#vifaa
Explore tagged Tumblr posts
Text
Mashine ya pamba ya sukari ya umeme
- Vifaa vya kutengeneza pamba ya sukari
Mashine ya pamba ya sukari ya umeme
- Vifaa vya kutengeneza pamba ya sukari
0 notes
Text
TUNAUZA VIFAA VYA INCUBATOR | TUNA VIFAA VYOTE VINAVYOTUMIKA KWENYE UTENGENEZAJI WA INCUBATOR
Call/Text/WhatsApp: 0714 636 375
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Kwenye hii picha ni baadhi ya vifaaaa vya incubator.
JOACK tuna aina zote za vifaa (material) ambavyo vinatumika kwenye kutengeneza incubator.
Vifaa vyetu unaweza kutumia kutengeneza incubator ndogo kabisa za mayai 24 na tunavifaa vinavyoweza kutumika katika kutengeneza incubator kubwa mpaka za mayai 10,000 na kuendelea.
Vifaa hivi tunauza kwa bei ya jumla na rejareja.
Hapo chini tumeorodhesha tu baadhi ya vifaa tulivyonavyo, lakini tunavifaa vingi zaidi ya hivyo.
01. Incubator Controler
02. Incubator Thermometer
03. Incubator tray
04. Heater tubes 200W - 500W
05. Hatcher tray/basket
06. Incubator Fan
07. Exhausting fan
08. Humidity tube 200W - 500W
09. Limit switch
10. Incubator chain
11. Incubator switch
12. Humidity sensor
13. Temperature sensor
14. Incubator window
15. Incubator tyres
16. Humidifier
17. Incubator/turning Motor
18. Power cable
19. Plug 🔌
18. Insulating body, nk
Lakini pia tunauza incubator (mpya) mshine za ukubwa tofautitofauti, ndogo za mayai 16 mpaka kubwa za mayai 5,280 +.
Office zetu zipo @tegetawazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha @twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
#incubator #incubatorcontroller #incubatormicrocomputer #mashinezavifaranga #kutotolesha #vifaavyaincubator #mashinezakutotoleshea #vifaranga #eggs #mayai #hatcher #incubatorheater #incubatorcontroler
Simu:
+255 714 637 375
(WhatsApp)
+255 692 430 263
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://www.joack.co.tz
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #joackagrovet #tanzania🇹🇿 #mifugo #kilimo #kuku #mayai #incubator #poultrycage #kuroiler #sasso #dodoma #daressalaam #morogoro #tanzania #kilimoufugaji #dodoma
Welcome JOACK Company LTD
0 notes
Text
TUNAUZA INCUBATOR | MASHINE ZA KUTOTOLESHEA MAYAI | MASHINE ZA KUANGULIA VIFARANGA
Call/Text/WhatsApp: +255 712 253 102
Ofa free Drinker free Feeder
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Zipo mashine zinazotumia umeme, solar na betry (16 - 112 eggs incubator) - vyote kwa pamoja.
Hizi incubator tunaagiza CHINA, zina ubora tofauti na incubator za kutengeneza.
Za kutengeneza wanatumia MBAO AU MALINYI BODI ambazo zikipata unyevu au maji maji zinaaribika na kuoza.
Pia tunauza spear / Vifaa vya kutengenezea incubator:- Tray, Controller, Limit switch, Baskect tray, Motor, Heater tube, Humidity tube, Humidifier n.k
#eggincubator #mashinezakutotoleshavifaranga #kukubiashara #mashinezakutotolesheamayai #mashinezakutotoleshavifarangawakuku #mayaiyakutotolesha #mashinezakutotoleshea
Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 712 253 102
(WhatsApp)
+255 692 430 263
Email:
Website
https//www.joack.co.tz
#joackcompany #mifugo #kilimo #mifugotz #incubator #Vifaranga #kutotolesha #kuku #kukuwanyama #kukuchotara #broiler #dodoma #tanzania🇹🇿 #tanzania #kilimanjaro #morogoro #ufugaji #ufugajiwakuku #kuroiler #kuku #vifaavyaufugaji #mashinezavifaranga #mashineyakutotolesheavifaranga
JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
0 notes
Text
TUNAUZA VIFAA VYA MBWA KWA BEI YA JUMLA NA REJAREJA WE ARE SELLING DOG ACCESSORIES RETAIL AND WHOLE SALE.
.
Call/Text/WhatsApp: +255 714 636 375
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Tuna aina nyingine nyingi za vifaa kwajili ya mbwa na paka, baadhi ya vifaa vyetu ni:
1. Dog Collar different size
2. Dog ball - different type
3. Dog chain - different size and types
4. Dog leashes - different types
5. Dog harness - different types and size
6. Dog bowl - different types and size
7. Chock chain - different size and types
8. Grooming gloves
9. Retractable leashes - different types and size
Hapo juu tumetaja vifaa vichache tu, lakini tuna vifaa vingine vingi zaidi ya hivyo vilivyo tajwa hapo juu. Vifaa hivi tunauza kwa bei ya jumla na rejareja.
JOACK PET STORE | JOACK ANIMAL CLINIC
#DogCollar #DogHarness #DogLeashes #DogChain #DogCage #dogbowl #dogball #chockchain #dogbelt #dogcollers #petproducts #dogproducts #catsprocts #mikandayambwa #vifaavyambwa #mipirayambwa #vitenesivyambwa #collarzambwa
Office zetu zipo @TegetaWazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa.
Simu:
+255 714 636 375
(WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://www.joack.co.tz
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #joackvetcenter #mifugo #tunafundishambwa #wauzajiwambwa #matibuyambwa #dogs #dogshop #wauzajiwavifaavyambwa #tanzania #tanzania🇹🇿 #dodoma
Mifugo Tz | JOACK Pet Store | DSM & BAGAMOYO
0 notes
Text
JOACK COMPANY LIMITED NI WAUZAJI WA MADAWA YA MIFUGO, KILIMO NA VIFAA VYA MIFUGO NA KILIMO PIA.
JOACK Company Limited @joackcompany hii ni kampuni iliyosailiwa Tanzania, kwa lengo la kutoa huduma mbalili mbalili zinazohusiana na maswala ya kilimo na mifugo.
Call/Text/WhatsApp: 0655 057 323
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo
MIFUGO...
Kwenye mifugo (@mifugo_tz) kampuni inajihusisha na uuzaji wa bidhaa za mifugo lakini pia kutoa huduma mbalili za mifugo.
Huduma zinazotolewa na JOACK
1. Ushauri/Elimu juu ya ufugaji kibiashara (ufugaji wenye tija)
2. Chanjo na matibabu ya mifugo aina zote.
3. Kutembelea mashamba ya mifugo (farm visit)
4. Usimamizi wa mashamba ya mifugo
5. Kutafuta masoko ya bidhaa za mifugo.
6. Uadaaji wa bajeti za ufugaji
7. Furmigation service
Bidhaa patiakana JOACK
1. Vifaa vya ufugaji (vipo vya aina nyingi)
2. Mashine, mf: mashine za kuaguliavifaranga, mashine za kuchakata majani, nk
3. Vifaa vya incubator
4. Chanjo na madawa ya mifugo.
5. Vifaranga
6. Wanyama hai, mf: mbwa, paka, ng'ombe, nk
KILIMO...
Kampuni pia inajihusisha na maswala ya kilimo, kama unapenda kufahamu zaidi kuhusu kilimo tembelea hii page @kilimo_tz
#bidhaazajoack #hudumazajoack #hudumazamifugo k#ushuariwamifugo #ufugajikibiashara #wataalamuwamifugo #vifaavyamifugo #chajozamifugo #chanjozakuku #biasharayamifugo #tibayamifugo #wafugaji #ufugaji #kuku #mbuzi #livestocktools #vifaranga #chakulachamifugo
Office zetu zipo @TegetaWazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha @twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 655 057 323(WhatsApp)
+255 692 430 263
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://www.joack.co.tz
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #joackvetcenter #mifugo #mifugotz #kilimotz #ufugaji #mbwa #daressalaam #dodoma #morogoro #tanzania #arusha
Mifugo Tz | JOACK Company LTD Products and services
0 notes
Text
TUNAUZA VIFAA VYA INCUBATOR | TUNA VIFAA VYOTE VINAVYOTUMIKA KWENYE UTENGENEZAJI WA INCUBATOR
Call/Text/WhatsApp: 0714 63 63 75
https://www.instagram.com/p/ClZRhx4N2t7/?igshid=YmMyMTA2M2Y=
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Kwenye hii picha ni baadhi ya vifaaaa vya incubator.
JOACK tuna aina zote za vifaa (material) ambavyo vinatumika kwenye kutengeneza incubator.
Vifaa vyetu unaweza kutumia kutengeneza incubator ndogo kabisa za mayai 24 na tunavifaa vinavyoweza kutumika katika kutengeneza incubator kubwa mpaka za mayai 10,000 na kuendelea.
Vifaa hivi tunauza kwa bei ya jumla na rejareja.
Hapo chini tumeorodhesha tu baadhi ya vifaa tulivyonavyo, lakini tunavifaa vingi zaidi ya hivyo.
01. Incubator Controler
02. Incubator Thermometer
03. Incubator tray
04. Heater tubes 200W - 500W
05. Hatcher tray/basket
06. Incubator Fan
07. Exhausting fan
08. Humidity tube 200W - 500W
09. Limit switch
10. Incubator chain
11. Incubator switch
12. Humidity sensor
13. Temperature sensor
14. Incubator window
15. Incubator tyres
16. Humidifier
17. Incubator/turning Motor
18. Power cable
19. Plug 🔌
18. Insulating body
19. Floating switch
20. Water tank. nk
Lakini pia tunauza incubator (mpya) mshine za ukubwa tofautitofauti, ndogo za mayai 16 mpaka kubwa za mayai 5,280 +.
Office zetu zipo @tegetawazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
#incubator #incubatorcontroller #incubatormicrocomputer #mashinezavifaranga #kutotolesha #vifaavyaincubator #mashinezakutotoleshea #vifaranga #eggs #mayai #hatcher #incubatorheater #incubatorcontroler
Simu:
+255 714 63 63 75 (WhatsApp)
+255 692 430 263
Email:
https://www.joack.co.tz
#joackcompany #joackagrovet #tanzania🇹🇿 #mifugo #kilimo #kuku #mayai #incubator #poultrycage #kuroiler #sasso #dodoma #daressalaam #morogoro #tanzania #kilimoufugaji #dodoma
Welcome JOACK Company LTD
0 notes
Text
TUNAUZA VIFAA VYA MBWA KWA BEI YA JUMLA NA REJAREJA WE ARE SELLING DOG ACCESSORIES RETAIL AND WHOLE SALE.
Kwenye picha ni feeder na drinker Kwaajili kwaajili ya mbwa na paka
Call/Text/WhatsApp: +255 714 63 63 75
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Tuna aina nyingine nyingi za vifaa kwajili ya mbwa na paka, baadhi ya vifaa vyetu ni:
1. Dog Collar different size
2. Dog ball - different type
3. Dog chain - different size and types
4. Dog leashes - different types
5. Dog harness - different types and size
6. Dog bowl - different types and size
7. Chock chain - different size and types
8. Grooming gloves
9. Retractable leashes - different types and size
Hapo juu tumetaja vifaa vichache tu, lakini tuna vifaa vingine vingi zaidi ya hivyo vilivyo tajwa hapo juu. Vifaa hivi tunauza kwa bei ya jumla na rejareja.
JOACK PET STORE | JOACK ANIMAL CLINIC
#DogCollar #DogHarness #DogLeashes #DogChain #DogCage #dogbowl #dogball #chockchain #dogbelt #dogcollers #petproducts #dogproducts #catsprocts #mikandayambwa #vifaavyambwa #mipirayambwa #vitenesivyambwa #collarzambwa
Office zetu zipo @TegetaWazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa.
Simu:
+255 714 63 63 75 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #joackvetcenter #mifugo #tunafundishambwa #wauzajiwambwa #matibuyambwa #dogs #dogshop #wauzajiwavifaavyambwa #tanzania #tanzania🇹🇿 #dodoma
Mifugo Tz | JOACK Pet Store | DSM & BAGAMOYO
0 notes
Text
Kizazi cha Teknolojia: Taarifa za Simu na Gadgets
Introduction: Leo tutakuwa tukizungumzia kuhusu jinsi teknolojia inavyoendelea kubadilika na kuathiri maisha yetu kila siku. Kutoka kwa simu za mkononi hadi kompyuta na vifaa vingine vya elektroniki, teknolojia inaendelea kuleta mabadiliko makubwa katika jamii yetu. Tuambie, je, wewe ni mpenzi wa teknolojia au unapenda kujifunza zaidi kuhusu mada hii? Endelea kusoma ili kupata habari zaidi!1.…
View On WordPress
#-simu-ukuaji#Breaking News#gadgets#Jifunze jinsi teknolojia inavyoweza kuleta mabadiliko chanya#katika jamii yetu.#kompyuta#kuhusu teknolojia#na jinsi zinavyoathiri maisha yetu#na matumizi ya teknolojia katika maeneo mbalimbali kama elimu#na usafiri#Pata habari#Soma blog yetu#taarifa#taarifa za simu#teknolojia-na-gadgets-#viwanda#ya kila siku
0 notes
Text
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar salaam na Bagamoyo
Vifaa vya usalama yaani Safety equipment ni aina ya vifaa vinavyotymika mashanbani, viwandani au sehemu yoyote ya kazi kwa lengo la kukulinda usalama wa binadamu na viumbe hai wengine.
Baadhi ya vifaa tulivyonavyo JOACK Company LTD ni kama.
1. Disposable overall (Maovaroli ya kutumika mara Moja)
2. Non - disposable overall
3. Safety mask
4. Chemical mask
5. Safety boot
6. Reflector
7. Safety helmet
8. Safety glass, nk
Hivyo vifaaa tulivyo taja hapo juu ni baadhi tu ya vifaa, vipo vifaa vingi zaidi vinavyotymika kwenye maswala ya usalama yaa vifaa Kinga..
JOACK ndio mahali pekee utakapo pata vifaa Kinga kwa bei rahisi sana kuliko sehemu yoyote ile.
Mikoani tunatuma pia, wasiliana nasi kupitia namba zetu za simu
#vifaavyausalama #vifaakinga #gloveszaplastic #vifaavyaufugajinakilimo #safetyequipment #Disposableoverall #Maovaroli #Nondisposableoveral #Safetymask #Chemicalmask #Safetyboot #Reflector #Safetyhelme #Safetyglass #plasticgloves
Office zetu zipo @TegetaWazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #herenizangbe #kilimo #mifugo #tanzania #ngombewanyama #ufugajiwakisasa #kuku #ufugajiwakuku #daressalaam #dodoma #morogoro #tanzania🇹🇿
JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
0 notes
Text
Upaukaji
Upaukaji ni matumizi ya kemikali kama vile hydroquinone, tretinoin, corticosteroids, n.k. kwenye ngozi. Ili kupunguza giza, matangazo ya ngozi, ishara za kuzeeka na kubadilika kwa ngozi. Kimsingi, mchakato huu unaweza kuagizwa na madaktari ikiwa wanahitaji kutokana na matatizo ya ngozi. Katika hali sawa na rangi ya rangi inayosababishwa na jua, matangazo ya ngozi au matatizo ya rangi, matumizi ya wakala wa ngozi ya ngozi inaweza kuwa sahihi kwa maoni ya madaktari wa kitaalam.
Lakini unapaswa kuwa makini sana kuhusu watoto na kutumia mawakala wa blekning kwa ngozi zao. Ngozi ya watoto ni nyeti sana na yenye maridadi, na uingiliaji mwingine wa kemikali kwenye ngozi yao unaweza kuwa na madhara makubwa. Aidha, matumizi ya nyenzo nyeupe kwa watoto hubeba hatari hatari kutokana na ukosefu wa maendeleo ya ngozi na usalama wa mfumo.
Kazi bora zaidi ya kupandikiza kaskazini mashariki mwa Tehran Kazi bora ya kupandikiza kwa walinzi Kazi bora ya kupandikiza huko Shamsabad Kipandikizi bora cha kazi cha Narmak Kazi bora ya kupandikiza katika Tehran Pars
Ikiwa una wasiwasi juu ya ngozi ya mtoto wako, ushauri bora ni kuona dermatologist ya watoto. Wanaweza kutathmini matatizo ya ngozi ya mtoto na kupendekeza njia salama na matibabu ya kutunza na kutibu ngozi ya watoto. Njia na suluhisho zisizo za blekning zinaweza kutumika kusafisha meno, ambayo ni bora kwa usalama. Mbinu hizi ni pamoja na:
Kubadilisha tabia ya afya ya kinywa na meno: kusaga meno mara kwa mara na sahihi kwa mswaki na dawa ya meno, kutumia chini ya mkeka wa meno na kusafisha ulimi kunaweza kusaidia kudumisha na kuboresha rangi ya asili ya meno.
Kula vyakula na vinywaji vyenye afya: Kula vyakula na vinywaji kama vile matunda na mboga zilizo na nyuzinyuzi nyingi, juisi za matunda, maziwa, mtindi, na vyakula ambavyo kwa asili hupunguza asidi ya tumbo vinaweza kusaidia kuhifadhi rangi ya meno. . polepole kamili
Matumizi ya uzi wa meno: Matumizi ya mara kwa mara na sahihi ya uzi wa meno husaidia kusafisha sehemu za kati ya meno na kuzuia mrundikano wa madoa kwenye meno.
Utumiaji mdogo wa vyakula vilivyobadilika rangi: Matumizi machache ya vitu kama vile kahawa, chai, nikotini na vinywaji vyenye kaboni inaweza kusaidia kuzuia kubadilika rangi kwa meno.
Kusafisha meno kitaalamu: Kusafisha meno mara kwa mara na kitaalamu na daktari wa meno kwa kutumia vifaa na teknolojia inayofaa kunaweza kusaidia kudumisha na kuboresha rangi ya meno.
Kuepukwa kwa mawakala weupe wa kinywa: Viungo katika baadhi ya mawakala weupe wa meno kama vile sodium bicarbonate na asidi ya matunda (kama vile limau) huharibu meno kwa muda mrefu.
Hatimaye, ni muhimu kutafuta ufumbuzi na matibabu salama ili kuhifadhi na kuboresha rangi ya meno. Kabla ya kuamua juu ya kufanya meno kuwa meupe, inashauriwa kushauriana na daktari wako wa meno ili kupata suluhisho bora kwa hali yako.
0 notes
Text
Kuadhimisha Miaka Minne ya Utoaji wa Ndege zisizo na rubani nchini Ghana.
Miaka minne iliyopita, Serikali ya Ghana ilizindua utoaji wa papo hapo wa Zipline. Nchi hiyo imeunda mfumo mkubwa zaidi wa utoaji huduma unaojiendesha duniani ambao unahudumia zaidi ya vituo 2,600 vya afya kote nchini Ghana.
Mnamo 2022, mkulima anayeitwa Ekua alikuwa akiugua damu na maumivu makali ya tumbo. Alipoenda katika Hospitali ya St. Michael huko Pramso, wahudumu wa afya waligundua kuwa hawakuwa na plasma mpya iliyogandishwa, au FFP - bidhaa ambayo inaweza kumzuia kuvuja damu.
Kwa bahati nzuri, St. Michael's ni mojawapo ya zaidi ya vituo 2,600 kote Ghana ambavyo hupokea bidhaa za matibabu kutoka kwa ndege zisizo na rubani za Zipline.
"Tulipigia simu Zipline, na katika muda wa dakika 20 hivi waliweza kutuletea uniti mbili za FFPs na uniti tatu za damu," anasema Dk. Philip Agyemang-Prempeh, ambaye alimtibu Ekua. Hii ilimaanisha kuwa wangeweza kumtibu mara moja, badala ya kumpeleka katika hospitali nyingine akiwa na FFPs akiba.
"Kama tungetaka kumpa rufaa, ingekuwa changamoto kwa sababu hatukuwa na gari la wagonjwa hapa katika kituo chetu," alisema, akiongeza kuwa kumhamisha kungechukua muda mrefu zaidi ya dakika 20. "Nadhani maoni [ya Zipline] yalikwenda mbali katika kuokoa maisha ya Ekua."
Katika miaka minne iliyopita, Zipline imefanya kazi na Serikali ya Ghana kukua kutoka kituo kimoja cha usambazaji hadi sita. Pia imeongeza kwa kasi idadi ya wanaojifungua, bila gharama ya ziada kwa serikali: Mnamo 2019, Zipline ilileta wastani wa usafirishaji 375 kwa mwezi. Kwa miaka mingi, wastani wa utoaji wa kila mwezi umeongezeka kwa mara 44, na kufikia 17,000 mnamo 2023.
Leo, Zipline inaajiri zaidi ya Waghana 200 na imefikisha zaidi ya 350,000 katika vituo vya afya katika mikoa 13. Mpango huo pia umepanuka kwa kesi mpya za utumiaji. Ingawa Zipline ilizinduliwa kimsingi kutoa chanjo, sasa inajumuisha bidhaa kadhaa kutoka kwa vifaa vya matibabu hadi antivenin.
Ili kuwasilisha dawa ya kuua sumu mwilini, Zipline huihifadhi katika ghala kuu, iliyohifadhiwa kwa friji - kuzuia wahudumu wa afya kulazimika kuihifadhi kwenye tovuti na inaweza kuisha muda wake. Madaktari wanaoagiza antivenin hupokea ndani ya saa moja, ambayo huwawezesha kutibu wagonjwa haraka, kuzuia sumu kuenea, ambayo inaweza kusababisha kushindwa kwa figo, kukatwa na hata kifo. Zipline imesafirisha zaidi ya vitengo 5,500 vya antivenom kwa watu kote nchini Ghana tangu Januari 2022.
Kufikia sasa, bidhaa inayoletwa mara kwa mara nchini Ghana ni chanjo. Zipline ilipozinduliwa nchini Ghana walikuja kusaidia kwa usaidizi wa utoaji wa chanjo mara kwa mara wakati nchi ilikuwa chini ya kizuizi wakati wa janga la COVID-19. Tangu wakati huo, Zipline imetoa zaidi ya dozi milioni nane za chanjo za kawaida zikiwemo zile za pepopunda, polio, surua na uti wa mgongo, pamoja na zaidi ya dozi milioni mbili za chanjo za COVID-19.
Muhimu zaidi, tangu Januari 2022, Zipline imewasilisha zaidi ya maagizo 3,600 kwa wagonjwa walio katika hali mbaya, na hivyo kuokoa maelfu ya maisha. Utimilifu wa Zipline na timu za ndege hujibu maagizo muhimu kwa haraka sana, kuandaa, kufunga na kuzindua agizo, kwa wastani, chini ya dakika nane.
Katika miaka minne ijayo, Zipline itaendelea kusaidia msururu wa ugavi wa kitaifa wa Ghana. Zipline na Serikali ya Ghana wanapanga kukuza programu, kuboresha ufikiaji wa bidhaa, kuunda nafasi za kazi za STEM na kupanua kutumia kesi. Lakini sehemu muhimu zaidi ya ushirikiano ni kazi ya Zipline, na Serikali ya Ghana hufanya pamoja kutatua matatizo ya mnyororo wa ugavi kwa matokeo bora ya afya - kuboresha maisha, na kuokoa maisha, kwa maelfu ya Waghana.
0 notes
Text
WATER SPRINKLER ni kifaa maalumu chenye uwezo wa kurusha maji katika mtindo wa matone matone.
Vifaa hivi vinatumika katikati shughuli mbalimbali za uwagiliaji wa mimea kwenye kilimo na majumbani.
Watu wenye bustani/garden za majani au maua majumbani wanapenda sana kutumia hivi vifaa kwajili ya kurahisisha kazi ya uwagiliaji.
Ukiwa na sprinklers huna haja ya kuajiri watu wengi kwajili ya kuwamwagilia bustani au mimea yako.
Faida ya hivi vifaa ni kwamba vinarahisha sana kazi lakini kubwa zaidi vinaokoa gharama.
Faida nyingine ni kwamba vifaa hivi vinapunguza upotevu wa maji usio na msingi, ni tofauti kama ytatumia mpira tu, maji mengi hupotea.
JOACK Company LTD tunauza sprinklers za aina mbalimbali na zenye uwezo tofauti tofauti.
#watersprinkler #vifaavyakumwagiliamaji #vifaavyakurushamaji #vifaavyaumwagiliaji #umwagiliaji #kifaachakumwagilia #splinkler #kumwagilia #kilimochaumwagiliaji #irrigation #sprinklerirrigation #mifumoyaumwagiliaji
Office zetu zipo TEGETA DSM NA - BAGAMOYO shule barabarani karibu na zahanati ya kiromoKwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu
+255 692 430 263 (WHATSAPP)
+255 714 636 375
Email:
YouTube: https://youtu.be/UxLyLqHtfnw
Website link: http.//www.joack.co.tz
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #micheyamipera #micheyapapai #maembe #limao #ndimu #kilimotz #tunauzamiche #migomba #ndizi #komamanga #dodoma #tanzania🇹🇿 #tanzania #mbogamboga #bustani #garden
JOACK Company LTD | DSM & Bagamoyo
0 notes
Text
JOACK COMPANY LIMITED NI WAUZAJI WA MACHINE MBALIMBALI ZA MIFUGO NA KILIMO
JOACK Company Limited @joackcompany hii ni kampuni iliyosailiwa Tanzania, kwa lengo la kutoa huduma mbalili mbalili zinazohusiana na maswala ya kilimo na mifugo.
Call/Text/WhatsApp: +255 712 253 102
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @joackagrovet @joackanimalclinic @joackagrovet
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo
MIFUGO
Kwenye mifugo (@mifugo_tz) kampuni inajihusisha na uuzaji wa bidhaa za mifugo lakini pia kutoa huduma mbalili za mifugo.
Huduma zinazotolewa na JOACK
1. Ushauri/Elimu juu ya ufugaji kibiashara (ufugaji wenye tija)
2. Chanjo na matibabu ya mifugo aina zote.
3. Kutembelea mashamba ya mifugo (farm visit)
4. Usimamizi wa mashamba ya mifugo
5. Kutafuta masoko ya bidhaa za mifugo.
6. Uadaaji wa bajeti za ufugaji
7. Furmigation service
Bidhaa patiakana JOACK
1. Vifaa vya ufugaji (vipo vya aina nyingi)
2. Mashine, mf: mashine za kuaguliavifaranga, mashine za kuchakata majani, nk
3. Vifaa vya incubator
4. Chanjo na madawa ya mifugo.
5. Vifaranga
6. Wanyama hai, mf: mbwa, paka, ng'ombe, nk
KILIMO...
Kampuni pia inajihusisha na maswala ya kilimo, kama unapenda kufahamu zaidi kuhusu kilimo tembelea hii page @kilimo_tz
#bidhaazajoack #hudumazajoack #hudumazamifugo k#ushuariwamifugo #ufugajikibiashara #wataalamuwamifugo #vifaavyamifugo #chajozamifugo #chanjozakuku #biasharayamifugo #tibayamifugo #wafugaji #ufugaji #kuku #mbuzi #livestocktools #vifaranga #chakulachamifugo
Office zetu zipo @TegetaWazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 636 375 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
#joackcompany #joackicons #mifugo #mifugotz #kilimotz #ufugaji #joacklogo #tanzania🇹🇿 #dodoma #morogoro #tanzania #arusha
JOACK Co LTD | DSM & BAGAMOYO
0 notes
Text
VYAKULA, VIRUTUBISHO, MADAWA, SHAMPOO, CHANJO NA VIFAA MBALIMBALI KWAAJILI YA MBWA NA PAKA
Call/Text/WhatsApp: +255 714 63 63 75
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @joackanimalclinic @joackagrovet
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazo - DSM na Kiromo - Bagamoyo
Karibu JOACK ANIMAL CLINIC, hii ndio sehemu pekee ambayo unaweza kupata mahitaji muhumu kwaajili ya mbwa au paka wako.
Tunauza bidhaa zenye ubora wa hali ya juu zenye kuleta matokeo ya afya bora kwa mbwa wako.
Lakini wapo wa taalamu maalumu kabisa kwaajili ya kukushauri nini kinafaa kwaajili ya mbwa wako.
Baadhi ya vitu unavyoweza kupata JOACK ANIMAL CLINIC
1. Vyakula vya mbwa na paka
2. Virutubisho
3. Tiba lishe kwaajili ya mbwa na paka
4. Shampoo
5. Chanjo na madawa mbalimbali
6. Vifaa vya mbwa
7. Mabanda ya mbwa n
8. Keji za kusafirishia mbwa
9. Sumu za kuuwa wadudu kama kupe, nk
Hiyo ni orodha ya baadhi ya vitu tu, ila kama una changamoto yoyote au unahitaji ushuri usiache kuwasiliana na timu yetu ya wataalamu ili kuhakikisha kila kitu kinakua sawa.
#mbwa #paka #madawa #madawayambwa #madawayapaka #shampoo #shampoozambwa #petshampoo #vifaavyambwa #chanjo #chanjozambwa #madawayamifugo #chanjozapaka
Office zetu zipo @tegetawazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
Website
https//www.joack.co.tz
#joackcompany #joackvetcenter #mifugo #mifugotz #kilimo #kilimotz #tanzania #dodoma #daressalaam #morogoro #kuku #tanzania🇹🇿 #joack #kibaha #dukaladawazamifugo #madawayamifugo #mwanza
JOACK Co LTD | DSM & BAGAMOYO
0 notes
Text
TUNAUZA VIFAA VYA USALAMA (VIFAA KINGA) KWAJILI YA UFUGAJI NA KILIMO | WE ARE SELLING SAFETY EQUIPMENT
Kwenye Picha ni SAFETY BOOT ngumu na imara.
Call/Text/WhatsApp: +255 655 057 323
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar salaam na Bagamoyo
Vifaa vya usalama yaani Safety equipment ni aina ya vifaa vinavyotymika mashanbani, viwandani au sehemu yoyote ya kazi kwa lengo la kukulinda usalama wa binadamu na viumbe hai wengine.
Baadhi ya vifaa tulivyonavyo JOACK Company LTD ni kama.
1. Disposable overall (Maovaroli ya kutumika mara Moja)
2. Non - disposable overall
3. Safety mask
4. Chemical mask
5. Safety boot
6. Reflector
7. Safety helmet
8. Safety glass, nk
Hivyo vifaaa tulivyo taja hapo juu ni baadhi tu ya vifaa, vipo vifaa vingi zaidi vinavyotymika kwenye maswala ya usalama yaa vifaa Kinga..
JOACK ndio mahali pekee utakapo pata vifaa Kinga kwa bei rahisi sana kuliko sehemu yoyote ile.
Mikoani tunatuma pia, wasiliana nasi kupitia namba zetu za simu
#vifaavyausalama #vifaakinga #gloveszaplastic #vifaavyaufugajinakilimo #safetyequipment #Disposableoverall #Maovaroli #Nondisposableoveral #Safetymask #Chemicalmask #Safetyboot #Reflector #Safetyhelme #Safetyglass #plasticgloves
Office zetu zipo @TegetaWazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 655 057 323
(WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://www.joack.co.tz
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #herenizangbe #kilimo #mifugo #tanzania #ngombewanyama #ufugajiwakisasa #kuku #ufugajiwakuku #daressalaam #dodoma #morogoro #tanzania🇹🇿
JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
0 notes
Text
JOACK HUMIDITY TEMPERATURE READER KIPIMA JOTO NA UNYEVU KWENYE BANDA LA KUKU AU INCUBATOR
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani
Call/Text/WhatsApp: +255 714 63 63 75
Hiki ni kifaa kinachotumika kupima kiasi cha joto na unyevu (humidity) sehemu mbalimbali mfano kwenye incubator au banda la kuku.
Kifaa hiki kinatumia betri za saa na hukaa na chaji mda mrefu sana bila kuisha, ni imara na kina dumumu.
Hiki kifaa kina waya na sensor, ambayo ndio inatumika kupima joto au unyevu katika sehemu hisika. Kama una incubator hii sensor unaiingiaza ndani ya mashine/incubator na hiki kifaa kitasoma joto na uvyevu lililopo ndani ya incubator.
Vifaa vingine vya incubator vifaa vya mashine za kutoleshea mayai.
1. Incubator Controler Temperature and humidity controler.
2. Incubator Thermometer Kipima joto cha mashine ya kutotoleshea.
3. Incubator tray Matrei ya mashine za kutotoleshea.
4. Incubator heater Vifaa vya joto kwajili ya mashine ya kutotoleshea.
4. Hatcher tray Matrei ya kutotoleshea.
5. Motor Mashine za kuzungusha trei ndani ya incubator
6. Fan Feni za mashine ya kutotolesha.
Lakini pia tunauza incubator mshine za ukubwa tofautitofauti, ndogo za mayai 56, 96, 150 na 200, egg incubator na kubwa za mayai 528 1056 nk.
#htc #kipimajoto #kutotolesha #kifaachakupimajoto #vifaranga #htctemperature #hatcher #incubatorheater #incubatorcontroler #kipimajotonaunyevu #kipimajotonaunyevu #kipimaunyevu #digitalhygrometer
Office zetu zipo Tegeta, @Wazohill-Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75(WhatsApp)
+255 692 430 263
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joack #joackcompany #joackagrovet #joackvetshop #mifugo #kilimo #poultry #kuku #mayai #incubator #poultrycage #kuroiler #dodoma #daressalaam #morogoro #tanzania #kilimoufugaji
0 notes