#samaranails
Explore tagged Tumblr posts
serengeti-dc · 3 years ago
Photo
Tumblr media
UJENZI WA JENGO LA MAABARA KATIKA SHULE YA SEKONDARI NYICHOKA Kamati ya Fedha,mipango na Uongozi ikiongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti ambae pia ni Diwani wa Kata ya Busawe Mhe.Ayub M.Makuruma wametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa maabara katika shule ya sekondari nyichoka iliyopo kata ya Kyambahi,Tarafa ya Grumeti Akisoma taarifa ya utekelezaji wa Mradi mtendaji wa Kata ya Kyambahi Bi.Caroline Obasso alisema Mradi wa ujenzi wa Maabara katika Shule ya sekondari Nyichoka ulianza octoba 2021,Mpaka kukamilika kwa ujenzi huu utagharami kiasi cha Tsh 45,303,200/=,boma la jengo limeshakamilika bado upauaji na umaliziaji.Mradi unategemewa kukamilika ifikapo Juni 15,2022. Kamati imeridhishwa na Mradi huo na imeomba uongozi wa shule kusimamia mradi huo kwa weledi ili uweze kuisha kwa wakati na hivyo kukuza hali ya usomaji wa masoso ya sayanasi kwa vitendo. Mhe.Prince Makuruma,amepongeza uongozi wa kata kwa hatua waliyofikia na kuwasihi waendelee kufanya vema Zaidi #casamia #samara #samara_live #samaraphoto #samara_news #samaracity #samara_online #tniadmengabdidanmembangunbersamarakyat #bersamarakyattnikuat #samara_city #samara_today #samia #samarahan #samaragirls #samaranails #samaragirl #torinoècasamia #samara_grad #princesamia #samaraonline #ladasamara #moscow #salute #moscowcity #honey #москвасити #marocaine #samarqand @jorey_safaritanzania @queen__sendiga @queendarleen_ @makongoro_nyerere @msemajimkuuwaserikali @serengetidc @creatives_isle @jorey_safaritanzania @habaristartv https://www.instagram.com/p/Cd0XomtgoD4/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes