#mamadangote
Explore tagged Tumblr posts
yetusote 2 years ago
Photo
Tumblr media
Simba watambulisha uzi wao mpya kabisa utakao tumika katika mashindano yakimataifa yaan CAF. ************************* We give you what you deserve ************************************* Follow us @yetusote_tv #diamondplatnumz #wasafimedia #wasafitv #wasafi #simba #wcb #wasafifm #rayvanny #zuchu #alikiba #harmonize #mbosso #wemasepetu #jacklinewolper #mamadangote #bongofleva #chui #tembo #nextlevel #kondegang #chibudangote #zarithebosslady #NBCPremierLeague #SisiNiSoka #Standing #MillardAyoENT https://www.instagram.com/p/CoXrwPLqPeW/?igshid=NGJjMDIxMWI=
1 note View note
yetusote 2 years ago
Photo
Tumblr media
Taharifa iliyo trend zaidi baada ya usiku wa tuzo za grammy, ni hii ya uncle snop ambeye alishindwa kuondoka na tuzo yoyote ile usiku huo. Pia kupitia ukurasa wake wa Instagram snop aliweza kushare list ya marapa walio chukua idadi kibwa zaidi ya tuzo hizo, huku listi hiyo ikiongozwa na jay z. Listi hiyo aliisindikiza kwa jumbe uliosomeka "20 nominations, 0 wins. ************************* We give you what you deserve ************************************* Follow us @yetusote_tv #diamondplatnumz #wasafimedia #wasafitv #wasafi #simba #wcb #wasafifm #rayvanny #zuchu #alikiba #harmonize #mbosso #wemasepetu #jacklinewolper #mamadangote #bongofleva #chui #tembo #nextlevel #kondegang #chibudangote #zarithebosslady #NBCPremierLeague #SisiNiSoka #Standing #MillardAyoENT https://www.instagram.com/p/CoXltYDKm5A/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
yetusote 2 years ago
Photo
Tumblr media
@diamondplatnumz amethibitisha ujio wa ngoma mbili akiwa na @younglunya . Mashabiki kaeni mkao wa kula Swipe kuona videoo ************************* We give you what you deserve ************************************* Follow us @yetusote_tv #diamondplatnumz #wasafimedia #wasafitv #wasafi #simba #wcb #wasafifm #rayvanny #zuchu #alikiba #harmonize #mbosso #wemasepetu #jacklinewolper #mamadangote #bongofleva #chui #tembo #nextlevel #kondegang #chibudangote #zarithebosslady #NBCPremierLeague #SisiNiSoka #Standing #MillardAyoENT https://www.instagram.com/p/CoXgk1fqbmJ/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
yetusote 2 years ago
Photo
Tumblr media
Zaidi ya watu 1,200 wamefariki dunia huku maelfu wakijeruhiwa baada ya kutokea tetemeko kubwa la ardhi nchini Uturuki na Syria huku wengine wakihofiwa kukwama kwenye vifusi. Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uturuki , Suleymon Soylu amesema miji iliyoathirika ni pamoja na Gaziantep , Kahramanmaras , Hatay , Osmaniye , Adiyaman , Malatya , Sanliurfa , Adana , Diyarbakir na Kilis huku vyombo vya habari vikiripoti kuwa vifo vingi vimetokea katika maeneo ya Aleppo , Hama na Latakia. ************************** We give you what you deserve ************************************* Follow us @yetusote_tv #diamondplatnumz #wasafimedia #wasafitv #wasafi #simba #wcb #wasafifm #rayvanny #zuchu #alikiba #harmonize #mbosso #wemasepetu #jacklinewolper #mamadangote #bongofleva #chui #tembo #nextlevel #kondegang #chibudangote #zarithebosslady #tetema zarithebos #NBCPL #NBCPLUpdates #NBCPremierLeague #SisiNiSoka #Standing #MillardAyoENT https://www.instagram.com/p/CoWbYTAqMEr/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
yetusote 2 years ago
Photo
Tumblr media
Ameandika @hanscana_ kupitia insta story "Wanawake msijicomlicate sana kuna video zinahitaji watu kama zuwena" ************************** We give you what you deserve ************************************* Follow us @yetusote_tv #diamondplatnumz #wasafimedia #wasafitv #wasafi #simba #wcb #wasafifm #rayvanny #zuchu #alikiba #harmonize #mbosso #wemasepetu #jacklinewolper #mamadangote #bongofleva #chui #tembo #nextlevel #kondegang #chibudangote #zarithebosslady #tetema zarithebos #NBCPL #NBCPLUpdates #NBCPremierLeague #SisiNiSoka #Standing #MillardAyoENT https://www.instagram.com/p/CoWaMxgOEDk/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
yetusote 2 years ago
Photo
Tumblr media
Kupitia insta story ya @marioo_tz ambao ukionyesha huenda mwaka huu akafanya show ndani ya jiji la london katika 02 arena. Marioo anasema jambo hili litafanikishwa na davido. Hata hivyo kuna tetesi kwamba marioo anaproject na davido, pia ikumbukwe davido amemfollow marioo katika IG yake. Swipe>>>> kusoma ************************* We give you what you deserve ************************************* Follow us @yetusote_tv #diamondplatnumz #wasafimedia #wasafitv #wasafi #simba #wcb #wasafifm #rayvanny #zuchu #alikiba #harmonize #mbosso #wemasepetu #jacklinewolper #mamadangote #bongofleva #chui #tembo #nextlevel #kondegang #chibudangote #zarithebosslady #NBCPremierLeague #SisiNiSoka #Standing #MillardAyoENT https://www.instagram.com/p/CoT_rKMu-ou/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
yetusote 2 years ago
Photo
Tumblr media
Usiku wa #grammyaward2023 ulikua ni usiku wa kipekee hapo jana, mastar kibao walifanya matukio yaliyo vutia zaidi. Kwa upande wa #quavo katika usiku wa grammy alipata nafasi ya kuperform wimbo wake wa "without you" alio muimbia marehe #takeoff, hakika ulikua ni usiku ulio jawa burudani kede wa kede. ************************* We give you what you deserve ************************************* Follow us @yetusote_tv #diamondplatnumz #wasafimedia #wasafitv #wasafi #simba #wcb #wasafifm #rayvanny #zuchu #alikiba #harmonize #mbosso #wemasepetu #jacklinewolper #mamadangote #bongofleva #chui #tembo #nextlevel #kondegang #chibudangote #zarithebosslady #NBCPremierLeague #SisiNiSoka #Standing #MillardAyoENT https://www.instagram.com/p/CoT5gAaOYhW/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
yetusote 2 years ago
Photo
Tumblr media
Mwanamuziki kutoka Nigeria @temsbaby aweka historia, ameshinda tuzo ya Grammy kwa mara ya kwanza. Tems ameshinda kupitia ngoma aliyoshirikishwa na rapa #Future " Wait For You " & #Drake Pia #Tems Anakuwa msanii wa kwanza wa kike kutoka Nigeria kushinda tuzo ya Grammy. Mafanikio makubwa ndani ya mda mchache. ************************* We give you what you deserve ************************************* Follow us @yetusote_tv #diamondplatnumz #wasafimedia #wasafitv #wasafi #simba #wcb #wasafifm #rayvanny #zuchu #alikiba #harmonize #mbosso #wemasepetu #jacklinewolper #mamadangote #bongofleva #chui #tembo #nextlevel #kondegang #chibudangote #zarithebosslady #NBCPremierLeague #SisiNiSoka #Standing #MillardAyoENT https://www.instagram.com/p/CoTojyULBIu/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes