Tumgik
#jeraha
rwizakakiza · 1 month
Text
Somo: MAJIRA NA NYAKATI ZIMEBEBA MAISHA YAKO. (Part 10: REJESHA). Pleas...
youtube
Somo: MAJIRA NA NYAKATI ZIMEBEBA MAISHA YAKO
°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°
Fuatilia YouTube.
Https://youtube.com/@Rwizakakiza
Sehemu 10:
‭""Kwa KILA JAMBO kuna MAJIRA yake, Na WAKATI kwa KILA KUSUDI chini ya mbingu""
.....Mhubiri 3:1.....
4. JE KAMA NIMEPOTEZA MAJIRA NA NYAKATI NIFANYE NINI ILI KUFIDIA NA KUTOKUPOTEZA TENA?
4. 2. REJESHA MAJIRA NA NYAKATI
Somo lililopita tuliona kama umepoteza majira na nyakati njia mojawapo ya kufanya ni KUKOMBOA MAJIRA NA NYAKATI. Leo tunapozungumzia swala la UREJESHO WA MAJIRA NA NYAKATI ni kama vinafanana lakini vina utofauti mkubwa.
Nini maana ya UREJESHO?
Urejesho ni hali au kitendo cha kukomboa kitu au mtu na kumrudisha kwenye NAFASI yake.
.....Maana NITAKURUDISHIA afya, nami NITAKUPONYA JERAHA zako, asema BWANA, kwa sababu wamekuita, mwenye kutupwa, wakisema, Ni Sayuni, ambao hapana mtu autakaye.
......Yeremia 30:17.....
Kwenye andiko hilo unagundua wazi mtu anaweza akaponywa, lakini akabakia na majeraha au makovu ya ugonjwa. Urejesho unakurudisha kwenye nafasi yako ya awali. Labda uliugua Ukoma ukakatika mikono, utaokolewa na ugonjwa wa Ukoma na utapona lakini haimaanishi mikono imerudi, ili mikono ilirudi dai Urejesho wa mikono.
Swala la Ukombozi (Wokovu) ninaweza kusema unalenga sana kuanzia Rohoni, lakini Urejesho unalenga sana kuona kwa macho ya kawaida. Hivyo Usikubali kuishi kwamba nimeomba na naamini yametukia nayo ni yangu, hakikisha unayaona kwa macho ya kawaida (upate majibu ndio unyamaze)
Watu wengi Wanaongoka (wokovu) lakini maisha yao hayana radha, utakuta hali yake, Uchumi wake, mipango yake inazidi kuporomoka badala ya kustawi. Wokovu sio ufukara ingawa unaweza kupita, Furaha ya MUNGU urejeshewe kila kitu ulichokipoteza hata awali.
....Nami NITAWARUDISHIA hiyo MIAKA ILIYOLIWA na nzige, na parare, na madumadu, na tunutu, jeshi langu kubwa nililotuma kati yenu.
....Yoeli 2:25....
Lengo kuu la MUNGU kukurudishia hata vilivyopotea hataki uhuzunike na kujutia Kwanini ni Mkristo, bali ndani ya nafsi yako pawepo raha (Haimaanishi hutopitia changamoto, utazipitia lakini furaha ya MUNGU ndani haiondoki)
.....Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi YESU ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; NANYI MTAPATA RAHA NAFSINI mwenu.
......Mathayo 11:29.....
Nafsi yako ikifurahi na ukatajirishwa kwa kila kitu (sio pesa tu), utakuwa na ukarimu wa kuwasaidia wengine, na watu watataka kumjua YESU wako uliyenaye.
.....MKITAJIRISHWA KATIKA VITU VYOTE MPATE KUWA na UKARIMU WOTE, umpatiao MUNGU shukrani kwa kazi yetu.
.....2 Kor 9:11......
Tunakosa ukarimu kwa sababu na sisi tuko hoi, hatuna kitu na kama huna kitu kuna watu hautowafikia au hawatakuelewa. Lakini unaweza kuamua kuanza upya na MUNGU akabadilisha hali yako.
.....‭Badala ya aibu yenu mtapata heshima maradufu, na badala ya fedheha wataifurahia sehemu yao; basi katika nchi yao watamiliki maradufu; furaha yao itakuwa ya milele.
.....Isaya 61:7.....
Usiishie kusema nimeokoka, Mimi ni Mkristo wakati maisha yako hayamtangazi YESU bali yanamwaibisha YESU kuanzia kwenye HALI yako, MATENDO yako, na maisha yako kiujumla, yakupasa urejehe kila kitu chako na uongezee na ya sasa ili MUNGU atukuzwe kwenye kila majira na nyakati zako zote.
......Kwa sababu hiyo BWANA asema hivi, UKIRUDI, ndipo mimi NITAKAPOKUREJEZA, upate kusimama mbele zangu; nawe UKITOA KILICHO cha THAMANI KATIKA KILICHO KIBOVU, utakuwa kama kinywa changu; nao watakurudia wewe, bali hutawarudia wao.
......Yeremia 15:19.....
Unaweza kutoa kitu kizuri kwenye kibovu, hata kama ni mdhambi kiasi gani unaweza kuamua leo kumpa nafasi BWANA YESU awe BWANA na Mwokozi wako binafsi na YESU KRISTO atakuokoa na kukurejesha. Hata kama ni Mkristo unaishi kwa majuto na maangaiko, unaweza kurejea kwa MUNGU upya na maisha yako yakabadilika, Amina.
4. 3. LINDA SANA MAJIRA NA NYAKATI.
....Tutaendelea....
Rejea
“Therefore, thus says the LORD [to You], “If you repent [and give up this mistaken attitude of despair and self-pity], then I will restore you [to a state of inner peace] So that you may stand before Me [as My obedient representative]; And if you separate the precious from the worthless [examining yourself and cleansing your heart from unwarranted doubt concerning My faithfulness], You will become My spokesman. Let the people turn to you [and learn to value My values]— But you, you must not turn to them [with regard for their idolatry and wickedness].
.....Jeremiah 15:19.....
Ev. Erasmus Pascrates Kakiza
+255 782 546 914
@2024 The year of my shining.
0 notes
dreamstz1 · 3 months
Text
Sativa Yuko Salama. Ataendelea na Matibabu Dar
Sativa Yuko Salama. Ataendelea na Matibabu Dar Edgar Mwakabela maarufu kama Sativa, kijana aliyetekwa na kupatikana Katavi huku akiwa na majeraha makali, ikiwemo jeraha la risasi ataendelea kupatiwa matibabu Dar es Salaam ambapo ataingia leo Juni 29,2023.Ilitegemewa ataingia mchana wa leo kwa ndege ya ambulance, hata hivyo ratiba za usafiri zilibadilika na kwa sasa anategemewa kuingia usiku wa…
View On WordPress
0 notes
mateoshija · 8 months
Text
Maana wivu ni ghadhabu ya mtu
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake. Atapata jeraha na kuvunjiwa heshima; Wala fedheha yake haitafutika. Maana wivu ni ghadhabu ya mtu; Wala hatahurumia siku ya kujilipiza kisasi. Hatakubali ukombozi uwao wote; Wala hatakuwa radhi, ujapomlipa vitu vingi. Mithali 6:32-35
View On WordPress
0 notes
afyaboratz · 2 years
Text
Tumblr media
0 notes
loadedupdates · 3 years
Text
Otile Brown X Jovial – Jeraha
Otile Brown X Jovial – Jeraha
Otile Brown Ft Jovial – Jeraha audio Mp3 Download Just In love Music superstar singer and songwriter, Otile Brown join forces with his usual collaborator, Jovial on this song titled “Jeraha.” Download & Listen Otile Brown Ft Jovial – Jeraha audio Mp3 Download https://cdn.efetunes.com/wp-content/uploads/2021/06/Otile_Brown_-_Jeraha_Ft_Jovial.mp3 DOWNLOAD MP3: Otile Brown Ft Jovial – Jeraha
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
afrojuke · 3 years
Text
Otile Brown – Jeraha Ft Jovial (Prod. Vicky Pondis) (MP3 Download)
https://ift.tt/3jLkU4S
Kenyan neutral R&B singer, songwriter, guitarist, and actor, Jacob Obunga popularly known as Otile Brown came through with yet another pleasing banger titled Jeraha. RELATED: Otile Brown – Such Kinda Devour Feet Jovial (Prod. SDMG) To boot to, “Jeraha” that suggestions a Kenyan entertainer, singer, songwriter,  Jovial. comes a month after they released a like song titled “Such Kinda […]
AfroJuke - Download Mp3, Latest Naija Music, Latest Bongo flava, South African, Ghana Music & More!
from AfroJuke https://ift.tt/3gBAuQ7
0 notes
rwizakakiza · 10 months
Text
Https://www.youtube.com/@Rwizakakiza
(Share &. Subscribe)
UPONYAJI WA NAFSI (MOYO)
Je nafsi/moyo unaumizwaje au vyanzo vya majeraha ni Vipi?
Kabla hatujatazama Vyanzo vya maumivu, Tuangalie mambo makuu manne ambayo mwanadamu yeyote anayahitaji:-
i. Kutambuliwa,
ii. Kuthaminiwa,
iii. Usalama,
iv. Kupendwa.
.....‭‭Kwa kuwa ulikuwa wa THAMANI machoni pangu, na mwenye KUHESHIMIWA , nami NIMEKUPENDA; kwa sababu hiyo NITATOA watu kwa ajili yako; na kabila za watu kwa ajili ya MAISHA YAKO.
.....Isaya 43:4.....
Hivi vinne vikikosekana, hata kimoja, nafsi (moyo) unakosa mwelekeo.
NINI MAANA YA UPONYAJI WA NAFSI?
>>>Ni uponyaji wa kumbukumbu mbaya zote, ziletazo maumivu, zilizosababishwa na watu wa karibu (wanaoaminika) au mazingira yanayokuzunguka.
Au
>>>Ni uponyaji wa maumivu yaliofichika kwenye moyo (nafsi) wa mtu.
.....‭‭Roho wa BWANA yu juu yangu, Kwa maana amenitia mafuta kuwahubiri maskini habari njema. Amenituma kuwatangazia wafungwa kufunguliwa kwao, Na vipofu kupata kuona tena, Kuwaacha huru waliosetwa, Na kutangaza mwaka wa BWANA uliokubaliwa.
...Luka 4:18-19....
Wakati YESU anatangaza andiko hilo, alitaka Magonjwa au maumivu ya ndani kuponywa. Maumivu au Magonjwa mengine tunayosumbuka nayo, chanzo chake maumivu ya nafsi, kwa hiyo anataka ashughulike nayo, ndani pakiponywa, mwili unakuwa mzima.
Maumivu ni matokeo ya Jeraha, Jeraha ni matokeo kumbukumbu mbaya, Na kumbukumbu mbaya ni matokeo ya mazingira yanayokuzunguka muda wote.
VYANZO VYA MAUMIVU YA NAFSI.
Vyanzo hivi tutavigawanya kwenye sehemu kuu tatu, Yaani Maumivu kabla ya kuzaliwa, Wakati wa kuzaliwa na Baada ya kuzaliwa mpaka utu uzima.
(I). MAUMIVU KABLA YA KUZALIWA.
Hapa nafsi (moyo) unaweza kutunza kumbukumbu mbaya au kuumizwa kupitia baadhi ya mambo yafuatayo:-
(a). Kubakwa
Au kulazimishwa tendo la ndoa ikatokea siku iko ukashika ujauzito. Kwanza wewe mwenyewe inakuumiza, jinsi unavyoumia na mtoto alioko tumboni anaumia vile vile.
💬Tutaendelea....
Rejea
“Because you are PRECIOUS in My sight, You are HONORED and I LOVE you, I will give other men in return for you and other peoples in exchange for your life.
.....Isaiah‬ ‭43:4‬.....
@2023 the greatest Glory for me.
1 note · View note
wikielimu · 2 years
Photo
Tumblr media
KUPINDA KWA MGONGO (KIBIONGO) ▪︎Kupinda kwa mgongo (kibiongo) ni hali ya kupinda kwa uti wa mgongo kunakosababishwa na sababu mbalimbali. ▪︎Kupinda kwa mgongo (kibiongo) kunaweza kusababishwa na mkao usiofaa wa vijana wanaobalehe, kulika kwa mifupa wakati wa uzee, matatizo ya kano na tishu, uvimbe, au jeraha kwenye uti wa mgongo. ▪︎Wagonjwa wenye tatizo la Kupinda kwa mgongo (kibiongo) hupatwa na uchovu, maumivu ya mgongo, na kukaza kwa misuli ya mgongo. Kwa hali kali sana, tatizo hili linaweza kuathiri moyo na mfumo wa upumuaji, na kusababisha shida kupumua au maumivu ya kifua. ▪︎Picha za uti wa mgongo zinaweza kusaidia kutambua sababu ya shida hii. Matibabu na matarajio hutofautiana kati ya mtu na mtu, kulingana na sababu. JIFUNZE ZAIDI HAPA https://wikielimu.com/kupinda-kwa-mgongo-kibiongo-sababu-matibabu/ https://www.instagram.com/p/Cgn8KNqKKhH/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
drseifu · 3 years
Text
Ugonjwa wa kifafa.
Ugonjwa wa kifafa. Sababu ya kesi nyingi haijulikani, ingawa baadhi ya watu wanapatwa na kifafa kutokana na jeraha la ubongo, kiharusi, saratani ya ubongo na matumizi mabaya ya dawa.
Ugonjwa wa kifafa. Kifafa (kwa Kiingereza Epilepsyis, kuteka au kutesa ni kundi la maradhi ya neva yanayofanana kwa dalili za matukio ya kupatwa, ambayo yanaweza kudumu muda mfupi sana karibu bila kugundulika hadi muda mrefu wa kutikisika kwa nguvu mwili mzima. Matukio hayo yanaelekea kurudiarudia bila sababu inayoeleweka kwa kila tukio.wakati matukio ya namna hiyo yenye sababu inayoeleweka si…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
afrojuke · 3 years
Text
Otile Brown – Jeraha Ft Jovial (Prod. Vicky Pondis) (MP3 Download)
https://ift.tt/3vC4BLy
Kenyan independent R&B singer, songwriter, guitarist, and actor, Jacob Obunga popularly is named Otile Brown came through with one other aesthetic banger titled Jeraha. RELATED: Otile Brown – Such Kinda Treasure Toes Jovial (Prod. SDMG) To boot, “Jeraha” that contains a Kenyan entertainer, singer, songwriter,  Jovial. comes a month after they released a love tune titled “Such Kinda Treasure” […]
AfroJuke - Download Mp3, Latest Naija Music, Latest Bongo flava, South African, Ghana Music & More!
from AfroJuke https://ift.tt/3gBAuQ7
0 notes
musiccharts254 · 3 years
Photo
Tumblr media
1. Weekly Top Kenyan Albums; • 10 weeks for @h_arttheband 'Simple Man EP'. (Peak #1 x 1) • 10 weeks for @breeder_lw 'Bazenga Mentality'. (Peak #2 x 2) • Re-entry by @realshinski 'Lucky You'. (Peak #2 x 1) • New Entry by @officialsusumila 'King Is King EP' at #14 2. Weekly Top Kenyan Songs; • 10 weeks for @Nikita_Kering 'Ex' (Peak #3 x 2) • New Entry by; @Matata 'Chini Chini' ft @Mejjagenge at #12 • Re-entry by; @OtileBrown 'Jeraha' ft @jovial_ke #13 @kithungo_raha_maima 'Nthi Ino Nditei' #17 @willy.paul.msafi 'Odi Love' #19 @bahatikenya 'Pete Yangu' ft @nadia_mukami #20 3. Weekly Top Gengetone Songs; New Entry by; • @matataofficial - Chini Chini #1 • @parroty_vunulu - Lewa #10 • @timmytdat - Nyako Mane #12 • @matataofficial - Achuu #13 • @willy.paul.msafi - Manyuria #14 4. Weekly Top Vernacular Songs; New Entries by; • @samidoh_muchoki - Muthoniwa #1 • @shiruwagpofficial - Githigithanio #3 • #PhilipKimani - Amukira Igongona Ria Ngoro Yakwa #13 • @brizyannechild - Hera Nyalo Sandi #14 5. Weekly Top Gospel Songs; Featuring; @shiruwagpofficial - Githigithanio #CarolineAkinyi - Mungu Mwenye Uwezo @fountainministries - Mungu Si Binadamu @abbeymickey_ - Niongoze @mrseedofficial - Piganiange @salimyoung - Favour Ya Ngai @kathypraise - Usikiaye Maombi Dated: 16 August - 22 August 2021. https://www.instagram.com/p/CS7Uoxeji6o/?utm_medium=tumblr
0 notes
kaniki666 · 4 years
Photo
Tumblr media
“nna kiburi cha jeraha ukinipoteza naacha kovu” 👇👇👇👇👇👇👇 "Bora wakuogope, wakikupenda watakuchukia" #mkwasi https://www.instagram.com/p/CJ0aulaLaeX/?igshid=191gx1sa6mx5n
0 notes
alkibanewsong-blog · 4 years
Photo
Tumblr media
ali kiba (new song), ali kiba songs, ali kiba watoto, ali kiba ft neyo, ali kiba - mwana, ali kiba new song 2020, ali kiba wenye chuki, ali kiba kadogo, ali kiba aje, ali kiba aje mp3 download, ali kiba aje remix, ali kiba alikiba - mwana, ali kiba all song, ali kiba amiya kiba, ali kiba age, ali kiba alikiba - aje mp3 download, ali kiba bembea, ali kiba bayoyo, ali kiba birthday, bongo alikiba, alikiba best songs, alikiba bella, alikiba bado, alikiba bungeni, ali kiba cinderella, ali kiba chaku, ali kiba ccm number one, ali kiba cinderella audio, ali kiba chekecha, ali kiba ccm number 1, ali kiba ccm, ali kiba cheketua, ali kiba dodo, ali kiba dodo by dj mwanga, ali kiba dodo lyrics, ali kiba dodo video, ali kiba dodoma, ali kiba dushelele download, ali kiba dodo remix ccm, ali kiba download video, ali kiba everything, ali kiba everything audio, alikiba efm, alikiba eid mubarak, alikiba eatv, alikiba my everything, alikiba my everything audio, alikiba naenjoy, ali kiba ft diamond, ali kiba freemason, ali kiba ft mr blue mp3, ali kiba ft davido, ali kiba ft queen darling, ali kiba ft rihanna, ali kiba ft abdu kiba, ali kiba gubu, ali kiba gubu audio, alikiba g nako, alikiba gubu video download, godzilla ft alikiba, the giant with alikiba, ali kiba hit songs, ali kiba hela, ali kiba historia, ali kiba hadithi video download, ali kiba houses, ali kiba hadithi, alikiba haina mojito, alikiba house, ali kiba interviews, alikiba interview, alikiba oman, alikiba ikulu, alikiba in kenya, alikiba zanzibar, alikiba dodo, alikiba instrumental, ali kiba jamal kiba, alikiba joho, ali kiba jeraha, alikiba jichunge, ali kiba jutsu, jikune mapele ali kiba, alikiba ft jux, alikiba na joho, ali kiba kidela, ali kiba kadogo mp3, ali kiba karimu, ali kiba kizunguzungu, ali kiba kidato kimoja, ali kiba kadogo video, ali kiba karim lyrics, ali kiba latest songs, ali kiba latest songs 2020, ali kiba latest song, ali kiba lupe, ali kiba mshumaa, ali kiba mac muga, ali kiba mshumaa mp3, ali kiba mix, ali kiba mwana, ali kiba my everything, ali kiba music, ali kiba mbio, ali kiba new song, ali kiba nyimbo, ali kiba new songs, ali kiba nakshi nakshi mrembo, ali kiba nyimbo mpya, ali kiba new song video download, ali kiba nagharamia, ali kiba omukwano, ali kiba old songs, alikiba old, alikiba ommy dimpoz, alikiba old school, only you alikiba, alikiba omukwano lyrics, ali kiba prince sameer kiba, ali kiba photos, ali kiba patoranking katika, alikiba patoranking, alikiba playlist, alikiba princess, alikiba playing football, alikiba maumivu per day, alikiba queen darling, alikiba queen darleen, ali kiba run dunia, ali kiba rumba, ali kiba run dunia audio, ali kiba rupera, ali kiba ran dunia, alikiba rockstar, alikiba rhumba, alikiba reaction, alikiba ft r kelly, ali kiba song, ali kiba sina, ali kiba seduce me download, ali kiba so hot lyrics, ali kiba songs download, ali kiba so far away, ali kiba so, ali kiba tutaonana tena, alikiba tena, alikiba tbt, tommy alikiba, alikiba tanasha, alikiba tupendane, alikiba tik tok, ali kiba usiniseme lyrics, ali kiba usiniseme mp3, ali kiba usiniseme audio, alikiba unaniweza, alikiba ukimwona, utajiri wa alikiba, omukwano alikiba, ali kiba video, ali kiba videos, ali kiba vs diamond, ali kiba video mpya, ali kiba vidio, ali kiba video dodo, ali kiba video dodo download, ali kiba video download, ali kiba wamoto, ali kiba wajua nakupenda, ali kiba wimbo mpya, alikiba wife, alikiba wedding, alikiba wajua, ali kiba you tube, ali kiba you my everything, ali kiba yana run dunia, ali kiba yatima, alikiba ya karim, alikiba you are my everything, alikiba ya moto, alikiba nyimbo ya ccm, ali kiba zaidi yangu, ali kiba zindola, alikiba zamani, nyimbo za ali kiba, nyumba za alikiba, show za alikiba, alikiba 001, ali kiba 10/10, alikiba 1, alikiba 10 over 10, alikiba number 1, ali kiba 2020, alikiba 254, alikiba 2019, alikiba 2010, alikiba 2008, alikiba 2009, alikiba 2018, alikiba 2011
0 notes
wikielimu · 2 years
Photo
Tumblr media
UGONJWA WA PEPOPUNDA KWA WATOTO ▪︎Pepopunda ni ugonjwa wa hatari unaoambukiza.  Ugonjwa huu unasababishwa na vimelea vya bacteria vinavyoitwa “clostridium tetani”.  Vimelea hivi huingia mwilini kupitia kwenye kidonda au jeraha.  ▪︎Ugonjwa huu huwapata watu wa rika zote.  Kwa watoto wachanga toka kuzaliwa hadi kufikia umri wa siku 28, vimelea huingia mwilini kupitia kwenye kitovu kilichokatwa kwa kutumia kifaa chenye maambukizi, kama vile wembe, mabua na usinge au kuwekwa vitu vichafu kama vile kinyesi cha ng’ombe, vumbi la kizingitini na kadhalika. UJUMBE MUHIMU ▪︎Ni muhimu wanawake wote wenye umri wa kuzaa kati ya miaka 15 hadi 49 wapate chanjo kamili dhidi ya ugonjwa wa Pepopunda, ili kumkinga mtoto atakayezaliwa. ▪︎Zingatia usafi wakati wa kuzalisha, kukata na kutunza kitovu kuzuia maambukizi, kitovu cha mtoto kisiwekwe kitu chochote. ▪︎Mama atunze kadi yake ya chanjo ya Pepopunda kwa ajili ya kumbukumbu. JIFUNZE ZAIDI https://wikielimu.com/ugonjwa-wa-pepopunda-kwa-watoto-sababu-dalili-matibabu/ https://www.instagram.com/p/CglXUSHKawh/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
tanzaniampyanews · 4 years
Photo
Tumblr media
Kocha wa Simba, Sven Vandenbroeck ametangaza kwamba atamkosa beki wake Shomari kapombe katika mechi zote zilizobakia. Kapombe aliumia kwenye mchezo dhidi ya Azam FC jopo la madaktari wakatoa muda wa uchunguzi wa jeraha lake la kifundo cha mguu "Ankle" na sasa ataukosa msimu wote uliobakia. Get well soon! https://www.instagram.com/p/CCVOQGTAKgq/?igshid=irfizzq65tfv
0 notes
enockmaregesi · 5 years
Photo
Tumblr media
Yesu Kristo alilipa gharama ya maisha yake kutununua kutoka kwa Shetani. Alijitolea maisha yake ili wengine waweze kuishi. Upendwe vipi? - Biblia pamoja na historia vinatwambia kuwa mitume kumi na wawili wa Yesu Kristo waliamua kufa kinyama kama mfalme wao alivyokufa, kwa sababu walikataa kukana imani yao juu ya Yesu Kristo. Mathayo alikufa kwa ajili ya Ukristo nchini Ethiopia kwa jeraha lililotokana na kisu kikali, Marko akavutwa na farasi katika mitaa ya Alexandria nchini Misri mpaka akafa, kwa sababu alikataa kukana jina la Yesu Kristo. Luka alinyongwa nchini Ugiriki kwa sababu ya kuhubiri Injili ya Yesu Kristo katika nchi ambapo watu hawakumtambua Yesu. Yohana alichemshwa katika pipa la mafuta ya moto katika kipindi cha mateso makubwa ya Wakristo nchini Roma, lakini kimiujiza akaponea chupuchupu, kabla ya kufungwa katika gereza la kisiwa cha Patmo (Ugiriki) ambapo ndipo alipoandika kitabu cha Ufunuo. Mtume Yohana baadaye aliachiwa huru na kurudi Uturuki, ambapo alimtumikia Bwana kama Askofu wa Edessa. Alikufa kwa uzee, akiwa mtume pekee aliyekufa kwa amani. Petro alisulubiwa kichwa chini miguu juu katika msalaba wa umbo la X kulingana na desturi za kikanisa za kipindi hicho, kwa sababu aliwaambia maadui zake ya kuwa alijisikia vibaya kufa kama alivyokufa mfalme wake Yesu Kristo. Yakobo ndugu yake na Yesu (Yakobo Mkubwa), kiongozi wa kanisa mjini Yerusalemu, alirushwa kutoka juu ya mnara wa kusini-mashariki mwa hekalu aliloliongoza la Hekalu Takatifu (zaidi ya futi mia moja kwenda chini) na baadaye kupigwa kwa virungu mpaka akafa, alipokataa kukana imani yake juu ya Yesu Kristo. Soma zaidi hapa: https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=1426181450739012&id=100000415120038 https://www.instagram.com/p/B7QU4O6nZHq/?igshid=w9gdd2qc63br
0 notes