#Burudani
Explore tagged Tumblr posts
Text
Msituletee Siasa Kwenye Soka
Katika jamii nyingi ulimwenguni, michezo, hususani soka, imejengeka kuwa zaidi ya burudani. Soka limekuwa na nguvu ya kushawishi na kuunganisha watu kutoka tabaka na mitazamo mbalimbali. Hii inafanya soka kuwa na mvuto maalum si tu kwa mashabiki bali pia kwa wanasiasa. Kwa Tanzania tuko katika kipindi ambacho tunaelekea Uchaguzi Mkuu wa Tanzania ambapo wananchi watachagua wawakilishi wao ambao…
0 notes
Text
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na @rockstarafrica, msanii wa Bongo Flava, @AslayIsihaka, anatarajiwa kuwasilisha kazi yake mpya kwa wawakilishi wa @SonyMusicEA na @SonyMusicAfrica pamoja na baadhi ya wadau wa muziki.
Hili litakuwa ni albamu yake ya pili tangu aanze safari ya muziki kama msanii wa kujitegemea. Sherehe hii ya 'Listening Experience' ni hatua muhimu kwa Aslay, ikionesha uwekezaji na malengo yake ya kufikisha muziki wa Bongo Flava kwenye viwango vya kimataifa.
Mashabiki wanaosubiri kwa hamu muziki mpya wa Aslay, wanashauriwa wsiwe na shaka, muda umefika kwa Aslay kuleta burudani mpya.
@frontlinetv
#frontvibes
0 notes
Text
Youtube Views ni nini? Kazi zake ni zipi? Faida zake ni zipi? Kwanini utazame(View)?
Naomba nichukue muda wako kwa kukufumbua hiki kitu kama ulikuwa haujui basi leo utafahamu kila kitu hapa hapa
Kabla niendelee naomba: Like❤ Reblog🔄 Sasa shuka namimi hapa nikufumbue👇
Youtube Views ni idadi ya watu ambao wameangalia video yako kwenye Youtube
Kila mtu anapoangalia video yako, Youtube inahesabu hiyo kama view moja
Youtube Views zina kazi mbili kuu: 1️⃣ Zinaonyesha umaarufu wa video na channel yako 2️⃣ Zinaongeza mapato yako kutoka kwa matangazo
Youtube Views zina faida nyingi kwa wamiliki wa video na watazamaji
Moja ya faida kwa Wamiliki wa video: 🚀 Zinaongeza umaarufu na ushawishi wako kwenye Youtube na mitandao mingine
Watazamaji wa video: 🚀 Kupata burudani, elimu, habari au msukumo kutoka kwa video unazoangalia
Kwanini utazame video(View) Views ni njia moja ya kupima mafanikio ya video yako na pia ni njia ya kuonesha shukrani au kutambua juhudi za mtengenezaji wa video
HAPA NIMEKUPA KWA UFUPI TU Ingia Hapa Usome Makala Nzima Kwa Ufafanuzi Zaidi na wa Kina 👇👇👇
1 note
·
View note
Photo
Usiku wa #grammyaward2023 ulikua ni usiku wa kipekee hapo jana, mastar kibao walifanya matukio yaliyo vutia zaidi. Kwa upande wa #quavo katika usiku wa grammy alipata nafasi ya kuperform wimbo wake wa "without you" alio muimbia marehe #takeoff, hakika ulikua ni usiku ulio jawa burudani kede wa kede. ************************* We give you what you deserve ************************************* Follow us @yetusote_tv #diamondplatnumz #wasafimedia #wasafitv #wasafi #simba #wcb #wasafifm #rayvanny #zuchu #alikiba #harmonize #mbosso #wemasepetu #jacklinewolper #mamadangote #bongofleva #chui #tembo #nextlevel #kondegang #chibudangote #zarithebosslady #NBCPremierLeague #SisiNiSoka #Standing #MillardAyoENT https://www.instagram.com/p/CoT5gAaOYhW/?igshid=NGJjMDIxMWI=
#grammyaward2023#quavo#takeoff#diamondplatnumz#wasafimedia#wasafitv#wasafi#simba#wcb#wasafifm#rayvanny#zuchu#alikiba#harmonize#mbosso#wemasepetu#jacklinewolper#mamadangote#bongofleva#chui#tembo#nextlevel#kondegang#chibudangote#zarithebosslady#nbcpremierleague#sisinisoka#standing#millardayoent
0 notes
Photo
SHOW ME A BETTER WAY TO SPEND YOUR #SUNDAY_FUNDAY 🥳🥳🥳 | I'LL WAIT 🤔🤔🤔 AS I SKY BIKE AT @burudaniadventurepark Call|text|dm: +254711548400 © STARBOARD SAFARIS | Where the journey begins! #starboardexperience #starboard2023 #skybiking #adrenaline #adrenalinejunkie #rush #adrenalinerush (at Burudani Adventure Park) https://www.instagram.com/p/Cn_SJhLok9V/?igshid=NGJjMDIxMWI=
#sunday_funday#starboardexperience#starboard2023#skybiking#adrenaline#adrenalinejunkie#rush#adrenalinerush
0 notes
Text
Sipendi hisia ya akili yangu kulaghaiwa kukimbia kutoka pande za miamba ili kuzima kiu ya watawala dhalimu kwa jeuri ya ajabu inayowasilishwa kama burudani ya bei nafuu.
0 notes
Text
Klabu Bingwa Afrika: Simba imepata ushindi jijini Kinshasa miaka miwili baada ya kukubali kichapo cha 5-0 dhidi ya Vita.
Klabu Bingwa Afrika Simba imepata ushindi jijini Kinshasa
Simba yaanza hatua ya makundi kwa ushindi dhidi ya AS Vita Kinshasa Mambingwa wa Tanzania Simba SC wameanza hatua ya makundi kwa ushindi wa ugenini wakiitungua AS Vita ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) kwa goli 1-0. Goli la Simba lilipatikana katika dakika ya 61 likiwekwa wavuni na mshambuliaji raia wa DRC Chris Mugalu kupitia mkwaju wa penati. Goli la Simba katika mchezo huo uliopigwa…
View On WordPress
#AFCON#AFRIKA#AS VITA#BARAZA LA MAWAZIRI#BURUDANI#ENGLAND#EPL#FAINALI#HABARI KUU#KIMATAIFA#KITAIFA#KLABU BINGWA#MAGEZETI YA TANZANIA#MICHEZO#SIASA#SIMBA#SIMBA SC#TANZANIA#USAJILI#YANGA
0 notes
Photo
🎵🇰🇪 Don't be left out ☝️☝️☝️ Share your music today and watch your audience grow. Join NOOOOOOOOWWW!!! Z I K I ( @zikisound ) #Music #Kenya #Kenyan #KenyanMusic #PlayKenyanMusic #Supportlocaltalents #LocalMusic #Play #Entertainment #Burudani #ChezaMuziki #Muziki #HipHop #Rumba #RnB #Kapuka #Classic #Bango #Local #CountryMusic #Jazz #Genge #Reggae #Ragga #Dj #Djs Deejay #Deejays #Artist #Artists #Genre https://www.instagram.com/p/BvQ_xgllZaX/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=8js4o53n5xet
#music#kenya#kenyan#kenyanmusic#playkenyanmusic#supportlocaltalents#localmusic#play#entertainment#burudani#chezamuziki#muziki#hiphop#rumba#rnb#kapuka#classic#bango#local#countrymusic#jazz#genge#reggae#ragga#dj#djs#deejays#artist#artists#genre
0 notes
Text
Chege – Burudani (Prod. ) (MP3 Download)
https://ift.tt/2PQN2bT
AfroJuke - Download Mp3, Latest Naija Music, Latest Bongo flava, South African, Ghana Music & More!
from AfroJuke https://ift.tt/2RrzxQn
0 notes
Text
Ubora wa refa katika vita ya Yanga na Azam
MECHI nzuri, ufundi mwingi na umahiri wa wachezaji na makocha ulioneshwa kwenye mchezo wa Liugi kuu kati ya wenyeji Yanga na wageni wao Azam fc. Ulikuwa mchezo ambao uliwapa burudani mashabiki huku mwamuzi akionesha sababu zote kuwa bora kati ya wengi waliopo nchini. Mara baada ya mwamuzi Ahmed Aragija kupuliza filimbi ya kuashiria kumalizika kwa mchezo kati ya mabingwa watetezi na Azam FC kamera…
0 notes
Text
Jinsi ya Kujiunga na Kutumia Youtube Kwa Simu na Kompyuta
Youtube ni mojawapo ya mtandao maarufu wa kusambaza video mtandaoni
Unaweza kutazama video za aina mbalimbali kama vile burudani/vichekesho, elimu, habari, michezo n.k
Kabla ya Kuendelea Repost Ifike Kwa Mhitaji
Hapa Utajifunza: 🔓 Kufungua akaunti ya Youtube ⬆ Kupakia video(Upload) kwa kutumia Simu na Kompyuta 🍸 Faida za kupakia video kwenye Youtube 🧾 Mambo ya kuzingatia kabla ya kupakia video kwenye Youtube ▶ Kupata video unazotaka kutazama 💪 Kutumia vipengele vingine vya Youtube
Pia kama una channel yako ungependa: 🌍 Kuibrand(Muonekano Mzuri) 🚀 Kuikuza(Subscribe, Views, Watch Hours) Usisite kunitafuta
Naomba Like❤ yako kisha Reblog🔄
Kufikia hapa nikukaribishe kwenye chapisho letu ujifunze baadhi ya mengi kuhusu youtube👇
1 note
·
View note
Photo
HABARI MPYA unajua unaweza kubeti kwa TSH 1 kwa mkeka na TSH 💯 kwa jackpot na kushinda 100 milioni? pakua app ya BetPawa uanze kubeti Kama burudani. Gusa hapa 👇kupakua http://www.appcreator24.com/app815097 https://www.instagram.com/p/CCIdSrfJ_YL/?igshid=461i78cyv3c5
1 note
·
View note
Photo
HAPPENING THIS SATURDAY | TAG AN ADRENALINE JUNKIE WHO NEEDS TO TRY OUT SOME BURUDANI ADRENALINE RUSH | SKY BIKING AND HIGH ROPES🔥🔥🔥 RATE: KES. 4,800 PER PERSON DATES: 21ST JANUARY. INCLUSIVE OF: ✅ Sky Biking Challenge. ✅ High Ropes Level One Challenge. ✅ Lunch. ✅ Team Building. ✅ Transport. ✅ Drinking Water. ✅ Photography. ✅ January Babies Cake. EXCLUSIVE ACTIVITIES: ✖️ Zipline at Kes. 500 ✖️ Highropes Level Two At Kes. 1,000 𝗕𝗢𝗢𝗞𝗜𝗡𝗚: PAYBILL NUMBER: 4080229 ACCOUNT NUMBER: BURUDANI FOR BOOKINGS & INQUIRIES: CALL | TEXT | WHATSAPP: +254711548400 TO RESERVE YOUR SEAT PAY KES. 2,000 ©STARBOARD SAFARIS | Where The Journey Begins! (at Burudani Adventure Park) https://www.instagram.com/p/Cndt_gBIysg/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
Text
Jurgen Klopp kujaribu kumsajili mshambuliaji wa Udinese Rodrigo de Paul ili kuipa makali zaidi safu yake ya ushambuliaji.
Tetesi za soka Ulaya Jumamosi
Klabu ya Liverpool wanajiandaa na kuondoka kwa kiungo wao mkabaji, Mholanzi Georginio Wijnaldum, 30, na wanataka kumsajili kiungo wa Borussia Monchengladbach Florian Neuhaus, 23, kama mrithi wake. (Kicker) Kocha wa wa Liverpool Jurgen Klopp pia anatarajiwa kujaribu kumsajili mshambuliaji wa Udinese na raia wa Argentina Rodrigo de Paul, kwa dau la pauni milioni 30. (Sun) Winga wa klabu ya…
View On WordPress
#AFRIKA#BURUDANI#de Paul#ENGLAND#EPL#GERMANY#HABARI KUU#KIMATAIFA#KITAIFA#KLABU BINGWA#LIGI KUU#MICHEZO#Neuhaus#Sancho#SIMBA#TETESI#Wijnaldum
0 notes