#BARAZA LA MAWAZIRI
Explore tagged Tumblr posts
chahali · 4 months ago
Text
0 notes
mteulethebest · 3 years ago
Text
WAZIRI MKUU| Ahimiza kila mtoto aende shule, aonya wasipewe biashara  
WATOTO NI WAO LAKINI KWENDA SHULE NI LAZIMA WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ni jukumu ya kila mzazi kuhakikisha anampeleka shule mtoto kwa kuwa Serikali imeweka mazingira bora na wezeshi katika Sekta ya Elimu “Tulishasema, mtoto wa Kitanzania kwenda shule ni lazima. Watoto ni wao, lakini kwenda shule ni lazima. Ndiyo maana Serikali ilifuta ada katika shule zote.” Alitoa kauli hiyo jana…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
magaratimes · 2 years ago
Text
#ParsToday. | Raisi: Kuzinduliwa satalaiti ya Khayyam ni fahari kwa Iran
#ParsToday. | Raisi: Kuzinduliwa satalaiti ya Khayyam ni fahari kwa Iran
Rais wa Iran amesema kurushwa katika anga za mbali kwa mafanikio satalaiti ya Iran ya Khayyam ni chemichemi ya fahari na nguvu za Jamhuri ya Kiislamu. Rais Ebrahim Raisi wa Iran amesema hayo mapema leo Jumatano katika kikao cha Baraza la Mawaziri na kuongeza kuwa, karibuni hivi taifa hili litashuhudia mafanikio makubwa katika anga za mbali. Sayyid Raisi ameeleza bayana kuwa, kuanza kupokea data…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
imungy-blog · 3 years ago
Photo
Tumblr media
Baraza Jipya la Mawaziri 2022. https://www.instagram.com/p/CYeco5yMz3d/?utm_medium=tumblr
0 notes
tanzaniampyanews · 4 years ago
Photo
Tumblr media
Kulingana na Mabadiliko yaliyofanywa na Mhe: Rais Samia Suluhu Hassan katika Baraza la Mawaziri Mwigulu Lameck Nchemba amebadilishwa kutoka Waziri wa Katiba na Sheria na kuwa Waziri wa Fedha na Mipango nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa Waziri wa Fedha Philip Isdor Mpango ambae sasa ni makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania @samia_suluhu_hassan @msemajimkuuwaserikali @ikulu_mawasiliano https://www.instagram.com/p/CNGJf6tLq8C/?igshid=125hecv2bci04
0 notes
chahali · 4 months ago
Text
0 notes
mazallaposts · 7 years ago
Quote
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt Hamisi Kigwangalla akizungumza bungeni alipokuwa akijibu hoja wa wabunge waliochangia mjadala wa bajeti wa kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2018/2019, jijini Dodoma juzi. ............................................................ Wizara ya Maliasili na Utalii imetangaza kuanza mchakato wa kuyapandisha hadhi Mapori ya Akiba ya Burigi, Kimisi, Biharamulo, Ibanda na Rumanyika kuwa Hifadhi za Taifa. Mchakato huo tayari umeungwa mkono na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli. Hayo yameelezwa juzi bungeni Jijini Dodoma na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla wakati akihitimisha mjadala wa bajeti wa makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2018/2019. “Mheshimiwa Spika, ninaomba kulitaarifu Bunge lako tukufu kuwa  Mhe. Rais ameridhia ombi letu la kupandisha hadhi Mapori ya Akiba ya Burigi, Kimisi, Biharamulo, Ibanda na Chief Rumanyika kuwa Hifadhi za Taifa, kipekee namshukuru sana Mhe. Rais kwa kuridhia ombi letu hilo” amesema Dkt. Kigwangalla. Amesema kufuatia hatua hiyo, wizara yake inaanzisha mchakato rasmi wa kukamilisha taratibu  za kupandisha hadhi mapori hayo ili kupanua wigo wa vivutio vya utalii katika kanda ya Kaskazini Magharibi na hivyo kufikia azma ya Serikali kuongeza idadi ya watalii kufikia milioni 8 na mapato ya dola za kimarekani bilioni 16 katika kipindi cha miaka 7 ijayo. Inaelezwa kuwa mchakato huo utapitia hatua mbalimbali ikiwemo kuwashirikisha wadau husika kupata maoni yao, mapendekezo kuwasilishwa baraza la mawaziri kabla ya kujadiliwa bungeni na hatimaye kuwasilishwa kwa Mhe. Rais kwa ajili ya kuidhinishwa kuwa Sheria kamili ya kupandisha hadhi mapori hayo. Akizungumzia mikakati mingine mipya ya kuboresha sekta ya maliasili na utalii itakayotekelezwa, Dkt. Kigwangalla amesema ni pamoja na kuanzisha mamlaka ya usimamizi na uendelezaji wa utalii wa fukwe nchini, kuhuisha maeneo ya vivutio vya Mambo ya Kale na kuviunganisha katika 'package' moja ya utalii na vivutio vya wanyamapori. Mikakati mingine ni kuunda mfumo mmoja funganishi wa TEHAMA uitwao "MNRT Portal" kwa ajili ya kutoa leseni na vibali, ukusanyaji wa takwimu na mapato kutoka vyanzo mbalimbali vya sekta ya maliasili na utalii, ambapo utaunganishwa na mifumo mingine ya Serikali iliwemo GePG, NIDA, TIRA, BRELA, TRA na NBS. Amesema mikakati mingine ni kuanzisha Jeshi Usu, Utambulisho wa Utalii wa Tanzania Kimataifa ujulikanao kama "Tanzania, Unforgettable", kufungua utalii wa kanda ya kusini, kuanzisha mwezi wa maadhimisho ya Urithi wa Mtanzania "Urithi Festival"  (Septemba), kuhuisha sheria za TANAPA, TAWA na TFS, pamoja na kuunda kanuni mpya za kusimamia vizuri sekta hizo. Pori la Akiba Burigi lina ukubwa wa kilomita za mraba 2,941 katika wilaya za Karagwe, Muleba na Ngara mkoani Kagera, wakati Pori la Kimisi likiwa na ukubwa wa kilomita za mraba 1,030 katika wilaya za Ngara na Karagwe mkoani humo. Pori la Akiba Biharamulo lina ukubwa wa kilomita za mraba 731 katika wilaya ya Muleba mkoani Kagera na wilaya ya Chato mkoani Geita, huku Pori la Akiba Ibanda likiwa na ukubwa wa kilomita za mraba 200 na Pori la Akiba Rumanyika kilomita za mraba 800 katika wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera.Mapori haya yapo katika ukanda muhimu wa kuunganisha watalii kutoka ikolojia za Magharibi na Mashariki ambapo uwanja wa ndege wa Chato utakuwa muhimu katika kutoa mawasiliano. Mapori hayo ambayo yanasimamiwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania - TAWA sasa yatakuwa chini ya Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania - TANAPA punde baada ya mchakato wa kuyapandisha hadhi kukamilika.  Bunge limeidhinisha Sh. bilioni 115.794 kwa ajili ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mwaka wa fedha 2018/2019 ambapo Sh. bilioni 85.816 ni kwa ajili ya Matumizi ya Kawaida na Sh. bilioni 29,978 ni kwa ajili ya miradi ya maendeleo.    Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga akizungumza bungeni alipokuwa akijibu hoja wa wabunge waliochangia mjadala wa bajeti wa kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2018/2019, jijini Dodoma juzi.  Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt Hamisi Kigwangalla na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga wakipongezwa na wabunge mbalimbali baada ya bajeti ya wizara yao kupitishwa na Bunge juzi jioni. Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Maj. Gen. Gaudence Milanzi (kushoto), Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Hifadhi za Taifa - TANAPA na Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali George Waitara (katikati) na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mamlaka ya Hifadhi ya Wanyamapori Tanzania - TAWA, Meja  Jenerali (Mstaafu) Hamis Rajabu SEMFUKO wakiwa kwenye picha ya pamoja nje ya ukumbi wa Bunge muda mfupi baada ya bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii kupitishwa na Bunge.  Picha ya pamoja ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt Hamisi Kigwangalla, Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga, Katibu Mkuu, Maj. Gen. Gaudence Milanzi, Naibu Katibu Mkuu, Dkt. Aloyce Nzuki, Wakuu wa Idara, Vitengo na Taasisi pamoja na wafanyakazi wa wizara hiyo baada ya bajeti ya wizara yao kupitishwa na Bunge juzi jioni. 
http://www.mtazamonews.co.tz/2018/05/mapori-matano-ya-akiba-mkoani-kagera-na.html
1 note · View note
mteulethebest · 4 years ago
Text
Habari Kwa Picha Rais Magufuli aongoza waombolezaji kuaga mwili wa Katibu Mkuu kiongozi John Kijazi Viwanja vya Karimjee
Rais Magufuli aongoza waombolezaji
Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam kwenye shughuli ya kuaga mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John William Kijazi. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli atawaongoza waombolezaji katika kutoa heshima za mwisho kwa marehemu
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
kzoneupdate · 4 years ago
Photo
Tumblr media
Rais Putin wa Russia asema hali ya hivi karibuni nchini Marekani imeonesha msukosuko wa ndani nchini humo Rais Vladimir Putin wa Russia ametoa maoni yake kuhusu hali ya hivi sasa nchini Marekani katika Kipindi cha maongezi kinachoitwa "Moscow·Kremlin·Putin", akisema hali ya hivi karibuni ya Marekani imeonesha msukosuko wa kina wa ndani nchini humo. Habari kutoka Shirika la Habari la Itar-Tass la Russia limesema, mwanamume mwenye asili ya Afrika George Floyd aliuawa baada ya kukandamizwa shingoni na polisi mzungu mjini Minneapolis, tukio ambalo limesababisha maandamano makubwa ya kupinga mauaji yake katika sehemu mbalimbali nchini humo. Rais Putin akizungumzia tukio hilo amesema, tatizo la mfumo wa kisiasa wa Marekani ni kuwa unatoa kipaumbele maslahi ya vyama kuliko ya wananchi. Amesisitiza kuwa Baraza la Mawaziri la Russia na maofisa waandamizi katika sehemu mbalimbali wanaweza kufanya kazi kwa ushirikiano, na kuweza kushinda maambukizi ya virusi vya Corona kwa kupata hasara ndogo, lakini Marekani haiwezi. Pia ameeleza kuwa suala la ubaguzi wa rangi nchini Marekani linaweza kuleta janga la kuangamiza, na kwamba Russia inapaswa kudumisha masikilizano kati ya makabila mbalimbali. https://www.instagram.com/p/CBdiBiRAssk/?igshid=1s5g0f43jg1q9
0 notes
imungy-blog · 4 years ago
Photo
Tumblr media
Baraza la Mawaziri https://www.instagram.com/p/CIcDWBXMLxe/?igshid=1l2yr70r1lj28
0 notes
babadupdates · 3 years ago
Video
#LIVE: Magazeti ya leo,13/9/2021,HAYA NDIO MABADILIKO BARAZA LA MAWAZIRI...
0 notes
Link
Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani bungeni, Freeman Mbowe amesema muda wowote kuanzia sasa atapangua Baraza la Mawaziri Vivuli na kuwao...
0 notes
chocolatearbitertraveler · 6 years ago
Photo
Tumblr media
#Repost @kongwastone ( @get_repost ) TUMWOMBEE MTUMISHI WA MUNGU JOHN MAGUFULI AMBAYE NI RAIS WA AWAMU YA TANO KUONGOZA TAIFA LA TANZANIA ❕[1TIMOTHY 2:1-4 NET BIBLE ] Naomba nimnukuu Rais Magufuli: "Msema #kweli ni mpenzi wa #Mungu.Naomba #mnioombee watanzania. "Binafsi, kwa sasa nakubaliana na ombi lake Mhe.John Magufuli kwa #sababu kadhaa ! . Msomaji wangu hapa unaweza kulitafakari Neno la Mungu kutoka katika #Biblia na kuchukua hatua ya kumwombea #Rais na wasaidizi wake yaani #Makamu wa Rais, #Waziri Mkuu, #wakuu wa mikoa na wilaya. Pia,tuwaombee wakuu wa taasisi za #Siasa, #ulinzi na #usalama ! NENO LA MUNGU LINASEMA: [1TIMOTHEO 2:1-4 SUV ] 1 Basi, kabla ya mambo yote, nataka dua, na sala, na maombezi, na shukrani, zifanyike kwa ajili ya watu wote; 2 kwa ajili ya wafalme na wote wenye mamlaka, tuishi maisha ya utulivu na amani, katika utauwa wote na ustahivu. 3 Hili ni zuri, nalo lakubalika mbele za Mungu Mwokozi wetu; ....... Nitoe wito kwa #Wakuu wa nchi na wenye #Mamlaka wasisubiri kuombewa bali nao wamtafute Muumba wao kama #mfalme Sulemani; kwa kuomba #Hekima na #Maarifa ya Mungu ili kuongoza nchi kwa Utulivu na Amani ili tupate kurithi Utajiri udumuo kutoka Muumba mbingu na nchi. NENO LASEMA KATIKA 1WAFALME 3:3-15 >>> 9 Basi sasa, Ee BWANA Mungu, na limyakinie baba yangu Daudi neno lako; maana umenitawaza niwe mfalme juu ya watu wengi kama mavumbi ya nchi. 10 Basi sasa nipe hekima na maarifa, nijue kutoka na kuingia mbele ya watu hawa; kwa kuwa ni nani awezaye kuwahukumu watu wako hawa walio wengi? 11 Naye Mungu akamwambia Sulemani, Kwa sababu neno hili lilikuwamo moyoni mwako, wala hukujitakia mali, wala utajiri, wala utukufu, wala maisha za wakuchukiao, wala hukujitakia maisha ya siku nyingi; bali umejitakia hekima na maarifa, upate kuwahukumu watu wangu, niliokutawaza juu yao; 12 basi hekima na maarifa umepewa; ....... 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 UBARIKIWE KUTII AGIZO LA KUMWOMBEA RAIS WA NCHI NA WASAIDIZI WAKE WOTE IWE NI BARAZA LA MAWAZIRI NA WAKUU WA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA WA TAIFA BILA KUSAHAU UONGOZI WA JUU BUNGE NA MAHAKAMU KATIKA JINA LA YESU KRISTO. AMEN !!! https://www.instagram.com/kongwastone/p/BtZWzjJF1Hf/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=69id9l1ofqjd
0 notes
tabibutvonline-blog · 6 years ago
Photo
Tumblr media
RAIS MAGUFULI AFANYA MABADILIKO MADOGO BARAZA LA MAWAZIRI - Dkt. Augustine Mahiga kuwa Waziri wa Katiba na Sheria na Prof. Palamagamba Kabudi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki - Wataapishwa Ikulu kesho Machi 4, 2019 https://www.instagram.com/p/BujILT3AUg1/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=16gqqa043fjc3
0 notes
mteulethebest · 4 years ago
Text
Klabu Bingwa Afrika: Simba imepata ushindi jijini Kinshasa miaka miwili baada ya kukubali kichapo cha 5-0 dhidi ya Vita.
Klabu Bingwa Afrika Simba imepata ushindi jijini Kinshasa
Simba yaanza hatua ya makundi kwa ushindi dhidi ya AS Vita Kinshasa Mambingwa wa Tanzania Simba SC wameanza hatua ya makundi kwa ushindi wa ugenini wakiitungua AS Vita ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) kwa goli 1-0. Goli la Simba lilipatikana katika dakika ya 61 likiwekwa wavuni na mshambuliaji raia wa DRC Chris Mugalu kupitia mkwaju wa penati. Goli la Simba katika mchezo huo uliopigwa…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
thecleverchambers-blog · 8 years ago
Text
Rais Magufuli ateua Waziri mpya wa Habari, Sanaa Utamaduni na michezo
Rais Magufuli ateua Waziri mpya wa Habari, Sanaa Utamaduni na michezo
Tumblr media
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli amefanya mabadiliko madogo kwenye baraza la Mawaziri ambapo sehemu ya mabadiliko hayo ni kumteua Waziri mpya wa Habari, Sanaa, Utamaduni na michezo… na taarifa kamili ndio hii hapa chini kutoka IKULU. Aliyekuwa Waziri wa Habari Nape Nnauye ameandika kupitia account yake ya Twitter ‘Ndugu zangu naomba TUTULIE! LEO mchana nitakutana na…
View On WordPress
0 notes