#Neno: Bibilia Takatifu
Explore tagged Tumblr posts
Text

2 Wakorintho 5:21 Mungu alimfanya yeye ambaye hakujua dhambi, awe dhambi kwa ajili yetu ili ndani yake tupate kuwa haki ya Mungu.
Christ had no sin, but God made him become sin so that in Christ we could become right with God. — 2 Corinthians 5:21 | Neno: Bibilia Takatifu (SNT-Swahili) and New Century Version (NCV) Neno: Bibilia Takatifu Copyright © 1989 by Biblica and The Holy Bible, New Century Version®. Copyright © 2005 by Thomas Nelson, Inc. Cross References: Numbers 7:64; Isaiah 53:12; Jeremiah 33:16; Acts 3:14; Romans 1:17; Romans 3:21; Romans 3:25
Read full chapter
2 Corinthians 5:21 - Bible Verse Meaning and Commentary
#God#God's will#God's purpose#Jesus#sin#righteousness#substitution#in Christ#2 Corinthians 5:21#The Epistle of Second Corinthians#New Testament#SNT-Swahili#Neno: Bibilia Takatifu#NCV#New Century Version Bible#Biblica#Thomas Nelson Inc
3 notes
·
View notes
Text
The Lord our Protector - Bwana Mlinzi wetu (KISWAHILI: Neno, Bibilia Takatifu 2014)
The Lord our Protector – Bwana Mlinzi wetu (KISWAHILI: Neno, Bibilia Takatifu 2014)
KISWAHILI: Neno, Bibilia Takatifu 2014 Psalms (Zaburi) 121 1 Nayainua macho yangu nitazame vilima, msaada wangu utatoka wapi? 2 Msaada wangu hutoka kwa Bwana, Muumba wa mbingu na dunia. 3 Hatauacha mguu wako uteleze, yeye akulindaye hatasinzia, 4 hakika, yeye alindaye Israeli hatasinzia wala hatalala usingizi. 5 Bwana anakulinda, Bwana ni uvuli wako mkono wako wa kuume, 6 jua halitakudhuru…

View On WordPress
0 notes
Text
The Lord is my Shepherd (KISWAHILI: Neno, Bibilia Takatifu 2014)
The Lord is my Shepherd (KISWAHILI: Neno, Bibilia Takatifu 2014)

KISWAHILI: Neno, Bibilia Takatifu 2014
Psalms (Zaburi) 23
1 Bwana ndiye mchungaji wangu, sitapungukiwa na kitu.
2 Hunilaza katika malisho ya majani mabichi, kando ya maji matulivu huniongoza,
3 huifanya upya nafsi yangu. Huniongoza katika njia za haki kwa ajili ya jina lake.
4Hata kama nikipita katikati ya bonde la uvuli wa mauti, sitaogopa mabaya, kwa maana wewe upo pamoja nami; fimbo yako na…
View On WordPress
1 note
·
View note
Text
The Fruit of the Spirit - Matunda ya Roho (KISWAHILI: Neno, Bibilia Takatifu 2014)
The Fruit of the Spirit – Matunda ya Roho (KISWAHILI: Neno, Bibilia Takatifu 2014)

KISWAHILI: Neno, Bibilia Takatifu 2014 Galatians (Wagalatia) 5:22-23 22 Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, 23 upole na kiasi. Katika mambo kama haya hakuna sheria.
View On WordPress
0 notes
Text
The Armor of God - Silaha za Mungu (KISWAHILI: Neno, Bibilia Takatifu 2014)
The Armor of God – Silaha za Mungu (KISWAHILI: Neno, Bibilia Takatifu 2014)
KISWAHILI: Neno, Bibilia Takatifu 2014 Ephesians (Waefeso) 6:10-18 10 Hatimaye, mzidi kuwa hodari katika Bwana na katika uweza wa nguvu zake. 11 Vaeni silaha zote za Mungu ili kwamba mweze kuzipinga hila za Shetani. 12 Kwa maana kushindana kwetu si juu ya nyama na damu, bali dhidi ya falme, mamlaka, dhidi ya wakuu wa giza na majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho. 13 Kwa hiyo vaeni…
View On WordPress
0 notes
Text
God's Love - Upendo wa Mungu (KISWAHILI: Neno, Bibilia Takatifu 2014)
God’s Love – Upendo wa Mungu (KISWAHILI: Neno, Bibilia Takatifu 2014)

KISWAHILI: Neno, Bibilia Takatifu 2014 John (Yohane) 3:16 16 “Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa Mwanawe wa pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.
View On WordPress
0 notes
Text
The Ten Commandments - Amri Kumi (KISWAHILI: Neno, Bibilia Takatifu 2014)
The Ten Commandments – Amri Kumi (KISWAHILI: Neno, Bibilia Takatifu 2014)

KISWAHILI: Neno, Bibilia Takatifu 2014 Exodus (Kutoka) 20:3-17 3 Usiwe na miungu mingine ila mimi. 4 Usijifanyie sanamu ya kuchonga katika umbo la kitu cho chote kilicho juu mbinguni, au duniani chini, au ndani ya maji. 5 Usivisujudie au kuviabudu; kwa kuwa Mimi, Bwana Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu, ninayewaadhibu watoto kwa ajili ya dhambi ya baba zao hadi kizazi cha tatu na cha nne cha…
View On WordPress
0 notes
Text
The Lord's Prayer - Sala ya Bwana (KISWAHILI: Neno, Bibilia Takatifu 2014)
The Lord’s Prayer – Sala ya Bwana (KISWAHILI: Neno, Bibilia Takatifu 2014)

KISWAHILI: Neno, Bibilia Takatifu 2014 Matthew (Matayo) 6:9-13 9 “Hivi basi, ndivyo iwapasavyo kuomba: “ ‘Baba yetu uliye mbinguni, Jina lako litukuzwe. 10 Ufalme wako uje. Mapenzi yako yafanyike hapa duniani kama huko mbinguni. 11 Utupatie leo riziki zetu za kila siku. 12 Utusamehe deni zetu, kama sisi nasi tulivyokwisha kuwasamehe wadeni wetu. 13 Usitutie majaribuni, bali utuokoe kutoka kwa…
View On WordPress
0 notes
Text
The Fruit of the Spirit - Matunda ya Roho (KISWAHILI: Neno, Bibilia Takatifu 1989)
The Fruit of the Spirit – Matunda ya Roho (KISWAHILI: Neno, Bibilia Takatifu 1989)

KISWAHILI: Neno, Bibilia Takatifu 1989 Galatians (Wagalatia) 5:22-23 22 Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumili vu, wema, fadhili, uaminifu, 23 upole, kiasi. Hakuna sheria inayopinga mambo kama haya.
View On WordPress
0 notes