#nukuu za biblia
Explore tagged Tumblr posts
Photo
Soma Biblia: beblia.com 🙏
Sema Amina kama unakubali
1 Wathesalonike 2:3-4
beblia.com
#biblia#mungu ni mwema#Biblia Takatifu#mkristo#Mungu#Yesu#Yesu Kristo#imani#kanisa#maisha#ukweli#anapenda#kristo#kupendwa#upendo#mstari wa biblia#maandiko#injili#ibada#neema#omba#maombi#somo la biblia#nukuu za biblia#habari njema#kubwa#makanisa#ukristo
0 notes
Text
Somo: TABIA 25 ZA KUEPUKA NA HATARISHI KWENYE MAISHA YAKO. (Part 15: KU...
youtube
Somo: TABIA 25 ZA KUEPUKA NA HATARISHI KWENYE MAISHA YAKO.
---------------------------------------------------
SUBSCRIBE (Tumaini Jipya Duniani Tv)
Https://youtube.com/@rwizakakiza?si=ewqb8Z8S1aeDwoRB
Sehemu: XV.
----------------------
3. 7. 1. DALILI /VIASHIRIA /MATOKEO YA TABIA YA UCHAWI.
Tujifunze kwa umakini matokeo au Dalili au viashiria vya mtu mwenye tabia ya uchawi.
......"Asionekane kwako mtu AMPITISHAYE mwanawe au binti yake KATI YA MOTO, wala asionekane mtu ATAZAMAYE BAO, wala mtu ATAZAMAYE NYAKATI MBAYA, wala mwenye KUBASHIRI, wala MSIHIRI, wala mtu ALOGAYE kwa kupiga MAFUNDO, wala mtu APANDISHAYE PEPO, wala MCHAWI, wala mtu awaombaye wafu. Kwa maana mtu ATENDAYE hayo ni CHUKIZO kwa BWANA; kisha ni kwa sababu ya hayo BWANA, MUNGU wako, ANAWAFUKUZA mbele yako.
......Kumb 18:10-12....
Zingatia.
......Tabia ya uchawi inaweza kujitokeza kwenye mambo yaliyotajwa kwenye nukuu hapo juu, Ebu tuchambue viashiria vinavyodhiirisha uchawi Ingawaje mtendaji anaweza kuwa ANAJITAMBUA au asielewe kama anafanya uchawi:-
1. "KUBASHIRI - FORECAST"
Kubashiri ni hali ya kutabiri, / Kubeti, /Droo, /Bahati nasibu, /kucheza kamari, ambapo kuna nguvu inayokuwezesha kutenda. Kama mtu ana mahusiano ya kina na MUNGU (BWANA YESU) anawezeshwa na nguvu za ROHO MTAKATIFU na MUNGU sio wa kubahatisha, ni wa uhakika.
Je anayetabiri /kubet /anayecheza kamari /anayeshiriki Bahati nasibu anawezeshwa na nguvu /roho gani?
.....Kumtumikia YESU KRISTO haimaanishi wewe ni wa YESU Au kuwa Mkristo haimaanishi wewe ni Mkristo. Kama unashiriki mambo haya, Wewe upo mbali sana na MUNGU aliye hai na unazitumikia roho za giza ("mungu wa bahati") ambalo ni katazo na laana.
.....Ninyi mnaomwacha BWANA, na kuusahau mlima wangu Mtakatifu (kanisa-ushirika na MUNGU), na KUANDIKA meza KWA AJILI ya BAHATI, MIMI nitawaandikia KUUAWA kwa upanga, na ninyi nyote MTAINAMA ili KUCHINJWA; kwa sababu nilipoita HAMKUITIKA; niliponena, HAMKUSIKIA; bali MLITENDA yaliyo MABAYA MACHONI pangu, mlichagua mambo NISIYOYAFURAHIA.
.......Isaya 65:11 - 12.....
MUNGU huchukia mazoea yanayowatia watu moyo waamini BAHATI kwa sababu INACHUKUA NAFASI ya KUMTEGEMEA MUNGU. Michezo ya kamari inawafanya watu WATEGEMEE BAHATI bila kumtegemea MUNGU, bila kutumia akili na nguvu katika kutafuta.
Sio kwamba hawamwamini MUNGU, Wana mwamini, lakini HAWAMTEGEMEI MUNGU na shetani anamwamini mpaka anatetemeka lakini hamtegemei MUNGU"
.....Wewe waamini ya kuwa MUNGU ni mmoja; watenda vema. Mashetani nao WAAMINI na KUTETEMEKA.
......Yakobo 2:19.....
Kamari huwachochea watu moja kwa moja WAPENDE fedha. Watu wengi leo hawajali mambo ya kiroho, kwa hiyo, fedha imekuwa mungu wao na kucheza kamari ndiyo njia ya kuiabudu.
Siku hizi watu huenda kwenye nyumba za fahari za kuchezea kamari badala ya kwenda kanisani, na humo wao hufundishwa kwamba utajiri wa haraka ni sifa nzuri. Watafiti wamegundua ya kwamba watu wengi hucheza kamari ili washinde “kiasi kikubwa sana cha fedha,” wala si kwa sababu ya tafrija au raha. Hata hivyo, Biblia inaonya hivi:
.....“Kupenda fedha ni mzizi wa mambo mabaya ya namna zote, na kwa kujitahidi kupenda huku, wengine wameongozwa wapotee njia kutoka kwenye imani na wamejichoma wenyewe kotekote kwa maumivu mengi.”
......1Timotheo 6:10.....
Unapoazimia kuwa tajiri bila BWANA YESU huanguka katika jaribu na mtego na tamaa nyingi za kijinga na zenye kudhuru, ambazo hutumbukiza watu katika maangamizi na uharibifu.”
.....1Timotheo 6:9....
Watu hucheza kamari /Kubashiri kwa sababu ya tamaa, na “TAMAA” ni mbaya sana hivi kwamba Biblia inaitaja kuwa miongoni mwa tabia tunazopaswa kuepuka kabisa.
..... Waefeso 5:3.....
Tamaa hukazia hasa kutajirika haraka, uchezaji-kamari humchochea mtu kupenda pesa ambacho ni “chanzo cha mambo mabaya ya namna zote.” Tamaa ya pesa inaweza kwa urahisi kuwa jambo muhimu zaidi maishani mwa mtu na kumfanya awe na mahangaiko mengi na kuharibu uhusiano wake na MUNGU.
Tamaa huwafanya watu wasiridhike na hali yao ya uchumi na hivyo kukosa furaha. “Anayependa fedha hatatosheka na fedha, wala anayependa mali hatatosheka na mapato.
....”Mhubiri 5:10.....
Mamilioni ya watu walioshawishika kucheza kamari /bahati nasibu /Kubashiri wamekuwa WARAIBU wa mchezo huo. Unapokomaa kwenye michezo hiyo, roho giza ya utabiri inakuvaa, inafika kiwango ukibashiri kitu kinatokea. Na kwa sababu sio mwongozo wa ROHO MTAKATIFU, ni nguvu ya roho za giza, huko ndiko kufanya uchawi ingawa unajiona sio mchawi. (Rejea tafsiri ya uchawi somo lililopita).
2. "KUAGUA -
......Tutaendelea......
________________________________
Rejea
"There shall not be found among you anyone who makes his son or daughter pass through the fire [as a sacrifice], one who uses divination and fortune-telling, one who practices witchcraft, or one who interprets omens, or a sorcerer"
.....Deuteronomy 18:10 ....
________________________________
For help:
+255 782 546 914
Ev. Erasmus Pascrates Kakiza
+255 764 215 291
@2024 The year of my shining.
0 notes
Photo
SOMA AYA YA KWANZA KWA MAKINI SANA: - Mwanzo 1:5 inasema, "Mungu akaiita nuru Mchana [yaani "Day"], na giza akaliita Usiku [yaani "Night"]. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku [yaani "Day"] moja." Maana yake ni kwamba kwa Mungu hakuna Usiku. Katika hali ya kawaida, jioni hadi asubuhi ni kipindi cha usiku. Lakini kwa Mungu, jioni hadi asubuhi ni kipindi cha Mchana. Hiyo ni mojawapo ya siri za Biblia. Adui aitwaye SARS-CoV-2, anayesababisha Ugonjwa wa Kirusi cha Korona, ananyemelea watu Usiku. Suluhisho la adui huyo ni Mungu, kwani kwa Mungu Usiku unakuwa Mchana. Kirusi cha SARS-CoV-2 kina akili zaidi kuliko binadamu; kwani kinajua sehemu salama ya chenyewe kuishi ni ndani ya seli ya binadamu ambapo kitajificha na kujichanganya na mfumo wa seli, kiasi cha sayansi yote ya kibinadamu kushindwa kukiua bila kwanza kuua seli nzima! Lakini binadamu ni hatari zaidi kuliko kirusi cha SARS-CoV-2, kwa sababu binadamu huyohuyo ameshindwa kumwamini Mungu japo anamjua. Mkaribishe Yesu Kristo ndani ya mwili wako leo na sasa. Unapokuwa na Nuru ndani ya mwili wako, unakuwa na Mfalme ndani yako anayekutawala, unakuwa salama salimini. Badala ya kujifungia ndani ya nyumba yako kwa hofu ya Korona, katika kipindi hiki cha giza, jifungie ndani ya nyumba ya Mungu iliyomo ndani yako; kwani nyumba hiyo imejaa Nuru ya uzima, kama asemavyo Yohana katika Yoh. 1:4. Kwa sababu Nuru inaishi katika maarifa, tafuta maarifa kupata Nuru. Soma Zaburi 91:1-10 kupata sehemu ya maarifa hayo, hususan katika kipindi hiki cha janga la Korona duniani. Badilisha Usiku kuwa Mchana, kusudi ufanane na Mungu ambaye kwake hakuna Usiku/Giza. Enock Maregesi, mwandishi wa Falsafa za Enock Maregesi: Nukuu za Nyakati Zetu :) https://www.instagram.com/p/B-hUi2-ndGE/?igshid=q23cbc5z9g6p
0 notes
Photo
Soma Biblia: beblia.com 🙏
Sema Amina kama unakubali
2 Timotheo 1:9
beblia.com
#biblia#mungu ni mwema#Biblia Takatifu#mkristo#Mungu#Yesu#Yesu Kristo#imani#kanisa#maisha#ukweli#anapenda#kristo#kupendwa#upendo#mstari wa biblia#maandiko#injili#ibada#neema#omba#maombi#somo la biblia#nukuu za biblia#habari njema#kubwa#makanisa#ukristo
0 notes
Photo
Soma Biblia: beblia.com 🙏
Sema Amina kama unakubali
Yobu 42:5-6

Isaya 1:15

Marko 15:37-38

1 Wakorinto 4:5

Wakolosai 2:6-7

1 Wathesalonike 2:12

2 Yohane 1:9-11

Wafilipi 1:23-24

Matthayo 9:12-13

Wakolosai 4:5-6

Matthayo 7:4-5

1 Wathesalonike 2:13