Tumgik
#afrikamashariki
serengeti-dc · 2 years
Photo
Tumblr media
#Repost @azamtvtz with @let.repost • • • • • • VIONGOZI AFRIKA MASHARIKI WAFURAHIA MASHINDANO YA FEASSAA: Waziri mkuu, Kassim Majaliwa amesema viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wanamatumaini makubwa kuwa mashindano ya shule za msingi na sekondari za Afrika Mashariki (FEASSSA) yataendelea kuwa chachu kwa nchi washirika kuendelea kuthamini michezo. Amesema kuwa viongozi hao wanaamini kupitia michezo hiyo wanaamini itaendelea kusaidia katika kukuza ajira, ustawi katika jamii, uchumi na kuimarisha ushirikiano wa kimataifa. Waziri mkuu ameyasema hayo leo, Jumapili, Septemba 18, wakati akizindua Mashindano hayo ya michezo ya shule za msingi na za sekondari kwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki yanayofanyika kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha. Majaliwa ametumia fursa hiyo kutoa wito kwa mamlaka zote zinazosimamia elimu katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kuendelea kuwajengea mazingira rafiki vijana wanaoshiriki michezo hiyo ili kutanua wigo wa ushindani wa ndani na nje ya Jumuiya ya Afrika ya Mashariki. “Ni vyema sasa viongozi wa FEASSSA kushirikiana kwa karibu na vyama vya michezo katika nchi za Afrika Mashariki na vilabu vya michezo mbalimbali kutupia macho vipaji vinavyopatikana katika mashindano haya ya wanafunzi ili kupata wachezaji watakaokuwa na mwendelezo na kuvitumikia vilabu vyao.” Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa. Aidha, amewataka viongozi wa mashirikisho ya michezo ya shule katika kila nchi husika kuwa na mipango ya pamoja ya muda mfupi na muda mrefu ya maendeleo ya michezo ya shule. Naye, Rais wa Shirikisho la Vyama vya Michezo vya Shule za Sekondari Afrika Mashariki (FEASSSA), Justus Mugisha amesema moja ya malengo ya michezo hiyo ni kuhakikisha wanazalisha vijana wataoweza kushiriki katika michezo mbalimbali ili kuzitangaza nchi za Afrika Mashariki. #michezo #wanafunzi #afrikamashariki #arusha #kenya #uganda #tanzania #vipaji #ushirikianowakimataifa #uzalendo (at Serengeti District) https://www.instagram.com/p/CipuCzst8gK/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
cbeworldwide · 4 years
Photo
Tumblr media
#CBE ・・・ 🎙 @nedymusic 🔥🔥🤩🤩🤩 ⁣⁣⁣ : : ————————————————— . 🚩Drop your comment👇🏿 #CBE Rate this 1 - 10 and the best Emoji 🛸 #Trending #crazybeatsent #whatstrending . . . . . . . ———————————————— . 🔌 Entertainment to the World🗺 Remember to follow this page for more update @cbeworldwidee for FREE Promo 🔌 ➕ Advert..📡, #cbeworldwidee #cbeworldwide Managed by @Lmmedia_ 📶 #Nedy #BongoFlava #music #afrobeat #Bongofleva #eastafrica #afrikamashariki #tanzanianmusic #tanzania #musiclovers #outfit #musicblog #musicjournalism #musicproducers #musician #musicjunkie https://www.instagram.com/p/CDOaxaCHDAI/?igshid=um1y0v14h5u7
0 notes
Photo
Tumblr media
#BiasharakwaKiswahili #UsafirishajiwaForodha #Ingiza #Uuzajinje #Kutolewakwamizigo #Bandari #Viwanjavyandege #Hifadhi #Vifaa #Utaifa #BiasharanchiniBrazil #AfrikaMashariki #Kenya #JamhuriyaKidemokrasiayaKongo #Tanzania #uganda🇺🇬 (em Teodoro Sampaio, Sao Paulo, Brazil) https://www.instagram.com/p/B1rDaA5lpmM/?igshid=m3g2vtt6fmzl
0 notes
enockmaregesi · 5 years
Photo
Tumblr media
Lakini Kiswahili kilizaliwa Afrika Mashariki. Kwa nini hatuithamini lugha yetu? Kwa nini hatuzithamini lugha zetu za makabila? Kwa nini hatuipendi na kuitetea lugha yetu ya taifa ambayo ndiyo lugha ya biashara na mawasiliano ya Afrika Mashariki? Kwa nini hatuvitetei vizazi vijavyo kwa kuvitetea vizazi vya leo? #kiswahili #swahili #afrikamashariki #eastafrica #lugha #language #vizazivipya #futuregenerations https://www.instagram.com/p/BxKKwwSnA7-/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=974kv4njcpua
0 notes
allfresh-blog · 13 years
Text
Mawaziri wa michezo kushirikiana:Imani Makongoro MAWAZIRI wa Michezo wa nchi za wametakiwa http://bit.ly/gQVOo0
0 notes
allfresh-blog · 14 years
Text
Afrika Mashariki yafuta ushuru wa forodha
yafuta ushuru wa forodha:Leon Bahati WAFANYABIASHARA wa nchi sita wanachama wa Jumuia ya Af http://bit.ly/gTmpMD
0 notes
allfresh-blog · 14 years
Text
Mwananchi yaanza kuuza hisa DSE:Hatua hiyo imefikiwa baada kampuni hiyo maarufu ya yenye ma http://bit.ly/e1siCu
0 notes