#usomaji
Explore tagged Tumblr posts
nhunde · 9 months ago
Text
TABIA YA KUSOMA KUHUSU AFYA YAKO
Orodha ya Nafasi za Masomo- Elimu Inakukomboa Kimaisha
Ni muhimu sana kujisomea vitabu mbali mbali kuhusu afya. Makala za zitakupa uono mpana kuhusu masuala ya kuweka mwili wako vizuri kwa kula Chakula Bora ambacho kitafanya mwili wako kuwa mrembo na kuvutia. Usomaji wa mara kwa mara umewasaidia watu wengi kuwa na elimu pana na kujua mazingira yako yanayowazunguka ikiwepo ulaji Bora wa Vyakula. Hivyo tembelea maduka ya vitabu au ingia kwenye…
View On WordPress
0 notes
rwizakakiza · 1 year ago
Text
Https://www.youtube.com/@Rwizakakiza
(Share &. Subscribe)
UPONYAJI WA NAFSI (MOYO).
Sehemu .I.
.....Umeniweka Nafsi yangu mbali na amani; Nikasahau kufanikiwa.....
...... Omb‬ ‭3:17‬.....
Katika Elimu ya Kiroho, Mwanadamu amegawanyika katika sehemu kuu tatu ambazo ni:-
1. MWILI (Sehemu ya nje kabisa inayoonekana, ambayo kwa sehemu kubwa inaweza kutumia milango ya kawaida ya fahamu tunayoifahamu, kuumia au kufurahi).
2. NAFSI (Tutajifunza hapa)
3. ROHO (Sehemu ya ndani kabisa ambayo maumivu yake makuu ni dhambi yaani kumuasi MUNGU).
Ebu turudi kwenye sehemu moja tu ya mwanadamu tunayoizungumzia leo ambayo ni Nafsi. Kwenye usomaji wa maandiko, umakini unatakiwa kwa sababu, kuna sehemu nyingine, Nafsi inazungumziwa ikiwa imepewa hadhi ya ROHO, Pia maeneo mengine nafsi uitwa MOYO, pia Moyo unaweza kupewa hadhi ya Roho yaani mtu akazungumzia moyo akimaniisha Roho au Nafsi.
NAFSI ni sehemu inayounganisha mwili na Roho. Mwili unapotengana na Roho kinachotokea tunakiita kifo hapa duniani, yaani ni mtu hana tena uwezo wa kuishi tena duniani, kanuni ya kuishi duniani lazima uwe na mwili.
.....BWANA MUNGU akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai.
.....Mwanzo ‭2:7‬.....
Umeona hapo, MUNGU kumfanya mtu kwa mavumbi ya Ardhi.... Mavumbi ya Ardhi ndio Mwili.... Akampulizia pumzi ya Uhai - MUNGU akampa sehemu ya Roho yake.... Na hili mtua akamilike vyote vikaunganishwa na kitu kinachohitwa nafsi - mtu akawa nafsi Hai.
KWANINI UPONYAJI WA NAFSI?
Tumeanza na andiko linalosema...... Umeniweka Nafsi yangu mbali na amani; Nikasahau kufanikiwa.... Kilichosababisha akose kufanikiwa au akose furaha ya kweli, ni nafsi au moyo wake kukosa amani. Na kama nafsi yake imekosa amani, kuna kitu kimeingia kwenye moyo na kuujeruhi na ukakosa utulivu, ukawa na maangaiko na mfadhaiko mkubwa kiasi kwamba amesahau kwamba alishawahi kufurahi au kuwaza mafanikio.
Kama nafsi au moyo unaumia Je unaumiaje, kuna nini ndani ya nafsi mpaka inaumia?
Ndani ya nafsi (moyo) kuna mambo yafuatayo ambayo:-
💬Tutaendelea kesho....
Rejea
“My soul has been cast far away from peace; I have forgotten happiness.
.....Lamentations‬ ‭3:17‬...
@2023 the greatest Glory for me.
1 note · View note
peacetalks · 2 years ago
Text
Appreciation of human mind-power; Kuthamini uwezo wa akili wa mwanadamu
The USA Congress and Justice Department have tackled some incredibly complex questions related to the witness-intimidation issues I've been discussing, in the task of reforming the Communications Decency Act of 1996: https://www.justice.gov/file/1319346/download The amplification of unlawful speech on "online platforms" into an ambient soundscape vs. the precise sonic targeting of individuals for witness-intimidation, and the involvement of AI in increasing the damage of such communications unintentionally, among many other censorship-related questions, leave the obligation of platform-moderations to remove unlawful content a time-consuming, thorny mess to sort out, even with so many brilliant minds applied to it in elected and appointed offices, in peacemaking organisations, in the militaries, and--yes!--even in the communications and technology industries. Time for a jog. Be sure to get plenty of sun and oxigen exposure if computer work and gloomy weather have bogged you down, or, conversely, be sure to inspire yourself with some awesome reading in the shade if you've been toiling in the sun! Thank you, Your Honors, troops, and Representatives. Again, I am thoroughly floored by the brilliance of your minds on this fine day.
WOW, Swahili translation on google, back-translated to check for accuracy, left this fairly undistorted. Ignore the "sun exposure" part if you're in the desert, of course; I'm from a cold and cloudy part of California!
WOW, tafsiri ya Kiswahili kwenye google, iliyotafsiriwa nyuma ili kuangalia usahihi, iliacha hili bila kupotoshwa, hasa:
Bunge la Marekani na Idara ya Haki imeshughulikia maswali tata sana kuhusiana na masuala ya vitisho vya mashahidi ambayo nimekuwa nikijadili, katika jukumu la kurekebisha Sheria ya Uadilifu ya Mawasiliano ya 1996: https://www.justice.gov/file/1319346/download
Puuza sehemu ya "jua" jangwani, bila shaka; Ninatoka sehemu yenye baridi na yenye mawingu huko California. Ukuzaji wa hotuba haramu kwenye "mifumo ya mtandaoni" hadi katika mazingira ya sauti dhidi ya ulengaji sahihi wa sauti wa watu binafsi kwa vitisho vya mashahidi, na ushiriki wa AI katika kuongeza uharibifu wa mawasiliano kama haya bila kukusudia, kati ya maswali mengine mengi yanayohusiana na udhibiti, kuondoka. wajibu wa usimamizi wa majukwaa ili kuondoa maudhui haramu, fujo inayotumia muda, na miiba kusuluhisha, hata kwa akili nyingi sana zinazotumika kwayo katika afisi zilizochaguliwa na kuteuliwa, katika mashirika ya kuleta amani, katika jeshi, na--ndio!- -hata katika tasnia ya mawasiliano na teknolojia. Wakati wa kukimbia. Hakikisha kuwa unapata mwangaza mwingi wa jua na oksijeni ikiwa kazi ya kompyuta na hali ya hewa ya kusikitisha imekusumbua, au, kinyume chake, hakikisha kuwa umejitia moyo kwa usomaji wa kupendeza kwenye kivuli ikiwa umekuwa ukiteseka jua! Asante, Waheshimiwa, Wanajeshi na Wawakilishi. Tena, nimefurahishwa sana na uzuri wa akili zenu katika siku hii nzuri. --Albert
0 notes
enockmaregesi · 5 years ago
Photo
Tumblr media
Wapo watu ukitaka kuwaua wambie wasome vitabu. Hata ukiwambia someni kitabu fulani kujikinga na kifo wako tayari kufa kuliko kusoma. #vitabu #books #usomaji #reading https://www.instagram.com/p/CAvEx4HHUEv/?igshid=16hh654bphq18
0 notes
hatibshemnyamabookclub · 4 years ago
Text
Tumblr media
Tuangalie usomaji wa vitabu Tanzania. Kwenye kitabu cha "Timiza Malengo Yako" Joel Arthur Nanauka, anaandika "Siku moja nilifundisha mahali na nikatoa changamoto kuwa kila mtu anaweza kupata muda wa kusoma kitabu kama akiamua.
Nilieleza faida ya kusoma vitabu na nikatoa hamasa kubwa ya watu kusoma. Baada ya wiki moja kijana mmoja akasema ameshamaliza nusu ya kitabu alichokianza, nikampongeza na kumuambia aendelee na juhudi hiyo.
Sikumsikia tena baada ya hapo, hivyo niliamua kumtafuta tena baada ya wiki mbili kumuuliza maendeleo yake. Sikuamini jibu lake "Bado sijamaliza kitabu, kwani tangu siku ile sikupata nafasi ya kusoma tena." Watu wengi wanakabiliwa na matatizo makubwa mawili katika kutimiza ndoto zao.
1.Kukosa nidhamu ya kufanya unalotakiwa kufanya bila kujali kama unajisikia kufanya ama la, ni uwezo wa kufanya jambo muhimu bila usimamizi au kuhimizwa na mtu yoyote yule.
2.Kukosa nguvu ya mwendelezo kwenye jambo ulilo anza kufanya." Rej: Joel A Nanauka, Timiza malengo yako (Dar Es Salaam, Niim Computers & Graphics Ltd,...) 116 uk
1 note · View note
serengeti-dc · 3 years ago
Photo
Tumblr media
UJENZI WA JENGO LA MAABARA KATIKA SHULE YA SEKONDARI NYICHOKA Kamati ya Fedha,mipango na Uongozi ikiongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti ambae pia ni Diwani wa Kata ya Busawe Mhe.Ayub M.Makuruma wametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa maabara katika shule ya sekondari nyichoka iliyopo kata ya Kyambahi,Tarafa ya Grumeti Akisoma taarifa ya utekelezaji wa Mradi mtendaji wa Kata ya Kyambahi Bi.Caroline Obasso alisema Mradi wa ujenzi wa Maabara katika Shule ya sekondari Nyichoka ulianza octoba 2021,Mpaka kukamilika kwa ujenzi huu utagharami kiasi cha Tsh 45,303,200/=,boma la jengo limeshakamilika bado upauaji na umaliziaji.Mradi unategemewa kukamilika ifikapo Juni 15,2022. Kamati imeridhishwa na Mradi huo na imeomba uongozi wa shule kusimamia mradi huo kwa weledi ili uweze kuisha kwa wakati na hivyo kukuza hali ya usomaji wa masoso ya sayanasi kwa vitendo. Mhe.Prince Makuruma,amepongeza uongozi wa kata kwa hatua waliyofikia na kuwasihi waendelee kufanya vema Zaidi #casamia #samara #samara_live #samaraphoto #samara_news #samaracity #samara_online #tniadmengabdidanmembangunbersamarakyat #bersamarakyattnikuat #samara_city #samara_today #samia #samarahan #samaragirls #samaranails #samaragirl #torinoècasamia #samara_grad #princesamia #samaraonline #ladasamara #moscow #salute #moscowcity #honey #москвасити #marocaine #samarqand @jorey_safaritanzania @queen__sendiga @queendarleen_ @makongoro_nyerere @msemajimkuuwaserikali @serengetidc @creatives_isle @jorey_safaritanzania @habaristartv https://www.instagram.com/p/Cd0XomtgoD4/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
zephilinecom · 4 years ago
Photo
Tumblr media
HABARI MPASUKO.. Jana katika taasisi ya wanyama pori ya Nat Geo ilitangazwa kuwa ametokea Nyoka hatari sana ambaye hajawahi kutokea duniania.. Wanadai kwamba nyoka huyo anaongezeka urefu wa 0.5sm kila akila chakula na huwa anakula chakula kuanzia sekunde 30 kurudi nyuma.. Mpaka sasa hakuna silaha ya kuweza kumuua nyoka huyo isipokuwa akijiuma mwenyewe ndio anaweza kufa, wanasayansi hao walieleza japo uchunguzi zaidi bado unaendelea… huyu ni nyoka anayeua kuliko nyoka wote waliowahi kutokea katika historia ya maisha ya mwanadam.. Nyoka huyu hupatikana katika simu pekee za nokia tochi katika sehemu ya game inaitwa Snake Xenzia.. Ahsanteni kwa kufurahia na kusoma kwa umakini mkubwa katika usomaji wa habari hii… #ChekanaZephiline https://www.instagram.com/p/CNurV7wp_zS/?igshid=lnee078mqjh
0 notes
mteulethebest · 4 years ago
Text
Kuishi katika Nuru
Usomaji:2 Nya 36: 14-16, 19-23Zab 137: 1–6Waefeso 2: 4-10Yoh 3: 14–21 Usomaji wa Jumapili katika Kwaresima umekuwa ukituonyesha mambo ya juu ya historia ya wokovu-agano la Mungu na uumbaji wakati wa Noa; Ahadi zake kwa Ibrahimu; sheria aliyowapa Israeli huko Sinai. Katika Usomaji wa Kwanza wa leo, tunasikia uharibifu wa ufalme ulioanzishwa na agano la mwisho la Mungu la Agano la Kale-agano na…
View On WordPress
0 notes
clearbasementtragedy · 4 years ago
Video
youtube
Usomaji wa Maneno ya Mwenyezi Mungu | Namna Petro Alivyopata Kumjua Yesu
0 notes