Tumgik
#gereza
rwizakakiza · 25 days
Text
Somo: MAJIRA NA NYAKATI ZIMEBEBA MAISHA YAKO. (Part 17: KIBALI) Share a...
youtube
Somo: MAJIRA NA NYAKATI ZIMEBEBA MAISHA YAKO
°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°
Fuatilia YouTube.
Https://youtube.com/@Rwizakakiza
Sehemu 17:
‭""Kwa KILA JAMBO kuna MAJIRA yake, Na WAKATI kwa KILA KUSUDI chini ya mbingu""
.....Mhubiri 3:1.....
7. HITIMISHO.
Hapa tutaangalia mambo mawili yaani:- (Faida na namna bora ya kutambua majira na nyakati kwenye maisha yako yote)
7. 1. FAIDA /UMUHIMU WA MAJIRA NA NYAKATI.
Zipo faida nyingi, lakini sehemu hii tunaangalia faida kuu ya majira na nyakati kwenye maisha yako ambayo ni
KIBALI KWA MUNGU NA KWA WATU.
......Kibali ni upendeleo, kibali ni kupewa nafasi, kibali ni kukubalika kwa MUNGU na kwa watu. Kabla ya kupata kibali ipo NEEMA ya MUNGU kwanza inayokubeba, alafu ukifanya vizuri kupitia neema hiyo unapata kibali.
Wote mnaweza kuwa na huduma moja, lakini KINACHOWATOFAUTISHA ni BIDII /JUHUDI BINAFSI, unavyojibidiisha na kujitoa kwa ajili ya Neema MUNGU aliyokupa (Yaani huduma), Jitihada zako ndizo zinazojenga nafasi ndani ya moyo wa MUNGU au ndani ya mioyo ya watu, na Nafasi hiyo ndiyo kibali.
Mfano.
Kaini na Habili wote wawili, MUNGU aliwapa neema ya kumjua MUNGU na huduma yao kuu ilikuwa ni UTOAJI. Kilichotokea ni Habili kujiongeza /kujibidiisha /kufanya cha ziada. Ndio maana MUNGU alipomtokea Kaini alimuuliza ukijibidiisha /ukitenda mema hautapata kibali?. Lakini Kaini akaona Wivu na wivu ukajenga Chuki na Chuki ikazaa mauaji kwa nduguye.
......Je Kaini UKITENDA VYEMA, hutapata KIBALI? Usipotenda vyema dhambi iko, inakuotea mlangoni, nayo inakutamani wewe, walakini yapasa uishinde.
.....Mwanzo 4:7....
Wote mmebarikiwa kupata kazi, Je unatambua kwanini umebarikiwa? Je MUNGU aliyekubariki unatambua ndiye mwenye vyote?, hata ukimpa vyote ni vyake ila juhudi za KUMPENDA katika kile ninachokitoa ndizo zitanipatia kibali. Usimwonee mwingine wivu, bali Ongeza bidii katika kutenda.
Majira na nyakati zinakupatiaje kibali, Kumbuka majira na nyakati ni kutambua cha kutenda ndani ya muda sahihi kulingana na kusudi lililoko kwenye muda huo. Usipofanya kwa majira na nyakati sahihi utapata hasara.
Mfano
Ni wakati wa kuvuna, Wewe ndio unapanda, Wakati wa kufunga Wewe ni chakula muda wote, Mahitaji ya lazima kwenye familia unakimbilia kununua nguo, Wakati wa mshahara, Unafanya anasa na Matumizi yasiyo lazima, badala ya KUWEKEZA kwa ajili ya uzeeni, usiwasumbue watoto wako.
......Mmepanda mbegu nyingi mkavuna kidogo; mnakula lakini hamshibi; mnakunywa lakini hamkujazwa na vinywaji; mnajivika nguo lakini hapana aonaye moto; na yeye apataye mshahara apata mshahara ili kuutia katika mfuko uliotoboka-toboka.
......Hagai 1:6.....
Ukitambua uko kwenye majira na nyakati gani na unapaswa ufanye nini UTAPATA KIBALI KWA MUNGU, NA KWA WATU (Tena kwa watu wakuu yaani wenye vyeo, na wadhifa kubwa).
Mfano. YUSUFU
Yusufu alikuwa na ndoto na ili ikamilike ndoto yake, alitambua majira na nyakati cha kufanya, hakubaki na MALALAMIKO kwamba Kwanini ndugu zangu waliniuza kwa Wamisril?. Kwanini MUNGU ameniacha mpaka nikasingiziwa na mke wa Potifa kwamba nimebaka?. Siri ya Yusufu ni HAKULALAMIKA bali ALINYENYEKEA na unyenyekevu wake MUNGU akampenda akawa pamoja na Yusufu, hata kwenye Gereza, MUNGU akampa kibali.
.....‭BWANA akawa pamoja na Yusufu, akamfadhili, akampa kibali machoni pa mkuu wa gereza.
......Mwanzo 39:21....
Pamoja na kibali, Yusufu analenga kutimiza ndoto yake ambayo imempitisha kwenye majira hayo. Hivyo aliangalia ANAPOELEKEA hakuangalia ANAPOPITIA. Kupitia ROHO MTAKATIFU, Yusufu anajulishwa majira na nyakati zinazokuja juu ya nchi yote ya Misri kwa kutafsiri ndoto ya Farao ambayo hata wakuu wake hawakuelewa na hatimaye bidii ya kuangalia anapoelekea inamsaidia kumpa kibali kwa wakuu mpaka anapewa Uwaziri mkuu.
......Farao akawaambia watumwa wake, Tupate wapi mtu kama huyu, mwenye ROHO ya MUNGU ndani yake? Farao akamwambia Yusufu, Kwa kuwa Mungu amekufahamisha hayo yote, hapana mwenye akili na hekima kama wewe. Basi wewe utakuwa juu ya nyumba yangu, na kwa neno lako watu wangu watatawaliwa. Katika kiti cha enzi tu nitakuwa mkuu kuliko wewe. Farao akamwambia Yusufu, Tazama, nimekuweka juu ya nchi yote ya Misri.
Mimi ni Farao, na bila amri yako (Yusufu), Mtu asiinue mkono wala mguu katika nchi yote ya Misri.
......Mwanzo 41:38 - 44.....
Ukielewa vizuri Habari ya majira na nyakati, utafika mahali ambapo hukutarajia. Watu wengi wanatamani kujua maisha yao ya kesho itakuwaje, Biashara /kazi zao zitakuwaje, Ndoa /familia zao zifanye nini nk. Majibu yote yapo kwenye majira na nyakati, ukitambua utapata kibali na kibali hicho kitakufikisha kwenye ndoto zako, Amina.
7. 2. NAMNA BORA YA KUTAMBUA MAJIRA NA NYAKATI MAISHA YAKO.
....Tutaendelea....
Rejea
So Pharaoh said to his servants, “Can we find a man like this [a man equal to Joseph], in whom is the DIVINE SPIRIT [of GOD]?”
......Genesis 41:38.....
Ev. Erasmus Pascrates Kakiza
+255 782 546 914
@2024 The year of my shining.
0 notes
rechelle03 · 1 year
Text
Tumblr media
LIFESTYLE
After a long time, everyone is showing special interest to lead a happy and healthier life. All the sudden change happened because of knowing about various health problems like heart attack, diabetes, cancer and many more.
Of course, the change was good, but most of the people are misled with the wrong perception to stay fit and healthy. And few content writers use scientific words of various things in articles to show their best skills and so many people are facing issues regarding those scientific words. So that, we anicow.com will guide you with various gym diet plan in Hindi to lead a happy and healthier lifestyle. If you are the person who is desiring to have a healthy lifestyle, then go through this article completely to know about simple tips to live a healthier life.
Enjoy Nature:
According to science, nature is one of the things which helps a person to get rid of stress, and in some cases, they even prevent depression and anxiety too. Not only cure your work tension and stress level but also helps you to enhance more to do everything creatively. Researchers started that putting both mind and bodies to evolve more and connecting with nature will help you to achieve your desires by having a strong belief in yourself. That means if you have a strong belief, then nature will support you and make all things positive for your dreams and desires.
Walk for just 30 minutes a day:
As per decades of studies show that walking for just 30 minutes a day is a great intense physical activity which decreases the risk of getting physiological diseases like anxiety, Alzheimer, cancer, heart attack and many more.
As per a report, so many people aim to prevent the process of aging. In that process, they have found that the breakdown of a cell will use energy and acts as an anti-aging. That breaking cells ability will be more when a person do exercises, walking and doing workouts in the gym, these will improve the function and helps to look young. Don’t worry about what workouts should you do in the gym, just go through the anicow website you can get a lot of stuff like workouts and diet chart for gym workout in Hindi.
Eat Fresh & Real Foods:
Avoid food that which wrapped in plastic covers. Food that which processed and packaged in plastic covers will be not that nutritional and contains lots of calories for a few grams of the food. So that avoid ultra-processed food and eat more fresh and real ingredients that which helps you to keep healthy and fit. The ultra-processed food which is packaged in plastic leads you to gain weight which is not good for your health. But fresh and nutritious food will be having high protein, healthy carbs, fiber, and many more vitamins and helps you to stay fit and maintain a healthy weight too.
Follow a diet that is rich in vegetables, fish, whole grains, lean meats with including nuts, fruits for twice or thrice a week. If you couldn’t design the diet chart then go through anicow.com website for diet chart for bodybuilding in Hindi to create a healthy lifestyle. If you are busy in your workspace can’t meet the regular need of protein and vitamins then shop whey protein powder from healthkart where you get quality products for a discounted price by using Healthkart coupons online.
Hangout with your Friends:
A per a survey, it started that hanging out with friends and family not only refresh and relax you at that moment but it even helps you to lead a happy and healthy life in the long term too. Social connections will help a person to relieve his / her stress level, tensions even help to have a night of quality sleep, improves immune function, decrease the risk of heart problems and many more.
By: Gereza Gabutero
0 notes
Photo
Tumblr media
©TPH Mini-Series✍🏾: PAST LIVES: "Similar graffiti has been reported elsewhere in Oman, suggesting a relatively widespread practice of inscribing ship graffiti within Omani military buildings," Professor Cooper said. "Set within the fort, the Gereza graffiti were not for public consumption in the way that they might have been had they been on the fort's outer faces, where people flocking to the busy Soko Uku market under its walls might have seen them, as would the families of Arab and Indian merchants and notables who built their houses around the fort "The graffiti must have been made for and by members of the community of the fort itself. Those in the southwest tower and the western ramparts of the Gereza must have been made by people with access to these more reserved upper reaches of the fort, probably Baluchi or slave soldiers garrisoned in the fort by Omani or Zanzibari sultans for much of the nineteenth century. They were probably made by people with time on their hands, soldiers on guard duty or spending their leisure time in the breezier upper reaches of the building. The Baluchi soldiers would themselves have arrived, and ultimately departed, by such ocean-going craft." #Graffiti #ZanzibarGraffiti #InternationalGraffiti #PhillyGraffiti #Graff #NewGraffiti #Vandals #InstagramGraffiti #ZanzibarBlue #PhillyGraffitiIdentity #GlobalGraffiti #ThePhiladelphiaHandstylez #ThePhiladelphiaHandstylezMovement #SupportTheMovement #HistoricGraffiti #GraffitiHistory 📸READ FULL ARTICLE HERE: https://phys.org/news/2022-05-historic-graffiti-soldiers-africa-maritime.html (at Zanzibar, Tanzania) https://www.instagram.com/p/Cqcmr8WOWW5/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
444names · 2 years
Text
female portuguese forenames
Adeirle Adele Adelia Adréia Albeca Albel Albia Albiana Alemí Alemíone Alena Alenarla Alexanda Alfona Alfonce Alfoncia Alfone Aliana Aliance Alina Alisca Alvia Alviceda Alódilete Alódita Amana Amanedia Amorala Amálica Amântina Amântônia Améliana Amélina Amélissa Anana Anaíntia Andalia Andalote Andra Andrisa Andrise Andrélia Antia Antilda Antilica Antina Antinha Aparilena Arlana Arles Arlexana Armarola Arnéliol Atera Auguela Augunção Aurde Barla Beana Berenica Beriles Berna Bertina Brana Brunda Bríciete Camina Camonsa Camonsta Carana Carbara Carbaria Carda Carde Caria Carilma Cassa Casta Catia Catásinha Celeia Cesside Cibel Cibete Cilaisca Cilda Cilde Ciloís Claisa Clemana Clomena Clomila Clota Clotina Cloísa Cláucide Conaliana Conca Concis Consa Corandria Corena Criana Crine Crinha Crisana Crisanuel Céliana Cínta Cíntana Dafigna Dafina Dalanolis Dalda Deiandana Denélia Denéloísa Desálixta Digéliete Digélina Domila Domina Dominha Dorança Dorde Dorina Dorineda Dorna Dornaelda Drícista Drígia Dríona Dulcedia Déboranca Débores Déboreza Edilda Edina Edita Editórisa Elais Elina Elixta Elmana Elsabe Elsabela Elsabele Elzia Elziana Elzielia Elziete Emana Emilia Emina Emíli Emílvodia Eneditar Erinietia Ernéliana Esmenda Evana Evança Fabela Febela Febelia Febra Febria Felia Felívia Ferma Filata Filvânica Flária Fláucia Frandalia Fábiança Fábina Fátia Fátina Fátine Gabela Galda Galentina Galessa Galina Galma Geiandra Gemana Gendita Gereza Gertia Gilina Gilma Gistásida Glávia Grana Grantinae Graziete Grisana Griselia Guilia Guiza Helarina Helda Helia Helieta Helina Helissina Helícia Hereza Herna Herônida Hilda Héliana Ifigna Irido Irila Isilia Jacia Jacimonsa Jacisela Jaelara Jaelete Joane Joselisa Josia Josário Judita Judorda Julia Justásine Jéssa Jéssida Jéssiline Júliana Júlixta Júlixtana Júnisa Katilda Katinia Katrido Katrígina Katríope Larcia Larcina Larotanda Laula Laurote Lavína Lavínta Laélilda Laínica Laínta Laísa Leataria Lenalde Lendita Leodo Leodora Leodorde Leona Leone Letina Lianuela Lilaida Lildada Lilia Loraciela Loracis Lorafne Lorda Lorintina Lorolica Lorote Luceia Luceição Lucia Lucianca Lucianda Lucieteis Lucilda Lucina Lucinica Lucéli Lucélina Lucéline Lucíline Ludia Luida Luile Luina Lurda Lídita Lígonora Lígonsa Lílvodo Lívica Lúcianca Lúzirga Madade Madadesia Mantia Manuela Marda Marde Margia Mariol Marmilda Marotina Martia Martriana Matriana Matrudo Matríope Matásina Melia Melpômena Merene Mertina Merténisa Merônia Milaida Milenessa Milia Máriana Márica Máris Mônia Natrunça Nefelope Neusabe Neusanca Neustia Nevessa Noemíope Núrida Núrina Núrinica Núrio Ofélisa Olgina Olária Oláudeta Oláudovia Olícina Ondreside Ondressia Ondreusa Ourde Parina Parlexane Paroana Paterna Patália Paulia Paura Prina Priseta Quila Quintine Quizana Radela Raida Raidel Raista Ramirenda Ramonsida Raquela Raqueli Rebrica Reguna Regusta Regustáli Ronsa Rosel Roselia Roselma Rosemeia Rosárise Ruteissa Ruterna Sabelia Salmane Saloís Sange Sança Sermí Serna Sertipar Severa Shirgia Sibela Sibelina Sibeta Sibina Silina Simena Similina Simora Sofigna Sofina Solia Solinha Sueda Sílina Sílvânia Sônica Sônida Taisa Tatana Tatipa Teodia Teodita Teona Teressia Termina Thaida Tingélota Tinia Trindra Tálica Tálilucia Táliselda Tálixta Valda Valdalia Valinaela Valise Vandia Veres Vilete Viodorole Violana Violia Vivia Vivicido Vivicila Ximilda Xândreca Xânicieli Águna Ângénissa Úrsulieta Úrsuna
1 note · View note
bahralzanj · 7 years
Video
The Gereza Kilwa Fort on Kilwa Kisiwani Island, Tanzania, was built by the Portuguese in 1505 and reconstructed by Omani Arabs after 1512. The name comes from the Portuguese "igreja" (church) which later came to mean "prison" in Swahili.
By David Stanley
27 notes · View notes
davidstanleytravel · 7 years
Photo
Tumblr media
Beginning in the 16th century the Gereza Kilwa Fort at Kilwa Kisiwani, Tanzania, was used by the Portuguese and Omanis to control trade on the East African coast.
1 note · View note
soliloquyinthedark · 6 years
Photo
Tumblr media
Ruins of Gereza Fort in Kilwa Kisiwani, Lindi, Tanzania
18 notes · View notes
touchrwanda · 3 years
Text
Umushoramari waherukaga gupfusha umugore ari mu bapfiriye mu nkongi yibasiye gereza ya Gitega
Umushoramari waherukaga gupfusha umugore ari mu bapfiriye mu nkongi yibasiye gereza ya Gitega
Umushoramari witwa Ndikumana Sylvestre wari utuye mu gace ka Musenyi, Komine ya Tangara mu Ntara ya Ngozim ni umwe mu bapfiriye mu nkongi y’umuriro yafashe gereza nkuru ya Gitega, we akaba yari amaze iminsi mike apfushije umugore we. Bivugwa ko Ndikumana wacuruzaga inzoga zengwa n’uruganda Brarudi yari amaze igihe kinini afungiwe muri gereza ya Gitega. Agifunzwe, tariki ya 28 Ugushyingo 2021…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
sagesolar · 7 years
Photo
Tumblr media
Gereza Kilwa Fort by D-Stanley http://flic.kr/p/SSX5m9
1 note · View note
europahoynews · 2 years
Text
Los corales Kuruwitu de Kenia están de vuelta, gracias a la campaña local de conservación |
Los corales Kuruwitu de Kenia están de vuelta, gracias a la campaña local de conservación |
La playa Kuruwitu de Kenia es tranquila. Las playas de arena brillante complementan el agua azul clara, y el aroma familiar de arena y sal marina llena el aire. Hace una década, los aldeanos notaron la disminución de las poblaciones de peces y se encargaron de establecer un área de conservación con la ayuda de socios de ideas afines. Dickson Gereza es un conservacionista marino y líder del…
Tumblr media
View On WordPress
1 note · View note
rwizakakiza · 6 months
Text
Somo: UMUHIMU WA TOBA YA KWELI, MAUNGAMO YA KWELI NA MSAMAHA WA KWELI
°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°
Fuatilia YouTube.
https://www.youtube.com/@Rwizakakiza
Sehemu VIII.
MSAMAHA WA KWELI
......Ni hali ya kuacha huru watu uliowafunga kwenye gereza la moyo wako.
.......Msamaha wa kweli ni hali ya kuondoa Uchungu wote ulioko ndani ya moyo wako, kuwabariki waliokuumiza, kufurahi wanapofanikiwa na kuuzunika wanapopatwa na matatizo na kuwaombea neema ya kuokolewa na MUNGU.
Madai ya kusema nimesamehe yanapimwa kwenye tafsiri ya hapo juu. Ambayo ni tabia ya MUNGU mwenyewe, kwa sababu MUNGU husamehe kwa ajili yake mwenyewe.
......Mimi, naam, mimi, ndimi niyafutaye makosa yako kwa ajili yangu mwenyewe, wala sitazikumbuka dhambi zako.
.......Isaya 43:25.....
Kwanini MUNGU anatusamehe kwa ajili yake mwenyewe?, Kwa sababu hataki kuteseka, la sivyo asingeweza KUCHUKULIANA nasi na ASINGEOKOKA mtu. Kwa huruma zake tunapoziungama dhambi zetu na kuamua kuziacha, Haangalii ukubwa na uzito wa dhambi uliyoitenda ila anasamehe.
.....Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na wa haki hata atuondolee dhambi zetu, na kutusafisha na udhalimu wote.
......1Yohana 1:9......
Lakini kwenye maungamo hayo ili yawe fanisi, Lazima kuzingatia kanuni hii "USAMEHE KWANZA, ALAFU NA WEWE USAMEHEWE" daima MUNGU Hawezi kujipinga kwenye Neno lake.
......UTUSAMEHE deni zetu, KAMA SISI nasi TUWASAMEHEVYO wadeni wetu. Kwa maana MKIWASAMEHE watu makosa yao, na BABA yenu wa mbinguni ATAWASAMEHE ninyi. Bali MSIPOWASAMEHE watu makosa yao, wala BABA yenu HATAWASAMEHE ninyi makosa yenu.
....Mathayo 6:12, 14-15....
Hiyo ni kanuni, Na ni Kweli MUNGU anasamehe, lakini kwa kanuni aliyoiweka mwenyewe, Yaani MUNGU anasamehe, Lakini wewe unaweza kumzuia MUNGU asikusamehe, ingawa MUNGU yupo tayari kukusamehe, kwa sababu kanuni inasema......UNISAMEHE MIMI KAMA NINAVYOSAMEHE WENGINE.......kwa lugha nyingine USINISAMEHE kama Mimi SISAMEHI WENGINE, unazuia mwenyewe MUNGU asikusamehe.
.....Tutaendelea.....
Rejea
‭‭ “And forgive us our debts, as we have forgiven our debtors [letting go of both the wrong and the resentment]".
......Matthew‬ ‭6:12‬......
Ev. Erasmus Pascrates Kakiza
(WhatsApp: +255 782 546 914)
@2024 The year of my shining.
0 notes
kigalisight · 2 years
Text
Icyuka cy’ubwoba mu basirikare bakuru ba FARDC,
Icyuka cy’ubwoba mu basirikare bakuru ba FARDC,
Mu gisirikare cya FARDC, hakomeje gututumba umwuka w’ubwoba bikekwa ko hari abandi basirikare bakuru Bashobora gutabwa muri yombi bagasanga Lt Gen Philemon Irung Yav na Gen Cirumwami muri gereza ya Makala baheruka gutabwa muri yombi bacyekwaho gukorana n’umutwe wa M23. Mu gitondo cyo kuwa 20 Nzeri 2022, nibwo Lt Gen Philemon Yav wari ushinjwe operasiyo zo kurwanya M23 Akaba yari n’umuyobozi wa…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
magaratimes · 3 years
Text
#ActualiteCD. | Lac douard: Wavuvi wote wa Kongo waliozuiliwa nchini Uganda waachiliwa
#ActualiteCD. | Lac douard: Wavuvi wote wa Kongo waliozuiliwa nchini Uganda waachiliwa
Wavuvi wote wa Kongo waliokuwa bado wanazuiliwa nchini Uganda katika gereza kuu la Katwe, wilayani Kasese, wameachiliwa huru tangu Ijumaa, Novemba 26 asubuhi ya leo. Hii ni habari iliyothibitishwa kwetu na Bw. Aim Mukanda Mbusa, mashuhuri na mtetezi wa wavuvi wa Kongo kwenye maji ya Lac Douard. Kulingana naye, wavuvi hawa wote walioachiliwa huru wanatoka katika uvuvi wa Kiavinyonge (Douard Lake).…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
babadupdates · 3 years
Photo
Tumblr media
DKT. JINGU ATEMBELEA GEREZA KUU WANAWAKE KINGOLWIRA Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii, Dkt. John Jingu ametembelea Gereza Kuu la Wanawake la Mkono wa Mara, Kingolwira Mkoani Morogoro ikiwa ni sehemu ya ufuatiliaji wa ustawi na wanawake, Watoto na wazee wanaotumikia adhabu ya kifungo katika magereza mbalimbali nchini. DKt. Jingu amesema kuwa ziara hiyo ina lengo la kuwawezesha wataalam hao kutafuta ufumbuzi changamoto za jamii wakiwa na uelewa mpana kuhusu changamoto mbalimbali zinazoikabili jamii hasa makundi hayo maalum. Aidha amesema kuwa Sekta ya Maendeleo ya Jamii inajumuisha masuala yote yanayohusu wanawake, wazee na watoto kwahiyo ni muhimu kutafuta suluhisho la matatizo kwa watanzania wote bila ubaguzi na hivyo kuamua kufanya ziara katika magereza mbalimbali kuwasalimia na kuwasikiliza wafungwa. “Sisi tunashughulikia masuala yote ya Maendeleo ya Jamii wakiweno hawa waliko magerezani tukiwatembelea na kuwasikiliza tutakuwa katika nafasi nzuri ya kutafuta suluhisho la matatizo ya kijamii”alisema Dkt. Jingu. Kwa upande wake, Kaimu Mkuu wa Gereza hilo Mrakibu Msaidizi wa Magereza, Flora Mbalawa ameipongeza Wizara kwa hatua ya kufanya ziara na kusikiliza maoni na mapendekezo ya watumishi na wafungwa ili kutafuta namna bora ya kutatua changamoto za jamii. #BabadUpdates (at Baba d updates) https://www.instagram.com/p/CTThAcaqFJk/?utm_medium=tumblr
0 notes
touchrwanda · 3 years
Text
Burundi: Imfungwa 38 nizo zimaze kumenyekana ko zahitanwe n’inkongi y’umuriro muri gereza ya Gitega
Burundi: Imfungwa 38 nizo zimaze kumenyekana ko zahitanwe n’inkongi y’umuriro muri gereza ya Gitega
Amakuru aturuka mu gihugu cy’u Burundi aravuga ko imfungwa 38 ari zo zapfuye nyuma y’inkongi y’umuriro ikomeye yibasiye gereza nkuru ya Gitega mu murwa mukuru w’u Burundi. Ibitangazamakuru by’i Burundi bivuga ko iyi gereza yatangiye gushya mu ma saa kumi y’igitondo cyo kuri uyu wa Kabiri. Amashusho yakwirakwijwe ku mbuga nkoranyambaga yerekana zimwe mu nyubako z’iyi gereza zigurumana, imfungwa…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
sagesolar · 7 years
Photo
Tumblr media
Gereza Kilwa Fort by D-Stanley http://flic.kr/p/TVcr27
0 notes