#shuleni
Explore tagged Tumblr posts
rachelsiwafan · 2 years ago
Photo
Tumblr media
“ one pound can help food for students, if we can all join together to help them out!” "Pauni moja/shilingi inaweza kusaidia kulisha wanafunzi, ikiwa sote tunaweza kuungana pamoja kuwasaidia!" “This is an NGO we started in order to help school children in Tanzania have more substantial meals. If you have anything at all, please donate to help them out so they can eat for free. For more information: 🇹🇿 +255 673 060 887 🇬🇧 +44 750 44 100 📧 [email protected] @sisifreeschoolmeals #chakula #shuleni #lishebora #freemeals #chakulashuleni #foodbank #schoolfood @sisifreeschoolmeals @freeschoolmealstz @ukintanzania #uktz https://www.instagram.com/p/CoU2ZRStAEH/?igshid=NGJjMDIxMWI=
2 notes · View notes
mwanagenzi · 4 months ago
Text
Laiti Singecheza Shuleni
Nililala kujilaza, hadi jua likatuwa, Kulala kulipendeza, masomo singetambuwa, Wote kanibembeleza, masomo sikuyajuwa, Laiti ningalijuwa, shuleni singalicheza! Mfunzi nilipuuza, alipotaka sikiwa, Wengine akiwatuza, maonyo nilipatiwa, Baba kanipendekeza, japo dafu sikufuwa, Laiti ningalijuwa, shuleni singalicheza! Wengine walijikaza, kusoma na kubukuwa, Darasawaliongoza, mkiani nipokuwa, Nilibaki…
0 notes
rwizakakiza · 11 months ago
Text
JE, WEWE UNAMTEGEMEA NANI KUSHINDA?.
°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°
Fuatilia na Subscribe.
Https://www.youtube.com/@Rwizakakiza
Tutafakari kwa pamoja na ujibu wewe binafsi. Je unamtegemea nani kushinda?
‭‭.....Ee MUNGU wangu, Nimekutumaini Wewe, nisiaibike, Adui zangu wasifurahi kwa kunishinda.
...... Zaburi 25:2.......
Ni kitu rahisi sana "KUMWAMINI MUNGU YUPO NA ANATENDA, LAKINI USIMTEGEMEE YEYE!".
Mfano.
Una watoto shuleni, wakasimamishwa masomo, kwa sababu ya kukosa Ada, na ukapewa siku tatu tu, Usipokamilisha ada yao watafukuzwa kabisa shule.
Mbele yako wapo wawili wanaoweza kukulipia Ada yaani yupo
MUNGU........na .......MTU MWENYE FEDHA. Utamwendea nani?????
Kati ya watu zaidi ya Mia moja niliowauliza swali hili walijibu wataenda kwa mwenye Fedha, ili kutatua tatizo kwanza, kibinadamu wapo sahihi lakini kwa mtu anayemwamini na Kumtegemea MUNGU majibu yake hayawezi kuwa sawa na majibu yao.
Maandiko yanasema nimekutumainia (nimekutegemea) wewe nisiaibike, kwa sababu hiyo usipomtegemea MUNGU, tegemea aibu muda wowote na laana kwa sababu amtegemeaye mwanadamu amelaaniwa. Sikatai kwamba kuna kutegemeana kama binadamu ili kusaidiana ila unapofikia hatua yakabaki majibu mawili yaani MUNGU na mtu usifanye kosa ukamchagua mtu.
Ukipewa fedha na mwenye Fedha ni kweli anaweza kufikiri unatatua tatizo kumbe anatengeneza aibu yako baadae. Umefungua mlango wa aibu (ingawa wakati huo unaona umeficha aibu) na adui kukutesa, pili unafungua lango la madeni, tatu unafungua lango la hofu kwenye maisha yako, nne lango la heshima linafungwa.
Wengine waliponasa kwenye mtego wa adui mpaka sasa maisha hayana matumaini tena wamekata tamaa, Wengine wanaomba kufa kuliko aibu wanayoiona mbele.
MUNGU amenituma kwako leo, nikwambie USIKATE TAMAA unayo nafasi ya pili ya kumruhusu YESU KRISTO akutawale na uanze upya kumtegemea atakuvusha salama, Yupo kwa ajili yako tu.
Kumtegemea MUNGU ni zaidi ya kumwamini, tegemeo likiondoka kwa MUNGU imani haifanyi kazi, Mtegemee MUNGU mpaka mwisho, hata kama ataruhusu watoto wakafukuzwa, Yeye ndiye aliyewaumba hawezi kukuaibisha anawaandalia shule inayofaa zaidi. Mwamini na mtegemee YESU KRISTO kamwe hautaaibika kamwe, Amina.
Rejea
‭‭ "O my GOD, in You I [have unwavering] trust [and I rely on You with steadfast confidence], Do not let me be ashamed or my hope in You be disappointed; Do not let my enemies triumph over me"
........Psalms 25:2.......
(WhatsApp: +255 782 546 914)
@2024 The year of my shining.
1 note · View note
mteulethebest · 4 years ago
Text
Muonekano wa Shule ya Sekondari ya wavulana Ihungo baada ya ukarabati
Muonekano wa Shule ya Sekondari ya wavulana Ihungo iliyoko mjini Bukoba inayotarajiwa kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Leo tarehe 18 Januari, 2020. Shule hiyo imefanyiwa ukarabati uliogharimu shilingi Bilioni 10.9 baada ya kuharibika kufuatia tetemeko la ardhi lililotokea mjini Bukoba tarehe 10 Septemba, 2016.
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
magaratimes · 7 years ago
Text
#VOA: Watu wenye silaha wauwa wanafunzi 5, mlinzi shuleni
#VOA: Watu wenye silaha wauwa wanafunzi 5, mlinzi shuleni
[ad_1]
Tumblr media
Wanafunzi watano na mlinzi wa usiku wamepigwa risasi na kuuwawa mapema Jumamosi asubuhi katika shule ya mseto ya Lokichogio huko kaunti ya Turkana, Kenya.
Mkuu wa polisi wa kaunti hiyo Kamishna Seif Matata amethibitisha kuwa mmoja wa washambuliaji hao alikuwa ni mwanafunzi katika shule hiyo ambaye alikuwa amesimamishwa kwa muda kuendelea na masomo.
Kwa mujibu wa vyanzo vya habari…
View On WordPress
0 notes
zephilinecom · 2 years ago
Text
MUUZA CHIPS (19)
Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA KUMI NA TISA ILIPOISHIA... "mungu wangu weeeee…. " "sasa alisema kunahitajika kiasi gani" "kwanza… Kule wilayani kunatakiwa laki moja, halafu huku shuleni kunatakiwa laki moja kwa ajili ya kuwafunga walim
Jina: MUUZA CHIPSMwandishi: MoonBoy SEHEMU YA KUMI NA TISAILIPOISHIA… “mungu wangu weeeee…. “ “sasa alisema kunahitajika kiasi gani” “kwanza… Kule wilayani kunatakiwa laki moja, halafu huku shuleni kunatakiwa laki moja kwa ajili ya kuwafunga walimu midomo.. Na hii ya tatu, mtoto wangu alikuwa ni bikra, je nami mtaniangalia hata na ng’ombe dume” KAMA UNATUMIA APP WAKATI UNAFUNGUA KUNA…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
serengeti-dc · 2 years ago
Photo
Tumblr media
📍LISHE WAZAZI ROBANDA WAJITOA KUHAKIKISHA WATOTO WANAPATA CHAKULA SHULENI Shule ya Msingi Robanda Kata ya ikoma wilayani Serengeti kwa kushirikiana na uongozi wa kijiji na Kata ni miongoni mwa shule zinazotekeleza utaratibu wa kuwapatia wanafunzi chakula Shuleni.ikiwa ni Mkakati wa kitaifa wa kuhakikisha mtoto awapo shuleni anapata chakula . Katika shule ya Msingi Robanda wazazi wamekuwa mstari wa mbele kuchangia chakula Shuleni na hivyo kufanya watoto wote kuanzia darasa la Awali hadi la Saba kupata chakula. ‘’Kila Muhula tunakuwa na kikao cha wazazi kwa ajili ya kuandaa bajeti ya uji wa wanafunzi wakiwa shuleni ‘’Alisema mkuu Msaidizi wa Shule hiyo Mwl.Noel Abel. Kwa Upande wa Wanafunzi wameishukuru serikali kwa kusimamia swala la Lishe mashuleni pamoja na wadau wa utalii Focus on Tanzania communities kupitia Thomson safaris LTD Kwa kuwajengea Jiko la kisasa kwa ajili ya kupikia chakula wakiwa Shuleni. Diwani wa kata ya Ikoma Mhe.Michael Kunani amewataka wazazi kuendelea kuchangia chakula shuleni kwani ni chakula ambacho mtoto angeweza kula nyumbani kiletwe shule aweze kula na kumpa mtoto utulivu wa kimsomo na kuweza kufanya vyema katika masomo yake. Halmashauri ya wilaya ya Serengeti inaendelea kutenga na Mapato yake ya ndani katika kutekeleza afua mbalimbali za Lishe kama ambavyo Mhe.Rais alitoa maelekezo wakatika kusaini mikataba ya Lishe Hivi karibuni. 🥣LISHE BORA,ELIMU BORA🔰 KAZI INAENDELEA https://www.instagram.com/p/CkNMlHFtodh/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
wikielimu · 3 years ago
Photo
Tumblr media
UGONJWA WA KUJIONA MBAYA ▪︎ Unajikuta unaifikiria sana na kuwa na wasiwasi kuhusu sehemu fulani ya mwili. Muda mwingi unajihisi mwenye huzuni au kukata tamaa. ▪︎ Utajikuta unatamani kuficha au unaficha sehemu hiyo ya mwili unayoiwazia isionwe na watu wengine. Baadhi ya watu wenye ugonjwa wa kujiona mbaya wanaweza kuepuka kukutana na watu kabisa, kwa sababu hawataki watu waone sehemu hiyo wanayoiwazia kuwa ni mbaya. ▪︎ Hali hii inaweza kusababisha matatizo kazini au shuleni, na kwenye mahusiano. JIFUNZE ZAIDI https://wikielimu.com/tatizo-ugonjwa-wa-kujiona-mbaya/ @wikielimu @hwi.or.tz #WikiElimu https://www.instagram.com/p/CfUFD4QKxwd/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
classicfinishestz · 3 years ago
Photo
Tumblr media
Mkeka wa Mbao ni FLOOR imara na ni ngumu. Una sifa ya kukaa SUPERMARKET, HOTEL, HOSPITALI,SHULENI, WORKSHOP, BANK na maeneo mengine kibao. Inadumu miaka mingi kwenye SAKAFU yoyote ile iwe TILES, TERRAZZO CEMENT FLOOR na kadhalika. Ina upana wa Mita 4. Uwekaji wake ni rahisi sana ni Gundi tu, hutumii Cement wala Mchanga ukilinganisha na Floor zingine. Inasafishika kirahisi kwa Maji ya kawaida na kwa kutumia Mop laini. Hauna utelezi wala ubaridi. Mkeka wa Mbao unahamishika ukihama unahama nao. Design zipo tofauti tofauti zenye muonekano wa Mbao,Tiles, Terrazzo na kadhalika. Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa namba hizi ☎️☎️ 0747753566 ☎️☎️0735282811(MbeziBeach, Jogoo HQ) MADALE BRANCH ☎️☎️0655819992 @classic_finishesbranch KARIAKOO tunapatikana MHD duka namba 77 tupo Opp na CHINA PLAZA ☎️☎️0719363640 @mhd_qualitycarpettz ARUSHA fika KALOLENI @thefixinterior Ama wasiliana na Engineer wetu aliyiopo ARUSHA ☎️☎️0659855738 #mkemawambaotz (at STRONGER) https://www.instagram.com/p/CdngWvbtriG/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
rachelsiwafan · 2 years ago
Photo
Tumblr media
“ one pound can help food for students, if we can all join together to help them out!” "Pauni moja/shilingi inaweza kusaidia kulisha wanafunzi, ikiwa sote tunaweza kuungana pamoja kuwasaidia!" “This is an NGO we started in order to help school children in Tanzania have more substantial meals. If you have anything at all, please donate to help them out so they can eat for free. For more information: 🇹🇿 +255 673 060 887 🇬🇧 +44 750 44 100 📧 [email protected] @sisifreeschoolmeals @freeschoolmealstz #chakula #shuleni #lishebora #freemeals #chakulashuleni #foodbank #schoolfood https://www.instagram.com/p/Cn1a_S4NM8o/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
mwanagenzi · 2 years ago
Text
Mwalimu Nikupendaye
Mwalimu nikupendaye, rafiki yangu shuleni, Vizuri unifunzaye, mambo mengi darasani, Niwe mwema baadaye, nikiishi duniani, Mwalimu nikupendaye, ninakupa shukrani. Masomo wanipatia, nami nimeerevuka, Shule naifurahia, kusoma na kuandika, Mengi umeniambia, mema niliyoyataka, Wewe unipaye njia, nakupa pongezi shika. Msingi wetu elimu, jambo jema maishani, Mengi nimeyafahamu, yaliomo akilini, Elimu…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
fortjenerupendo · 3 years ago
Text
Kufanya mazoezi ya kiswahili
Sasa ninataka kujifunza kiswahili. Nimesoma kiswahili kidogo shuleni. Sasa najifunza kwenye Duolingo. Sikupenda kozi ya duolingo, lakini sasa naipenda. Ni rahisi zaidi, lakini mimi ni mwanzilishi. Sina mtu wa kufanya naye mazoezi.
0 notes
mteulethebest · 4 years ago
Text
Serikali Yagawa Vifaa vya Bilioni 3 kwa Wanafunzi 18,488 wenye Mahitaji Maalum
Serikali imetoa vifaa na visaidizi maalum vya aina mbalimbali vyenye thamani ya Shilingi bilioni 3 kwa ajili ya wanafunzi 18,488, ambao wana mahitaji maalum wa shule za msingi na sekondari nchini ili kuwawezesha wanafunzi hao kumudu masomo katika shule zao. Akizindua zoezi la usambazaji wa vifaa hivyo leo mjini Dodoma, Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe. Selemani Jafo, amesema, Ofisi ya…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
magaratimes · 7 years ago
Text
#VOA: Wanafunzi wa Lucky Vincent warejea shuleni
#VOA: Wanafunzi wa Lucky Vincent warejea shuleni
[ad_1]
Tumblr media
Wanafunzi hao Sadya Awadhi, Wilson Tarimo na Doreen Elibariki, waliwasili kwa usafiri wa pamoja binafsi shuleni eneo la Kwa Mrombo huku wakisindikizwa na wazazi wao.
Wiki mbili zilizopita manusura hawa wa ajali ya gari ya shule ya Lucky Vincent iliyotokea katika eneo la Rhotia mnamo tarehe 6 mwezi mei walirejea nchini Tanzania kutoka Marekani walikokuwa wakipatiwa matibabu kwa Zaidi ya…
View On WordPress
0 notes
0714091786 · 3 years ago
Video
KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Tanga Safia Jongo amesema watoto wenye ulemavu wa ngozi, uoni hafifi ni moja kati ya makundi yanayoathirika na vitendo vya ukatili wa kijinsia ikiwemo kufichwa na kutekwa. Hivyo ameitaka jamii kubadilika na kuachana na vitendo vya namna hiyo badala yake wahakikisha wanawasaidia ili kuwawezesha kufikia malengo ambayo wamejiwekea ikiwemo ya kupata elimu. Aliyasema hayo leo wakati Mtandao wa Polisi Wanawake Tanzania Mkoa wa (TPFNET) wakishirikiana na Ustawi wa jamii na wadau mbalimbali wakitoa msaada wa vitu mbalimbali vyenye thamani ya milioni 4 . Msaada huo umetolewa kwa shule ya Msingi ya Watoto wenye mahitaji maalumu ya Pongwe, Wafungwa katika Gezera kuu la Maweni pamoja na kituo cha watoto yatima ikiwa ni siku moja kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia inayoadimishwa Desemba 10 kila mwaka Alisema licha ya kufichwa watoto hao wenye ulemavu wamekuwa wakifikia hata hatua ya kukatwa viungo vyao na kuwauwa na wao ni kati ya waathirika wakaona waungane nao wawaonyeshe wako nao pamoja ili waweze kuwatia mpyo “Kwa kweli niwashukuru wadau wetu na askari wa kike kutoa elimu kupiga ukatili wa kijinsia dhidi ya watoto lakini pia kutoa msaada huu niwaambie kwamba mnayonafasi ya kuwa mawaziri au rais kikubwa mliopo shuleni wekeni bidii na juhudi kuhakikisha mnasoma kwa bidii”Alisema Kamanda huyo wa Polisi. “Niwasihi wanangu muwe na ndoto za kuwa na maisha bora ya baadae kwa kuhakikisha mnasoma kwa bidii kwa lengo la kutimiza malengo yenu juzi tulikuwa na maadhimisho ya watu wenye ulemavu tumeona wapo viongozi wenye ulemavu hivyo tumekuja kuwatia moyo nanyi ni kundi ambalo serikali inawategemea”Alisema Kamanda huyo Kamanda huyo alitoa wito kwa jamii kuwaangalia kwa jicho la pekee watoto wenye ulemavu wa ngozi au kutokuona kabisa kwa wazazi kutokukata tamaa kuwapeleka shuleni kwani kufanya hivyo kunawanyima haki zao za Msingi na huo ni moja ya ukatili. “Ndugu zangu kkatili wa kijisnia, saikologia unaanza na wazazi kufarakana na mwisho wa siku wanapatika vizazi ambavyo ni watoto wahalifu hivyo Jeshi la Polisi wanapinga na wanataka watanzania kuacha suala la ukati “Alisema #BabadUpdates (at Tanga, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CXS2gQ-qiAv/?utm_medium=tumblr
0 notes
serengeti-dc · 2 years ago
Photo
Tumblr media
WORLDCHANGER VISION ILIVYOREJESHA MATUMAINI YA ELIMU KWA WATOTO 5 SERENGETI Taasisi ya Worldchanger Vision iliyopo wilayani Serengeti Mkoa Wa Mara,imeendelea kugusa na kurejesha matumaini ya kielimu kwa watoto wengi wilayani hapa ambao wapo katika mazingira magumu na yanayokatisha tamaa kuendelea na Elimu. Familia ya Ndg.Makuru chacha,kupitia kitengo cha ustawi wa Jamii cha wilaya ya Serengeti, imeweza kuguswa na taasisi hii na kuwezesha watoto wa 5 wa familia hiyo kupata mahitaji yote ya shule ili waweze kurejea shuleni baada ya kukwama kuendelea ana masomo baada ya kukosa mahitaji ya Shule. Thanks To Worldchanger Vision Tanzania,for your Love and Support to our Community members at Serengeti.🇹🇿♥️🇩🇪 CC @weltbeweger_worldchanger Read More/Soma zaidii ✍️🇹🇿 https://serengetidc.go.tz/new/worldchanger-vision-ilivyorejesha-matumaini-ya-elimu-kwa-watoto-5-serengeti @samia_suluhu_hassan @channeltentanzania @officialchangetanzania #change #chaeunwoo https://www.instagram.com/p/CjGSeRItKJq/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes