#masomo
Explore tagged Tumblr posts
Text
0 notes
Text
Kiswahili Form 2 Question Paper and Marking Scheme – Term 1 2025 Model20241208008
Karatasi hii ya Maswali ya Kiswahili kwa Kidato cha Pili inatoa muhtasari wa kina wa masomo muhimu katika lugha ya Kiswahili. Inajumuisha maswali mbalimbali kama vile insha, ufahamu, ufupisho, sarufi, isimu jamii, na fasihi, ambayo yanatoa fursa kwa wanafunzi kuelewa vyema lugha na matumizi yake. Maswali ya insha yanawapa wanafunzi nafasi ya kuonyesha ujuzi wao wa kuandika, huku ufahamu…
0 notes
Text
Laiti Singecheza Shuleni
Nililala kujilaza, hadi jua likatuwa, Kulala kulipendeza, masomo singetambuwa, Wote kanibembeleza, masomo sikuyajuwa, Laiti ningalijuwa, shuleni singalicheza! Mfunzi nilipuuza, alipotaka sikiwa, Wengine akiwatuza, maonyo nilipatiwa, Baba kanipendekeza, japo dafu sikufuwa, Laiti ningalijuwa, shuleni singalicheza! Wengine walijikaza, kusoma na kubukuwa, Darasawaliongoza, mkiani nipokuwa, Nilibaki…
0 notes
Text
Somo: INUKA, PIGA HATUA (Part 14 - final) Please SUBSCRIBE and SHARE.
youtube
Somo: INUKA, PIGA HATUA.
°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°
Fuatilia YouTube.
Https://youtube.com/@Rwizakakiza
Sehemu .XIV.
.....BWANA anasema, "Haya! INUKA , mbona UMEANGUKA kifudifudi hivi?"
......Yoshua 7:10.....
Hitimisho.
Mpenzi msomaji, umekuwa mwaminifu kufuatilia somo hili la INUKA, PIGA HATUA, kwa muda mrefu, itakuwa ni hasara kama umejifunza na Ukabaki jinsi ulivyo ni tatizo. Utakuwa na faida, nikikuona umeinuka, umepiga hatua, na umefanikiwa zaidi.
Andiko kiongozi hapo juu limesema HAYA INUKA, MBONA UMEANGUKA KIFUDIFUDI HIVI? Kwa lugha nyingine UWEZO wa KUGEUZA MAISHA YAKO UPO NDANI YAKO, LAKINI BADO UNAOMBA KWA MUNGU, hii ni hatari maana ushajibiwa unachokiomba na hukioni, mpaka MUNGU anakuuliza swali lenye mshangao ndani "Mbona umeanguka kifudifudi hivi?"
MUNGU anachotaka kwako KUINUKA NA KUENDEA UNACHOHITAJI au KINACHOKUTESA. Changamoto haikimbiwi bali inatatuliwa, Ushindi upo mikononi mwako yaani MUNGU ANASUBIRI UPIGE HATUA (uanze kufanya), WEWE UNAOMBA tu bila kuchukua hatua.
......Maana kama vile mwili pasipo roho umekufa, vivyo hivyo na imani pasipo matendo imekufa.
.....Yakobo 2:26......
Hitaji au Tatizo ulilonalo utatuzi upo mikononi mwako, ila bado unamlilia MUNGU.
.....BWANA akamwambia Musa, MBONA UNANILILIA MIMI?, Waambie wana wa Israeli waendelee mbele.
.......Kutoka 14:15.......
Mbona unalia wakati una jina la YESU?. Mbona umekata tamaa na MUNGU amesema Usiogope?. Mbona umebeba mizigo mingi wakati MUNGU amesema peleka mizigo kwake ili upumzike?.
Haijalishi wewe ni tasa, maskini, umeachwa, hauthaminiki, umetengwa, ndoa yako ni Migogoro, Watoto wako wamekugeuka, Una madeni mengi, umefail, hali ya maisha kwako ni ngumu, nk.
Hayo yote hayamfanyi MUNGU kutokuwa MUNGU, ajibu asijibu Yeye ni MUNGU tu. Hayo yote hayapungunzi upendo wa MUNGU kwako, MUNGU yupo na wewe kuliko ufikiriavyo, katika mambo hayo tunashinda na zaidi ya kushinda. Anza upya Utashinda, Amina.
.....Tutaendelea na somo Jipya la MAJIRA NA NYAKATI ZIMEFUNGAMANISHWA NA MAISHA YAKO. Kabla ya somo hilo naomba maoni yako wiki hii, kupitia masomo yaliyotangulia kupitia namba hiyo chini ahsante....
Rejea
“Yet in all these things we are more than conquerors and gain an overwhelming victory through Him who loved us [so much that He died for us].
.....Romans 8:37.....
Ev. Erasmus Pascrates Kakiza
+255 782 546 914
@2024 The year of my shining.
0 notes
Text
VOLLEYBALL IMEFUFUKA GONGO LA MBOTO?
Katika ardhi ya Gongo la Mboto jijini Dar es salaam kuna uwekezaji mkubwa wa kielimu umefanyika. Uwekezaji huo ni uwekezaji wa chuo kikuu cha kimataifa cha Kampala tawi la Tanzania. Wawekezaji hao wameweka majengo ya kisasa ambayo ni ya kiwango cha kimataifa na wamewekeza sana katika masomo ya afya za wanadamu (Health Sciences) ambapo kunatolewa kozi za udaktari wa binadamu, upasuaji, ufamasia na…
0 notes
Text
TABIA YA KUSOMA KUHUSU AFYA YAKO
Orodha ya Nafasi za Masomo- Elimu Inakukomboa Kimaisha
Ni muhimu sana kujisomea vitabu mbali mbali kuhusu afya. Makala za zitakupa uono mpana kuhusu masuala ya kuweka mwili wako vizuri kwa kula Chakula Bora ambacho kitafanya mwili wako kuwa mrembo na kuvutia. Usomaji wa mara kwa mara umewasaidia watu wengi kuwa na elimu pana na kujua mazingira yako yanayowazunguka ikiwepo ulaji Bora wa Vyakula. Hivyo tembelea maduka ya vitabu au ingia kwenye…
View On WordPress
0 notes
Link
Masomo’nun yeni oyunu Basketball Arena yayınlandı! Aralık 2018’de, oyun dünyasının en e...
0 notes
Text
MIONGONI MWA KOZI ZA DIPLOMA: Seyra Tukufu
https://www.aia-academy.com/sw/register -Pata fursa ya kumjua kipenzi chako kupitia Kozi ya Seyra -Masomo online- Shahada ya kutambulika. (Hakika wewe nimwenye tabia kubwa)
0 notes
Text
Dalili za kuwa kuna Allah na kuwa yeye ni Mungu na kumpwekesha ☑️Vipi utaboreshsa imani yako,,,? ☑️Vipi utalinda Tauhid yako... 🔑Elewe hayo kwa kujiunga na KOZI yetu. 📖"Sema nimemuamini Mwenyezimungu"
🖥-Jisajili sasa https://www.aia-academy.com/sw/register -Kuhusu masomo: https://www.aia-academy.com/sw/masomo
0 notes
Text
Bibi Monika Mtua ni mtaalam wa kubaini matatizo yako unapo wasiliana naye tu na kukusomea dua popote ulipo duniani.
Je, Umeachwa na Mme/Mke , Hawala, mchumba au unahisi unasalitiwa?
Je, Unahitaji kupata mme mwenye uwezo mkubwa wa kifedha?
Je, Kunamtu unampenda lakini unashindwa kumwambia au uliyenaye hatimizi ahadi yoyote anayokupatia?
Je, Hupati kazi, Biashara zako haziendi vizuri unavyotaka, Au umedhulumiwa mali, Mke, mirathi, kazi, mtoto, Kiwanja, Gari, Nyumba, Shamba, Nk.
Je, Umekuwa ni mtu wakufeli katika masomo yako?
Je, Umefanya interview nyingi pasipo mafanikio?
Je, Umekuwa ukiliwa katika bahati nasibu? Mwone Bibi Monika Mtua, atakusaidia ushinde bahati nasibu zote.
WASILIANA NA BIBI MONIKA MTUA ATAKUSAIDIA KWA ASILIMIA 100% SIMU NO:
0744 852 910
0 notes
Photo
Spiritual power!! Mimi ni Nabii Mutula.... Nimetumia nguvu nilizopewa na Mungu kutengeneza watu wakubwa hapa nchini. 🟠Wafanya biashara. 🟠Wanasiasa. 🟠Madaktari. 🟠Walimu. 🟠Viongozi wa ndini na wengine wengi. Wiki hii natumia nguvu hizi nikutengenezee nyota ya Kazi, Ndoa, Biashara na masomo. NIAMBIE UNATAKA MUNGU ANITUMIE KUKUTENGENEZEA NYOTA YA NINI? Mungu akusaidie usipitewe na nafasi hii. Prophet Dr Mutula PGC church, kitise town ☎️📞0720508509 Whatsapp: +254720508509 #prophet_at_kitise_makueni_county https://www.instagram.com/p/Cnt00rXr-3f/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
Text
Mwalimu Nikupendaye
Mwalimu nikupendaye, rafiki yangu shuleni, Vizuri unifunzaye, mambo mengi darasani, Niwe mwema baadaye, nikiishi duniani, Mwalimu nikupendaye, ninakupa shukrani. Masomo wanipatia, nami nimeerevuka, Shule naifurahia, kusoma na kuandika, Mengi umeniambia, mema niliyoyataka, Wewe unipaye njia, nakupa pongezi shika. Msingi wetu elimu, jambo jema maishani, Mengi nimeyafahamu, yaliomo akilini, Elimu…
View On WordPress
0 notes
Text
Somo: USIMWACHE MUNGU.
°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°
Fuatilia YouTube.
Https://youtube.com/@Rwizakakiza
Sehemu .VI.
MAENEO YA KUCHUNGUZA KAMA UMEUNGANIKA NA MUNGU AU UMEMWACHA MUNGU.
(Tunaomba radhi kwa ukimya wa zaidi ya wiki mbili, tumekuwa na Kongamano la ROHO MTAKATIFU, tumehitimisha, MUNGU awabariki sana kwa Uvumilivu wenu).
Sehemu iliyopita tulijifunza HALI YAKO KIMAISHA. Tukagusia eneo la Teknolojia ya leo. Leo tuendelee na
2. (ii). ROHO YA KUPENDA FEDHA.
....Siku za mwisho watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe, WENYE KUPENDA FEDHA, wenye kujisifu, wenye kiburi, wenye kutukana,....
......2Timotheo 3:2.....
Hapa hatuongelei KUTAFUTA FEDHA, Ukweli fedha ni lazima itafutwe maana hata masomo haya yanahitaji fedha (gharama ya Simu - smartphone / Vocha (mbs)), kwa hiyo Fedha lazima itafutwe ili usiwe omba omba na unahitafuta kwa kanuni sahihi na kwa njia halali.
Kuna tofauti kati ya Roho ya kupenda fedha na kutafuta Fedha. Roho ya kupenda Fedha unamwondoa MUNGU kwenye nafasi ya kwanza na kuiweka fedha kwamba ndio kila kitu yaani bila pesa huwezi kuishi, bila fedha huwezi chochote, bila fedha huwezi kufika popote, bila fedha hauna thamani, hii sio kweli maana kuna waliopata Fedha, lakini wanaangaika nazo na wengine hawana lakini wanaishi pia.
.....Usiwe mwenye kupenda fedha"
......1Timotheo 2:3.....
Unapoipenda fedha kuliko MUNGU unamaanisha MUNGU si chochote juu ya fedha, na wengi tumekutana nao mtu anasema "NINA FEDHA MUNGU NI WA NINI?" Mtu hana muda tena na MUNGU ila ana muda na Fedha, hii ni kuifanya Fedha kuwa MUNGU na kuwa kama tabia au tendo la kila wakati.
Msiwe na TABIA YA KUPENDA FEDHA; mwe radhi na vitu mlivyo navyo; kwa kuwa yeye mwenyewe amesema, SITAKUPUNGUKIA KABISA, wala SITAKUACHA kabisa.
......Ebrania 13:5.....
Fedha ni nzuri sana ukiitawala, lakini ni mbaya sana. ikikutawala.
.....1Timothy 6:10.....
2. (iii). NAFASI YA VITU NA MUNGU
....Tutaendelea......
Rejea
"For the LOVE OF MONEY [that is, the greedy desire for it and the willingness to gain it unethically] is a root of all sorts of evil, and some by longing for it have wandered away from the faith and pierced themselves [through and through] with many sorrows".
.....1Timothy 6:10.....
Ev. Erasmus Pascrates Kakiza
(WhatsApp: +255 782 546 914)
@2024 The year of my shining.
1 note
·
View note
Link
Newest video!!! I actually lost my voice. - https://www.youtube.com/watch?v=W5jfXvtOuHw
I Lost My Voice!!! | Mario Kart 8 Deluxe
Uhhh... Since I have no plans for the next 4 weeks, I'm going to make YouTube videos as my plans for the next 4 weeks. HOPEFULLY!!! I'm not sure of the schedule of when I'll be posting, butttt... just be on the look out :) Hope you enjoyed and Don't forget to Subscribe! Ok I gotta go and remember, Stay Masome:) Make sure to also tap the bell icon to be notified the second I post #Roadto1000subscribers
Social Media -----------------------------------------------------------------------------------Twitter: https://twitter.com/MasomeGaming
Instagram: https://www.instagram.com/masomegaming/
Twitch: https://www.twitch.tv/masomegaming
Hello YouTube! Welcome to MasomeGaming where you'll find me play games that I enjoy playing or games I'm trying out. Here you'll see hilarious moments, cool content, and other crazy things. This gaming channel is for people who like to sit around and enjoy my content and show there appreciation. And as always, Please Like my videos, Comment on my videos, and Subscribe so you can Stay Masome!
#gaming#video games#mario#nintendo#mario kart#mario kart 8 deluxe#dashie#13 year old#minecraft#family friendly#screaming#hilarious#funny#memes#voice cracking#masome#roadto1ksubs#roadto500#masomo#kids#pc gaming#console#nintendo switch#ps4#xbox one
1 note
·
View note
Text
Masomo, Yeni Oyunu Basketbol Arena'yı İki Ülkede Yayınladı
Masomo, Yeni Oyunu Basketbol Arena’yı İki Ülkede Yayınladı
Kafa Topu 2 ile yakaladığı global başarı sonrasında Miniclip bünyesine dahil olan Masomo, ülkemiz mobil oyun sektörünün en değerli girişimleri arasına dahil olmuştu. Bir süredir İzmir’deki yeni ofisinde; yeni projeleri üzerinde çalışmaya devam eden Masomo ekibi, oyunun adını Basketbol Arena olarak belirledi.
Bir süredir devam eden kapalı beta testlerinin ardından Basketbol Arena ilk kez gerçek…
View On WordPress
0 notes