#kama Simba SC na Yanga SC
Explore tagged Tumblr posts
Text
Kuweka Mazingira Bora ya Kufanya Michezo
Kuweka mazingira bora ya kufanya michezo ni muhimu sana katika kuleta maendeleo ya michezo nchini. Klabu za Simba SC na Yanga SC zinaweza kuwa mfano bora wa jinsi mazingira bora ya kufanya michezo yanavyoweza kuleta mafanikio makubwa. Serikali inaweza kuchukua hatua za kuweka mazingira bora ya kufanya michezo kwa kusaidia klabu za mpira na kuweka miundombinu bora ya michezo.Kwa kuweka mazingira…
View On WordPress
#-uongozi-wa-simba-sc-na-yanga-sc#Jifunze jinsi ushirikiano#kama Simba SC na Yanga SC#katika siasa na michezo.#kufikia mafanikio makubwa#kuongeza-ufanisi-wa-serikali-#Kupitia uongozi wa klabu za mpira#na maendeleo ya wachezaji wapya vinavyoweza kuleta mabadiliko chanya#Tanzania inaweza kuimarisha serikali yake#uwekezaji
0 notes
Text
SIMBA SC NGOMA NGUMU NBC PL
Siyo vibaya kama utasema klabu ya Simba ina wakati mgumu katika Ligi Kuu NBC Premium League, mashabiki wake hawajaizoea kabisa timu yao ambayo imeonyesha kusua sua kwenye kuusaka Ubingwa wa Ligi. Mpaka sasa klabu hiyo yenye maskani yake mitaa ya Msimbazi imejikusanyia jumla ya alama 23 ikishika nafasi ya tatu nyuma ya watani zao Yanga SC ambao wao wanakata nafasi ya pili wakiwa na alama 30 huku…
View On WordPress
0 notes
Photo
J E M E D A R I - S A I D ! ------------------------------------------ "Kwa hiyo Simba sc wameongea na Mchezaji wa Kagera sugar mwenye mkataba wa mwaka mmoja, wakaingia nae mkataba mwingine, wakamtangaza bila kuialifu klabu ya Kagera sugar ...!" "Baada ya vurugu hiyo Kagera sugar wakaitwa (TFF) kwenye shauri la Mchezaji wao aliyesajiliwa na kutangazwa na Simba SC akiwa na mkataba bila wao kuarifiwa, akiomba kuvunja mkataba na wao" "Kamati ya usajili ya Simba SC imeamua kwa MAKUSUDI kuturejesha miaka ya (90), ambako kanuni hazikuwa kitu chenye mashiko linapokuja suala la Simba na Yanga" "Wakiwa wanajua kabisa ni Mchezaji wa timu nyingine tena ANAMKATABA, wakaongea nae na kumsainisha mkataba pia, wakamtangaza rasmi kama mali yao bila kumalizana na klabu yake. Nguvu ya ajabu! " "Kweli Mchezaji anaweza asiwe na thamani ya Tsh (200) Milioni ambayo Kagera sugar wanaitaka sasa, na inawezekana hata Tsh (35) Milioni ambayo Simba wanataka kuitoa sasa isiwe thamani ya mkataba wake wa mwaka (1) uliobaki. Lakini walichokifanya Simba SC ndicho kinachowahukumu sasa" "Ukisikiliza sakata la Yusuph Mhilu na Simba yake, ndo unajua UJINGA wa mpira wa Bongo. Watu wanaojinasibu kuwa na weledi ndio wamehusika kwenye mambo ya HOVYO KABISA yani ... Halafu baadae tunaambiwa UONGO wa 'SISI HUKO TUMETOKA'" "Sakata hili linaweza kuwa kipimo cha (TFF) mpya iliyoingia madarakani August 7, 2021 pale Tanga. Kanuni ZITASIGINWA NA HAWA JAMAA MPAKA LINI ? Na (TFF) inajivika usuluhishi wa kimataifa badala ya KUCHUKUA HATUA" 🔍 Jemedari Said Kazumari. https://www.instagram.com/p/CSs_TkLqjjt/?utm_medium=tumblr
0 notes
Photo
Bodi ya Ligi Kuu ya Tanzania (TPLB) imeitoza Yanga, Sh.3.8 milioni kwa makosa mbalimbali waliyoyafanya siku ya mchezo wao na Simba Sc makosa hayo ni kama. - 1.)Kutumia mageti ya uwanja wa Uhuru kuingia uwanja wa Benjamin Mkapa badala ya mlango maalum unaotumiwa na timu. 2.)Kutumia mlango wa chumba cha waandishi wa habari badala ya mlango maalum unaotumiwa na timu. 3.)Kuingia uwanjani kupasha misuli kwa kutumia mlango ambao haukupangwa kutumika kwa namna yoyote. 4.)Kutumia chumba cha wafanya usafi wa uwanja kubadilisha nguo badala ya chumba maalum cha kubadilishia nguo. Na pia klabu ya Yanga inatakiwa kulipa Shilingi laki nane na nusu (850,000) ikiwa gharama ya ukarabati wa mageti yaliyovunjwa wakati wakiingia uwanjani pamoja na makufuli ya uwanja wa Benjamin Mkapa yaliyoharibiwa katika tukio hilo. #babadupdates (at Baba d updates) https://www.instagram.com/p/CRD6Fp1L7Iw/?utm_medium=tumblr
0 notes
Text
TFF imeamua kuwatengenezea Simba SC Ngao mpya
TFF imeamua kuwatengenezea Simba SC Ngao mpya
Baada ya shirikisho la soka Tanzania TFF kuomba radhi kwa kutoa Ngao ya Hisani kwa Simba iliyokuwa na makosa ya kiuandishi, leo shirikisho hilo limeonesha na kutangaza kuitengenezea Ngao mpya Simba ambayo watawakabidhi siku ya mchezo wa Ligi Kuu kati ya Simba dhidi ya Azam FC.
Kama utakuwa unakumbuka TFF ambao ndio waandaaji wa mchezo wa Ngao ya Hisani kati ya Simba dhidi ya Yanga uliyochezwa…
View On WordPress
0 notes
Text
Kuongeza Ufanisi wa Serikali kupitia Uongozi wa Simba SC na Yanga SC
Kila siku tunashuhudia jinsi uongozi wa klabu za mpira kama Simba SC na Yanga SC unavyoweza kuwa na athari kubwa katika maendeleo ya timu hizo. Hali hii inaweza kulinganishwa na jinsi serikali inavyoongozwa na viongozi wake. Kama vile uongozi wa klabu unavyohitaji usajili wa wachezaji wapya ili kuimarisha timu, vivyo hivyo serikali inahitaji viongozi wenye uwezo na ujuzi wa kuiongoza nchi kwa…
View On WordPress
0 notes
Text
Tatizo Morrison anashindana na Yanga
Tatizo Morrison anashindana na Yanga
Hapa ndipo tatizo linapoanzia kwake yeye mpaka sasa hivi Bernard Morrison anashiriki michuano miwili msimu huu. Mchuano wa kwanza ni ule ambao klabu yake ya Simba SC inashiriki. Simba SC mpaka sasa hivi inashiriki michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika, ligi kuu ya Tanzania bara na kombe la shirikisho. Michuano hii Bernard Morrison anatakiwa kushiriki kama mchezaji wa Simba SC ili aisaidie…
View On WordPress
0 notes