#raymond zaidi
Explore tagged Tumblr posts
Text
Raymond had the day off and decided to spend the day with his daughter. Julietta has a myriad of questions, she's extremely curious about the growth of the main city.
12 notes
·
View notes
Photo
Tawi la Kolonia Santita nchini Ufaransa na nchi zote za Ulaya ya Magharibi kama Ubelgiji, Austria, Lishenteni, Lasembagi, Monaco na Uholanzi, na baadhi ya nchi za Ulaya ya Kusini kama Hispania, Ureno, Italia, Korasia na Romania, CS-PARIS, njama ya kifo cha Mpelelezi wa Tume ya Dunia John Murphy Ambilikile ziliposukwa; chini ya Gaston Pierre Bastarache, ‘The Circuit’, kiongozi mtukutu wa CS-Paris. Kujenga urafiki na wanasiasa wakati mwingine ni kitu kizuri, wanasaidia kurahisisha mambo. Gaston Pierre Bastarache anaitwa ‘The Circuit’ kwa sababu ya kujuana na wakubwa na kwa sababu hiyo ameiletea Kolonia Santita heshima kubwa miongoni mwa magenge ya madawa ya kulevya duniani kote. Bastarache ndiye aliyepewa jukumu la kuangusha ndege ya shirika la ndege la Ufaransa, Air France Flight 279 Boeing 747-400, ndege ya Murphy, huko Uholanzi mnamo mwaka 1992. Ana umri wa miaka arobaini. Ana mke na mtoto mmoja. Makao Makuu ya CS-Paris ni St Germain Boulevard, Paris, nyumbani kwa jambazi wa Kolonia Santita aliyeangusha ndege ya Air France 279 kwa bomu la saa Roger Prideaux, karibu na ukingo wa kushoto wa Mto Seine (La Sorbonne, Chuo Kikuu cha Paris) na kanisa kongwe kuliko yote mjini Paris la Saint Germain-des-Pres. Hapo mipango yote ya kumuua Murphy ilifanyika kwa msaada wa jasusi wa kike aliyekwenda Tanzania kumpeleleza John Murphy lakini akaishia patupu – ‘Delfina Moore’ – na kwa msaada wa vifaa vya kutengenezea mabomu kama vile redio (Toshiba RT-SF 16 ya spika moja), sanduku, vyuma, nyaya, baruti, saa, n.k., vitambulisho na silaha kadha wa kadha za kujiendesha zenyewe. CS-Paris ina viongozi tisa: Gaston Pierre Bastarache ‘The Circuit’, Raymond Marse, Roger Prideux ‘The Dynamite’, Sebastian Garnier, Bernadette ‘Dirty Bee’ Kirouac Santere, Colette Nageotte, Marie Pessin Payan, Monique Desmarais, na Patricia Boicourt. Wote hawa ni wanachama hai wa Kolonia Santita, miongoni mwa wanachama hai zaidi ya 450,000 duniani kote, waliokula Kiapo cha Swastika cha Kolonia Santita nchini Meksiko. - -Enock Maregesi, mwandishi wa Kolonia Santita https://www.instagram.com/p/Bxz65vmh6ku/?igshid=x7ria3ezae9l
0 notes
Photo
HEART EYES 74 Leandra anaongea kwa furaha sana baada ya mahusiano yake na mama yake kurudi zaidi ya zamani Imekuaje baby I'm so happy baby I can feel that Leo mama kanifata ofisini mwenyewe akaniambia mi ni mtoto wake mkubwa wakike na rafiki yake amejua kuwa kilichompata mdogo wangu sio kama nilishindwa kumsaidia ila ni sheria yenyewe, anamabadiliko makubwa huko gerezani amekua mcha Mungu na amemuomba mama asiwe na hasira na mtu yoyote kwa ajili yake kwani yeye anafurahia kukaa maisha yake yote gerezani What? That's it baby nimetua mzigo mkubwa sana leo Happy for you wife so nikufate site No mama anaishangaashangaa nyumba yetu hapa then tunaenda nyumbani just go home naomba leo nilale nyumbani Ok no problem baby Leandra anaenda na mama yake nyumbani, baba yake anafurahi sana kuona familia yake imekaa sawa baada ya miaka miwili ya kashikashi, Leandra anajifungia chumbani anamuelezea mambo mengi waliofanya na Feroz kama kufungua biashara ambayo wote wawili ni wamiliki pamoja na nyumba ambayo pia ina majina yao kwenye hati yake. Mama yake anafurahi sana na kumuomba mwanae amuwie radhi kwa kutaka kumkosesha mwanaume mzuri, anampa pole ya miscarriage na kumtia moyo hata yeye mimba yake ya kwanza iliharibika Leandra anapata amani Sasa nataka kumuona mkwe wangu rasmi umeshakua kama nyumba mnayo, sijui gari na takataka zote vipo mwambie mkwe ajiandae mwezi huu usiishe hajaja nyumbani nimuone kwanza kabla ya washenga Haha mama mbona haraka hivyo Hakuna cha kusubiri Wanacheka na kuongea hadi saa 7 usiku, Leandra na Latoya mdogo wake anaempenda sana shemeji yake Feroz wanalala pamoja siku hiyo Jamani na mimi sijui niyajenge na Larry Latoya anamtania dada yake kwani wamekua karibu sana na mdogo wake Feroz toka wajuane, na mara zote Larry akiwa anakuja Dar mtu wa kwanza kujua ni Latoya Una wazimu yaani tuolewe nyumba moja Sio dhambi my dada Haha Ila Lea dada angu nitafurahi sana ukifunga ndoa na Feroz mi simpendi Raymond jamani Haha wacha Kweli, my Shem ni waukweli utamfananisha nini na yule andazi Haha I just love their small family, ujue Larry amekua rafiki yangu sana kiasi kwamba I no longer trust my girlfriends amekua sehemu ya maisha yangu ni muwazi na hana tamaa...
0 notes
Text
By no means is this the "first" night, but its certainly the first night as a married couple. Let's hope for some noble babies!
8 notes
·
View notes
Text
The spring season comes to a close as Raymond gets home exhausted. A recent promotion has made it so he works later, and the change is a struggle. Aisha finishes the round with spending some time with her youngest children, a rare luxury she's hardly been able to enjoy this round
#aisha zaidi#raymond zaidi#haziqa zaidi#mustafa zaidi#julietta velaquez#zaidi#hadria#criladith round 2#criladith
7 notes
·
View notes
Text
With that, Raymond Gothswin becomes the new Lord Consort to Aisha Zaidi! They are our last noble couple to get married :).
Bonus, all of the sims that were invited to the wedding! The manor was packed!
#aisha zaidi#raymond gothswin#raymond zaidi#zaidi#hadria#criladith#criladith round 2#ts2 medieval#sims 2 gameplay#sims 2 medieval
10 notes
·
View notes
Text
Cuties
7 notes
·
View notes
Text
#raymond zaidi#aisha zaidi#julietta velaquez#najya the dog#zaidi#hadria#criladith#criladith round 2#sims 2#sims 2 medieval#sims 2 gameplay
7 notes
·
View notes
Text
The Zaidi's also hire Iona Macleod to be their servant, she rather eager to see all the fancy inventions these nobles have. She's not as business savvy as Danielle was but she'll do to tend to the chores and cook the meals.
8 notes
·
View notes
Text
This is a, turn of events that I forgot about.
5 notes
·
View notes
Text
The Lady and Lordship spend their evening in each other's company, meanwhile Iona enjoys a night in the living area of the servants quarters. Yvonne Marniok is the wife of our jailer :)
#iona macleod#Yvonne Marniok#aisha zaidi#Raymond Zaidi#Najya the dog#zaidi#hadria#criladith#ts2 medieval#criladith round 2
6 notes
·
View notes
Text
Raymond returns home in the early afternoon, just in time to rise his toddlers from their nap and help them skill
Lady Aisha returns home hours after a disappointing day at work. My nobles STRUGGLE to get promotions. I'm going to say storywise the old king is a tad bit senile and likes to watch his potential heirs struggle for throne.
#aisha zaidi#raymond zaidi#haziqa zaidi#mustafa zaidi#zaidi#hadria#criladith round 2#criladith#sims 2 medieval charter challenge
3 notes
·
View notes
Text
Lord Raymond has the opposite problem of his wife. He has to rise early for his duties as an aspiring knight. Everyone, including our sweet Iona, is fast asleep when Raymond enjoys a cold bowl of porridge before dawn.
3 notes
·
View notes
Text
Julietta had a birthday! And Iona had a breakdown..
4 notes
·
View notes
Text
Raymond really wants puppies, so he finds a stray male for Najya to fraternize with.
It's also probably a good idea to let your servant knwo she's going to have more dogs to take care of, so Raymond fills her in and gets to know Iona better. Iona is rather close with her employers.
#najya the dog#raymond zaidi#iona macleod#zaidi#criladith#hadria#criladith round 2#ts2 medieval#sims 2 medieval
4 notes
·
View notes
Text
Some more party pictures. :)
I also chose secondary aspirations for Aisha and Raymond. I don't remeber why I decided to, I think I just remembered that they existed lol!
6 notes
·
View notes