Tumgik
mifugotz 4 hours
Text
TUNAUZA KUKU WAKUBWA WA KIENYEJI, CHOTARA NA MAJOGOO KWA BEI POA | WAKUFUGA ATA KWA NYAMA
Call/Text/WhatsApp: +255 712 253 102
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo @joackvetclinic
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo
Kwenye video ni majogoo ambayo ni mazuri sana kama unahitaji kuongeza uzalizaji wa mayai kwa kuku wako.
Lakini pia kuku wa kienyeji kabisa kwa wapo matetea na majogoo Kutoka Tabora na Shinyanga.
Kuku hawa wamesha pewa chanjo muhimu, karibu sana, Wanafaa kufugwa kama kuku wa mbegu.
Kuku hawa wana afya bora na wanafaa kwa ufugaji wa nusu huria na matetea hutaga mayai yenye kiini cha njano.
#kuku #kukuwakienyeji #kukukienyeji #matetea #jogoo #majogooyakienyeji #jogoolakienyeji #tunauzakukuwakienyeji #mateteayakienyeji #wauzajiwakukuwakienyeji #kukuwakubwawakienyeji
Office zetu zipo KIROMO - BAGAMOYO shule barabarani karibu na zahanati ya kiromoKwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu
+255 712 253 102 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #mifugo #majogoo #kilimo #sasso #tanzania #vifaranga #dodoma #morogoro #mwanza #ufugajiwakuku #kuku #kienyeji #localchicken #kuroiler #morogoro #tanzania #mwanza #tanzania馃嚬馃嚳
JOACK Company LTD| DSM & BAGAMOYO
0 notes
mifugotz 4 hours
Text
TUNAUZA PAKA WA KIZUNGU AINA YA PERSIAN CAT
Call/Text/WhatsApp: +255 712 253 102
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani
Huyu ni persian cat hawa paka huwa wana manyoya marefu, sura ya duara na pua fupi(short muzzle). Kwa nchi za mashariki ya kati huwa wanawaita Iranian cat, na Iran huwa wanaita Shiraz cat.
Persian cat anaweza kuishi miaka 12 wastani.
Aina hii ya paka inapenda sana kuwa karibu na watu, ni paka wapole sana na wasafi lakini pia nirahisi kuwatumza.
#paka #cats #pakawakizungu #pakawakisasa
#pakawamanyoya #persian #persiancats #ufugajiwapaka #pets #domesticcats #petcats
#beuftulcats #mobilepetclinic #animaltreatment #animalsclinic #pethospital #hospitaliyawanyama #veternarian #vetdoctor #animaldoctor #doctorofanimals
Office zetu zipo Tegeta, @Wazohill-Barabara ya kwenda kiwanda cha @twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 712 253 102 (WhatsApp)
+255 692 430 263
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#daresalaam #tanzania #daktariwamifugo #hospitalyamifugo #hospitalyawanyama #animalhospital #matibabuyamifugo #matibabuyawanyama
Welcome Mifugo Tz Visit to Like follow our social networks
1. Facebook Page Mifugo Tz Page
link: https://www.facebook.com/MifugoTz/
2. Instagram mifugo_tz
link: https://www.instagram.com/mifugo_tz
3. Twitter Mifugo TZ:
link: https://twitter.com/MifugoTz?s=09
4. Linkedin Mifugo Tz
link: https://www.linkedin.com/in/mifugo-tz-50798216b
5. You Tube Mifugo Tz Online Tv
link: https://youtu.be/xOZqX0VNcZc
6. tumblr mifugotz
link: https://mifugotz.tumblr.com
7. Google+ Mifugo Tz
link:https://plus.google.com/115072283190826326981
8.Pinterest Mifugo Tz
link: https://pin.it/fahluqf3aeoim2
Mifugo Tz Products and services
0 notes
mifugotz 4 days
Text
Tumblr media
TUNAUZA AUTOMATIC FEEDER AND DRINKER ZA NDOO ZA LITA ISHIRINI (20L) na LITA KUMI (10L) KWAJILI YA KUKU
Call/Text/WhatsApp: +255 712 25 31 02
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackbagamoyo @joackanimalclinic
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo.
Faida za drinker na feeder za kisasa
1. Hupunguza uwezekano wa kuku kupata magonjwa au maambukizi ya magonjwa maana maji yanakua ndani ya ndoo na yanatoka kidogo kidogo kama matone pale Kuku anapo igusa nipple.
2. Hupunguza ukubwa wa kazi, kwamaana huta na tabu ya kuziosha drinker zako kila siku, kwakuwa kuku hawezi chafua maji yalio ndani ya drinker hii.
3. Drinker hizi hubeba maji mengi kwa wakati mmoja, ndrinker moja hubeba maji kiasi cha lita 20, hivyo unaweza kukaa siku 2 au 3 bila kuweka maji mengine.
4. Drinker hizi ni rahisi sana kutumia, mana utakuwa unajaza maji tu kwenye drinker na kuendelea na shughuli zingine.
5. Drinker hizi ni imara sana, hudumu muda mrefu bila kuharibika
Karibuni sana @joackcompany There for you.
Karibu tukuhudumie tuna wataalamu walio wenye uzoefu wa kutosha.
Jiunge nasi kwenye WhatsApp groups, ili uendelee kujifunza mengi na kukutana na familia ya wafugaji.
Kujiunga tuma jina lako WhatsApp kwenye 0712253102
Kuhusu kampuni follow @joackcompany
Kuhusu Kilimo follow @kilimo_tz
#drinkerzandoo #chickendrinker #chickennipples #ndoozakuku #nipozandoo
Office zetu zipo @tegetawazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 712 25 31 02(WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #drkessyvet #ufugaji #kuku #broiler #tanzania #incubator #sasso #mbwa #daressalaam #morogoro #tanzania #bata #kuchi #kilimoufugaji #mwanza #arusha #dodoma #kilimanjaro #vifaranga #tanzania馃嚬馃嚳
JOACK COMPANY LTD | DSM NA BAGAMOYO
0 notes
mifugotz 4 days
Text
TUNAUZA BATA BUKINI WAKUBWA KABISA WAPO MADUME NA MAJIKE YANAYO TAGA
JOACK COMPANY WE ARE SELLING ADULT GEESE DUCK
Bei ni 150,000Tsh Tu
Call/Text/WhatsApp: 0712 25 31 02
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet
FAHAMU KIDOGO KUHUSU BATA BUKINI
Bata Bukini ni ndege ambao asili yao ni India na Japan.
Hii ni jamii ya ndege wafugwao lakini tofauti kubwa ya bata wa kawaida wao wana asili ya usafi, hivyo hawapendi uchafu na kamwe hawali mizoga.
Tofauti na ndege wengine au bata wengine wa kawaida, mfugaji wa bata bukini anaweza kupata kipato kikubwa kwa haraka na kwa gharama ndogo ukilinganisha na bata wengine.
Kuna aina mbili ya bata bukini ambao ni weupe na wenye mchanganyiko wa rangi, hali kadhalika hutofautiana katika utagaji wa mayai.
#bata #bataweupe #mayaiyabukini #mayaiyabata #batawakienyeji #batabukini #batawanauzwa #wauzajiwabata #wafugajiwabata #mallard #vifarangawabata #batawanauzwa #batawakizungu #geeseduck #batawakizungu #batapekin #chakulachabata #ufugajiwabata #batawakisasa
Kuhusu kampuni yetu follow @joackcompany
Kuhusu Kilimo follow @kilimo_tz
Kuhusu afya follow @afyakiganjani
Kuhusu madawa ya mifugo follow @joackagrovet
Office zetu zipo @tegetawazohill Barabara ya kwenda kiwanda cha @twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa.
Simu:
+255 712 253 102(WhatsApp)
+255 692 430 263
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompay #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #tanzania #mwanza #arusha #mbeya #dodoma #daressalaam
0 notes
mifugotz 4 days
Text
Tumblr media
JOACK COMPANY LIMITED NI WAUZAJI WA MADAWA YA MIFUGO, KILIMO NA VIFAA VYA MIFUGO NA KILIMO PIA.
JOACK Company Limited @joackcompany hii ni kampuni iliyosailiwa Tanzania, kwa lengo la kutoa huduma mbalili mbalili zinazohusiana na maswala ya kilimo na mifugo.
Call/Text/WhatsApp: 0714 63 63 75
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @joackagrovet @joackanimalclinic
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo
MIFUGO...
Kwenye mifugo (@mifugo_tz) kampuni inajihusisha na uuzaji wa bidhaa za mifugo lakini pia kutoa huduma mbalili za mifugo.
Huduma zinazotolewa na JOACK
1. Ushauri/Elimu juu ya ufugaji kibiashara (ufugaji wenye tija)
2. Chanjo na matibabu ya mifugo aina zote.
3. Kutembelea mashamba ya mifugo (farm visit)
4. Usimamizi wa mashamba ya mifugo
5. Kutafuta masoko ya bidhaa za mifugo.
6. Uadaaji wa bajeti za ufugaji
7. Furmigation service
Bidhaa patiakana JOACK
1. Vifaa vya ufugaji (vipo vya aina nyingi)
2. Mashine, mf: mashine za kuaguliavifaranga, mashine za kuchakata majani, nk
3. Vifaa vya incubator
4. Chanjo na madawa ya mifugo.
5. Vifaranga
6. Wanyama hai, mf: mbwa, paka, ng'ombe, nk
KILIMO...
Kampuni pia inajihusisha na maswala ya kilimo, kama unapenda kufahamu zaidi kuhusu kilimo tembelea hii page @kilimo_tz
#bidhaazajoack #hudumazajoack #hudumazamifugo k#ushuariwamifugo #ufugajikibiashara #wataalamuwamifugo #vifaavyamifugo #chajozamifugo #chanjozakuku #biasharayamifugo #tibayamifugo #wafugaji #ufugaji #kuku #mbuzi #livestocktools #vifaranga #chakulachamifugo
Office zetu zipo @TegetaWazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75 (WhatsApp)
+255 692 430 263
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #joackvetcenter #mifugo #mifugotz #kilimotz #ufugaji #mbwa #tanzania馃嚬馃嚳 #dodoma #morogoro #tanzania #arusha
JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
0 notes
mifugotz 4 days
Text
Tumblr media
TUNAUZA NIPO NA AUTOMATIC DRINKERS ZA KUNYWEA MAJI MIFUGO MBALI MBALI
WE ARE SELLING NIPPLE AND AUTOMATIC DRINKER FOR LIVESTOCK
Call/Text/WhatsApp: 0712 25 31 02
Hizi ni nipo za kisasa ambazo hufungwa kwenye cage za sungura, za kuku au mabanda ya nguruwe kwa lengo la kuwapa maji kwa njia rahisi.
Tunazo nipo/Drinkers kwajili ya mifugo mbalimbali.
1. Drinker / nipple za kuku
2. Nipple za sungura
3. Nipple/drinker za nguruwe nk
#nipozasungura #nipozakuku #drinkerzakuku #ndrinkerzanguruwe #kuku #nguruwe #rabbit #rabbitcage #kejizasungura #vyombovyamajikwasungura #vyombovyamajikwakuku #vyombovyachakulakwasungura
Office zetu zipo Tegeta, @Wazohill-Barabara ya kwenda kiwanda cha @twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 712 253 102(WhatsApp)
+255 692 430 263
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
##joack #joackagrovet #joackvetcenter #joackcompany #mifugotz #kilimotz #mifugo #kilimo #kilimobiashara #ufugajiwakuku #dawazamifugo #dodoma #morogoro #mwanza #tanzania #arusha #kilimanjaro #daressalaam
0 notes
mifugotz 4 days
Text
Tumblr media
TUNAUZA TREI ZA BOX/TREI ZA MAKARATASI | BANDO MOJA INA PISI 100.
Call/Text/ WhatsApp: +255 712 25 31 02
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo.
Yaani bei ya trei moja ni 160Tsh na kwenye bando moja zinakaa pisi 100 hivyo bando moja ni 18,000Tsh Tu.
JOACK EGGS PAPER TRAY hizi ni aina za trei kwajili ya kuwekea mayai, aina hii ya trei huwa zinatengenezwa kwa kutumia malighafi itokanayo na makaratasi au maksi.
SIFA ZA TREI TUPU KUTOKA JOACK COMPANY.
01.Hazivunji mayai unaweza kuzitumia kusafirishia hadi mkoani.
02.Hata zikiloa Unaweza kuzianika na kutumia tena
03.Unaweza kuzitumia maranyingi.
Kwetu ndio sehemu pekee utapata trei tupu kwa gharama nafuu, watu wengi wa Kariakoo wananunua kiwandani kwetu.
Kwa wateja wa mikoani, mizigo mtatumiwa kokote mlipo kwa gharama nafuu sana..
#mayai #trayzakaratasi #trei #treizamayai #matreiyamayai #eggtray #tunauzamatrei #traitupuzamayai #tunauzamatreiyakarayasi #treitupu #treizakaratasi #vifarangavyakuku #treizaplastic #papertray #treitupu #traytupu #emptytrei #treizakarasi #papertray #trayzamayai
Office zetu zipo Tegeta, @tegetawazohill Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 712 25 31 02 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #tanzania馃嚬馃嚳 #ufugaji #kuku #dodoma #tanzania
Welcome JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO

mifugotz 7 days
Text
Tumblr media
TUNAUZA CHUPA ZA KUNYWESHEA NDAMA MAZIWA WE ARE SELLING CALF FEEDING BOTTLE 馃嵓 CALF MILK BOTTLE 馃嵓 CALF NURSING BOTTLE
Ujazo lita mbili (2L)
Bei ni 17,000Tsh Tu.
Call/Text/Whatsapp: +255 712 25 31 02
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani
CALF FEEDING BOTTLE 馃嵓 CALF MILK BOTTLE 馃嵓 CALF NURSING BOTTLE hii ni chupa ya plastic yenye chuchu ambayo inatumika kumnyweshea ndama maziwa, hii chupa ina ujazo wa lita mbili.
Badala ya kutumia chupa ya soda tumia CALF NURSING BOTTLE ni nzuri sana na nirahisi kutumia.
lakini pia tunauza MAZIWA ya unga kwajili ya ndama yanaitwa MILK REPLACER, hii husaidia kuokoa Gharama za kukuza ndama kwa kutumia maziwa ya mama yake.
#maziwa #dama #maziwayandama #chuchu #calfnipple #chuchuzandama #milkreplacer #utunzajiwandama #uleajiwandama #cow #joack #calffeedingbottle #ngombewamaziwa #Friesian #ngombe #calfmilkbottle #dairycow
Simu:
+255 712 25 31 02(WhatsApp)
+255 692 430 263
Email:
#joackcompany #mifugo #mifugotz #kilimotz #ufugaji #tanzania #daressalaam #morogoro #tanzania #kilimoufugaji #mwanza #arusha #tanzania
0 notes
mifugotz 11 days
Text
UFUGAJI WA MBUZI TANZANIA
Call/Text/WhatsApp: +255 712 253 102
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo.
Kwa kipindi hiki ufugaji wa mbuzi Tanzania utakuwa kwa kasi sana, lakini pia soko la mbuzi linaongozeka kwa kasi sana.
Hivyo fursa ya ufugaji wa mbuzi sio ya kuichukulia poa, unatakiwa kuitazama kwa mapana.
kufuga ni kuboresha uzalishaji na kuendeleza kizazi bora. Ili uweze kuboresha hiko kizazi lazma uchague mbegu bora za kuendeleza kizazi.
Kuna aina nyingi za mbuzi/kondoo wanaoweza kufugwa kulingana na mazingira na mahitaji ya mfugaji.
Uchaguzi wa mbegu bora hufanyika kwa kuangalia umbile, uzalishaji na kumbukumbu za wazazi kama vile umbo kubwa na uzito.
Mbuzi tunaouza wanafaa kwa nyama lakini pia kwa kufuga kama unampango wa kufanya uzalishaji zaidi.
#mbuzi #mbuziwakienyeji #ufugajiwambuzi #mbuziwanyama #mbuziwakisasa #mbuziwamaziwa #tunauzambuzi #nyamayambuzi #maziwayamnuzi #beefgoat
Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 712 25 31 02(WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7
#joackcompany #joackvetcenter #kilimotz #mifugotz #kilimo #mifugo #mayai #mayaiyakisasa #mayaiyachotara #kuku #kukuwamayai #layers #kukuchotara #tunauzamayai #wauzajiwamayai #mifugo #mifugotz #tanzania #dodoma #tanzania馃嚬馃嚳
JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
0 notes
mifugotz 11 days
Text
TUNAUZA SUNGURA WA KISASA X CHOTARA WE ARE SELLING HYBRID RABBITS - DSM + MKOANI TUNATUMA.
Bei ni 25,000Tsh - mkubwa.
WhatsApp/Call/Text: +255 714636375
Mda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackanimalclinic
Tupo wazi kila siku kuanzia saa 1 asubuhi hadi saa 5 usiku.
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo.
SUNGURA ni kati ya wanyama wenye mauombo madogo, hawachukui eneo kubwa, pia ni kati ya wanyama ambao ni rahisi kuwafuga na hawana gharama kubwa.
Sungura akitunzwa vyema inavyostahili haugui kwa urahisi na pia lishe yake ni rahisi kupatikana.
Chakula cha sungura ni kama nyasi, mamboga kama vile sukuma wiki, spinarch, karoti, na pia unaweza kununua chakula halisi cha sungura kutoka maduka(pillet)
Wataalam wanashauri mfugaji akaushe chakula cha sungura ili asikojoe ovyo na pia kukinga magojwa ya tumbo.
#ufugajiwasungura #sungurawakisasa #rabbitfarming #rabbit #rabbitforsale #rabbitfarm #wauzajiwasungura #tunauzasungura #sungurawanauzwa #hybridrabbits #rabbitkeeping #sungurawakisasa #chakulachasungura #mabandayasungura
Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 712 25 31 02 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7
#joackcompany #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #ufugaji #kuku #tanzania #morogoro #tanzania #tanzania馃嚬馃嚳 #mwanza #arusha #mbeya #daktariwamifugo #dodoma
JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
0 notes
mifugotz 11 days
Text
Tumblr media
TUNAUZA SUNGURA WA KISASA X CHOTARA WE ARE SELLING HYBRID RABBITS - DSM + MKOANI TUNATUMA.
Bei ni 25,000Tsh - mkubwa.
WhatsApp/Call/Text: +255 714636375
Mda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackanimalclinic
Tupo wazi kila siku kuanzia saa 1 asubuhi hadi saa 5 usiku.
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo.
SUNGURA ni kati ya wanyama wenye mauombo madogo, hawachukui eneo kubwa, pia ni kati ya wanyama ambao ni rahisi kuwafuga na hawana gharama kubwa.
Sungura akitunzwa vyema inavyostahili haugui kwa urahisi na pia lishe yake ni rahisi kupatikana.
Chakula cha sungura ni kama nyasi, mamboga kama vile sukuma wiki, spinarch, karoti, na pia unaweza kununua chakula halisi cha sungura kutoka maduka(pillet)
Wataalam wanashauri mfugaji akaushe chakula cha sungura ili asikojoe ovyo na pia kukinga magojwa ya tumbo.
#ufugajiwasungura #sungurawakisasa #rabbitfarming #rabbit #rabbitforsale #rabbitfarm #wauzajiwasungura #tunauzasungura #sungurawanauzwa #hybridrabbits #rabbitkeeping #sungurawakisasa #chakulachasungura #mabandayasungura
Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 712 25 31 02 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7
#joackcompany #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #ufugaji #kuku #tanzania #morogoro #tanzania #tanzania馃嚬馃嚳 #mwanza #arusha #mbeya #daktariwamifugo #dodoma
JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
0 notes
mifugotz 11 days
Text
TUNAUZA BATA BUKINI WAKUBWA KABISA WAPO MADUME NA MAJIKE YANAYO TAGA
JOACK COMPANY WE ARE SELLING ADULT GEESE DUCK
Call/Text/WhatsApp: 0712 25 31 02
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
FAHAMU KIDOGO KUHUSU BATA BUKINI
Bata Bukini ni ndege ambao asili yao ni India na Japan.
Hii ni jamii ya ndege wafugwao lakini tofauti kubwa ya bata wa kawaida wao wana asili ya usafi, hivyo hawapendi uchafu na kamwe hawali mizoga.
Tofauti na ndege wengine au bata wengine wa kawaida, mfugaji wa bata bukini anaweza kupata kipato kikubwa kwa haraka na kwa gharama ndogo ukilinganisha na bata wengine.
Kuna aina mbili ya bata bukini ambao ni weupe na wenye mchanganyiko wa rangi, hali kadhalika hutofautiana katika utagaji wa mayai.
#bata #bataweupe #mayaiyabukini #mayaiyabata #batawakienyeji #batabukini #batawanauzwa #wauzajiwabata #wafugajiwabata #mallard #vifarangawabata #batawanauzwa #batawakizungu #geeseduck #batawakizungu #batapekin #chakulachabata #ufugajiwabata #batawakisasa
Kuhusu kampuni yetu follow @joackcompany
Kuhusu Kilimo follow @kilimo_tz
Kuhusu afya follow @afyakiganjani
Kuhusu madawa ya mifugo follow @joackagrovet
Office zetu zipo @tegetawazohill Barabara ya kwenda kiwanda cha @twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa.
Simu:
+255 712 253 102(WhatsApp)
+255 692 430 263
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompay #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #mwanza #arusha #mbeya #dodoma #tanzania馃嚬馃嚳 #tanzania
0 notes
mifugotz 11 days
Text
TUNAUZA MASHINE YA PELLET | WE ARE SELLING PELLET MACHINE
Call/Text/WhatsApp: 0712 25 31 02
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm).
Hii mashine inatumia mafuta ya diesel kuzungusha mota, wala haiitaji umeme, na ina uwezo wa kutengeneza pellet kilo 150 kwa lisaa.
PELLET ni chakula cha mifugo kilicho tengenezwa katika mfumo wa tambi tambi au chenga chenga.
JINSI YA KUTENGENEZA PELLET
1. Hatua ya kwaza ni kuchangya virutubisho vyote mfano mahindi, mashudu, pumba, soya, madini, vitamini, nk kwa kutumia beleshi au mashine (MIXER)
NB: Chakula kilicho changanywa tu na kupewa wanyama huwa kinaitwa MASH.
2. Chukua huo mchanganyo na weka kwenye mashine ya Pellet na uwashe mashine ili kutengeneza Pellet, huna haja ya Kuchanganya na maji.
3. Hatua ya mwisho ni kuanika Pellet ulizo tengeneza juani (lisiwe kali).
KWANINI ULISHE PELLET?
Hii ni kwasababu pellet moja (chenga moja) inakuwa na virutubisho/vichanganyo vyote, lakini kwenye chakula cha MASH mnyama/ndege anaweza kula punje aina moja zaidi kuliko nyingine, mfano kula mahindi kuliko soya.
Hii sababu inafaya PELLET kuwa bora na huleta matokeo mazuri kuliko MASH
#pelletmachine #diselpelletmachine #chakulachasungura #mashineyadiselyapellet #mashineyakutengenezapellet #vifaavyamifugo #wauzajiwachakulachasungura #mashineyapellets #pelletfeed #rabbitpelletsmachine #pelletmachine #mashineyachakulachasungura #mashineyachakulachamifugo #chakulachakuku #mashinezamifugo #mashinezaufugaji
Office zetu zipo @tegetawazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - DSM, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 712 253 102(WhatsApp)
+255 692 430 263
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #joackagrovet #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #tanzania馃嚬馃嚳 #ufugaji #kuku #dodoma #tanzania #ufugajiwakuku #daressalaam
JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
0 notes
mifugotz 11 days
Text
0 notes
mifugotz 27 days
Text
TUNAUZA MASHINE YA KUTENGENEZA PELLET KWAJILI YA CHAKULA CHA MIFUGO | ZIPO MASHINE ZA UWEZO TOFAUTI TOFAUTI.
Call/Text/WhatsApp: +255 712 25 31 02
BEI ZA PELLET NA UWEZO WAKE
100Kg/hr = 1,470,000/=
150Kg/hr = 1,700,000/=
200Kg/hr = 1,770,000/=
300Kg/hr = 3,500,000/=
500Kg/hr = 4,500,000/=
1,000Kg/hr = 6,500,000/=
PELLET ni chakula cha mifugo kilicho tengenezwa katika mfumo wa tambi tambi au chenga chenga, yaani kwa lugha rahisi ni chakula cha tambi tambi.
JINSI YA KUTENGENEZA PELLET
1. Ili utengeneze pellet, unatakiwa kuchangya virutubisho vyote mfano mahindi, mashudu, pumba, soya, madini, vitamini, nk sehemu moja kwa kutumia beleshi au mashine maalumu ya kuchanganyia chakula (MIXER)
NB: Chakula kilicho changanywa tu na kupewa wanyama huwa kinaitwa MASH.
2. Changanya mchachayo wako na maji kidogo, ili uwe na unyevunyevu, hii husaidia chakula kushikana pindi unapotengeneza pellet kwenye mashine.
3. Chukua huo mchanganyo wako na weka kwenye mashine ya Pellet na uwashe mashine ili kutengeneza Pellet.
4. Hatua ya mwisho ni kuchukua Pellet ulizo tengeneza na kuzianika juani (lisiwe kali).
KWANINI ULISHE PELLET?
Hii ni kwasababu pellet moja (chenga moja) inakuwa na virutubisho/vichanganyo vyote, lakini kwenye chakula cha MASH mnyama/ndege anaweza kula punje aina moja zaidi kuliko nyingine, mfano kula mahindi kuliko soya.
Hii sababu inafaya PELLET kuwa bora na yenye matokeo kuliko MASH
#pellet #pelletmachine #chakulachasungura #mashineyakutengenezapellet #vifaavyamifugo #mizaniyachakulachamifugo #mashineyapellets #mashinezachakulachakuku #rabbitpelletsmachine #pelletmachine #mashineyachakulachasungura #mashineyachakulachamifugo #chakulachakuku #poultryequipments #tunauzamshinezaufugaji
Office zetu zipo @TegetaWazohill Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 712 25 31 02 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
#joackcompany #joackagrovet #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #tanzania馃嚬馃嚳 #ufugaji #kuku #dodoma #tanzania #ufugajiwakuku #daressalaam
JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
0 notes
mifugotz 28 days
Text
Tumblr media
TUNAUZA MASHINE YA KUKUNIA NAZI | ELECTRIC COCONUT GRATER, ELECTRIC COCONUT SCRAPER.
Bei ni 350,000Tsh
Call/Text/WhatsApp: +255 712 25 31 02
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta-Wazohill Dar es salaam na Bagamoyo.
ELECTRIC COCONUT GRATER ni mashine maalumu inayotumika kukunia nazi. Mashine hii imeundwa na mota inayotumia umeme kipindi mashine inatumika.
Faia ya hii mashine ni kwamba unaweza kuitumia kukuna nazi nyingi ndani ya muda mfupi, hii ni mashine inayokurahisishia kazi.
JOACK Company LTD ni wauzaji wa mashine mbalimbali ndogo na kubwa zinazo tumika katika shughuli mbalimbali za mifugo, kilimo na hata majumbani.
Kwetu utapata mashine kwa gharama nafuu sana, na hizi mashine tunaagiza moja kwa moja kutoka nje.
Na kama unahitaji mashine yoyote iwe kubwa au ndogo, na unahitaji tukuagizie kutoka china nayo inawezekana, kuagiza mashine kutoka china hadi Tanzania Kunachukua siku 35 tu.
Endelea kufatilia page zetu ili uweze kupata bidhaa zilizobora kwa gharama nafuu.
#mashine #mashinechina #agizachina #mashineyanazi #mashineyakukunianazi #kukunanazi #manualmeatgrainder #joackmachinery #mashinezamifugo #mashinezanyumbani #nazi #coconutgrater #coconutscraper #mashinezakilimo
Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 712 25 31 02 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #mifugo #kilimo #dodoma #tanzania馃嚬馃嚳 #morogoro #tanzania #mwanza #dodoma #arusha #singida #iringa #simiyu #geita #kahama
JOACK Company LTD | DSM & Bagamoyo
0 notes