hamissihamzajr
African Group CVO, Intelligent Investor.
6 posts
Don't wanna be here? Send us removal request.
hamissihamzajr · 3 years ago
Photo
Tumblr media
SHITUKA😧😧😧 Unadhani kampuni za pepsi na cocacola hazifahamu kwamba ukiwa unakunywa soda zao utahitaji mlo au kitafunio kwa pembeni??? Unadhani kampuni za apple, Infinix na Samsung Hazijui kwamba ukiwa unatumia simu zao unahitaji Laini na pamoja na vocha!!! Unafikiri kampuni za Tesla,Jaguar na Toyota hazifahamu kabisa ukihitaji kutumia gari zao utahitaji na mafuta au umeme ili zitumike??? Hayo yote wanayafahamu ila tu wameamu a kusimama upande ambao wako solid sana,wana creativity kubwa na wana strength ya kushindana na kampuni yeyote ile na kuendelea kufika mbali zaidi", Hivyo kila fursa ni fursa,kila idea ni idea,ila ni vyema zaidi kufocus na vitu vichache ambavyo utavijua nje - ndani,utavijua chini - juu na utakua solid,na utakua na uwezo wa kucompete na kampuni,Taasisi au mtu yeyote yule na Wewe au kampuni au Taasisi yako ikaendelea kusurvive kwa miaka mingi zaidi bila kupoteza soko au wateja wako". #Changes #NgaziJuuYaNgazi #GodIsOpenDoors https://www.instagram.com/p/CZWEj6Sqlp6/?utm_medium=tumblr
0 notes
hamissihamzajr · 3 years ago
Photo
Tumblr media
NAWAPA MASHAVU WANA💪💪💪 Kijana si wakati wa ghetto lako kuwa Guest ya kufanyia uchafu na maovu ya wewe na rafiki zako", Sio Genge la kupigia story za nani Leo katrend au video ya nani leo imevuja,wala sio sehemu ya kubishania mambo yasiyo na maana wala faida kwako", Hizi ni zama za ghetto lako kuwa strength point yako kwanza,Liwe chimbo lako la kujifunzia na kujiwekea madini expensive kwenye kichwa chako", Yaani Mipango yako yote mikali na ya maana ianzie chumbani kwako", Tengeneza mini office chumbani kwako, Tengeneza mini library chumbani kwako then put what you thought on a table suka mikakati mikakati ya nguvu alafu njoo mtaani Tupindue meza". #Changes #NgaziJuuYaNgazi #GodIsOpenDoors https://www.instagram.com/p/CYOE1wNIWro/?utm_medium=tumblr
0 notes
hamissihamzajr · 3 years ago
Video
MSOTO 💔💔💔 Yes Kipindi ambacho ukiangalia mfuko wako wa suruali/Sketi Hauna hata mia mbovu", Kipindi ambacho nyumbani hakukaliki,Mtaani hakukamatiki,Tumboni ndio kabisa Hakuambiliki", Kipindi ambacho kila mtu ashikufanya dustbin ya mineno ya kejeli,Mineno ya shombo,Mineno ya dhihaka,Na mineno ya karaha kila mfano mbovu na mbaya katika jamii ni kwako", Kipindi ambacho kila mtu alishakutenga Ndugu wanakuona Mzigo,Marafiki wanakuona kituko Hakuna anaekuamini,Hakuna anaekuthamini,Hakuna anae kusikiliza", Aisee Hakuna kukata Tamaa,Hakuna kusalenda Umasikini hauvumiliki,Jukumu la kujipambania na kuwapambania watu wako muhimu (wazazi) ni lako mwenyewe na si wengine kwa namna yeyote ile pambana mpaka meza ipinduke maana ndoto ya mtoto wa mtaa haijawahi kufa kirahisi". #Changes #NgaziJuuYaNgazi #GodIsOpenDoors https://www.instagram.com/p/CXxhUtDIOlx/?utm_medium=tumblr
0 notes
hamissihamzajr · 3 years ago
Photo
Tumblr media
DUNIA YA KARNE YA 21 🌍🌍🌍 Huku Zinaa ndio Ujanja,UchaMungu ndio ushamba", Mtoto kumtukana mzazi au mtu aliyemzidi umri ni kawaida", Huku kuvaa Nusu uchi ndio Urembo na Usharobaro,Wazee kujiona vijana na vijana kujiona watoto ndio usasa, Kusengenya,Kudanganya,Kutapeli, kudanga,Kutafuta mashuga mamy,Ulevi, Si wazazi, Si walezi,Si wazee,Na wala si Jamii Hakuna anae kumbuka kupuliza Tarumbeta la maadili kila mtu yupo bize na nini kitatrend Leo, Vijana watia Huruma wazee wanatia Simanzi", Uelekeo wa Dunia ya sasa unafikirisha sana ,Dunia hii sio sehemu salama tena ya kukimbilia Bali imekua sehemu Hatari sana ya kuikimbia", Wazazi,Walezi,Jamii na Serikali kwa ujumla nawakumbusha tu Majuto hua ni mjukuu na Mahakimu wa maisha yetu ni sisi wenyewe,Tukipanda uovu Kesho tutavuna kizazi kilichojaa Laana na kisicho na Hofu na Muumba Ni Either tuzibe nyufa au tusubiri Tuje tujenge ukuta". #VoiceForMoralChange #GodIsOpenDoors @Millardayo @JamiiForums @Wasafimedia @cloudsmedia @Efm @Malisa_gj @Djtee255 @watunistory @watupipo https://www.instagram.com/p/CXoYScWoNz3/?utm_medium=tumblr
0 notes
hamissihamzajr · 3 years ago
Photo
Tumblr media
Street Class📚📘📚 Dunia Haina Huruma kwa yule mwenye sababu za kwanini Hawezi", Itamkanyaga,itamkaanga,itampondaponda na Kumuua akiwa na miaka 20 na kumzika akiwa na miaka 75", Ni lazima utafute Wapi Pakutokea Sio kwanini Huwezi Kutoka". #Changes https://www.instagram.com/p/CQvqJPdFuAv/?utm_medium=tumblr
0 notes
hamissihamzajr · 3 years ago
Photo
Tumblr media
Street Class📚📚📚 Bibi Na Babu Zetu wa kiafrika Ni alama na mfano Halisi wa upendo wa dhati katika maisha, Wametupigania kwa kututengenezea Misingi bora na Imara ya kesho zetu kwa vile vidogo walivyobarikiwa na Mwenyezi Mungu kusupport ndoto zetu, Hakika Michango yao katika maisha yetu ina thamani zaidi ya madini yeyote yale na Busara zao zimetufanya tuishi kokote na yeyote yule kwa upendo, Walitusimulia,Walitufunza,Walitujali, Na Hakika Hazina walizotuachia daima zitaishi moyoni na damuni kwetu. Mwenyezi Mungu Awape Maisha marefu zaidi ya furaha ,amani,na baraka tele na kwa wale waliotangulia mbele za Haki Mwenyezi Mungu Awajalie Nuru ya milele katika makaburi yao. Amen". NB:NaniKamaBibi,NaniKamaBabu, #KopaKwaBibiKopaKwaBabu. #Tuwatembelee". #WasafiMedia #DiamondPlatnumz #Millardayo #Djtee255 #Watunistory #Malisa_gj #abby1thebest (at Kisesa, Mwanza, Tanzania) https://www.instagram.com/hamissihamzajr/p/CON-QVvomzK/?utm_medium=tumblr
1 note · View note