#wanafunzi
Explore tagged Tumblr posts
Photo
“ one pound can help food for students, if we can all join together to help them out!” "Pauni moja/shilingi inaweza kusaidia kulisha wanafunzi, ikiwa sote tunaweza kuungana pamoja kuwasaidia!" “This is an NGO we started in order to help school children in Tanzania have more substantial meals. If you have anything at all, please donate to help them out so they can eat for free. For more information: 🇹🇿 +255 673 060 887 🇬🇧 +44 750 44 100 📧 [email protected] @sisifreeschoolmeals #chakula #shuleni #lishebora #freemeals #chakulashuleni #foodbank #schoolfood @sisifreeschoolmeals @freeschoolmealstz @ukintanzania #uktz https://www.instagram.com/p/CoU2ZRStAEH/?igshid=NGJjMDIxMWI=
2 notes
·
View notes
Text
WAZIRI MKUU KUFUNGUA KONGAMANO LA MAENDELEO YA BIASHARA NA UCHUMI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo Novemba 22, 2024 anamwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa kongamano la tano ya Maendeleo ya Biashara na Uchumi linalifanyika katika ukumbi wa mikutano wa Hazina jijini Dodoma.Kongamano hilo linatoa fursa kwa wanafunzi, taasisi za elimu, wataalamu wa sera, wajasiriamali, na wadau kutoka sekta ya umma na binafsi kujadili na kushauri kuhusu…
View On WordPress
0 notes
Text
Vipaji Vya Umiseta Na Umitashumta Huenda Wapi?
Kila mwaka,huandaliwa mashindano ambayo yanahusisha wanafunzi kutoka shule mbalimbali za msingi na sekondari hapa Tanzania.Mashindano ambayo hufahamika kama Mashindano ya UMISETA (Umoja wa Michezo ya Sekondari Tanzania) na UMITASHUMTA (Umoja wa Michezo na Taaluma Shule za Msingi Tanzania) ambayo nikiri kuwa ni sehemu muhimu ya mfumo wa elimu ya michezo nchini Tanzania. Mara zote kupitia…
0 notes
Text
FIELD ATTACHMENT | MAFUNZO KWA VITENDO | FIELD PRACTICAL AT JOACK COMPANY LIMITED
Call/Text/WhatsApp: +255 714 63 63 75
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
JOACK COMPANY LTD kuanzia tar 01/07/2024 tulifanikiwa kupokea wanafunzi wanaosomea taaluma ya mifugo (afya ya wanyama) ngazi ya Stashahada (Diploma) katika vyuo vya LITA.
LITA ni wakala wa Mafunzo ya Mifugo ilianzishwa kama Wakala Tendaji wa Serikali chini ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mujibu wa Sheria ya Wakala wa Utendaji namba 30 (Sura ya 245) ya mwaka 1997 na marekebisho yake yaliyofuata.
LITA iliundwa kwa kuunganisha vituo sita vya mafunzo ambavyo awali vilitambulika kuwa Vyuo vya Mafunzo ya Mifugo (LITI) chini ya Wizara yenye dhamana ya Maendeleo ya Mifugo.
Lengo la huu utaratibu wa mafunzo kwa vitendo, ni kuhakikisha wataalamu wetu wanaozalishwa nchini wanakuwa na uwezo mkubwa wa kutatua changamoto zote zinazohusiana na maswala ya mifugo hasa katika uhalisia zaidi kuliko nadharia.
Licha ya shuguli za kitaamu wanazojifunza wanafunzi, JOACK tumekuwa tukiwafundisha wanafunzi fursa nyingi zilizopo katika sekta nzima ya mifugo.
Tunaelekeza pia jinsi ya kujitengenezea ajira binafsi yaani kujiajiri baada ya kumaliza shule/Chuo.
Hayo ni machache tu, ila mambo ya muhimu ni mengi, ambayo tunayo zidi kuelekezana na vijana ili kuhakikisha tunaijenga KESHO ILIYO SIMAMA SANA.
Karibuni Sana - JOACK Company LTD
#mafunzokwavitendo #joackfieldpractical #joackfield #fieldpracticle #mafunzoyamifugo #lita #liti #madawayamifugo #dawazamifugo #fieldattachment #daktariwamifugo #magonjwayamifugo
Office zetu zipo @tegetawazohill Barabara ya kwenda kiwanda cha @twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 636 375 102(WhatsApp)
+255 692 430 263
Email:
#joackcompany #mifugo #kilimo #ufugaji #chuochamifugo #chuochakilimo #tanzania #wizarayamifugonauvuvi #wizarayakilimo #tanzania🇹🇿 #sokoine #dodoma #mwanza #morogoro #sokoineuniversity #wizarayamifugo
#sokoineuniversityofagriculture #sua
JOACK COMPANY LTD | DSM NA BAGAMOYO
0 notes
Text
Masharti ya Kumfuata Yesu
Wakati huo Yesu aliwaambia wanafunzi wake, Mtu ye yote akitaka kunifuata, na ajikane mwenyewe, ajitwike msalaba wake, anifuate. Kwa kuwa mtu atakaye kuiokoa nafsi yake, ataipoteza; na mtu atakayepoteza nafsi yake kwa ajili yangu, ataiona. Kwani atafaidiwa nini mtu akiupata ulimwengu wote, na kupata hasara ya nafsi yake? Au mtu atatoa nini badala ya nafsi yake? Kwa sababu Mwana wa Adamu atakuja…
View On WordPress
0 notes
Text
Somo: USIMWACHE MUNGU.
°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°
Fuatilia YouTube.
Https://youtube.com/@Rwizakakiza
Sehemu .I.
UTANGULIZI.
Nini maana ya KUMWACHA MUNGU?
>Ni hali ya kutengana na MUNGU, kutotii Neno lake na kutoyapa kipaombele mambo yote yanayomuhusu MUNGU.
>Ni hali ya kutengana na YESU KRISTO ambaye ni Ufunuo wa MUNGU mwenyewe, Maana huwezi kumjua na kumfahamu MUNGU aliye hai, pasipo kufunuliwa na YESU KRISTO aliye Njia, Kweli na Uzima.
.......YESU akamwambia, "Mimi ndimi NJIA, na KWELI, na UZIMA; mtu haji kwa BABA, ila kwa njia ya mimi. Kama MNGALINIJUA MIMI, mngalimjua na BABA; tangu sasa mnamjua, tena MMEMWONA". Filipo akamwambia, 'BWANA, utuonyeshe BABA, yatutosha'. YESU akamwambia, "Mimi nimekuwapo pamoja nanyi siku hizi zote, wewe usinijue, Filipo? ALIYENIONA MIMI AMEMWONA BABA; basi wewe wasemaje, Utuonyeshe Baba?"
.....Yohana 14:6-9.....
Hakuna njia ya kumfahamu MUNGU wa kweli pasipo YESU KRISTO, la sivyo utakuwa unamtafuta MUNGU kwa kupapasa papasa na itakuwa vigumu kumjua na ikiwa vigumu kumjua MUNGU, sio rahisi Kumpenda, na usipompenda utaachama naye au utatumikia vitu vingine na kuviabudu ukifikiri unamtumikia MUNGU.
Sauli akiwa hajakutana na BWANA YESU aliua watu wengi akifikiri anampendeza MUNGU, Ukweli alikuwa gizani na alijitenga na MUNGU mbali.
.....Sauli alikuwa AKIONA VEMA kwa kuuawa kwa Stefano. Sauli AKALIHARIBU KANISA, akiingia kila nyumba, na kuwaburuta wanaume na wanawake na kuwatupa gerezani. Sauli, AKIZIDI KUTISHA na KUWAZA KUWAUA wanafunzi wa BWANA, AKAMWENDEA Kuhani Mkuu, AKATAKA ampe barua za kuenda Dameski zilizoandikwa kwa masinagogi, ili AKIONA watu wa NJIA HII (Wakristo), waume kwa wake, awafunge na kuwaleta Yerusalemu.
.....Mdo 7:60, 8:3, 9:1-2...
Kwake kuua na kutesa watu alikuwa anajua anampendeza kabisa MUNGU, lakini hakujua kama ametengana naye muda mrefu na anachokifanya anamuudhi MUNGU.
.....Sauli alipokuwa akisafiri; Ghafla ikamwangaza kote kote Nuru kutoka mbinguni. Akaanguka chini, akasikia sauti ikimwambia, "Sauli, Sauli, mbona waniudhi?" Sauli akauliza, 'U nani wewe, Bwana?' YESU akasema, "Mimi ndimi YESU unayeniudhi wewe".
......Mdo 9:3-5......
Je wewe unamuudhi MUNGU?
......Tutaendelea......
Rejea
"Now get up and go into the city, and you will be told what you must do.”
......Acts 9:6......
Ev. Erasmus Pascrates Kakiza
(WhatsApp: +255 782 546 914)
@2024 The year of my shining.
0 notes
Text
Facebook: Uelewa wa Mtandao wa Jamii Unaongoza Duniani
Facebook ni jukwaa kubwa zaidi la mitandao ya kijamii duniani, likiwa na watumiaji zaidi ya bilioni 2.8. Ilizinduliwa mnamo 2004 na Mark Zuckerberg na wenzake wa chuo kikuu cha Harvard, Facebook ilianza kama jukwaa la kijamii kwa wanafunzi wa chuo kikuu na hatimaye ikapanuka kuwa mtandao wa kijamii unaopatikana kwa mtu yeyote mwenye umri wa miaka 13 na zaidi na ufikiaji wa intaneti. Facebook…
View On WordPress
0 notes
Text
Kuondoa Ukoloni katika Kazi ya Jamii: Nadharia na Mbinu za Kiafrika.
Ni wakati wa kuchukua hatua na kudekoloniza kazi ya kijamii! Wanafunzi, wakufunzi, na wataalamu lazima waungane ili kukabiliana na mazoea na ideolojia za kibeberu zilizojengeka katika kazi ya kijamii. Ni wakati wa kutambua kuwa kazi ya kijamii imekuwa ikitumiwa kama chombo cha ukoloni na ukoloni wa kisiasa na kwamba imeendelea kueneza usawa usio na usawa na haki za kijamii. Hatuwezi kuendelea…
View On WordPress
0 notes
Text
Wanafunzi Wakigoma
Wataimba kwa kejeli, popote waandamane, Waibadilishe hali, wendapo wafuatane, Hawajali watafeli, wakipandacho wavune, Wanafunzi wakigoma, athari huwa ni nyingi. Shule zao watachoma, hasara kadha wa kadha, Hawatauona wema, wanapoharibu fedha, Hawaijali lawama, wala yoyote mawaidha, Wanafunzi wakigoma, athari huwa ni nyingi. Wataudhi kwa tabia, wasijali la heshima, Bora iwe yao nia, bila kutenda…
View On WordPress
0 notes
Text
WAZIRI MKUU KUFUNGUA KONGAMANO LA MAENDELEO YA BIASHARA NA UCHUMI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo Novemba 22, 2024 anamwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa kongamano la tano ya Maendeleo ya Biashara na Uchumi linalifanyika katika ukumbi wa mikutano wa Hazina jijini Dodoma.Kongamano hilo linatoa fursa kwa wanafunzi, taasisi za elimu, wataalamu wa sera, wajasiriamali, na wadau kutoka sekta ya umma na binafsi kujadili na kushauri kuhusu…
View On WordPress
0 notes
Photo
“ one pound can help food for students, if we can all join together to help them out!” "Pauni moja/shilingi inaweza kusaidia kulisha wanafunzi, ikiwa sote tunaweza kuungana pamoja kuwasaidia!" “This is an NGO we started in order to help school children in Tanzania have more substantial meals. If you have anything at all, please donate to help them out so they can eat for free. For more information: 🇹🇿 +255 673 060 887 🇬🇧 +44 750 44 100 📧 [email protected] @sisifreeschoolmeals @freeschoolmealstz #chakula #shuleni #lishebora #freemeals #chakulashuleni #foodbank #schoolfood https://www.instagram.com/p/Cn1a_S4NM8o/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
Text
1. BIBLIA: UJUMBE WA MUNGU KWA MWANADAMU
“Neno lako ndio kweli”
Shabaha
Ni kuonyesha kwamba Biblia ni neno la Mungu.
Muhtasari
Biblia ni muujiza uliomo katika mikono yetu. Ni kitabu kinakuelezea habali za mabo yaliyo pita bali pia kina kinaunabii mwingi sana, ikiwa na maana kwamba kinatuambia mambo yajayo, mambo ambayo vitabu vingine vyote haviwezi kutujulisha.Kina tufundisha yale yote yaliyo muhimu kwetu kuyajua kuhusu Mungu, mambo yake ambayo Mungu aliyafanya wakati uliopita, anafanya nini kwa wakati huu na kwa wakati ujao amekusudia kufanya nini. Biblia pia hutuonyesha namna itupavyo kuishi ili kumpendeza Mungu. 2 Timotheo 3:14-17, 2 Petro 1:19-21.
BIBLIA
Neno “Biblia” maana yake ni “kitabu”. Neno “takatifu” maana yake “tenga” au “weka kando”. Kwa hiyo Biblia takatifu ni kitabu kilichotengwa kutoka vitabu vingine. Mungu amekitenga kuwa kitabu pekee kinacho eleza Kweli kuhusu Mungu na mipango yake kwa wanadamu. Tunapoifungua ni kweli kuwa ni mkusanyiko wa vitabu sitini na sita vilivyounganishwa kuwa kitabu kimoja. Biblia imegawanyika sehemu mbili. Agano la kale na Agano jipya.
Agano la kale lina vitabu 39. Musa ndiye mtu wa kwanza kuandika vitabu vitano yapata kama miaka 1500 kabla ya Kristo kuzaliwa. Kitabu cha mwisho kati ya vitabu vya Agano la Kale kiliandikwa na nabii Malaki yapata kama miaka 1000 baadaye.
Agano Jipya lina vitabu 27. Lina tueleza kuhusu maisha na kazi za Yesu Kristo na jinsi wanafunzi wake walivyoeneza habari njema kuhusu Yesu Kristo na Kuja kwa fufalme wake duniani kote. Sehemu hii ya Biblia iliandikwa wakati wa Mwanzo wa miaka miamoja baada ya Yesu kuzaliwa. Jifunze majina ya vitabu vya Biblia kwa moyo. Itakusaidia katika kusoma na kujifunza kwako Biblia kila siku. Tumeona kwamba Biblia iliandikwa zaidi ya miaka mingi, yapata kama miaka 1600 katika kukamilisha kwake; na bado waandishi wote wanaeleza habari za aina moja zinazo pendeza na kustaabisha. Wanatujulisha kwa namna iliyotofauti, makusudi makubwa kwa ajili ya dunia hii na kwa ajili ya mwanadamu anayekaa juu yake.
JINSI BIBLIA ILIVYOANDIKWA
Ni kwa jinsi gani Biblia, ambayo iliandikwa zaidi ya kipindi cha muda mrefu sana tena kwa kuandikwa na watu wengi tofauti na walioishi sehemu tofauti, wote waelezee ujumbe mhimu wa aina moja? Mtume Petro anatuambia kwamba: “Watu wa Mungu walinena wakiongozwa na Roho Mtakatifu” (2 Petro 1:21). Ilikuwa ni nguvu takatifu za Mungu iliyowapatia watu hao fikra katika mawazo yao nao wakayanena yale ambayo ni mawazo ya Mungu, kwa hiyo, ingawaje watu wengi waliandika Biblia, lakini Mungu mwenyewe ndiye mtungaji wa Biblia.
KWA NINI BIBLIA ILIANDIKWA
Katika Biblia tunaambiwa yote ambayo ni ya muhimu kwetu kuhusu Mungu na mpango wake kwa dunia na wanadamu wanaokaa juu yake. Mungu anataka sisi tumjue na tumpende Yeye. Kuna aina nyingi ya habari nzuri zinazovutia na kufurahisha katika Biblia kuhusu wanaume na wanawake waaminifu waliompenda na kumtii Mungu. Habari hizi zinatusaidia sisi kujifunza kuwa waaminifu na watiifu pia. Kwa hiyo kwa kadri tunavyosoma Biblia, na ndivyo kadri tunavyompenda Mungu na kujaribu kumpendeza Yeye. Na nia zetu zitaweza kuwa nia yake Mungu na njia zetu zitabadilishwa kufunana na njia zake.
KUSUDI LA MUNGU LA WAKATI UJAO KWA DUNIA
Kusudi la Mungu ni kuijaza dunia utukufu wake Mungu. “Hakika kama niishivo, dunia yote itajazwa na utukufu wa Mungu” (Hesabu 14:21). Ilikufanya hili atamtuma Yesu Kristo kurudi hapa duniani kuuweka ufalme wa Mungu hapa duniani (Matendo 1:10–11, Dan 2:44). Kwanza atawafufua wafu wale waliojua kweli na atawapatia wote uzima wa milele waliompenda na kumtii. Kisha watamsaidia kuifundisha dunia njia ya haki ya Mungu. Atawaangamiza wabaya na kutawala katika Yerusalemuakiwa Mfalme wa dunia yote. Kisha kwa miaka elfu moja Kristo na watakatifu wake wataibadilisha dunia kuwa mahali ambapo viumbe vyote vitampatia Mungu utukufu na sifa milele.
YANAYOFUNDISHWA NA BIBLIA KUHUSU MUNGU.
Biblia inatuambia kuwa Mungu:-
Kwamba Mungu ni Roho au kamwe Yeye hafi
Kwamba kuna Mungu mmoja (Kumb. 6:4), Muumbaji wa vitu vyote.
Kuwa Mungu ni mwema na mvumilivu na huwa saidia na kuwaongoza wale wanaomwanini yeye. Pia yeye ni mwenye haki na mwaminifu atawahukumu waovu waliomkataa Yeye pamoja na njia zake.
Kuwa Roho Mtakatifu nguvu za Mungu ambayo kwa njia yake Mungu hutenda matendo yake makuu na ya ajabu.
Kwamba malaika ni watumwa wake wa kiroho au wajumbe wake watendao mapenzi yake.
FUNDISHO
Katika Biblia tunajifunza yale ambayo Mungu anataka sisi tuyafanye. Kuna ambo ambayo tunapaswa kuyafanya na mambo yale ambayo hatutakiwi kuyafanya. Wale watu wanaofanya yale Mungu anayoyataka kwa sababu wanampenda na kumwamini, siku moja watapewa uzima wa milele katika ufalme wa Mungu. Hakuna sehemu nyingine isipokuwa katika Biblia ndipo tunakuta njia ya uzima wa milele na furaha tele. Tunatakiwa tusome biblia kila siku naye Mungu atatuongoza katika maisha yetu yote. “Neno lako ni taa ya miguu yangu na mwanga wa njia yangu” (Zaburi 119:105).
MAELEZO YA NYONGEZA
Unabii ni nini? Wakati ambapo watakatifu wa Mungu walipotabiri, walinena habari ya mambo yajayo. Kwa mawazo yetu sisi hatuwezi kuyasema yale yatakayotokea wakati ujao ila Mungu ndiye anaweza kusema yatakayotokea wakati ujao. Biblia ina mkusanyiko mwingi sana wa unabii. Zingine zimekwisha kutimia kwa kila namna ya maelezo yaliyokuwa yametabiriwa kiasi ambacho tunakuwa kuamini kwa uhakika kwamba hata unabii mwingi ambao haujatimia bado, utatimizwa kwa kweli hakika. unabii mwingi sana wa Biblia unaonyesha waziwazi kwamba yesu kristo atarudi duniani, na zinaeleza ishara zitakazo kuwepo kabla hajarudi.
Fikiria baadhi ya ishara hizi:
Kutakuwepo na dhiki kuu na vita kati ya mataifa ya dunia (Dan 12:1, Luka 21:25 – 26.)
na dhambi zitaongezeka duniani (Mathayo 24:37 – 39).
Watoto hawatawaheshimu wazazi na wakubwa wao, na watu watapenda anasa kuliko kumpenda Mungu (2 Timotheo 3:1-5).
nchi ya Urusi itakuwa ni nchi yenye nguvu sana na itataka kuitawala dunia (Ezekieli 38).
Wayahudi watarudi katika nchi yao wenyewe (Eze 38:8, 12).
Unabii huu unaendelea kutimizwa siku hizi machoni petu wenyewe na huu ni ushuhuda kwamba Biblia ni neno la Mungu hakika, na ya kuwa siku ile ikaribu sana ambapo Mungu atamtuma Yesu Kristo kurudi duniani kuuweka ufalme wa Mungu.
MASWALI
Maisha ni Mafupi
Ni nani mwandishi wa Biblia?
Biblia Takatifu maana ninini?
Kuna vitabu vingapi katika Biblia?
Ni kwa nini Mungu alitaka Biblia iandikwe?
Ni nini makusudi ya Mungu kwa dunia?
Nini maana ya Roho Mtakatifu?
Malaika ni nani?
Makusudi ya Mungu kwa wale wampendao ni nini?
Majibu ya Kina
Biblia inatufundisha nini kuhusu Mungu?
Eleza yale unayoyajua kuhusu mpango Mungu kwa dunia
Majibu ya Nyongeza
Biblia ina unabii mwingi sana unaoonyesha kwamba kurudi kwa Yesu Kristo duniani kumekaribia.
Baadhi ya unabii huu ni nini?
1 note
·
View note
Text
FIELD ATTACHMENT | MAFUNZO KWA VITENDO | FIELD PRACTICAL AT JOACK COMPANY LIMITED
Call/Text/WhatsApp: +255 714 63 63 75
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
JOACK COMPANY LTD siku ya tar 21/02/2024 ilifanikiwa kupokea wanafunzi wanaosemea taaluma ya mifugo ngazi ya Stashahada (Diploma) katika vyuo vya LITA (Vyuo vya serikali).
LITA ni wakala wa Mafunzo ya Mifugo ilianzishwa kama Wakala Tendaji wa Serikali chini ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mujibu wa Sheria ya Wakala wa Utendaji namba 30 (Sura ya 245) ya mwaka 1997 na marekebisho yake yaliyofuata.
LITA iliundwa kwa kuunganisha vituo sita vya mafunzo ambavyo awali vilitambulika kuwa Vyuo vya Mafunzo ya Mifugo (LITI) chini ya Wizara yenye dhamana ya Maendeleo ya Mifugo.
Lengo la huu utaratibu wa mafunzo kwa vitendo, ni kuhakikisha wataalamu wetu wanaozalishwa nchini wanakuwa na uwezo mkubwa wa kutatua changamoto zote zinazohusiana na maswala ya mifugo hasa katika uhalisia zaidi kuliko nadharia.
Licha ya shuguli za kitaamu wanazojifunza wanafunzi, JOACK tumekuwa tukiwafundisha wanafunzi fursa nyingi zilizopo katika sekta nzima ya mifugo.
Tunaelekeza pia jinsi ya kujitengenezea ajira binafsi yaani kujiajiri baada ya kumaliza shule/Chuo.
Hayo ni machache tu, ila mambo ya muhimu ni mengi, ambayo tunayo zidi kuelekezana na vijana ili kuhakikisha tunaijenga KESHO ILIYO SIMAMA SANA.
Karibuni Sana - JOACK Company LTD
#mafunzokwavitendo #joackfieldpractical #joackfield #fieldpracticle #mafunzoyamifugo #lita #liti #madawayamifugo #dawazamifugo #fieldattachment #daktariwamifugo #magonjwayamifugo
Office zetu zipo @tegetawazohill Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75(WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
#joackcompany #mifugo #kilimo #ufugaji #chuochamifugo #chuochakilimo #tanzania #wizarayamifugonauvuvi #wizarayakilimo #tanzania🇹🇿 #sokoine #dodoma #mwanza #morogoro #sokoineuniversity #wizarayamifugo
#sokoineuniversityofagriculture #sua
JOACK COMPANY LTD | DSM NA BAGAMOYO
0 notes
Text
Sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi, wapate kutubu.
Ikawa Mafarisayo na waandishi wao kuwanung’unikia wanafunzi wake, wakisema, Mbona mnakula na kunywa pamoja na watoza ushuru na wenye dhambi? Yesu akajibu akawaambia, Wenye afya hawana haja na tabibu, isipokuwa walio hawawezi. Sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi, wapate kutubu. Luka 5:30-32
View On WordPress
0 notes
Photo
Hongera Mwl.@issajakala kwa Kuendeleza zoezi la unandikishaji #Reposted *🇹🇿UANDIKISHAJI🇹🇿* Leo Tarehe 26/12/2022. Mwl. Issa Jakala Nimeendelea na Zoezi la Uandikishaji Wanafunzi Tarajali wa Darasa la Awali na Darasa la Kwanza Kwa Mwaka wa Masomo 2023 Katika Kitongoji Cha Kobesisi Kijiji Cha Borenga Kata ya Kisaka Kwa Kuzingatia Maelekezo yaliyotolewa na Idara ya Elimu Lakini Pia Msisitizo wa Viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti Kuhusiana na Kumalizika Kwa Zoezi Mapema Kabla ya Kupinduka Mwaka Ili Kufikia Maazimio na Malengo Tajwa ya Serikali. Nimeendelea Kuibua Changamoto na Mawazo Mapya Pamoja na Kutoa Elimu Kwa Wanajamii Kuhusiana na Mpango wa Elimu Bure Inayotolewa na Serikali ya Awamu ya 6 chini ya Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Pamoja na Namna ya Kufikia Fursa Mbalimbali Zitolewazo na Serikali Pamoja na Taasisi/ Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Ktk Kutokomeza Adui Ujinga Pamoja na Umasikini. Sensa Hii Imenisaidia Kuleta Chachu ya Wananchi Kuhamasika na Kutoa Ushirikiano wa Kutosha Lakini Pia Kuthamini Mchango wa Serikali Kadri Inavyojitahidi Kuboresha Huduma za Kijamii Wilayani Serengeti Ikiwemo Elimu, Afya, Maji, Umeme Vijijini na Utengenezaji Miundombinu Mfano Madaraja na Ulimaji Barabara Vijijini Unaorahisisha shughuli za Usafirishaji na Biashara ktk Kufikia Huduma Imesaidia Kupunguza Nauli Pamoja na Bei za Bidhaa ya Kutoka Sehemu ya Uzalishaji/Mchuuzi Hadi Kwa Mtumiaji wa Mwisho. Aidha Nimshukuru Sana Mwenyekiti wa Kitongoji Cha Kobesisi Kwa Ushirikiano Alionipa. Ahsante Imetolewa na : Mwl. Issa Jakala Mjumbe Kamati ya Utekelezaji Umoja wa Vijana Wilaya ya Serengeti. (at Serengeti District) https://www.instagram.com/p/CmpRMdGNPZV/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes