#wivu
Explore tagged Tumblr posts
Text
26. Wivu
Wivu [ˈwi.vu] means “cute.” Like most Mindutme adjectives it is actually a noun (“something cute”), and was originally the diminutive of *wɛiv “(something) beautiful.” The base noun has fallen out of use, though, due to its modern form being a homophone with wiv “string,” from proto-Mindutme *wevɔ. Instead one might say “beautiful” as hwas [hʷɐs], pl. hwasr [ˈhʷɐ.sr̩], which literally means “flower.”
The noun wivu has different plurals depending on what is being referred to, as different noun classes pluralize differently. For humans, the plural is wivwak [ˈwiv.wək]; for nonhuman animate nouns, wivwen [ˈwiv.wen]. There are a few other possibilities for the other noun classes, but those are the most common forms and often speakers will use one of them even if another form is more grammatically correct. The forms shown above are wivu, wivwak, and wivwen.
9 notes
·
View notes
Text
Somo: TABIA 25 ZA KUEPUKA NA HATARISHI KWENYE MAISHA YAKO. (Part 17: UG...
youtube
Somo: TABIA 25 ZA KUEPUKA NA HATARISHI KWENYE MAISHA YAKO.
---------------------------------------------------
SUBSCRIBE (Tumaini Jipya Duniani Tv)
Https://youtube.com/@rwizakakiza?si=ewqb8Z8S1aeDwoRB
Sehemu: XVII.
----------------------
3. 7. 1. DALILI /VIASHIRIA /MATOKEO YA TABIA YA UCHAWI.
Tuendelee na dalili au viashiria au matokeo ya tabia ya Uchawi. Leo tuendelee na...
6. "MATAMBIKO - RITUALS"
Matambiko ni utekelezaji sadaka maalumu ili kutuliza mizimu, au mapepo. Mara nyingi matambiko hufanyika kwa kuambatana na KAFARA. Baadhi ya makabila huweza kuchinja wanyama, wengine hutumia pombe, Ndege, na hata watu na kadhalika. Kimsingi kafara linalotolewa katika tambiko hutegemea na kabila.
Ukweli matambiko haya ni chukizo kwa MUNGU, maana ni ibada ya kumwabudu shetani kupitia sadaka
......kwa kuwa waliwaalika hao watu waende SADAKANI, sadaka WALIZOWACHINJIA miungu yao; watu WAKALA chakula, WAKAISUJUDU hiyo miungu yao.
......Hesabu 25:2......
Huo ni uchawi uliojificha kwenye jamii nyingi, wakidhania wanatoa kwa MUNGU kumbe ni miungu, tambiko kuu ni moja tu lililofanywa na YESU KRISTO msalabani, kwa kifo na Ufufuko wake ilituonyesha njia bora ya kumwabudu MUNGU wa kweli na kuunganika naye kupitia kafara ya Damu yake na na sio miungu. Acha uchawi kwa kukimbia matambiko.
......YESU KRISTO ndiye kipatanisho kwa dhambi zetu; wala si kwa dhambi zetu tu, bali na kwa dhambi za ulimwengu wote.
......1Yohana 2:2....
7. KUPANDISHA ROHO.
Kupandisha roho ni kuita majini au kuita mizimu yaani kuita mapepo ambayo huja kwa ajili ya Uaguzi au kutatua jambo fulani. Kama ilivyo kwa Wateule wa MUNGU kutumiwa na ROHO MTAKATIFU, ndivyo ilivyo kwa shetani naye uigiza vile vile. Waganga na wachawi utumia njia hii yaani kuuliza kwa mizimu.
Wenye roho hizi, ndio hupandisha mashetani ili yafanye kazi ya kuagua. Hatua hii uunganisha nafsi zao na mapepo (mizimu /majini) na kujenga ushirika wa kina na shetani badala ya YESU KRISTO. Kumbuka hata kama wataagua Ukweli, ni shetani kajigeuza malaika wa nuru ili akunase, kimbia uchawi, mkimbilie YESU.
8. "UNAJIMU - ASTROLOGY"
Unajimu ni Elimu au mafundisho ya uaguzi inayotegemea imani ya kwamba nyota, mwezi, na sayari huathiri maisha ya wanadamu duniani kwa kiwango kikubwa. Wanajimu wanaamini kwamba utu na maisha ya wakati ujao ya mtu hutegemea mahali ambapo nyota, mwezi, na sayari zilikuwa wakati anazaliwa. Kama unafatilia na unaishi kwa Elimu ya nyota ni kuishi uchawi bila kujua na chukizo kwa MUNGU.
......Kumb 18:10-12....
Kuathirika kimaisha yajayo Kibiblia Inategemea maamuzi yako ya leo kutegemea unajimu (miungu) au kumtegemea MUNGU.
.....Nanyi kama mkiona ni vibaya kumtumikia BWANA, chagueni hivi leo mtakayemtumikia; kwamba ni miungu ile ambayo baba zenu waliitumikia, au kwamba ni miungu ya watu ambao mnakaa katika nchi yao; lakini mimi na nyumba yangu tutamtumikia BWANA.
......Yoshua 24:15....
9. "ULOZI - BEWITCH"
Ulozi ni kitendo cha kumloga mtu, kumfanyia uchawi mtu na kuharibu maisha yake. Hapa wapo wengi wanaofanya uchawi bila kujua alafu wanakemea uchawi kumbe ni wao.
Kufikia kiwango cha kumloga mtu kuna vitu ndani yako vinavyosababisha uwe mchawi ambavyo ni HASIRA, KISASI, KUTOKUSAMEHE, CHUKI, CHOYO na WIVU WA TAMAA MBAYA. Vitu hivi vikiwemo ndani yako ni uchawi tosha, maana uchawi wote huanzia kwenye misingi hiyo sita.
Hivyo kuloga kunaanzia ndani ya mtu, alafu kuchukua hatua ya kuloga ni kukamilisha uchawi uliomo ndani yake. Kimbia uchawi.
10. "UGANGA"
Uganga ni roho kamili na yenye uwezo, inayotenda kazi kutoka ulimwengu wa giza kwa kumtumia mtu. Hakuna anayeumbwa akiwa mganga ila roho ya Uganga umwingilia kutokana na makubaliano /maagano yaliyopo kati ya shetani na kabila, ukoo, familia au mtu mwenyewe.
Wanasema 'wapo waganga wazuri na wabaya' kibinadamu ni sawa, lakini kiroho wote ni sawa ila wanakazi tofauti yaani (kuna Mganga anayetibu, anayeagua, anayetoa adhabu, anayeyeloga, nk).
Usidang'anyike maana unaweza kukutana na anayetibu na ukapona, utasifia huduma zake, lakini jiulize anatumia nguvu za MUNGU au za kuzimu?
Waganga wa jadi hutumikia majukumu mengi kama walezi wa dini na mila za kitamaduni za Kiafrika, waelimishaji kuhusu utamaduni, washauri, wafanyakazi wa kijamii na wanasaikolojia na kwa Uaguzi wao kugundua chanzo cha shida ili kuiondoa. Hii ni nzuri lakini ni roho ipi inayowatumia?
Ukinasa kwenye Uchawi na Uganga, Ni vigumu kutoka, YESU KRISTO pekee ndiye mwenye uweza wa kukuokoa. Mkimbilie YESU KRISTO leo.
3. 8. TABIA YA 8: "UCHAFU - DIRT"
......Tutaendelea......
________________________________
Rejea
"If it is unacceptable in your sight to serve the LORD, choose for yourselves this day whom you will serve: whether the gods which your fathers served, or the gods whose land you live; but as for me and my house, we will serve the LORD.”
.....Joshua 24:15.....
________________________________
For help:
Ev. Erasmus Pascrates Kakiza
+255 782 546 914
+255 764 215 291
@2024 The year of my shining.
0 notes
Text
Mungu huwapinga wajikuzao, bali huwapa neema wanyenyekevu
Enyi wazinzi, hamjui ya kwamba kuwa rafiki wa dunia ni kuwa adui wa Mungu? Basi kila atakaye kuwa rafiki wa dunia hujifanya kuwa adui wa Mungu. Au mwadhani ya kwamba maandiko yasema bure? Huyo Roho akaaye ndani yetu hututamani kiasi cha kuona wivu? Lakini hutujalia sisi neema iliyozidi; kwa hiyo husema, Mungu huwapinga wajikuzao, bali huwapa neema wanyenyekevu. Yakobo 4:4-6
View On WordPress
0 notes
Text
Azam FC na hekaheka, bila wivu kwa Yanga, Simba
Kila msimu Azam Fc wamekuwa na hekaheka nyingi lakini ufanisi wao bado hauridhishi kabisa… JUHUDI zinazofanya na timu za Nyumbani Tanzania wakati wa usajili huwa zinawavutia wengi. Kati ya wengi hao TANZANIASPORTS imekuwa ikifuatilia na kufanya tathmini ya utendaji wa wachezaji, makocha na viongozi wa vilabu vya Ligi Kuu Tanzania. Kwa misimu kadhaa sasa mabwanyenye wa Chamazi, Klabu ya Azam Fc…
View On WordPress
0 notes
Text
is oke u can bite us UwU we got da UwU wivus thewes not much ^w^ u can do to huwt us :3
gowod nyite, evewyone!11 ^w^
I'm gyoing to bed, I'm eepy :³
240 notes
·
View notes
Photo
Warumi hawakumsulubu Yesu kwa sababu ya Yeye kuwa Mfalme na Mwana wa Mungu. Bali walimsulubu Yesu kwa sababu ya wivu. Yesu alikuwa maarufu zaidi kuliko Warumi. #wivu #jelousy #warumi #romans #yesu #jesus https://www.instagram.com/p/BzLrAzPBgmz/?igshid=1izmuud0apw91
0 notes
Note
hai do u hav time to ansvew some of >w< ouw questions? Vewe wery sowwy fow dis UwU we have da UwU wivus OwO
we have been summoned under the report of an anomalous entity being in this blog. Please do not interfere with our work as we’re protected under the fourth amendment of the gimmick verse constitution and will be forced to terminate you.
*crab walks away*
19 notes
·
View notes
Text
28. Levún
Levún [le.ˈvun] means “perfect,” “ideal,” “best,” etc. It is the superlative form of livo [ˈli.vo] “good.” Like most other Mindutme adjectives it is actually a noun, so it has a plural: levonál [le.vo.ˈnɐɫ]. Unlike some other adjective-ish nouns (like wivu “cute”), which have different plurals depending on the noun class of the referent, levún has only one plural. This is because superlative forms in proto-Mindutme were formed with the suffix *-nɑh, derived from the word for “front” (naqh [nɐꭓ] in modern Mindutme, pl. naqhl [ˈnɐ.ꭓɫ̩]). Superlatives formed in this way tend to belong to the same noun class as naqh (class 7, used for abstract nouns, among other things) and therefore pluralize differently than their base forms.
Tṣofkwot u fi Levuna levún. “My pet cat Levuna is perfect.”
4 notes
·
View notes
Text
10min in2 the conjuring 2 y is 1st year hermione havin a ciggy
#the conjuring 2#also plsss don’t tell me the entire 1st scene was j 2 set up another movie pls god#r thehr any spirts here that want 2 communicae wivus#jeeesus christ
0 notes
Text
Somo: TABIA 25 ZA KUEPUKA NA HATARISHI KWENYE MAISHA YAKO (Part 11: DALI...
youtube
Somo: TABIA 25 ZA KUEPUKA NA HATARISHI KWENYE MAISHA YAKO.
---------------------------------------------------
SUBSCRIBE (Tumaini Jipya Duniani Tv)
Https://youtube.com/@rwizakakiza?si=ewqb8Z8S1aeDwoRB
Sehemu: XI.
----------------------
3. 5. 1. DALILI /VIASHIRIA VYA TABIA YA UBINAFSI.
1. "UCHOYO - GREED".
Uchoyo ni hali ya kutopenda kuwapa watu vitu vyako. Uchoyo unazalisha tabia za ubinafsi zaidi kama vile Kutorosha na kuhifadhi vitu, wizi, hasa kwa kutumia jeuri, hila, au mamlaka yako kunyanyasa wengine.
.....YESU akawaambia, Angalieni, jilindeni na choyo, maana uzima wa mtu haumo katika wingi wa vitu vyake alivyo navyo.
.....Luka 12:15.....
Tabia ya Ubinafsi inazalisha uchoyo wenye pupa ndani yake. Pupa ni tamaa isiyo na kifani, isiyoshibishwa ya kujikusanyia pesa, mamlaka, na usalama kwa kadiri ambayo inashinda uadilifu wa kiadili, na hata utimilifu wa kiroho yaani vitu vizuri vyote ni vyake.
.....Maana watu watakuwa wenye KUJIPENDA wenyewe, wenye KUPENDA FEDHA, wenye KUJISIFU, wenye kiburi, wenye kutukana, wasiotii wazazi wao, wasio na shukrani, wasio safi
.....2Timotheo 3:2.....
Uchoyo ni hamu ya kupindukia ya mali nyingi na kujilimbikizia na kukosa ukarimu. Tabia hii ni hatari kwenye maendeleo ya wengine na nchi pia.
2. "KUTOJALI - CARELESSNESS".
Kutojali ni tabia ya kukosa shauku ya kusaidia wengine ukijitanguliza wewe na kutopendezwa na wengine na hatima yake kuwaongezea Uchungu waathirika.
Unapokosa kumjali mtu kwa sababu ya ubinafsi kinachotokea kwa mtu ni maumivu na machungu ambayo yanaweza kuleta madhara makubwa mno kwa sababu mtu mwenye Uchungu ndani yake anapungukiwa neema ya kustahimili.
.....Mkiangalia sana mtu ASIIPUNGUKIE NEEMA ya MUNGU; shina la UCHUNGU LISIJE likachipuka na kuwasumbua, na watu wengi wakatiwa unajisi kwa hilo.
.....Ebrania 12:15.....
3. "KIJICHO - ENVY".
Kijicho ni hisia au kilema kinachomfanya binadamu ASIKITIKIE mambo MEMA waliyonayo wengine na kuona kwanini sio Mimi, Yaani kutofurahia kabisa mafanikio ya mtu mwingine iwe kiroho, kimwili, kiuchumi, kiafya, kielimu, kiutawala na kadhalika hata kutofurahia hata pale anaposifiwa kwa jambo jema alilolifanya unatamani ungesifiwa wewe kwa nini yeye.
.....Wanawake wakaitikiana wakicheza, wakasema, "Sauli amewaua elfu zake, Na Daudi makumi elfu yake". Basi Sauli AKAGHADHIBIKA SANA, na maneno haya YAKAMCHUKIZA; akasema, Wamempa Daudi makumi elfu, na mimi wamenipa elfu tu; kuna nini tena awezayo kupata, isipokuwa ni ufalme?
......1Samweli 18:7-8.....
4. "KUTAKA UTAMBULISHO".
Mtu mwenye tabia ya Ubinafsi anahitaji cheo yaani kujitambulisha. Utamwonaje, ndani yake anakosa utulivu atafanya jitihada za kujipitisha kujionyesha kufanya hiki na kile ilimradi watu wamwone ili wampongeze kwa jitihada zake, lakini akiwa peke yake hajitumi ila anajituma wakiwepo watu ili wamwone na wengine waonekane hawatendi au hawana msaada wowote ila yeye tu.
.....Angalieni MSIFANYE WEMA wenu machoni pa watu, KUSUDI MTAZAMWE na WAO; kwa maana mkifanya kama hayo, hampati thawabu kwa Baba yenu aliye mbinguni.
.....Mathayo 6:1......
Kiujumla tabia ya ubinafsi ni kikwazo kikubwa sana cha maendeleo ya watu, Taifa na mtu binafsi mwenye wivu, Ubinafsi unaleta ugomvi na masingizio mengi na kuelekea wengine kupoteza haki zao na hata maisha yao.
Je wewe ni mbinafsi? Epuka na Omba msaada kimbia tabia ya Ubinafsi maana ni HATARISHI kwenye maisha yako.
......Wabinafsi hufunga mizigo mizito na kuwatwika watu mabegani mwao; wasitake wenyewe kuigusa kwa kidole chao. Tena matendo yao yote HUYATENDA ili KUTAZAMWA na WATU; kwa kuwa hupanua hirizi zao, huongeza matamvua yao; HUPENDA viti vya mbele katika karamu, na KUKETI MBELE katika masinagogi, na KUSALIMIWA masokoni, na KUITWA na watu, Rabi.
.....Mathayo 23:4-7....
3. 6. TABIA YA 6: "UFISADI - CORRUPTION"
......Tutaendelea......
________________________________
Rejea
"“Be [very] careful not to do your good deeds publicly, to be seen by men; otherwise you will have no reward [prepared and awaiting you] with your FATHER who is in heaven"
.....Matthew 6:1....
________________________________
For help:
Ev. Erasmus Pascrates Kakiza
+255 782 546 914
+255 764 215 291
@2024 The year of my shining.
0 notes
Text
Vita vyatoka wapi
Vita vyatoka wapi, na mapigano yaliyoko kati yenu yatoka wapi? Si humu, katika tamaa zenu zifanyazo vita katika viungo vyenu? Mwatamani, wala hamna kitu, mwaua na kuona wivu, wala hamwezi kupata. Mwafanya vita na kupigana, wala hamna kitu kwa kuwa hamwombi! Hata mwaomba, wala hampati kwa sababu mwaomba vibaya, ili mvitumie kwa tamaa zenu. Neno hili linatuonyesha chanzo cha migogoro na vita ndani…
View On WordPress
0 notes
Text
Fid Q Ft Mapanch Bmb – Wivu (MP3 DOWNLOAD)
https://ift.tt/32aON9B
A neatly-revered and in style Tanzanian heavyweight hip hop recording artist, Fareed Kubanda on the 13th of August 1982 in Mwanza A.K.A Fid Q is support with a imprint fresh Hip Hop banger tagged Wivu, that contains Mapanch Bmb. RELATED: Fid Q – ROHO Toes Christian Bella QUOTABLE LYRICS Ooh no.. tuko pamoja toka very prolonged timeNa mie nina WIVU […]
AfroJuke - Download Mp3, Latest Naija Music, Latest Bongo flava, South African, Ghana Music & More!
from AfroJuke https://ift.tt/32PARCm
0 notes
Text
Ajiua kwa kujichoma Moto Baada ya Kumfumania Mke
Hashimu Selemani maarufu Chikwisu mkazi wa Mtaa wa Julia Newala Mjini Mkoani Mtwara amefariki dunia baada ya kujimwagia mafuta ya petrol mwilini na kujichoma moto chanzo kikitajwa kuwa ni ugomvi wa kimapenzi na Mkewe. Mtoto wa Marehemu Msafiri Hashimu amesema chanzo cha Baba yake kujiua ni baada ya kumfumania Mkewe na Mchepuko wiki moja iliyopita ambapo baada ya tukio hilo hakuwa sawa hadi…
View On WordPress
0 notes
Photo
[New Audio] Rocka Chi Feat. Zuchu – WIVU Rocka Chi Feat. Zuchu - WIVU Download Audio
0 notes
Photo
Usimcheke wala kumdharau abiria aliyesimama tangu mwanzo wa safari. Wakati wake wa kupata kiti bado, lakini yumo safarini! Hivi majuzi nilisoma post moja humu instagram inayofanana na ujumbe mzito alioniusia Marehemu Mama yangu Mangowi (R.I.P Maa) kuhusu maisha. Posti hiyo ilinigusa (sikumbuki nani aliposti) na kunikumbusha maneno ya Mangowi kuhusu maisha, kazini na hata kwenye shughuli za kijamii au biashara, hata siasa pia. Alilinganisha shughuli hizo Na safari ya basi. “Maisha ni kama kuwa kwenye safari ya basi lililojaa tangu umeanza safari (ajira, biashara, siasa, utumishi katika dini nk). Usimcheke aliyekosa kiti Na akashika bomba tangu mwanzo hadi mwisho kwa vile umekaa kwenye kiti, kila mtu ana bahati yake, wakati wake na muda wake maalumu kupata kiti akae”, alisema Msheku. Majuzi nilifikiria sana huu ujumbe Baada ya kuulizwa swali Na wenzangu kuwa lini na wao watatambulika na kuonekana kama wengine? Niliwajibu kuwa kila mtu amepangiwa maisha yake na inahitaji subra wakati wako ufike. Nilitoa mfano wa wasafiri kwenye basi la mwendokasi kutoka mbezi mwisho hadi kivukoni. Niliwaambia Usimuonee wivu aliyepandia Mwembechai na kupata kiti hapo hapo baada ya mwingine kushuka. Endelea kushika Bomba, Bado uko safarini, muda wako wa kupata kiti bado. Aliyepandia Mwembechai, anaweza kushuka Magomeni na mwingine akapanda na kupata kiti. Usipate wivu, endelea kushika bomba bado muda wako. Hata ikitokea ukafika mwisho wa bus Kivukoni bila kupata kiti, isikusumbue, shuka na endelea na mambo yako. Ndivyo maisha yalivyo. Kutokupata kiti hakuzuii wewe kufika mwisho wa safari. Na waliokaa kwenye viti sio muhimu kuliko wewe, ni wakati wao, ikuwa wakati wako Na wewe utapata kiti. Ridhika na nafasi yako katika maisha, kazini, kwenye huduma, biashara na hata darasani. Endelea kushika bomba, muda wako wa kupata kiti utafika, usipopata kiti usiumie, shika bomba umalize safari yako. Ungejua wanayopitia waliokaa, unaweza usitamani kukaa. Viti vingine vibovu vinaumiza, wengine watashuka kabla yako, wengine watashushwa kwa simu za dharura nk. Songa mbele na safari yako. Hata ukikanyagwa wakati umesimama, vumilia, kila safari ina mwisho. Wote tuko safarini. https://www.instagram.com/p/CPe4FDwsWBI/?utm_medium=tumblr
1 note
·
View note
Text
Kibali!
Maswali yatakayokusaidia
Mathayo 17: 19 Mbona sisi hatukuweza kumtoa ?
Mwanzo 4:7 [7]Kama ukitenda vyema, hutapata kibali?
Ukiona hauna Kibali katika eneo fulani, usianze kupigana na kupambana na wenye kibali juu ya hilo eneo – Kazi yako ni kutenda vyema.
UKITENDA VYEMA Utapata kibali, wala haina haja ya kufanya mambo yakawa magumu.
Wanafunzi waliona namna Yesu anafanya VYEMA, YESU ALIKUWA…
View On WordPress
0 notes