#watunistory
Explore tagged Tumblr posts
hamissihamzajr · 3 years ago
Photo
Tumblr media
Street Class📚📚📚 Bibi Na Babu Zetu wa kiafrika Ni alama na mfano Halisi wa upendo wa dhati katika maisha, Wametupigania kwa kututengenezea Misingi bora na Imara ya kesho zetu kwa vile vidogo walivyobarikiwa na Mwenyezi Mungu kusupport ndoto zetu, Hakika Michango yao katika maisha yetu ina thamani zaidi ya madini yeyote yale na Busara zao zimetufanya tuishi kokote na yeyote yule kwa upendo, Walitusimulia,Walitufunza,Walitujali, Na Hakika Hazina walizotuachia daima zitaishi moyoni na damuni kwetu. Mwenyezi Mungu Awape Maisha marefu zaidi ya furaha ,amani,na baraka tele na kwa wale waliotangulia mbele za Haki Mwenyezi Mungu Awajalie Nuru ya milele katika makaburi yao. Amen". NB:NaniKamaBibi,NaniKamaBabu, #KopaKwaBibiKopaKwaBabu. #Tuwatembelee". #WasafiMedia #DiamondPlatnumz #Millardayo #Djtee255 #Watunistory #Malisa_gj #abby1thebest (at Kisesa, Mwanza, Tanzania) https://www.instagram.com/hamissihamzajr/p/CON-QVvomzK/?utm_medium=tumblr
1 note · View note
hamissihamzajr · 3 years ago
Photo
Tumblr media
DUNIA YA KARNE YA 21 🌍🌍🌍 Huku Zinaa ndio Ujanja,UchaMungu ndio ushamba", Mtoto kumtukana mzazi au mtu aliyemzidi umri ni kawaida", Huku kuvaa Nusu uchi ndio Urembo na Usharobaro,Wazee kujiona vijana na vijana kujiona watoto ndio usasa, Kusengenya,Kudanganya,Kutapeli, kudanga,Kutafuta mashuga mamy,Ulevi, Si wazazi, Si walezi,Si wazee,Na wala si Jamii Hakuna anae kumbuka kupuliza Tarumbeta la maadili kila mtu yupo bize na nini kitatrend Leo, Vijana watia Huruma wazee wanatia Simanzi", Uelekeo wa Dunia ya sasa unafikirisha sana ,Dunia hii sio sehemu salama tena ya kukimbilia Bali imekua sehemu Hatari sana ya kuikimbia", Wazazi,Walezi,Jamii na Serikali kwa ujumla nawakumbusha tu Majuto hua ni mjukuu na Mahakimu wa maisha yetu ni sisi wenyewe,Tukipanda uovu Kesho tutavuna kizazi kilichojaa Laana na kisicho na Hofu na Muumba Ni Either tuzibe nyufa au tusubiri Tuje tujenge ukuta". #VoiceForMoralChange #GodIsOpenDoors @Millardayo @JamiiForums @Wasafimedia @cloudsmedia @Efm @Malisa_gj @Djtee255 @watunistory @watupipo https://www.instagram.com/p/CXoYScWoNz3/?utm_medium=tumblr
0 notes