#michezo
Explore tagged Tumblr posts
Text
MAJALIWA: MICHEZO NI NYENZO MUHIMU INAYODUMISHA AMANI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ushirikiano katika michezo ni nyenzo muhimu katika kudumisha diplomasia na amani miongoni mwa nchi washirika wa Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani (CISM).Amesema hayo leo (Ijumaa, Mei 17, 2024) wakati akifunga Mkutano wa 79 wa Baraza hilo. Mkutano huo umefanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Johari Rotana jijini Dar es Salaam. Waziri Mkuu amwmwakilisha…
View On WordPress
0 notes
Text
Mastaa Man City wameishiwa pumzi
Baada ya kipigo kingine kutoka kwa Aston Villa cha mabao 2-1 ni dhahiri sasa Pep Guardiola anatakiwa kuwafukuza mastaa wake kikosini. Hapo alipo sasa ni pagumu, kwa sababu inakuwa mechi ya 9 kufungwa kati ya michezo 12 alizocheza. Katika michezo 12 ameshinda mchezo mmoja na kutoka sare miwili. Kwa matokeo ya jana dhidi ya Aston Villa ni dhahiri kwamba kocha wa Man City anatakiwa kuchukua uamuzi…
0 notes
Text
Timu ya Singida Black Stars imefikia makubaliano ya pande zote mbili kuachana na Kocha wake Mkuu, Patrick Aussems pamoja na msaidizi wake Denis Kitambi.
"Tumefikia makubaliano ya pande mbili ya kuvunja mkataba na aliyekuwa Kocha Mkuu, Patrick Aussems, kukinoa kikosi chetu."
"Uongozi wa Singida Black Stars unamshukuru kocha Aussems kwa kazi aliyoifanya katika kipindi chote alichotumikia Singida Black Stars."
Bado hakuna sababu rasmi zilizotajwa na timu hiyo za kuachana na makocha hao lakini taarifa za ndani zinadai kuwa wamefikia makubaliano hayo kutokana na matokeo yasioridhisha katika michezo yao ya Ligi Kuu ya NBC
#frontsportz
#frontlinetv
0 notes
Text
TUNAUZA KANGA WEUPE NA WAMADOA WAKUBWA NA VIFARANGA | WE ARE SELLING AFRICAN GUINEAFOWL - DSM
Bei ya kanga
1. Weupe wakubwa ni 45,000Tsh Tu
2. Wamadoa wakubwa ni 35,000Tsh Tu
3. Wamadoa wa mwezi ni 8,000Tsh Tu
Call/Text/WhatsApp: 0712 25 31 02
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet
UFUGAJI WA KANGA (AFRICAN GUINEA FOWL)
Kanga ni jamii ya ndege wafugwao, wapo wenye rangi nyeupe tupu na wapo wenye madoa madaoa. Kanga kwa kingereza anaitwa Guinea Fowl, kibaiolojia wapo kundi la ndege kama Kuku, kwale, bata, nk
#Utagaji: Kwa utafiti uliofayika ndege hawa hawana magonjwa mengi kama kuku hutaga mayai 100 - 200 kwa mwaka
#Kiota: Anapotaka kutaga hujitengenezea kiota mwenyewe bora umuache atagie hapopo.
#Usafi: Kila baada ya kuangua kiota kisafishwe vizuri,kisha sehemu hiyo inyunyuziwe dawa ya kuua vijidudu kama vile utitiri, viroboto na kupe.
#Michezo: Hupendelea kichanja kwa michezo yao wakiwa nje au ndani ya banda.
#Jinsia: Utamtambua jinsia jike au dume anapofika miezi 7
#Soko: Anasoko la uhakika mmoja huuzwa kati ya sh 20 hadi 35, yai moja sh 1000.
#Uzito: Kanga ana uzito wa kilo 2.4 hufungwa kama mradi, wengine hufuga kama mapambo nyumbani.
#Chakula: Chakula chao ni nafaka kama vile mahindi, karanga, mpunga, wadudu, majani, na udongo.
#kanga #ndege #guineafowl #kangaweupe #ufugajiwakanga #kangawakisasa #tunauzakanga #kangawanauzwa #africanguineafowl #kangawamadoa
Tupo kwajili ya wafugaji, Endeleeni kuwa nasi siku zote
Simu:
+255 712 253 102(WhatsApp)
+255 692 430 263
Email:
Website
www.joack.co.tz
Huduma zetu utapata ukiwa mkoa wowote Tanzania
Jiunge nasi kwenye WhatsApp group kujifunza mengi
#mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #ufugaji #kuku #dodoma #tanzania #ndegeainayakanga #tanzania #vifaranga #daktariwamifugo
Mifugo Tz | Products and services
0 notes
Text
Somo: TABIA 25 ZA KUEPUKA NA HATARISHI KWENYE MAISHA YAKO. (Part 15: KU...
youtube
Somo: TABIA 25 ZA KUEPUKA NA HATARISHI KWENYE MAISHA YAKO.
---------------------------------------------------
SUBSCRIBE (Tumaini Jipya Duniani Tv)
Https://youtube.com/@rwizakakiza?si=ewqb8Z8S1aeDwoRB
Sehemu: XV.
----------------------
3. 7. 1. DALILI /VIASHIRIA /MATOKEO YA TABIA YA UCHAWI.
Tujifunze kwa umakini matokeo au Dalili au viashiria vya mtu mwenye tabia ya uchawi.
......"Asionekane kwako mtu AMPITISHAYE mwanawe au binti yake KATI YA MOTO, wala asionekane mtu ATAZAMAYE BAO, wala mtu ATAZAMAYE NYAKATI MBAYA, wala mwenye KUBASHIRI, wala MSIHIRI, wala mtu ALOGAYE kwa kupiga MAFUNDO, wala mtu APANDISHAYE PEPO, wala MCHAWI, wala mtu awaombaye wafu. Kwa maana mtu ATENDAYE hayo ni CHUKIZO kwa BWANA; kisha ni kwa sababu ya hayo BWANA, MUNGU wako, ANAWAFUKUZA mbele yako.
......Kumb 18:10-12....
Zingatia.
......Tabia ya uchawi inaweza kujitokeza kwenye mambo yaliyotajwa kwenye nukuu hapo juu, Ebu tuchambue viashiria vinavyodhiirisha uchawi Ingawaje mtendaji anaweza kuwa ANAJITAMBUA au asielewe kama anafanya uchawi:-
1. "KUBASHIRI - FORECAST"
Kubashiri ni hali ya kutabiri, / Kubeti, /Droo, /Bahati nasibu, /kucheza kamari, ambapo kuna nguvu inayokuwezesha kutenda. Kama mtu ana mahusiano ya kina na MUNGU (BWANA YESU) anawezeshwa na nguvu za ROHO MTAKATIFU na MUNGU sio wa kubahatisha, ni wa uhakika.
Je anayetabiri /kubet /anayecheza kamari /anayeshiriki Bahati nasibu anawezeshwa na nguvu /roho gani?
.....Kumtumikia YESU KRISTO haimaanishi wewe ni wa YESU Au kuwa Mkristo haimaanishi wewe ni Mkristo. Kama unashiriki mambo haya, Wewe upo mbali sana na MUNGU aliye hai na unazitumikia roho za giza ("mungu wa bahati") ambalo ni katazo na laana.
.....Ninyi mnaomwacha BWANA, na kuusahau mlima wangu Mtakatifu (kanisa-ushirika na MUNGU), na KUANDIKA meza KWA AJILI ya BAHATI, MIMI nitawaandikia KUUAWA kwa upanga, na ninyi nyote MTAINAMA ili KUCHINJWA; kwa sababu nilipoita HAMKUITIKA; niliponena, HAMKUSIKIA; bali MLITENDA yaliyo MABAYA MACHONI pangu, mlichagua mambo NISIYOYAFURAHIA.
.......Isaya 65:11 - 12.....
MUNGU huchukia mazoea yanayowatia watu moyo waamini BAHATI kwa sababu INACHUKUA NAFASI ya KUMTEGEMEA MUNGU. Michezo ya kamari inawafanya watu WATEGEMEE BAHATI bila kumtegemea MUNGU, bila kutumia akili na nguvu katika kutafuta.
Sio kwamba hawamwamini MUNGU, Wana mwamini, lakini HAWAMTEGEMEI MUNGU na shetani anamwamini mpaka anatetemeka lakini hamtegemei MUNGU"
.....Wewe waamini ya kuwa MUNGU ni mmoja; watenda vema. Mashetani nao WAAMINI na KUTETEMEKA.
......Yakobo 2:19.....
Kamari huwachochea watu moja kwa moja WAPENDE fedha. Watu wengi leo hawajali mambo ya kiroho, kwa hiyo, fedha imekuwa mungu wao na kucheza kamari ndiyo njia ya kuiabudu.
Siku hizi watu huenda kwenye nyumba za fahari za kuchezea kamari badala ya kwenda kanisani, na humo wao hufundishwa kwamba utajiri wa haraka ni sifa nzuri. Watafiti wamegundua ya kwamba watu wengi hucheza kamari ili washinde “kiasi kikubwa sana cha fedha,” wala si kwa sababu ya tafrija au raha. Hata hivyo, Biblia inaonya hivi:
.....“Kupenda fedha ni mzizi wa mambo mabaya ya namna zote, na kwa kujitahidi kupenda huku, wengine wameongozwa wapotee njia kutoka kwenye imani na wamejichoma wenyewe kotekote kwa maumivu mengi.”
......1Timotheo 6:10.....
Unapoazimia kuwa tajiri bila BWANA YESU huanguka katika jaribu na mtego na tamaa nyingi za kijinga na zenye kudhuru, ambazo hutumbukiza watu katika maangamizi na uharibifu.”
.....1Timotheo 6:9....
Watu hucheza kamari /Kubashiri kwa sababu ya tamaa, na “TAMAA” ni mbaya sana hivi kwamba Biblia inaitaja kuwa miongoni mwa tabia tunazopaswa kuepuka kabisa.
..... Waefeso 5:3.....
Tamaa hukazia hasa kutajirika haraka, uchezaji-kamari humchochea mtu kupenda pesa ambacho ni “chanzo cha mambo mabaya ya namna zote.” Tamaa ya pesa inaweza kwa urahisi kuwa jambo muhimu zaidi maishani mwa mtu na kumfanya awe na mahangaiko mengi na kuharibu uhusiano wake na MUNGU.
Tamaa huwafanya watu wasiridhike na hali yao ya uchumi na hivyo kukosa furaha. “Anayependa fedha hatatosheka na fedha, wala anayependa mali hatatosheka na mapato.
....”Mhubiri 5:10.....
Mamilioni ya watu walioshawishika kucheza kamari /bahati nasibu /Kubashiri wamekuwa WARAIBU wa mchezo huo. Unapokomaa kwenye michezo hiyo, roho giza ya utabiri inakuvaa, inafika kiwango ukibashiri kitu kinatokea. Na kwa sababu sio mwongozo wa ROHO MTAKATIFU, ni nguvu ya roho za giza, huko ndiko kufanya uchawi ingawa unajiona sio mchawi. (Rejea tafsiri ya uchawi somo lililopita).
2. "KUAGUA -
......Tutaendelea......
________________________________
Rejea
"There shall not be found among you anyone who makes his son or daughter pass through the fire [as a sacrifice], one who uses divination and fortune-telling, one who practices witchcraft, or one who interprets omens, or a sorcerer"
.....Deuteronomy 18:10 ....
________________________________
For help:
+255 782 546 914
Ev. Erasmus Pascrates Kakiza
+255 764 215 291
@2024 The year of my shining.
0 notes
Text
MICHEZO
https://shilohmediatanzania.blogspot.com/2024/09/1.html
0 notes
Text
TUNAUZA KANGA WEUPE - WAKUBWA | WE ARE SELLING AFRICAN WHITE GUINEAFOWL - DSM
Bei ni 45,000Tsh Tu
Call/Text/WhatsApp: 0714 63 63 75
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet
UFUGAJI WA KANGA (AFRICAN GUINEA FOWL)
Kanga ni jamii ya ndege wafugwao, wapo wenye rangi nyeupe tupu na wapo wenye madoa madaoa. Kanga kwa kingereza anaitwa Guinea Fowl, kibaiolojia wapo kundi la ndege kama Kuku, kwale, bata, nk
#Utagaji: Kwa utafiti uliofayika ndege hawa hawana magonjwa mengi kama kuku hutaga mayai 100 - 200 kwa mwaka
#Kiota: Anapotaka kutaga hujitengenezea kiota mwenyewe bora umuache atagie hapopo.
#Usafi: Kila baada ya kuangua kiota kisafishwe vizuri,kisha sehemu hiyo inyunyuziwe dawa ya kuua vijidudu kama vile utitiri, viroboto na kupe.
#Michezo: Hupendelea kichanja kwa michezo yao wakiwa nje au ndani ya banda.
#Jinsia: Utamtambua jinsia jike au dume anapofika miezi 7
#Soko: Anasoko la uhakika mmoja huuzwa kati ya sh 20 hadi 35, yai moja sh 1000.
#Uzito: Kanga ana uzito wa kilo 2.4 hufungwa kama mradi, wengine hufuga kama mapambo nyumbani.
#Chakula: Chakula chao ni nafaka kama vile mahindi, karanga, mpunga, wadudu, majani, na udongo.
#kanga #ndege #guineafowl #kangaweupe #ufugajiwakanga #kangawakisasa #tunauzakanga #kangawanauzwa #africanguineafowl #kangawamadoa
Tupo kwajili ya wafugaji, Endeleeni kuwa nasi siku zote
Simu:
+255 714 63 63 75(WhatsApp)
+255 692 430 263
Email:
Huduma zetu utapata ukiwa mkoa wowote Tanzania
Jiunge nasi kwenye WhatsApp group kujifunza mengi
#mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #ufugaji #kuku #dodoma #tanzania #ndegeainayakanga #tanzania #vifaranga #daktariwamifugo
Welcome Mifugo Tz || Visit to Like | follow our social networks
1. Facebook Page | Mifugo Tz Page
link: https://www.facebook.com/MifugoTz/
2. Instagram | mifugo_tz
link: https://www.instagram.com/mifugo_tz
3. Twitter | Mifugo TZ:
link: https://twitter.com/MifugoTz?s=09
4. Linkedin | Mifugo Tz
link: https://www.linkedin.com/in/mifugo-tz-50798216b
5. You Tube | Mifugo Tz Online Tv
link: https://youtu.be/xOZqX0VNcZc
Mifugo Tz | Products and services
0 notes
Text
TUNAUZA "DOG PUZZLE SLOW FEEDER" | SAHANI YA KUCHEZEA NA KUNDISHIA MBWA.
Call/Text/WhatsApp: +255 714 63 63 75
Imeandaliwa na @joackcompany
Aina hizi za sahani zinaitwa "DOGS LOVE PUZZLE TOYS"
Wataalamu walio somea tabia za wanyama wanashauri sana matumizi ya hizi sahani kwa mbwa na paka.
Aina hii ya sahani ni maalumu kwajili ya kumuweka mbwa/paka bize kipindi haupo, lakini pia ina changamsha ubongo na inaongeza ufahamu (IQ) wa mnyama.
Ni muhimu kumuweka mbwa au paka wako bize kupitia michezo au kwa kutembea, kwasababu hii inakuwa ni kama sehemu ya mazoezi.
Mbwa au paka wengi wanapenda sana chakula, hivyo matumizi ya michezo yanayo husisha chakula ni mazuri sana kwajili ya kuongeza umakini na uelewa wa haraka.
Faida nyingine za Dog Puzzle 🧩 ni:-
1. Inapunguza tabia zisizorafiki kwa mbwa/paka mfano kuchimba au kuzunguka na kuharibu vitu vya ndani.
2. Inaongeza ufahamu/IQ
3. Ni sehemu ya mazoezi
4. Inaongeza umeng'enyaji wa chakula.
5. Inafanya mbwa/paka asijione mpweke na kumfanya aridhike na maisha.
Hayo ni machache tu kuhusu "Dog Puzzle Slow Feeder", endelea kufatilia page zetu ili uweze kujifunza zaidi kuhusu mambo ya wanyama.
Licha ya dog puzzle, JOACK Pet store tuna vifaa mbalimbali kwajili ya mbwa, paka na pets wengine na vinapatikana kwa gharama nafuu sana.
#DogPuzzleSlowFeeder #CatPuzzleSlowFeeder #CatPuzzle #dogPuzzle #sahanizambwa #CatPuzzletoys #dogPuzzletoys #sahanizamichezozambwa #sahanizapaka #vifaavyamichezovyambwa #vifaavyamichezovyapaka #paka #mbwa #sahahizakupimaufahamuwambwa #sahahizakupimaufahamuwapaka
Office zetu zipo @Tegetategetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #mifugo #mifugotz #kilimo #kilimotz #dodoma #tanzania🇹🇿 #morogoro #tanzania #kilimoufugaji #mwanza #dodoma #arusha #mikocheni #masaki
JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
0 notes
Text
Jinsi ya Kujiunga na Kutumia Youtube Kwa Simu na Kompyuta
Youtube ni mojawapo ya mtandao maarufu wa kusambaza video mtandaoni
Unaweza kutazama video za aina mbalimbali kama vile burudani/vichekesho, elimu, habari, michezo n.k
Kabla ya Kuendelea Repost Ifike Kwa Mhitaji
Hapa Utajifunza: 🔓 Kufungua akaunti ya Youtube ⬆ Kupakia video(Upload) kwa kutumia Simu na Kompyuta 🍸 Faida za kupakia video kwenye Youtube 🧾 Mambo ya kuzingatia kabla ya kupakia video kwenye Youtube ▶ Kupata video unazotaka kutazama 💪 Kutumia vipengele vingine vya Youtube
Pia kama una channel yako ungependa: 🌍 Kuibrand(Muonekano Mzuri) 🚀 Kuikuza(Subscribe, Views, Watch Hours) Usisite kunitafuta
Naomba Like❤ yako kisha Reblog🔄
Kufikia hapa nikukaribishe kwenye chapisho letu ujifunze baadhi ya mengi kuhusu youtube👇
1 note
·
View note
Text
Rais William Ruto Afungua Rasmi Talanta Plaza huko Upper Hill, Nairobi.
Akizungumza wakati wa uziduzi huo Rais alisema kuwa mradi huo niwa kuwasaidia vijana ilikujikuza. By Brian Magiri,2/9/2023 Rais William Ruto alifungua rasmi jengo la Talanta Plaza, huko Upper Hill, Nairobi, siku ya Ijumaa. Jengo hili lenye ghorofa 16 litakuwa makao makuu ya Wizara ya Michezo, Utamaduni, na Sanaa, pamoja na ofisi za vyama vya michezo. Akizungumza wakati wa uziduzi huo Rais…
View On WordPress
0 notes
Text
Kuweka Mazingira Bora ya Kufanya Michezo
Kuweka mazingira bora ya kufanya michezo ni muhimu sana katika kuleta maendeleo ya michezo nchini. Klabu za Simba SC na Yanga SC zinaweza kuwa mfano bora wa jinsi mazingira bora ya kufanya michezo yanavyoweza kuleta mafanikio makubwa. Serikali inaweza kuchukua hatua za kuweka mazingira bora ya kufanya michezo kwa kusaidia klabu za mpira na kuweka miundombinu bora ya michezo.Kwa kuweka mazingira…
View On WordPress
#-uongozi-wa-simba-sc-na-yanga-sc#Jifunze jinsi ushirikiano#kama Simba SC na Yanga SC#katika siasa na michezo.#kufikia mafanikio makubwa#kuongeza-ufanisi-wa-serikali-#Kupitia uongozi wa klabu za mpira#na maendeleo ya wachezaji wapya vinavyoweza kuleta mabadiliko chanya#Tanzania inaweza kuimarisha serikali yake#uwekezaji
0 notes
Text
Tukiamini Kwenye Maombi Hawatajituma Uwanjani
Katika ulimwengu wa michezo, mafanikio ya wachezaji na timu kwa ujumla hutegemea mchanganyiko wa vipengele mbalimbali kama mazoezi ya mwili, maandalizi ya kiakili, nidhamu, mbinu za uchezaji, na mshikamano wa timu. Hata hivyo, kuna mtazamo ambao upo kwa sasa haswa kwa wachezaji wakubwa wa Ligi Kuu kwamba licha ya vipengele ambavyo nimetaja lakini pia mafanikio ya wachezaji uwanjani hutegemea…
0 notes
Text
Namungo na Yanga zitakutana kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara leo huku timu zote zikiwa hazijapata ushindi kwenye michezo ya hivi karibuni hivyo kila moja itakuwa inakwenda kwenye mechi hii ikiwa na nguvu kubwa.
Kwa upande wa Namungo ambayo imepoteza mechi nane kati ya 11 ilizocheza wakati Yanga ikipoteza mechi mbili.
Mabingwa watetezi Yanga itaingia kwenye mchezo huo ikiwa na kumbukumbu mbaya ya kupoteza mechi mbili mfululizo za Ligi Kuu dhidi ya Azam Novemba 2, 2024 ilipokubali kipigo cha bao 1-0 kabla ya kufungwa tena mabao 3-1 mechi iliofuata dhidi ya Tabora United Novemba 7, 2024, ambapo mechi zote mbili zilipigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi.
Namungo inashika nafasi ya 13 kwenye msimamo wa Ligi Kuu ikiwa na pointi tisa katika mechi 11 ilizocheza wakati Yanga inashika nafasi ya tatu ikiwa na pointi 24 katika mechi 10 ilizocheza.
#frontsportz
#fronlinetv
0 notes
Text
FAHAMU KUHUSU UFUGAJI WA NJIWA | FAHAMU KUHUSU NJIWA | NJIWA NI BIASHARA
Call/Text/WhatsApp: 0714 63 63 75
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Njiwa ni jamii ya ndege wenye umbo la kiasi, ambao hupatikana duniani kote isipokuwa sehemu zenye baridi kali na kuna zaidi ya aina 250 za njiwa.
Njiwa ni ndege wapole sana, na huwa na mpenzi mmoja tu katika maisha yao, na hawakubali mahusiano mengine mpaka mmoja atapo kufa au kutokuwepo.
Njiwa hutaga mayai mawili tu na kulalia kwa siku 14 hadi 19, Dume hulalia mchana na jike usiku (hulalia kwa kupokezana). Watoto (Makinda) hukaa kwenye kiota kwa siku 12 hadi 18.
Njiwa ndio ndege pekee ambae anazalisha maziwa kwajili ya mtoto wake, maziwa ambaoyo yanaitwa "Pigeon's Milk"
Maziwa ya njiwa (Pigeon's Milk) yanazalishwa na njiwa jike (Stimulated by prolactin hormones) kwenye mfuko wa chakula (Crop), na kuwapa watoto wake walisha totolewa kwa njia ya mdomo.
Kwanini tunafuga njiwa:-
1. Kama pambo
2. Kutumika kwenye michezo
3. Ufugaji wa njiwa ni biashara
4. Ndege wenye upeo mkubwa.
Pamoja na yote, ufugaji wa njiwa huwa na changamoto ya magonjwa japo ni mara chache.
Kuhusu ufugaji wa njiwa, ushauri, matibabu ya njiwa, dawa za kutibu njiwa au kupata njiwa mbalimbali wa urembo, usisite kuwasiliana nasi kwa 0712253102
#njiwa #pigeon #ufugajiwanjiwa #njiwawamapambo #njiwawaurembo #pigeonfarmingi #mayaiyanjiwa#chakulachanjiwa #tunauzanjiwa
Office zetu zipo @Tegetategetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75(WhatsApp)
+255 692 430 263
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #mifugo #mifugotz #kilimo #kilimotz #sasso #dodoma #tanzania🇹🇿 #morogoro #tanzania #kilimoufugaji #mwanza #dodoma #arusha #mabandayakuku
#tanzaniaweddings
Welcome JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
0 notes
Text
ACHRAF HAKIMI THE MAN OF THE MATCH 2023
Yanayochipuka katika michezo ya kadanda
The PSG football player Achraf Hakimi mentioned as the man of the match after his wife filed a divorce only to find that his husband had registered all his earnings and properties under his mother. It was discovered that the PSG player asks for or better put as, he borrows his mother money including money to buy food for his family. Upon the court rulling, legally married couple seeking divorce,…
View On WordPress
0 notes
Text
DAWA YA KOKSIDIOSISI Esb3 30%
Call/Text/WhatsApp: +255 714 63 63 75
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm).
UGONJWA WA KUHARA DAMU KWA KUKU (COCCIDIOSIS)
Coccidiosis ni ugonjwa wa kuharadamu unaosababishwa na vijidudu wajulikanao kwa jina la "Protozoa".
Wadudu hawa hushambuliasehemu mbalimbali za utumbo wa kuku.
MAZINGIRA YANAYO SABABISHA COCCIDIOSIS.
1.Unyevu kwenye matandazo/maranda (litter material).
2.Kutobadilisha matandazo/maranda kwa muda mrefu.
3.Kuhamishia vifaranga kwenye sehemu waliyokuwa wanakaa kuku wakubwa bila kufanya usafi.
DALILI ZA COCCIDIOSIS.
Kuharisha; kwanza kinyesi huanza kuwa laini, pili hubadilika rangi kuwa kijivu na baadaye mchanganyiko wa damu na kuonekana kama kahawia au rangi ya udongo au brauni.
Manyoya yasiyo na mpangilio na yaliyosinyaa, kuku hapendezi na hukunja mabawa kama amevaa koti.
Kuku kupauka (paleness), hususani kwenye viremba (comb/wattle) na miguuni kutokana na kukosa damu.
Kukua polepole (poor growth).
Kukosa hamu ya kula.
Vifo vingi hasa vifaranga.
Kupungua uzito. Kushusha utagaji.
NAMNA YA KUZUIA COCCIDIOSIS.
1.Epuka unyevu kwenye maranda (litter material) na banda kwa ujumla.
2.Tumia dawa za kukinga ugonjwa (coccidiostats).
3.Badilisha maranda kabla ya kuingiza vifaranga au kuku wapya.
MUHIMU
'Matibabu yote ni muhimu kutumia dawa ya vitamin (multivitamin) kama nyongeza kwa muda wa siku tatu zinazoachana kwa ajili ya kuongeza hamu ya kula'
#ESB3 #KUKUKUHARADAMU #KOKSIDIOSISI #Coccidiosis #MAGONJWAYAKUKUYATUMBO #MAGONJWAYAKUKU #DAWAYAKUKU #DAWAYAKUKUYATUMBO
Office zetu zipo @TegetaWazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
#joackagrovet #mifugotz #kilimotz #mifugo #kilimo #kilimobiashara #ufugaji #ufugajiwakuku #kukuwakisasa #dawazamifugo #dawazakilimo #tanzania🇹🇿 #dodoma #morogoro #mwanza #tanzania #arusha #kilimanjaro #dsm
JOACK COMPANY LTD | DSM NA BAGAMOYO NDEGE AINA YA #KANGA | WE ARE SELLING GUINEAFOWL - DSM
Bei ni 35,000Tsh Tu
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
#KANGA HAWA NI WAKUBWA KABISA
UFUGAJI WA KANGA (GUINEA FOWL)
#Fahamu: Kanga kwa kingereza anaitwa Guinea Fowl, kibaiolojia wapo kundi la ndege kama Kuku, kwale, bata, nk
#Utagaji: Kwa utafiti uliofayika ndege hawa hawana magonjwa mengi kama kuku hutaga mayai 100 - 200 kwa mwaka
#Kiota: Anapotaka kutaga hujitengenezea kiota mwenyewe bora umuache atagie hapopo.
#Usafi: Kila baada ya kuangua kiota kisafishwe vizuri,kisha sehemu hiyo inyunyuziwe dawa ya kuua vijidudu kama vile utitiri, viroboto na kupe.
#Michezo: Hupendelea kichanja kwa michezo yao wakiwa nje au ndani ya banda.
#Jinsia: Utamtambua jinsia jike au dume anapofika miezi 7
#Soko: Anasoko la uhakika mmoja huuzwa kati ya sh 20 hadi 35, yai moja sh 1000.
#Uzito: Kanga ana uzito wa kilo 2.4 hufungwa kama mradi, wengine hufuga kama mapambo nyumbani.
#Chakula: Chakula chao ni nafaka kama vile mahindi, karanga, mpunga, wadudu, majani, na udongo.
#kanga #ndege #guineafowl #ufugajiwakanga #kangawakisasa #kakaweupe #kangawamadoa
Office zetu zipo Tegeta, @Wazohill-Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa.
Tupo kwajili ya wafugaji, Endeleeni kuwa nasi siku zote
Simu:
+255 714 63 63 75 (WhatsApp)
+255 692 430 263
Email:
Welcome Mifugo Tz || Visit to Like | follow our social networks
1. Facebook Page | Mifugo Tz Page
link: https://www.facebook.com/MifugoTz/
2. Instagram | mifugo_tz*
link: https://www.instagram.com/mifugo_tz
3. Twitter | Mifugo TZ:
link: https://twitter.com/MifugoTz?s=09
4. Linkedin | Mifugo Tz
link: https://www.linkedin.com/in/mifugo-tz-50798216b
5. You Tube | Mifugo Tz Online Tv
link: https://youtu.be/xOZqX0VNcZc
6. tumblr | mifugotz
link: https://mifugotz.tumblr.com
7. Google+ | Mifugo Tz
link:https://plus.google.com/115072283190826326981
8.Pinterest | Mifugo Tz
link: https://pin.it/fahluqf3aeoim2
Welcome JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
0 notes