#MAGEZETI YA TANZANIA
Explore tagged Tumblr posts
Text
Papa Francis Anaendelea na Zaira ya Kihistoria nchini Iraq
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis ameendelea na ziara yake ya kihistoria nchini Iraq ambapo ametoa wito kwa Viongozi na Watu wa Nchi hiyo kuepuka vurugu na mivutano ya kidini. Papa Francis anafanya ziara ya siku nne nchini Iraq ambayo ni ya kwanza kufanywa na Kiongozi wa Kanisa Katoliki katika Nchi ya Iraq Usalama umeimarishwa kwa ajili ya kumlinda Kiongozi huyo baada ya kutokea…
View On WordPress
#AFRIKA#AMERIKA#DAR ES SALAAM#HABARI KUU#IRAN#IRAQ#KIMATAIFA#KITAIFA#MAGEZETI YA TANZANIA#MAREKANI#MICHEZO#RAIS#TANZANIA
1 note
·
View note
Text
Klabu ya Dar Young African Imepata Kocha Bora atangaaza vita kwa Mtani
Velud ambaye kwa sasa ni kocha wa timu ya Taifa ya Sudan amekubaliana kila kitu na uongozi wa klabu ya Yanga na atajiunga na klabu hiyo mwisho wa msimu huu (July) ili kuanza maandalizi ya msimu ujao. Kocha huyo atakuwa analipwa mshahara wa dola 20,000 kwa mwezi (Milioni 46.3 za Kitanzania).
Kamati ya Ufundi ya Timu ya Dar Young African Imemchagua Hubert Velud Kuwa kocha Mkuu wa Klabu hiyo inayoshikiria nambari moja kwenye Ligi Kuu ikiwa tayari imepoteza matumaini ya kutwaa Kombe hilo baada ya kuwa na mwendelezo wa kufanya vibaya Hubert Velud Hubert Velud ni Kocha mzoefu kwa Bara la Afrika ambaye amewahi kuzifundisha vilabu vya ES Setif, US Alger, JS Kabylie na CS Constantine za…
View On WordPress
#AFCON#AFRIKA#DAR ES SALAAM#EPL#HABARI KUU#KIMATAIFA#KITAIFA#LIGI KUU#MAGEZETI YA TANZANIA#MICHEZO#SIMBA#TANZANIA#YANGA
0 notes
Text
Makamu wa Rais |Rais Magufuli anawasalimia sana
Amesema kuwa rais Magufuli anawasalimia sana Watanzania na anawasihi waendelee kuchapa kazi.
“Katika wakati muhimu wa Watanzania kushikamana ni wakati huu, wakati wa kujenga umoja ni huu, sio wakati wa kusikiliza maneno ya kutoka nje yakatuparaganisha, tuchape kazi, tujenge umoja ili Tanzania iwe Taifa imara”-Mama Samia Suluhu, Makamu wa Rais wa Tanzania akiwa ziarani Tanga“Niwahakikishie Wananchi, Tanzania tuko salama, chapeni kazi ili kuleta maendeleo, uimara wa Taifa letu unaleta…
View On WordPress
#AFRIKA#AMERIKA#DAR ES SALAAM#HABARI KUU#KIMATAIFA#KITAIFA#MAGEZETI YA TANZANIA#MAREKANI#MICHEZO#TANZANIA
0 notes
Text
ACT Wazalendo Tayari Tumependekeza jina la Mrithi wa Maalim Seif Kwa Rais wa Zanzibar
ACT Wazalendo Tayari Tumependekeza jina la Mrithi wa Maalim Seif Kwa Rais wa Zanzibar “Bahati nzuri, Maalim alikuwa ni Kiongozi, alijua kuna siku Mwenyezi Mungu atamchukua kwasababu sisi sote lazima turejee kwa Mwenyezi Mungu kama tulivyoambiwa na mafunzo ya Dini yetu na Dini zote, aliacha ametupa maelekezo ya nini kitokee iwapo atatangulia mbele ya haki”- Zitto
Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema tayari Chama hicho kimeshapendekeza jina kwa Rais wa Zanzibar la Mtu ambaye atarithi majukumu ambayo Maalim Seif alikuwa anayafanya ya Umakamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, ametoa kauli hiyo kwenye hitma ya kumuombea Maalim Seif, DSM. “Bahati nzuri, Maalim alikuwa ni Kiongozi, alijua kuna siku Mwenyezi Mungu atamchukua kwasababu sisi sote lazima…
View On WordPress
#ACT-WAZALENDO#AFRIKA#HABARI KUU#KIMATAIFA#KITAIFA#MAGEZETI YA TANZANIA#RAIS#SIASA#TANZANIA#ZANZIBAR
0 notes
Text
Muonekano wa Kituo Kikuu cha Mabasi Cha Magufuli Bus Terminal yaendayo Mikoani na Nchi Jirani
Muonekano wa Kituo Kikuu cha Mabasi yaendayo Mikoani na Nchi Jirani cha Magufuli (Magufuli Bus Terminal) kilichopo Mbezi Luis Jijini Dar es Salaam ambacho leo tarehe 24 Februari 2021 kimefunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli. Kituo hiki kitakuwa na uwezo wa kuhudumia Mabasi 3,456 kwa siku, abiria 224,000 kwa siku, uwezo wa kuegesha magari madogo…
View On WordPress
#AFRIKA#DAR ES SALAAM#DODOMA#HABARI KUU#KIMATAIFA#KITAIFA#MAGEZETI YA TANZANIA#MICHEZO#RAIS#TANZANIA
0 notes
Text
Mkoa wa Mara Kuwekaza katika kilimo Cha Mkonge Katika kipindi Cha Miaka Mitano Ijayo
Mkuu wa mkoa wa Mara, Mh. Adam Malima amesema kuwa Mkoa wa Mara unatarajia kuanza uzalishaji wa zao la mkonge huku lengo likiwa ni kuvuna tani 20,000 kwa mwaka katika kipindi cha miaka mitano ijayo mkakati unaokwenda sambamba na ule wa Taifa unaolenga kuboresha kilimo hicho na kuongeza mavuno kutoka tani 38,000 za sasa hadi tani120,000 katika kipindi hicho. Mh. Malima amesema kuwa zao hilo la…
View On WordPress
0 notes
Text
Magazeti ya Leo Alhamisi February 18 2021
Magazeti ya Leo Alhamisi Tanzania
View On WordPress
#AFCON#AFRIKA#AFYA#ELIMU#HABARI KUU#KIMATAIFA#KITAIFA#KLABU BINGWA#MAGEZETI YA TANZANIA#MICHEZO#RAIS#TANZANIA
0 notes
Text
Masilahi inayopstikana nyuma ya mabadiliko ya sheria ya Tanzania Inavyogawa makundi katika siasa za Tanzania Nchi yenye Demokrasia ya kipekee Dunia
Masilahi yaliyopatikana nyuma ya mabadiliko ya sheria ya Tanzania
Kuna vikundi viwili nyuma ya wito unaokua wa mabadiliko ya katiba nchini Tanzania. Mmoja anapigania mabadiliko ambayo yataleta usawa katika eneo la kisiasa wakati mwingine anatafuta kuongezewa muda wa Rais John Magufuli. Kundi la kwanza, linaloundwa na wanaharakati, linafanya kampeni ya marekebisho ya katiba ambayo yangewezesha kuundwa kwa Tume Huru ya Uchaguzi, kundi lingine linaundwa na…
View On WordPress
#AFRIKA#AMERIKA#ASIA#BARAZA#BUNGE#HABARI KUU#KIMATAIFA#KITAIFA#MAGEZETI YA TANZANIA#MAHAKAMA#MAREKANI#TANZANIA#UCHAGUZI
0 notes
Text
Kocha Mkuu wa Simba Sc Mchezo wa Biashara salaamu kwa Mafarao
Simba ipo tayari kwa michezo yote ligi na klabu bigwa
Mabigwa wa Soka la Tanzania Simba SC iliibuka na ushindi dhidi ya AS Vita ya DR Congo umempa molari Kocha Mkuu wa timu hiyo, Didier Gomes kujipanga tena katika Mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly ya Misri, akisema kuifunga AS Vita haikuwa kazi rahisi. Kocha mkuu wa Simba SC alisema ushindi huo ni kwao utaongeza morali kwa wachezaji katika suala la kufanya maandalizi ya kutosha…
View On WordPress
#AFRIKA#HABARI KUU#KIMATAIFA#KITAIFA#KLABU BINGWA#LIGI KUU#MAGEZETI YA TANZANIA#MICHEZO#SIMBA#TANZANIA
0 notes
Text
MAGAZETI YA LEO TANZANIA 15/02/2021
Habari zote kutoka kwenye Magazeti ya Tanzania zinapatikana hapa karibu Upitie habari kuu
View On WordPress
0 notes
Text
NAMUNGO FC YAZUIWA UWANJA WA NDEGE ANGOLA
Ni baada ya Mamlaka kudai Wachezaji watatu na Kiongozi mmoja wana maambukizi ya Virusi vya Corona Namungo ipo Angola kuchuana na Clube Desportivo 1º de Agosto katika mechi ya kombe la shirikisho. Namungo FC imezuiliwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Luanda nchini Angola baada ya mamlaka kudai wachezaji watatu na kiongozi mmoja wana virusi vya Corona. Imeripotiwa kuwa, Mamlaka za Angola…
View On WordPress
#AFCON#CAF#EPL#FAINALI#HABARI KUU#KIMATAIFA#KITAIFA#KLABU BINGWA#LIGI KUU#MAGEZETI YA TANZANIA#MICHEZO#TANZANIA
0 notes
Text
Klabu Bingwa Afrika: Simba imepata ushindi jijini Kinshasa miaka miwili baada ya kukubali kichapo cha 5-0 dhidi ya Vita.
Klabu Bingwa Afrika Simba imepata ushindi jijini Kinshasa
Simba yaanza hatua ya makundi kwa ushindi dhidi ya AS Vita Kinshasa Mambingwa wa Tanzania Simba SC wameanza hatua ya makundi kwa ushindi wa ugenini wakiitungua AS Vita ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) kwa goli 1-0. Goli la Simba lilipatikana katika dakika ya 61 likiwekwa wavuni na mshambuliaji raia wa DRC Chris Mugalu kupitia mkwaju wa penati. Goli la Simba katika mchezo huo uliopigwa…
View On WordPress
#AFCON#AFRIKA#AS VITA#BARAZA LA MAWAZIRI#BURUDANI#ENGLAND#EPL#FAINALI#HABARI KUU#KIMATAIFA#KITAIFA#KLABU BINGWA#MAGEZETI YA TANZANIA#MICHEZO#SIASA#SIMBA#SIMBA SC#TANZANIA#USAJILI#YANGA
0 notes
Text
Maisha na Hadithi zake
TABIA 8 ZINAZOUA NDOTO NA MAFANIKIO YA WATU WENGI.* Kuahirisha.Uvivu.Kukata tamaa mapema.Visingizio.Mawazo hasi.Matumizi mabaya ya pesa.Kuridhika. MAMBO MATATU MUHIMU KUKUFANIKISHA MAISHANI Maarifa (Knowledge)Je unafahamu nini? Kwa kiasi gani? Hicho unachofahamu kinakufaidishaje wewe na wanaokuzunguka?Maamuzi sahihi (Right decisions)Kuwa makini sana na maamuzi unayoyafanya maana yanaweza…
View On WordPress
#AFCON#AFRIKA YA KUSINI#AMERIKA#ASIA#BARABARA#BARAZA LA MAWAZIRI#BONDIA#BURUDANI#CCM#COVID-19#ELIMU#ELIMU YA AFYA#ENGLAND#EPL#FEDHA#IKULU#KIMATAIFA#KLABU BINGWA#LIGI KUU#MAGEZETI YA TANZANIA#MICHEZO#OFISI YA RAIS#POLISI#TAMISEMI#TANZANIA#TANZIA#UCHAGUZI#ULAYA#WABUNGE#WAZIRI
0 notes
Text
Miaka 30 Jela kwa Kusafirisha Dawa za Kulevya
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu Mkazi wa Tabata, Lina Muro kwenda jela miaka 30 baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kusafirisha dawa za kulevya, pamoja na hukumu hiyo simu nne alizokutwa nazo pia zimetaifishwa. Hukumu hiyo imetolewa leo na Hakimu Mkazi Mwandamizi, Agustina Mbando baada kupitia ushahidi wa Mashahidi saba wa upande wa mashitaka ikidaiwa kuwa Januari 26, 2018 huko…
View On WordPress
#DAR ES SALAAM#HABARI KUU#KIMATAIFA#KITAIFA#MADAWA YA KULEVYA#MAGEZETI YA TANZANIA#MAHAKAMA#TANZANIA
0 notes
Text
PICHA YA LEO: 18 Januari 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Askofu Msaidizi wa Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba Methodius Kilaini, Askofu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Magharibi Dkt. Abednego Keshomshahara, Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba Desiderius Rwoma, Shehe wa Bukoba Mubarak Juma pamoja na Padre Revocatus Mwehuzi muda mfupi mara baada ya kupata…
View On WordPress
0 notes
Text
Magazeti ya Tanzania leo tarehe 15/01/2021
Soma magazeti yote ya Ijumaa 15/01/2021 Habari zilizogonga vichwa vya habari leo
View On WordPress
#DAR ES SALAAM#ELIMU#ELIMU YA AFYA#FEDHA#HABARI KUU#KIMATAIFA#KITAIFA#MAGAZETI#MAGEZETI YA TANZANIA#TANZANIA
0 notes