika vizuri Mungu huongezea karama zake ili kuleta matokeo makuu,Sasa Ni vema sana kiongozi kujua wajibu wake ili kuleta mafanikio ktk Huduma ,Kushindwa kujua wajibu wetu kunatusaudia sisi kutotambua vipawa vilivyo ndani Yetu .Kukosa kujua wajibu wetu huleta migongano kwa viongozi .2:MALENGO .Waswahili wakasema hakuna marefu yasiyokuwa na Ncha .Kiongozi wa kiroho Ni lazima ajue malengo ya yenye kuwa kiongozi,Ni lazima aelewe mipango ya shirika kuwa wanaenda wapi,Ni lazima afikirie na kupanga mipango ya kufikia Lengo lililopangwa au kuwekwa,Sasa basi kuishi bila malengo hupoteza wajibu ,Kwani wajibu huchochewa sana na matarajio ,matarajio Ni Yale malengo tuliyojipangia .Malengo Ni Yale maono ya shirika letu .Ili tujue wajibu wetu na malengo yetu Ni lazima kuweka wazi maono yetu ( mawazo ) kwa team yetu ya uongozi .Kwa ufupi tu ktk maisha ya uongozi unapokabidhiwa majukumu tambua wajibu wako na Lengo Kuu Kisha Fanya kwa bidii bila ya kutegea ukijua kuwa shirika ( Kanisa ) limekuamini,
View On WordPress
0 notes
sariaisrael · 4 years
Text
Yanga wampe muda Michael Sarpong
Yanga wampe muda Michael Sarpong
Kuna baadhi ya wachezaji ambao wamewahi kucheza kwenye ligi kuu ya Tanzania bara lakini hawakufikia mafanikio makubwa kutokana na presha kubwa nje ya uwanja. Mara nyingi waliacha kufikia hatua ya mafanikio siyo kwa sababu hawakuwa na viwango vikubwa. La hasha! Presha kubwa ya mashabiki nje ya uwanja iliwalazimu kuondoka kwenye ligi yetu bila kufikia mafanikio makubwa. Mashabiki hutamani kitu…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
mazallaposts · 6 years
Quote
 Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Isack Kamwelwe akijibu hoja mbalimbali zilizobainishwa katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)  katika Wizara yake  mjini Dodoma  Aprili 18,2018 wakati wa mkutano na waandishi wa habari ( hawapo pichani).                 (Picha zote  na Frank Mvungi- MAELEZO, Dodoma)   Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akisisitiza kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu utaratibu wa Mawaziri wote kukutana na waandishi wa habari kujibu hoja mbalimbali zilizobainishwa katika  ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)  katika Wizara zao  mjini Dodoma.  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January   Makamba akijibu hoja mbalimnbali zilizobainishwa katika ripoti  ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)  katika Ofisi hiyo  mjini Dodoma wakati wa mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani). Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO na Msemaji mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akifurahia jambo na Naibu Waziri wa Maji Mhe. Jumaa  Aweso  mapema leo mjini Dodoma wakati wa mkutano  na waandishi wa habari uliowashirikisha  Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Isack Kamwelwe na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January  Makamba. Upatikanaji wa maji mijini na vijijini umeimarika kutoka chini ya 50% ya awali kutokana na umakini katika ufuatiliaji wa utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maji safi nchini. Aidha, ili kukabiliana na mazingira Serikali imeanza mchakato wa kutumia mifumo ya kisayansi ili kuondoa matumizi ya mkaa majumbani. Hatua hizo zimebainishwa leo na Mhe. Isack Kamwelwe, Waziri wa Maji na Umwagiliaji na Mhe. Januari Makamba, Waziri wa Nchi (Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano na Mazingira) walipokuwa wakieleza utekelezaji wa hoja za CAG katika sekta zao. Akizungumzia hoja kuhusu utekelezaji wa miradi ya maji nchini, Waziri Kamwelwe amesisitiza kuwa tangu Serikali ya Awamu ya Tano iingie madarakani, ufuatiliaji na kuzibwa mianya ya ubadhirifu vimeleta mafanikio makubwa katika utekelezaji wa miradi ya maji mijini na vijijini. “Sisi kwa upande wetu CAG anatuonesha njia ili tufanye vizuri zaidi. Hadi kufikia Desemba, 2017, upatikanaji wa maji mijini umepanda hadi kufikia asilimia 78. Kwa upande wa vijijini, hadi kufikia Machi 2018, Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, imejenga vituo vya kuchotea maji 123,888 vyenye uwezo wa kuhudumia takribani watu milioni 30 sawa na asilimia 68.8,” alisema. Kwa upande wake, Waziri Makamba amesema hoja za CAG zimewasaidia kuongeza mikakati hasa ya kutumia sayansi na teknolojia kupata mbadala wa matumizi ya mkaa ili kuokoa misitu na kutunza mazingira. Amesema tayari Ofisi yake na wadau wanafanya majaribio ya baadhi ya teknolojia hizo. Kuhusu changamoto za kupambana na taka za kielektroniki, amekiri kuwa Tanzania kama nchi nyingine zinazoendelea inakumbana na changamoto ya kupokea vifaa vingi vilivyotumika kama kompyuta, simu na chaja ambavyo huharabika haraka na kutupwa kama taka za kielectroniki. “Ofisi ya Makamu wa Rais imeanza kutoa vibali kwa makampuni 16 yenye utaalamu kwa ajili ya kukusanya, kusafirisha na kurejeresha (recycling) taka za kielektroniki,” alisema.  
http://www.mtazamonews.co.tz/2018/04/huduma-za-maji-zaimarika-teknolojia.html
1 note · View note
enockmaregesi · 5 years
Photo
Tumblr media
Kila mtu ana kipaji angalau kimoja alichopewa na Mwenyezi Mungu. Kipaji hicho lazima kitumike, ama kwa mazuri au mabaya; kwa mazuri kama Mungu anavyotaka, kwa mabaya kama Shetani anavyotaka. Tafuta kipaji chako; kupitia kipaji hicho, fika katika nchi yako ya ahadi. Nchi yako ya ahadi ni mustakabali wa baadaye wa maisha yako uliyomo ndani ya Mpango Mkuu wa Mungu juu ya maisha yako. Kwa maneno mengine ni kadari (au ‘destiny’) ya maisha yako, iliyoumbwa pamoja na wewe, kabla Shetani hajaingilia kati na kuvuruga mpango wa Mungu na kujiwekea wa kwake. Watu wengine hutumia vipaji vyao nusunusu, wengine hawavitumii kabisa. Kutumia kipaji chako nusunusu, au kutokukitumia kabisa, ni makosa makubwa sana ambayo mwanadamu anaweza kufanya. Mungu alikupa kipaji ili ukitumie kwa faida yako na kwa faida ya wengine. Kwa nini hukitumii? - Tatizo la kipaji ni moja. Lazima kitumike. Usipokitumia kwa mema, Shetani atakufanya ukitumie kwa mabaya bila hata kujua. Hivyo, hutaishi sawasawa na mapenzi ya Mungu, utaishi sawasawa na mapenzi ya Shetani. Usipokitumia kipaji chako ipasavyo wapo watu watakaoathirika kwa sababu ya uzembe wako. Tafuta kipaji chako; kuwa na kiu au njaa ya kufikia mafanikio, kupitia kipaji hicho. - -Enock Maregesi, mwandishi wa Kolonia Santita https://www.instagram.com/p/B1t2bAnhwXr/?igshid=1ufwe3qf2e04j
0 notes
swahilibrotherhood · 7 years
Photo
Tumblr media
Hivi Ndivyo Unavyoweza Kutengeneza Kipato Kupitia Mitandao Ya Kijamii. Posted by Makirita Amani | at Friday, July 03, 2015 No comments Mwaka jana tuliandaa semina kwa njia ya mtandao ambapo tulitoa elimu ya jinsi ya kutengeneza kipato kwenye mtandao kwa kutumia blog. Baadae tulitoa kitabu ambacho kiliendelea kutoa elimu hii ya kumwezesha mtu yeyote kutengeneza biashara yake kupitia mtandao kwa kuw ana blog ambayo inatoa elimu fulani watu wanayohitaji. Watu wengi wamejipatia kitabu hiki na wengi wamefungua blog zao ambazo sasa zimeshaanza kupata wasomaji ambao wanazifuatilia kwa makini. Unaweza kupata maelezo zaidi kuhusu kitabu hiki kwa kusoma JINSI YA KUTENGENEZA FEDHA KWENYE MTANDAO KWA KUTUMIA BLOG. Ili uweze kutengeneza fedha kwenye mtandao kwa kutumia blog kwanza itakuhitaji muda wa kuanza kujenga wasomaji wanaokuamini, itakuhitaji wewe ujifunze sana na ujiweke kama mtaalamu kwenye lile eneo ambalo umechagua kuandikia na kutoa elimu kwa watu wengine. Pia utahitaji kuwa na kompyuta ili uiendeshe blog yako kitaalamu zaidi. Sasa mahitaji haya yanaweza kuwa kikwazo kwa watu wengi ambao wanataka kutengeneza kipato kupitia mtandao. Leo nakushirikisha njia nyingine ya kutengeneza kipato kwenye mtandao kwa kutumia mitandao ya kijamii. Wote tunajua kwamba dunia ya sasa karibu kila mtu yupo kwenye mtandao wa kijamii. Kuna mitandao ya kijamii ambayo ni maarufu na watu wengi wanaitumia, hata wewe pia unaitumia. Sasa leo nataka nikupe ujanja wa jinsi unaweza kuitumia mitandao hiyo kutengeneza kipato ili uweze kubadili hali yako ya kipato. Ni mitandao ipi ina watumiaji wengi kwa hapa Tanzania? Kwa Tanzania kuna baadhi ya mitandao ya kijamii ambayo ina watumiaji wengi sana. Kwanza kabisa ni mtandao wa kijamii unaoitwa facebook, huu ndio unaongoza duniani na hata hapa tanzania umejizolea watumiaji wengi sana. Karibu kila mtu anayetumia mitandao ya kijamii yupo facebook. Mtandao mwingine wenye watumiaji wengi ni instagram. Huu ni mtandao ambao umechipukia kwa kasi sana hapa tanzania na umepata umaarufu mkubwa na watu wengi kuufuatilia. Ni mtandao ambao ni rahisi sana kutumia na kule watu wanaweka picha tu na maelezo. Twitter nao pia ni mtandao wa kijamii ambao watanzania wengi wanatumia, ila waliomiliki sana mtandao huu ni watu maarufu kwenye jamii kama viongozi au wasanii. Twitter sio mtandao ambao unavutia wengi kuwepo kwa sababu unahitaji kuweza kutoa ujumbe kwa maneno machache sana na hivyo hii ni changamoto kwa wengi. Linkedin pia ni mtandao wa kijamii ambao umekaa kitaaluma na kitaalamu zaidi. Kupitia linkedin mtu anaweza kuweka wasifu wake na nafasi anazoweza kufanyia kazi na ikawa rahisi wenye uhitaji kumfikia. Ni mtandao ambao haujakaa kiumbea umbea kama mingine na hivyo hauna watumiaji wengi kutoka Tanzania. Kwa madhumuni ya makala hii nitajadili mitandao miwili ambayo watanzania wengi wanaitumia ambayo ni facebook na instagram. Je inawezekana kutengeneza fedha kwa kupitia mitandao ya kijamii? Watu ambao wana marafiki au wafuasi wengi kwenye mitandao hii ya kijamii wamekuwa wanatengeneza fedha kupitia mitandao hii. Watu hawa hufanya kazi na makampuni yanayohitaji kujitangaza na makampuni hayo kuweka matangazo kwenye kurasa zao kwenye mitandao hii na hivyo wao kutengeneza kipato. Na ili kuhakikisha wanaendelea kutengeneza kipato wanatafuta njia bora za kukutumia wewe. Wanachotaka ni wewe uwe na hamasa ya kuwafuatilia na ukifika pale unakutana na matangazo mbalimbali. Watu hawa wenye wafuasi wengi wamekuwa wakitengeneza ugomvi usio na maana ili tu kuwafanya watu wengi wawafuatilie na hivyo wao kukuza biashara zao za kuuza matangazo. Makampuni mengi yamekuwa yakitafuta njia nzuri ya kutangaza biashara zao kupitia mitandao hii ya kijamii na njia kubwa wanayoiona ni nzuri ni kutumia watu wenye wafuasi wengi. Wewe unawezaje kutengeneza kipato kupitia mitandao hii? Swali zuri sana, na hapa ndio ninataka nikupe maarifa ambayo yatabadili maisha yako kama utayatumia. Tumeshaona mitandao ya kijamii inayotumika sana kwa tanzania na pia tumeshaona kwamba inawezekana kutengeneza fedha kwenye mitandao hii ya kijamii kama ambavyo tayari kuna watu wanaotengeneza fedha kupitia mitandao hii. Sasa je wewe unawezaje kutengeneza fedha pia? Kumbuka labda wewe sio mtu maarufu hivyo una wafuasi au marafiki wachache. Na makampuni mengi yanayotaka kutangaza kupitia mitandao hii wanataka watu wenye wafuasi wengi. Hapa ndio wakati wa kutumia akili yako vizuri na ukiweza kufanya hivi utatengeneza kipato kikubwa mpaka mwenyewe utashangaa ulikuwa wapi hukujua hilo mapema. Hivyo twende pamoja na fanyia kazi yale ambayo unajifunza hapa. Tuseme wewe ni kijana ambayo huna kazi ila una simu yenye uwezo wa kuingia kwenye mitandao hii. Kama umeshatumia mitandao hii kwa muda umeshajijengea marafiki na wafuasi kadhaa kupitia mitandao hii. Lakini siku zote umekuwa unaingia kwenye mitandao hii na kutoka bila ya kutengeneza kipato chochote. Sasa leo nataka uwe na mpango tofauti. Kama tulivyoona hapo juu ni kwamba makampuni mengi yanakimbilia kutangaza kupitia watu wenye wafuasi wengi. Makampuni haya yanata fedha nyingi kwa muda mfupi na tangazo lao linakaa muda mfupi pia. Wewe njoo na mpango wa kuyasaidia makampuni haya kujenga wafuasi wengi kupitia mitandao hii ya kijamii. Badala ya makampuni haya kulipa ada kubwa ya matangazo mara moja, kwa nini yasitengeneze wafuasi wake wenyewe ambao wataendelea kuwatangazia bure kila siku? Hiki ni kitu ambacho makampuni mengi hayaelewi na unahitaji kuwaelewesha na kuwapa mpango wako wewe. Mpango wako unakuwa ni kuyasaidia makampuni kuendesha kurasa zao kwenye mitandao hii ya kijamii. Unayasaidia makampuni haya kupata wafuasi wengi, unatoa taarifa muhimu za makampuni hayo, unaendesha mashindano madogo madogo, vyote hivi vinaisaidia kampuni kupata wafuasi na kuwatangazia, huku wewe ukitengeneza kipato. Kwa kifupi unahitaji kuwa na mpango huu; 1. Kuwa na mpango w akuweza kuisaidia kampuni kuongeza wafuasi wake kwenye mitandao ya kijamii. Unaweza kuanza na mitandao miwili yenye watumiaji wengi Tanzania, ambayo ni facebook na instagram. 2. Weka ada ndogo kwa kila siku ambayo kampuni unayofanya nayo kazi itakulipa. Hakikisha ni ada ndogo kiasi kwamba kampuni unayofanya nayo kazi haioni kama inapoteza fedha. 3. Toa mpango huu kwa makampuni mengi, kila kampuni unayoijua na ambayo huwa inatangaza kwenye mitandao hii wape mpango wako huo. Na hata kama kuna kampuni haijajua kutangaza kupitia mitandao hii ni wakati mzuri wa kuwajulisha hilo. Unapotoa mpango wako kwa makampuni mengi, kuna machache ambayo yatakubali. 4. Fanya kazi vizuri sana na makampuni haya na hii ndio itakuwa wasifu wako wakati unaendelea kuomba kufanya kazi hii na makampuni mengine. Kama utaweza kuonesha kwamba umeyasaidia makampuni mengine kukuza wafuasi na kutangaza kwa wengi kupitia mitandao hiyo, itakuwa rahisi kwa makampuni mengi kutaka kufanya kazi na wewe. Unahitaji kutengeneza mpango bora ambao utatoa thamani kubwa kwa kampuni yoyote ambayo itakuamini wewe. Mambo hayo manne hapo juu ni muhimu kuyazingatia. SOMA; USHAURI; Wakati Sahihi Na Wakati Mbaya Wa Kuchukua Mkopo Wa Biashara Benki. Mambo yatakayokuzuia kufanyia kazi hiki ulichojifunza leo; Kuna baadhi ya mambo ambayo yatakuzuia kufanyia kazi hiki nilichokushirikisha hapa leo. naomba niyaweke wazi hapa ili unaposhindwa ujue umeamua mwenyewe. 1. Hupo tayari kufanya kazi kwa bidii na maarifa, kufikiri zaidi, kuwa mbunifu na kuongeza thamani kwenye biashara za wengine. 2. Unaogopa kutoa mapendekezo kwa kampuni usiyomjua mtu kwa sababu watakataa. Au utaongea na makampuni machache na yatakataa. Sasa kama unaogopa kwa sababu yatakataa, mpaka sasa ambapo hujatoa mapendekezo wamekataa, kwa nini usitumie mbinu nzuri kuwashawishi? Halafu ukiongea na makampuni kumi yakakataa ni kitu cha kawaida. Nitafute utakapokuwa umeongea na makampuni 100 na yote yakakataa, nitakupa mbinu za tofauti. 3. Uko tayari kushabikia timu nani na timu nani ila hupo tayari kutumia mitandao hii kwa faida yako na ya wengine. Sijui wewe kuwa kwenye timu ya mtu ambayo hata haiendi uwanjani unalipwa kiasi gani, unahitaji kuachana na huu ujinga na ufikirie kutengeneza kipato. 4. Uko tayari kuendelea kuona wivu kwenye maisha ya kuigiza kuliko kufikiria ni kipi ufanye ili kutengeneza fedha kwenye mitandao hii ya kijamii. Umekuwa unaona watu wanavaa vizuri kuliko wewe, wanaonekana kuwa kwenye ofisi nzuri kuliko wewe, wamepiga picha wakiwa wanacheka na kufurahi, wakiwa wanakula vyakula vizuri, wakiwa wapo kwenye sehemu nzuri za mapumziko. Na huenda kwa kuona wengine kwenye picha hizi unaona wewe ndio hujielewi. Sasa achana na mambo hayo ya kuonea wivu kwa sababu sehemu kubwa ya mambo unayoona kwenye mitandao ya kijamii ni maigizo. Au angalau watu hawakuoneshi wakiwa wanapitia matatizo yao binafsi, wakiwa wanakazana kupata fedha, wakiwa wanapambana na ugumu wa maisha. Wewe fikiria jinsi ya kuweza kuongeza thamani kwa wengine kupitia mitandao hii. Fanyia kazi haya ambayo tumejifunza hapa, na kama utakwama popote wasiliana na mimi kwa email [email protected] Nakutakia kila la kheri kwenye safari yako ya kufikia mafanikio makubwa. TUPO PAMOJA
0 notes
dreamstz1 · 24 days
Text
Kuimarisha Uongozi wa Serikali kwa Mafanikio ya Taifa
Kuimarisha uongozi wa serikali ni muhimu sana kwa mafanikio ya taifa. Kama vile uongozi wa klabu za mpira unavyohitaji viongozi wenye uwezo na ujuzi, vivyo hivyo serikali inahitaji viongozi wenye uwezo wa kuiongoza nchi kwa ufanisi. Kwa kuwa na viongozi wenye uadilifu na uwezo wa kufanya maamuzi sahihi, Tanzania inaweza kufikia mafanikio makubwa na kuwa nchi yenye maendeleo endelevu.Kuimarisha…
0 notes
wilfredtarimo · 8 years
Text
Ili Ufanikiwe Ni Muhimu Ufahamu Unachotaka
Ili Ufanikiwe Ni Muhimu Ufahamu Unachotaka
Watu wengi wameshindwa kufanikiwa kabisa katika maisha yao, hii ni kwa sababu ya kutokufahamu na kuamua ni kitu gani halisi wanachokitaka maishani mwao ambacho kinaweza kuwa sababu kubwa ya mafanikio yao makubwa wanayoyatamani kwa muda mrefu. Jiulize unapotamani kufanikiwa kama fulani, ni mara ngapi umejichunguza ndani yako kuwa una lengo kuu linalokuongoza kufikia hatua kubwa ya mahali…
View On WordPress
0 notes
dreamstz1 · 1 month
Text
Kuweka Mipango Bora ya Maendeleo ya Mpira
Kuweka mipango bora ya maendeleo ya mpira ni muhimu sana katika kuleta mafanikio katika mchezo huo. Klabu za Simba SC na Yanga SC zinaweza kuwa mfano bora wa jinsi mipango bora ya maendeleo inavyoweza kuleta mafanikio makubwa. Serikali inaweza kuchukua hatua za kuweka mipango bora ya maendeleo ya mpira ili kuwa na timu bora zaidi na kufikia mafanikio makubwa katika michezo.Kwa kuweka mipango bora…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
mazallaposts · 6 years
Quote
 Rais wa AIESEC Tanzania, Amani Shayo akizungumza kuhusu AIESEC na kazi zake ambapo alisema jukwaa hilo lengo lake ni kuwasaidia vijana kujitambua katika masuala ya uongozi, anaamini kwamba jukwaa ni sehemu kubwa ya kufanikisha vijana kujitambua na kujiipanga kushiriki maisha yanayotakiwa katika jamii wakati wa jukwaa la vijana la AIESEC lililofanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Jukwaa hilo lilifadhiliwa na Umoja wa Mataifa, Benki ya CRDB, Tanzania Breweries Limited (TBL) pamoja na Empower Ltd.  Mgeni rasmi Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini, Alvaro Rodriguez akizungumza na vijana wa kutoka vyuo mbalimbali walioshiriki kwenye jukwaa la vijana la AIESEC lililofanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Jukwaa hilo lilifadhiliwa na Umoja wa Mataifa, Benki ya CRDB, Tanzania Breweries Limited (TBL) pamoja na Empower Ltd.  Msimamizi wa mazungumzo ambaye pia ni Mkuu wa Mafunzo na Miradi wa Empower Ltd, Ella Naiman (kushoto) akizungumza na kuwatambulisha wazungumzaji wakati wa jukwaa la vijana la AIESEC lililofanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Jukwaa hilo lilifadhiliwa na Umoja wa Mataifa, Benki ya CRDB, Tanzania Breweries Limited (TBL) pamoja na Empower Ltd. Kutoka kulia ni Allen Kimambo, Miranda Naiman, Mkurugenzi Mkazi wa Trade Mark East Africa, John Ulanga pamoja na Petrider Paul.  Mkurugenzi Mkazi wa Trade Mark East Africa, John Ulanga (katikati) akizungumza kwenye jukwaa la vijana la AIESEC  ambapo alisema vijana wanatakiwa kutoa mchango mkubwa katika kuhakikisha nchi inafikia malengo ya maendeleo endelevu ambayo utekelezaji wake unaishia mwaka 2030 wakati wa jukwaa hilo lililofanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Jukwaa hilo lilifadhiliwa na Umoja wa Mataifa, Benki ya CRDB, Tanzania Breweries Limited (TBL) pamoja na Empower Ltd.  Mzungumzaji katika jukwaa la vijana la AIESEC, Mkurugenzi Mtendaji wa Empower Ltd, Miranda Naiman (wa pili kulia) akizungumza wakati wa jukwaa hilo lililofanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Jukwaa hilo lilifadhiliwa na Umoja wa Mataifa, Benki ya CRDB, Tanzania Breweries Limited (TBL) pamoja na Empower Ltd.  Meneja wa Masuala Endelevu wa TBL Group, Irene Mutiganzi akiwasilisha mada kuhusu mitandao ya kijamii ambapo alisema matumizi ya mitandao ya kijamii yakitumika sahihi yatasaidia kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu (SDGs) wakati wa jukwaa la vijana la AIESEC lililofanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Jukwaa hilo lilifadhiliwa na Umoja wa Mataifa, Benki ya CRDB, Tanzania Breweries Limited (TBL) pamoja na Empower Ltd.  Mshehereshaji wa jukwaa la vijana la AIESEC, Walter Odemba akiendesha shemsha bongo kuhusu uelewa wa malengo ya maendeleo endelevu (SDGs) kwa vijana kutoka vyuo mbalimbali walioshiriki jukwaa hilo lililofanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Jukwaa hilo lilifadhiliwa na Umoja wa Mataifa, Benki ya CRDB, Tanzania Breweries Limited (TBL) pamoja na Empower Ltd.  Mgeni rasmi Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini, Alvaro Rodriguez akijibu maswali kwa washiriki wa jukwaa la vijana la AIESEC kuhusu malengo ya maendeleo endelevu na umuhimu wa vijana kushiriki moja kwa moja ambalo limefanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam. Jukwaa hilo lilifadhiliwa na Umoja wa Mataifa, Benki ya CRDB, Tanzania Breweries Limited (TBL) pamoja na Empower Ltd. Baadhi ya vijana kutoka vyuo mbalimbali wakichangia maoni wakati wa jukwaa la vijana la AIESEC lililofanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Jukwaa hilo lilifadhiliwa na Umoja wa Mataifa, Benki ya CRDB, Tanzania Breweries Limited (TBL) pamoja na Empower. Baadhi ya vijana kutoka vyuo mbalimbali walioshiriki jukwaa la vijana la AIESEC lililofanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Jukwaa hilo lilifadhiliwa na Umoja wa Mataifa, Benki ya CRDB, Tanzania Breweries Limited (TBL) pamoja na Empower Ltd. Sekretarieti ya maandalizi ya jukwaa la vijana la AIESEC lililofanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Jukwaa hilo lilifadhiliwa na Umoja wa Mataifa, Benki ya CRDB, Tanzania Breweries Limited (TBL) pamoja na Empower Ltd. Na Mwandishi wetu MRATIBU Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Alvaro Rodriguez amewataka vijana wa Tanzania kuwa washiriki katika mipango ya maendeleo na sio kusubiri kufanyiwa. Aidha ameshauri vijana kuacha kuilalamikia serikali na jumuiya ya kimataifa kuhusu ajira na badala yake wajiulize wamelifanyia nini taifa na jumuiya hiyo. Alisema katika kipindi ambacho theluthi mbili ya watu nchini ni vijana, wasitarajie kuajiriwa au kupatiwa kazi kirahisi kwa kuwa idadi ni kubwa kuliko hata yeye alipokuwa akisoma. Alisema tatizo la ajira kwa sasa haliwezi kusubiri serikali au wahisani ni tatizo linalokuwa kibinafsi zaidi na kuhitaji vijana katika uwingi wao kuamka na kubuni vitu vitakavyoleta maendeleo yao binafsi na pia ya kitaifa. Akizungumza katika jukwaa la vijana la AIESEC mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Dar es salaam Mratibu huyo alisema kwamba  vijana  wanatakiwa kushiriki katika kila kitu na kuacha kushutumu serikali au jumuiya ya kimataifa katika kipindi ambacho dunia imebarikiwa na vijana  kama nguvu kazi yake kubwa. Aliwataka vijana kujadili kuhusu malengo ya dunia, fursa zake, utekelezaji wake na changamoto zake. “Malengo ya Dunia ni ajenga muhimu sana kwa Tanzania, Afrika na ulimwenguni  kote. Ajenda hii imelenga kuleta mabadiliko chanya kwa kuhakikisha hakuna anayeachwa nyuma katika utekelezaji wake” alisema Alvaro na kuongeza kuwa malengo hayo 17 ni lazima yajulikane ili kil kijana ashiriki katika utekelezaji wake. Alisema vijana wakiwa ndio viongozi wa baadae ni lazima waelewe malengo hayo ya dunia na namna ya kuyatekeleza kwa kuyafungamanisha na mpango wa maendeleo wa miaka mitano wa taifa. Alisema kwa vijana kuangalia na kutambua wataweza pia kuona ni kwa namna gani wao ni watekelezaji wa malengo hayo na wala si wasindikizaji. Aidha aliwataka wakiwa kama vijana wanatakiwa kuwa wbaunifu katika eneo  walilipoo na kuhakikisha kwamba linapata mafanikio makubwa. “Kwa wale wanaonifuatilia katika twita mtakumbuka  niliposti  habari za kijana wa miaka kumi na minane ambaye alitengeneza mkono wa roboti unaofanyakazi kutoka katika mabaki ya vifaa vya matumizi ya nyumbani. Huu ndio ubunifu tunaoutaka, wa kutambua changamoto na suluhu zake” alisema Alavaro katika jukwaa hilo lililofanyika Makumbusho jijini Dar es salaam. Alisema anaamini kuwa Mpango wa dunia wa maendeleo endelevu sio Biblia wala Kurani na kuwataka vijana kuuangalia, kuutafakari kuujadili na kujua namna ya kuendesha utekelezaji wake kwani imebaki miaka 12 kumalizika kwa utekelezaji. Alisema ili kufikia adhima ya kuutokomeza umaskini  ifikapo mwaka 2030 ni vyema vijana wakatumia wakati kwa makini kuangalia malengo hayo 17 na kuona namna ya wao kuwa washirika. Aidha katika hotuba yake hiyo alihimiza vijana kufanya mambo kwa wakati:” Vijana tufanye ya wakati, wakati tuna wakati, kwani utafikia wakati tunataka kufanya ya wakati, wakati hatuna wakati” Akizungumzia nguvu ya mtandao , Alvaro aliwataka vijana kuwa smati katika kuchagua mambo yanayofaa kwa maendeleo yao na sio kuchukua mambo ambayo yatawaangamiza au kuleta vurugu. Katika jukwaa hilo ambalo liliongozwa na Mratibu huyo kulikuwa na wasemaji wengine wakiwemo Rais wa AIESEC Tanzania, Amani Shayo; Mkurugenzi Mkazi wa Trade Mark East Africa, John Ulanga na Mkurugenzi Mtendaji wa Empower, Miranda Naiman wote hao waliwataka vijana kuwa sehemu ya mafanikio. Mmoja wa wa shiriki Debora Kaluzi kutoka Chuo cha Diplomasia ambaye pia ni championi wa malengo endelevu ya dunia alisema kama champion amefarijika kuwepo katika jukwaa hilo kujadili mambo mbalimbali yanayosukuma maendeleo ya nchi na vijana. Alisema akiwa championi yeye anajikita zaidi katika lengo la nne na la tano ambalo linahakikisha kwamba wasichana wanakuwa na uwezo huku wakijua thamani yao katika jamii. Alisema utekelezaji wa malengo hayo yatasaidia wanawake kujitambua na kufikia lengo la wao kushiriki kikamilifu katika masuala yanayohusu mambo mbalimbali ya kidunia yakiwemo ujasirimali na madaraka. Alisema wanawake wakipewa fursa na kukawepo na haki sawa ya jinsia wanaweza kubadilisha mambo mbalimbali yanayohusu dunia wanayoishi. Naye Amani Shayo katika mahojiano pamoja na kuzungumza na vijana alisema kwamba akiwa Rais wa AIESEC, Shirika la vijana lililoanzishwa mwaka 2000 Chuo Kikuu kwa lengo la kuwasaidia vijana kujitambua katika masuala ya uongozi, anaamini kwamba jukwaa ni sehemu kubwa ya kufanikisha vijana kujitambua na kujiipanga kushiriki maisha yanayotakiwa katika jamii. Alisema kupitia kazi za kujitolea vijana wanazungumza kuhusu malengo ya maendeleo endelevu 17 yaliyopangwa na dunia na kuhakikisha kwamba wanafanikisha adhima ya dunia. Alisema utafiti uliofanywa kwa takaribani vijana 2000 umewapa wazo la nini wanatakiwa kufanya na moja ya mambo ambayo yalijadiliwa katika Jukwaa ni namna ambavyo vijana wanaweza kuwezeshwa kujiajiri kuajiriwa na pia kushiriki kikamilifu katika miradi mbalimbali ya utoaji huduma na kadhalika. Alisema shirika hilo lina mradi wa kuwezesha vijana kushiriki katika kazi za kujitolea ndani na nje ya nchi na pia kutoa elimu ya kuongeza ujuzi. Alisema kazi kubwa ya jukwaa ni kuwaleta pamoja watawala na viongozi na wadau wa maendeleo ambao watashirikiana na vijana kudadavua malengo hayo ya dunia na kuyawezesha kufanyakazi katika maeneo ambapo vijana wenyewe wapo.
http://www.mtazamonews.co.tz/2018/05/vijana-washauriwa-kuwa-washiriki-wa.html
0 notes
mazallaposts · 6 years
Quote
 Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulikia Kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Anthony Mavunde, akipeana mikono na mama mjane, Atulehemu Kiduko, ambaye analipwa fidia ya kila mwezi kufuatia kifo cha mumewe wakati akiwa kazini kwenye kiwanda cha karatasi Mgololo kilichoko Mufindi  mjini Iringa. mama huyo alitoa ushuhuda wa huduma anayopata kutoka WCF wakati wa kutano baina ya Serikali na wadau wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania, (TPSF) na Chama cha Wafanyabiashara ya Viwanda na Kilimo (TCCIA) Kanda ya Nyanda za Juu Kusini uliofanyika jijini Mbeya Mei 26, 2018 kwa lengo la kujadiliana namna bora zaidi ya utekelezaji wa sheria ya fidia kwa wafanyakazi. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa WCF Bw. Masha Mshomba.   Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulikia Kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Anthony Mavunde, akifungua mkutano  baina ya Serikali na wadau wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania, (TPSF) na Chama cha Wafanyabiashara ya Viwanda na Kilimo (TCCIA) Kanda ya Nyanda za Juu Kusini uliofanyika jijinmi Mneya Mei 26, 2018 kwa lengo la kujadiliana namna bora zaidi ya utekelezaji wa sheria ya fidia kwa wafanyakazi. NA K-VIS BLOG/Khalfan Said, Mbeya SERIKALI ilianzisha Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi kwa lengo la kuhakikisha kuwa wafanyakazi wanapata mafao bora na stahiki ya fidia tofauti na sheria ya zamani iliyotoa viwango vya chini vya fidia,  lakini pia kuwawezesha waajiri kupata muda zaidi kushughulikia masuala yao ya uzalishaji na uendeshaji. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulikia masuala ya Kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Anthony Mavunde, jijini Mbeya leo Mei 26, 2018 wakati akifungua mkutano baina ya Serikali na wadau wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania, (TPSF) na Chama cha Wafanyabiashara ya Viwanda na Kilimo (TCCIA) Kanda ya Nyanda za Juu Kusini kwa lengo la kujadiliana namna bora zaidi ya utekelezaji wa sheria ya fidia kwa wafanyakazi. Mhe. Mvunde alisema viwango vya juu vya malipo ya fidia kwa wafanyakazi walipokuwa wanaumia kazini kabla ya sheria ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, ilikuwa ni shilingi 108,000/=kwa mfanyakazi aliyepata ajali au kuumia kazini, lakini pia sheria inasema kulikuwa na malipo mengine ya shilingi 83,000/= kwa mfanyakzi aliyefariki kwa ajali au ugonjwa kutokana na kazi aliyokuwa akifanya na malipo hayo yalitegemea pia mkataba wa ajira yake unasemaje. “Serikali ilikuja na sheria mpya baada ya kuona viwango hivi kwa ubinadamu na kwa hali halisi, vilikuwa vimepitwa sana na wakati na wafanyakazi walikuwa wanapata fidia hiyo kwa kadhia kubwa sana na viwango hivyo haviendani na ukuaji wa uchumi na kwa wakati tulionao.” Alifafanua Mhe. Naibu Waziri. Aidha Mhe. Mavunde alisema, Mfuko unafaida kubwa sio tu kwa wafanyakazi bali pia kwa waajiri na taifa kwa ujumla ambapo  wafanyakazi sasa wanauhakika wa kupata kinga ya kipato kutoakana na majanga ambayo yatasababishwa na ajali, magonjwa ama vifo kutokana na kazi wanazofanya, lakini waajiri nao watapata muda zaidi wa kushughulikia masuala yao ya uzalishaji na uendelevu wa biashara na shughuli zao kwani Serikali kupitia Mfuko itabeba  mzigo wote wa gharama pindi mfanyakazi atakapofikwa na janga lolote awapo kazini. “Pamoja na uchanga wake, Mfuko huu ambao umeanzishwa mwaka 2015 umeonyesha mafanikio makubwa katika kipindi kifupi kwani hadi sasa waajiri ambao wameshajisajili kwenye mfuko wetu ni 13,500 na wafanyakazi wao ambao wamepatwa na majanga wakiwa kazini wameshalipwa fidia na Mfuko fedha zisizopungua shilingi bilioni 2.52 kufikia Februari 2018.” Alibainisha. Alisema Mfuko umekuja wakati muafaka kwani nchi inakwenda kwenye uchumi wa viwanda bila shaka kutakuwepo na ongezeko la ajali na magonjwa yanayotokana na uendeshaji wa shughuli katika viuwanda vyetu hivyo ni lazima kiwepo chombo kitakachosimamia majukumu haya ya fidia ili kuwapa nafasi pana waajiri kuendelea na shughuli zao za uzalishaji.  “Rais wetu wa Jamhuri ya uungano wa Tanzania, Dkt.John Pombe Magufuli kila wakati tunapokutana kwenye baraza la Wafanyabiashara Tanzania amekuwa akituagiza sisi wasaidizi wake, kama kuna jambo lolote linajitokeza na sekta binafsi inafikiri kwamba jambo hili bado halijaeleweka na haliko sawasawa ni wajibu wetu sisi mawaziri kuchukua hatua haraka za kukutana na kujadiliana na wadau na kushauriana na wadau husika ili kufikia muafaka na kuelewana ili kwenda pamoja na ndio maana leo tuko hapa.” Alifafanua Mhe. Naibu Waziri Mavunde Wakitoa ushuhuda mbele ya washiriki wa mkutano huo, Wafanyakazi waliopatwa na majanga ya kuumia au kufiwa na wenza wao, wameipongeza Serikali kwa kuanzisha Mfuko huo kwani umekuwa ni mkombozi kwa wafanyakazi. “Mimi nilikatika vidole vya mkono wangu wa kushoto wakati nikitekeleza majukumu yangu ya kazi kwenye kiwanda cha Lake Cement kinachozalisha saruji ya nyati (Nyati cement) huko Kimbiji jijini Dar es Salaam na WCF imenilipa fidia ya mkupuo ya kiasi cha shilinhgi milioni 11, alisema Bw. Jimmy Samson Malumbo mbele ya Mkutano huo. Mwingine aliyetoa ushuhuda wa faida ya Mfuko kwa wafanyakazi, ni mama mjane, Bi. Atulehemu Kiduko wa huko Mafinga Mkoani Iringa, alisema mumewe ambaye alikuwa mfanyakazi wa kiwanda cha karatasi Mgololo Mufindi Papers baada ya kuangukiwa na gogo wakati akitekeleza majukumu yake. Hivi sasa mama huyo mjane anapokea malipo ya fidia kila mwezi shilingi 110,000/= na watoto wake wawili kila mmoja analipwa shilingi 55,000/= kila mwezi. “Kwakweli nimefarijika sana kwa malipo haya, ingawa nimeshampoteza mwenzangu, lakini fidia hii ninayolipwa imekuwa ikinisaidia sana katika kuhudumia familia yangu kijijini ikiwa ni pamoja na kumsomesha motto wangu  mmoja aliye darasa la tatu.” Alisema Bi. Atulehemu.   Mkurugenzi Mkuu wa WCF, Bw. Masha Mshomba alisema Mfuko unaendeshwa kwa msingi wa utatu ambapo katika bodi ya wadhamini ambayo ina uwakishi wa serikali, wafanyakazi na uwakilishi wa waajiri kama ambavyo Shirika la Kazi Duniani linavyotaka katika masuala haya ya fidia kwa wafanyakazi. Alisema, katika mfumo wa zamani, mfanyakazi anapotoka au kwenda kazini endapo atapatwa na tatizo njiani sheria ya zamani haikumtambua, tofauti na sheria ya sasa ambapo inaeleza mfanyaakzi akiumia au akifikwa na umauti wakati akitoka kazini au akielekea kazini sheria ya sasa inataka afidiwe. “Alisema Mfuko umeweka utaratibu ili kuhakikisha mfumo wa usajili wa waajiri unakuwa wa haraka na rahisi lakini pia kushughulikia masuala ya ulipaji fidia katika kipindi kifupi.” Alisema. Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala, Wizara ya Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Bw.Peter Kalonga, kwa niaba ya Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu Bw. Eric Shitindi, akitoa hotuba Mkurugenzi Mkuu wa WCF, Bw. Masha Mshomba akizungumza.   Sehemu ya waliohudhuria mkutano huo.   Sehemu ya waliohudhuria mkutano huo.   Sehemu ya waliohudhuria mkutano huo.  Mkurugenzi wa Uendeshaji, wa WCF, Bw. Anselkim Peter, akiwasilisha mada kuhusu shughuli za Mfuko.  Mkurugenzi wa huduma za Tiba na Tathmini wa WCF, Dkt. Abdulsalaam Omar, akitoa mada kuhusu namna tathmini inavyofanyika kwa Mfanyakazi aliyepatwa na madhara wakati akitelekeaza wajibu wake wa kazi.  Mwakilishi kutoka chama cha waajiri Tanzania, (ATE), Bi. Patricia Chao, akizungumza kwenye mkutano huo. Mwenyekiti wa TCCIA Mkoa wa Mbeya, Dkt. Lwitiko Mwakalukwa, akizungumza kwenye mkutano huo.  Washiriki wakipiatia taarifa mbalimbali za WCF.  Mkurugenzi Mkuu wa WCF, Bw. Masha Mshomba, (kushoto), Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Mfuko huo, Bw. Anselim Peter, (wapili kushoto), Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano, Bi. Laura Kunenge, na Mkurugenzi wa Huduma za Tiba na Tathmini, Dkt. Abdulsalaam Omar, (aliyeipa mgongo camera), wakijadiliana jambo kabla ya kuanza kwa mkutano huo. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano, WCF, Bi. Laura Kunenge  Emiliana Gwagilo, Afisa Matekelezo wa WCF, akiandaa taarifa kwenye meza kuu  Afisa Matekelezo wa WCF, Bw. George Faustin, akijibu baadhi ya hoja zilizojitokeza kutoka kwa washiriki wa mkutano.  Mkurugenzi Mkuu wa WCF , akibadilkishana mawazo na Mkurugenzi wa Uendeshaji, Bw. Anselim Peter, (kulia), Mkurugenzi wa Huduma za Tiba na Tathmini, Dkt. Abdulsalaam Omar, (kushoto) na Afisa Matekelezo, Bi. Emiliana Gwagilo. Mkurugenzi wa Uendeshaji wa WCF, Bw. Anselim Peter, (kushoto), na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano, WCF, Bi. Laura Kunenge, wakiwajibika kwenye mkutano huo. Naibu waziri Mavunde, akisindikizwa na Bw. Mshomba wakati akiondoka kwenye eneo la mkutano.
http://www.mtazamonews.co.tz/2018/05/naibu-waziri-mavunde-afungua-mkutano-wa.html
0 notes
mazallaposts · 6 years
Link
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Isack Kamwelwe akijibu hoja mbalimbali zilizobainishwa katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) katika Wizara yake mjini Dodoma Aprili 182018wakati wa mkutano na waandishi wa habari ( hawapo pichani). (Picha zote na Frank Mvungi- MAELEZO Dodoma) Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akisisitiza kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu utaratibu wa Mawaziri wote kukutana na waandishi wa habari kujibu hoja mbalimbali zilizobainishwa katikaripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)katika Wizara zao mjini Dodoma. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akijibu hoja mbalimnbali zilizobainishwa katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) katika Ofisi hiyo mjini Dodoma wakati wa mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani). Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO na Msemaji mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akifurahia jambo na Naibu Waziri wa Maji Mhe. JumaaAwesomapema leo mjini Dodoma wakati wa mkutanona waandishi wa habari uliowashirikishaWaziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Isack Kamwelwe na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. JanuaryMakamba. Upatikanaji wa maji mijini na vijijini umeimarika kutoka chini ya 50% ya awali kutokana na umakini katika ufuatiliaji wa utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maji safi nchini. Aidha ili kukabiliana na mazingira Serikali imeanza mchakato wa kutumia mifumo ya kisayansi ili kuondoa matumizi ya mkaa majumbani. Hatua hizo zimebainishwa leo na Mhe. Isack Kamwelwe Waziri wa Maji na Umwagiliaji na Mhe. Januari Makamba Waziri wa Nchi (Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano na Mazingira) walipokuwa wakieleza utekelezaji wa hoja za CAG katika sekta zao. Akizungumzia hoja kuhusu utekelezaji wa miradi ya maji nchini Waziri Kamwelwe amesisitiza kuwa tangu Serikali ya Awamu ya Tano iingie madarakani ufuatiliaji na kuzibwa mianya ya ubadhirifu vimeleta mafanikio makubwa katika utekelezaji wa miradi ya maji mijini na vijijini. Sisi kwa upande wetu CAG anatuonesha njia ili tufanye vizuri zaidi. Hadi kufikia Desemba 2017 upatikanaji wa maji mijini umepanda hadi kufikia asilimia 78. Kwa upande wa vijijini hadi kufikia Machi 2018 Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali imejenga vituo vya kuchotea maji 123888 vyenye uwezo wa kuhudumia takribani watu milioni 30 sawa na asilimia 68.8 alisema. Kwa upande wake Waziri Makamba amesema hoja za CAG zimewasaidia kuongeza mikakati hasa ya kutumia sayansi na teknolojia kupata mbadala wa matumizi ya mkaa ili kuokoa misitu na kutunza mazingira. Amesema tayari Ofisi yake na wadau wanafanya majaribio ya baadhi ya teknolojia hizo. Kuhusu changamoto za kupambana na taka za kielektroniki amekiri kuwa Tanzania kama nchi nyingine zinazoendelea inakumbana na changamoto ya kupokea vifaa vingi vilivyotumika kama kompyuta simu na chaja ambavyo huharabika haraka na kutupwa kama taka za kielectroniki. Ofisi ya Makamu wa Rais imeanza kutoa vibali kwa makampuni 16 yenye utaalamu kwa ajili ya kukusanya kusafirisha na kurejeresha (recycling) taka za kielektroniki alisema.
0 notes
sariaisrael · 7 years
Text
KUNA HAJA YA KUJIVUNIA NA COSAFA ?
KUNA HAJA YA KUJIVUNIA NA COSAFA ?
Mashindano ya COSAFA yalimalizika wiki iliyopita, timu ya taifa ya Tanzania ilifanikiwa kushika nafasi ya tatu kwenye mashindano hayo. Nafasi hii ya tatu ndiyo mafanikio makubwa ambayo Tanzania ndiyo imewahi kufikia katika mashindano haya. Siyo jambo la kubeza hata kidogo, kuna kila haja ya kumpongeza kocha Mayanga, benchi la ufundi pamoja na wachezaji wote wa timu ya taifa. Mafanikio waliyopata…
View On WordPress
0 notes
wilfredtarimo · 8 years
Text
Leo Usikubali Kushindwa
Mara nyingi ni rahisi sana kuangalia mazingira yalituzunguka na watu wengine walio karibu yetu kama vichocheo vya kutuhamasisha kufikia mahali pazuri tunapopahitaji. Ni vyema kabisa kuyatumia mazingira na watu kwa hali chanya ya kufanikiwa, lakini si vyema kuruhusu watu na mazingira hayo kuwa kikwazo cha wewe kushindwa kufikia mafanikio makubwa unayoyahitaji. Angalia ni mara ngapi umewahi kuacha…
View On WordPress
0 notes
wilfredtarimo · 8 years
Text
Weka Mwendelezo Kwenye Kitu Unachofanya
Weka Mwendelezo Kwenye Kitu Unachofanya
Mojawapo ya kanuni ya mafanikio inayoweza kumsaidia mtu kufikia katika mafanikio makubwa ni ile kanuni ya mwendelezo. Ili ufanikiwe unahitaji kufanya jambo moja kwa mwendelezo pasipo kuishia kati. Watu wengi wameshindwa kufanikiwa leo hii ni kwa sababu ya tabia ya kufanya jambo fulani na kuachia njiani, unakuta leo unafanya kesho haufanyi.
Amua leo kutekeleza jambo ulilolianza pasipo kuishia…
View On WordPress
0 notes
wilfredtarimo · 8 years
Text
Weka Kipaumbele Katika Jambo Moja
Weka Kipaumbele Katika Jambo Moja
Huu ndio ukweli kuhusu maisha yako kama hauoni mafanikio hadi hivi sasa, hasa katika kufikia mipango na malengo yako makubwa ambayo kila mwaka unajiwekea. Jiulize kwa nini haufanikiwi kama wengine, miaka hadi miaka?
Ni kwa sababu HAUJUI kile unachokitaka katika maisha yako. Hauna kipaumbele KIKUU unachosimamia katika Maisha yako. Jiulize swali unataka kitu gani katika Maisha yako? Jiulize unataka…
View On WordPress
0 notes