#Yesu Kristo
Explore tagged Tumblr posts
Photo

Soma Biblia: beblia.com 🙏
Sema Amina kama unakubali
Matendo ya Mitume 14:19-20
beblia.com
#biblia#mungu ni mwema#Biblia Takatifu#mkristo#Mungu#Yesu#Yesu Kristo#imani#kanisa#maisha#ukweli#anapenda#kristo#kupendwa#upendo#mstari wa biblia#maandiko#injili#ibada#neema#omba#maombi#somo la biblia#nukuu za biblia#habari njema#kubwa#makanisa#ukristo
2 notes
·
View notes
Text
Somo: TABIA 25 ZA KUEPUKA NA HATARISHI KWENYE MAISHA YAKO. (Part 38: KIS...
youtube
Somo: TABIA 25 ZA KUEPUKA NA HATARISHI KWENYE MAISHA YAKO.
---------------------------------------------------
SUBSCRIBE (Tumaini Jipya Duniani Tv)
https://youtube.com/@rwizakakiza?si=ltInM8DdB7Gqah8H
Sehemu: 38.
----------------------
3. 23. TABIA YA 23: "KISASI"
Kisasi ni tabia au nia ya kulipiza ubaya uliotendewa, kinyume cha kutoa msamaha.
Kati ya katazo la pekee YESU KRISTO alilokataza na kuwaelekeza wafuasi wake ni kutotunza moyoni nia mbaya yaani VISASI, bali kurudisha mema kwa mabaya waliyotendewa ili kuishi kwa amani. Na namna ya pekee ya kutolipiza kisasi ni kusamehe.
Mimi nawaambia, "MSISHINDANE na mtu mwovu; lakini mtu AKUPIGAYE shavu la kuume, mgeuzie na la pili. Na mtu atakaye KUKUSHITAKI na kuitwaa kanzu yako, mwachie na joho pia. Na mtu ATAKAYEKULAZIMISHA mwendo wa maili moja, nenda naye MBILI. Akuombaye, mpe; naye atakaye kukopa kwako, usimpe kisogo, WAPENDENI ADUI ZENU, WAOMBEENI WANAOWAUDHI, Basi ninyi mtakuwa WAKAMILIFU, kama BABA yenu wa mbinguni alivyo mkamilifu".
.....Math 5:38-48.....
Kujipima ni rahisi kama hauna kisasi moyoni mwako...... Je aliyekukosea anapopatwa na jambo baya moyoni mwako unajisikiaje, kufurahi au kumuhurumia?...... Je aliyekutenda unamwombea nini Baraka au unamlaani?. Samehe ili roho ya kisasi iondoke.
DALILI / MATOKEO YA TABIA YA KISASI.
(a). KINYONGO.
Kinyongo ni dalili wazi ya kulipiza kisasi, ambapo Kinyongo ni Uchungu mkali au hisia zilizochanganyikana na wivu mbaya na zenye Uchungu mkali umwongoza mtu kutenda maovu kwa mwingine kama fidia ya alichotendewa, badala ya kusamehe.
......UCHUNGU WOTE na ghadhabu na hasira na kelele na matukano yaondoke kwenu, pamoja na KILA namna ya UBAYA; tena iweni WAFADHILI ninyi kwa ninyi, wenye HURUMA, MKASAMEHEANE kama na MUNGU katika KRISTO alivyowasamehe ninyi"
.......Efeso 4:31-32.....
(b). UKAIDI.
Mtu mwenye kisasi ndani yake ni Mtu ambaye ni mkaidi au mwenye tabia ya ukaidi. Ukaidi ni kudhamiria kufanya unachotaka na hutaki kabisa kubadili mawazo yako, wala kushauriwa maana unajiona upo sawa sawa, Acha ukaidi, ondoa kisasi uwe huru.
.....Njia ya mpumbavu (Mkaidi) imenyoka machoni pake mwenyewe; Bali yeye aliye na hekima husikiliza shauri.
.....Mit 12:15.....
(c). UASI.
Mtu mwenye kisasi ndani yake huchochea maasi maana ndani yake upo uasi dhidi ya aliyemtenda. Uasi ni kukaidi au kupinga mamlaka (ya YESU) iliyoko kiusahihi, yaani kupingana na amri /Neno la MUNGU /utaratibu wa MUNGU aliouweka.
Mfano. MUNGU anaposema SAMEHE ukakaidi ili ulipe kisasi ni uasi tayari yaani unapingana na MUNGU na utaambulia adhabu.
......Kwa maana GHADHABU ya MUNGU imedhihirishwa kutoka mbinguni juu ya UASI WOTE na uovu WA WANADAMU WAIPINGAO KWELI kwa uovu.
.....Rum 1:18.....
(d). FUJO.
Fujo ni ghasia au machafuko katika jamii. Ni hali ambapo kuna vurugu au kutokuwa na utulivu katika mazingira fulani.
Fujo hizo zinaweza kutokana na sababu mbalimbali kama migogoro, maandamano, au kutofautiana kwa maoni ambao ndani yake kuna kisasi. Usiwe Chanzo cha ukosefu wa amani, Samehe ili ulete amani.
.....Kwa maana MUNGU si MUNGU wa MACHAFUKO, bali wa AMANI; vile vile kama ilivyo katika makanisa yote ya watakatifu.
.....1 Korintho 14:33.....
(e). UVUNJIFU WA AMANI NA USALAMA.
Unapoona dalili zuia mapema ili kuzuia matokeo ya kisasi ambayo ni uvunjifu wa amani na kuleta vita kwa sababu ya kisasi.
"Maisha tunayoyaishi tegemea na wewe kuna siku UTAKOSEA na kuna siku na WEWE UTAKOSEWA, ukitambua hilo ishi huruma na Msamaha ili ushinde kisasi".
3. 24. TABIA YA 24: "CHUKI"
......Tutaendelea......
________________________________
Rejea
"Beloved, NEVER AVENGE yourselves, but leave the way open for GOD’s wrath [and His judicial righteousness]; for it is written [in Scripture], “VENGEANCE IS MINE, I WILL REPAY,” says the LORD".
..........Romans 12:19.......
________________________________
For help:
Ev. Erasmus Pascrates Kakiza
+255 782 546 914
+255 764 215 291
....."2025 KAA NDANI YA YESU, UZAE SANA".....
2 notes
·
View notes
Text
Dominika ya PASAKA- ALELUYA BWANA AMEFUFUKA, KWELI KWELI AMEFUFUKA
Hii ndiyo siku aliyoifanya Bwana, tutashangilia na kuifurahia. Leo ni kilele cha imani ya Kikristo – Yesu amefufuka! Sio siku ya huzuni, bali ya furaha isiyo na kifani. Kwaresma imeisha, sasa tunaanza kipindi cha siku 50 za Pasaka kinachomalizika kwa Pentekoste. Leo ni siku ya kusherehekea kwa heshima: fanya sherehe nyumbani, shiriki Misa, na tangaza furaha ya Kristo aliye hai. Sala za Furaha…
#Aleluya#DominikaYaUfufuko#KristoAmefufuka#MafundishoYaPasaka#MisaYaPasaka#Pasaka2025#RosariYaUtukufu#ShangweZaPasaka#YesuYukoHai
0 notes
Text
Dangme praise medley, De Tab Ministries
Agboje Mau
Mighty God
Wa hue ɔ nɔ
We lift you up
Laosiada
King of Kings
Wa hue ɔ nɔ gojoo
We lift you high
Nyɛ hue Yesu nɔ
Lift Jesus higher
Nɛ nyɛ ba Abusiam si
Bring Satan lower
Nɔ nɛ e dɔɔ mi ma de nyɛ anɔkwale
I will candidly tell you about my displeasure
Sane ko ye mi
There’s some case to settle
Wa ya wa ya voti kɛ ha Yesu
Let us go and vote for Jesus
Abusam ji kɔkɔ sa tsɛ
Satan is a gossipper
Yesu Kristo, wa na mo si oo
Jesus Christ we thank you
Fɛɛ ko ja Mau pɛ
In all things you need only God
Etsɛ lee moo ba
We need you father
Waa kɛ Abusiam ngɛ ta huye
We are battling the Devil
Wɔɔ lɛ wa le lɛ
For we know him
0 notes
Text
LE VERSET DU JOUR
1 Thessaloniciens 5:23
Que le Dieu de paix vous sanctifie lui-même tout entiers, et que tout votre être, l'esprit, l'âme et le corps, soit conservé irrépréhensible, lors de l'avènement de notre Seigneur Jésus Christ!
IJAMBO RY'UMUSI
1 Ab'i Tesalonike 5:23
Kand' Imana Nyen' amahoro ibe ari yo ibeza rwose: kand' impwemu yanyu n'ubugingo n'umubiri vyose hamwe bizigamwe, ngo bize bisangwe bitagira umugayo, ah' Umwami wacu Yesu Kristo azozira.
VERSE OF THE DAY
1 Thessalonians 5:23
Now may the God of peace Himself sanctify you completely; and may your whole spirit, soul, and body be preserved blameless at the coming of our Lord Jesus Christ.
0 notes
Text
Kila mtu aaminiye kwamba Yesu ni Kristo amezaliwa na Mungu. Na kila mtu ampendaye mwenye kuzaa, ampenda hata yeye aliyezaliwa na yeye. — 1 Yohana 5:1
0 notes
Link
0 notes
Text
Yesu ntahinduka, ahora ari uwo kwizerwa
Yesu Kristo uko yari ari ejo, n’uyu munsi ni ko ari kandi ni ko azahora iteka ryose. (Abaheburayo 13:8).
Yesu ni muzima, ntahinduka, ahora ari uwo kwizerwa. Uko yakoraga kera n’ubu niko bimeze. Ibikuruhije bimuhe afite uko azabigenza biveho.
0 notes
Text
*LAKINI TUNATUMAINI*
Warumi 8:25 inasema: *_“Lakini tukitumainia kile tusichokiona, twakingojea kwa saburi.”_* Mstari huu ni sehemu ya Warumi sura ya 8, ambapo mtume Paulo anazungumza juu ya uzima katika Roho. kinyume na maisha katika mwili.
*Katika kifungu hiki,* Paulo anawahimiza waamini kuwa na tumaini thabiti kwa Mungu, hata wakati hali zinaonekana kuwa kinyume.
● Tumaini la Kikristo linategemea kumtumaini Mungu na ahadi zake, hata ikiwa bado hazijatimizwa.
● Ni kungoja kwa bidii na kwa kudumu, kwa msingi wa imani katika Mungu na uaminifu wake.
*Paulo anasisitiza umuhimu wa uvumilivu katika kungoja ahadi za Mungu zitimie.* Waumini wanapaswa kubaki imara katika imani yao, hata mambo yanapoonekana kuwa magumu au majibu yanachelewa kuja. Ni wito wa kumwamini na kuwa na subira na Mungu, tukijua kwamba Yeye ni mwaminifu kutimiza yale aliyoahidi.
*Katika muktadha mpana wa Warumi,* Paulo anasisitiza umuhimu wa imani katika Yesu Kristo kwa ajili ya kuhesabiwa haki na kutakaswa kwa waamini. Kwa hiyo tumaini katika Mungu linahusiana kwa ukaribu na imani katika Yesu Kristo na kutumaini kazi yake ya kuokoa.
*Kwa muhtasari,* Warumi 8:25 inatutia moyo kudumisha tumaini thabiti katika Mungu, kudumu katika imani, na kungoja kwa uhakika utimizo wa ahadi zake, hata kama hautokei mara moja. Ni wito wa uvumilivu, uaminifu na ustahimilivu katika kutembea kwetu na Mungu.
*_Mchungaji Umba wa Bondo Kazadi._*
0 notes
Text
Yesu Kristo The GodMan - The Lily In The Valley Black Jesus Black Hebrew...
youtube
0 notes
Photo

Soma Biblia: beblia.com 🙏
Sema Amina kama unakubali
Wafilipi 3:7-8
beblia.com
#biblia#mungu ni mwema#Biblia Takatifu#mkristo#Mungu#Yesu#Yesu Kristo#imani#kanisa#maisha#ukweli#anapenda#kristo#kupendwa#upendo#mstari wa biblia#maandiko#injili#ibada#neema#omba#maombi#somo la biblia#nukuu za biblia#habari njema#kubwa#makanisa#ukristo
0 notes
Text
Https://www.youtube.com/@Rwizakakiza
Tumaini Jipya Ndani ya YESU KRISTO
Ni
KUMZALIA MUNGU MATUNDA YADUMUYO (TUNDA LA ROHO MTAKATIFU)
"KKK 1832"
°°°°°°°°°°°°°
MATUNDA MENGINE.
>>Tunamshukuru MUNGU, tumezungumzia baadhi ya matunda 12 ya ROHO MTAKATIFU, kwanini, tunasema baadhi ya matunda, Mosi matunda ya ROHO MTAKATIFU ni tabia za MUNGU zinazoumbika ndani ya mtu, ili afanane na MUNGU aliye hai ambayo matunda hayo yanampelekea kwenye ukamilifu yaani Utakatifu.
..... Yeye aliyewaita alivyo MTAKATIFU, ninyi nanyi iweni WATAKATIFU katika MWENENDO wenu wote; kwa maana imeandikwa, Mtakuwa watakatifu5kwa kuwa MIMI ni MTAKATIFU.
........1 Pet 1:15-16......
Na
Tabia zinazokukamilisha ili uwe Mtakatifu ni zaidi ya hizo tulizogusia
>>>Pili maandiko kwenye Barua kwa Wagalatia yanasema
........Juu ya MAMBO KAMA HAYO hakuna sheria.
....... Galatia 5:22-23......
Msomaji mzuri unaweza kuona kwamba kuna mambo mengine yaani matunda mengine ambayo hayajatajwa, na yenyewe yatakufanya kuwa mkamilifu, yakiumbika na kuwa sehemu ya maisha yako, na hapo yameorodheshwa 9, lakini tumezungumzia 12, kwa kadri ya KKK 1832.
>>Kuhusiana kwa kina na YESU KRISTO kutakufanya uzae matunda mengi zaidi. Tukumbuke kuna matunda ya ROHO MTAKATIFU na Matunda ya UTUMISHI wako. Yote mawili yanahitaji tuhusiane na BWANA YESU KRISTO kwa kina sana, maana bila YESU KRISTO, sisi hatuwezi chochote. YESU anasema
...... Kaeni ndani yangu, nami ndani yenu. Kama vile tawi lisivyoweza kuzaa peke yake, lisipokaa ndani ya mzabibu; kadhalika nanyi, msipokaa ndani yangu. Mimi ni mzabibu; ninyi ni matawi, akaaye ndani yangu nami ndani yake, huyo huzaa sana; maana PASIPO MIMI, NINYI HAMWEZI KUFANYA NENO LO LOTE.
.......Yohana 15:1- 8....
Jiunganishe na BWANA YESU, ili umzalie MATUNDA yadumuyo na upate uzima wa milele.
MATUNDA YA UTUMISHI.
°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°
💬.... Tutaendelea jumatatu........
Rejea
"Tunda la Roho ni Upendo, Furaha, Amani, Uvumilivu, Utu wema, Fadhili, Uaminifu, Upole, Kiasi; Juu ya mambo kama hayo hakuna sheria. Tukiishi kwa Roho, na tuenende kwa Roho.
Galatia 5:22 - 25
@2023 the greatest Glory for me.
2 notes
·
View notes
Text
Kwaresma Siku ya 43: Jumatano ya Wiki Kuu - Usaliti wa Yuda: Jihoji, Tubu, na Kuwa Mwaminifu kwa Kristo
Mpendwa Leo, tunatafakari usaliti wa Yuda Iskariote (Mt 26:14-16). Tukiwa karibu tunaazna siku tatu kuu za mateso, tunaalikwa kufunga si kwa chakula tu bali kwa hisia mbaya kama chuki, kinyongo, na tamaa ya fedha—vitu ambavyo vinaweza kutufanya tumsaliti Yesu. Tafakari, je, kuna mahali pa maisha yako ambapo umeweka faida au sifa mbele ya uaminifu kwa Mungu? Katika sala, tunahimizwa kuingia saa…
0 notes
Text
youtube
Penuel Gospel Singers Wakihudumu Katika Mkutano wa Injili Usiku, Ngana nchini Malawi. Wimbo Hakuna Ajuaye.
@newhopetv @newhopetv416 @UpendoMedia
#nyimbo #nyimbozainjili #nyimbozadini #tanzania #best #swahili #kwaya #penuel, #gospel #gospelmusic #Baraka #yesu #kristo #tanzania #tanzaniagospel #tanzanianmusic #tanzaniayetu #neemanakweli #neemayaGolgotha #golgotha #wokovu #cross #jesus #jesuschrist #follow
#instant folllow back#follow#faith in jesus#gospel message#gospel#christian faith#gospel music#tanzania gospel#Tanzania music#Youtube
1 note
·
View note
Video
youtube
WATU ZAIDI 25 | WAMKIRI YESU KRISTO KWA UBATIZO WA MAJI MENGI MTAA WA NTUZU https://youtu.be/ivftObdGxFo
1 note
·
View note
Text
Ben Akorli - Yesu Kristo (On Calvary)
Ben Akorli – Yesu Kristo (On Calvary)
On Calvary “Yesu Kristo” is a Raggae Gospel released by a Ghanain-US based Gospel based artist Ben Akorli, popularly known as “Higher Call”. He explains that the events “On Calvary” represent the fundamental truths of the gospel that reveals the meaning of true love, justice, forgiveness and many more answers to today’s life challenges. During personal times of pain and tragic turbulence when his…

View On WordPress
0 notes